POPULARITY
Categories
Maisha ya raia wa Gaza ambao karibu wote ni wakimbizi wa ndani yanazidi kuwa mtihani usio na majawabu kila uchao kwa mujibu wa mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa. Mateso wanayopitia nis awa na kuishi jrehanamu, wengi wamekata tamaa na wanaona bora kufa kuliko kuishi katika hali hiyo. Flora Nducha akusimulia madhila ya mmoja wa wakimbizi hao wa ndani Moamen Abu Asr na mkewe Zeinat.
Hii leo jaridani tunaangazia haki za kibidamu katika ukanda wa Gaza, na hali ya misaada ya kibinadamu huko huko Gaza. Makala yunakwenda nchini Tanzania kusikia harakati za kusaidia vijana wa kike, na mashinani tunakupeleka nchini Uganda kusikia kuhusu mradi wa mlo shuleni.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameeleza kughadhabishwa kufuatia kusambuliwa, kujeruhiwa na kuuawa kwa Wapalestina walipokuwa wakijaribu kupata msaada wa kibinadamu huko Gaza jana Jumapili, Juni Mosi.Maisha ya raia wa Gaza ambao karibu wote ni wakimbizi wa ndani yanazidi kuwa mtihani usio na majawabu kila uchao kwa mujibu wa mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa. Mateso wanayopitia nis awa na kuishi jrehanamu, wengi wamekata tamaa na wanaona bora kufa kuliko kuishi katika hali hiyo. Flora Nducha akusimulia madhila ya mmoja wa wakimbizi hao wa ndani Moamen Abu Asr na mkewe Zeinat.. Makala inakupeleka nchini Tanzania kusikia harakati za kunasua vijana wa kike kutoka vishawishi vinavyoweza kuwatumbukiza kwenye lindi la umaskini. Msimulizi wako ni Hamad Rashid wa Radio washirika Tanzania Kids Time FM.Na katika Moses Okiror, Naibu Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Rainbow iliyoko Karamoja kaskazini-masharikimwa Uganda anaeleza jinsi Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) limeboresha mpango wa mlo shuleni kwa kuwakabidhi mashine ya kusagisha nafaka aina mbalimbali yenye vinu vinavyotumia nishati ya jua.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
Katika kuelekea siku ya kandanda, kabumbu au mpira wa miguu duniani itakayoadhimishwa Jumapili wiki hii Mei 25 ikibeba maudhui nguvu ya kdandanda katika kuleta mabadiliko tuabisha hodi Nairobi Kenya ambapo leo Peter Omondi, Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Global Youth Forum linalounganisha vijana Kenya kwa lengo la kutokomeza umasikini na kuishi maisha bora kupitia michezo mbalimbali ikiwemo kandanda akizungumza na Idhaa hii ya Kiswahili anaeleza umuhimu wa kandanda katika ajenda ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu. Anaanza kwa kujitambusha.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Ijue afya yako, mwezeshaji ni Daktari Willison Mgaya kutoka Hospitali ya Mtakatifu Fransisiko wa Asizi, Jimbo Katoliki Ifakara, akiangazia juu ya wasiwasi unavyoweza kuathiri maisha ya kila siku. L'articolo Ni kwa namna gani wasiwasi unaweza kuathiri maisha yako? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Imani yetu, Mwezeshaji ni Padre Wojciech Adam Koscielniak, Paroko wa Parokia ya Kiabakari na Mhifadhi wa kituo cha kitaifa cha hija cha Huruma ya Mungu kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma, akieleza ushuhuda wa Imani na nafasi ya Visakramenti katika maisha. L'articolo Fahamu nafasi ya Visakramenti katika maisha. proviene da Radio Maria.
Have you used the phrase, "This is the good life"? What even is "the good life"? If you ask 100 different people, you'd likely get 100 different answers. In this new collection of talks, we take a look at what the Bible has to say about this particular idea. Pastor Mark kicks us off with part 1!**********
Karibu uungane nami Esther Magai Hangu, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya Bikira Maria Mama wa Matumaini. L'articolo Tunawezaje kudumu katika tumaini katikati ya changamoto za maisha? proviene da Radio Maria.
