Podcasts about maana

  • 59PODCASTS
  • 306EPISODES
  • 26mAVG DURATION
  • 5WEEKLY NEW EPISODES
  • May 29, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about maana

Latest podcast episodes about maana

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "MISHEMISHE.”

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 29, 2025 0:38


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili mtaalam wetu leo ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi  Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno "MISHEMISHE.”

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "DAHARI"

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 22, 2025 0:36


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "DAHARI."

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu maana ya Nadhiri?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 21, 2025 19:25


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Achilleus Rwechungura, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema . Maana ya Nadhiri  Je, nadhiri zinaweza kutolewa na Mungu au Mtu ? L'articolo Je, wafahamu maana ya Nadhiri? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu nini maana ya Familia na umuhimu wake?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 20, 2025 23:14


Karibu katika kipindi cha Familia ni nyumba ya Mungu, Mwezeshaji ni Padre Elwald Kilasara, Mwalimu na Mlezi katika Seminari Kuu ya Mtakatifu Karol Lwanga Segerea, Jimbo Kuu la Dar es salaam, akizungumzia juu ya maana ya Familia na umuhimu wake. L'articolo Je, unafahamu nini maana ya Familia na umuhimu wake? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu maana na asili ya neno Biblia.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 20, 2025 26:04


Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Mbiu ya heri, Mwezeshaji ni Frateri Yohane Makaya kutoka Seminari Kuu ya Kitaifa ya Familia Takatifu Mwendakulima, Jimbo Katoliki Kahama, akitufundisha juu ya maana na asili ya Biblia. L'articolo Fahamu maana na asili ya neno Biblia. proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "KIANGO."

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 15, 2025 0:52


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili mtaalam wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno "KIANGO."

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Methali za Kiswahili na Maana Zake

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later May 10, 2025 39:14


Safari ya kuchunguza methali za Kiswahili - kutoka maana ya juu hadi hekima ya ndani. Kila kipindi kinatufunulia ukweli uliofichika kwenye maneno ya wahenga, tukielewa matumizi yake katika maisha ya leo. Jiunge nasi tukichambua busara za jadi zinazoendelea kuongoza maisha yetu.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "DALALI”

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 8, 2025 0:45


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "DALALI”

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana za neno "FIFILIZA"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 10, 2025 0:51


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana za neno "FIFILIZA"

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "MHARUMA.”

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 3, 2025 0:31


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "MHARUMA.”

Radio Maria Tanzania
Fahamu maana ya kujitambua.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 18, 2025 56:40


ungana nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Utume wa walei, Wawezeshaji ni Padre Vitalis Kasembo, Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Kuu la Dar es salaam na Bi. Rose Gerald, Katibu Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu la Dar es salaam, wakiendelea kuzungumzia juu ya karakana ya Uongozi wakijikita zaidi katika kujitambua. L'articolo Fahamu maana ya kujitambua. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Nini maana ya Malimbuko?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 17, 2025 19:38


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Shemasi Ayub Polycarp Mwashibili, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema kadri ya maandiko matakatifu nini maana ya malimbuko au sadaka  ya malimbuko L'articolo Nini maana ya Malimbuko? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno Wakfu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 13, 2025 1:01


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua neno Wakfu.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu maana ya maandamano katika Kanisa Katoliki?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 10, 2025 27:35


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Daudi Fungameza Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea nikijibu swali maandamano yana maana  gani katika Kanisa Katoliki? L'articolo Je, wafahamu maana ya maandamano katika Kanisa Katoliki? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali "Mchawi akifichua mirimo ya wachawi huuawa"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 6, 2025 1:13


Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya methali “MCHAWI AKIFICHUA MIRIMO YA WACHAWI HU UAWA”.

Radio Maria Tanzania
Fahamu kwa undani maana ya Jumatano ya Majivu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 5, 2025 29:38


Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Tafakari Nasi, Studio nipo  na Padre David Kagombe kutoka Jimbo Katoliki Iringa, leo anatutakafarisha juu ya Jumatano ya majivu na kipindi cha Kwaresima. L'articolo Fahamu kwa undani maana ya Jumatano ya Majivu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu maana ya kipindi cha Kwaresima.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 4, 2025 57:18


Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya kipindi cha Kwaresima L'articolo Fahamu maana ya kipindi cha Kwaresima. proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “Fahari isiyo pari haina heri"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 27, 2025 1:14


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya methali “FAHARI ISIYO PARI HAINA HERI.”.

