Podcasts about unaweza

  • 33PODCASTS
  • 757EPISODES
  • 9mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Nov 25, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Categories

Best podcasts about unaweza

Latest podcast episodes about unaweza

Habari za UN
Tanzania: FAO yawezesha ufugaji kuku bila kutumia dawa ili kuepusha UVIDA

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 25, 2024 3:55

Nchini Tanzania wanufaika wa  mradi wa kudhibiti usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa, (AMR) au kwa lugha ya Kiswahili, (UVIDA) unaotekelezwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, (FAO) nchini Tanzania, kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi wamezungumzia manufaa ya ufugaji wa kuku bila kutumia dawa. Unaweza kujiuliza wanafuga vipi kuku bila kutumia dawa. Na je ni kwa nini wanafanya hivi. Je hawatumii dawa kabisa au wanafanya nini?Katika makala hii, mwandishi wa habari wa Redio washirika wetu Tanzania Kids Time ya mkoani Morogoro,mashariki mwa taifa hilo la Afrika Mashariki, Hamad Rashid, amezungumza na wanufaika hao  ambao pia walipata nafasi ya kuonesha shamba darasa la ufugaji kuku bila ya kutumia dawa kupitia hafla iliyoratibiwa na FAO katika shule ya sekondari Kihonda, Manispaa ya Morogoro, ikienda sambamba na Wiki ya utoaji elimu kuhusu UVIDA  ambayo hufanyika duniani kote kila ifikapo tarehe 18 hadi 24 mwezi Novemba. Kwako Hamad.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Nov 15, 2024 11:11

Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.

Habari za UN
Raia na hata wahudumu wa kibinadamu katika ukanda wa Gaza wamekata tamaa

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 1, 2024 1:39

Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, hali ya usalama na kibinadamu huko Ukanda wa Gaza inazidi kuzorota huku raia na hata wafanyakazi wa kutoa misaada wakisalia wamepigwa butwaa kwani mashambulizi kutoka Israeli yanaendelea kila uchao. Naanzia ndani ya hospitali ya Kamal Adwan  kaskazini mwa Gaza, mtoto aliyejeruhiwa amebebwa akilia kwa uchungu. Kwingineko mgonjwa mwingine anatolewa kwenye gari la wagonjwa! Ni taswira iliyozoeleka sasa Gaza.Louise Wateridge ambaye ni Afisa Mwandamizi wa Masuala ya Dharura katika shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina, UNRWA akihojiwa na Idhaa ya Umoja wa Mataifa kutoka Gaza Kati amesema hali si hali.Anasema, “mambo kwa kweli yanazidi kuwa mabaya hapa. Kukata tamaa ni kila mahali. Namaanisha, watu unaozungumza nao, na wafanyakazi wenzangu niliozungumza nao hawajui sasa wafanye nini. Hawafahamu waende wapi. Unaweza kusikia nyuma yangu milio ya makombora ikiendelea.”Bi. Wateridge akaendelea kusema kuwa, “kutokuwa na matumaini ndio neno pekee lililosalia Gaza. Unafahamu watu milioni 2.2. Inabidi umkumbushe kila mtu kwamba wamenasa. Hakuna njia ya kutoka nje ya Ukanda wa Gaza na mashambulio ya mabomu yanaendelea mchana kutwa na usiku kucha.”Hali ikiendelea hivyo hii leo huko katikati mwa Gaza, hapo jana jeshi la Israeli lilishambulia na kuharibu kwa kiasi kikubwa ofisi ya UNRWA iliyoko Ukingo wa Magharibi, ofisi ambayo ilikuwa inategemewa zaidi katika kutoa msaada kwa wakimbizi zaidi ya 14,000 wa kipalestina wanaoishi katika kambi ya Nur Shams.UNRWA kupitia mtandao wa X imesema kitendo cha kushambulia ofis iza UN lazima kikome na badala yake zilindwe wakati wote.

