Podcasts about Zaidi

  • 331PODCASTS
  • 1,205EPISODES
  • 32mAVG DURATION
  • 5WEEKLY NEW EPISODES
  • May 31, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Categories



Best podcasts about Zaidi

Show all podcasts related to zaidi

Latest podcast episodes about Zaidi

Hindi Stories & Novels
7/7| Dongri Se Dubai Tak| S Hussain Zaidi

Hindi Stories & Novels

Play Episode Listen Later May 31, 2025 236:53


A very well researched and written Book about the Bombay underworld, a city of the Maharashtra province of India now known as Mumbai,the book describes the birth of mafia in the early 1950s post independence from British rule untill the early 2000 when Bombay police takes charge post the serial blast of Bombay by the than Bombay don Dawood Ibrahim and his associates.A must read for all those who love to read about crimes, gang wars and underworld.

Willard & Dibs
Farhan or Not?

Willard & Dibs

Play Episode Listen Later May 27, 2025 11:38


It's easy to forget that many of the current members of the Giants roster were acquired before Farhan Zaidi arrived after the 2018 season. Willard and Dibs play a game of "Farhan or Not," where Willard quizzes Dibs on if the player was a Zaidi-acquired piece or not. Dibs does pretty well!

Hindi Stories & Novels
6/7_Dongri Se Dubai Tak|| S Hussain Zaidi

Hindi Stories & Novels

Play Episode Listen Later May 27, 2025 112:28


Dongri to Dubai" offers valuable insights into the socio-political landscape of Mumbai during different periods. It explores the nexus between politicians, law enforcement, and the underworld, shedding light on the intricate web of corruption that allowed the mafia to flourish. Zaidi's ability to provide historical context alongside the personal stories of the gangsters adds depth and richness to the narrative.

Hindi Stories & Novels
5_Dongri Se Dubai tak| S Hussain Zaidi

Hindi Stories & Novels

Play Episode Listen Later May 21, 2025 93:10


The book traces the evolution of the Mumbai mafia from a group of thugs and smugglers to the present day mafia dons of organised crime.

Hindi Stories & Novels
4_Dongri se Dubai tak| S Hussain Zaidi

Hindi Stories & Novels

Play Episode Listen Later May 13, 2025 56:56


Entry of Chota Rajan Dawood Ibrahim's Begum.

History Unhemmed
A Statement in Silk and Wool: The Sapeurs of the Congo

History Unhemmed

Play Episode Listen Later May 12, 2025 66:37


This episode takes a look at the vibrant and evocative members of La SAPE, the Society of Ambiance-Makers and Elegant People, or the Sapeurs. Set against the backdrop of Congo's colonial past and post-independence struggles, clothing is about much more than just being fashionable. For the Sapeur, fine tailoring, luxe fabrics, and bold patterns are expressions of identity, resistance, and pride. From the streets of Brazzaville and Kinshasa to the global stage, join us as we discuss how these impeccably dressed individuals challenge the legacy of colonialism, reclaim dignity, and redefine masculinity through the power of dress.If you have any requests, questions, or simply feel like saying hello, we're friendly and Mr. B, our Executive Paw-ducer, is a purr-fect angel)! Please drop us a line at historyunhemmedpodcast@gmail.com.You can also find us on social media:Instagram: @history_unhemmedFacebook: https://m.facebook.com/people/History-Unhemmed/100084597553601/THANK YOU!RESOURCES:Ali, Mona M. “The Incredible Fashion of the Ladies and Gentlemen of the Congo.” Vogue Scandinavia, September 20, 2021. Aris, Gisele. The Power and Politics of Dress in Africa. Final project paper, University of Pennsylvania, 2007. Undergraduate Humanities Forum Mellon Research Fellow, Penn Humanities Forum on Travel.Callsen, Barbara. "Fashion and Migration: On the Construction of Masculinities in the Sape Movement Between the Congo and France." In Masculinities and Migration in Latinx and Francophone Literatures and Cultures, edited by Brendan P. Bisbey and Adriana Herrera Fuentes. Cham: Palgrave Macmillan, 2025. Guinness. Meet Congo's Sapeurs. YouTube video, 2:02. January 17, 2014. https://www.youtube.com/watch?v=iuGaRCPDl1c&t=50s.Hochschild, Adam. King Leopold's Ghost. New York: Mariner, 2020.Jorgensen, K.E. “Sapologie: Performing Postcolonial Identity in the Democratic Repuplic of Congo”. Toronto, Ontario : Master of Arts Contemporary Art, Design and New Media Histories, 2014.Lewis, Shantrelle P. Dandy Lion: The Black Dandy and Street Style. New York: Aperture, 2017. Miller, Monica L. 2009. Slaves to Fashion: Black Dandyism and the Styling of Black Diasporic Identity. Durham: Duke University Press.Porbeni, Beatrice. “The Congolese Dandies – A Piece of History.” Guardian Life, August 20, 2017. Tamagni, Daniele. Sapeurs: The Gentlemen of Bacongo. London: Trolley Books, 2009.Vainshtein, Olga. “13. Dandyism Revisited: From the English Gent to the Sapeur.” In Fashionable Masculinities: Queers, Pimp Daddies, and Lumbersexuals, edited by Vicki Karaminas, Adam Geczy, and Pamela Church Gibson, 177–191. Ithaca, NY: Rutgers University Press, 2022. Zaidi, Tariq. Sapeurs: Ladies and Gentlemen of the Congo. Heidelberg: Kehrer Verlag, 2020.

