POPULARITY
swahili_BB-81_ Mchezo wa Muda Mrefu Katika Bibli
Popote pale ulipo nikukaribishe katika Makala ya jukwaa la michezo ndani ya FRI Kiswahili.Leo tumekuandalia Makala spesheli ambayo inaangazia kushuka pakubwa kwa viwango vya mchezo wa masumbwi nchini Kenya, Makala ambayo tunayapeperusha wiki kadhaa tu baada ya kukamilika kwa michezo ya Olimpiki Jijini Paris nchini Ufaransa. Kwa mara ya kwanza katika, historia ya kenya, hakuna bondia hata mmoja aliyewakilisha taifa katika michezo ya olimpiki jijini Paris. Hatua hii ilizua ngumzo kwa wadau wa mchezo huo.Lakini, Iweje mchezo uliokuwa ukisifika na kuiletea Kenya hadhi katika miaka ya nyuma imedidimia kiasi hiki? Je, ni usimamizi mbaya ama ni ukosefu wa ligi dhabiti au ni kukosa wadhamini wa kuwekeza katika mchezo hili kuiletea fahari inayostahili. Je, Kuna uhasama kati ya wadau ama wasimamizi wameingiwa na kiburi na kujisahau na kuwasahau mabondia?Mwenzangu George Ajowi amezungumza na Mabondia wa zamani, marefa, makocha, mapromota, wanahabari na vile vile wadau wengeni katika sekta hii na kuzungumza nao kuhusiana na matatizo ya ndondi na suhulu ya kufufua mchezo huu katika siku za usoni.
Kutana na Saido Omar Noor, binti mwenye umri wa miaka 25 mkimbizi kutoka Somalia anayeishi Kakuma kambi kubwa zaidi ya wakimbizi nchini Kenya. Kupitia video ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR anasema katika jamii yake ni yeye mwanamke pekee wa Kisomali anayecheza mpira kwa kikapu au basketball. Flora Nducha na taarifa zaidi..
Tuliyokuandalia ni pamoja na mahojiano ya moja kwa moja na washikadau wa mchezo wa Tong IL Moo Do ambao walitutembelea studioni. Mchezo huu unazidi kukua Afrika. Je, unachezwaje, nini umuhimu wake, umepiga hatua kiasi gani, maandalizi ya makala ya Mombasa Open ya mwaka huu yakoje? Pia tumeangazia Ligi ya Klabu bingwa Afrika, msimu mpya wa raga ya HSBC duniani na Kombe la Mataifa ya Afrika ya kina dada mchezo wa handboli ambayo ilianza wiki hii pamoja na uchambuzi wa mechi za klabu bingwa Ulaya
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Watu wenye asili ya Afrika, wana julikana kwa umahiri wao waku cheza, soka, mchezo wavikapu, ndondi na riadha.
Miongoni mwa tuliyokuandalia ni pamoja na Afrika kupata viongozi wapya wa Shirikisho la mchezo wa Tenisi, uchambuzi wa fainali ya kombe la dunia la raga, pigano la ndondi kati ya Tyson Fury na Francis Ngannou, mechi za kufuzu olimpiki ya mwaka kesho kwa kina dada, Ligi Kuu ya soka Afrika, debi la Manchester na El Clasico na mchezaji wa Newcastle Sandro Tonali kupigwa marufuku ya miezi kumi kwa kujihusisha na masuala ya michezo ya bahati nasibu.
Ishi is a Swahili word, meaning LIVE. As you know how we navigate here It's all about living. You feel less motivated lately, Down, Anxious or Depressed. You are not alone. Here I have shared an experience about how 3Ps can make you live or feel alive again. PLAY/PASSION/PURPOSE. (Mchezo wako, Ndoto Zako)~CJ
Tuliyokuandalia ni pamoja na kuanza kwa Kombe la Dunia katika mchezo wa raga nchini Ufaransa, Tanzania kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika mchezo wa soka mwaka 2023 na Rwanda yaondolewa kwenye mashindano ya voliboli barani Afrika.
“Tunajaribu kuleta michezo na nguvu zake katika mazingira magumu sana ya watu wasiojiweza. Mchezo ni mzuri kwa kuwapa watu matumaini ya siku zijazo.” Anasema Filippo Grandi, Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) akirejelea Timu ya mpira wa miguu ya wanawake wakimbizi wanaoishi nchini Australia baada ya kuokoa maisha yao yaliyokuwa hatarini nchini mwao Afghanistan. Anold Kayanda anasimulia zaidi.
Taarifa ya timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba ya Kenya, kushushwa daraja imepokewa kwa huzuni kubwa miongoni mwa mashabiki na wadau wa mchezo huo.