Habari za UN
Je wewe ni mmoja wa waathirika wa usugu wa viuavijiumbe maradhi, au Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa, UVIDA?

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 26, 2024 6:16

Leo hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kando ya mjadala mkuu wa UNGA79, viongozi wanakutana kwenye Mkutano wa Ngazi ya Juu ukimulika usugu wa viuavijiumbe maradhi, Antimicrobial Resistance, kwa kiswahili ikiitwa pia UVIDA, au Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa. Katika taarifa ya Pamoja iluyotolewa kwenye mkutno huo na mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la afya duniani WHO, la mazingira UNEP, la chakula  na kilimo FAO na shirika la afya ya Wanyama duniani WOAH, usugu wa viua vijiumbe maradhi unahusika moja kwa moja na vifo milioni 1.3 na kuchangia vingine milioni 5 kila mwaka.Unaweza kujiuliza ni nini na kwa nini ni muhimu wakutane? Bosco Cosmas, wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amezungumza na Profesa Mshiriki wa Vimelea Vya Magonjwa katika Chuo Kikuu cha Sayans iza Afya Bugando, mkoani Mwanza, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 2, 2024 5:21

Hadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.

Changu Chako, Chako Changu
CHANGU CHAKO CHAKO CHANGU HISTORIA NA UTAMADUNI WA WATU WA KABILA LA WANUBI

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jun 16, 2024 20:02

Eid Mubaraka kwako mskilizaji wa RFI Kiswahili popopte pale ulipo ausubuhi hii. Karibu kuungana nami katika Makala haya Changu Chako Chako Changu. Leo nakuletea Historia ya watu wa Kabila la Wanubi, na kwenye Muziki nakupeleka  nchini Burundi ambapo nazungumza na msanii wa kizazi kipya, Keypeacvaldiny. mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu Karibu ama bienvenue. Jina lake halisi ni Nzeyimana touré hamissi, anatumia jina la kisanii a @keypeac_valdyn amezaliwa April 8 mwaka 2002 jijini Bujumbura inchini burundiAlianza muziki mwaka 2017, ila sababu ya harakati za masomo na familia alilazimika kuachana kabisa na muziki na kujikita zaidi na masomo. Baada ya kumaliza shule mwaka 2023 akaamuwa kurejea kwenye tasnia ya Muziki ambapo amekuja na EP yake iliowekwa hewani tangu April 15 mwaka 2024. EP yake hiyo ina nyimbo 3 ambazo ni:Track n°1.carolinaTrack n°2.sorryTrack n°3.mmmhna songs hizo zote zipo kwenye platforms zake zote anapatikana kwa jina la @keypeac valdynyupo kwenye platforms  zifwatazo kama : apple music, spotify, boomplay, youtube, rhapsody, deezer, amazon mp3, google play, shazam, tidal, tiktok, instagram, x ,  threads, na zingine.Unaweza kumfollow mtangazaji wako Ali Bilali kwa kubonyeza hapa https://www.instagram.com/billy_bilali/

Onet Rano.
Onet Rano. Goście: Joński, Kozak, Caboń, Dziewulska, Drzewiecki, Szymański, Jarczewska-Gerc, Pazio CAŁY ODCINEK

Onet Rano.

Play Episode Listen Later Apr 19, 2024 123:53

[WSPÓŁPRACA REKLAMOWA] Zapraszamy na piątkowe wydanie "Onet Rano". Zaczynamy od "Onet RANO Raport", które poprowadzi Dominika Długosz, a jej gościem będzie Dariusz Joński z Koalicji Obywatelskiej. Następnie gośćmi Łukasza Kadziewicza będą: Mariusz Kozak, @kozacka_warszawa; Bartek Caboń, trener wokalny; Marta Dziewulska, rzeczniczka prasowa Muzeum Historii Żydów Polskich POLIN; Aleksander Drzewiecki, partner programu wspierającego rodziców projektu MŁODE GŁOWY fundacji UNAWEZA, współzałożyciel Parenteen.pl oraz Rafał Szymański, ambasador projektu MŁODE GŁOWY fundacji UNAWEZA, tata Kordiana. W części "Onet Rano Wiem" gośćmi Odety Moro będą: dr Ewa Jarczewska-Gerc, psycholożka, ekspertka; Patrycja Pazio, Employer Reputation & Engagement Consultant, Poland – McDonald's Polska.

