Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumatatu saa 5:10 hadi 5:40 Asubuhi | Radio TBC Taifa kila Jumatano saa 8:30 hadi saa 9 Mchana | Radio One kila Jumamosi saa 7.30 hadi saa 8 Mchana Kipindiā¦
Hapa tunakuletea simulizi kutoka kwa Salome. Binti huyu alikuwa na ndoto ya kuwa fundi cherehani lakini aliozeshwa na familia akajikuta akipata mtoto na ndoto kupotea ilionekana kama ndoto yake ilikuwa matatani lakini baadae Salome alifanikiwa, Je alifanyaje?
inakuletea simulizi kutoka kwa Chagu. Mama mkwe wake na Chagu hakuona umuhimu wa Chagu kumnyonyesha mwanae mchanga maziwa yake tu kwa miezi sita ya mwanzo, ni yapi yalimsibu chagu baada ya hapo.
Hapa tutasikiliza simulizi ya Maua na mumewe Kingolile hawa wawili hakukamilisha ratiba za chanjo ya mtoto wao hivyo ikawapelekea kumuuguza kwa mda mrefu.
Sehemu ya 7 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka kwa Tulia. Yeye ni binti aliyepitia maisha mengi magumu na machungu ndani ya jiji la dar es salaam, na tunajifunza umuhimu wa kuwapeleka watoto wetu katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tupoona dalili hatarishi kwao na tunashauriwa kutowapa dawa watoto wetu bila kuwapima na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya.
Sehemu ya 6 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka Mama kiko. Yeye ni Mama ila alishindwa kabisa kufuata kanuni za kumnyonyesha mwanae kwa kipindi cha miezi sita, sasa ni yapi yalimsibu mama kiko baada ya hapo? Simulizi hii itakufunza umuhimu ya maziwa ya mama kwa mtoto ndani ya miezi sita ya mwanzo bila kumpatia kitu chochote kile zaidi ya maziwa ya mama.
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bupe. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito.
Katika sehemu ya nne ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Sitti. Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto. Na jinsi gani wanaume wanapaswa kushiriki katika malezi ya watoto na kuwapeleka watoto katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tu waonapo dalili za hatari.
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Waridi. Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto mchanga.
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bhoke. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito.
Sikiliza simulizi ya Ruta, kutoka Bukoba. Leo tutajifunza kuhusu umuhimu wa kumuwahisha mtoto kwenye kituo cha afya pale anapoonesha dalili za #Malaria. #Naweza
Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya kumi na moja ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Janet.
Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya kumi na moja ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Aisha.
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya kumi ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Riziki.
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya tisa ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Mama Salma.
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya nane ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Mama Imani
Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya saba ya kipindi cha Naweza, leo tena sikiliza stori ya Samia. Kupitia simulizi yake tutajifunza umuhimu wa kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua.
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya sita ya kipindi cha Naweza, leo tena sikiliza stori ya Anitha. Atasimulia jinsi alivyompokea mama mjamzito aliyekuwa kwenye hali mbaya sana.
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya tano ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Anitha.
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya nne ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Mama Tabitha
Sikiliza sehemu ya tatu ya show ya #Naweza. Leo tunasikia stori ya Mwajuma inayohusu umuhimu wa mama mjamzito kutumia dawa ya SP.
Sikiliza sehemu ya pili ya show ya #Naweza. NAWEZA Show Sehemu ya Pili (Sada): Ushirikiano baina ya wenzi kipindi cha ujauzito
Sikiliza sehemu ya kwanza ya show ya #Naweza.