Podcasts about sehemu

  • 48PODCASTS
  • 569EPISODES
  • 23mAVG DURATION
  • 1EPISODE EVERY OTHER WEEK
  • Sep 8, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Best podcasts about sehemu

Latest podcast episodes about sehemu

Habari za UN
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya,WHO laongeza orodha ya dawa muhimu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 8, 2025 3:05

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limefanya mabadiliko muhimu katika orodha yake ya dawa muhimu duniani au Essential Medicines List – EML na orodha ya dawa muhimu kwa watoto (EMLc) ikijumuisha dawa za kisasa za saratani, kisukari, unene uliopitiliza na magonjwa mengine sugu.Orodha za WHO za dawa muhimu ni nyenzo za mwongozo zinazotumiwa na zaidi ya nchi 150 kupanga ununuzi, bima za afya na upatikanaji wa dawa. Kwa lugha rahisi, dawa zinazoorodheshwa hapa huwa na nafasi kubwa zaidi ya kununuliwa na kutolewa kwa wagonjwa kupitia huduma za umma kwani wanachama wa WHO wanaziweka dawa hizi kama kipaumbele cha kiafya kwa mamilioni ya watu duniani.WHO wakati wakitangaza orodha hiyo mpya waliweka bayana kuwa dawa hizi mpya si za majaribio, bali ni zile ambazo zimethibitishwa kitabibu kuwa zinaokoa maisha, kupunguza madhara ya magonjwa na kuboresha maisha ya wagonjwa.Nini maana yake?Kuongezwa kwa dawa hizi ni hatua ya mbele katika safari ya kuhakikisha afya bora kwa wote. Inamaanisha wagonjwa zaidi wa saratani, kisukari na magonjwa mengine sugu wanaweza kuwa na matumaini ya maisha marefu na bora. Pia ni wito kwa mataifa kuchukua hatua ili kuhakikisha upatikanaji wa dawa unakuwa wa haki na usawa, bila kumwacha mtu yeyote nyuma.Changamoto ya bei na usawa wa kiafyaChangamoto kubwa sasa ni bei kubwa ya dawa hizi mpya, ambazo zinaweza kufanya wagonjwa wengi kushindwa kuzipata.WHO inapendekeza mikakati ya kupunguza gharama na kuhakikisha dawa hizi zinapatikana kwenye ngazi ya huduma za msingi za afya.Deusdedit Mubangizi, Mkurugenzi wa Sera na Viwango vya Dawa WHO, anasema “Sehemu kubwa ya matumizi ya nje ya mfuko wa magonjwa yasiyoambukiza yanaelekezwa kwenye dawa, ikiwa ni pamoja na zile zinazoainishwa kama muhimu na ambazo kimsingi, zinapaswa kupatikana kwabei rahisi kwa kila mtu. Ili kufikia upatikanaji sawa wa dawa muhimu kunahitajika mwitikio madhubuti wa mfumo wa afya unaoungwa mkono na dhamira dhabiti ya kisiasa, ushirikiano wa sekta nyingi na programu zinazozingatia watu ambazo hazimwachi mtu nyuma.”Kwa maneno mengine, dawa hizi haziwezi kuwa za matajiri pekee  lazima mifumo ya afya, serikali na sekta binafsi zishirikiane kuhakikisha kila mtu anayehitaji anapata dawa kwa gharama nafuu.© UNOCHA/Ali Haj SuleimanDaktari akimpatia matibabu mgonjwa wa Saratani huko nchini SyriaSaratani, kisukari na unene uliopitiliza ni changamotoSaratani na kisukari ni miongoni mwa magonjwa yanayosababisha vifo na ulemavu kwa mamilioni ya watu duniani kila mwaka. Kwa mfano, saratani pekee inaua karibu watu milioni 10 kila mwaka.Kuongeza dawa mpya za saratani kama pembrolizumab na atezolizumab, ambazo zinasaidia kinga ya mwili kushambulia chembe chembe za saratani, kunaleta matumaini mapya hasa kwa wagonjwa katika nchi zenye rasilimali chache.Kwa upande mwingine, dawa za kundi la GLP-1 receptor agonists kama semaglutide na tirzepatide zimeingizwa kwenye orodha ili kusaidia wagonjwa wa kisukari cha aina ya pili wanaoishi pia na unene uliopitiliza au matatizo ya moyo na figo. Dawa hizi husaidia kudhibiti sukari, kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na figo, na pia kusaidia kupunguza uzito. 

