Podcasts about jinsi

  • 55PODCASTS
  • 404EPISODES
  • 21mAVG DURATION
  • 1EPISODE EVERY OTHER WEEK
  • Feb 13, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about jinsi

Latest podcast episodes about jinsi

SBS Swahili - SBS Swahili
Australia yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 13, 2026 15:40


Hali ya mazingira ya joto na ukavu pamoja na mandhari yakipekee, hufanya Australia iwe mojawapo ya nchi zinazo kabiliwa na moto wa vichaka zaidi duniani.

SBS Swahili - SBS Swahili
#101 Having a laugh (Med) - #101 Jinsi tofauti ya kuelezea kicheko

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 2, 2026 11:18


Learn how to talk about things that make you laugh. Practise phrases that help you share stories, react to jokes, and enjoy conversations more. - Jifunze jinsi ya kuzungumzia mambo yanayowachekesha. Fanyeni mazoezi ya misemo inayowasaidia kushiriki hadithi, kuitikia vichekesho, na kufurahia mazungumzo zaidi.

laugh practise jinsi jifunze
SBS Swahili - SBS Swahili
#102 Getting organised (Med) - #102 Jinsi ya kujipanga

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 2, 2026 10:31


Learn practical English phrases for getting organised and managing daily tasks, including planning ahead, meeting deadlines, and staying on top of responsibilities. - Jifunze misemo ya Kiingereza kwa vitendo ili kujipanga na kusimamia majukumu ya kila siku, ikiwemo kupanga mapema, kufikia tarehe za mwisho, na kuwajibikia majukumu yenu.

english organised jinsi jifunze
Habari za UN
Utafiti wa awali waonesha jinsi mionzi ya nyuklia inavyoweza kudhibiti mbu vamizi Austria

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 19, 2026 2:47


Utafiti wa kutumia nyuklia kuwafanya tasa mbu dume ili kudhibiti magonjwa ya dengue, virusi vya zika na chikungunya nchini Austria umeonesha matumaini ya kupunguza mbu mwitu jike aina ya Aedes albopictus anayeeneza vimelea vya magonjwa hayo. Utafiti ulifanyika mwaka jana kwa ushirikiano kati ya mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la nishati ya atomiki, IAEA na la  chakula na kilimo, FAO. Assumpta Massoi anaelezea zaidi.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Jinsi jamii ya wamasaai wanavyohamia kwenye ufugaji wa samaki baada ya mabadiliko ya tabia nchi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Jan 18, 2026 9:53


Jamii ya wamaasai ambayo Kwa miaka mingi inategemea mifugo imekuwa ikipata changamoto haswa wakati wa kiangazi.  Kiangazi uathiri mifugo kwani ukosefu wa lishe unasababisha wanyama kufa. Hata hivyo Jamii hiyo imebuni mbinu mbadala ya kisasa ya ufugaji samaki. Lakini kutokana na joto jingi linaloshuhudia katika eneo la kajiado, tatizo la kuwakuza samaki hao katika vidimbwi inaonekana wazi wazi kwani wakulima hawana vifaa vya kisasa vya kupima nyuzi joto katika vidimbwi vya samaki. 

hata kwa tabia baada kwenye jamii lakini jinsi nchi samaki mazingira ufugaji
SBS Swahili - SBS Swahili
Makala leo:jinsi ya kutambua na kuepuka ulaghai wa AI

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jan 16, 2026 10:44


Utafiti mpya unaonyesha kwamba Waustralia wanaamini kupita kiasi juu ya uwezo wao wa kutambua ulaghai wa AI deepfake, hata teknolojia inavyoendelea kuwa ngumu zaidi kugundua. Wataalamu wanatahadharisha kwamba wadanganyifu wanaiba imani na hisia, na wanatoa wito kwa nyinyi kusimama, kuthibitisha na kukataa ujumbe unaotia shaka. Ikiwa mnadhani mngeweza kutambua ulaghai wa deepfake za AI papo hapo, hamko peke yenu. Lakini utafiti mpya wa CommBank unapendekeza kuwa Waustralia wanaweza kuwa na ujasiri zaidi kuliko walivyo sahihi, na matapeli wanastawi katika pengo hilo. Kwa sababu kwa deepfakes, hatari si tu teknolojia. Ni kile inachochukua - uaminifu. Katika Benki ya Commonwealth, Meneja Mkuu wa Huduma za Usimamizi wa Ulaghai wa Kikundi, James Roberts, anasema deepfakes sasa zinatumika kuiga aina za watu tunaozoea kuwaamini, iwe ni mtu maarufu, mtu tunayemfahamu, au mtu tunayempenda.