Hindi Stories & Novels
3_Dongri Se Dubai Tak| S Hussain Zaidi

Hindi Stories & Novels

Play Episode Listen Later May 8, 2025 127:41


Dawood Ibrahim's first love

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Ulimwengu ni mkubwa kiasi gani?

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later May 7, 2025 7:06


Je, umewahi kufikiria jinsi ulimwengu ulivyo mkubwa?

zaidi gani ulimwengu
Men. Men. Men. - The Podcast -
Embracing The Legacy, Creating My Own Path

Men. Men. Men. - The Podcast -

Play Episode Listen Later May 6, 2025 101:36


“Walking in the shadow of a giant” si jambo rahisi—na inakuwa ngumu zaidi pale “Giant” huyo akiwa  ni Augustine Mahiga, mwanadiplomasia mashuhuri wa Tanzania, na wewe ni mtoto wake wa kiume, unayejulikana kama Andrew Mahiga.Kwa wengi, jina la mwisho linaweza kufungua milango, lakini je, kila nafasi unayoipata ni kwa sababu ya uwezo wako au kwa sababu unaitwa Mahiga? Hilo ndilo swali ambalo Andrew amekuwa akilazimika kulikabili katika safari yake ya kujitambua.Katika episode hii ya kipekee ya Men Men Men: The Podcast, Andrew anakaa nasi na kufungua moyo wake kuhusu changamoto za kuishi na jina kubwa, shinikizo la kulingana na hadhi ya baba, na hatimaye furaha aliyopata alipogundua kuwa—ndiyo, yeye ni mtoto wa baba yake, lakini si lazima awe kama baba yake.Zaidi ya hayo, Andrew anazungumzia kwa kina umuhimu wa mentorship kwa wanaume—na jinsi kuwepo au kutokuwepo kwa wanasihi kunaweza kumjenga au kumvunjilia mbali mwanaume wa Kitanzania.Baada ya kuisikiliza episode hii, utaelewa kwa nini tumeiita: "Embracing the Legacy, Creating My Own Path."

Hindi Stories & Novels
2_Dongri Se Dubai Tak _S. Hussain Zaidi

Hindi Stories & Novels

Play Episode Listen Later May 3, 2025 126:50


Dongri to Dubai: Six Decades of the Mumbai Mafia book by former investigative journalist Hussain Zaidi published in 2012. The book traces the evolution of the Mumbai mafia from a group of thugs and smugglers to the present day mafia dons of organised crime.[1] It traces the journey of Dawood Ibrahim from the by-lanes of Dongri where he first cut his teeth in crime, to Dubai, where he eventually established his empire

Jibber with Jaber
Azim Zaidi | Karate Combat 54 Dubai | Ep 169

Jibber with Jaber

Play Episode Listen Later May 1, 2025 81:48


In this engaging episode of "Jibber with Jaber," host AJ sits down with Asim Zaidi, the dynamic League President of Karate Combat. Dive deep into the mind of a martial arts veteran and leader as they discuss the unique aspects of Karate Combat, Asim's philosophy on champion mindsets, and the exciting growth the league has experienced in just one year.Asim shares his perspective on fighter development and the importance of a champion lifestyle. They also touch upon the evolving landscape of combat sports and hint at the exciting future of Karate Combat events. Don't miss this insightful conversation with a key figure in the world of modern karate!Featuring: @president.awesomeShot at: @thebunkerjltProduced by: @wynquisitionMusic: @tribezmanbeats@karatecombat

Hindi Stories & Novels
1_Dongri Se Dubai Tak_S. Hussain Zaidi

Hindi Stories & Novels

Play Episode Listen Later Apr 30, 2025 117:41


Dongri to Dubai: Six Decades of the Mumbai Mafia

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 22 Aprili 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 22, 2025 17:46


Zaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka 88, baada yaku kumbwa kwa kiharusi na mshtuko wa moyo.

Habari za UN
Tume huru ya UN ya kusaka ukweli kuhusu Sudan imelaani vikali mauaji ya watu zaidi ya 100