Radio Maria Tanzania
Maisha ni Safari (Richard Sehemu ya 1)

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Aug 1, 2025 54:45

Karibu uungane na Bwana Richard katika kipindi cha Maisha ni Safari akielezea  safari ya maisha yake. Mimi ni Mtangazaji wako Martin Joseph. L'articolo Maisha ni Safari (Richard Sehemu ya 1) proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Maisha ni Safari (Richard sehemu ya 2)

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Aug 1, 2025 57:38

Karibu uungane na Bwana Richard  katika kipindi cha maisha ni safari akielezea akielezea safari ya maisha yake hii ni sehemu ya 2.  Mtangazaji wako ni mimi Martin Joseph. L'articolo Maisha ni Safari (Richard sehemu ya 2) proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha Kawaida cha mwaka (sehemu ya themanini na saba)

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 29, 2025 56:24

Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya na Bwana,hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli. L'articolo Amka na Mama kipindi cha Kawaida cha mwaka (sehemu ya themanini na saba) proviene da Radio Maria.

Gurudumu la Uchumi
Sehemu ya II: Mfumo mbovu au mafanikio, matajiri 4 Afrika kumiliki nusu ya mali za raia wa bara hilo

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Jul 23, 2025 9:55

Bar ala Afrika ni tajiri kwa rasilimali, vipaji na uwezo, hata hivyo, mamilioni ya raia wake bado wamenasa katika lindi la umaskini, huku wachache wakilimbikiza mali zisizomithilika, Je, hii inasema nini kuhusu sera, vipaumbele na mustakabali wa bara la Afrika? Hivi leo kwenye Makala ya Gurudumu la Uchumi, tutajadili tumefikaje hapa, ina maana gani kwa maendeleo na nini kinapaswa kubadilika kujenga uchumi wa haki na shirikishi?

Sehemu ya I: Mfumo mbovu au mafanikio, matajiri 4 Afrika kumiliki nusu ya mali za raia wa bara hilo

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Jul 16, 2025 10:04

Katika bara lenye watu zaidi ya bilioni 1.4, ni watu wanne tu wanaomiliki utajiri zaidi ya nusu ya watu wote. Kulingana na ripoti mpya ya Oxfam, ukosefu huu wa usawa unaostua sio tu takwimu - ni ishara ya wazi ya ukosefu wa haki za kiuchumi uliokita mizizi, mifumo iliyovunjika na kukosekana kwa fursa. Kujadili haya yote nimewaalika Johnson Denge mtaalamu wa uchumi akiwa Nairobi na Apronius Mbilinyi yeye ni mtaalamu wa masuala ya Kodi akiwa Tanzania.

Sehemu ya II: Sehemu ya I: Je, Teknolojia Inaweza Kupunguza changamoto za Biashara barani Afrika?

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later May 28, 2025 9:54

Msikilizaji wiki iliyopita katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tulianza na sehemu ya kwanza ya mada kuhusu namna teknolojia inavyoweza kuhusihwa kwenye biashara kutatua changamoto zinazolikabili bara la Afrika, ikiwemo biashara ya kidijitali kuchochea utangamano, kuongeza ufanisi na kuleta maendeleo.Leo nakuletea sehemu ya pili ya mazungumzo yangu na Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

Sehemu ya I: Je, Teknolojia Inaweza Kupunguza changamoto za Biashara barani Afrika?

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later May 21, 2025 9:51

Leo Katika makala ya gurudumu la uchumi tunakuletea sehemu ya kwanza ya mada kuhusu namna teknolojia inavyoweza kuhusihwa kwenye biashara kutatua changamoto zinazolikabili bara la Afrika, ikiwemo biashara ya kidijitali kuchochea utangamano, kuongeza ufanisi na kuleta maendeleo.Leo nakuletea sehemu ya kwanza ya mazungumzo yangu na Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Goldilocks Zone - Sehemu Yenye Hali Sahihi Kabisa kwa Uhai

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later May 18, 2025 8:15

Je, unajua kuwa kuna eneo maalum kwenye anga ambapo maisha yanaweza kustawi?

