Podcasts about ungana

  • 23PODCASTS
  • 667EPISODES
  • 35mAVG DURATION
  • 5WEEKLY NEW EPISODES
  • Feb 16, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about ungana

Latest podcast episodes about ungana

Radio Maria Tanzania
Ifahamu sheria ya kanuni za adhabu kwa mtoto?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 16, 2026 55:24


Ungana nami Mtangazaji wako Elizabeth Masanja katika kipindi cha Walinde Watoto, Mwezeshaji Wakili Gabriel Lukas kutoka Chuo Kikuu Kikatoliki Mwenge Jimbo Katoliki Moshi akitufundisha juu ya Sheria zinazo mlinda mtoto Tanzania. L'articolo Ifahamu sheria ya kanuni za adhabu kwa mtoto? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Bikira Maria na Mtakatifu Yosefu kama Baba na Mama katika malezi ya mtoto.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 16, 2026 57:49


Ungana nami Mtangazaji wako Martn Jseph katika kipindi cha Walinde Watoto, Mwezeshaji Padre Peter Siamo kutoka Chuo Kikuu Kikatoliki Mwenge Jimbo Katoliki Moshi akitufundisha juu ya Mama Bikira Maria na Mtakatifu Yosefu ndani ya malezi ya watoto. L'articolo Bikira Maria na Mtakatifu Yosefu kama Baba na Mama katika malezi ya mtoto. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu sheria zinazo mlinda mtoto juu ya matuzi ya mtandao.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 16, 2026 58:14


Ungana nami Mtangazaji wako Catherine Kaberege katika kipindi cha Walinde Watoto, Wawezeshaji ni Wakili Msomi Padre Apolinar Msaki pamoja nae Wakili Msomi Gabriel Lukas kutoka Chuo Kikuu Kikatoliki Mwenge Jimbo Katoliki Moshi akitufundisha juu ya Sheria zinazo mlinda mtoto Tanzania. L'articolo Fahamu sheria zinazo mlinda mtoto juu ya matuzi ya mtandao. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu utaratibu uliowekwa juu ya ulizi wa mtoto

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 16, 2026 59:12


Ungana nami Mtangazaji wako Joyce Jonatus katika kipindi cha Walinde Watoto, Wawezeshaji ni Wakili Msomi Padre Apolinar Msaki pamoja nae Wakili Msomi Gabriel Lukas kutoka Chuo Kikuu Kikatoliki Mwenge Jimbo Katoliki Moshi akitufundisha juu ya Sheria zinazo mlinda mtoto Tanzania. L'articolo Fahamu utaratibu uliowekwa juu ya ulizi wa mtoto proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu sheria ya ndoa na ulinzi wa mtoto.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 16, 2026 59:57


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Walinde Watoto, Mwezeshaji ni Wakili Msomi Gabriel Lukas kutoka Chuo Kikuu Kikatoliki Mwenge Jimbo Katoliki Moshi akitufundisha juu ya Sheria zinazo mlinda mtoto Tanzania. L'articolo Fahamu sheria ya ndoa na ulinzi wa mtoto. proviene da Radio Maria.

tanzania radio maria sheria ndoa fahamu ungana
Radio Maria Tanzania
Siyo kila Padre au Mlei anaruhusiwa kutoa mapepo bali wale wenye kibali maalum

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 10, 2026 57:11


Ungana nami Mtangazaji wako Catherine Kaberege katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtalaam wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia akiendelea kujibu Maswali ya Msikilizaji na moja ya Maswali hayo ni Je Mapdre wa Kanisa Katoliki wanaruhusiwa […] L'articolo Siyo kila Padre au Mlei anaruhusiwa kutoa mapepo bali wale wenye kibali maalum proviene da Radio Maria.

bali padre biblia wale kila radio maria ungana maswali ujumbe chuo kikuu
Radio Maria Tanzania
Mtu ambae hajui vizuri neno la Mungu basi hamjui Kristo.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 59:45


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya neno la Mungu. L'articolo Mtu ambae hajui vizuri neno la Mungu basi hamjui Kristo. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu namna ya kupeleka upendo kwa Masikini