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 2:02


Vita ya sasa ya Sudan ikielekea kuingia mwaka wa tatu, Tume Huru ya Umoja wa Mataifa ya kusaka ukweli kuhusu Sudan imelaani vikali mauaji ya watu zaidi ya 100 yaliyotokea wikiendi hii katika kambi za wakimbizi wa ndani Darfur, ikionya kwamba hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Anold Kayanda na taarifa zaidi.(Taarifa ya Anold Kayanda)Shukrani LeahTangu kuanza kwa vita kati ya Jeshi la Sudan (SAF) na kikosi cha waasi cha RSF mnamo tarehe 15 Aprili mwaka 2023, maelfu ya watu wamepoteza maisha, huku mamilioni wakikumbwa na njaa, ubakaji, na ufurushwaji. Kambi kama ya Zamzam, yenye wakazi zaidi ya laki saba – nusu yao wakiwa watoto – zinaripotiwa kuzingirwa, wakazi wake wakikosa chakula, dawa, na maji, imeeleza Tume Huru ya Umoja wa Mataifa ya kusaka ukweli kuhusu Sudan.Mwenyekiti wa tume hiyo, Mohamed Chande Othman, ananukuliwa akisema, “Dunia imeshuhudia miaka miwili ya mzozo usio na huruma ambao umewanasa mamilioni ya raia katika mazingira ya kutisha, wakiwekwa katika hali ya ukatili bila matumaini ya mwisho.”Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, Catherine Russell kuhusu tukio hili la hivi karibuni ni kwamba watoto takriban 23 na wahudumu 9 wa misaada wameripotiwa kuuawa katika mfululizo wa mashambulizi katika eneo la Darfur Kaskazini, katika kipindi cha siku tatu zilizopita.Jana Jumapili, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesisitiza kuwa mashambulizi yanayolenga raia ni marufuku kabisa chini ya sheria ya kimataifa ya kibinadamu. Wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu na wafanyakazi wa afya wanapaswa kuheshimiwa na kulindwa,anasema.Kesho Jumanne huko London Uingereza, mataifa takriban 20 yanatarajiwa kujadili hali ya kibinadamu nchini Sudan. Umoja wa Mataifa unatoa wito wa hatua za haraka kulinda raia, kusitisha uungwaji mkono kwa pande zinazopigana, na kuhakikisha haki na uwajibikaji kwa uhalifu wa kivita.

SBS Swahili - SBS Swahili
Zaidi ya vitabu: Jinsi maktaba hujenga jumuiya

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 11, 2025 13:04


Maktba za umma za Australia ni mahali maalum. Ndio, huwa zina kuruhusu ukope vitabu bure ila pia, zina toa utajiri wa miradi na huduma, bure pia na hukaribisha kila mtu, kutoka watoto wachanga hadi wazee.

Habari RFI-Ki
Marekani : Rais Donamd Trump atangaza ushuru zaidi kwa bidhaa za kigeni

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Apr 9, 2025 10:00


Kwenye makala haya tunajadili,  hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kuongeza ushuru kwa bidhaa zote zanazoingizwa Marekani, kutoka mataifa ya Kigeni, hatua inayoonekana kutikisa uchumi wa Dunia.  Je unahisi hatua ya rais Trump ni sahihi?Ndilo swali tumeuuliza.Skiza makala haya kujua maoni ya waskilizaji.

Habari RFI-Ki
Marekani : Rais Donamd Trump atangaza ushuru zaidi kwa bidhaa za kigeni

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Apr 9, 2025 10:00


Kwenye makala haya tunajadili,  hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kuongeza ushuru kwa bidhaa zote zanazoingizwa Marekani, kutoka mataifa ya Kigeni, hatua inayoonekana kutikisa uchumi wa Dunia.  Je unahisi hatua ya rais Trump ni sahihi?Ndilo swali tumeuuliza.Skiza makala haya kujua maoni ya waskilizaji.

Habari za UN
UN: Hali inazidi kuwa tete Gaza huku watu zaidi ya milioni wakiwa hatarini kukosa mlo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 26, 2025 2:39


Watu zaidi ya milioni 1 wako katika hatari ya kukosa chakula endapo misaada haitoruhusiwa kuingia Gaza wakati huu mashambulizi makali ya Israel yakizidisha janga la kibinadamu yameonya leo mashirika ya misaada ya Umoja wa Mataifa. Flora Nducha na taarifa zaidi.

Habari za UN
WMO: Joto likizidi kuongezeka duniani, mwaka 2024 wathibitishwa kuwa ulikuwa wa joto zaidi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 19, 2025 1:34


Madhara ya mabadiliko ya tabianchi yanayosababishwa na binadamu yameongezeka kwa viwango vya kutisha mwaka 2024, na baadhi ya athari hasi zinaweza kuwa zisizoweza kurekebishwa kwa karne nyingi – kama si milenia, imesema ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa, (WMO). Anold Kayanda na maelezo zaidi.

Alfajiri - Voice of America
Sekta ya utalii ya Tanzania yapata zaidi ya watalii milioni 5 mwaj uliyopita wa 2024. - Machi 11, 2025

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 11, 2025 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Habari za UN
Mkutano wa CSW69 yang'oa nanga leo ikiwaleta pamoja washiriki zaidi ya 25,000

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 10, 2025 3:07


Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani unaanza mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW69, kusanyiko kubwa zaidi la kila mwaka la Umoja wa Mataifa linalomulika usawa wa jinsia na uwezeshaji wanawake mwaka huu washiriki wakiwa zaidi ya 25,000. Selina Jeroboni na taarifa zaidi.

Habari za UN
UNHCR: Zaidi ya wakimbizi 63,000 wa DRC wamewasili Burundi wengi wanaishi kwenye uwanja wa Rugombo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 10, 2025 2:07


Zaidi ya watu 63,000 sasa wamewasili Burundi wakikimbia machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na wengi wao wanaishi katika hali ngumu ndani ya uwanja wa michezo wa Rugombo jimboni Cibitoke (CHIBITOKE) huku wakisubiri kuhamishiwa kwenye kambi rasmi za wakimbizi. Flora Nducha amefuatilia safari ya mmoja wa wakimbizi hao, kwako Flora.

