Podcasts about kijerumani

  • 4PODCASTS
  • 6EPISODES
  • 16mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Aug 25, 2009LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kijerumani

Latest podcast episodes about kijerumani

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 15 – Mavazi ya Karnivali

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Aug 25, 2009 14:55


Paula na Philipp wanatangaza mara nyingine tena kuhusu Karnivali kutokea barabarani. Wanatambua mavazi tofauti na pia wanajifunza lahaja chache za Kijerumani katika harakati za kazi yao. Afisini Paula analipiza kisasi dhidi ya Ayhan- kwa kutumia taratibu za Karnivali. Kisha kwenye vifijo na nderemo zilizopo barabarani, Philipp na Paula wanatoa taarifa kuhusu mavazi ya asili wanayoyashuhudia. Wanapambana na Papageno kutoka kwenye opera ya Mozart "The Magic Flute" – "Zumari ya Kichawi", na Ikarus, shujaa wa visaasili vya Kigiriki. Philipp na Paula wanakutana na watu wa maeneo mbali mbali ya Ujarumani, wanaozungumza kwa lahaja za kienyeji. Fungua kiungo kilicho chini upate mwongozo wa DW-WORLD.DE wa lahaja.

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 13 – Jumatatu ya Karnivali

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Aug 25, 2009 14:04


Si watu wote wanaofurahia Karnivali. Kazi ya Compu inasababisha waandishi habari hao wawili kwenda Schwarzwald ambako Karnivali inachangamkiwa zaidi. Katika baadhi ya maeneo ya Ujerumani watu wanasherehekea Karnivali kwa furaha kubwa. Katika afisi ya Radio D kuna sintofahamu kati ya wahudumu kuhusu sherehe hizo. Paula haoni la kumvutia hata aungane na Philipp kufurahia. Kwake yeye vazi la kichawi alilovaa Philipp ni kichekesho kikubwa. Philipp anafurahia uchunguzi wao unapowaelekeza Schwarzwald ambako watu waliovaa mavazi ya kichawi wanaiba magari katika zaazaa linaloendelea la Karnivali. Waandishi habari hao wanajaribu kuwa na kipindi cha moja kwa moja cha redio lakini wanashindwa. Wachawi wanamteka nyara Philipp baada ya kumburura kutoka kwenye gari. Mpangilio wa maneno katika Kijerumani si jambo la kuchanganya sana. Tukio hili linalenga nafasi ya kiima na kiarifu.

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 09 – Muziki wa Ludwig

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Aug 24, 2009 15:00


Philipp pia anapata fununu ya kumtambua mgeni. Anaona tangazo gazetini la onyesho la muziki kumhusu Mfalme Ludwig. Akiwa njiani kwenda kwenye ukumbi, anawahoji watalii wanaozuru kutoka maeneo yote ulimwenguni. Huku Paula akiwa afisini mwake Berlin, Philipp naye anahangaika huku na huko mjini Munich. Hana habari yoyote kuhusu jambo aliloligundua Paula, lakini hata hivyo naye anaendelea vyema na uchunguzi wake. Kwenye basi anapoelekea ukumbini anazungumza na watalii kuhusu wanalotarajia kutokana na onyesho la muziki. Fanya mazoezi ya ufahamu wa kusikiliza katika tukio hili. Kwenye basi utasikia lugha nyingi zikizungumzwa. Jitahidi kutambua maneno ya Kijerumani. Utafahamishwa kuhusu neno la kukanushia "nichts" na mahali pake baada ya kitenzi.

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo maarufu...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya njia za kusikiliza Kijerumani

supa somo muziki deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio kijerumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hadithi kuhusu kampuni ya Kijerumani yenye maajabu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (V): Vitenzi tamati vinavyoanzia kwa damit

somo babelsberg huko hadithi deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani kijerumani
Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

Chama cha WafanyibiasharaMashauriano, taarifa, ushawishi: Jinsi uchumi wa Ujerumani unavyojisimamia na kujidhihirisha.Mada: Vyama vya kibiashara na kiuchumi vya Kijerumani

chama marktplatz sura jinsi ujerumani kujifunza kijerumani kijerumani