Podcasts about biashara

  • 44PODCASTS
  • 359EPISODES
  • 18mAVG DURATION
  • 1EPISODE EVERY OTHER WEEK
  • May 9, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about biashara

Latest podcast episodes about biashara

Habari za UN
Chokoleti itengenezwayo Uganda yavuka mpaka na mabara -UNCTAD

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 9, 2025 3:55


Kutoka kakao ghafi huko Bundibugyo, magharibi mwa Uganda hadi Kampala mji mkuu wa kibiashara wa taifa hilo la Afrika Mashariki ndiko kunapatikana kiwanda cha kutengeneza chokoleti cha Equator kinachomilikiwa na Barbara Gonget na mume wake Gustav. Awali wazo la biashara hii lilionekana kutokuwa na mashiko. Ingawa hivyo baada ya ITC, ambacho ni Kituo cha Kimataifa ha Biashara kilicho chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo, UNCTAD pamoja na wadau wao kuweka usaidizi wao, hali imebadilika na sasa biashara inavuka sio tu mipaka bali mabara. Wawili hao Kwa kuchanganya mbinu za hali ya juu, zinazojali jamii, na ufundi wa kitaalamu, wanabadili taswira ya uzalishaji wa chokoleti nchini humo.Je wamefanya nini? Assumpta Massoi anafafanua zaidi kwenye makala hii iliyofanikishwa na ITC.

Gurudumu la Uchumi
Vita ya Biashara: Athari kwa Biashara na Uwekezaji kwa nchi za ukanda

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Apr 30, 2025 10:06


Mizozo ya kibiashara kati ya nchi wanachama wa jumuiya za kikanda kama zile zilizoko SADC na EAC, ina athari endelevu kwa uchumi, biashara na jamii kiujumla.Mfano hivi karibuni Tanzania iliingia katika mvutano na nchi za Malawi na Afrika Kusini, zote zikiwa ni wanachama wa SADC, aidha wakati fulani Tanzania, Kenya na Uganda zilishawahi kuvutana.Ali Mkimo mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara anadadavua hili kwa kina kwenye makala ya wiki hii.

Gurudumu la Uchumi
Vita ya Biashara: Athari kwa Biashara na Uwekezaji kwa nchi za ukanda

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Apr 30, 2025 10:06


Mizozo ya kibiashara kati ya nchi wanachama wa jumuiya za kikanda kama zile zilizoko SADC na EAC, ina athari endelevu kwa uchumi, biashara na jamii kiujumla.Mfano hivi karibuni Tanzania iliingia katika mvutano na nchi za Malawi na Afrika Kusini, zote zikiwa ni wanachama wa SADC, aidha wakati fulani Tanzania, Kenya na Uganda zilishawahi kuvutana.Ali Mkimo mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara anadadavua hili kwa kina kwenye makala ya wiki hii.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 29, 2025 12:18


Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.

Gurudumu la Uchumi
Sehemu II: Madhara ya ushuru wa Trump kwa bara la Afrika na biashara ya dunia

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Apr 16, 2025 9:46


Msikilizaji kwa majuma kadhaa sasa, kumekuwa na mjadala duniani kote kufuatia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump, kutangaza ushuru wa bidhaa zinazoingia kwenye taifa hilo, mataifa ya Afrika yakiwa miongoni mwa waathirika, baadhi wakiwekewa ushuru wa hadi asilimia 50. Hata hivyo juma lililopita, rais Trump alitangaza kusitisha kwa muda wa siku 90 utekelezwaji wa ushuru kwa baadhi ya mataifa isipokuwa Uchina, ambayo imewekewa ushuru wa zaidi ya asilimia 125.Katika sehemu hii ya pili ya makala ya wiki hii, tumezungumza na Ali Mkimo, mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara.

Gurudumu la Uchumi
Sehemu II: Madhara ya ushuru wa Trump kwa bara la Afrika na biashara ya dunia

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Apr 16, 2025 9:46


Msikilizaji kwa majuma kadhaa sasa, kumekuwa na mjadala duniani kote kufuatia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump, kutangaza ushuru wa bidhaa zinazoingia kwenye taifa hilo, mataifa ya Afrika yakiwa miongoni mwa waathirika, baadhi wakiwekewa ushuru wa hadi asilimia 50. Hata hivyo juma lililopita, rais Trump alitangaza kusitisha kwa muda wa siku 90 utekelezwaji wa ushuru kwa baadhi ya mataifa isipokuwa Uchina, ambayo imewekewa ushuru wa zaidi ya asilimia 125.Katika sehemu hii ya pili ya makala ya wiki hii, tumezungumza na Ali Mkimo, mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara.

Gurudumu la Uchumi
Sehemu I: Madhara ya ushuru wa Trump kwa bara la Afrika na biashara ya dunia

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Apr 9, 2025 10:01


Kwa majuma kadhaa, mijadala mikali duniani kote kufuatia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump, kutangaza ushuru zaidi wa bidhaa zinazoingia kwenye taifa hilo, mataifa ya Afrika yakiwa miongoni mwa waathirika, baadhi wakiwekewa ushuru wa hadi asilimia 50. Katika makala ya Gurudumu la uchumi juma hili, tunadadavua na wataalamu athari za ushuru wa Trump kwa nchi za Afrika na biashara ya dunia kiujumla. Tutakuwa na Ali Mkimo, mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

Habari za UN
Chad: Wanakikundi watumia faida ya biashara yao kuanzisha shule

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 26, 2025 3:33


Nchini Chad, wanawake wanakikundi cha kutengeneza sabuni na mafuta ya kupata mwilini wameamua kuchukua hatua ili umamuma wa kutokujua kusoma na kuandika ambao umewakumba wao, usiwakumbe pia watoto wao wa kike. Wanakikundi hao wa APROFiCA wanaopata ufadhili kutoka Benki ya Dunia wameona ni vema kuchukua hatua hiyo ili kufanikisha lengo namba 4 la Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs la Umoja wa Mataifa kuhusu elimu, kwani elimu ni mkombozi kwa binadamu. Je wamefanya nini? Assumpta Massoi anafafanua kupitia video ya Benki ya Dunia.