Radio Maria Tanzania
Nini maana ya maneno “Anayetaka kuwa Mkubwa na awe Mtumishi wa wote”

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 26, 2025 25:51


Ungana nami Happiness Mlewa, katika Kipindi cha Tafakari Nasi leo tupo na Padre Frank Mwinami, Kutoka Seminari ya Mtakatifu Yosefu Kilocha, Jimbo Katoliki Njombe. Anatafakari nasi juu ya maneno kutoka Maandiko Matakatifu yasemayo ” Anayetaka kuwa Mkubwa na awe mtumishi wa wote.” L'articolo Nini maana ya maneno “Anayetaka kuwa Mkubwa na awe Mtumishi wa wote” proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Nini maana ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 14, 2025 42:00


Ungana nami Judith Fransisi katika Kipindi cha Elimu Jamii, Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania  Wawezeshaji ni Masista wa Shirika la Holly Union, wakizungumzia juu ya Kupinga Usafirishaji  haramu wa Binadamu. L'articolo Nini maana ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: maana za neno “MSUMBI”

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 13, 2025 0:57


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa      nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana za neno “MSUMBI”

Radio Maria Tanzania
Fahamu maana ya matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 11, 2025 54:01


Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akiendelea kutufundisha juu ya Matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu. L'articolo Fahamu maana ya matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ni, maana ya Malipizi?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 10, 2025 48:18


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Ayuto Kongo, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea nikijibu, swali la Msikilizaji linalosema kama ikitokea Mtu ameungama halufu akasahau yale aliyoangizwa kufanya afanye huwa ni nini hutokea. L'articolo Ni, maana ya Malipizi? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “MTI WENYE MATUNDA NDIO HURUSHIWA MAWE”.

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 6, 2025 1:42


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya methali “MTI WENYE MATUNDA NDIO HURUSHIWA MAWE”.

Radio Maria Tanzania
Ni nini maana ya miito Mitakatifu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 6, 2025 37:44


Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Elimu Jamii, Wawezeshaji ni Sister Julia Jonathan, Sister Flora Kimaro na Mnovisi Cresensia kutoka Shirika la Masisiter la Mama wa Karmel, wakielezea juu ya Miito Mitakatifu katika Shirika lao. L'articolo Ni nini maana ya miito Mitakatifu? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu maana ya matumaini nanga ya maisha?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 6, 2025 52:50


Ungana nami Mtangazaji wako Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akiendelea na mada ya Mahujaji katika matumaini kipengele cha matumaini nanga ya maisha. L'articolo Je, wafahamu maana ya matumaini nanga ya maisha? proviene da Radio Maria.

maisha radio maria maana ungana mkurugenzi
Radio Maria Tanzania
Nini maana ya Atukuzwe Baba?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 3, 2025 29:06


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Daudi Fungameza, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea Nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Nini maana ya Atukuzwe Baba? L'articolo Nini maana ya Atukuzwe Baba? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno “MAADHURA”

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 30, 2025 0:53


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno “MAADHURA”

Radio Maria Tanzania
Je, nini maana ya Epifania?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 27, 2025 16:29


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Job Fidelis Baraka, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Katoliki La Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Je, nini maana ya Epifania? L'articolo Je, nini maana ya Epifania? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Nini maana ya Dhana ya Ndoa?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 27, 2025 57:41


Karibu ungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa sheria za kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, akituongoza kujifunza Muendelezo wa Dhana ya Ndoa. L'articolo Nini maana ya Dhana ya Ndoa? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu maana ya Uwakili wa Matumaini?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 27, 2025 60:00


Ungana nami Esther Magai  Hangu, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akiendelea kutufundisha juu ya Uwakili wa Matumaini. L'articolo Fahamu maana ya Uwakili wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Nini maana ya Usingizi?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 27, 2025 41:31


Ungana nami Mtangazaji wako Judith Mpalanzi, katika Kipindi cha  Ijue Afya yako Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania, Mwezeshaji ni Daktari Wilson Mgaya Mwanasaikolojia Kutoka Hospitali ya Rufaa ya  Mtakatifu Francis Ifakara mada ni Usingizi. L'articolo Nini maana ya Usingizi? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya msemo “HIVI KWELI KISAUNI KUTOTA MVINDE?”

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 23, 2025 0:38


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mchambuzi wetu mlumbi wa Kiswahili Joramu Nkumbi kutoka nchini Tanzania, anafafanua maana ya msemo “HIVI KWELI KISAUNI KUTOTA MVINDE?” 