SBS Swahili - SBS Swahili
Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 13, 2023 8:03

Maafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bungeni itakayo fanywa Jumamosi.

Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa ,makala yanayokutumbuiza

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Sep 11, 2023 10:02

Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako la muziki hapa.

Habari za UN
FAO, UNWTO: Utalii milimani unaweza kuimarisha baiyonuai na vipato vya wakazi wa maeneo hayo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 26, 2023 0:02

Ripoti mpya iliyotolewa leo na mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau imeeleza bayana jinsi utalii kwenye maeneo ya milimani unaweza kuwa na manufaa sio tu kwa baiyonuwai bali pia kwa jamii zinazoishi kwenye maeneo hayo.Taarifa iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo, FAO mjini Roma, Italia hii leo imesema chapisho hilo limetolewa ili kwenda sambamba na hitimisho la mwaka wa kimataifa wa maendeleo endelevu ya milima ulioanza mwaka jana wa 2022. Chapisho hilo linasema utalii wa milimani iwapo utasimamiwa kwa uendelevu, una nafasi kubwa ya kuinua vipato vya jamii zinazozingira maeneo hayo na kusaidia kulinda maliasili na utamaduni. Hata hivyo imebainika kuwa ukosefu wa data na ufahamu kuhusu fursa za kiuchumi na mazingira zitokanazo na utalii wa milimani umezuia jamii nyingi kunufaika na fursa hizo. FAO kwa ushirikiano na shirika la Umoja wa Mataifa la utalii duniani, UNWTO na shirika la Mountain Partnership, MP, wametoa ripoti hiyo kama njia ya kuondoa pengo ili hatimaye jamii za maeneo ya milimani zipate kunufaika na fursa zilizoko. Mathalani chapisho linataka kusongesha upatikanaji wa takwimu za utalii wa milimani ambako ni makazi ya watu wapatao bilioni 1.1, baadhi yao wakiwa ni wale hohehahe zaidi na waliotengwa. Milima ina maeneo ambako watalii wanaweza kutembea, kupanda na kufanya michezo nyakati za majira ya baridi kali. Maeneo hayo yanaweza pia kuvutia wageni kutokana na taswira zake, utajiri wa  baiyonuai na tamaduni za kipekee. Hata hivyo takwimu za karibuni zaidi za mwaka 2019 zinaonesha nchi 10 zenye milima zaidi duniani zilipokea asilimia 8 pekee ya watalii wa kimataifa duniani kote. Mkurugenzi Mkuu wa FAO QU Dongyu na Katibu Mkuu wa UNWTO Zurab Pololikashvili kupitia utangulizi wa ripoti hiyo wamesema kupata takwimmu za watalii wa milimani ni hatua ya kwanza muhimu tunayopaswa kuchukua. Uwepo wa takwimu sahihi utawezesha kufuatilia mienendo ya utalii kwenye maeneo hayo na kisha kutumia takwimu kusaidia mipango na kuandaa bidhaa endelevu kulingana na mahitaji ya watalii kwenye kila eneo husika na hatimaye sera za kuchochea utalii wenye manufaa kwa jamii. 

Muziki Ijumaa
MUZIKI IJUMA

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Mar 17, 2023 10:23

Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako na muziki hapa.

SBS Swahili - SBS Swahili
Ujuzi wa huduma ya kwanza unaweza okoa maisha, hivi ndivyo nasehemu yakupata mafunzo nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Mar 7, 2023 12:00

Watu wengi huwa hawatarajii kuwa katika hali ya dharura, hadi wanapo jipata katika hali hiyo.