Habari za UN
25 MACHI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 25, 2025 11:16


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo tunasalia hapa makao makuu katika mkutano wa CSW69 uliokunja chamvi Ijumaa wiki jana, tunamsikia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Mkutano wa 4 wa Umoja wa Mataifa wa Wanawake, Mkutano wa Beijing Bi. Gertrude Mongella.Hapa New York, Umoja wa Mataifa leo umetoa wito wa kuachiliwa kwa wafanyakazi wake wanaoshikiliwa kote ulimwenguni ambao wamejikuta matatani wakati wakiwahudumia watu walio katika hatari, huku wakihatarisha usalama wao binafsi kwa kukabiliwa na vitisho vya kutekwa nyara, vurugu, unyanyasaji, na kifungo katika maeneo yenye migogoro na majanga.Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kuhusu vifo vya watoto imeonya kwamba miongo ya maendeleo katika kupunguza vifo vya watoto na watoto wachanga wakati wa kuzaliwa yako hatarini kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili. Idadi ya vifo vya watoto wa chini ya umri wa miaka mitano ilipungua hadi watoto milioni 4.8 mwaka 2023, huku vifo vya wakati wa kuzaliwa vikiendelea kubaki takriban milioni 1.9.Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Waathirika wa Utumwa na Biashara ya Watumwa ya Bahari ya Atlantiki, ikiwakumbuka mamilioni ya Waafrika walioteswa, kunyanyaswa, na kunyimwa utu wao. Katika ujumbe wake wa siku hii Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema “Kwa zaidi ya karne nne, mamilioni ya Waafrika walitekwa kwa nguvu, kusafirishwa kwa meli hadi mataifa ya kigeni, na kufanyishwa kazi katika hali mbaya za kikatili.”Na katika mashinani kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP, Lea mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambaye sasa amekimbilia Burundi na familia anasilimua hali ilivyokuwa wakati wa kukimbia.Mwenyeji wako ni Leah Mushi, karibu!  

Habari za UN
IFAD yawaepusha vijana wa kike 5 na kazi za ndani na kuwajengea stadi za kilimo biashara Senegal

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 21, 2025 2:18


Tukiwa bado ndani ya mwezi wa Machi, unaotambuliwa kuwa ni mwezi wa wanawake tunakwenda nchini Senegal ambako huko wasichana waliokuwa wakifanya kazi za ndani, wamewezeshwa na Umoja wa Mataifa na sasa ni wakulima na wanatumia stadi za upigaji na utengenezaji video za mtandaoni kuelimisha jamii kuhusu kilimo chenye tija. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.

Habari za UN
17 MACHI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 17, 2025 11:28


Hii leo jaridani tunaangazia madeni katika nchi zenye mapato ya chini na ujumbe wa washiriki wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani CSW69 hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa.Mkutano wa 14 wa Kimataifa wa Usimamizi wa madeni umeanza rasmi hii leo huko Geneva Uswisi ambapo kubwa linalojadiliwa ni namna ya kuhakikisha wakati serikali zikipambana kulipa madeni hazidumazi maendeleo.Akijibu swali la kwa nini pamoja na ongezeko na idadi ya wanawake katika ngazi za uamuzi nchini Tanzania lakini bado kuna changamoto zinazoukabili usawa wa kijinsia, Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu anayehudhuria mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake, CSW69 jijini New York, Marekani kupitia mahojiano maalumu na Anold Kayanda wa Idhaa hii ya Umoja wa Mataifa, anaeleza kuwa      mabadiliko chanya katika jamii hayaji kwa kutumia mabavu.Makala pia inatubakisha hapa Umoja wa Mataifa kwenye mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani CSW69. Ili kufanikisha lengo la usawa wa kijinsia Umoja wa Mataifa unasisitiza ushiriki wa wanaume katika mchakato hasa kwa kuzingatia kuwa mfumo dume miaka nenda miaka rudi umekuwa kikwazo cha kufikia lengo hilo, Flora Nducha amebahatika kuzungumza na mmoja wa wanaume wanaoshiriki mkutano huo kusikia maoni yake.Na katika mashinani baadhi ya washiriki wa mkutano wa CSW69 wakizungumza na idhaa hii kandoni mwa mkutano huo, wametoa wito wa mshikamano na msichana na mwanamke yeyote anayepitia changamoto kote duniani hususani wale wanaorejea shuleni baada ya kusitisha masomo kutokana na ujauzito kabla ya wakati. Mshiriki wa kwanza ni Nasra Kibukila anayewakilisha Mtandao wa Elimu Tanzania, TEN/Met.Mwenyeji wako ni Leah Mushi, karibu!  

Jioni - Voice of America
Biashara ya Wall Street ilishuka Jumatatu kwa hofu kuwa makampuni makubwa ya Marekani ambayo yameshiriki katika biashara ya akili mnemba. - Januari 27, 2025

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 27, 2025 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Habari za UN
Huu ni wakati wa kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na AI-Guterres

