POPULARITY
Karibu katika Makala haya ya mwisho kabisa katika mwaka 2025, ambapo kama ilivyo ada hukupa nafasi kutathmini ni mada gani iiokugusa katika kipindi cha mwaka 2025, lakini pia hutowa nafasi kwa waskilizaji ktoa salam za mwisho wa mwaka 2025
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa. Skiza makala ya jumaa hili.
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa. Skiza makala ya jumaa hili.
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani ya Muziki kutoka kwake. Mimi ni A LI Bilali bienvenue ama Karibu
Katika Makala haya mtagazaji wako Ali Bilali anakukumbusha baadhi ya makala zilizoruka hewani katika mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kwanza.
Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.
Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Maonyesho ya ushirikiano na Ufaransa na Kenya katika tasnia ya kitamaduni na ubunifu kupitia mpango wa Création Africa. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuzi Ibrah kutoka nchini Tanzania
Jumapili nyingine kabisa tunakutana katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni la parler francophone na Muziki Leo nakuletea utamaduni wa kulinda urithi na uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika. Kwenye Muziki tutahitimisha na burudani kutoka mwa msanii Aslay katika kibao chake alichoshirikiana na Nandy Mimi ni Ali Bilali bienvenue, ama Karibu. .
Wikendi iliyopita, jiji la Melbourne liliendelea kungara kwa rangi, muziki na Ladha za barani Afrika wakati wa tamasha la utamaduni wa afrika lililowajumuisha watu kutoka mataifa mbali mbali. Tamasha hilo lililoandaliwa Federation square, liliwaleta Pamoja maelfu ya wakaazi wa Melbourne na wageni kutoka majimbo tofauti, wote wakikusanyika kusherehekea urithi na utambulisho wa Kiafrika.
Makala haya, mtangazaji wako ametembelea jijini Arusha Tanzania katika makumbusho ya Kimasai kuzungumzia mambo mbalimbali ya tamaduni za kimaasai hususan katika swala la Twahara.
Karibu katika makala ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya siku ya kimataifa ya ukalimani na tafsiri, na kwenye le parler francophone nitakujuwa kinachoendelea kwenye vituo vya Alliance Francaise za Ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mace Ice. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue ama Karibu.
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili changu chako chako changu Makala ambayo khukuletra historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, na eo nakuletea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri ambayo huamdihimishwa kila septemba 30 ya kila mwaka. Kwenye le parler francophone nitakujuwa yaliojiri kwenye kituo cha Alliance francaise, na kwenye Muziki nitakupa Burudani ya Muziki kutoka kwake Aslay. Mimi ni Ali Bilali Karibu ama Bienvenue,
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Leo nakuletea tamaduni na miiko kutoka makabila mbalimbali barani Afrika. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Otile Brown Kutoka chini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue ama Karibu.
Katika Makala ya wiki hii tunaangazia safari ya muziki wa densi visiwani Zanzibar.
Makala ya wiki hii imeangazia namna wasanii wanaoishi katika maeneo yenye vita mashariki mwa DRC wanavyojituma katika kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika. Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alitembelea mji wa Goma mkowani Kivu kaskazini ambako alikutana na msanii wa muziki na mtengeneza filamu Malick Maliro ambaye anaeleza kwa urefu kuhusu mbinu zake
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea hidstoria ya Demokrasia, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Marin MKidumu kutoka Uvira mashariki mwa DRC.
This Saturday at the LSPU Hall in St. John's... Muziki Night - a live music and cultural showcase that brings together artists from Africa, Asia, South and North America to share their sounds, stories, and artistry on one vibrant stage. We welcome two of the organizers and two of the artists to the On The Go studio to hear what's in store. (Krissy Holmes with Lina and Lydia Makaga, musician Ana Luisa Ramos and Sangeeta of Big Steppers NL)
Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
Mji wa Goma mashariki ya DRC unakabiliwa na changamoto baada ya waasi wa M23 kuuchukua mji huo sasa wanamuziki wanalazimika kwenda nchi jirani kufanya Muziki. Tumezungumza naye msani Sisco laga.
Sanaa ya Muziki na Hamis Bss kutoka nchini Tanzania
Ni jumapili nyingine tunakutana mimi na wewe mskilizaji katika makaka haya Changu Chako Chako Changu, ambayo leo ni maalum kabisa, kuhusu maadhimisho ya miaka 15 tangu kuanza kwa matangazo ya idhaa ya kiswahili ya radio France Internationale RFI. Julai 5 mwaka 2010 huko jijini Dar es salaam nchini Tanzania, tarehe ambayo inakwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya lugha ya Kiswahili duniani. Mimi ni Ali Bilali. Bienvenue, ama Karibu
Muziki wa asili hubeba ujumbe unaoakisi Utamaduni wa Jamii ,kwa Tanzania Muziki wa Singeli unatajwa kuakisi Utamaduni wa Kitanzania, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Mwanamuziki wa Muziki wa Singeli Hemed Kiduku.