Gurudumu la Uchumi
Sehemu II: Madhara ya ushuru wa Trump kwa bara la Afrika na biashara ya dunia

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Apr 16, 2025 9:46

Msikilizaji kwa majuma kadhaa sasa, kumekuwa na mjadala duniani kote kufuatia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump, kutangaza ushuru wa bidhaa zinazoingia kwenye taifa hilo, mataifa ya Afrika yakiwa miongoni mwa waathirika, baadhi wakiwekewa ushuru wa hadi asilimia 50. Hata hivyo juma lililopita, rais Trump alitangaza kusitisha kwa muda wa siku 90 utekelezwaji wa ushuru kwa baadhi ya mataifa isipokuwa Uchina, ambayo imewekewa ushuru wa zaidi ya asilimia 125.Katika sehemu hii ya pili ya makala ya wiki hii, tumezungumza na Ali Mkimo, mtaalamu na mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara.

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu mahakama ya jadi kutoka kabila la Wameru sehemu ya kwanza

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Apr 13, 2025 20:02

Kwenye makala haya utapata kufahamu mahakama hii ya Jadi nchini Kenya kutoka Kabila la Wameru ambayo inakubalika na serikali katika utatuzi wa mizozo mbalimbali kutoka jamii ya wameru. Utapa pia kufahamu historia ya msanii kutoka nchini Ufaransa Hiro le Coq.

Gurudumu la Uchumi
Sehemu I: Madhara ya ushuru wa Trump kwa bara la Afrika na biashara ya dunia

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Apr 9, 2025 10:01

Kwa majuma kadhaa, mijadala mikali duniani kote kufuatia uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump, kutangaza ushuru zaidi wa bidhaa zinazoingia kwenye taifa hilo, mataifa ya Afrika yakiwa miongoni mwa waathirika, baadhi wakiwekewa ushuru wa hadi asilimia 50. Katika makala ya Gurudumu la uchumi juma hili, tunadadavua na wataalamu athari za ushuru wa Trump kwa nchi za Afrika na biashara ya dunia kiujumla. Tutakuwa na Ali Mkimo, mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha Kwaresima (sehemu ya themanini na sita)

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 8, 2025 55:04

Ungana nami Martin Joseph Katika kipindi cha Amka na Mama, ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya na Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli. L'articolo Amka na Mama kipindi cha Kwaresima (sehemu ya themanini na sita) proviene da Radio Maria.

Gurudumu la Uchumi
Sehemu ya Pili: Uchakataji taka za plastiki kwa vijana

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Apr 2, 2025 10:09

Msikilizaji takwimu zinaonesha kuwa, ifikapo mwaka 2050, idadi ya watu barani Afrika itaongezeka kufikia bilioni 2.5, ambapo zaidi ya nusu ya watu hawa watakuwa ni vijana walio na umri wa chini ya 25. Hata hivyo Ujasiriamali wa vijana unaonekana kama suluhisho linalowezekana kwa changamoto hii. Msikilizaji juma hili nimebahatika kuwa na mgeni studioni nae si mwingine bali ni Kenneth Ochien'g, ambaye yeyé anajihusisha na uchakataji upya wa taka za plastiki kwa matumizi mengine.

Sehemu ya Kwanza: Uchakataji taka za plastiki kwa vijana

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Mar 26, 2025 10:01

Historia ya mkutano wa Berlin sehemu ya pili March 2 2025

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Mar 25, 2025 19:58

Makala haya, mtangazaji wako anakuletea sehemu ya pili ya historia ya mkutano wa Berlin

Changu Chako, Chako Changu
Historia ya mkutano wa Berlin sehemu ya kwanza Feb 23 2025

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Mar 25, 2025 30:09

Makala haya yanazungumzia historia ya mkutano wa Berlin

Bible Bard
swahili_BB-73 Sitiari za Biblia, Sehemu

Bible Bard

Play Episode Listen Later Mar 18, 2025 14:03

swahili_BB-73 Sitiari za Biblia, Sehemu

Bible Bard
swahili_BB-73 Sitiari za Biblia, Sehemu

Bible Bard

Play Episode Listen Later Mar 18, 2025 14:03

swahili_BB-73 Sitiari za Biblia, Sehemu by Bible Bard

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka (sehemu ya themanini na nne)

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 3, 2025 55:04

Ungana nami Martin Joseph Katika kipindi cha Amka na Mama, ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya na Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli. L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka (sehemu ya themanini na nne) proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na nne]

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 28, 2025 55:04

Karibu ungane nami Mtangazaji wako Martin Joseph, katika kipindi cha Amka na Mama ambapo ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali zikituongoza kuanza siku yetu mpya, tumuimbie Bwana katika Roho na kweli. L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na nne] proviene da Radio Maria.