Jesus didn't come for those who think they're righteous. He came for those who know they need to repent. In this talk, we cover three things we can learn from Jesus about how to lead others to repentance (plus more). Join us with Pastor Mark for the third and final part of our collection of talks: Road to Renewal.**********
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na wadau wameleta neema kwa watoto wanaoishi na ulemavu katika Kaunti ya Kisumu Magharibi mwa Kenya baada ya kuwapa msaada wa vifaa ikiwemo viti mwendo na viungo bandia kupitia mradi wa ubunifu kwa ajili ya watoto wenye ulemavu, msaada uliobadili maisha yao. Flora Nducha amefuatilia tabasamu la mama ambaye mwanye amenufaika na kiungo bandia ungana naye kwa tarifa zaidi
What's that thing that you return to even when you know it's not good for you. In reality, it's a poison that is wrecking you from the inside out- a sin that you have gone back to time and time again. What does life look like when you decide to turn away from the things that are robbing you from a deeper relationship with God?Join us with Pastor Mark for part two of our collection of talks: Road to Renewal.**********
Repentance begins with a long, honest look in the mirror and the courage to admit that something needs to change. You might be avoiding that look because you know what turning away will cost—what it might mean for your relationships or your sense of comfort. It might be something big, or it might seem small but still has a grip on you. Either way, true repentance begins when we recognize there's something to turn away from—and that we need God's help to do it.Join us with Pastor Mark for part one of our new collection of talks: Road to Renewal.**********
If you've embraced a faith block in your life, it's possible you've unintentionally bought into a version of faith that keeps things separate—where Jesus is just a part of your life that you've placed in a designated area. If that's you, I'd like to gently encourage you to consider letting go of that approach and embracing something different.**********
Ungana nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S,Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akiendelea kutufundisha juu ya Kwaresima njia ya kutambua hazina ya Neno. L'articolo Kwaresima ni kipindi cha namna gani katika maisha ya kiroho? proviene da Radio Maria.
“A Dáie de Vários Nomes” é o trabalho de estreia da multiartista e jornalista Taslim na literatura. Na obra, a personagem Maisha é uma viajante que recebe a missão de equilibrar diferentes ciclos temporais. O primeiro desafio da protagonista é registrar a pandemia da Covid-19 no Rio de Janeiro. O livro afrofuturista é uma forma que Taslim encontrou de narrar os acontecimentos que marcam a própria trajetória. Nossa reportagem conversou com a autora e traz para você essa dica de leitura.Reportagem: João Vitor PrudenteEdição: Thiago Kropf
We have all had a moment with our friends or family where we wanted to share something with them, but we weren't quite sure how they would respond. What if you had the greatest thing in the world... would you share it? Join us for Part 3 of "Open House" where we talk about this and more! **********
Evangelism is something we are all called to as followers of Jesus, but how do we actually do it? Pastor Dalton brings a powerful word on how to talk to strangers, and our closest friends & family, about Jesus. Join us for Part 2 of "Open House."**********
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.
This week we celebrated our fourth birthday! With that, we started our new collection of talks, "Open House." The heart of the Gospel is that everyone is welcome to receive it, regardless of where you come from or what your life has looked like. The Good News is worth celebrating!**********
Guest speaker, Bubba Stallcup, shares the story of David and Absalom and talks about how vulnerability leads to intimacy and intimacy to relationship. Even with estranged relationships, it may not be too late to practice the vulnerability that leads to intimacy.Join us for part 6 of our collection, "The Bedroom: My Fortress" with Bubba Stallcup (LTN).**********
Against the backdrop of the Israel-Hamas war, incidents of Islamophobia in Australia have surged – whether verbal, physical or online. What's the lasting impact on victims, and what can be done? - Kufuatia vita vya Israel-Hamas, matukio yawa Islamu kunyanyaswa yame ongezeka nchini Australia, iwe kwa maneno, kimwili au mtandaoni. Athari ya kudumu kwa wa athiriwa ni gani, na nini kinaweza fanywa?
