POPULARITY
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya lugha ya Kiswahili nampisha John Kibego wa redio washirika, Kazi Njema Redio nchini Uganda, kukueleza kuhusu harakati za kukuza lugha hiyo barani Afrika wakati huu ambapo UNESCO imeshaitangaza miaka mitano iliyopita kuwa lugha ya kimataifa.John, anamulika mpango wa ujenzi wa makao makuu ya kamisheni ya Kiswhaili ya Mungano wa Afrika. Pia tunakuletea muhtasari wa habari.Ikiwa leo ni maadhimisho ya tano ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiswahili chini ya Kaulimbiu "Kiswahili kwa Amani, Mshikamano na Diplomasia ya Uchumi wa Dunia" Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Togolani Mavura anafafanua ni kwa namna gani lugha ya Kiswahili inaweza kuyafanikisha hayo.Ugonjwa wa Ebola umeendelea kusambaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na idadi ya vifo vya watu imevuka 500 limesema leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO. Mwakilishi wa WHO nchini humo, Dkt. Anne Ancia akizungumza kwa njia ya video kutoka Bunia, mji mkuu wa Jimbo la Ituri mashariki mwa DRC ambako ni kitovu cha mlipuko huu, amewaambia waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi kwamba kufikia tarehe 4 mwezi huu, serikali ya nchi hiyo ilikuwa imerekodi wagonjwa 1,561, vikiwemo vifo 506. Taarifa njema ni kuwa…“Jaribio la kitabibu lilianza tarehe 2 Julai kwa lengo la kubaini tiba madhubuti dhidi ya ugonjwa huo unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo.”Na asubuhi hii kwa saa za New York Marekani, kwa mara ya 34 tangu mwaka 1992, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limekaa ili kujadili umuhimu wa kumaliza vikwazo vya kiuchumi na kibiashara vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Cuba tangu mwaka 1960. Katika barua ya mwaliko ambayo Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock amewapelekea wajumbe wa Baraza anasema, “ninayo heshima kukujulisha kwamba nimepokea barua iliyoambatanishwa ya tarehe 16 Juni 2026 kutoka kwa Mhe. Bwana Ernesto Soberón Guzmán, Mwakilishi wa Kudumu wa Cuba katika Umoja wa Mataifa, akiomba kuitishwa kwa kikao cha Baraza Kuu ili kujadili ajenda namba 38 yenye kichwa: “Umuhimu wa kukomeshwa kwa vikwazo vya kiuchumi, kibiashara na kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Cuba.”Mwenyeji wako ni Feissal Kirwa, karibu!
Send us Fan MailMkutano na Waandishi wa Habari kuhusu ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 7 Juni, 2026.Support the showIdara ya Habari MAELEZO
Karibu kwenye kipindi cha habari Rafiki ,mada ikiwa kuhusu maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo yatafanyika Ijumaa,huku kauli mbiu ikiwa kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tumekuuliza, serikali ya nchi yako inafanya vya kutosha kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ? Na je , sekta binafsi na wananchi wanapaswa kufanya nini sasa,ili kuimarisha mazingira,,karibu tuandamane pamoja .
Karibu kwenye kipindi cha habari Rafiki ,mada ikiwa kuhusu maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo yatafanyika Ijumaa,huku kauli mbiu ikiwa kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tumekuuliza, serikali ya nchi yako inafanya vya kutosha kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ? Na je , sekta binafsi na wananchi wanapaswa kufanya nini sasa,ili kuimarisha mazingira,,karibu tuandamane pamoja .
Katika makala ya wiki hii, tunajadili ni kwanini nchi za Afrika zinapaswa kuongeza kasi ya ufanyaji wa biashara za wenyewe kwa wenyewe kukuza utangamano wa kikanda.
Katika makala ya wiki hii, tunajadili ni kwanini nchi za Afrika zinapaswa kuongeza kasi ya ufanyaji wa biashara za wenyewe kwa wenyewe kukuza utangamano wa kikanda.