Mufti Tariq Masood
Question Answer Session With Public 116 | Mufti Tariq Masood Speeches

Mufti Tariq Masood

Play Episode Listen Later Jan 6, 2026 46:20


(0:00) Intro(0:02) Zakaat ka rate nikalne ka tareeqa(0:43) Surah Ma'idah: “Mu‘aahidon ko poora karo” — kya bahar mulkon mein illegal visa par job ki earning haram hai?(1:35) Doosri shadi ke liye pehli biwi se poochhna zaruri hai?(3:00) Shadi ko 5 saal ho gaye, nek aulad ke liye dua(3:17) Marhoom walida ke liye maghfirat aur khwab mein aane ki dua(3:48) Iddat ke ehkam — bari umar ki khawateen ke liye(3:53) Iddat ki qisamain: talaq ke baad, bewa hone ke baad(4:07) Talaq ki iddat ke ehkam(4:14) Rukhsati (official) se pehle pregnancy ka masla(5:34) Rukhsati se pehle agar talaq ho jaye to iddat nahi(6:00) Rukhsati ke baad talaq ke ehkam(6:11) Haiz wali khawateen ki iddat: 3 haiz(6:17) Masla: haiz ke dauran talaq?(7:59) Menopause wali khawateen ki iddat (talaq ke baad): 3 mahine (90 din)(8:34) Bewa aurat ki iddat: 4 mahine 10 din(8:57) Hamal (pregnancy) ki surat mein iddat ki muddat(9:57) Iddat mein aurat ka ghar se bahar na nikalna(12:04) Biwi ko iddat ke dauran ghar se nikalne ki sharaait: be-hayai, bad-zubani(15:40) Shohar ki wafat ke baad bewa ko ghar se nikalna(15:51) Do sooraton mein ghar se bahar ja sakti hai (baghair makeup)(16:51) Hidayat: sog (iddat) — zeenat ke kaam jaiz nahi(18:05) Talaq-e-Raj‘i ke ehkam(21:27) Teen talaq ka masla aur Ehl-e-Hadith ka mawqif(23:08) Mufti sahab ka paighaam: nikahnama mein yeh alfaaz shamil karna(25:11) Adam-e-bardasht — talaqon ki bunyadi wajah(25:37) Iddat ke sog mein zeenat ikhtiyar na karna — is dauran aurat ke liye job munasib nahi(26:17) Iddat ke ehkam ki khilaf-warzi par Allah ki sakht dhamki(26:39) Iddat mein sog ki wajah: iddat mein nikah haram hota hai, shohar ki azmat ka ehsaas dilana(27:43) Juma ke khutbe se pehle bayan karna? aur khutba sirf Arabic mein kyun?(31:07) Bewa aurat ke bachon ka kharcha alag karna(33:41) 15 saal se maika baithi hui behen ka masla(34:54) Khula ke case mein haq-e-mehr ki haisiyat(35:51) Dera Ghazi Khan ke do logon ki bakriyon ka masla(37:57) Kasrat-e-azwaj mein adal ka matlab(38:09) Raat guzarne mein barabari(39:20) Har biwi ko tohfay dene mein barabari(40:25) Naan-nafaqa mein barabari: libaas, khuraak, rehaish(44:01) Jinsi ta‘alluq mein adal(45:49) Aik gaaye ka doodh chaar gharon mein Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

SBS Swahili - SBS Swahili
Baraza la usalama wa chakula latoa vidokezo jinsi ya kuandaa vyakula kwa usalama ili kuepukana na magonjwa

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 11, 2025 6:16


Kuna mambo mengi ya kushughulikia wakati huu wa mwaka, na milo yetu inaweza kuja na upande wa magonjwa. Baraza la Habari za Usalama wa Chakula la Australia limetoa vidokezo vyake bora jinsi ya kufurahia msimu kwa usalama - kwa lengo la kupunguza zaidi ya kesi milioni nne na laki tano za sumu ya chakula kila mwaka.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi utovu wa sheria Israel unaathiri wakulima wa Palestine

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 1, 2025 11:26


Kwa mtengenezaji wa mvinyo wa Kipalestina kutoka Australia, Sari Kassis, ukweli wa kilimo katika Ukingo wa Magharibi ni hali ya hatari ya kila wakati, kimwili na kiakili. Kwa kuongezeka kwa vurugu za walowezi katika Ukingo wa Magharibi, mavuno ya mwaka huu yameona idadi ya juu zaidi ya mashambulizi ya Waisraeli kwenye mashamba na mali.