Once you stop trying to take shortcuts to God's presence and pursue Him, linger with him, desire him, and spend time in worship and prayer you too will enter the presence of the living God. You will experience the presence of God that is so addicting, so life-changing, that you will move your family to just stand at the door of the tent for the rest of your life. Don't try to take shortcuts to God's presence.Join us for part 5 of our collection, "The Bedroom: My Fortress" with Pastor Mark.**********
Are you relying on your own hands to make things happen? Are you trusting in your own comfortable place? Are you hiding away from a community of people that want to bring accountability and peace and joy to your life? Because that's how spiritual drift happens.Join us for part 4 of our collection, "The Bedroom: My Fortress" with Pastor Andy.**********
When you are given the opportunity to get the right thing in the wrong way do you find yourself trusting God or taking things into your own hands?Join us as we enter into part 3 of our collection, "The Bedroom: My Fortress" with Pastor Mark.**********
Maelfu ya watu wanawasili nchini Burundi, wakikimbia mapigano yanayozidi kushamiri huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hususan katika majimbo ya Kivu Kusini na Kivu Kaskazini. Waasi wa M23 wanaendelea kupanua wigo wa maeneo wanayomiliki, hali inayotumbukiza raia kwenye changamoto za usalama, na kulazimu wale wanaoweza kukimbia. Wengine wameuawa, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, na majeruhi wako hospitalini ambako huduma nazo zimedorora kwani M23 wamefunga barabara katika maeneo yote wanayodhibiti. Lakini wale wanaokimbilia Burundi hali yao iko vipi? Evarist Mapesa anakusimulia zaidi kupitia video iliyoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR.
Huko Gaza Kaskazini, kwenye eneo la wapalestina linalokaliwa na Israeli, wanafamilia zilizofurushwa makwao kutokana na vita kati ya Israeli na wanamgambo wa Hamas wanavumilia msimu wa baridi kali katika makazi ya muda ya mahema yanayopigwa na upepo na mvua usiku na mchana, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF. Nyumba zao zimeharibika na kuacha watoto kuishi katika mazingira mabaya. Ni sauti ya watoto wakitembea katikati ya mahema ya muda kwenye vichochoro vilivvyojubikwa na matope, hapa Gaza Kaskazini, huku wakijaribu kukwepa madimbwi ya maji yaliyosababishwa na mvua kubwa.Kupitia video iliyoandaliwa na UNICEF, Shahd Omar, msichana mwenye umri wa miaka kumi na saba, anaonekana amembeba nduguye, wengine wanaonekana wamekujikunyata kutokana na baridi. Shahd sasa akiwa amesimama nje hema lao anaelezea jinsi nyumba zao zilivyoharibiwa.“Tunavumilia hali ngumu sana,mvua kubwa, baridi, na upepo mkali, maisha ni magumu sana. Nyumba yetu ilivyoshambuliwa na kubomoka tulijitoa kwenye vifusi. Nyumba yetu imeharibika, hatuna samani, hakuna vituo vya kujikinga, wala mahali pa kukaa ili kupata joto. Maisha ni magumu. Hema letu lilikuwa karibu kupeperuka kwa sababu ya upepo mkali.”Kwingineko hapa, watoto wanaonekana wakicheza kwenye matope nje ya mahema zao huku maji yakitiririka kama mto. Layla Abu Asi ni mama wa watoto watatu, mwenye umri wa miaka 27 anasema,“Baridi hii ni kali mno, haiwezi kuvumilika ,upepo huu mkali umeleta madhara makubwa kwenye hema letu. Tangu asubuhi, maji ya mvua yamejaa kwenye hema letu, kila kitu kilichomo ndani kikilowa na kujaa maji. Watoto wangu wametota kwa maji ya mvua. Hii ni hali mbaya zaidi ambayo tumewahi kukumbana nayo.”UNICEF na wadau wanafanya kila wawezalo kuwasaidia wakazi wa Gaza.