Gurudumu la Uchumi
Sehemu ya Pili: Afrika na harakati za kudai mabadiliko kwenye taasisi za kifedha za kimataifa

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Feb 26, 2025 9:52

Msikilizaji juma lililopita tulianza kwa kujadili yaliyotokana na mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika, na suala kuu lilikuwa ni je, nchi za Afrika zitafanikiwa kushinikiza mabadiliko katika taasisi za kifedha za kimataifa na kuondokana na mikopo na madeni yasiyostahimilika ?Leo katika makala ya Gurudumu la Uchumi, nakuletea sehemu ya pili ya mjadala huu, nimemualika Ali Mkimo, mtaalamu namchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara akiwa nchini Tanzania.

Jioni - Voice of America
Afisa wa polisi nchini Kenya aliyepelekwa Haiti kama sehemu ya kikosi cha usalama chini ya Umoja wa Mataifa ameuawa akiwa kazini huko Haiti - Februari 24, 2025

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 24, 2025 29:58

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na tatu]

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 14, 2025 54:45

Karibu ungane nami Mtangazaji .wako Martin Joseph, katika kipindi cha Amka na Mama ambapo ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali zikituongoza kuanza siku yetu mpya, tumuimbie Bwana katika Roho na kweli. L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na tatu] proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na mbili]

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 11, 2025 53:03

Karibu ungane nami Mtangazaji .wako Martin Joseph, katika kipindi cha Amka na Mama ambapo ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali zikituongoza kuanza siku yetu mpya, tumuimbie Bwana katika Roho na kweli. L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na mbili] proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Hekalu limegawanyika katika sehemu ngapi?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 3, 2025 24:16

Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Daudi Fungameza, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea Nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Katika historia ya Wayahudi Hekalu ilikuwa limegawanyika katika Sehemu Ngapi? L'articolo Hekalu limegawanyika katika sehemu ngapi? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na moja]

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 30, 2025 54:03

Karibu ungane nami Mtangazaji wako Martin Joseph, katika kipindi cha Amka na Mama ambapo ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali zikituongoza kuanza siku yetu mpya, tumuimbie Bwana katika Roho na kweli. L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [sehemu ya themanini na moja] proviene da Radio Maria.

Alfajiri - Voice of America
Mali yachukua tani tatu za dhahabu kutoka kwa kampuni ya Barrick Gold ikiwa sehemu ya mzozo wa kifedha kati yao. - Januari 28, 2025

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 28, 2025 30:00

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Radio Maria Tanzania
Je, sehemu za Misa Takatifu ni zipi?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 24, 2025 53:07

Ungana nami Esther Magai  Hangu, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akiendelea kutufundisha juu ya Matumaini katika Misa Takatifu. L'articolo Je, sehemu za Misa Takatifu ni zipi? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, sehemu za Misa Takatifu ni zipi?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 23, 2025 53:07

Ungana nami Esther Magai  Hangu, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akiendelea kutufundisha juu ya Matumaini katika Misa Takatifu. L'articolo Je, sehemu za Misa Takatifu ni zipi? proviene da Radio Maria.

Gurudumu la Uchumi
Sehemu ya II: Umuhimu wa kuwa na nidhamu ya kuweka akiba ya fedha

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Jan 8, 2025 10:05

Hivi leo ni sehemu ya pili ya makala ya Gurudumu la Uchumi, hasa tunapouanza mwaka 2025 tunaenda kujadili kuhusu nidhamu ya kuweka akiba ya fedha, ufanye nini kuongeza kipato, unatumiaje fedha ulizonazo kuwekeza ? Haya ni baadhi ya mambo ambayo tutaenda kuyatazama kwenye makala ya juma hili. Tutakuwa na Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

Sehemu ya I: Kwanini ni muhimu kuwa na nidhamu ya kuweka akiba ya fedha

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Jan 1, 2025 9:44

Heri ya mwaka mpya 2025 msikilizaji wa RFI Kiswahili popote pale unapotegea sikio matangazo yetu na hasa makala ya Gurudumu la Uchumi, ni imani yetu kuwa nyote mbuheri wa afya. Makala ya Gurudumu la Uchumi, tutajadili kuhusu nidhamu ya kuweka akiba ya fedha. Kuzungumzia hili msikilizaji kwenye line ya simu nimemualika Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi na biashara akiwa Tanzania.

Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [Sehemu ya sabini na sita)

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 23, 2024 55:32

Karibu ungane nami Mtangazaji wako Martin Joseph, katika kipindi cha Amka na Mama ambapo ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali zikituongoza kuanza siku yetu mpya, tumuimbie Bwana katika roho na kweli.   L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [Sehemu ya sabini na sita) proviene da Radio Maria.

Dr Boaz Mkumbo
Ugonjwa Wa Shinikizo La Damu. Sehemu ya 1

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Dec 2, 2024 66:16

Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. . Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi,  bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994.   Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

Dr Boaz Mkumbo
Ugonjwa wa Shinikizo la Damu. Sehemu ya 2

Sehemu ya 2 ya mahojiano na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa - Viuavijiumbe maradhi/Tabianchi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 1, 2024 6:25

Mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA79, umekunja jamvi jana Jumatatu ambapo viongozi wa Dunia walikusanyika hapa New York kwenye Umoja wa Mataifa na kujikita na mada kadha wa kadha, katika sehemu hii ya pili ya mahojiano na mmoja wa washiriki wa mjadala huo waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa -Majaliwa. Flora Nducha ameangazia mbili kati ya mada kuu 4 zilizopewa uzito, Ambayo ni usugu wa dawa na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi.

Habari za UN
ECW yarejesha matumaini kwa msichana Fatima wa Nigeria

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 9, 2024 3:12

Alipokuwa na umri wa miaka 10 mnamo mwaka 2015, Fatima na familia yake walilazimika kutoroka nyumbani kwao Konduga, ili kuepuka mashambulizi kutoka kwa makundi yenye silaha. Konduga iko kilomita 25 kusini mashariki mwa mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria.Familia ya Fatima haikuwa na namna ya kumuandikisha katika shule yoyote rasmi. Alitumia muda wake mwingi kuuza chakula.Shukrani kwa usaidizi wa mfuko wa kimatifa wa elimu haiwezi kusubiri yaani Education Cannot Wait (ECW) na wadau wake wa kimkakati, Fatima sasa amesajiliwa katika mpango mesto unaolenga kuwapa elimu wasichana walio nje ya shule.Msichana huyu ni mmoja wa walengwa 250 wa programu ya miezi mitano ya kusoma, kuandika na kuhesabu, ambayo imemwezesha kusoma kwa lugha ya Kihausa na hata kuandika jina lake kama anavyoeleza."Niliingia katika shule ya ufundi baada ya kusikia kuihusu wakati nilipokuwa nimeenda kuuza chakua. Mara moja nilihifadhi kile nilichoenda kuuza kisha nikajiandikisha jina langu. Wale ambao tulikuwa hatuendi shule tulitambuliwa na kuchaguliwa. Tulifundishwa jinsi ya kusoma na kuandika. Kabla hapo nilikuwa siwezi hata kuandika jina langu.”Sehemu ya pili ya programu hii mseto ilihusisha kipengele cha ufundi ambapo wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi hupata mafunzo ya ufundi kwa muda wa miezi mitatu. Mpango unaotekelezwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, Norwegian Refugee Council (NRC) na Save the Children."Pia, sasa ninajua namba, na ninaweza kupima watu  ninaposhona." Anasema Fatima ambaye katika kipengengele cha ufundi yeye amechagua ushoni wa nguo.Mpango huu tayari umewanufaisha wasichana balehe 600 tangu kuanzishwa kwake, na kuwapa vifaa vya kuanzia na ujuzi wa kujitegemea. Fatima naye ana matumaini.“Nataka kujifunza stadi hii ili niwahishimishe wazazi wangu na wawe na furaha. Nikimaliza kujifunza nataka kuwa mtu wa kuwashonea ndugu zangu nguo.”Kama ambavyo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anatoa wito kwa nchi zote kuwekeza katika elimu na kufanya juhudi za kila namna kulinda elimu na maeneo ya kusomea, kulinda wanafunzi na walimu,  Mkurugenzi Mtendaji wa Education Cannot Wait (ECW) Yasmine Sherif, anaeleza namna ambavyo mfuko wa kimatifa wa elimu haiwezi kusubiri umejizatiti kuendelea kuiunga mkono elimu kote duniani wakati huo akitoa wito kwa kila anayeweza kuwaongezea nguvu afanye hivyo."Kuna ustahimilivu na watoto hawa wamepitia kiwewe na mambo mengi. Ni lazima tuwepo kwa ajili yao, na tunaweza kuona matokeo. Tunatazamia kuufanya tena mpango huu mwaka katika mwaka huu, tunatarajia kufanya hivyo kwa takribani dola milioni 15, kama sio zaidi. Ikiwa nyinyi nyote mtakuja na kutusaidia kuongeza."