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 22, 2025 3:20


Viongozi wa kimataifa wa masuala ya kisiasa na biashara wanaokutana Davos Uswisi kwa ajili ya jukwaa la kiuchumi duniani WEF, leo wamekabiliwa na ukweli mchungu kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, akilaani ukosefu wa ushirikiano wa kimataifa katika dunia inayokosa mwelekeo, ikikabiliwa na hatari mbili kubwa ambazo ni mabadiliko ya tabianchi na akili mnemba au AI isiyodhibitiwa. Flora Nducha na taarifa zaidiAkizungumza katika Jukwaa hilo la kila mwaka la Kiuchumi Duniani Katibu Mkuu amewaonya viongozi wa dunia na wakuu wa biashara kuhusu vitisho viwili vinavyoongezeka kwa ubinadamu mabadiliko ya tabianchi na akili mnemba au AI isiodhibitiwa amesema “Kunapokuja suala la tishio la kimataifa nyuklia sio tishio pekee. Leo hii tunakabiliwa na matishio mawili makubwa ambayo yanahitaji kupewa uziti Mkubwa wa kimataifa na hatua kwa sababu yanatishia kubadili kabisa maisha tunayoyajua, janga la mabadiliko ya tabianchi na upanuzi wa kasi wa wigo wa akili mnemba.”Akikosoa ukosefu wa ushirikiano katika kukabiliana na changamoto hizi kubwa, Guterres ametoa wito wa kuchukua hatua za pamoja haraka ili kushughulikia dunia aliyoiita  dunia inayokosa mwelekeo “Hebu tukabili ukweli , leo hii watu wengi wanapoitazama dunia hawaoni ushirikiano mkubwa wala maarifa ya kutosha . Licha yah atua zilizopigwa uwekezaji katika nishati jadidifu , teknolojia na masuala ya  kiafya ni dunia na matatizo yetu mengi yanazidi kuwa mbaya”Kuhusu mabadiliko ya tabianchi, Guterres amelinganisha uraibu wa dunia kwa nishati ya mafuta na mnyama wa Frankenstein, akisisitiza madhara yake makubwa.Amebainisha kuwa baadhi ya bandari kuu za mafuta duniani ziko hatarini kutokana na viwango vya bahari kuongezeka, jambo linalosababishwa na uchomaji wa makaa ya mawe, mafuta, na gesi asilia.Katibu Mkuu amekemea viwanda na taasisi za kifedha zinazosuasua kwenye ahadi zao za tabianchi, akisema hii ni kukosa maono na usaliti wa sayansi na watumiaji wanaotafuta uendelevu.Akizungumzia hatari na fursa za AI, Guterres ameelezea kama upanga wa makali mawili. Ingawa inatoa matumaini katika kubadilisha sekta za afya, kilimo, na elimu, ameonya kuhusu hatari kubwa ikiwa haitadhibitiwa.Amesema AI isiyodhibitiwa inaweza kuvuruga uchumi, kudhoofisha imani kwa taasisi, na kuongeza ukosefu wa usawa.Guterres amehitimisha kwa kutoa wito wa mshikamano wa kimataifa katika kukabiliana na changamoto hizi muhimu akisema “kubadili mwelekeo wa taasisi kunahitaji kubadili fikra kwa sababu tunakabiliwa na changamoto kubwa zinazoweza kuiangamiza dunia na sishawishiki kwamba viongozi wanalielewa hili.”Amesisitiza umuhimu wa kurekebisha mifumo ya utawala wa kimataifa ili kukabiliana ipasavyo na migogoro ya kisasa, akionya kuwa utashi wa kisiasa ni muhimu lakini bado haupo katika kiwango cha kutosha.Ujumbe wake ni bayana kwamba sasa ni wakati wa kuchukua hatua za pamoja na za haraka.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu Padre anaruhusiwa kufanyabiashara au kuajiriwa katika taasisi zingine katika Jamii?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 22, 2025 29:23


Karibu katika Kipindi cha Maswali ya Imani ukiwa nami Frateri Kelvin Paschal Mwalabu, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Je, Padre anaruhusiwa kuajiriwa na kufanya Biashara? L'articolo Je, wafahamu Padre anaruhusiwa kufanyabiashara au kuajiriwa katika taasisi zingine katika Jamii? proviene da Radio Maria.

Gurudumu la Uchumi
Nchini Kenya Vijana wa mitaa duni wakumbatia Teknolojia ya biashara ndogo ndogo

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Jan 15, 2025 9:55


Teknolojia bunifu ya biashara ndogo ndogo  imekuwa ikijulikana kuwa ya watu waliojiweza katika jamiii kutokana na gharama yake ,hali ambayo inawafungia nje watu hasa vijana kutoka maeneo duni na vijijini hivyo kukosa kuimarika kibiashara na kiuchumi kupitia teknolojia hizo .Lakini hata hivyo vijana pamoja na mashirika mbalimbali mtaa wakibera jijini Nairobi Kenya  wapata fursa ya mafunzo na kuimarika kibiashara

Gurudumu la Uchumi
Nchini Kenya Vijana wa mitaa duni wakumbatia Teknolojia ya biashara ndogo ndogo

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Jan 15, 2025 9:55


Teknolojia bunifu ya biashara ndogo ndogo  imekuwa ikijulikana kuwa ya watu waliojiweza katika jamiii kutokana na gharama yake ,hali ambayo inawafungia nje watu hasa vijana kutoka maeneo duni na vijijini hivyo kukosa kuimarika kibiashara na kiuchumi kupitia teknolojia hizo .Lakini hata hivyo vijana pamoja na mashirika mbalimbali mtaa wakibera jijini Nairobi Kenya  wapata fursa ya mafunzo na kuimarika kibiashara

Habari za UN
05 DESEMBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 5, 2024 9:59


Hii leo jaridani mada kwa kina inayotupeleka katika makazi ya wakimbizi ya Kyangwali nchini Uganda kumulika hali ya ukatili dhidi ya wanawake kwa watu hao waliokimbia vita jinsi inavyoshughulikiwa. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na uchambuzi wa neno.Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ya Uzazi na Idadi ya Watu, UNFPA leo limezindua ombi lake la kimataifa la mwaka 2025, likitafuta dola bilioni 1.4 ili kutoa huduma za afya ya uzazi zinazookoa maisha na programu muhimu za kuzuia unyanyasaji wa kijinsia kwa zaidi ya wanawake, wasichana na vijana milioni 45 kote duniani katika nchi  57 zilizoathiriwa na majanga.Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) leo jijini Geneva, Uswisi limetangaza kutoa idhini ya awali kwa kipimo kinachoitwa Xpert® MTB/RIF Ultra dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB). Kipimo hiki pia kinaweza kupima uwezekano wa kuathiriwa kwa viuavijasumu ambacho kinakidhi viwango vya WHO.Biashara ya kimataifa inatazamiwa kufikia dola trilioni 33 mwaka 2024, kulingana na Taarifa mpya ya Biashara ya Kimataifa iliyotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo (UNCTAD). Ongezeko hili la dola trilioni 1, linaloakisi ukuaji wa mwaka wa asilimia 3.3, linaonesha uthabiti katika biashara ya kimataifa licha ya changamoto zinazoendelea.Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mchambuzi wetu mlumbi wa Kiswahili Joramu Nkumbi kutoka nchini Tanzania, anafafanua maana ya maneno “MBUKU NA MSUNUNU.”Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!  