SBS Swahili - SBS Swahili
What does January 26 mean to Indigenous Australians? - Januari 26 ina maana gani kwa wa Australia wa Asili?

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jan 23, 2025 8:49


In Australia, January 26 is the national day, but the date is contentious. Many migrants who are new to Australia want to celebrate their new home, but it's important to understand the full story behind the day. - Nchini Australia, Januari 26 ni siku kuu ya taifa, ila tarehe hiyo ina utata. Wahamiaji wengi ambao ni wageni Australia, hutaka kusherehekea nchi yao mpya ila, ni muhimu kuelewa hadithi kamili kuhusu siku hiyo.

Radio Maria Tanzania
Fahamu maana ya kuwahukumu Wazima na Wafu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 23, 2025 26:28


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Innocent Mazimba Kambole, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Yesu anakuja kuwahukumu wazima na wafu Makaburi yatafunuka au tena Watakatifu tunaamini wapo Mbinguni Je, Makaburi yao nayo yatafunuka kwa ajili ya hukumu? L'articolo Fahamu maana ya kuwahukumu Wazima na Wafu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Nini maana ya Talaka?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 21, 2025 51:48


Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Ijue sheria, Mwezeshaji ni  Bi. Emmy Mwamgiga, Hakimu Mkazi katika Mhakama ya Mwanzo, Kutoka Jimbo Katoliki Iringa akituongoza akielezea juu ya Talaka L'articolo Nini maana ya Talaka? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ifahamu maana ya mwenye nguvu amenitendea Makuu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 21, 2025 28:42


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph, katika Kipindi cha Tafakari Nasi Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania leo tupo naye Padre Gidion Kitamboya kutoka Parokia ya Mtakatifu Luka Mwinjili -Hemba Hemba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, akielezea Mwenye nguvu amenitendea Makuu.   L'articolo Ifahamu maana ya mwenye nguvu amenitendea Makuu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu maana ya Maneno Ee Bwana Sistahili uingie kwangu lakini sema neno tu na Roho yangu itapona.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 20, 2025 18:45


Karibu katika Kipindi cha Maswali ya Imani ukiwa nami Frateri  Samson Peter Tibianus, Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Nini maana ya maneno Ee Bwana Sistahili uingie kwangu lakini sema neno tu na Roho yangu itapona? L'articolo Fahamu maana ya Maneno Ee Bwana Sistahili uingie kwangu lakini sema neno tu na Roho yangu itapona. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Jubilei maana yake nini katika Bibilia?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 20, 2025 58:52


Ungana nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard  Maliva, Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa akituongoza kujifunza Kauli ya mbiu ya Jubilei 202 5 Mahujaji katika Matumaini. L'articolo Jubilei maana yake nini katika Bibilia? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi wa maana ya neno “UKONAVI AU JAZUA.”

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 16, 2025 0:55


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii leo mchambuzi wetu mlumbi wa Kiswahili Joramu Nkumbi kutoka nchini Tanzania, anafafanua maana ya neno “UKONAVI AU JAZUA.”  

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "Kwego"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 9, 2025 1:03


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno “KWEGO"

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi maana ya neno MIDABWADA

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 12, 2024 0:28


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno MIDABWADA” 

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya maneno “MBUKU NA MSUNUNU”

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 5, 2024 0:48


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mchambuzi wetu mlumbi wa Kiswahili Joramu Nkumbi kutoka nchini Tanzania, anafafanua maana ya maneno “MBUKU NA MSUNUNU.” 

Habari za UN
Jifunze Kiswahili - maana ya neno HEKEMUA!

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 24, 2024 0:22


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno HEKEMUA!  

Habari za UN
Tofauti ya maana ya maneno Ajali na Ajari, hasa pale yatakapotamkwa kwa kuchanganya herufi ‘R' na ‘L'

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 17, 2024 1:00


Katika kujifunza lugha ya kiswahili, matamshi sahihi ya lugha husaidia kufikisha ujumbe sahihi. Kinyume cha hivyo ujumbe utakuwa sivyo ndivyo na ndio maana hii leo, mbobezi wa lugha ya Kiswahili, Joramu Nkumbi kutoka Tanzania anafafanua tofauti ya maana ya maneno Ajali na Ajari, hasa pale yatakapotamkwa na mzungumzaji anayechanganya herufi ‘R' na ‘L'

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maana ya ndoa na lengo lake katika familia

Habari za UN
Jifunze Kiswahili - Maana ya neno “NGEJA”

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 3, 2024 1:03


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno “NGEJA”

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno “KILIWAZO”

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 12, 2024 0:57


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno “KILIWAZO”.