Karibu katika makala Changu chako chako changu ambapo Jumapili hii tunaelekea Mjini Lubumbashi kuzungumzia mchezo wa kuigiza Bienvenue à Walikale, na kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu walichokuandalia Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam pamoja na Institut Français ya Lubumbashi na kwenye Muziki nitakuletea kibao chake mwanamuziki Zuchu napambana. Mimi naitwa Ali Bilali bienvenue.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Leo, tumekuandalia historia kuhusu chimbuko la mashindano ya kombe ka dunia, wakati huu Qatar ikiandaa fainali ya mwaka 2022. Kipengele cha Le Parler Francophonie, utafahamu kuhusu Mwalimu bora wa lugha ya Kifaransa kutoka nchini Kenya. Muziki, leo ni zamu yake Hawa Dialo kutoka Mali.
Shughuli ya kimwili ya mara kwa mara ni muhimu kwa ustawi mzuri wakimwili na afya ya akili. Nchini Australia kuna fursa zakushiriki katika shughuli za michezo katika kila kiwango.
Kijiji cha Jimba, wadi ya Ruruma eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi, ni kijiji ambacho kimetegemea sana ukulima kama njia ya kujipatia riziki. Lakini kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, shughuli za kilimo zimepungua kwa kiasi kikubwa, hivyo basi kupelekea jamii nyingi katika kijiji hicho kuishi katika hali ya chini ya Maisha na kushindwa kujiendeleza kimasomo. Lakini kuna matumaini ya tatizo hilo kuzikwa katika kaburi la sahau kupitia mchezo upendwao na wengi wa soka. Kama anavyoeleza mhariri wetu Ruth Keah kwenye Makala yafuatayo.
Kijiji cha Jimba, wadi ya Ruruma eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi, ni kijiji ambacho kimetegemea sana ukulima kama njia ya kujipatia riziki. Lakini kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, shughuli za kilimo zimepungua kwa kiasi kikubwa, hivyo basi kupelekea jamii nyingi katika kijiji hicho kuishi katika hali ya chini ya Maisha na kushindwa kujiendeleza kimasomo. Lakini kuna matumaini ya tatizo hilo kuzikwa katika kaburi la sahau kupitia mchezo upendwao na wengi wa soka. Kama anavyoeleza mhariri wetu Ruth Keah kwenye Makala yafuatayo.
Wakenya wanapokaribia kupiga kura agosti 9 mwaka huu , kampuni ya Usiku Games imezindua mchezo wa kompyuta wa elimu ya uraia ili kuwasaidia wapiga kura nchini humo kufanya maamuzi sahihi kuhusu viongozi watakaowachagua katika uchaguzi mkuu ujao.
Tangazo la kifo cha ghafla cha gwiji wa mchezo wa Cricket, Shane Warne lime zua mjadala mkubwa katika mchezo huo.
Mchezo wa Mpira wa miguu maarufu zaidi kama kandanda au soka, ni mchezo unaopendwa na wengi. Katika Makala haya, mhariri wetu Ruth Keah anamuangazi kijana kwa jina Mohammed Munga aliye na ulemavu wa mguu lakini akapuuza ulemavu huo na kwa sasa anang'aa katika ulingo wa soka kimataifa.
Watu wengi wamekuwa wakidhania wwe ni mchezo wa kweli kutokana na action ambazo wanaziona wakati wa mapambano. Lakini ukweli ni kwamba wwe ni mchezo wa maigizo na huwa scripted kila kitu, hadi mshindi huwa anapangwa awe nani, sikiliza podcast itakusaidia zaidi
Nchini Kenya, Wizara ya Michezo imevunja Shirikisho la soka nchini humo na rais wa Shirikisho hilo Nick Mwendwa kukamatwa kwa madai ya ufisadi. Tunachambua hili na mengine mengi yanayotokea viwanjani barani Afrika na kwingineko duniani.
Wiki iliyo pita nchini Australia, ilikuwa wiki yakutoa uelewa wa matatizo ya mchezo wa kamari.
Imekuwa ikidaiwa kwamba William Ruto ana watu na Mungu. Raila Odinga huenda ndiye mgombeaji wa THE SYSTEM. Ukweli ni kwamba siasa hazina Mungu, siasa ni sarakasi za kibinadamu ambapo kila kitu hufanywa na watu wala hamna suala la kiroho mle.
Sikiliza namna shabiki wa Yanga maarufu kama (Agrey) anavojitapa mbele ya Express, adai Yanga itashinda 3-0 na kumaliza nafasi ya 1 kwenye kundi, Vipi kuhusu kusua sua kwa Yanga kwenye michuano hii ya Kagame? Sikiliza mpaka mwisho. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza namna ambavyo (Sky) anachambua kuelekea mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii nchini Uingereza kati ya mabingwa wa FA EMIRATES, Leicester City na mabingwa wa Premier league, Manchester City. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Leo tunaangazia juu ya Mchezo wa Mpira wa Gonga huko Unguja, Zanzibar. Kwa mjibu wa wenyeji niliokuta wakicheza mpira wa Gonga pale Kizingo Beach, Unguja, wameeleza kuwa mpira wa Gonga una asili yake kwenye visiwa vya Brazil, Amerika ya Kusini.