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 54:11


Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitufundisha juu ya upendo kwa maskini. L'articolo Fahamu namna ya kupeleka upendo kwa Masikini proviene da Radio Maria.

pp radio maria fahamu ungana
Radio Maria Tanzania
Tambua kua umasikini si tukukosa chakula.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 57:24


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitufundisha juu ya upendo kwa maskini. L'articolo Tambua kua umasikini si tukukosa chakula. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu upendo wa Mungu ulipo.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 51:26


Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitufundisha juu ya upendo kwa maskini. L'articolo Fahamu upendo wa Mungu ulipo. proviene da Radio Maria.

pp mungu radio maria fahamu ungana
Radio Maria Tanzania
Tambua nafasi ya neno la Mungu katika utume wa Kanisa na maisha ya kila mmoja

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 57:46


Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya Neno la Mungu L'articolo Tambua nafasi ya neno la Mungu katika utume wa Kanisa na maisha ya kila mmoja proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu maandalizi yakufuata kabla ya kusoma neno la Mungu

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 59:15


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya neno la Mungu. L'articolo Fahamu maandalizi yakufuata kabla ya kusoma neno la Mungu proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Mwaka wa kanisa na uwepo wa Mungu

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 58:44


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph  katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya mwaka wa Kanisa. L'articolo Mwaka wa kanisa na uwepo wa Mungu proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ijue Dominika ya neno la Mungu

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 56:07


Ungana nami Mtangazaji wako Catherine Kaberege katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya neno la Mungu. L'articolo Ijue Dominika ya neno la Mungu proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu Kanisa linavyomwanzimisha Kristo katika maadhimisho yake

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 59:31


Ungana nami Mtangazaji wako Peter Alphaxad katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya mwaka wa Kanisa. L'articolo Fahamu Kanisa linavyomwanzimisha Kristo katika maadhimisho yake proviene da Radio Maria.

kristo radio maria katika yake kanisa fahamu ungana maadhimisho
Radio Maria Tanzania
Je wafahamu Noeli huisha baada ya muda gani?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 53:08


Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitufundisha juu ya Epifania. L'articolo Je wafahamu Noeli huisha baada ya muda gani? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je wajua kwanini nyumba za wakatoliki zinakua na namba juu ya mlango

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 55:26


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph  katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akiendelea na mafundisho juu ya Epifania. L'articolo Je wajua kwanini nyumba za wakatoliki zinakua na namba juu ya mlango proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu mafundisho juu ya Epifania na chanzo chake

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 9, 2026 50:35


Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitufundisha Tafakari juu ya Epifania. L'articolo Fahamu mafundisho juu ya Epifania na chanzo chake proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu matumizi sahihi ya chumvi na sukari katika lishe

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 3, 2026 52:01


Ungana nami Mtangazaji wako Catherine Kaberege katika kipindi chetu pendwa cha chakula na lishe ambapo leo studio nipo na Bi. Nusura Salum, Afisa Lishe Mtafiti kutoka Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TFNC), akiendelea kutoa ufafanuzi zaidi juu yamatokeo hasi na chanya ya Chumvi na Sukari katika Lishe. L'articolo Fahamu matumizi sahihi ya chumvi na sukari katika lishe proviene da Radio Maria.

bi radio maria katika sukari fahamu matumizi ungana
Radio Maria Tanzania
Fahamu Waraka wa Baba Mtakatifu Leo XIV juu ya upendo kwa maskini

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 3, 2026 46:40


Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitufundisha juu ya upendo kwa maskini. L'articolo Fahamu Waraka wa Baba Mtakatifu Leo XIV juu ya upendo kwa maskini proviene da Radio Maria.

baba pp radio maria fahamu ungana
Habari RFI-Ki
Marekani yapiga marufuku kwa raia kutoka mataifa kadhaa kuingia ardhi yake

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 18, 2025 10:01


Makala hii imeangazia hatua ya hivi karibuni ya rais wa marekani Donald Trump ya kuongeza orodha mpya ya mataifa zaidi yakiwemo ya Afrika ikiwemo Tanzania,  ambayo raia wake wanazuiwa kuingia Marekani, tumekuuliza Je? hatua hii ni ya kibaguzi ama inalenga kuulinda usalama wa Marekani? Na kwa mtazamo wako Hatua hii Ina maana gani? Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata maoni ya wasikilizaji

