sikiliza postive vibe kila siku ya jumatatu,jumatano na ijumaa. Tukutane kwenye postive vibe ilituweze kubadilishana mawazo na kuelimishana vitu mbali mbali bila kusahau burudani ya muziki kutoka kwa madjs hatariiii.
Welcome guys to my podcast here we talk about how to change our life from bad or broke to standard life join me to talk together
today we talk about how to make your talent grow up in every single day
let talk about how to protect ourselves with Corona Virus
Karibu kwenye Postive vibe podcast episod ya 2. Leo tutaogelea kuhusu fursa zilizopo kwenye mitandao ya kijamii na ambazo zinaweza kumsaidia kijana kuongeza kipato chake.
Kalibu kusikiliza postive vibe episod ya kwanza.Ndani ya episod hii tutaongelea mada mbili ya kwanza ni siri tano za kupata mafanikio bila kua tegemezi na mada ya pili tutaongelea ni kwanini watu wengi hushindwa kufanikiwa au kutimiza malengo kwa wakati sahihi