Gurudumu la Uchumi
Manufaa na changamoto za mkataba wa biashara huria barani Afrika, AfCFTA

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Dec 4, 2024 10:02


Msikiliza mataifa 54 ya Afrika yametia saini mkataba wa biashara huria barani Afrika, mataifa 48 yakitia saini itifaki kuanza kuutekeleza. Huu ni moja ya mikataba mikubwa ya kibiashara duniani, ukitarajiwa kuwaondoa raia milioni 30 kutoka kwenye umasikini na kuongeza mapato ya bara hil hadi kufikia dola bilioni 450 ifikapo mwaka 2030.Kuangazia kwa kina mkataba huu pamoja na hali ya madeni ya nchi za Afrika, tumezungumza na Ali Mkimo, mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya uchumi akiwa Tanzania.

Gurudumu la Uchumi
Manufaa na changamoto za mkataba wa biashara huria barani Afrika, AfCFTA

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Dec 4, 2024 10:02


Msikiliza mataifa 54 ya Afrika yametia saini mkataba wa biashara huria barani Afrika, mataifa 48 yakitia saini itifaki kuanza kuutekeleza. Huu ni moja ya mikataba mikubwa ya kibiashara duniani, ukitarajiwa kuwaondoa raia milioni 30 kutoka kwenye umasikini na kuongeza mapato ya bara hil hadi kufikia dola bilioni 450 ifikapo mwaka 2030.Kuangazia kwa kina mkataba huu pamoja na hali ya madeni ya nchi za Afrika, tumezungumza na Ali Mkimo, mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya uchumi akiwa Tanzania.

VOA Express - Voice of America
Kijana mfanyabiashara wa Kariakoo nchini Tanzania anasema biashara imebadilika tangu jengo la ghorofa lilipoanguka na kusababisha maafa. - Novemba 18, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 18, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Nyumba ya Sanaa
Sanaa ya uchoraji wa vinyago na fursa wa biashara inazoleta

Nyumba ya Sanaa

Play Episode Listen Later Nov 9, 2024 20:13


Wabunifu wa Sanaa ya Uchongaji Vinyago wamewekeza katika kung'amua fursa ya biashara kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kujikwamua na vipato Duni, Steven Mumbi amezungumza na Mintanga Ramadhani Msanii wa Sanaa za Uchongaji Vinyago kutoka nchini Tanzania.

AWR - Elikiorot Ororei Lenkai
Eseriani, Esiai.

AWR - Elikiorot Ororei Lenkai

Play Episode Listen Later Oct 22, 2024 29:00


Emoyian oo lukuny, Biashara oo nkishu.

Breakfast with Refilwe Moloto
2nd African Continental Free Trade Area Business Forum – Biashara Afrika

Breakfast with Refilwe Moloto

Play Episode Listen Later Oct 9, 2024 4:50


54 nations are converging in Kigali, Rwanda, for the 2nd African Continental Free Trade Area Business Forum – Biashara Afrika. Standard Bank is the key sponsor because it recognises the role that Trade plays in the development of the African continent, its societies, firms and individuals. Lester Kiewit speaks to Tunde Macaulay, Standard Bank Head for Business and Commercial Banking Africa Regions and Offshore. See omnystudio.com/listener for privacy information.

VOA Express - Voice of America
Vijana nchini Uganda walalamikia masharti makali ya mikopo katika biashara ya kilimo - Oktoba 08, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 8, 2024 29:58


Vijana nchini Uganda walalamikia masharti makali ya mikopo katika biashara ya kilimo.

AWR - Elikiorot Ororei Lenkai
Embiotishu, Esiai.

AWR - Elikiorot Ororei Lenkai

Play Episode Listen Later Sep 10, 2024 29:00


Enkanyit, Biashara.

Habari za UN
Kemia na ujasiriamali vinavyoambatana katika Chuo Kikuu cha Kenyatta

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 4, 2024 4:39


Je umeshawahi kujiuliza ni kwa vipi wataalamu wa kemia wanahusiana na ujasiriamali? Kama ndivyo, basi vivyo hivyo kwa Assumpta Massoi akiwa Manama, nchini Bahrain akishiriki Jukwaa la Nne la Uwekezaji kwa Wajasiriamali, WEIF2024 lililoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda, UNIDO, Ofisi ya Uendelezaji wa Biashara, ITPO nchini humo, alikutana na Profesa Ruth Wanjau, Mtafiti na Mshauri wa Masuala ya STEM yaani Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya. Alimuuliza maswali kadhaa ikiwemo ushiriki wake kwenye jukwaa hilo na nini anafanya kusongesha ujasiriamali.

Habari za UN
Afrika yakutana kujadili ukuaji endelevu wa miji kwa mabadiliko ya Afrika

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 4, 2024 1:32


Mkutano wa siku tatu unaolenga kuendeleza bara la Afrika kupitia ukuaji endelevu wa miji umeanza leo jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ushirikiano wa Muungano wa Afrika, shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi Duniani, UN Habitat na Serikali ya Ethiopia. Anold Kayanda ameifuatilia siku ya kwanza ya mkutano huu wa siku tatu na hii ni taarifa yake.(Taarifa ya Anold)Ni mkutano ambao unawapa jukwaa wadau wakuu kutoka kote barani Afrika kuendeleza malengo ya Ajenda ya mwaka 2063 inayosema Afrika Tunayoitaka.Jukwaa hili litachunguza jukumu muhimu la ukuaji wa miji katika kufikia malengo ya Ajenda 2063 na kuunda mustakabali wa miji ya Afrika kwa kuweka mikakati ya kujenga miji ambayo ni endelevu kwa mazingira, inayojumuisha jamii, na inayostahimili uchumi.(Nats)Huyo ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kikanda na Biashara cha Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi kwa ajili ya Afrika (ECA), Dkt. Stephen Karingi akihutubia mkutano huo anaeleza kuwa ukuaji wa miji wa haraka barani Afrika umekuja na changamoto kama miundombinu duni, kukosekana kwa usawa wa kijamaa na kiuchumi na changamoto za tabianchi na akatumia nafasi hiyo kutoa ahadi kuwa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi kwa ajili ya Afrika (ECA) iko tayari kushirika katika kuzitatua changamoto hizo kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuweka Sera fanisi za Uchumi mkuu na ufadhili kwa ajili ya maendeleo.Mkutano huu utahusisha shughuli mbalimbali ikiwemo mijadala, matukio ya kandoni mwa mkutano na maonesho.Tags: UN-Habitat, Afrika, Africa Urban Forum, Ajenda 2063