Habari RFI-Ki
Marekani yapiga marufuku kwa raia kutoka mataifa kadhaa kuingia ardhi yake

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 18, 2025 10:01


Makala hii imeangazia hatua ya hivi karibuni ya rais wa marekani Donald Trump ya kuongeza orodha mpya ya mataifa zaidi yakiwemo ya Afrika ikiwemo Tanzania,  ambayo raia wake wanazuiwa kuingia Marekani, tumekuuliza Je? hatua hii ni ya kibaguzi ama inalenga kuulinda usalama wa Marekani? Na kwa mtazamo wako Hatua hii Ina maana gani? Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata maoni ya wasikilizaji

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Rais Kagame aishutumu DRC kwa kuchelewesha amani, uchaguzi mdogo Kenya

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Nov 29, 2025 20:08


Rais wa Rwanda Paul Kagame atuhumu DRC kwa kuchelewesha mchakato wa kumaliza vita mashariki mwa DRC, uchaguzi mdogo nchini Kenya wafuatiwa na kushambuliwa kwa mbunge wa HomaBay Town Peter Kaluma, mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea Bissau, rais wa Marekani Donald Trump asema anapanga kuzuia raia kutoka Nchi zinazoendelea kuingia nchini Marekani,tutaenda Israeli, na maeneo mengine duniani…hayo ni miongoni mwa mengi utakayosikia. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka, kusikiliza zaidi

Habari RFI-Ki
Vitendo vya utekaji kuongezeka Nigeria na baadhi ya nchi za Afrika ya kati

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 24, 2025 10:01


Msikilizaji juma lililopita watu wenye silaha waliwateka wanafunzi zaidi ya 300 pamoja na waalimu katika shule moja kwenye jimbo la Niger nchini Nigeria, tukio linalojiri siku chache tangu kutekwa kwa wanafunzi wengine 25 katika shule ya wasichana kwenye jimbo la Kebbi pia huko Nigeria. Vitendo vya utekaji wa watoto vinazidi kuongezeka katika nchi za Afrika magharibi na kati. Nini kifanyike kukomesha vitendo hivyo Afrika?Je taifa lako linashuhudia utekaji wa watoto? Ungana na Ruben Lukumbuka

nigeria afrika niger boko haram nini nchi kebbi baadhi vitendo ungana
Habari RFI-Ki
Vitendo vya utekaji kuongezeka Nigeria na baadhi ya nchi za Afrika ya kati

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 24, 2025 10:01


Msikilizaji juma lililopita watu wenye silaha waliwateka wanafunzi zaidi ya 300 pamoja na waalimu katika shule moja kwenye jimbo la Niger nchini Nigeria, tukio linalojiri siku chache tangu kutekwa kwa wanafunzi wengine 25 katika shule ya wasichana kwenye jimbo la Kebbi pia huko Nigeria. Vitendo vya utekaji wa watoto vinazidi kuongezeka katika nchi za Afrika magharibi na kati. Nini kifanyike kukomesha vitendo hivyo Afrika?Je taifa lako linashuhudia utekaji wa watoto? Ungana na Ruben Lukumbuka

nigeria afrika niger boko haram nini nchi kebbi baadhi vitendo ungana
Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na sita}

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 23, 2025 56:58


Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya ya Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.   L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na sita} proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na saba}

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 23, 2025 57:38


Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku mpya ya Bwana, hakika ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli.  L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na saba} proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Amka na Mama kipindi cha Kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na nane}

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 23, 2025 57:58


Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Amka na Mama ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali za kuanzisha siku ya Bwana, hakika kuimba ni kusali mara mbili njooni tumwimbie Bwana katika Roho na kweli. L'articolo Amka na Mama kipindi cha Kawaida cha mwaka {sehemu ya tisini na nane} proviene da Radio Maria.

