A machine is anything which simplify works, as a human I was born to simplify your life by providing you with great podcasts of different news, sports, entertainment, politics etc. Thanks
People keep asking me why am calling my Self Aga machine? Wengine wanashangaa kabisa kwa nini Machinee?hhh. But the reason behind is very interesting and i will always call my self Aga machine. Join me in this amaizing podcast
Kila inapofika siku hii basi kuna jokes mbali mbali watu huzifanya kwa ndugu ama rafiki zao. Unaweza ukajiuliza ilianzia linii? Wengine wanaichukuliajee?? We machine podcasting show tumekujibu
Kuna mambo mengi sana yametokea 2021 katika sekta nzima ya michezo na kutikisa, ama kuvutia watu wengi sana. Clickmedia_tz kupitia we machine podcasting show tumekuletea mambo hayo yaliyotikisa tz na nje ya tz katika anga la kimichezo
Watu wengi wamekuwa wakidhania wwe ni mchezo wa kweli kutokana na action ambazo wanaziona wakati wa mapambano. Lakini ukweli ni kwamba wwe ni mchezo wa maigizo na huwa scripted kila kitu, hadi mshindi huwa anapangwa awe nani, sikiliza podcast itakusaidia zaidi
Wengi wamekuwa wakisema tu ni mabadiliko ya hali ya hewa lakini wanasayansi wanasema ni covid, ukweli ni upi. Diamond nae ameachia ngoma yake, amesemwa sana mitamdaoni lakini ngoma inafanya vyema
He is trending now on social network by his picture wondering about something. His back story is hard and sad to handle but he is now good and making a lot of deals