Habari za UN
10 MACHI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 10, 2025 10:56


Hii leo jaridani tunaangazia mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW69 na wakimbizi wanaokimbia machafuko nchini DRC kwenda Burundi. Makala tunakwenda nchini Tanzania na mashinani tunakupeleka nchini Lebanon, kulikoni?Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani unaanza mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW69, kusanyiko kubwa zaidi la kila mwaka la Umoja wa Mataifa linalomulika usawa wa jinsia na uwezeshaji wanawake mwaka huu washiriki wakiwa zaidi ya 25,000.Zaidi ya watu 63,000 sasa wamewasili Burundi wakikimbia machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na wengi wao wanaishi katika hali ngumu ndani ya uwanja wa michezo wa Rugombo jimboni Cibitoke (CHIBITOKE) huku wakisubiri kuhamishiwa kwenye kambi rasmi za wakimbizi.Makala leo tunamwangazia Fatuma Mfumia, dereva pekee wa kike katika shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhuduia Watoto, UNICEF Tanzania.Na mashinani mashinani fursa ni yake Ghada Dawiche's ambaye licha ya machungu yaliyomkumba baada ya kupoteza bintiye aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR nchini Lebanon, pamoja na mjukuu wake wa kiume wakati kombora la Israeli lilipopiga nyumba yao nchini  Lebanon, anasema Umoja, nguvu na tumaini ndio ujumbe mkuu anaowapa wanawake wote waliopoteza wapendwa wao vitani na katika kupigania haki za wanawake.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!  

Habari za UN
Burundi yahamishia wakimbizi wa DRC eneo salama zaidi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 3, 2025 3:48


Machafuko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) yanaendelea kufurusha watu na wengine wanaamua kukimbilia nchi jirani ikiwemo Burundi. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR nchini Burundi limesema wazi kuwa katika wiki mbili za mwezi Februari kuanzia tarehe 14 walipokea wakimbizi zaidi ya 60,000, wengi wakiwa tayari walishafurushwa awali. Kwa waliowasili katika eneo la Kaburantwa  nchini Burundi, bado wanahofia usalama. Serikali ya Burundi imetenga eneo lingine salama zaidi na sasa wanahamishiwa huko. Je ni wapi? Assumpta Massoi kwa msaada wa video ya UNHCR Burundi anasimulia zaidi. 

Jioni - Voice of America
Watu 11 wamefariki na wengine zaidi ya 70 wamejeruhiwa kufuatia milipuko miwili katika eneo la Bukavu huko mashariki mwa DRC. - Februari 27, 2025

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 27, 2025 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Style Points
Episode 15: Crashing to ECMO with Mohsin Zaidi

Style Points

Play Episode Listen Later Feb 25, 2025 57:44


In this episode, we start out with an RSI featuring intern Lauren Brown discussing obstructive sleep apnea and its anesthetic implications. Next, we talk to ECMO expert Mohsin Zaidi about resuscitation in the most challenging- and sometimes dramatic- circumstances.

Habari za UN
Hofu ya raia zaidi kukimbia DRC kuelekea Burundi, UNHCR yasaka dola milioni 40.4 za kuwasaidia

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 21, 2025 2:08


Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetoa ombi la dola milioni 40.4 ili kujiandaa na kutoa huduma za kuokoa maisha na usaidizi kwa wakimbizi wa ndani na waliokimbilia nchi jirani baada ya wakati huu ambapo mashambulizi ya waasi wa M23 yanazidi kufurusha raia kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraia ya Congo, DRC. Anold Kayanda na maelezo zaidi.

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Je, ulimwengu ni mkubwa kiasi gani

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Feb 20, 2025 7:06


Je, umewahi kufikiria jinsi ulimwengu ulivyo mkubwa?

zaidi gani ulimwengu
Raj Shamani - Figuring Out
Dawood's Life: Mumbai to Pakistan, Gangsters & Lawrence Bishnoi | Hussain Zaidi | FO317 Raj Shamani

Raj Shamani - Figuring Out

Play Episode Listen Later Feb 15, 2025 93:20


Download Porter Here: https://app.adjust.com/1lcjkwu4?label=PorterGuest Suggestion Form: https://forms.gle/bnaeY3FpoFU9ZjA47Disclaimer: This video is intended solely for educational purposes and opinions shared by the guest are his personal views. We do not intent to defame or harm any person/ brand/ product/ country/ profession mentioned in the video. Our goal is to provide information to help audience make informed choices.Order 'Build, Don't Talk' (in English) here: https://amzn.eu/d/eCfijRuOrder 'Build Don't Talk' (in Hindi) here: https://amzn.eu/d/4wZISO0Follow Our Whatsapp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029VaokF5x0bIdi3Qn9ef2JSubscribe To Our Other YouTube Channels:-https://www.youtube.com/@rajshamaniclipshttps://www.youtube.com/@RajShamani.Shorts

Dodgers Territory
KERSHAW IS BACK! Early Spring Updates, Farhan Zaidi Joins!