Habari RFI-Ki
Mateka wa Israeli waliokuwa wanashikiliwa na Hamas waachiwa huru huko Gaza

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 13, 2025 10:04


Hivi leo viongozi wa dunia akiwemo rais wa Marekani, Donald Trump, wanakutana Misri kujadili mustakabali wa eneo la Gaza, baada ya makubaliano ya kihistoria ya wiki iliyopita. Makubaliano haya yameshuhudia kuachiwa kwa mateka, wafungwa na kusitishwa kwa vita vya Gaza. Tunakuuliza, unaamini makubaliano kati ya Hamas na Israel safari hii yatadumu?Nini cha zaidi kifanyike?Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka

Habari RFI-Ki
Mateka wa Israeli waliokuwa wanashikiliwa na Hamas waachiwa huru huko Gaza

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 13, 2025 10:04


Hivi leo viongozi wa dunia akiwemo rais wa Marekani, Donald Trump, wanakutana Misri kujadili mustakabali wa eneo la Gaza, baada ya makubaliano ya kihistoria ya wiki iliyopita. Makubaliano haya yameshuhudia kuachiwa kwa mateka, wafungwa na kusitishwa kwa vita vya Gaza. Tunakuuliza, unaamini makubaliano kati ya Hamas na Israel safari hii yatadumu?Nini cha zaidi kifanyike?Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka

Habari RFI-Ki
Tuzo ya nobeli kutolewa ijumaa wiki hii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 9:58


Msikilizaji kesho Ijumaa oktoba 10 kamati inayotoa tuzo za kimataifa za Nobel itamtangaza mshindi, wakati huu watu wengi wakiwa wamempendekeza rais wa Marekani Donald Trump kutokana na mchango wake wa kutafuta amani mashariki ya kati, hata hivyo wadadisi wanasema kiongozi huyo hawezi kupewa tuzo hiyo. Unafikiri ni Kiongozi gani anastahili kupewa tuzo hii mwaka huu na kwanini? Ungana nami Ruben Lukumbuka, mubashara kutoka studio namba mbili hapa karibu tuandamane hadi tamati.-

Habari RFI-Ki
Tuzo ya nobeli kutolewa ijumaa wiki hii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 9:58


Msikilizaji kesho Ijumaa oktoba 10 kamati inayotoa tuzo za kimataifa za Nobel itamtangaza mshindi, wakati huu watu wengi wakiwa wamempendekeza rais wa Marekani Donald Trump kutokana na mchango wake wa kutafuta amani mashariki ya kati, hata hivyo wadadisi wanasema kiongozi huyo hawezi kupewa tuzo hiyo. Unafikiri ni Kiongozi gani anastahili kupewa tuzo hii mwaka huu na kwanini? Ungana nami Ruben Lukumbuka, mubashara kutoka studio namba mbili hapa karibu tuandamane hadi tamati.-

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Hukumu ya kifo dhidi ya rais mstaafu wa DRC, kampeni za uchaguzi nchini Uganda

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Oct 4, 2025 20:01


Kumekuwa na hisia mseto kuhusu hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya rais mstaafu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila, uzinduzi wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwakani nchini Uganda, hali ya nchini Tanzania wakati huu wananchi wakijiandaa kushiriki uchaguzi wa oktoba 29 mwaka huu, maandamano ya vijana Gen Z nchini Madagascar, na mashambulio ya mjini Manchester Uingereza.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi 

Habari za UN
EAC yasisitiza usalama, uchumi na masuala ya kidijitali katika Mjadala Mkuu wa UNGA80

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 30, 2025 9:11


Kama unavyofahamu Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA80 umekunja jamvi rasmi  jana Jumatatu. Na tumepata fursa ya kuzungumza na washiriki mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, Veronica Nduva ambaye alizungumza na Flora Nducha kandoni mwa mjadala huo kuangazia mchango wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kutekeleza ajenda ya Umoja wa Mataifa ikiwemo masuala ya Amani na usalama, maendeleo na ushirikiano wa kikanda. Ungana nao.

kenya afrika kama umoja eac makala katika mataifa mkuu mashariki ungana
Habari RFI-Ki
Tume ya uchaguzi nchini Kenya yazindua zoezi la uandikishaji wapiga kura