There are plenty of examples of "dynamic duos" in pop culture and history. Batman & Robin, Han & Chewie, SpongeBob & Patrick... the list goes on. What makes a friendship so strong? What does that mean in the context of our faith and relationship with God? Let's talk about it!Join us as we continue our new series, "The Bedroom: My Fortress" with Pastor Dalton**********
Join us as we launch our new series, "The Bedroom: My Fortress." Without courage to face one's own lions, the vulnerability to welcome God into every part of us, we will continually feel as though intimacy with God is inaccessible to us. But it's not. It is accessible to any child of God who calls on the name of Jesus as Savior and as Lord. One most simply be courageous and venerable enough to draw close.**********
What does it mean to be ALL IN? This week, Pastor Mark brings a pivotal message regarding the idea of generosity and its importance for followers of Jesus. With that, he talks about the All In 100 x 100 campaign and how to get involved. This is important for the future of our church, and we are very excited to step into it with you! **********
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya usalama Goma DRC, na masuala ya haki za binadamu. Makala na mashinani inaturejesha nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kufuatilia simulizi za wakimbizi wa ndani.Maisha yanarejea katika hali ya kawaida huko Goma baada ya siku kadhaa za mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (FARDC) na waasi wa M23 mashariki mwa. Mwandishi wetu wa habari jimboni Kivu Kaskazini amesema kwamba shughuli zinaanza tena katika mji wa ziwa la Kivu, Goma, wakati M23 imechukua wilaya nyingi za mji mkuu wa Jimbo hili.Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imesisitiza haja ya kusonga mbele kuelekea awamu inayofuata ya usitishaji mapigano huko Gaza, kuachiliwa kwa mateka na wafungwa wote waliokamatwa kiholela, kukomesha vita na kujenga upya Gaza, kwa kuheshimu kikamilifu sheria ya kimataifa ya kibinadamu na sheria za kimataifa za haki za binadamu.Makala leo inakukutanisha na Mwamini Sebororo mmoja wa mamilioni ya raia wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC waliopoteza makazi yao na kila kitu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki ya taifa hilo huku mgogoro ukiendelea kufurusha watu zaidi, akiwa kambini Bushagara anasimulia kilichomsibuNa katika mashinani tutarejea nchini Jamhuri wa Kidemokrasia ya Congo DRC kusikia ujumbe wa mkimbizi wa ndani ambaye ni mwathirika wa vita Goma.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
Maisha yanarejea katika hali ya kawaida huko Goma baada ya siku kadhaa za mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (FARDC) na waasi wa M23 mashariki mwa. Mwandishi wetu wa habari jimboni Kivu Kaskazini amesema kwamba shughuli zinaanza tena katika mji wa ziwa la Kivu, Goma, wakati M23 imechukua wilaya nyingi za mji mkuu wa Jimbo hili. Alikutana na Muhindo Kibwana muendesha pikipiki akiwa kwenye maegesho yake ya kazi, jina lake limebadilishwa kwa usalama wake.
We aren't meant to isolate and walk through our faith alone. We are supposed to support one another within our church and the Christian community at large. So the question is, how are you building community. Join us as Pastor Dalton talks about this and more in part 4 of "Bones." **********
There are a lot of things that are very healthy to get into the habit (or rhythm) of doing. It's good to exercise, eat nutritious foods, and spend time with those you love. What about spiritual rhythms? What about spending time with God? Let's talk about it with Pastor Andy in Part 3 of our series "Bones." **********
Safari ya kuchunguza methali za Kiswahili - kutoka maana ya juu hadi hekima ya ndani. Kila kipindi kinatufunulia ukweli uliofichika kwenye maneno ya wahenga, tukielewa matumizi yake katika maisha ya leo. Jiunge nasi tukichambua busara za jadi zinazoendelea kuongoza maisha yetu.
