Podcasts about sikiliza

  • 37PODCASTS
  • 297EPISODES
  • 13mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Jun 12, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about sikiliza

Latest podcast episodes about sikiliza

Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jun 12, 2026 9:54


Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali 

muziki sikiliza
Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jun 12, 2026 9:54


Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali 

muziki sikiliza
SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng Ep111 Jinsi yakupata huduma bomba zako nyumbani zikiwa na tatizo

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 22, 2026 11:04


Je, unajua jinsi yakuomba msaada kwa Kiingereza bomba zako nyumbani zikipata tatizo?Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapaBonyeza hapo juu kwa mafunzo ya Kiingereza chepesi, kuhusu namna ya kuzungumza kuhusu bomba ambazo zina matatizo nyumbani kwako.

bomba zako jinsi sikiliza nyumbani
Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Jedwali ya Elementi

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Dec 23, 2025 13:40


Sikiliza au tazama video hii ujue mengi kuhusiana na jedwali la elementi

elementi sikiliza
Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Chembe Chembe Ndogo Ndani Ya Atomi

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Dec 5, 2025 18:50


Ni vitu gani hupatikana ndani ya atomi? Sikiliza maelezo haya ya kiswahili ili uweze kujua zaidi

atomi sikiliza
Habari RFI-Ki
Vitendo vya utekaji nyara kuongezeka Afrika mashariki

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 10:03


Habari rafiki ya jumatano octoba 08 imeangazia vitendo vya utekaji nyara ambavyo vimeongezeka katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki, hivi karibuni nchini Uganda wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya walikamatwa baada ya kuhudhuria mkutano wa kisiasa wakati nchini Tanzania, aliyekuwa balozi wa nchi hiyo huko Cuba Humphrey Polepole alitekwa na watu wasiojulikana na mpaka sasa hajulikane alipo. Sikiliza makala hii kupata mengi zaidi

Habari RFI-Ki
Vitendo vya utekaji nyara kuongezeka Afrika mashariki

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 10:03


Habari rafiki ya jumatano octoba 08 imeangazia vitendo vya utekaji nyara ambavyo vimeongezeka katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki, hivi karibuni nchini Uganda wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya walikamatwa baada ya kuhudhuria mkutano wa kisiasa wakati nchini Tanzania, aliyekuwa balozi wa nchi hiyo huko Cuba Humphrey Polepole alitekwa na watu wasiojulikana na mpaka sasa hajulikane alipo. Sikiliza makala hii kupata mengi zaidi

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Akili Unde Na Masomo

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Aug 2, 2025 25:44


Je, AI inaharibu au kuboresha elimu ya juu? Mojawapo ya sekta zilizoathirika zaidi na ujio wa Artificial Intelligence (AI) ni sekta ya elimu, haswa katika vyuo vikuu. Kila siku, matumizi ya AI katika kufanya assignments, utafiti, na kujifunza yanazidi kuongezeka. Lakini hii ina maana gani kwa walimu, wanafunzi, na mfumo mzima wa elimu? Sikiliza podcast hii ili ujue mawazo yangu kisha ushiriki maoni yako.

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Akili Unde Na Kazi

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Jul 25, 2025 15:46


Je, hatima ya kazi zetu katika enzi hii mpya ya Akili unde ni ipi? Sikiliza podcast hii ili uwezekujua manoi yangu.

Men. Men. Men. - The Podcast -
Mwanaume vs Talaka: Haki au Hadithi?

Men. Men. Men. - The Podcast -

Play Episode Listen Later Mar 25, 2025 97:34


Wanasema ndoa ni ndoto, lakini vipi ikiwa inageuka kuwa ndoto mbaya... na unaamka mahakamani?

kuna kwanza haki katika lakini sikiliza hadithi
Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Je, Kiswahili kinapendwa kweli?