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Sep 30, 2025 10:08


Makala ya habari rafiki ya jumatatu septemba 29 2025 imeangazia hatua ya tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC kuzindua zoezi la kuwaandika wapiga kura ambalo limeonekana kuwavutia vijana wengi, maarufu kama Gen Z.Tumekuuliza msikilizaji je? unaona vijana wote wako tayari kujiandikisha na katika nchi yako vijana wanahamasishwa vipi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka, kwa kutuma maoni ya sauti kupitia nambari yetu ya whatsApp: +254110000420 ama pia kupitia Facebook : RFI Kiswahili  

Habari RFI-Ki
Tume ya uchaguzi nchini Kenya yazindua zoezi la uandikishaji wapiga kura

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Sep 30, 2025 10:08


Makala ya habari rafiki ya jumatatu septemba 29 2025 imeangazia hatua ya tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC kuzindua zoezi la kuwaandika wapiga kura ambalo limeonekana kuwavutia vijana wengi, maarufu kama Gen Z.Tumekuuliza msikilizaji je? unaona vijana wote wako tayari kujiandikisha na katika nchi yako vijana wanahamasishwa vipi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka, kwa kutuma maoni ya sauti kupitia nambari yetu ya whatsApp: +254110000420 ama pia kupitia Facebook : RFI Kiswahili  

Habari za UN
Mradi wa MONUSCO kwa ushirikiano na PAMI waleta nuru kwa wakazi Nyiragongo, DRC

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 27, 2025 4:04


Kwa zaidi ya muongo mmoja, eneo la Nyiragongo lililoko jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) limekumbwa na hali ya kutokuwepo kwa utulivu wa kudumu kutokana na uwepo wa makundi yenye silaha. Maelfu ya familia wamekimbia makazi yao na watoto wengi kulazimishwa kujiunga na makundi hayo ya kijeshi. Kati ya mwaka 2024 na 2025, kuzuka upya kwa mapigano kunakohusishwa na kuibuka tena kwa waasi wa M23 kumeongeza zaidi hali ya hatari kwa wakazi wa eneo hilo, hasa watoto na vijana. Ili kuleta ahueni kwa wakazi, Umoja wa Mataifa umechukua hatua. Je ni zipi hizo? Ungana basi na Anold Kayanda kwenye makala hii.

congo drc pami m23 umoja ili kwa nuru monusco nyiragongo jamhuri mataifa ungana kidemokrasia wakazi
Habari za UN
UN80: Umoja wa Mataifa wajitathmini kwa ajili ya karne mpya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 25, 2025 3:02


Katika dunia inayokumbwa na migogoro inayoendelea kuongezeka, kupanuka kwa pengo la usawa, na kupungua kwa imani katika taasisi za kimataifa, Umoja wa Mataifa umeanzisha juhudi kabambe za kuboresha namna unavyowahudumia watu kote ulimwenguni. Mpango wa UN80, uliotangazwa mwezi Machi na Katibu Mkuu António Guterres, ni juhudi ya mfumo mzima inayolenga kurahisisha utendaji kazi, kuongeza ufanisi, na kuthibitisha tena umuhimu wa Umoja wa Mataifa katika dunia inayobadilika kwa kasi. Je nini nini kinatarajiwa katika mpango huo wa UN80? Ungana na Flora Nducha katika Makala hii

Habari za UN
Wazazi pelekeni watoto wenu kupata chanjo dhidi ya maradhi - Bi. Halfani

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 7, 2025 3:36


Katika Wiki ya Chanjo duniani, iliyotamatishwa tarehe 30 wiki iliyopita, mtaa wa Butiama, ulioko Mtoni Kijichi katika wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, nchini Tanzania ulishuhudia wazazi na walezi wakijitokeza kuwapatia watoto wao chanjo muhimu za kuwalinda dhidi ya maradhi hatari. Miongoni mwao ni  Hija Halfani ambaye alimpeleka mtoto wake mwenye umri wa siku 42 kupata chanjo yake ya kwanza. Je, ni mafanikio gani yamepatikana na kwa nini chanjo hizi ni muhimu? Ungana na Sharon Jebichii kwa makala hii iliyoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini  Tanzania.