Jioni - Voice of America
Wadau katika juhudi za kupambana na biashara haramu ya binadamu wanasema umaskini na ufisadi unachangia ongezeko la visa hivi duniani. - Agosti 02, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 2, 2024 59:58


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Habari RFI-Ki
Siku ya kimataifa ya kupiga vita biashara haramu ya binadamu

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 31, 2024 9:54


Wataalamu wanasema biashara hii haramu imekuja na mfumo mpya wa watu kusafirishwa kutafutiwa ajira katika mataifa ya kigeni.

Habari RFI-Ki
Siku ya kimataifa ya kupiga vita biashara haramu ya binadamu

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 31, 2024 9:54


Wataalamu wanasema biashara hii haramu imekuja na mfumo mpya wa watu kusafirishwa kutafutiwa ajira katika mataifa ya kigeni.

Kwa Undani - Voice of America
Changamoto zilizopo katika kukabiliana na biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu duniani. - Julai 30, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 30, 2024 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Jioni - Voice of America
Kenya na EU zimetangaza mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi kwa misingi ya kukuza biashara na kubuni ajira kwa raia wa Kenya. - Julai 01, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 1, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Alfajiri - Voice of America
WHO inasema biashara ya tumbaku na pombe inachangia kwa vifo milioni 2.7 kwa mwaka barani Ulaya - Juni 12, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 12, 2024 29:59


SBS Swahili - SBS Swahili
Charlie "Tamasha ya Sawa Sawa ni jukwaa la watu kuonesha vipaji na biashara zao"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 21, 2024 9:03


Wana jumuiya wa Afrika wanao ishi mjini Sydney wamepata sababu yakufanya mtoko, ambao unajumuisha kila mwanachama wa familia.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 2, 2024 12:08


Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa.

Alfajiri - Voice of America
Raia wa Rwanda watahadharishwa kuwa makini na watu wanaojihusisha na biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu. - Februari 01, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 1, 2024 29:59


Raia wa Rwanda watahadharishwa kuwa makini na watu wanaojihusisha na biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu.

Rugendo@ ttb.twr.org/Gikuyu-kikuyu
Ruo Runene ni Tondu wa Babuloni ya Biashara na Uteti Kugua

Rugendo@ ttb.twr.org/Gikuyu-kikuyu

Play Episode Listen Later Aug 1, 2023 28:19


Rugendo@ ttb.twr.org/Gikuyu-kikuyu
Babuloni ya Uteti na Biashara Kugua

Rugendo@ ttb.twr.org/Gikuyu-kikuyu

Play Episode Listen Later Jul 31, 2023 29:36


Habari za UN
Hatua zichukuliwe kutokomeza taka za plastiki: UN

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 5, 2023 0:03


Ikiwa leo ni siku ya mazingira duniani Umoja wa Mataifa imetoa wito kwa kila mtu kusaidia vita ya kutokomeza plastiki kwa faida ya mustakbali wa mazingira ya dunia na viumbe vyake.Maudhui ya siku ya mazingira mwaka huu ni “tokomeza taka za plastiki” utajiuliza   kwa nini? Jibu analo Inger Anderson mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira duniani UNEP kupitia ujumbe wake wa siku hii anasema ni, “Kwa sababu taka za plastiki Kwa sababu zinasonga mifumo yetu ya ikolojia, zinapasha joto hali ya hewa yetu na kuna uwezekano mkubwa wa kuharibu afya zetu. Urejelezaji sio mazingaombwe. Mifumo yetu haiwezi kuhimili. Mabadiliko lazima yafanyike katika mzunguko mzima wa maisha wa plastiki. Ni lazima kukataa vitu visivyo vya lazima vya matumizi ya mara moja. Tupange upya bidhaa na vifungashio ili kutumia plastiki kidogo, tutumie tena, turejeleze, tuelekeze upya na tubadilishe mifumo yetu.”Amesema kwa njia hiyo ndio Dunia itaweza kuengua plastiki katika mifumo ya ikolojia na uchumi na hilo amsisitiza ni jukumu la kila mtu,  “ Kila mtu lazima atimize wajibu wake. Serikali zinaweza kutoa matokeo madhubuti kwenye mpango huo wa kukomesha uchafuzi wa plastiki kwa majadiliano. Biashara zinaweza kuchukua mtazamo mpya, sekta ya fedha inaweza kuweka mtaji wake katika kusongesha mabadiliko, na wananchi wanaweza kutumia sauti, kura na pochi zao kuleta mabadiliko.Naye Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akiunga mkono wito huo amesema, “Kila mwaka, zaidi ya tani milioni 400 za plastiki huzalishwa duniani kote - theluthi moja ambayo hutumiwa mara moja tu. Kila siku, zaidi ya lori 2000 za takataka zilizojaa plastiki hutupwa katika bahari, mito na maziwa yetu. Matokeo yake ni janga. Chembechembe za plastiki huishia kwenye chakula tunachokula, maji tunayokunywa, na hewa tunayopumua.”Ameongeza kuwa plastiki imetengenezwa kutokana na nishati ya kisukuku na kadiri tunavyozalisha plastiki zaidi, ndivyo mafuta ya kisukuku tunavyoyachoma, na ndivyo tunavyofanya mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi kuwa mbaya zaidi.Hata hivyo amesema kuna suluhu “Mwaka jana, jumuiya ya kimataifa ilianza kujadili makubaliano ya kisheria ya kukomesha uchafuzi wa taka za plastiki. Hii ni hatua ya kwanza ya matumainii, lakini tunahitaji kila hatua kutekelezwa.”Ameongeza kuwa ripoti mpya ya UNEP inaonyesha, “tunaweza kupunguza uchafuzi wa taka za plastiki kwa asilimia 80 ifikapo mwaka 2040 ikiwa tutachukua hatua sasa kurejeleza, kuchakata tena, kuelekeza upya, na kutenganisha plastiki.”Kwa mantiki hiyo amesisitiza “Ni lazima tufanye kazi kama kitu kimoja, serikali, kampuni na watumiaji kwa pamoja  ili kuondokana na uraibu wetu wa matumizi ya plastiki, kuchagiza kutokuwa na taka za plastiki na kujenga uchumi wa kweli. Kwa pamoja, tutengeneze maisha safi, yenye afya na endelevu zaidi kwa wote.”Siku ya mazingira duniani huadhimishwa kila mwaka Juni 5.