Gurudumu la Uchumi
Mapinduzi ya Elimu Bondo: Jinsi Teknolojia Inavyowawezesha Wasichana Kuandika Kesho Yao

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Nov 26, 2025 10:04


Katika maeneo mengi nchini, hasa magharibi mwa Kenya, wasichana wengi wanaojikuta wakisuasua katika mitihani ya sekondari huishia kwenye ndoa za mapema na mimba za utotoni—mazingira yanayozima ndoto zao kabla hata hazijachanua. Lakini safari hii, upepo wa mabadiliko umeanza kuvuma. Serikali za majimbo, kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), zimeanzisha mpango wa mafunzo ya kitaaluma yanaotumia teknolojia ya kisasa, Lengo likiwa ni moja tu, kuwainua wasichana hawa.

kenya bondo katika lakini jinsi elimu serikali maendeleo lengo shirika teknolojia kesho
Gurudumu la Uchumi
Mapinduzi ya Elimu Bondo: Jinsi Teknolojia Inavyowawezesha Wasichana Kuandika Kesho Yao

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Nov 26, 2025 10:04


Katika maeneo mengi nchini, hasa magharibi mwa Kenya, wasichana wengi wanaojikuta wakisuasua katika mitihani ya sekondari huishia kwenye ndoa za mapema na mimba za utotoni—mazingira yanayozima ndoto zao kabla hata hazijachanua. Lakini safari hii, upepo wa mabadiliko umeanza kuvuma. Serikali za majimbo, kwa ushirikiano na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), zimeanzisha mpango wa mafunzo ya kitaaluma yanaotumia teknolojia ya kisasa, Lengo likiwa ni moja tu, kuwainua wasichana hawa.

kenya bondo katika lakini jinsi elimu serikali maendeleo lengo shirika teknolojia kesho
Habari za UN
Afisa wa UN ajionea jinsi Tanzania 'inafunda' waendao kwenye operesheni za ulinzi wa amani

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 27, 2025 2:15


Mratibu Maalum wa Kuboresha Hatua za Umoja wa Mataifa dhidi ya Unyanyasaji wa kingono (SEA) Christian Saunders amefanya ziara nchini Tanzania kuona maandalizi ya vikosi vya operesheni za ulinzi wa amani katika maeneo mbalimbali duniani. Kutoka Dar es Salaam, Tanzania, Kapteni Mwijage Inyoma Afisa Habari wa Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Tanzania (TPTC) ametuandalia taarifa hii.Ni bendi ya jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ ikiongoza askari wengine kumkaribisha Bwana Christian Saunders hapa katika Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Tanzania (TPTC) Kunduchi, Dar es Salaam.Miongoni mwa askari hawa tayari wameandaliwa kwenda katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati na hata nje ili kuusaidia Umoja wa Mataifa kutekeleza moja ya majukumu yake kwa ulimwengu, kuleta na kuitunza amani.Bwana Saunders anasema, “wacha nianze kwa kusema asante. Kusema asante ni jambo muhimu sana, kwa sababu mko tayari kuanza jukumu la kutumwa, iwe mnaenda Lebanon au Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo au kwingineko. Mkiwa mbali na familia zenu, mbali na nchi yenu, katika mazingira yenye changamoto, na wakati mwingine katika hali hatarishi.”Anawapa moyo zaidi askari lakini akiwakumbusha kuwa wao ni kioo cha ulimwengu wazingatie maadili“Na tunathamini sana kujitolea kwenu. Tunathamini sana kwamba mnaenda kuwasaidia ndugu zenu katika nchi nyingine, iwe ni nchi jirani au sehemu iliyo mbali. Mnapokwenda, mnaliwakilisha dunia. Mnawakilisha watu wa dunia.”Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Tanzania (TPTC), Brigedia Jenerali George Itang'are akamthibitishia mgeni kwamba askari hawa wameiva na hakuna kisingizio chochote cha kutozingatia maadili huko wameandako, kisha akawahoji, Nao wanajibu, “twende pamoja, turudi pamoja.” 