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Jan 30, 2025 11:58


Ingawa kiswahili ni lugha ya tatu yenye wazungumzaji wengi Afrika, matumizi yake yanazidi kudidimia nchini Kenya. Sikiliza makala haya ujue mengi.

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Makala haya yanaangazia jinsi imani ya laana inavyoathiri maisha yetu, chanzo chake, na njia za kujikomboa kutoka kwa imani hii potovu. Sikiliza makala haya na yatakusaidia kuelewa vyema suala hili na kukupatia mtazamo mpya.

makala sikiliza
Siha Njema
Uzazi wa Mpango:Wanaume wajitolea kufanya upasuaji wa mirija -Vasektomia

Siha Njema

Play Episode Listen Later Dec 31, 2024 9:48


Vasectomy ni njia ya  kupanga uzazi ambayo  inahusisha upasuaji wa mshipa unaopitisha mbegu za kiume, ili mme asiweze kumpachika mke mimba. Ni njia ya upangaji uzazi ya milele.Na pengine unajiuliza hili linafanyiikaje na ina athari gani kwenyen afya ya mwanaume ?Sikiliza makala haya

Radio Maria Tanzania
Sikiliza tafakari ya Injili ilivyoandikwa na Luka 19:1-10.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 21, 2024 25:12


karibu katika kipindi cha Tafakari Nasi, Mwezeshaji ni Padre John Bosco kutoka Jimbo Kuu la Dar es salaam, leo anatutafakarisha juu ya Injili ya Luka 19:1-10. L'articolo Sikiliza tafakari ya Injili ilivyoandikwa na Luka 19:1-10. proviene da Radio Maria.

dar radio maria sikiliza injili
Radio Maria Tanzania
Sikiliza shuhuda za matumizi ya Nishati safi ya kupikia.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 30, 2024 19:06


Karibu katika kipindi cha Jinsia na maendeleo katika kipindi hiki tutasikiliza shuhuda za wananchi juu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia pamoja na madhara ya kutumia nishati chafu. L'articolo Sikiliza shuhuda za matumizi ya Nishati safi ya kupikia. proviene da Radio Maria.

safi radio maria karibu sikiliza matumizi
Radio Tambua
Jinsi ya Kutambua Mafunzo Mapotovu

Radio Tambua

Play Episode Listen Later Sep 6, 2024 26:48


Katika Kipindi hiki, Esther Mwikali kutoka Biblia Husema Radio anamhoji Wanjiru Ng'ang'a ambaye ni mratibu wa Project Priscilla chini ya ACFAR Kenya. Esther anammuuliza Wanjiru baadhi ya maswali yakiwemo jinsi ambavyo wakristo wanaweza kutambua mafunzo potovu na vile ambavyo wanafaa kufanya baada ya kutambua ya kwamba wamekua wakifuata manabii au makanisa ya uongo. Sikiliza kipindi hiki ili uweze kuelewa jinsi ambavyo utambuzi wa kibiblia ni dawa dhidi ya udanganyifu.