SBS Swahili - SBS Swahili
Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 13, 2023 10:23

Ni nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.

Habari za UN
Bahari ni sehemu ya suluhisho la matatizo lukuki katika jamii - FAO

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 7, 2023 0:02

Wakati dunia ikijiandaa kuadhimisha siku ya habari duniani hapo kesho Juni nane shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO limesema ni vyema jamii kuzingatia afya ya baharí kwani umuhimu wake kamwe hauwezi kupuuzwa.Bahari, ni makazi ya asilimia 80 ya majani ya wanyama, ambayo yanatumika kama chanzo muhimu cha wananchi kujipatia riziki na pia lishe kwa mamilioni ya watu ulimwenguni.Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Rasilimali za Uvuvi na Ufugaji wa samaki kutoka FAO Manuel Barange, anasema kwa utajiri uliopo baharini, “Hakuna tatizo hata moja ambalo tunalo ulimwenguni iwe kwenye mabadiliko ya tabianchi, umasikini au uhakika wa chakula ambalo linaweza kutatuliwa bila kuzingatia baharí kama sehemu ya suluhisho” Manuel anasema kwa sasa zaidi ya watu milioni 800 wameathiriwa na njaa kote ulimwenguni, vyakula vya baharini vilivyo sheheni lishe ya hali ya juu ni suluhisho la kushughulikia njaa na utapiamlo, “Ufugaji wa samaki umekuwa mfumo wa uzalishaji wa chakula unaokua kwa kasi zaidi katika kipindi cha  miongo mitano iliyopita. Ulaji pia wa vyakula vya majini umekuwa ukiongezeka maradufu ya kiwango cha ongezeko la watu katika miongo ya hivi karibuni.”Katika kuhakikisha kila nchi inajitosheleza na kuweza kuhimili ongezeko la uhitaji wa vyakula vya majini FAO inahamasisha utekelezaji wa mkakati wa Mabadiliko ya Buluu Blue Transformation unaolenga kuimarisha mifumo ya vyakula vya majini katika kulisha idadi ya watu inayoongezeka duniani kwa kutoa mifumo ya kisheria, sera na usaidizi wa kiufundi inayohitajika ili kuendeleza ukuaji na uvumbuzi, “Mpango wa Mabadiliko ya Bluu ni dira kutoka FAO ambayo imeanza na kanuni mbili kubwa. Kwanza ni kukubali kwamba vyakula vya majini ni sehemu ya suluhisho la njaa na utapiamlo. Pili ni utambuzi kwamba mabadiliko yanafanyika hata bila sisi kufanya lolote.”Mpango wa Mabadiliko ya Buluu umependekeza msururu wa hatua zilizoundwa kusaidia ustahimilivu katika mifumo ya chakula cha majini na kuhakikisha uvuvi na ufugaji wa samaki unakuwa kwa njia endelevu huku hakuna mtu anayeachwa nyuma, hususan jamii zinazotegemea sekta hiyo.Masuala mengine yanayoangaziwa na mabadiliko hayo ni pamoja na sera na desturi zinazofaa kwa mabadiliko ya tabianchi na mazingira, pamoja na ubunifu wa kiteknolojia.

SBS Swahili - SBS Swahili
Mercy "hatuhisi faida zakuwa sehemu ya jumuiya yamadola"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 11, 2023 10:04

Sherehe yakutawazwa kwa Mfalme Charles lll ilishuhudiwa na mamilioni yawatu kote duniani.

sehemu sherehe