Safari ya kuchunguza methali za Kiswahili - kutoka maana ya juu hadi hekima ya ndani. Kila kipindi kinatufunulia ukweli uliofichika kwenye maneno ya wahenga, tukielewa matumizi yake katika maisha ya leo. Jiunge nasi tukichambua busara za jadi zinazoendelea kuongoza maisha yetu.
Leaving pigs & pods for rings and robes. Sound a little odd, let's talk about it together! This idea is one that has been shared in the Christian faith for about 2000 years, and there's a good reason why. Pastor Mark brings part 2 of our new series, "Bones." **********
Welcome to our first series of 2025! We launch the first collection of talks in our year-long emphasis on the theme of our "Home." Join us to find out what makes the Bones of a house good, and to hear more about our focus this year. **********
Hali ya maisha kwa raia wa Gaza inaendelea kuwa mbaya msimu huu wa baridi kali kutokana na vikwazo vya kufikisha misaada, kupanda kwa gharama za maisha na mashambuizi yanayoendelea kukatili maisha ya raia wakiwemo watoto 74 waliouawa tangu Januri Mosi mwaka huu yamesema mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambalo linasema kuuawa kwa watoto hao 74 katika siku saba za kwanza za mwezi huu ni dhihirisho la jinamizi linaloendelea kuighubika Gaza na mashambulizi ya Israel hayaonyeshi dalili yoyote ya kukoma ikiwemo ya jana usiku katika mji wa Gaza, Khan Younis na kwenye makazi ya Pwani ya wakimbizi wa ndani ya Al Mawasi ambayo Israel yenyewe iliyatenga hapo awali kama maeneo salama. Kwa mujibu wa UNICEF jana Jumanne pekee watoto 5 wameripotiwa kuuawa Al Mawasi. Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEFF Catherine Russell amesema "Kwa watoto wa Gaza, mwaka mpya umeleta vifo zaidi na mateso kutokana na mashambulizi, kunyimwa huduma, na kuongezeka kwa hali ya baridi. Usitishaji wa mapigano umechelewa kwa muda mrefu na watoto wengi sana wameuawa au kupoteza wapendwa wao katika mwanzo mbaya wa mwaka mpya.”© UNRWA/Fadi ThabetMwanaume na mwanae wakiwa wameketi wakiota moto Nuseirat katikati mwa GazaGharama za chakula zinaendelea kupanda GazaKwa upande wake shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula Duniani WFP limesema kana kwamba mashambulizi hayatoshi sasa kupanda kwa gharama za chakula ni mtihani mwingine kwa watu wa Gaza kwani kilo 25 za unga zinauzwa hadi dola za Marekani 150 gharama ambayo watu wengi hawawezi kumudu na watoto ni wahanga wakubwa wakilzimika kulala njaa. Nalo shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina UNRWA kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X limesema linapokuja suala la mashambulizi Gaza “Hakuna tofauti, wahudumu wa kibinadamu, hata wawe ni nani nao wamekuwa wakilengwa mara kwa mara. Kupuuzwa huku kwa wazi kwa sheria za kimataifa za kibinadamu hakuwezi kuachwa kuwa ndio kawaida mpya.” Pia limesema Gaza hospitali zimekuwa mitego ya vifo, familia zimesambaratika, watoto wanakufa kwa baridi na njaa inakatisha maisha ya watu wengi
Safari ya kuchunguza methali za Kiswahili - kutoka maana ya juu hadi hekima ya ndani. Kila kipindi kinatufunulia ukweli uliofichika kwenye maneno ya wahenga, tukielewa matumizi yake katika maisha ya leo. Jiunge nasi tukichambua busara za jadi zinazoendelea kuongoza maisha yetu.