jinsi sikiliza
Men. Men. Men. - The Podcast -
Nafsi Yangu Ina Amani

Men. Men. Men. - The Podcast -

Play Episode Listen Later Aug 6, 2024 108:12


Nafsi Yangu Ina Amani Katika dunia ambayo inashangalia ukamilifu wa mwanaume, dunia ambayo bado haiko tayari kuzungumzia kwa kina juu ya afya ya akili ya mwanaume, dunia ambayo mwanaume anayepitia changamoto za afya ya akili bado anatengwa na kuonekana mtu asiyefaa kushirikishwa na jamii yake, Sunday Kapesi anapambana kubadilisha hayo. Toka safari yake ya kuondokewa na baba yake mzazi, kuanza kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na kupata urahibu, kuweza kumuangalia mama yake na ndugu zake usoni na kukiri kwamba anahitaji msaada, na kuamua kwenda “rehab” ili aweze kupambana na urahibu huo, Sunday haachi simulizi yeyote kwenye mazungumzo haya. Kama baba, kama mtoto, kama kaka, na kama mtu ambaye ana ndoto za kuisaidia na kuiokoa jamii yake, Sunday anaongea na sisi ni namna gani ni rahisi mno kwa mtu yeyote, hususani mwanaume kuingia kwenye urahibu, lakini pia anatutia moyo kwamba kila tatizo bado linauwezo wa kutatuliwa. Ilimchukua muda kiasi gani kwa Sunday kupambania afya yake ya akili mpaka kufikia hatua ya kuweza kupata “amani kwenye nafsi yake”?  Sikiliza kiundani mazungumzo haya ili na wewe uweze kufahamu kwamba haijalishi unapitia magumu kiasi gani, siku zote kuna suluhisho la unayopitia, na linaweza kuwa suluhisho bora ambalo litajenga zaidi afya yako ya akili na kukufanya uwe bora zaidi ya jana. Pambana kuipa nafsi yako amani

kama toka sikiliza
Men. Men. Men. - The Podcast -
Ijue Sifuri Yako (Part 2)

Men. Men. Men. - The Podcast -

Play Episode Listen Later Jul 23, 2024 74:09


Baada ya kuzungumza naye katika sehemu ya kwanza, Bwana Ng'winula Kingamkono au maarufu zaidi kama #Unu wa Tunzaa anarejea tena katika Podcast yetu kwa sehemu ya pili na ya mwisho kwa sasa. Safari hii Unu anaendelea kutupa ujuzi na uzoefu wake katika kuanzisha, kusimamia na kuendesha biashara ya “StartUp” yake Tunzaa. Kumbuka, Unu hakuanzia hapa. Anaongea na Michael Baruti na Nadia Ahmed kuhusu maana ya mafanikio, maumivu aliyopitia, kitu anachojivunia na namna pia kwa upande mwingine kuwa baba kumekuja kuwa jambo bora na funzo bora sana kwake kama mwanaume, kaka, mtoto wa kwanza na zaidi ya yote kama mfanyabiashara. Na swala ambalo bado analilisitiza kwetu sote ni kuijua sifuri yetu. Je, wewe unaijua sifuri yako? Unajua ulipoanzia? Unajivunia safari yako? Sikiliza mazungumzo haya yenye mafunzo ya kutosha kwetu sote.

Dr Boaz Mkumbo
Ugonjwa wa kiskari unatibika. Sikiliza hapa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later May 9, 2024 35:27


karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 . Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikwa kwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 . Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

moja hapa karibu sikiliza ugonjwa
Habari RFI-Ki
Sikiliza maoni yako kwenye makala Habari Rafiki Mada huru

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Apr 26, 2024 10:00


Habari RFI-Ki
Sikiliza maoni yako kwenye makala Habari Rafiki Mada huru

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Apr 26, 2024 10:00


Radio Maria Tanzania
Sikiliza ufafanuzi wa Padre Amigu kuhusu Daraja ya Upadre.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 24, 2024 51:44


Karibu usikilize Kipindi cha Ujumbe wa Biblia na Padre Tutus Amigu Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Jimbo Kuu la Mwanza, ambapo katika Kipindi hiki anaendelea kufafanua juu ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ya Upadre, katika mada Kuu ya “kukoseana na kusameheana”. Mtangazaji ni Agatha Kisimba. L'articolo Sikiliza ufafanuzi wa Padre Amigu kuhusu Daraja ya Upadre. proviene da Radio Maria.

padre biblia radio maria karibu kuu mwanza sikiliza kipindi ujumbe chuo kikuu
Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Kiswahili Kitukuzwe - Misamiati Ya Rangi

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Jan 2, 2024 4:10


Kipindi hiki kitakupa tafsiri ya misamiati ya rangi kutoka kwenye lugha ya kimombo kuja kwenye lugha ya kiswahili. Sikiliza ili ujifunze mengi. Natumai kipindi hiki kitakufaa. Asante!