dar tanzania unicef salaam umoja watoto mataifa ungana wazazi miongoni
Habari za UN
Bila mafunzo watu tutakuwa watumiaji tu wa AI na sio wanaufaika: Hassan Mhelela

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 2, 2025 5:12


Katika kuelekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani itakayoadhimishwa Jumamosi Mei 3 ambayo mwaka huu imebeba maudhui yanayoangazia athari za Akili Mnemba au AI katika uhuru wa habari na vyombo vya habari tunazungumza na mmoja wa wanahabari wa siku nyingi ili kufahamu AI inavyoleta mabadiliko katika tasnia ya habari na vyombo vya habari hususan Afrika Mashariki ambako pia pengo la kidijitali ni kubwa. Ungana na Flora Nducha  kwa undani zaidi katika makala hii.

ai tanzania bila katika watu afrika mashariki ungana
Habari za UN
UNICEF na wadau Kenya waelekea kufanikisha ndoto ya Sharlyne kuwa mwandishi wa habari

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 9, 2025 4:24


Kutana na Shalyne Kaputa, mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 16 kutoka kaunti ya Turkana, Kaskazini-Magharibi mwa Kenya. Tofauti na shangazi yake, ambaye hakuweza kuendelea na elimu  yake kutokana na kukosa karo, yeye anasoma elimu ya sekondari sasa ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mwandishi wa habari. Yote yanawezekana kutokana na mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa msaada wa shirika la Norway la Maendeleo NORAD na wadau wengine. Je ni usaidizi gani wanapatiwa? Ungana na Assumpta Massoi.

Habari za UN
Uongozi bora na matumizi bora ya rasilimali vitaikomboa Afrika kimaendeleo: Vijana Kenya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 4, 2025 3:22


Majadiliano ya siku mbili yanayofanyika kila mwaka ya será kuhusu maendeleo endelevu. Majadiliano hayo yanayokunja jamvi leo jijini Nairobi Kenya yameandaliwa na Club De Madrid na mwaka huu yakijikita na ufadhili wa maendeleo na kuwaleta pamoja wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wastaafu w anchi na serikali, wadau wa maendeleo na vijana. Stella Vuzo kutoka kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIS Nairobi amepata fursa ya kuzungumza na baadhi ya vijana wanaoshiriki mkutano huo wa club de Madrid je wanasemaje? Ungana nao katika makala hii

Habari za UN
Zanzibar tumetekeleza kwa vitendo azimio la Beijing: Waziri Riziki Pembe

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 21, 2025 5:39


Wakati mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani CSW69 ukifikia ukingoni mshiriki kutoka Zanzibar Tanzania ameweleza Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili kwamba Zanzibar imepiga hatua kubwa katika usawa wa kijinsia na utekelezaji kwa vitendo matakwa ya Azimio la Beijing la usawa wa kijinsia na hatua. Je wametekeleza vipi na hatua gani walizopiga? Ungana nao katika mahojiano haya.

beijing tanzania zanzibar makala kiswahili pembe wakati waziri wanawake vitendo ungana azimio
Habari za UN
Mradi wa FAO wa kulinda lishe ya wasiojiweza umekuwa mkombozi Turkana nchini Kenya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 26, 2025 4:00


Mradi unaoendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO, wa kulinda lishe ya wasiojiweza wakiwemo wajasiriamali wa bishara ndogodogo na za kati, wakulima wadogo wa matunda na mbogamboga, wafugaji  na wachuuzi wa samaki kama sehemu ya jitihada za kujikwamua baada ya janga la COVID-19 umeleta nuru kwa jamii mbalimbali ikiwemo katika kaunti ya Turkana Kaskazini Magharibi mwa Kenya na katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma. Je unawanufaisha vipi wakulima na kwa nini ni muhimu? Ungana na Flora Nducha katika makala hii kwa undani zaidi