Baada ya miezi 14 ya vita Gaza maelfu ya watu wakiwemo watoto wamesalia na ulemavu wa maisha kwa kulazimika kukatwa viungo kutokana na kujeruhiwa katika vita inayoendelea kwa miezi 15 akiwemo mtoto wa umri wa miaka 7 Mahmmoud ambaye sasa amepooza baada ya kupigwa risasi mgongoni na anahitaji huduma za haraka za afya ili akatibiwe limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA. Taarifa ya Thelma Mwadzaya inafafanua zaidi
Tonight Pastor Mark talks about the reason why gift-giving at Christmas is something that we do as Christians. He gives some historical context around why, and discusses what the "icon" of the Christmas gift should remind us of. **********
We have entered the Christmas season, and with that we have begun our final series of the year, "Icons." We will be talking about different iconography associated with Christmas, and what the relevance they have in scripture. You may be surprised! Pastor Mark kicks us off with a message on the Christmas tree topper. **********
Tonight Pastor Mark discusses the meaning of the Christmas Tree and the three things that it reminds us of. We are on our second week of our final series of the year, "Icons." **********
Cultivating H.E.R. Space: Uplifting Conversations for the Black Woman
Hey lady! This week, Dr. Dom and Terri welcome Dr. Maisha Standifer, Director of Population Health, The Satcher Health Leadership Institute at Morehouse School of Medicine to offer fresh information about HIV, AIDS, the trends she's seeing in sexually transmitted disease infection rates and what Black women need to know about keeping themselves safe and healthy.Dr. Standifer is a powerhouse of a woman and offers grounded perspective on the real issues that the Black community face in regards to HIV transmission and AIDS. The truth of the matter is that despite HIV/AIDS being known in the community for more than 40 years the stigma has transferred from white gay men to Black women and so much of that is because of a lack of information.In fact, 50 percent of new HIV cases are Black women. Dr. Standifer doesn't sugarcoat the facts about the fact if you are sexually active you are HIV possible. Armed with that knowledge, she offers solutions for prevention, resources for care should you contract the infection, and hope for a future where HIV and AIDS is eradicated from the community.Tune into a powerful conversation chock full of valuable information. This is your one precious life, lady, treat it with the best care! Quote of the Day:“Understand others and their experiences as you talk and interact with them.” - Unknown Wisdom Wednesdays with TerriCultivating H.E.R. Space Sanctuary Where to find Satcher Health:Website: Morehouse School of MedicineWebsite: Satcher Health Leadership InsituteInstagram: @satcherhealthFacebook: Satcher HealthLinkedIn: Satcher Health Leadership Institute Resources:Dr. Dom's Therapy PracticeBranding with TerriMelanin and Mental HealthTherapy for Black Girls Psychology TodayTherapy for QPOC Where to find us:Twitter: @HERspacepodcastInstagram: @herspacepodcastFacebook: @herspacepodcastWebsite: cultivatingherspace.com
Mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP wa kusambaza dawa ya bioherbicide ya kuuwa magugu kwenye mashamba ya mtama na mahindi kwa wakulima wa Kakamega magharibi mwa Kenya umekuwa mkombozi mkubwa kwa wakulima kama Catherine Wanjala ambaye magugu hayo yalimuharibia mazao na hata kuilazimisha familia yale kulala njaa wakati mwingine kwa kukosa chakula. Kwaa ufafanuzi zaidi ungana na Flora Nducha katika makala hii.