asante kiswahili rangi sikiliza kipindi
Siha Njema
Ugonjwa wa Utindio wa Ubongo almaarufu Celebral Palsy

Siha Njema

Play Episode Listen Later Dec 22, 2023 10:14


Ugonjwa unaofahamika kama Utindio wa ubongo au Cerebral Palsy kwa lugha ya kimombo ni ugonjwa unaoathiri ubongo, namara nyingi  unatokea kwa watoto na husababishwa wakati damu inapovuja kwenye ubongo au hakuna hewa yakutosha.Unaweza kutokea wakati Mtoto anapoanza kupoteza fahamu punde baada ya kuzaliwa au mwezi wa kwanza wa kuzaliwa.Vilevile Jeraha kwenye ubongo linaweza kusababisha matatizo ya kuongea na ugumu wa kufahamu mambo.Sikiliza makala haya kutambua zaidi kuhusu ugonjwa huu.

kenya uganda cerebral palsy palsy afya ubongo sikiliza unaweza ugonjwa
Habari RFI-Ki
Athari za Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 19, 2023 10:02


Mataifa mengi kama Tanzania, Burundi na DRC yamekabiliwa na athari za matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kuanzia kwa taarifa za uongo hadi jumbe za chuki hasa nyakati za uchaguzi.Na leo kwenye makala yetu tulitaka kujua iwapo unadhani mitandao ya kijamii inatumika kueneza propaganda? na nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya?Sikiliza 

tanzania burundi drc mataifa sikiliza matumizi
Habari RFI-Ki
Athari za Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 19, 2023 10:02


Mataifa mengi kama Tanzania, Burundi na DRC yamekabiliwa na athari za matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kuanzia kwa taarifa za uongo hadi jumbe za chuki hasa nyakati za uchaguzi.Na leo kwenye makala yetu tulitaka kujua iwapo unadhani mitandao ya kijamii inatumika kueneza propaganda? na nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya?Sikiliza 

tanzania burundi drc mataifa sikiliza matumizi
Habari RFI-Ki
Mkutano wa wanachama wa Ecowas wafanyika jijini Abuja nchini Nigeria

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 12, 2023 10:01


Viongozi wa nchi za Afrika Magharibi, wametoa masharti kwa nchi ya Niger kumuachia huru Rais Bazoum na kuindolea vikwazo nchi hiyo baada ya kukutana jijini Abiuja nchini Nigeria.Na kwenye makala yetu ya leo tulikuuliza iwapo Unadhani ECOWAS iko sahihi kuendelea kuweka vikwazo dhidi ya Niger, Mali na Burkina Faso?Sikiliza maoni ya baadhi ya wasiikilizaji wetu 

Habari RFI-Ki
Mkutano wa wanachama wa Ecowas wafanyika jijini Abuja nchini Nigeria

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 12, 2023 10:01


Viongozi wa nchi za Afrika Magharibi, wametoa masharti kwa nchi ya Niger kumuachia huru Rais Bazoum na kuindolea vikwazo nchi hiyo baada ya kukutana jijini Abiuja nchini Nigeria.Na kwenye makala yetu ya leo tulikuuliza iwapo Unadhani ECOWAS iko sahihi kuendelea kuweka vikwazo dhidi ya Niger, Mali na Burkina Faso?Sikiliza maoni ya baadhi ya wasiikilizaji wetu 

Siha Njema
Faida za mazoezi ya Yoga kwenye mwili wa mwanadamu

Siha Njema

Play Episode Listen Later Nov 16, 2023 10:00


Yoga ni mazoezi ya mwili yanayoongeza nguvu kwa misuli na kunyoosha  mifupa lakini pia yoga inalenga kuunganisha mwili, ufahamu, na akili kwa pamoja. Hivyo ni tofauti kabisa na aina nyingine za mazoezi.Sikiliza makala haya kwa ufahamu zaidi.