Habari za UN
25 MEI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 25, 2023 0:11


Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina na katika kuelekea siku ya walinda Amani duniani itakayoadhimishwa Mei 29 leo tunakupeleka Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR kumulika jinsi mchango wa kusongesha maendeleo wa kikosi cha walindamani kutoka Tanzania TANBAT6 unavyopokelewa na wananchi wa taifa hilo. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo za masuala ya jinsia, biashara huru na haki za binadamu. Katika kujifunza kiswahili tutasikia maana ya methali “Aanguae huanguliwa.”Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Katibu Mkuu wa umoja huo Antonio Guterres amemtangaza Kapteni Cecilia Erzuah kutoka Ghana kuwa mshindi wa tuzo ya kila mwaka ya Mchechemuzi wa Masuala ya jinsia kwenye operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa. Leo ni siku ya Afrika ikiwa ni kumbukizi ya kuanzishwa kwa Umoja wa nchi huru za Afrika, OAU sasa Muungano wa Afrika (AU) tarehe 25 mwezi Mei mwaka 1963 ambapo Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Biashara na Maendeleo, UNCTAD imesema eneo la biashara huru la Afrika, AfCFTA linatoa fursa ya kukuza biashara ya ndani barani humo.Na baada ya kuwa mtoro kwa zaidi ya miaka 20, hatimaye Fulgence Kayishema, mmoja wa watuhumiwa vinara waliokuwa wanasakwa zaidi kwa kuhusika na mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda, amekamatwa jana huko Paarl nchini Afrika Kusini kufuatia ushirikiano baina ya ofisi ya mwendesha mashtaka ya mfumo wa kimataifa wa kushughulikia mabaki ya kesi za mauaji ya kimbari, IRMCT na serikali ya Afrika Kusini.Katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali isemayo “Aanguae huanguliwa.”Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, Karibu!

SBS Swahili - SBS Swahili
Dj Swazz Damu "wafanya biashara watapata hasara kubwa baada ya Kenya kuchujwa kutoka Rugby7s"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 25, 2023 7:29


Wapenzi wa mchezo wa raga wa wachezaji saba, wanaendelea kukabiliana na taarifa ya timu ya taifa ya Kenya kushuka daraja katika mchezo wakimataifa wa raga.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Uzazi Salama , Mama mfanyabiashara

SBS Swahili - SBS Swahili
Muundo mpya wasema wadhibiti wanastahili fanya biashara ya umeme iwe rahisi kwa watumiaji

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 4, 2023 9:50


Muundo mpya wa data iliyopo, imetoa taswira ya siku zijazo ambako, kila paa ya nyumba itakuwa na kifaa cha solar, hatua ambayo itawaruhusu wa Australia kufanya biashara ya umeme nakupiga jeki bajeti za nyumba zao.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Umuhimu wa asali kwa afya ya mwanadamu, Kujitambua

Habari za UN
23 MACHI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 23, 2023 0:12


Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina ambapo Mkutano wa 67 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW67 umekunja jamvi baada ya kufanyika kwa takribani wiki mbili! Maudhui yalikuwa ni vipi teknolojia na uvumbuzi vinaweza kumkwamua mwanamke na msichana katika zama za kidijitalitunaangazia, na Getrude Dyabene, Afisa kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria na haki za binadamu nchini Tanzania atakueleza washiriki waliondoka na ujmbe gani.  Pia tunakuletea habari kwa ufupi za afya, maji safi na salama na biashara. Katika jifunze Kiswahili leo tunataungana na mtaalam wetu ni Onni Sigalla kutoka BAKITA,Tanzania  salia papo hapo?Kuelekea siku ya Kifua Kikuu au TB duniani hapo kesho shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO hii leo limetangaza kupanua wigo wa mpango wa Mkurugenzi wa shirika hilo wa kusaidia mchakato wa ufuatiliaji wa ugonjwa huo ili kuutokomeza na kufanikisha afya kwa wote ifikapo mwaka 2030. Mpango huo uliokuwa wa 2018 hadi 2022 sasa umeongezwa kutoka 2023 hadi 2027 na unajumuisha utoaji wa tiba za muda mfupi mfupi dhidi ya TB yenye usugu wa dawa.Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu maji ukiendelea hapa Umoja wa Mataifa mmoja wa washiriki Mana Omar ambaye ni Mkurugenzi wa shirika la kiraia la SASAL Kaunti ya Kajiado nchini Kenya amezungumzia changamoto za maji zinazokabili jamii yake ya wafugaji.Na Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo ya Biashara, UNCTAD imetoa ripoti yake hii leo inayoonesha ingawa ukuaji uchumi duniani ulidorora mwishoni mwa mwaka jana na kuwa hasi, mwanzoni mwa mwaka huo kuwa kiwango cha biashara kilivunja rekodi na kufikia thamani ya dola trilioni 32 na kichocheo kilikuwa uzalishaji wa bidhaa rafiki kwa mazingira.Na katika jifunze lugha ya Kiswahili , leo tunapata ufafanuszi wa neno "HAKIBIZA" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!

