Mimi Na Wewe

Follow Mimi Na Wewe
Share on
Copy link to clipboard

Mimi na wewe is a Swahili words means "Me and You" We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.

Ayubu Chewale


    • Dec 1, 2022 LATEST EPISODE
    • infrequent NEW EPISODES
    • 9m AVG DURATION
    • 8 EPISODES


    Search for episodes from Mimi Na Wewe with a specific topic:

    Latest episodes from Mimi Na Wewe

    mambo jambo mwanzo mpya

    Play Episode Listen Later Dec 1, 2022 1:47


    leo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message

    Upendo

    Play Episode Listen Later Sep 6, 2020 11:02


    Upendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message

    Michezo

    Play Episode Listen Later Aug 15, 2020 10:17


    Mpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message

    Watu wanaopenda kujidai wanawajua watu wengine zaidi ya yao vile wanavyojijua

    Play Episode Listen Later Aug 15, 2020 5:38


    Kuna watu wao wamekaaga kujidai kuwa wao wanawajua watu fulani zaidi hata ya wale watu wanavyojijua wao wenyewe, ni tabia mbaya na inayokosa nidhamu kwa watu wengine ungana nami tukiwaongelea watu hao --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message

    Namna ya kukuza/ongeza thamani yako

    Play Episode Listen Later Dec 30, 2019 16:28


    Ni namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message

    2020 nini matarajio yetu?

    Play Episode Listen Later Dec 28, 2019 4:24


    Ikiwa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa na kutazamia kwenda kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, je kuna mabadiliko tunayoweza kuyarajia? Tume huru ya uchaguzi yaweza kupatikana? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message

    Uhuru kwako wewe una maana gani?

    Play Episode Listen Later Dec 8, 2019 12:28


    Leo ni miaka 58 ya uhuru wa Tanzania bara (Tanganyika) ambapo tunaangalia uhuru wa mambo 4 kwa wajasiriamali, kwao wao uhuru ni kitu gani, ungana nami kusikiliza nilichokiandaa leo --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message

    Umuhimu wa fedha katika biashara yako

    Play Episode Listen Later Dec 7, 2019 14:27


    Fedha ndiyo mfalme katika biashara yako. Bila fedha huwezi kusonga na kufika mbali. Ungana nami leo ninapo ongelea maeneo saba (7) yanayosababisha maumivu katika biashara na namna ya kukabiliana nayo na kuyazuia --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message

    Claim Mimi Na Wewe

    In order to claim this podcast we'll send an email to with a verification link. Simply click the link and you will be able to edit tags, request a refresh, and other features to take control of your podcast page!

    Claim Cancel