SBS Swahili - SBS Swahili
Baby blues au unyogovu wa uzazi? Jinsi yaku jisaidia pamoja na mpendwa wako

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 11, 2024 13:09


Kama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hisia ambazo wanawake wanne kati ya watano hupata baada ya kujifungua.

Remarkable Retail
It's the End of Retail As We Know It with Azita Martin, Vice President and GM of AI for Retail, CPG and QSR at NVIDIA

Remarkable Retail

Play Episode Listen Later May 21, 2024 47:42


Azita Martin,  Vice President and GM of AI for Retail, CPG and QSR at NVIDIA is our very special guest. She joins us to discuss the ways AI is beginning to transform the retail landscape, and how NVIDIA is helping accelerate retailers' journeys.We start off by discussing how NVIDIA has grown to become the third most valuable company in the world, before focusing in on how they leverage their hardware and software solutions to power retail innovation. We dig into where GenAI is gaining the greatest traction and where new use cases are emerging that save retailers money and drive great effectiveness. In particular, we explore how "digital twins" can unlock previously unimaginable value.But first we give our hot takes on the week in retail news, including a bit of good news on the grocery inflation front and strong quarterly results from Walmart and one of our favorite emerging remarkable brands On Running. But the earnings news is far less favorable for JC Penney and Home Depot. We end with a discussion of Wayfair's first big (and overdue) foray into physical retail.Presented by Celonis.Information from NVIDIA:https://www.nvidia.com/en-us/lp/industries/state-of-ai-in-retail-and-cpg/https://www.nvidia.com/en-us/industries/retail/driving-agility-in-retail-with-ai-ebook/https://www.nvidia.com/en-us/industries/retail/About AzitaAzita leads the Retail team at NVIDIA. She is responsible for global go-to-market strategy in the vertical. She advises senior executives on best practices of leveraging AI to improve operational efficiencies and identify new revenue streams. Prior to NVIDIA, Azita was the Chief Marketing Officer at Maana, an AI software platform used by industrial companies to accelerate building AI applications. Azita has been working with the Chief Digital Officers and heads of analytics/AI of F500 industrial companies and is intimately familiar with the top AI use cases that are demonstrating business value. About UsSteve Dennis is a strategic advisor, board member, and keynote speaker focused on strategic growth and transformation and the impact of digital disruption. He is the author of the bestselling book Remarkable Retail: How To Win & Keep Customers in the Age of Disruption and the all new Leaders Leap: Transforming Your Company at the Speed of Disruption , now available for purchase in the U.S. and available for pre-order at book retailers elsewhere. Steve regularly shares his insights in his role as a Forbes senior contributor and on social media..Don't forget to join Steve's new Linked Group for his new book.Michael LeBlanc is the president and founder of M.E. LeBlanc & Company Inc, a senior retail advisor, keynote speaker and media entrepreneur. He has been on the front lines of retail industry change for his entire career. He has delivered keynotes, hosted fire-side discussions and participated worldwide in thought leadership panels, most recently on the main stage in Toronto at Retail Council of Canada's Retail Secure conference with leaders from The Gap and Kroger talking about violence in retail stores, keynotes on the state & future of retail in Orlando and Halifax, and at the 2023 Canadian GroceryConnex conference, hosting the CEOs of Walmart Canada, Longo's and Save-On-Foods Canada. Michael brings 25+ years of brand/retail/marketing & eCommerce leadership experience with Levi's, Black & Decker, Hudson's Bay, Pandora Jewellery, The Shopping Channel and Retail Council of Canada to his advisory, speaking and media practice. Michael also produces and hosts a network of leading retail trade podcasts, including the award-winning No.1 independent retail industry podcast in North America, Remarkable Retail,Canada's top retail industry podcast; the Voice of Retail; Canada's top food industry and the top Canadian-produced management independent podcasts in the country, The Food Professor, with Dr. Sylvain Charlebois. Rethink Retail has recognized Michael as one of the top global retail influencers for the fourth year in a row, Coresight Research has named Michael a Retail AI Influencer, and you can tune into Michael's cooking show, Last Request BBQ, on YouTube, Instagram, X and yes, TikTok. Available for keynote presentations helping retailers, brands and retail industry insiders explaining the current state of the retail industry in Canada and the U.S., and the future of retail.