Habari za UN
21 MACHI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 21, 2023 0:12


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina nitasalia hapa hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa katika maandalizi ya mkutano wa maji wa mwaka 2023, unaoanza kesho kumsikia Fr. Benedict Ayodi kutoka shirika la kiamatifa la Wakapuchini wa Fraciscan ambao watakuwa na mjadala maalum kuhusu haki ya maji kwa wote katika mkutano huo. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo zikiwemosiku za UN, UNCTAD na Burundi.  Mashinani tunakuletea ujumbe kuhusu misitu.Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kupinga ubaguzi wa rangi, Katibu Mkuu wa  Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka kila mtu aazimie kutokomeza ubaguzi huu ambao unaendelea kuathiri kila nchi duniani.Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo ya Biashara, UNCTAD imetoa ripoti hii leo inayotaka nchi za Afrika zilizo kusini mwa Sahara zishirikiane kuchagiza matumizi ya nishati ikiwemo rejelezi kama njia ya kuimarisha huduma za afya, elimu na kupunguza umaskini.Na ofisi ya Kamishna wa Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa hii leo imesema ina hofu kubwa juu ya ongezeko la msako dhidi ya watetezi wa haki nchini Burundi kufuatia kuswekwa korokoroni hivi karibuni kwa watetezi watano wa haki za binadamu na kufungwa jele kwa mwandishi wa Habari.Na katika mashinani tutausikia ujumbe kuhusu uhifadhi wa misitu na faida zake.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!

Habari za UN
16 MACHI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 16, 2023 0:13


Hii leo jaridani tunanasalia hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kusikiliza mahojiano yetu na viongozi waandamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto huko Zanzibar Tanzania wanaoshiriki mkutano wa 67 wa hali ya wanawake duniani, CSW67 maudhui yakiwa matumizi ya dijitajitali katika zama za sasa za teknolojia kwa lengo la kusaidia wanawake na wasichana na hatimaye jamii. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo hali nchini Malawi baada ya kimbunga Freddy kuzuka nchini humo, Wakimbizi Ethiopia WHO na teknolojia UNCTAD. Katika kjifunza Klugha ya Kiswahili Dkt. Mwanahija Ali Juma anafafanua matumizi ya maneno Yeyote na Yoyote, baki nasi!Nchini Malawi, Umoja wa Mataifa umeendelea kuchukua hatua za usaidizi baada ya Rais wa nchi hiyo Lazarus Chikwera kutangaza hali  ya hatari kwenye mkoa wa kusini kufuatia mvua kubwa zilizosababishwa na kimbunga Freddy na katika wiki hii pekee zaidi ya watu 170 wamekufa na 178 wameokolewa.Nchini Ethiopia, shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO linaimarisha harakati zake za kuhakikisha wakimbizi wanaokimbia ghasia Somalia na kuingia ukanda wa Dollo ulioko mkoa wa Somali nchini Ethiopia wanapata huduma za afya pamoja na wenyeji wao, wakati huu ambapo idadi yao inaongezeka kila uchao kwani tangu mwezi Februari mwaka huu idadi ya wakimbizi walioingia imefikia takribani laki moja.Na Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo ya Biashara duniani, UNCTAD imesema teknolojia rafiki kwa mazingira ambazo zinatumika kuzalisha bidhaa na huduma zinazidi kushamiri kila uchao na kuongeza fursa za kiuchumi, lakini nchi zinazoendelea ziko hatarini kutonufaika nazo iwapo serikali na jamii ya kimataifa hazitachukua hatua madhubuti.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili na tunasalia visiwani Zanzibar nchini Tanzania ambako mchambuzi wetu Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar, BAKIZA anafafanua matumizi ya maneno Yeyote na Yoyote..Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!

Habari za UN
Misaada sio jibu kwa nchi zenye maendeo duni - Rahab

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 3, 2023 0:03


Kuanzia siku ya jumapili tarehe 5 mpaka 9 ya mwezi huu wa Machi, huko Doha nchini Qatar viongozi kutoka kila pembe ya dunia watakutana katika mkutano wa tano wa Umoja wa Mataifa wa nchi zenye maendeleo duni- LDC5 ili kukubaliana na kuangalia namna ya kuzisaidia nchi hizo ziweze kustawi wakati huu ambapo dunia inakabiliwa na changamoto lukuki.Kimsingi mkutano huo wa LDC5 unazileta pamoja nchi 46 zenye maendeleo duni zaidi duniani, na kuzikutanisha na nchi nyingine duniani pamoja na wadau wa maendeleo.Akizungumza katika mahojiano maalum na idhaa ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani kuelekea mkutano huo, Bi. Rabab Fatima, Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa nchi zenye maendeleo duni, zisizo na bahari na visiwa vidogo amesema dunia inapaswa kujali masuala ya nchi hizo kwani zimeachwa nyuma zaidi.Bi. Rabab anasema “Ni muhimu sana kwa dunia nzima kusaidia LDCs kuwa endelevu zaidi na zisiwe tegemezi kwa misaada. Na ni muhimu sana tuwasaidie kupata nafuu, kuwajengea uwezo wa kustahimili, ili waweze kupunguza utegemezi wao kwa dunia nzima.”Mwakilishi huyo wa Umoja wa Mataifa kwa nchi hizo duni amesema kwa miaka mingi zimekuwa zikitegea misaada zaidi, na imedhihirika misaada sio jibu la maendeleo.“Bila shaka jibu ni, kujenga uwezo wa LDCs wenyewe kuwa wanazalisha mapato yao wenyewe. Mapato ya ndani, mapato yote. Biashara ni jibu linalofuata. Uwekezaji ni jibu linalofuata. Nchi hizo nyingi zimejaliwa kuwa na wingi wa maliasili pamoja na rasilimali watu, idadi kubwa ya vijana duniani wako katika nchi hizo zenye maendeleo duni.”Wakati mkutano huo ukianza hapo kesho kutwa Bi. Rabab Fatima ametoa wito kwa nchi zenye maendeleo duni sio tu kuhudhuria mkutano huo bali kushika usukani wa kuendesha mijadala na kushughulikia ahazi zao za kusonga mbele pamoja na kuhakikisha wadau wao na jumuiya ya kimataifa nazo zinashiriki kikamilifu na kuweka ahadi za kuwasaidia kusonga mbele.Nchi hizo ni Afghanistan; Angola; Bangladesh; Benin; Bhutan; Burkina Faso; Burundi; Kambodia; Jamhuri ya Afrika ya Kati- CAR; Chad; Comoro; Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo -DRC; Djibouti; Eritrea; Ethiopia; Gambia; Guinea; Guinea-Bissau.Nyingine ni Haiti; Kiribati; Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Lao; Lesotho; Liberia; Madagascar; Malawi; Mali; Mauritania; Msumbiji; Myanmar; Nepal; Niger; Rwanda; Sao Tome na Principe; Senegal; Sierra Leone; Visiwa vya Solomon; Somalia; Sudan Kusini; Sudan; Timor-Leste; Togo; Tuvalu; Uganda; Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Yemen na Zambia.Vanuatu ilikuwa nchi ya hivi karibuni kutoka katika orodha ya nchi hizo na iliondolewa mwishoni mwa mwaka 2020.