Leo tunaangazia mchezo wa mpira wa ufukweni huko nchini Burundi. Mchezo huu sio maarufu sana kwa baadhi ya watu ukilinganisha na mpira wa miguu au mpira wa kikapu. Huko Burundi mpira wa ufukweni umeanza miaka 13 iliyopita.
Sikiliza yaliyojiri Baada ya Simba SC Kuitupilia mbali klabu ya FC Platinum kwa Aggregate ya 4-1 na kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Nilipata wasaa wa kupiga story kuelekea mchezo wa Simba SC dhidi ya FC Platinum kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Africa. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Aliewahi kuwa mfadhili wa klabu ya Simba ya Kariakoo Jijini Dar es salaam, Tanzania "Azim Dewji ameliomba Shirikisho la mpira nchini Tanzania (TFF), kuupeleka mbele mchezo wa watani wa Jadi (Simba na Yanga) kwa Wiki moja zaidi ili kuupisha mkutano mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM ambapo utafanyika siku hiyo hiyo ya mchezo. Dewji ameyasema hayo wakati kukiendelea kwa matayarisho ya mchezo huo wa nusu fainali ya kombe la shirikisho la TFF yakiendelea kufanyika kwa vilabu na mamlaka ya mpira. Mwanachama huyo wa klabu ya Simba amesema kuruhusu matukio hayo yote kufanyika kwa wakati mmoja, yatazuia wapenzi ambao ni viongozi katika chama cha CCM kushindwa kufuatilia mechi hiyo ambayo ina mvuto na inabeba tiketi ya ushiriki wa michuano ya kimataifa msimu ujao. Pia ameongezea kuwa katika mchezo wa watani wa Jadi uliopita, kiliendeshwa zoezi la uchangiaji wa damu na walioshiriki walizawadiwa fulana, lakini kwasasa watagawa jezi ili kuongeza chachu kwa mashabiki wa vilabu vyote viwili. Klabu ya Simba imeshafanikiwa kuuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara, licha ya kubakiza michezo kadhaa ya kumalizia mojawapo ikiwa ni huo wa Jumapili hii dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
The post Audio | Man Fongo – Mchezo Wa Ndombolo | Mp3 Download appeared first on Swahilimedias.
Adabu Za Mchezo Na Mzaha
Huku Farahani na Sule wakiota kuwa na maisha bora Ulaya, mwanafunzi Linda tayari yuko njiani kuelekea huko. Mchezo huu unalinganisha ndoto za vijana wa Kiafrika za kusoma na kufanya kazi Ulaya na hali halisi ya mambo.
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Kanisa linakuwa mahali pa kupata mwongozo. Mchungaji anamweleza Anna kuhusu sauti na kwamba sautii hiyo ni ufunguo wa mtambo wa wakati. Lakini anazungumzia kifaa gani? Mchezo unapoanzishwa tena, Anna na mwanamke mwenye mavazi mekundu wanagombana lakini mwanamke huyo anakimbia pindi mchungaji anapowasili. Anamwarifu Anna kwamba Inspekta Ogur amejeruhiwa na anajiuguza hospitalini. Mchungaji anaicheza tena sauti hiyo tena na kumwambia kwamba sauti za muziki D A C H F E G ndizo ufunguo wa mtambo huo. Ugunduzi huo unampa Anna na mchezaji dakika kumi za nyongeza. Lakini muda huo utatosha?
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Anna anaelekea Kantstraße lakini anachelewa kwa kuwa inambidi kuulizia njia. Anapoteza muda zaidi wakati watu wenye pikipiki wanapofika na kumfyatulia risasi. Kazi ya Anna inakabiliwa na vikwazo. Anapowataka watoto waliyovaa vitau vyenye magurudumu kumwelekeza njia, wenye pikipiki wanampiga risasi. Mchezo unapoanzishwa tena, hatimaye Anna anawasili Kantstraße. Lakini je atapata anachotafuta?
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Ogur anamwarifu Anna kuhusu mpango muovu wa genge la RATAVA linalotaka kubadilisha historia. Kabla ya kupoteza fahamu, Inspekta Ogur anampa Anna tarehe. Novemba 9. Lakini mwaka gani? Ogur, anayeshuku kuwa Anna amejificha mahali fulani kwenye ukumbi, anamwagiza Anna kutoroka. Mwanamke mwenye mavazi mekundu anampiga Anna risasi na kumtoa uhai mara nyingine. Mchezo unaanzishwa tena na Ogur anamwambia Anna kuwa RATAVA ni kundi la majambazi wanaotaka kubadilisha historia. Ingawa Ogur amejeruhiwa, anampa kidokezo cha tarehe, Novemba 9. Lakini mwaka gani?
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Mvutano kuhusu mchezo upi wa kuingiza unafaa... Muhtasari wa sarufi: Kielezi cha pahali wo. Kitendo cha utaratibu sollen