Katika juhudi za kuimarisha mshikamano na kurejesha matumaini miongoni mwa jamii zilizotengana kwa migogoro, ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, UNMISS, kwa kushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, hivi karibuni waliandaa tamasha maalum la muziki katika mji wa Malakal, jimbo la Upper Nile – eneo ambalo kwa miezi ya hivi karibuni limekuwa kitovu cha machafuko. Sharon Jebichii anatupasha zaidi
Karibu katika Makala yetu ya Leo Jumapili ambayo ni maalum kabisa kuhusu historia ya siku ya Muziki dunia ambayo huadhumishwa kila ifikapo Juni 21. Uko nami Ali Bilali mtangazaji wqko asiependa makuu Bienvenue ama Karibu.
Wanamuziki wachanga wajigamba kuinua muziki wa RNB kufikia malengo,Ungana na Shine 9 katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa
Safari ya Muziki wa kizazi kipya inaanzia mbali,sasa vijana wanalazimika kusafiri kutoka Mikoani kuja jijini Dar es salaam ili kufaulu kisanaa, Eddy Music ni msanii wa Muziki anazungumza na Steven Mumbi katika Makala haya.
Shukran sana kwake maulana kutukutanisha tena jumapili ya leo, ambapo nakuletea historia na namna tamasha la filamu maharugu duniani lijulikanalo kama Festival de cannes ambalo hufanyika mwezi Mei ya kila mwaka, kwenye Palais du festival huko Cannes. Kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya shughuli mbalimbali kwenye vituo vya Alliance Francaise za ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Ali Kiba,
Mwandishi Steven Mumbi anaangazia muziki wa dansi na ule wa kizazi kipya nchini Tanzania.
Karibu mpenzi msikilizaji wa RFI Kiswahili katika Makala Changu Chako Chako Changu maalum kabisa kuhusu historia ya siku ya kimataifa ya uhuru wa wanahabari ambayo huadhimishwa kila Mei 3. Ambapo maadhimoisho haya yanakuja wakati dunia ikikabiliana na changamoto za usamabazaji wa habari za uongo kwa kutumia akili bandia. Mimi ni Ali Bilali Karibu.
Wasanii maarufu kutoka Kenya; Sean MMG, Ssaru na Tipsy Gee walitembelea studio yet hivi karibuni wakati wa ziara yao ya Australia.
Naš najbolj prijazen pokrovitelj T2 in WiFi 7:https://www.t-2.net/odkrijte-wi-fi-7-----------------------------------------------------------Fejmrč na https://www.fejmici.si/Vaše težave: podcast.fejmici@gmail.comPoljubna enkratna donacija na: https://tinyurl.com/y2uyljhmMesečna finančna podpora možna na:3€ - https://tinyurl.com/yxrkqgbc5€ - https://tinyurl.com/y63643l58€ - https://tinyurl.com/y62ywkmtMotitelji:- Gašper Berganthttps://www.gasperbergant.si https://www.instagram.com/gasper.bergant/ - Žan Papičhttps://www.zanpapic.si https://www.instagram.com/zanpapi/ Produkcija: Warehouse Collectivehttps://www.warehousecollective.siGrafična podoba: Artexhttps://www.facebook.com/artextisk
Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa
Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili
Pippa speaks to Tanisha Colon-Bibb, the founder and CEO of Rebelle Management and musician Holy Alpha who will be taking part in Muziki Africa. Colon-Bibb is one of the speakers at Muziki Africa while Holy Alpha will be performing there. See omnystudio.com/listener for privacy information.
Makala ya Muziki, Mungu anaweza kubadilisha historia yako
Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.
Nadharia ya Muziki, Jinsi ya kuzuia hasira
Muziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha
Sayansi ya Muziki, Maombi ya rehema
Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.
Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.
In this empowering episode of "Monique on the Mic," Monique B. Thomas chats with the multifaceted Menoosha Muziki, a TEDx speaker, singer, choir director, MC, and vocal coach. Menoosha shares her journey, from childhood aspirations influenced by her aunt, Bebe Manga, to her vibrant career across various artistic domains. Dive into a conversation that not only explores the power of voice but also celebrates the strength of women, especially women of color, in overcoming societal challenges and seizing opportunities like TEDx talks. Join us for episode 22, where wisdom meets passion, and discover how embracing your true self can lead to unimaginable achievements.Resources :Menoosha Muziki website : https://menoosha.com/about-menoosha/Bébé Manga : https://en.wikipedia.org/wiki/B%C3%A9b%C3%A9_Manga
Gwiji wa Muziki kutoka Benin Bi Angélique Kidjo ana tarajiwa kuwa na tamasha kubwa ndani ya Sydney Opera House usiku wa Jumatano 6 Machi 2024.
Mziki wa injili, Desturi ya Mungu
Makala za muziki wa Injili, Jitamkie maneno mazuri