Habari za UN
Mradi wa NICHE umekuwa mkombozi wangu, asante UNICEF: Leah Akiru

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 17, 2025 2:20


Mradi unaoendeshwa na serikali ya kenya  na kupigwa jeki na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambao ni wa kuboresha lishe kwa watoto kwa kugawa fedha taslim na elimu ya afya au NICHE (NISHI) umeleta nuru kwa wakazi wa Lokichar katika kaunti ya Turkana Kaskazini Mashariki mwa Kenya na miongoni mwa wanufaika ni Leah Akiru. Ungana na Flora Nducha kwa taarifa zaidi

Habari za UN
Kenya tumepiga hatua kuhakikisha maendeleo ya ustawi wa jamii: Mary Wambui Munene

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 14, 2025 4:58


Kikao cha 63 cha Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa ECOSOC kuhusu maendeleo ya ujamii kinakunja jamvi hii leo jijini New York Marekani baada ya majadiliano ya juma zima kuhusu maendeleo ya ustawi wa jamii, hatua zinazochukuliwa nan chi katika kufanikisha hilo na kuchagiza mshikamano wa kimataifa kutimiza lengo. Nchi mbalimbali zimetuma wakilishi kuanzia katika ngazi ya serikali, taasisi, mashirika yasiyo ya kiserikali na asasi za kiraia. Flora Nducha wa Idhaa hii amepata fursa kuzungumza na Mary Wambui Munene, mmoja wa washiriki kutokana Kenya. Ungana nao katika Makala hii

kenya umoja makala baraza jamii nchi hatua maendeleo ungana
Habari za UN
UNEP: Mradi wa UNREDD umekuwa mkombozi kwa mazingira na kwa wakulima DRC

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 29, 2025 3:41


Karibu nusu ya idadi ya watu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanategemea misitu kwa chakula, nishati, afya, riziki na huduma za mfumo wa ikolojia kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP ambao ni takriban watu zaidi ya milioni 40. Kwa kulitambua hilo mradi wa Umoja wa Mataifa wa kulinda bayoanuai huku ukipambana na umasikini UNREDD unaleta nuru kwa raia hususani mashariki mwa nchi hiyo. Ungana na Flora Nducha kwa ufafanuzi zaidi katika makala hii.

drc unep umoja congo drc kwa karibu mataifa jamhuri ungana mazingira kidemokrasia
Habari za UN
UNICEF yafanikisha jukumu muhimu ya kuwezesha usajili wa watoto nchini Uganda

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 13, 2025 3:27


Nchini Uganda, shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) kwa muda sasa limekuwa likifanya jukumu muhimu katika kuwezesha usajili wa watoto baada ya kuzaliwa na hata waliochelewa kusajiliwa kutokana na sababu mbalimbali. Kutokana na huduma hiyo, serikali ya Uganda inatambua kuwa idadi ya watoto waliosajiliwa imeongezeka kwa kiasi kikubwa.Kutokana na video iliyoandaliwa na UNICEF, Anold Kayanda wa Idhaa hii ameandaa makala ifuatayo. Ungana naye.

Habari za UN
Kiswahili imevuka mipaka, jiunge na wanafunzi katika vyuo mbalimbali kote ulimwenguni ujifunze Kiswahili - Nick

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 11, 2024 3:07


Kongamano la kimataifa ka Kiswahilii limekunja jamvi mwishoni mwa wiki huko Havana Cuba, ambako shuhuda wetu Flora Nducha amezungumza na watu mbalimbali akiwemo mchechemuzi wa Kiswahili hususan kwenye mitandao ya kijamii Nick Reynold ali maarufu Bongo Zozo, ambaye ni raia wa Uingereza. Ungana nao katika makala hii.

Habari za UN
4 SEPTEMBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 4, 2024 10:00


Ungana na Leah Mushi anayekutea jarida la Umoja wa Mataifa hii leo likiangazia juhudi za Afrika katika kujenga miji endelevu, mapambano ya kutokomeza magonjwa ya kitropiki yasiyopewa kipaumbele, matumizi ya sayansi katika nyanja mbalimbali za maisha na mashinani utasikia juhudi za kuhakikisha mipaka ya nchi inaendelea kuwa wazi hata wakati wa majanga ya asili na migogoro. 

afrika umoja ntds mataifa ungana septemba