Habari za UN
Mradi wa ILO wawezesha wanawake wa kimasai Kenya kujua kusoma, kuandika na kuanzisha biashara

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 27, 2023 0:02


Nchini Kenya, mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO wa ubia wa maendeleo kati ya sekta ya umma na binafsi, PPDP umewezesha wanawake wa jamii ya kimasai katika eneo la Rift Valley kujiinua kiuchumi na kijamii. Thelma Mwadzaya na ripoti kamili kama ilivyoandaliwa na ILO.Mmoja wa wanufaika hao ni Mary Nkisonkoi kutoka kijiji cha Oloshaiki kilichoko eneo la Rift Valley au Bonde la Ufa nchini Kenya.Mary kupitia video ya ILO anasema alikuwa na bahati sana kuchaguliwa kuwa mwezeshaji wa jamii katika mradi wa PPDP.“Kabla ya mradi huu kuanza, wanawake katika eneo letu hawakuwa wanakutana na kuzungumza kwa uwazi na kina matatizo na changamoto zinazowakabili. Hatukuruhusiwa kufanya hivyo labda pale tu ambapo waume zetu walifahamu kile ambacho kinajadiliwa,” anasema Mary.Walikuwa wamezoea kusalia kijijini na kukutana kanisani na baada ya ibadi kila mtu anarejea nyumbani na kuendelea na wajibu wake wa kifamilia. Hatukufahamu kuwa sisi wanawake na akina mama tunaweza kufanya kitu na kusaidia kama jamii au kama wanawake.PPDP ikabisha hodi OloshaikiMradi wa PPDP ukaingia na ukaanza kufundisha wanawake kuhusu jinsia, haki za wanawake na tofauti kati ya mke na mume.“Hii ilituhamasisha kuzungumza na wanaume wetu,” anasema Mary huku akiongeza kwamba alifundishwa kuwa mwezeshaji ili kuwaleta pamoja wanawake na wanaume katika majukwaa ya umma. “Niliwaita wazee wa kijiji, wanawake, viongozi wa vikundi vya kijamii ili kujadili ni jambo gani lifanyike ili kuinua eneo letu.”Mabadiliko chanya ya kujivuniaMary anasema mabadiliko ya kwanza kutokea na ambayo anajivunia ni pale wanawake walipoweza kupata elimu ya watu wazima. “Tulifundishwa na mwalimu kutoka mradi wa PPDP. Tulifundishwa pia jinsi ya kuendesha biashara.”Wanawake wengi walijiunga na darasa kwa sababu “hatukuwa na njia nyingine ya kujipatia kipato. Kwa asili, wanawake hawawezi kuuza ng'ombe au mahindi kwa sababu shamba ni mali ya mume.”Walijipanga vema ili wasikose darasaMary anasema mwanzoni ilikuwa changamoto, lakini walijifunza kujipanga mapema kuhakikisha majukumu ya nyumbani na uchungaji wa mbuzi na ng'ombe unafanyika asubuhi. Ikifika saa 8 adhuhuri watoto wanaporejea nyumbani kutoka shuleni, wanawake walienda darasani.“Wanawake walijifunza alfabeti pamoja nan amba na matokeo yake waliweza kutumia simu za rununu au za kiganjani,” anasema Mary.Baada ya kujua kusoma na kuandika, nini kilifuatia?Mwezashaji huyu wa jamii anasema baada ya darasa la elimu ya watu wazima, walifikiria ni nini tena wanaweza kufanya na kuleta mabadiliko zaidi.“Tulianzisha kikundi cha upatu. Siku yetu ya soko ni jumatano ambako  wanawake wanauza maharage, viazi au mboga za majani. Tuliamua kukutana kila Alhamisi baada ya siku ya soko na kila mwanamke alete dola senti 40 au dola senti 81. Na iwapo mwanamke anataka kukopa fedha kukuza biashara yake, tunamkopesha na atarejesha na riba. Kisha tutampatia tena mwanamke mwingine akuze biashara yake.” Mafanikio mengine sasa wanaume wamepata uelewa wa kuwapatia wake zao nafasi na fursa kwa sababu Mary anasema, “nilipoketi nao kama mwezeshaji, niliwaeleza kuwa akina mama nao wanaweza kuleta kipato nyumbani, wakalipa karo na hata kununua chakula.”Sasa anasema wako huru kuanzisha na kumiliki biashara. Kila mwanamke anaweza kupeleka kitu nyumbani na kuweka mezani, hata kiwe kidogo kiasi gani.Hata shilingi 500 za Kenya saw ana dola 4.10. Tunawaambia waume zetu hiki ndicho nilichopata,” anasema Mary akiongeza kuwa hayo ni mabadiliko makubwa na hatuishi kama tulivyokuwa tunaishi zamani. Mary anasema “ninajiambia katika biashara yangu siku moja nitakuwa miongoni mwa nyota zinazong'ara kwenye eneo hili.” Kupitia ujasiriamali wa kukuza ng'ombe bora, Mary ameweza kujenga nyumba yake na anatamatisha akisema, “wanawake si watu wa kukandamizwa. Pale mwanamke anapoelimishwa, jamii itanufaika zaidi. Kwa hiyo…

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Ugonjwa katika njia ya mkojo, kujiajiri binafsi