Salama Na
SE7EP34 - SALAMA NA FETTY DENSA | KUTOKA UBAVUNI...

Salama Na

Play Episode Listen Later Feb 2, 2023 72:18

Kwa ambao wanafuatilia mpira hapa nyumbani wanamjua mchezaji huyu mahiri wa Simba Queens lakini ambao wanafuatilla soka la wanawake hawa watakua wanaelewa uwezo binafsi na uhodari wake wa kucheza namba tofauti tofauti uwanjani ila ukimkuta kaikamata mbavu ya kulia aidha kwa Simba au timu ya Taifa ya Tanzania. Fatuma Issa ni mtu na nusu, hakuna mpenzi wa mpira au kocha yoyote wa mpira anaweza akamuacha kwenye benchi wakati team inatafuta matokeo au inataka kuwaonyesha walofika kuwaangalia vipaji ambavyo wanavyo kwenye kikosi chao. Kwa yoyote yule na kwa vyovyote vile, Fetty Densa, ni lazima AANZE. Ananikumbusha sana mimi na rafiki zangu wakati tunakua, tulikua chizi michezo hasa baada ya kufika shule ya Sekondari, ilikua kama lazima kila mmoja kuwa na uwezo wa kucheza zaidi ya mchezo mmoja ili tuwe na vikosi imara inapotokea kwenda kufanya uwakilishi wa shule, mkoa au nchi. Binafsi nilikua na uwezo wa kucheza Basketball na table tennis tu ila nina marafikia kama kina Kalova na Mboni Mntambo ambao wao walikua wanacheza Basketball, Netball, Volleyball na chochote kitakajokuja mbele ambacho kinatumia mpira kucheza lol, na tena VIZURI, sio kujazia namba tu uwanjani. Naye Fetty ni kama wanangu hao kutokana na maongezi yetu. Ananiambia hata shuleni mwalimu na wanafunzi wote katika shule yao walikua wakifahamu na kujivunia yeye sana. Akiwa anakua huko Morogoro Fetty ni ‘mtoto wa Bibi' zaidi, yeye ndo alomlea na kumtunzia siri zake zote, na ndo alomfundisha kupika na kumkumbusha kwamba yeye ni mtoto wa kike kwahiyo alihakikisha pia mjukuu wake kwenye masuala ya kupika na usafi wake na wa nyumba pia haachi kujifunza. Bibi pia ndo alipewa ahadi ya kwamba kuna siku mjukuu atakuja kuwa mchezaji hodari kuwahi kutokea hapa nyumbani na so far, so good. Babu yake nae hakua nyuma kwenye kumsifia mjukuu wake pale anapofanya vizuri jikoni kwasababu pengine kuna umuhimu wa kufanya hivyo ili ampe moyo mjukuu wake. Fatuma anatuambia humu kwenye maongezi yetu jinsi ambavyo alihangaika mkoani Morogoro kupata team ya kucheza na jinsi ambavyo alijutuma toka siku ya kwanza kuhakikisha ndoto zake zinatimia. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kama ni mtu mwenye mawazo ya mbele kuliko hata umri wake, hiyo inamsaidia pia inapofika wakati wa kufanya maamuzi anapokua ndani na nje ya uwanja. Unaweza ukajiuliza kwa kipaji chake na ujuzi wake kwanini hachezi nje ya nchi? Kwanini amekua Simba huu msimu wake wa nne na amekua akicheza kwa kiwango cha juu sana? Densa anatupa majibu ya swali hilo ambalo nina uhakika wengi wao wamekua wakijiuliza. Mahusioano yake na Mama yake ambaye alikua mmoja kati ya wanenguaji wazuri miaka iliyopita na ndo alimfanya pia mwanae naye atake kuwa Densa (ndo jina la Fetty Densa lilikotokea). Wana mahusiono ya aina gani? Mama alilichukuliaje suala la Binti yake kuchagua soka? Na Mzee wake nae yuko wapi? Nafasi yake kwenye team yake? Team ya Taifa je? Experience ambayo waliipata Morocco wakati Simba ilipoenda kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Africa? Vipi kuhusu mpira wa miguu wa wanawake hapa nyumbani? Pesa ipo? Muelekeo je? Haya maongezi ni moja ya maongezi bora ambayo nimeshawahi kufanya na natumai yatafungua milango kwa watoto wa kike na wazazi wao wengi kuelewa na kuipambania fursa hii ambayo Dunia nzima imeanza kuielewa. Tafadhali enjoy. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Khabari za Oman أخبار عُمان بالسواحيلية

Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mkondo wetu. Hii ndiyo njia bora kabisa ya kutusikiliza kila siku kwa sababu utapata taarifa moja kwa moja na mapema zaidi kwenye simu yako. Tafadhali wapashe na wengine khabari hii. Ukiwa na masuala au fikra maalumu kukhusu matangazo haya ya khabari na utapenda kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie kwa kutumia anuani hii: karibu@sauti.om

podcasts oman hii karibu unaweza desemba ukiwa maskati

Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mkondo wetu. Hii ndiyo njia bora kabisa ya kutusikiliza kila siku kwa sababu utapata taarifa moja kwa moja na mapema zaidi kwenye simu yako. Tafadhali wapashe na wengine khabari hii. Ukiwa na masuala au fikra maalumu kukhusu matangazo haya ya khabari na utapenda kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie kwa kutumia anuani hii: karibu@sauti.om Ahsanteni sana na kila la khair.

Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Volker Türk ameanza ziara ya siku nne nchini Ukraine

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 5, 2022 0:02

Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Volker Türk ameanza ziara ya siku nne nchini Ukraine hapo jana Jumapili Desemba 4 kwa mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo akiwa ameongozana na wafanyakazi wa ofisi yake wanaohusika na kufuatilia masuala ya haki za binadamu.“Niko Ukraine kwa wakati huu kuonesha mshikamano na waathirika wa vita hii ya kutisha” … Ni maneno ya kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu Volker Türk akiwa nchini Ukraine ambapo ametembelea taifa hilo lililoanza kushambuliwa na nchi ya Urusi mwezi February mwaka huu.Katika siku ya kwanza ya ziara yake alitembelea katika mji wa Kyiv na maeneo ya jirani, Bucha na Irpin.Video ya Ofisi ya Kamishna huyo inamuonesha akizungumza katika eneo ambalo nyuma yake theluji imetanda kuonesha dhahiri ni msimu wa baridi Kali.…. Anasema, “Unaweza kuona mazingira ya msimu wa baridi, lakini ni mazingira ya msimu wa baridi ambayo inamaanisha watu wengi wako katika mazingira magumu, shida nyingi kwa sababu wanaganda kutokana na umeme kukatika wakati mwingine, miundombinu ya umeme haifanyi kazi na wananchi hata hawajui jinsi ya kupita katika kipindi hiki cha baridi.”Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za binadamu imekuwa ikitelekeza shughuli zake nchini Ukraine tangu mwaka 2014 ambapo imekuwa ikifuatilia ukiukwaji wa haki za binadamu, na Kamishna Turk anasema ujumbe wake katika ziara hii ni kuwa“Vita haina maana. Mauaji ya aina hii hayakubaliki kabisa na hayana maana. Ninaweza tu kutoa wito kwa wale ambao wamefanya hivi kwamba waache kufanya hivyo, na waheshimu sheria za kimataifa za kibinadamu, haki za binadamu na haki”.Ziara yake hiyo ya siku nne nchini Ukriane itamkutanisha na maafisa wakuu wa serikali ya kitaifa na serikali za mitaa, mashirika ya kiraia, pamoja na wawakilishi wa vikundi vya waathirika, pamoja na jamaa za raia waliopotea au waliotekwa na wafungwa wa vita.Ziara ya Türk itakamilika tarehe 7 Desemba ambapo anatarajiwa kufanya mkutano wa wanahabari mjini Kyiv nchini humo Ukraine.