Dodgers Territory

Play Episode Listen Later Feb 13, 2025 35:40


The Dodgers have re-signed three-time NL Cy Young Award winner and two-time World Series Champion Clayton Kershaw to a one-year deal.  
(0:35) DT hosts Alanna Rizzo and Clint Pasillas break down the biggest spring training headlines, from Kershaw's return to the latest on Shohei Ohtani's pitching timeline.  
(3:36) Are the Dodgers relying on Blake Snell to shoulder a heavy workload early in the season?
Go to Hungryroot.com/FT and use code FT to get 40% off your first box and a free item of your choice for life!(16:21) Dodgers special advisor Farhan Zaidi joins the show to talk about his new role and his return to the organization!  (23:33) With incredible pitching depth, the Dodgers face the challenge of managing their rotation as arms get stretched out to start the season. Zaidi breaks it all down.
(28:19) Plus, an insider's take on the NL West competition from someone who's been on the other side.  Subscribe to DT on YouTube! DT is LIVE on Mondays & Thursdays at 12p PT/3p ET all year long! 

Alfajiri - Voice of America
Zaidi ya wanajeshi 100 watorokea Rwanda kufuatia mapigano ya Goma. - Februari 11, 2025

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 11, 2025 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

KQED’s Perspectives
Disha Zaidi: Navigating Sympathy and Empathy

KQED’s Perspectives

Play Episode Listen Later Feb 10, 2025 3:59


After her father fell ill, Disha Zaidi shares how empathy from friends and family made a big impact.  

Habari za UN
Mabaya zaidi nchini DRC yanakuja iwapo hatutauchukua hatua, aonya Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 7, 2025 2:18


Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo akizungumza katika Kikao Maalum cha Baraza la Haki za Binadamu kinachofanyika jijini Geneva, Uswisi, ameonya kuwa ghasia zinazoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zinaweza kuwa mbaya zaidi ikiwa hazitashughulikiwa. Flora Nducha na taarifa zaidi.

Habari za UN
UNFPA - Wakimbizi zaidi ya 18,000 wa Sudan sasa wanaishi katika kambi ya Korsi CAR

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 3, 2025 0:17


Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo linasema takriban wakimbizi 18,000 waliokimbia vita Sudan hivi sasa wanaishi katika kambi ya wakimbizi ya Korsi katika eneo la Birao, jimbo la Vakaga Katikati Mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ambako UNFFPA inawapatia huduma muhimu zikiwemo za aya ya uzazi. Flora Nducha anatujuza zaidi katika makala hii

Alfajiri - Voice of America
Zaidi ya mamluki 280 kutoka nchi za Ulaya washikwa mateka na M23 na kupelekwa Rwanda - Januari 30, 2025

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 30, 2025 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Building Value
Building Value Ep. 61 - Industry Events, Fulton Products, and Community Impact with Mohammad Zaidi

Building Value

Play Episode Listen Later Jan 29, 2025 28:08


In this episode of the Building Value Podcast, host Tim Zacharias sits down with Mohammad Zaidi to discuss upcoming industry events, the value of working with Fulton, and how their innovative products are making a real impact in our community. From expert insights to practical advice, their conversation is packed with takeaways for anyone in the industry. Tune in to learn more about the people, products, and events shaping our field!

Habari za UN
Vituo vya afya vya umma zaidi ya 4,500  vyaboreshwa na mfumo wa GoTHOMIS - UNICEF Tanzania

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 15, 2025 1:38


Mfumo wa kidijitali unafadhiliwa na serikali ya Canada kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania umeanza kuonesha mafanikio katika kurahisisha huduma kama vile usajili wa wagonjwa, usimamizi wa maduka ya dawa na bima na kuwezesha wahudumu wa afya kujikita zaidi katika huduma. Anold Kayanda na maelezo zaidi.

Habari za UN
Gaza: Zaidi ya watoto 70 wameuawa tangu Januari 1 huku gharama za maisha zikizidi kupanda

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 8, 2025 1:55


Hali ya maisha kwa raia wa Gaza inaendelea kuwa mbaya msimu huu wa baridi kali kutokana na vikwazo vya kufikisha misaada, kupanda kwa gharama za maisha na mashambuizi yanayoendelea kukatili maisha ya raia wakiwemo watoto 74 waliouawa tangu Januri Mosi mwaka huu  yamesema mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambalo linasema kuuawa kwa watoto hao 74 katika siku saba za kwanza za mwezi huu ni dhihirisho la jinamizi linaloendelea kuighubika Gaza na mashambulizi ya Israel hayaonyeshi dalili yoyote ya kukoma ikiwemo ya jana usiku katika mji wa Gaza, Khan Younis na kwenye makazi ya Pwani ya wakimbizi wa ndani ya Al Mawasi ambayo Israel yenyewe iliyatenga hapo awali kama maeneo salama. Kwa mujibu wa UNICEF jana Jumanne pekee watoto 5 wameripotiwa kuuawa Al Mawasi. Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEFF Catherine Russell amesema "Kwa watoto wa Gaza, mwaka mpya umeleta vifo zaidi na mateso kutokana na mashambulizi, kunyimwa huduma, na kuongezeka kwa hali ya baridi. Usitishaji wa mapigano umechelewa kwa muda mrefu na watoto wengi sana wameuawa au kupoteza wapendwa wao katika mwanzo mbaya wa mwaka mpya.”© UNRWA/Fadi ThabetMwanaume na mwanae wakiwa wameketi wakiota moto Nuseirat katikati mwa GazaGharama za chakula zinaendelea kupanda GazaKwa upande wake shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula Duniani WFP limesema kana kwamba mashambulizi hayatoshi sasa kupanda kwa gharama za chakula ni mtihani mwingine kwa watu wa Gaza kwani kilo 25 za unga zinauzwa hadi dola za Marekani 150 gharama ambayo watu wengi hawawezi kumudu  na watoto ni wahanga wakubwa wakilzimika kulala njaa. Nalo shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina UNRWA kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X limesema linapokuja suala la mashambulizi Gaza “Hakuna tofauti, wahudumu wa kibinadamu, hata wawe ni nani nao wamekuwa wakilengwa mara kwa mara. Kupuuzwa huku kwa wazi kwa sheria za kimataifa za kibinadamu hakuwezi kuachwa kuwa ndio kawaida mpya.” Pia limesema Gaza hospitali zimekuwa mitego ya vifo, familia zimesambaratika, watoto wanakufa kwa baridi na njaa inakatisha maisha  ya watu wengi 

