Andreas bado anafanya kazi Aachen, lakini Dr Thürmann amepata kazi mpya kwa mwenye mtizamo wa kuwa mwandishi habari. Berlin: Jiji kubwa na linalovutia zaidi linamsubiri. Mambo muhimu ya sarufi: Wakati uliopita hali ya kuendelea, vishazi tegemezi, kubadilika kwa vivumishi.

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi

Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Dr. Thürmann anasimulia hadithi ya jengo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vivumishi vya sifa (II)

Barua kwa wazazi wa Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho (declension) wa vivumishi vya sifa (I)

Andreas anawahoji watu mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Wakati ujao (future tense)

Dr. Thürmann anasimulia hadithi kutoka Berlin... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi zinazotumia als au bevor

Andreas anampigia simu Dr.Thürmamm... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi zinazotumia dass

Andreas na Ex wanawasili Berlin... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi (subordinate clauses)

Mkusanyo wa sauti za watu wa Berlin... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Andreas na Ex wanafanya safari ndefu... Muhtasari wa sarufi: Viunganishi (conjunctions)

Kurudi kwa mtu umjuaye ... Muhtasari wa sarufi: Vivumishi vya sifa

Mshairi miongoni mwa panya – Frau Berger anasimulia hadithi... Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita wa vitendo visivyo vya kawaida

Mgeni wa hoteli akutana na matatizo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno katika sentensi kuu

Ex asiachiliwe kujua kila kitu... Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita wa vitendo vya utaratibu

Ex anawazuru Heinzelmännchen.. Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita (imperfect tense) wa vitendo vya kawaida

Wageni wapendao makuu: Mbwa lazima waingie naye hoteli... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo vya utaratibu

Kwa nini Ex ameondoka? Dr.Thürmann anajaribu kutoa maelezo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno

Hakuna habari zozote kutoka kwa Ex... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu kwa kutumia haben na sein

Ziara ya mji wa Aachen... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya hali ya kuamuru (imperative)

Kila nchi ina desturi zake – Kusherehekea siku ya kuzaliwa nchini Uturuki...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo vyenye uhusika wa accusative na dative

Andreas anasherehekea siki yake ya kuzaliwa pamoja na marafiki...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya aina za vidhihirishi

Hanimuni (honeymoon) mjini Aachen...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya majina (nomino) na vijineno

Safari ya kwenda Brussels – na tukio lisilopendeza...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo visivyo vya kawaida (irregular verbs)

Je, umekosa Sehemu ya 1 na 2? Humu wahusika walikuwa...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya wakati uliopo (present tense)

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo maarufu...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya njia za kusikiliza Kijerumani