Habari RFI-Ki
Jumuiya ya Afrika mashariki kukutana jijini Arsuha juma lijalo

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 16, 2023 9:40


Wakati huu wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakitazamiwa kukutana juma lijalo, Jumuiya hiyo imeonekana kuendelea kushindwa kutatua mizozo inayoikumba nchi wanachama.Na kwenye makala yetu tumejadili mengi ikiwemo nini cha ziada kifanyike kuboresha utendakazi jumuiya hiyo.Sikiliza.

Habari RFI-Ki
Jumuiya ya Afrika mashariki kukutana jijini Arsuha juma lijalo

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 16, 2023 9:40


Wakati huu wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakitazamiwa kukutana juma lijalo, Jumuiya hiyo imeonekana kuendelea kushindwa kutatua mizozo inayoikumba nchi wanachama.Na kwenye makala yetu tumejadili mengi ikiwemo nini cha ziada kifanyike kuboresha utendakazi jumuiya hiyo.Sikiliza.

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Je, tafsiri ya neno 'climate' kwa kiswahili ni nini?

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Nov 1, 2023 2:27


Sikiliza hii podcast ili iweze kujifunza tafsiri ya neno 'climate'. Asante

Binti Wa Yesu
EP 6: Christian Single Woman Must Haves | STANDARDS.

Binti Wa Yesu

Play Episode Listen Later Oct 31, 2023 8:33


Mrembo, ni kwa namna gani unapima ubora wa hali unazoruhusu katika maisha yako, au ni ubora upi unazingatia juu ya aina ya watu unaowapa nafasi (access) katika maisha yako kwa ukaribu? Je, unazingatia viwango vya ubora wanaobeba watu hawa au bora liende? Je, unatafakari juu ya athari/matokeo ya kuvumilia/kuruhusu hali (experiences) hizo au watu hao katika maisha yako? Unajua kwanini unahitaji kuwa na viwango kama mrembo wa Kristo? Sikiliza episode hii kujua. Happy listening

Dr Boaz Mkumbo
unapata maumivu makali ya viungo na mwili kukosa nguvu? sikiliza hapa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Oct 13, 2023 1:07


Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

moja hapa nguvu sikiliza
Binti Wa Yesu
EP 4: Christian Single Woman Must Haves | HEALING.

Binti Wa Yesu

Play Episode Listen Later Oct 5, 2023 7:25


As a human being tunapitia maumivu ya aina mbalimbali ikiwamo yale ya kihisia & kiakili. Kupitia episode hii, nitakujuza kwanini ni muhimu kupona maumivu haya na unaweza kuchukua hatua ya kupona. Pia ninayo ofa maalum kwaajili yako mrembo wa Kristo

Nyumba ya Sanaa
Muziki wa Kigoma

Nyumba ya Sanaa

Play Episode Listen Later Sep 30, 2023 20:11


Sikiliza makala haya yalioandaliwa naye Steve Mumbi

tanzania muziki sikiliza
Dr Boaz Mkumbo
Sikiliza shuhuda hizi kutoka katika mitandao yetu ya kijamii.

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Sep 20, 2023 4:07


katika sikiliza yetu
Dr Boaz Mkumbo
unachangamoto ya kupoteza kumbukumbu? sikiliza hapa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Sep 6, 2023 0:32


Ili kupata GETFINE DHEA wasiliana nasi kwa simu namba 0787 030 160   Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +255787 999 994   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

Dr Boaz Mkumbo
Je, unajua kama unaweza kuimarisha meno yako kwa kutumia XYLITOL? sikiliza hapa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Aug 29, 2023 1:51


katika epsod hii, utajifunza kuhusu umuhimu wa kutumia xylitol, bidaa inayopatikana kwa  Dr. Boaz Kitchen inayomfaa mtu yoyote mwenye m,agonjwa ya lishe katika mapishi mbalimbali Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