Habari za UN
08 JANUARI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 8, 2025 9:56


Zaidi ya watoto 70 wameuawa Gaza tangu Januari 1 huku gharama za maisha zikizidi kupanda.Mafunzo ya ufundi bomba kuniwezesha kutunza familia yangu – Msichana Bangladesh.Mradi wa UNICEF wa kuunganisha taarifa na kusajili watoto wanufaisha jamii Burundi.Mashinani nchini Tanzania kuhusu haki za watoto

Habari za UN
Hadithi ya Alaa Khattab: Kutoka kuwa mzalishaji mdogo kijijini kwake hadi kuwa msafirishaji wa Kikanda wa achari

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 23, 2024 2:09


Mradi wa pamoja wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO ujulikanao kama Nabta kwa lugha ya Kiarabu ukimaanisha "mche" ambao lengo lake ni kuwasaidia vijana wajasiriamali kubadili mawazo yao kuwa  biashara ya kilimo yenye mafanikio umeleta nuru kwa Alaa Khattab kijana aliyekuwa na ndoto ya kuwa mfanyabiashara wa kilimo nchini Syria. Flora Nducha anatujuza zaidI.

MMAjunkie Radio
Ep. #3523: UFC recap, Asim Zaidi Interview, more

MMAjunkie Radio

Play Episode Listen Later Dec 16, 2024 83:21


On Episode 3,523, the guys had a UFC card to recap, the last of the year. They also spoke to the head of Karate Combat, Asim Zaidi.

Habari za UN
UNHCR: Chonde chonde jumuiya ya Kimataifa tuishike mkono Uganda kwa faida ya waomba hifadhi na wakimbizi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 16, 2024 2:04


Mwaka 2024 ukielekea ukingoni, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR  nchini Uganda limetoa rai kwa jumuiya ya kimataifa kutolisahau taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo ni maskani ya idadi kubwa zaidi ya waomba hifadhi na wakimbizi barani Afrika. Rai hiyo iliyotolewa mwishoni mwa wiki inataka ufadhili wa fedha uongezwe ili liweze kuendelea kukirimu watu hao ambao wengi wanakimbia machafuko. Huyo ni Moulid Hujale afisa wa UNHCR nchini Uganda akitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kushikamana na Uganda akiwa  kwenye makazi makubwa ya wakimbizi ya Kiryandongo Magharibi mwa nchi hiyo. Anasema kuna mambo matatu muhimu ambayo dunia inapaswa kufahamu kuhusu Uganda na wakimbizi.“Mosi Uganda inahifadhi idadi kubwa zaidi ya wakimbizi na waomba hifadhi Afrika ikiwa na zaidi ya watu milioni 1.7 wengi wao wakitoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Sudan Kusini.”Zaidi ya hapo ukarimu wa Uganda anasema hauna kipimo“Pili, Uganda ina sera ya kufugua mlango kwa wakimbizi na pia kwa miongo mingi imekuwa ikiwakaribisha watu wanaokimbia machafuko bila kujali utaifa wao. Kitu ambacho ni kikubwa na cha kipekee kuhusu nchi hii ni kwamba wakati wakimbizi wanapowasili hapa hupewa ardhi, mahali pa kuishi na hata kulima mazao kwa ajili ya kujikimu. Wana uhuru wa kutembea na haki ya kuajiriwa. Hawajatengwa lakini wanaishi  ndani ya jamii inayowahifadhi. Sera hii ya Uganda inawaruhusu wakimbizi kujumuishwa katika huduma za kitaifa ambapo wanafaidika na elimu na huduma za afya.”Lakini Kutokana na changamoto za fedha Moulid anasema ukarimu huo sasa uko njia panda"Tatu: Ukarimu wa Uganda uko hatarini kwani wakimbizi zaidi wanaingia kutoka nchi jirani. UNHCR, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, liko mashinani kufanya kazi na Serikali ya Uganda kusaidia kutoa msaada wa kuokoa maisha kwa watu hawa. Hata hivyo, rasilimali ni chanche. Tunahitaji msaada wenu ili Uganda iendelee kuwa mfano wa kuigwa kwa dunia nzima.”Kwa nyjibu wa UNHCR licha ya idadi kubwa ya watu na rasilimali kidogo, sera za Uganda zinammanisha kwamba wakimbizi ni sehemu ya maisha ya kijamii na kiuchumi na ongezeko la rasilimali litakidhi haja za waliopo sasa na watakaokuja.