Karibu usikilize Kipindi cha Elimu Jamii kuhusu “umuhimu wa huduma ya ushauri wa Kisaikolojia” Mwezeshaji wa kipindi hiki ni Mtaalamu wa Saikolojia kutoka Kituo cha Tiba na Utengamao cha Anthonia Verna Kawe Mkoani Dar es salaam Bw. Asadi Mwengwa. Mtangazaji ni Agatha Kisimba. L'articolo FAHAMU UMUHIMU WA USHAURI WA KISAIKOLOJIA proviene da Radio Maria.
Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa na Bwana Godfrey Mkaikuta , wakizungumzia […] L'articolo Umuhimu wa tumbo la Mama kama makazi ya muda ya mtoto mchanga kama safari ya kuzaliwa proviene da Radio Maria.
Shirika la afya duniani ,WHO hupendekeza matumizi ya dawa za minyoo kwa watoto kati ya mwaka moja hadi 12 ,vijana wenye umri kati ya 13- 19 ,wanawake walio kwenye umri wa kupata watoto na watu wanaoishi katika maeneo yenye minyoo. Hii ni njia mojawapo ya kupambana na utapiamlo, Anamia na matatizo yanayoletwa na minyoo.
Karibu uungane nami mtangazaji wako Happiness Mlelwa katika kipindi chetu pendwa cha Elimu Jamii, hapa studio tupo na Bi Irene Guela kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano huduma kwa wateja kutoka TANESCO na Bi Catherine Mugoha Muhandisi nishati safi kutoka TANESCO, Wakitupa elimu kuhusu nishati na mita janja kupelekea maendeleo endelevu L'articolo Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Usalama Barabarani, Wawezeshaji ni Staff Sajenti Aurelian Chuwa na Sajenti Abdala Isamail kutoka Traffic Makao Makuu wakizungumzia mada juu ya viakisi mwanga. L'articolo Je, unafahamu maana na umuhimu wa viakisi mwanga barabarani? proviene da Radio Maria.
Katika makala haya tunaangazia nchi ya Kenya ambapo chama cha ODM kilichokuwa cha waziri mkuu wa zamani hayati Raila Odinga, kimeadhimisha miaka 20 tangu kuasisiwa kwake. Tunauliza je vya kisiasa vina mchango gani katika kuimarisha demokrasia hapa Afrika? Skiza makala haya.
Katika makala haya tunaangazia nchi ya Kenya ambapo chama cha ODM kilichokuwa cha waziri mkuu wa zamani hayati Raila Odinga, kimeadhimisha miaka 20 tangu kuasisiwa kwake. Tunauliza je vya kisiasa vina mchango gani katika kuimarisha demokrasia hapa Afrika? Skiza makala haya.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Tony Burke, anasema kwamba serikali inafanya kazi juu ya uwezekano wa kutambua ujuzi wa nje ya nchi. Anasema hii itasaidia kuokoa muda na pesa kwa wahamiaji wenye ujuzi wanaotafuta kuhamia Australia. Katika hotuba yake kwa Klabu ya Waandishi wa Habari huko Canberra, Bw. Burke pia ametangaza mabadiliko kwenye akaunti za benki zisizotumika ili kukabiliana na utakatishaji wa fedha.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}, Mwezeshaji Padre Alfred Kwene, akitufundisha juu ya Dominika ya Kimisionari 2025 na wajibu wetu sisi Waamini. L'articolo Ifahamu Dominika ya Kimisionari na umuhimu wake? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Martin Joseph, katika kipindi cha Familia Bora Nyumba Aminifu, wawezeshaji ni Wanafamilia Bora na Nyumba Aminifu, ambapo watatufundisha juu ya Mlango wa Nyumba aminifu katika Kuhubiri Injili. L'articolo Fahamu umuhimu wa nyumba aminifu katika kuhubiri Injili proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Martin Joseph, katika kipindi cha Chakula na Lishe, Mwezeshaji wa Kindi ni Bi. Nusula Salum Afsa Lishe Mtafiti kutoka Taasisi ya Lishe na Chakula Tanzania, akitufundisha juu ya Lishe wakati wa Uzee. L'articolo Je, unafahamu umuhimu wa Lishe wakati wa Uzee? proviene da Radio Maria.
Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa, Bi. Grace Shayo na Bi. Janeth […] L'articolo Je, unafahamu umuhimu wa malezi ya watoto katika familia? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipndi cha Elimu Jamii, Mwezeshaji ni Bw. Charles Mkumbwa, Afisa Kodi Mkuu Idara ya Elimu na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akizungumzia juu ya umuhimu wa kulipa kodi. Mtangazaji ni Esther Magai Hangu. L'articolo Je, unafahamu umuhimu wa kulipa kodi? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza akizungumzia juu ya masuala ya ndoa. L'articolo Fahamu umuhimu wa Sakramenti ya ndoa katika Kanisa Katoliki. proviene da Radio Maria.
Karibu kusikiliza kipindi cha Ijue Liturujia Takatifu ya Kanisa Katoliki, ambapo leo tupo na padre Clement Kihiyo, Katibu Mkuu Mtendaji wa Idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), akizungumzia juu ya umuhimu wa baraka ya wachumba katika Kanisa Katoliki. L'articolo Fahamu umuhimu wa baraka ya wachumba katika Kanisa Katoliki proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Familia ni nyumba ya Mungu, Mwezeshaji ni Padre Elwald Kilasara, Mwalimu na Mlezi katika Seminari Kuu ya Mtakatifu Karol Lwanga Segerea, Jimbo Kuu la Dar es salaam, akizungumzia juu ya maana ya Familia na umuhimu wake. L'articolo Je, unafahamu nini maana ya Familia na umuhimu wake? proviene da Radio Maria.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Wanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma.
Shirika la Umoja wa Mataifa la hali ya hewa duniani (WMO) leo hii likiwa limeutangaza mwaka jana 2024 kuwa mwaka uliokuwa na joto zaidi kuwahi kurekodiwa, leo pia WMO imeendelea kusisitiza umuhimu wa tahadhari za mapema kuhusu majanga ya tabianchi ili kuokoa maisha ya watu. WMO imeeleza kwamba tahadhari za mapema zilizotolewa na Idara ya Hali ya Hewa ya Taifa la Marekani zimesaidia kwa kiasi fulani kuokoa maisha ya watu katika moto wa nyika uliosambaa na kuteketeza maeneo makubwa mji wa Los Angels katika jimbo la California. Selina Jerobon na maelezo zaidi.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Umuhimu wa asali, Kujitambua
Kuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait wa Australia, ni hatua muhimu kwa kuelewa na kuwaheshimu wamiliki wa jadi wa ardhi tunako ishi.
Mungu muumbaji, Umuhimu wa kufunga
Muumbaji Mfalme, Umuhimu wa kufunga
Understanding the diversity within the First Nations of Australia is crucial when engaging with Aboriginal and Torres Strait Islander peoples and building meaningful relationships. - Kuelewa utofauti ndani ya jumuiya yawa Australia wa Kwanza ni muhimu unapo jihusisha nawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait pamoja nakujenga mahusiano yenye maana.
Utofauti tajiri ndani ya umma wa waAustralia wa kwanza ni kipengele cha kuvutia, kupinga dhana potofu ya kawaida kuwa watu wote ambao niwa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait wote wako sawa.
Moja ya mifano ngumu zaidi na ya kisasa ya teknolojia ya Jumuiya zawa Australia wa kwanza na tamaduni, huonekana kupitia kushuka.
Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
Wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walijumuika katika bustani ya Australia Botanic Garden kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa.
Ugonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.
Umuhimu wa kusoma Biblia
Muziki ni sifa kwa Bwana, Umuhimu wa Sikukuu
Kupata marafiki ni moja ya changamoto kubwa huwa tunakabili katika nchi mpya.
Aina nyingi za mazoezi zinaweza kusaidia kuimarisha maisha yako, lakini hapa tunazingatia zoezi ya yoga kwa sababu ni wiki hii tarehe 21 Juni ambapo ulimwengu umeazimisha siku ya Yogan Duniani.Maudhui ya mwaka huu ya siku hii “Yoga kwa ajili ya ustawi wa sayari moja, familia moja.” Kufahamu zoezi hii kwa undani pamoja na faida zake mwilini, tunamsikiliza mwalimu wa Yoga kutoka Kenya Zepline Ouma.