Hii leo jaridani tunaangazia uzinduzi wa ombi la ufadhili wa mahitaji ya Kibinadamu (GHO), na umuhimu wa lugha mama katika kukuza haki za binadamu. Makala tunasalia hapa makao makuu ya umoja wa mataifa na mashinani tunakupeleka nchini Senegal, kulikoni?Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) ikizindua Ripoti ya Kimataifa ya mahitaji ya Kibinadamu (GHO) kwa mwaka ujao wa 2025 imetangaza ombi la ufadhili kwani takriban watu milioni 305 duniani kote watahitaji msaada wa kibinadamu katika mwaka ujao.Haki si haki iwapo inatolewa kwa lugha ambayo haileweki kwa wahusika, wamejulishwa washiriki wa mkutano wa pili wa wanazuoni unaofanyika hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekani na pia mtandaoni ukimulika Madaraka, Haki na Binadamu: Utawala wa Sheria na mabadiliko Afrika.Makala tunasalia hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa ambapo mkutano wa mwaka 2024 wa Taaluma kuhusu Afrika leo katika leo umeingia siku ya pili hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Mkutano huo ulioandaliwa na Ofisi ya mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Afrika UNOSAA ni wa siku tatu na umebeba maudhui "Nguvu, Haki, na watu” kwa ajili ya mabadiliko ya Afrika.Na mashinani fursa ni yake Antar sarr, Kijana mkulima wa mbogamboga kutoka Senegal ambaye ni mmoja wa wanufaika wa mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya kilimo, IFAD unaowawezesha vijana nchini humo kwa kilimo na biashara ndogondogo ili kuondokana na fikra za kwenda Ulaya kusaka Maisha bora na ajira, akisema mradi huo imempatia matumaini.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Dr. Lwidiko Mhamilawa ameibuka kwenye studio zetu siyo kwa ajili ya kutuambia jinsi maisha ni magumu (tulishajua hiyo), bali kutufundisha jinsi ya kufurahia safari ya maisha – hata pale unapotaka kutupa lapa na kusema, “Inatosha!” Unajua, kuwa mwanaume ni kama kuwa kocha wa timu isiyoelewa mchezo: kila mtu anakutegemea wewe, lakini hakuna anayekuelewa!
Mradi wa uitwao Agri-Jeunes uliozinduliwa na Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya kilimo, IFAD ili kusaidia raia wa Senegal kuondokana na umaskini, na janga la njaa, umewapatia vijana wa kiume na wa kike matumaini ya kusalia nchini mwao badala ya kuhamia ughaibuni. Mradi huu umewasaidia vijana hao kwa mafunzo ya kilimo, ufugaji kuku, uvuvi na stadi za kuendesha biashara ndogondogo.Katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka 2024, makumi ya maelfu ya watu waligeukia wasafirishaji haramu wa binadamu kwa njia ya bahari ya Atlantiki kuelekea visiwa vya Kanari, lakini zaidi ya watu 5000 wamekufa wakijaribu kufika huko. Haya yote yakisababishwa na ukosefu wa ajira na kipato duni. Kupitia video iliyoandaliwa na IFAD, Bosco Cosmas amefuatilia Maisha ya vijana hao, na kutuandalia makala hii
Harakati za ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC za kunasua watoto na vijana wanaotumikishwa vitani zinaendelea na tukio la hivi karibuni zaidi ni la kijana.Katika video ya MONUSCO iliyochapishwa kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Ombeni anasimulia jinsi waasi wa FDLR mashariki mwa DRC walivyowakamata msituni."Tulikuwa vijana watanoFDLR walitukamata na kutupeleka msituni. Maisha ilikuwa ngumu sana na hatukuweza kutoroka"Kazi wanatumikishwa bila mshahara na zaidi ya yote."Kila saa ni mateso, kazi mingi bila malipo."Alitumikishwa msituni kwa miaka minane, akionesha makovu ya vipigo alivyopatiwa."Tuliteseka sana, tulitumikishwa kwa muda wa miaka minane, tukachapwa viboko, tuliumizwa sana na kubaki na majeraha"Lakini siku moj aliweza kutoroka. Akiwa Kibirizi akamweleza mkubwa wake ya kwamba.." Siku moja nikamwambia mkubwa wangu naenda kusalamia rafiki yangu, wakati huo tukapata nafasi ya kutoroka."Katika harakati hizo akakutana na MONUSCO. Anasema kwamba, "Njiani nikakutana na wanajeshi wa MONUSCO, nikainua bunduki juu na kujisalimisha, nikisindikizwa na mkubwa wao nikaeleza kile tulichopitia"Sasa Ombeni anashiriki programu za kumjumuisha tena kwenye jamii, DDR-S inayondeshwa na MONUSCO huko Beni, jimboni Kivu Kaskazini.