dar lebanon congo tanzania salaam nao umoja kwenye jinsi chuo jamhuri mataifa mkuu afrika mashariki kidemokrasia wananchi miongoni
SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng Ep 38 Jinsi ya kuzungumza kuhusu muziki

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 5, 2025 19:32


Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?

jinsi muziki
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mkataba wa plastiki: Mgawanyiko kuhusu jinsi ya kukabiliana na hatari ya kiafya na kiikolojia.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Aug 5, 2025 9:56


Mataifa mbalimbali ulimwenguni yameombwa kuchukua hatua na kutatua mzozo wa kimataifa wa plastiki, mwenyekiti wa kamati ya majadiliano ya kiserikali, mwanadiplomasia wa Ecuador, Luis Vayas Valdivieso akiwaomba wadau waliokusanyika Geneva, Uswizi kwa siku 10 kuunda mkataba wa kihistoria wa kuzuia uchafuzi wa plastiki. "Uchafuzi wa plastiki unaharibu mazingira, unachafua bahari na mito yetu, unatishia viumbe hai, na unadhuru afya ya binadamu," alisema Valdivieso. Wataalam pia katika ripoti iliyochapishwa kwenye Jarida la matibabu la Lancet, wameonya kuwa uchafuzi wa plastiki ni "hatari kubwa, inayokua na isiyotambulika" kwa afya ambayo inagharimu dunia angalau dola trilioni 1.5 kwa mwaka. Bonyeza hapo juu kusikiliza wito wa watetezi wa mazingira kuhusu umuhimu wa kupatikana kwa mkataba wa plastiki.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yaku anza biashara yako ya nyumbani nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 1, 2025 14:19


Biashara ya nyumbani inaweza sikika kuwa yakuvutia kwa wengi. Ina punguza gharama, inatoa fursa mbali mbali, inafaa taaluma tofauti, na silazima kazi hiyo ifanyiwe ofisini.

australia anza yako yaku jinsi biashara nyumbani
SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng Ep 89 Jinsi yakuzungumza kuhusu nyumba yako

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 1, 2025 15:49


Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?

yako jinsi nyumba
Habari za UN
Malezi ni kama kukunja shuka lakuvisha kwenye godoro, hakuna ajuae jinsi ya kulikunja

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 23, 2025 3:04


Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto UNICEF kwakushirikiana na wakfu wa LEGO wametengeneza video yenye kuonesha familia nne na jinsi zinavyopambana na malezi ya Watoto wakiwa ni wazazi kwa mara ya kwanza. Leah Mushi ametazama video hiyo ya takriban dakika 30 na hapa anakuleta simulizi ya familia kutoka nchini Afrika Kusini. 

SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng Ep 43 Jinsi yakuzungumza kuhusu kusoma na vitabu

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 22, 2025 14:52


Je, unajua jinsi yaku zungumza kuhusu kusoma na vitabu?

jinsi
SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi pombe inavyodhibitiwa na kutumiwa nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 4, 2025 15:16


Huenda umesikia kwamba wa Australia ‘ni maarufu kwa kunywa', haswa wakati wa matukio makubwa ya michezo au katika siku kuu za umma.

SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng Ep 39 Jinsi yakufanya marejesho yako ya ushuru

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 26, 2025 16:54


Je, unajua jinsi yakufanya marejesho ya ushuru?

yako jinsi
SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng Ep19 Jinsi ya kupanda Bustani na mimea | Bustani za jamii

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 24, 2025 13:31


Je, unajua jinsi ya kuzunguza kuhusu jinsi yakupanda bustani ya jamii na miema?

jamii jinsi bustani
SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi bima ya nyumba na vilivyomo hufanya kazi nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 20, 2025 12:25


Haipendezi kufikiria kuhusu matukio yanayo weka nyumba na mali yako hatarini, ila haviko kawaida.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi ya kuepuka ulaghai wa mapenzi nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 11, 2025 13:10


Mwaka jana pekee, zaidi ya kesi 3200 za ulaghai wa mapenzi zili ripotiwa nawa Australia.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi ya kufurahia maeneo ya nyika ya Australia kwa kuwajibika

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 22, 2025 14:12


Mandhari yakupendaza na tofauti ya Australia, kuanzia pwani hadi jangwani na yote yaliyo katikati, ni nyumbani kwa mimea ya asili na wanyama wakushangaza.

SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng pod 84 Jinsi ya kuelezea uwezo wako waku kimbia (Med)

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 22, 2025 14:33


Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako za kukimbia au kufanya riadha?

wako jinsi waku
SBS Swahili - SBS Swahili
Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 8, 2025 9:09


Wanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.

SBS Swahili - SBS Swahili
How to vote in the federal election  - Jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 1, 2025 8:55


On election day the Australian Electoral Commission anticipates one million voters to pass through their voting centres every hour. Voting is compulsory for everyone on the electoral roll, so all Australians should familiarise themselves with the voting process before election day. - Siku ya uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Australia inatarajia wapiga kura milioni moja, watapita katika vituo vya kupiga kura kila saa moja. Ni lazima kupiga kura kwa kila mtu ambaye yuko katika sajili yakupiga kura, kwa hiyo wa Australia wote wana stahili jifahamisha na mchakato wa kupiga kura kabla ya siku ya kupiga kura.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 29, 2025 12:18


Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.

australia yako jinsi biashara
SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng pod 35 Jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini #2

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 23, 2025 15:36


Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini?

SBS Swahili - SBS Swahili
Zaidi ya vitabu: Jinsi maktaba hujenga jumuiya

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 11, 2025 13:04


Maktba za umma za Australia ni mahali maalum. Ndio, huwa zina kuruhusu ukope vitabu bure ila pia, zina toa utajiri wa miradi na huduma, bure pia na hukaribisha kila mtu, kutoka watoto wachanga hadi wazee.

SBS Swahili - SBS Swahili
Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 4, 2025 12:04


Wa Australia milioni kumi na nane wame sajiliwa kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho mwezi ujao.

australia kura katika jinsi uchaguzi
Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Ukubwa wa Ulimwengu - Mwaka wa Mwangaza (Light Year)

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Mar 28, 2025 9:43


Je, unajua kwa nini wanasayansi hutumia mwaka wa mwanga badala ya kilomita kupima umbali wa nyota na miili mingine ya anga?

Men. Men. Men. - The Podcast -
Mwanaume!! Vunja dhima potofu, saidia usawa wa kijinsia

Men. Men. Men. - The Podcast -

Play Episode Listen Later Mar 11, 2025 46:59


Je, nini kinaweza kutokea kwa jamii ya Watanzania wote ikiwa wanaume wataamua kushikamana na kuungana ili kuvunja dhana potofu zinazochochea unyanyasaji wa kijinsia?Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tulishiriki mazungumzo ya wazi na wanaume na wanawake wa jiji la Mbeya, tukijadili kwa kina:

katika siku jinsi mbeya
SBS Swahili - SBS Swahili
Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura?

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Mar 11, 2025 10:42


Akili ya bandia ni teknolojia mpya ambayo watu wanajaribu kuelewa. Watafiti waki jumuishwa.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi ya kuzungumza kuhusu asili yako

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Mar 5, 2025 6:44


Je! wewe ni mgeni nchini? ungependa fanya mazoezi ya kujieleza kwa Kiingereza?

SBS Swahili - SBS Swahili
The AI Election: Will artificial intelligence influence how Australia votes? - Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura?

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Mar 5, 2025 7:04


Experts say AI could have significant impacts on democracy and trust. - Watalaam wanasema AI inaweza kuwa na madhara makubwa kwa demokrasia na uaminifu.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi AI ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Mar 4, 2025 10:47


Tuna jiandaa kwa uchaguzi wa shirikisho. Hivi karibuni, wa Australia wata elekea katika vituo vya kupiga kura kuwachagua viongozi wetu wapya.

australia tuna hivi jinsi athiri
SBS Swahili - SBS Swahili
The AI Election: How artificial intelligence impacted the world's biggest ballots - Uchaguzi wa AI: Jinsi akili bandia ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 28, 2025 7:59