Umuhimu wa Muziki wa Injili, tenda matendo ya huruma kwa wengine kwa kutoa msaada
Umuhimu wa asali, kujitegemea binafsi
Ikiwa leo ni siku ya urithi wa dunia wa Afrika, shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO linasema urithi huo ambao thamani yake ya kipekee inaadhimisha leo, bado haujatambuliwa kulingana na umuhimu wake wa kihistoria, wa kibinadamu na wa asili.Kupitia ujumbe wake wa siku hii mkurugenzi mkuu wa UNESCO Audrey Azoulay amesema baada ya kupitishwa mkataba wa urithi wa dunia miaka 50 iliyopita na kuanza kutekelezwa rasmi mwaka 1978, miongoni mwa maeneo 12 ya kwanza kuingizwa kwenye orodha ya urithi wa duniani matatu yalikuwa barani Afrika hii ikimaanisha kwamba robo ya maeneo ya awali yaliyochaguliwa yalikuwa barani huo.Hata hivyo amesema “Leo, hii, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara inachukua takriban moja ya kumi ya maeneo yote yaliyoorodheshwa ingawa thamani ya urithi wake wa kipekee, bado haijatambuliwa.Ili kukabiliana na hali hii, na kuupa heshima ipasavyo kutokana na fikra za binadamu na kazi za asili zinazopatikana barani Afrika, UNESCO imeliweka bara hili kuwa kitovu cha mkakati wake wa urithi wa dunia.”Mkuu huyo wa UNESCO amesisitiza kuwa kuna haja ya kufikiria upya utekelezaji wa mkataba wa urithi wa dunia ili kukabiliana na changamoto zitakaoukabili miaka mingine 50 ijayo na hatimaye kufanikisha msingi wa mkataba huo wa urithi wa kipekee kwa dunia nzima.Ameongeza kuwa “Ni kwa sababu ya upekee wake wa kina, utofauti wake na utajiri wake ndiyo maana urithi wa Kiafrika ni wa ulimwengu wote na unahitaji tuutilie maanani. Mifano ya urithi huu ni pamoja na misikiti minane ya mtindo wa Wasudan nchini Côte d'Ivoire ambayo iliingizwa kwenye orodha ya urithi wa dunia mwaka jana, mbuga ya taifa ya wanyama ya Ivindo Gabon ambayo inahifadhi wanyama wengi walio hatarini kutoweka wakiwemo tembo.”Azoulay amehitimisha ujumbe wake kwa ahadi kwamba “Ili kutambua vyema urithi huu wa Kiafrika na kuwezesha mchango wake kwa urithi wetu wa dunia, tutahakikisha kwamba kufikia mwaka wa 2025, mataifa yote ya Afrika yanayotaka kufanya hivyo yatakuwa yamewasilisha angalau ombi moja la kujumuishwa kwenye orodha ya urithi wa dunia kwa msaada wa kisayansi na kiufundi kutoka kwa Shirika la UNESCO.”Shirika hilo linasema “ingawa Afrika ina uwakilishi mdogo kwenye orodha ya urithi wa dunia mali za Kiafrika zinachukua takribani asilimia 12 ya maeneo yote yaliyoorodheshwa duniani, na asilimia 39 ya mali hizi ziko kwenye orodha ya urithi wa dunia ulio hatarini.”Ukikabiliwa na vitisho mbalimbali vya kisasa, mabadiliko ya tabianchi, maendeleo yasiyodhibitiwa, ujangili, machafuko ya kiraia na ukosefu wa utulivu, maajabu mengi ya urithi wa Afrika yana hatari ya kupoteza thamani yake bora ya ulimwengu.“Kwa hiyo ni suala la dharura zaidi kuliko wakati mwingine wowote kwamba urithi huu usioweza kubadilishwa ulindwe na kuhifadhiwa kwa ajili ya kufurahiwa na vizazi vijavyo.”Siku hii huadhimishwa kila mwaka Mei 5 na UNESCO inasema ni fursa kwa watu kote duniani, na hasa Waafrika, kusherehekea urithi wa kipekee wa kitamaduni na wa asili wa bara hilo.
Umuhimu wa elimu kwa watoto wa jamii ya kimasai
Umuhimu wa muziki katika Ibada ya kumtukuza Mungu, Shinda tabia za Madeni
Umuhimu wa asali kwa afya ya mwanadamu, Kujitambua
Umuhimu wa asali kwa mwanadamu, kujitambua
Umuhimu wa kutunza muda kwa watoto