Podcast by PortableVoices Creatives
Tegea kipindi cha Bongo La Biashara. Tutaangazia jinsi wanabiashara kibera wanavyopata fedha za kuanzisha na kukuza biashara zao. Jiunge nasi upate burudani na mafunzo kemukemu.
Kwenye kipindi hiki tuangazia hali ya biashara ilivyo kibera yaani yapi kutarajia unapojipanga kuanzisha biashara kibera.