From "Communist Kamala" to Bollywood endorsements, artificial intelligence and disinformation played a big role in some of the biggest democratic elections last year. - Kutoka "Kamala mkomunisti" hadi kwa uidhinishwaji wa Bollywood, akili bandia na taarifa potofu zilikuwa na nafasi kubwa katika chaguzi kubwa zaki demokrasia mwaka jana.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakupata shughuli za baada ya shule za bei nafuu na jumuishi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 25, 2025 13:30


Shughuli za baada ya shule huwapa watoto na vijana faida nyingi, kuanzia kujifunza ujuzi mpya hadi jinsi yakupata marafiki wapya. Wakati kuna chaguzi nyingi nchini ya vitu vyakufanya nchini Australia, shughuli hizo zina weza kuwa ghali.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi ya kukabiliana na unyanyasaji shuleni au mtandaoni

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 19, 2025 14:30


Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia. Ila wazazi wanastahili fanya nini mtoto wao anapo nyanyaswa shuleni?

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi ya kuandaa ombi la kazi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 11, 2025 10:57


Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

kazi jinsi
SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi ya kupata Malipo ya Likizo ya Wazazi nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 7, 2025 12:48


Nchini Australia, baadhi ya wazazi wanaweza pokea malipo ya likizo ya wazazi kutoka serikali na waajiri wao. Ila si kila mtu ana stahiki.

australia ila jinsi wazazi
SBS Swahili - SBS Swahili
Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 3, 2024 16:27


Nchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.

Habari za UN
Jinsi usawa wa kijinsia na rika katika umiliki wa ardhi unavyochochea ukulima na uhakika wa chakula Kenya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 21, 2024 5:05


Mpango wa Usimamizi wa Ardhi (Land Governance program) uliopatiwa jina "Kusaidia kufikia Ajenda 2030 kupitia mageuzi chanya ya ugatuzi wa ardhi (land reforms) katika maeneo ya ardhi za jamii nchini Kenya" umeboresha uhakika wa kupatikana kwa chakula na lishe kupitia upatikanaji wa ardhi kwa wote nchini Kenya. Programu hii imezinduliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kilimo na chakula FAO kwa kushirikiana na Muungano wa Ulaya (EU) katika kaunti 9 ikilenga kuimarisha sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi na umeimarisha usimamizi wa ardhi kwa ajili ya maisha bora na maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika kaunti zote zinazotekeleza. Kupitia video iliyoandaliwa na FAO, Cecily Kariuki anaeleza matokeo yake.Mpango wa Usimamizi wa Ardhi (Land Governance program) uuliopatiwa jina "Kusaidia kufikia Ajenda 2030 kupitia mageuzi chanya ya ugatuzi wa ardhi (land reforms) katika maeneo ya ardhi za jamii nchini Kenya" umeboresha uhakika wa kupatikana kwa chakula na lishe kupitia upatikanaji wa ardhi kwa wote nchini Kenya. Programu hii imezinduliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kilimo na chakula FAO kwa kushirikiana na Muungano wa Ulaya (EU) katika kaunti 9 ikilenga kuimarisha sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi na umeimarisha usimamizi wa ardhi kwa ajili ya maisha bora na maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika kaunti zote zinazotekeleza. Kupitia video iliyoandaliwa na FAO, Selina Jerobon anaeleza matokeo yake katika makala hii..…Wazee wa jamii za kijiji cha Maiyanat iliyoko katika kaunti ya Turkana kaskazini-magharibi mwa Kenya wanafanya kikao cha pamoja hapa, wakiwa wamevalia mavazi yao ya kitamaduni, watoto wakiwa pembeni wakifuatilia kinachoendelea. Wanajadili matumizi mazuri ya mashamba ya jamii zao kwa kuzingatia usawa wa kijinsia na marika yote.Je, awali umiliki wa ardhi ulizingatia usawa huu? Ratinui Macharia ni mwenyekiti wa ardhi ya jamii ya Maiyanat, anasema,“Awali, wanawake na vijana hawakuruhusiwa kushiriki au hata kuchaguliwa kwenye kamati ya ardhi lakini sasa imetuleta sote pamoja.”Lois Kimere ni mwanamke mwanachama wa kamati ya ardhi Maiyanat.“Kulingana na jamii za Maiyanat, wanawake hawakuwa wanaonekana kama watu wenye uwezo wa kuchangia maendeleo ya kijamii. Tulihamasisha wanawake kuhusu mambo ya ardhi, uongozi katika vijijini na katika ngazi za kitaifa hususani serikali, na katika bishara.”Kwa msingi wa dharura, awamu ya kwanza na ya majaribio ya mpango huu ilitekelezwa katika kaunti za Laikipia, Nandi, Pokot magharibi, Baringo, Vihiga, Marsabit, Kajiado, Samburu, Tana River na Turkana.Asha Lekudere ni mwanachama wa ardhi ya jamii ya sereolipi, anasema FAO imeimarisha mtazamo wao.“Zamani tulikuwa na shamba la kikundi. Kisha FAO ikatupeleka kwenye mafunzo kadhaa. Niliweza kujifunza maana ya umiliki wa ardhi kwa jamii yetu ya samburu, uwezo wetu na haki za wanawake.”Chini ya ajenda ya ardhi ya jamii, programu iliwezesha mila shirikishi na jumuishi katika usimamizi wa ardhi kwa njia ya usawa wa jinsia na rika zote.Na hatua gani zinaweza kuchukuliwa mizozo inapotokea? Mpango wa usimamizi wa ardhi umekuza mfumo mbadala wa mahakama, wa kupigania haki za kibinadamu unaojulikana kama AJS, njia bora ya kusuluhisha kesi mashinani na kuachilia ardhi itumike kwa ajili ya jamii zote haraka iwezekanavyo.Jonathan Osewu, Msajili wa ardhi  katika kaunti ya Kajiado anasema,“Katika utamaduni wetu wa kimasai tunazo njia nyingi sana za kutatua mizozo. Kwa hivyo AJS ilipoletwa, ilikuwa ni njia bora ya kuimarisha utaratibu wetu wa jadi wa kutatua kesi.”Na isitoshe, njia za teknolojia za kutoa ramani ya ardhi na rasilimali yote kwa muonekano wa anga, GIS ili kusaidia kufanya maamuzi ya kesi haraka, pia imechangia utangamano katika jamii husika. Vituo hivi vimetekelezwa katika sehemu nyingi ikiwemo kaunti ya Vihiga. Wilber Ottichilo, Gavana wa mkoa wa Vihiga anatoa shukrani kwa FAO.“Kama kaunti ya Vihiga,…