Dr Boaz Mkumbo
kwanini mwanamke habebi ujauzito? sikiliza hapa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Aug 28, 2023 3:44


katika epsodi hii utajifunza juu ya sababu ya mwanamke kushindwa kubeba ujauzito japokuwa anapata hedhi kila mwezi  Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

moja hapa mwanamke sikiliza
Dr Boaz Mkumbo
kama unamatatizo ya mishipa ya damu. sikiliza hapa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Aug 22, 2023 0:29


Je mishipa yako ya damu imeziba na damu haipiiti vizuri. tumia  GET FINE OMEGA 3 ndio suluhisho lako.   Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

Dr Boaz Mkumbo
juisi ya matunda sio salama kiafya. sikiliza hapa kwa elimu zaidi

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Aug 15, 2023 4:35


Katika Episode hii utajifunza kuhusu umuhimu wa kula tunda kama lilivyo bila kutengeza juisi yake.  Kwa matibabu na ushauri  WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

salama zaidi kwa hapa elimu sikiliza
Binti Wa Yesu
EP 2: Christian Single Woman Must Haves | IDENTITY.

Binti Wa Yesu

Play Episode Listen Later Aug 8, 2023 8:32


Utambulisho wako kama mrembo wa Kristo unatokana na nini? Je, ni uzuri na urembo wako? Ni ujuzi wako? Ni familia uliyozaliwa? Ni hadhi ya kielimu, kifedha? Sikiliza episode hii kujua hasa UTAMBULISHO wako unatokana na nini na kwanini ni muhimu ukafahamu chanzo cha UTAMBULISHO wako. Happy Listening ☺️ --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message

Dr Boaz Mkumbo
Unazijua hatua za ugonjwa wa kisukari? Sikiliza hapa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jul 25, 2023 2:44


Katika Episode hii utajifunza kuhusu hatua za ugonjwa wa kisukari na dalili zake.  Kwa matibabu na ushauri  WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/              

kwa hapa hatua sikiliza ugonjwa
Muziki Ijumaa
Sikiliza Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jul 22, 2023 9:59


Juma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.

tanzania juma muziki sikiliza ufaransa ali bilali
Muziki Ijumaa
Sikiliza Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jul 22, 2023 9:59


Juma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.

tanzania juma muziki sikiliza ufaransa ali bilali
ROAD TO SUCCESS
UNACHOKIONA NI KIDOGO

ROAD TO SUCCESS

Play Episode Listen Later Jan 25, 2023 11:12


Ukijifunza kuona bila macho utaweza kuona makubwa zaidi. Sikiliza mpaka mwisho.

sikiliza
ROAD TO SUCCESS
START 2023 STRONG

ROAD TO SUCCESS

Play Episode Listen Later Jan 10, 2023 14:04


Jinsi ya kuanza Mwaka Kwa nguvu. Fanya yafuatayo. Sikiliza hii Kabla January kuisha

jinsi sikiliza
Habari RFI-Ki
Mataifa ya Afrika yazidi kukopa fedha kutoka mataifa ya Magharibi.

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 20, 2022 10:00


Nchi za Afrika zimezidi  kukopa kutoka kwa shirika la fedha duniani IMF ,vilevile Rais wa Ghana amewataka viongozi wa Afrika kuacha kuomba  mikopo  kutoka kwa nchi za Magharibi. Tumekuuliza Kwa nini unafikiri Afrika inahitaji mikopo zaidi?  je, nini athari za mikopo hii kwa uchumi?Sikiliza makala habari rafiki kwa mengi zaidi

ghana afrika imf rais yazidi nchi mataifa sikiliza marekani fedha magharibi
MAELEZO PODCASTS
Sikiliza simulizi za Daraja la Sibiti katika mpaka wa Singida-Simiyu!

MAELEZO PODCASTS

Play Episode Listen Later Mar 3, 2022 11:54


katika sikiliza singida