Habari za UN
WHO: Ingawa vifo milioni 12.7 vya malaria vimeepukwa juhudi zaidi zahitajika kutokomeza gonjwa hilo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 11, 2024 1:58


Takwimu mpya zilizotolewa leo na ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO zinaonyesha kuwa ingawa takriban wagonjwa bilioni 2.2 wa malaria na vifo milioni 12.7 vya ugonjwa huo vimeepukwa tangu mwaka 2000 bado ugonjwa huo unaendelea kuwa tishio kubwa la kimataifa la afya hususan katika Kanda ya Afrika ya WHO. Taarifa ya Flora Nducha inafafanua zaidi.

The Jaipur Dialogues
Every Mandir has a Masjid Benath It? | Sanjay Dixit decodes Muslims Mentality | Amber Zaidi

The Jaipur Dialogues

Play Episode Listen Later Dec 9, 2024 32:21


Every Mandir has a Masjid Benath It? | Sanjay Dixit decodes Muslims Mentality | Amber Zaidi

The TK Show: A Show about sports in the Bay Area
[North & South] Lakers & Warriors Struggle, Chargers' Toughness & Zaidi to the Dodgers

The TK Show: A Show about sports in the Bay Area

Play Episode Listen Later Dec 5, 2024 40:05


Tim and the LA Times' Dylan Hernandez discuss the simultaneous free falls by both the Lakers and Warriors -- what's different, what's the same? Also, thoughts on the Chargers winning tough games, why some 49ers fans dislike Kyle Shanahan and Farhan Zaidi's path back to the Dodgers' front office. To learn more about listener data and our privacy practices visit: https://www.audacyinc.com/privacy-policy Learn more about your ad choices. Visit https://podcastchoices.com/adchoices

Zero: The Climate Race
The White House's outgoing climate czar weighs in on Trump

Zero: The Climate Race

Play Episode Listen Later Nov 19, 2024 36:03 Transcription Available


At COP29 in Baku, Akshat Rathi is joined on stage at Bloomberg Green's live event by Ali Zaidi, President Biden's National Climate Advisor. Zaidi argues that it would be “economic malpractice” for the Trump administration to abandon the energy transition. Plus, veteran climate diplomat Jonathan Pershing explains why he believes global competition will result in an “acceleration of action” on green policy. Explore further: Past episode with Ali Zaidi on the momentum generated by passing the IRA Past episode with California Democratic Congressman Ro Khanna on what Trump's election means for US climate policy Past episode with COP29 President Mukhtar Babayev on what would make this conference a success Zero is a production of Bloomberg Green. Our producer is Mythili Rao. Special thanks this week to Jen Dlouhy, Sharon Chen, Siobhan Wagner, Ethan Steinberg, Blake Maples, and Jessica Beck. Thoughts or suggestions? Email us at zeropod@bloomberg.net. For more coverage of climate change and solutions, visit https://www.bloomberg.com/green.See omnystudio.com/listener for privacy information.

X22 Report
[DS] Ran A War Game Simulation For Trump's Second Term, Panic In DC, Schedule “F” – Ep. 3499

X22 Report

Play Episode Listen Later Nov 14, 2024 87:20


Watch The X22 Report On Video No videos found Click On Picture To See Larger PictureThe [DS] rushed to get climate regs in to make more difficult for Trump to remove, big fail. Rates cuts had no effect on inflation, inflation is rising. DOGE has been formed and now Elon and Vivek will cut and cut govt waste. [CB] panicking. The [DS] is being very nice to Trump, they want a smooth transition, they want to help, when criminals are nice to your face they are planning something. The [DS] ran a war game simulation for Trump's second term. Trump has nominated the dream team, remember the head fake. Trump is ready to drain the swamp, panic in DC, remember schedule "f".   (function(w,d,s,i){w.ldAdInit=w.ldAdInit||[];w.ldAdInit.push({slot:13499335648425062,size:[0, 0],id:"ld-7164-1323"});if(!d.getElementById(i)){var j=d.createElement(s),p=d.getElementsByTagName(s)[0];j.async=true;j.src="//cdn2.customads.co/_js/ajs.js";j.id=i;p.parentNode.insertBefore(j,p);}})(window,document,"script","ld-ajs"); Economy White House: We Rushed to Get Climate Regulations in So They'd Be Harder to Repeal  White House National Climate Adviser Ali Zaidi stated that “we really ran early this year to finalize” many climate regulations “before May, which, really, I think, ensures durability relative to this arcane statute, the Congressional Review Act. So, I think, because of that foresight, we have, actually, quite a durable regulatory regime going into the next few years.” Host Joumanna Bercetche asked, [relevant exchange begins around 2:10] “Well, there are still a couple of months left, as well, of the administration. I do wonder if there's anything that can be done on the regulation front, because regulation can swing quite quickly and it's set at the federal level. Is there anything that your administration is focusing on to make sure that the climate regulation stays intact as well?” Zaidi responded, “Yeah. One of the things we're making sure that we do on the spending front is to get as many of those resources in the hands of communities, nine out of every ten dollars in the investment agenda, already into the bloodstream. On the regulatory front, we really ran early this year to finalize a lot of the key regulations before May, which, really, I think, ensures durability relative to this arcane statute, the Congressional Review Act. So, I think, because of that foresight, we have, actually, quite a durable regulatory regime going into the next few years.” Source: breitbart.com https://twitter.com/KobeissiLetter/status/1856694768765411760 https://twitter.com/KobeissiLetter/status/1856700864615878691   7. Hospital Services Inflation: 3.9% 8. Food Away From Home Inflation: 3.8% Both headline and Core CPI inflation are now higher than they were 2 months ago. The US economy added the least amount of jobs in October since the pandemic in 2020. Consumers are struggling. Mexico is preparing to engage in trade wars with the US Mexico's government   signaled that it planned to hit back with trade restrictions of its own if President-elect Donald J. Trump followed through on his threats to impose sky-high tariffs on Mexican exports to the United States. “If you put 25 percents tariffs on me, I have to react with tariffs,” Marcelo Ebrard, Mexico's economy minister, told a radio interviewer on Monday. “Structurally, we have the conditions to play in Mexico's favor,” he added. Such moves could send shock waves through the economy of Mexico, which is exceptionally dependent on trade with the United States, exporting about 80 percent of its goods to its northern neighbor. But an array of sectors in the United States, including farmers and manufacturers of semiconductors and chemicals, also relies on exporting to Mexico, which last year eclipsed China to become the largest trading partner of the United States. Complex supply chains also intertwine the economies of both countries,