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Nov 15, 2024 11:11


Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.

kama jinsi unaweza
SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakujenga nyumba yako nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Nov 1, 2024 10:49


Kujenga nyumba Australia ni ndoto ya wengi ila, hatua muhimu zakufanikisha hili ni gani?

australia yako jinsi nyumba
SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 4, 2024 12:19


Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.

australia jinsi nyumba
Radio Tambua
Jinsi ya Kutambua Mafunzo Mapotovu

Radio Tambua

Play Episode Listen Later Sep 6, 2024 26:48


Katika Kipindi hiki, Esther Mwikali kutoka Biblia Husema Radio anamhoji Wanjiru Ng'ang'a ambaye ni mratibu wa Project Priscilla chini ya ACFAR Kenya. Esther anammuuliza Wanjiru baadhi ya maswali yakiwemo jinsi ambavyo wakristo wanaweza kutambua mafunzo potovu na vile ambavyo wanafaa kufanya baada ya kutambua ya kwamba wamekua wakifuata manabii au makanisa ya uongo. Sikiliza kipindi hiki ili uweze kuelewa jinsi ambavyo utambuzi wa kibiblia ni dawa dhidi ya udanganyifu.

jinsi sikiliza
SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 9, 2024 12:01


Kama wewe ni mkaaji wa Australia kwa madhumuni ya ushuru, kuanzia Julai 1, ambayo ni mwanzo wa mwaka wa fedha, lazima uweke wazi mapato yote uliyopata katika mwaka uliopita wa fedha, dhidi ya makato yako ya kodi.

SBS Swahili - SBS Swahili
Baby blues au unyogovu wa uzazi? Jinsi yaku jisaidia pamoja na mpendwa wako

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 11, 2024 13:09


Kama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hisia ambazo wanawake wanne kati ya watano hupata baada ya kujifungua.