Hadithi Za kiswahili
Kwanini kuku akimwona mwewe anajificha na ni kwa nini mwewe anataka kumdona kuku. Pata KISA kizima cha ugomvi Wa kuku na mwewe.
Hadithi Za kiswahili zenye ma funzo kwa watoto na kwa wewe mkubwa badala ya kuwaza sikiliza hadithi iliuondoe mawazo ya kukuumiza akili. Karibuni nyote
Hadithi Za kiswahili zinawapa watoto mafunzo na burudani. Kwako wewe mkubwa badala ya kuwaza sikiliza hadithi iliuondoe mawazo ya kukuumiza akili. Karibuni nyote