Mimi ni kijana Mwenye malengo na mchapakazi,Podcast yangu itahusu Mawazo ,Matukio,Ubunifu na Msukumo!

Smiles Never Lie, Souls Never Die... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Share with someone who needs to hear this today they might thank you. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Say YES if you know this feeling --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Tag a real Friend! --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Apple Music Kupanua wigo wake katika nchi zifwatazo Africa: Algeria, Angola, Benin, Chad, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Namibia, Republic of the Congo, Rwanda, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, Tanzania, Tunisia na Uganda. Teachable : Wewe ni Mwalimu? Basi; Tengeneza na Uza masomo mazuri na Teachable Ustadi wako na uzoefu wako ni wakipekee na wenye thamani. Kwa urahisi kabisa unda tovuti nzuri,Sambaza maarifa yako na upate thawabu. https://www.apple.com/apple-music/ https://teachable.com/ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Leo tuzungumzie matumizi sahihi ya BARAKOA (face mask) maana Maradhi ya Corona (COVID19) yamekuja na mambo yake. KUTOKANA NA UWEPO HAFIFU WA VIFAA VYA UPIMAJI PAMOJA NA UHALISIA WA MAISHA YETU YA KILA SIKU YA KUKUTANA NA MISONGAMANO YA WATU MIMI NAONA NI VYEMA TU KUIVAA MAANA NI NGUMU KUJUA KAMA TUMEAMBUKIZWA TAYARI AU WALIOTUZUNGUKA WAMEAMBUKIZWA AMA LAH --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Episode ya Leo kwenye Seth Wa East yahusu Corona Virus (COVID19), Umbali wa Kijamii na Ambavyo Mungu amekua akitumia namba 40 na Jinsi namba 40 ilivyoonekana tena kwenye tukio la mlipuko wa kirusi cha Corona. https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Moja ya kanuni za kujikinga zinazotangazwa na WHO ni kuosha mikono mara kwa mara kwa sabuni au kemikali maalumu hata kama mikono haionekani kuwa michafu. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba mtu anapoosha mikono kama inayoelekezwa,anaweza kuondoa virusi hivyo endapo viko mikononi.Kukaa mbali kunasaidia kuepusha kusambaa kwa virusi kwa sababu mtu aliyeathrika na virusi vya corona anaweza kukohoa au kupiga chafya inayoamabatana na mate yaliyobeba virusi hivyo kaka karibu, unaweza kuvuta virusi hao. Tazama Filamu iliotoka 2011 ya 'Contagion' Wakiwemo waigizaji maarufu kutoka Hollywood Matt Damon Laurence Fishburne Gwyneth Paltrow Jude Law --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Seth wa East anauliza? Je Upo tayari! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Cheka kidunchu. It's not that offical --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Wiki ya Mazingira, Je! dustbin(Vyombo vya kuweka taka) Vinajitosheleza kwenye miji yetu? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Ishi na Utabasamu Maisha yawe Mwororo --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

Daily noon hustle --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

--- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message

--- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message