Balk Talk: NBC Sports Bay Area Baseball Podcast
Emergency podcast: Zaidi out, Posey in as Giants' president of baseball ops

Balk Talk: NBC Sports Bay Area Baseball Podcast

Play Episode Listen Later Sep 30, 2024 18:00


Alex Pavlovic and George Kontos discuss what led to the Giants' decision to part ways with Farhan Zaidi, the surprising announcement of Buster Posey as his replacement, and what changes should be made for San Francisco to regain a winning culture.1:10 Posey named Giants' president of baseball operations3:00 How Posey can bring winning culture back to San Francisco10:05 Can Posey be a successful player recruiter?12:45 What led to Giants' decision to part ways with Zaidi

Balk Talk: NBC Sports Bay Area Baseball Podcast
Zaidi reporter chat takeaways; can Giants' recent success carry into 2025?

Balk Talk: NBC Sports Bay Area Baseball Podcast

Play Episode Listen Later Sep 26, 2024 38:07


Alex Pavlovic and Cole Kuiper analyze what we should take away from Giants president of baseball operations Farhan Zaidi's discussion with the media this week in Arizona. Also, Alex and Cole examine the Giants' recent positive vibes, Grant McCray's concerning strikeout rate and how Bryce Eldridge's rise could impact the team's free agency approach.1:00 Giants playing well now that pressure is off7:30 Grant McCray's concerning strikeout rate12:30 Takeaways from Farhan Zaidi's discussion with media20:00 How Bryce Eldridge could impact Giants free agency approach32:00 Previewing the Giants-Cardinals seriesSee Privacy Policy at https://art19.com/privacy and California Privacy Notice at https://art19.com/privacy#do-not-sell-my-info.

Getting Curious with Jonathan Van Ness
What's The Biden Administration Doing For The Environment?

Getting Curious with Jonathan Van Ness

Play Episode Listen Later Jul 3, 2024 47:10


White House National Climate Advisor Ali Zaidi is here to tell us all about the major policy efforts that are making historic gains in the fight against climate change. Jonathan and Ali cover it all: from Ali's journey to this work, to environmental justice concerns, to the many ways in which investing in these policies help strengthen local economies. Plus, how people just like you can get involved in a greener future with the American Climate Corps, which trains young people in clean energy, conservation, and climate resilience skills to help tackle the climate crisis. Ali Zaidi serves as Assistant to the President and National Climate Advisor. In this role, he leads the White House Climate Policy Office, which coordinates policy development and President  Biden's all-of-government approach to tackle the climate crisis, create good-paying union jobs, and advance environmental justice. Zaidi helped design and negotiate the President's historic climate and clean energy investment agenda – including the Bipartisan Infrastructure Law and Inflation Reduction Act. Zaidi has also worked for the Obama Administration and the state of New York. Ali immigrated from Pakistan and grew up outside Erie, Pennsylvania. He received an A.B. from Harvard University and J.D. from Georgetown University. You can follow Ali Zaidi on X @alizaidi46. Follow us on Instagram @CuriousWithJVN to join the conversation. Jonathan is on Instagram @JVN. Transcripts for each episode are available at JonathanVanNess.com. Find books from Getting Curious guests at bookshop.org/shop/curiouswithjvn. Our senior producers are Chris McClure and Julia Melfi. Our editor & engineer is Nathanael McClure. Production support from Julie Carrillo, Anne Currie, and Chad Hall. Our theme music is “Freak” by QUIÑ; for more, head to TheQuinCat.com. Curious about bringing your brand to life on the show? Email podcastadsales@sonymusic.com. Learn more about your ad choices. Visit podcastchoices.com/adchoices