Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-tendwa, vishazi tegemezi, vitenzi vya kujirejea, dhamir…

Je, Ex anaweza kufanywa aonekane... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Hadithi ya kutafuta utambulisho. Sheria za sarufi: Sentensi za kitenzijina na neno „zu“.

Namna Martin Luther alivyookolewa... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (III)

Hadithi ya Kaizari mwenye ndevu nyekundu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (II)

Mkoa unajitangaza...Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Historia ya kifaa maalumu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (VI): Vitenzi vyenye hali ya sharti

Hadithi ya mlima na wachawi wake... Muhtasari wa sarufi: Kulinganisha kwa so...wie au als

Mkoa unajitangaza... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Historia ya kifaa maalumu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (I)

Dr. Thürmann anamwonyesha Andreas mji alikozaliwa... Muhtasari wa sarufi: muundo wa kulinganisha wa vivumishi vya sifa

Mjini Leipzig: Andreas anamtembelea Dr. Thürmann... Muhtasari wa sarufi: Vitendo jirejee (II)

Mkoa unajitangaza... Muhtasari wa sarufi:: Hakuna sarufi mpya

Ripoti ya Andreas: Watu wanasimulia maisha yao katika Ujerumani ya Mashariki... Muhtasari wa sarufi:Vitendo jirejee (I)

Msichana anahadithia juu ya maisha katika Ujerumani ya Mashariki... Muhtasari wa sarufi: Kitendo chenye hali ya sharti (würde + kitenzi jina)

Hadithi ya haramia maarufu... Muhtasari wa sarufi:: Hali ya kutazamia ya vitendo vya utaratibu

Maumbile ya kupendeza – na makampuni yenye tamaa... Muhtasari wa sarufi: Hali ya kutazamia kwa haben na sein

Mkoa unajitangaza: Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Kandoni mwa njia: Andreas anakutana na bibi wa ajabu... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyofuatana na vihusishi maalumu damit, davon

Hadithi kuhusu kampuni ya Kijerumani yenye maajabu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (V): Vitenzi tamati vinavyoanzia kwa damit

Hadithi ya Mfalme mkarimu wa Prussia... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (IV): Vitenzi tamati

Ujerumani iliyoungana – watu na maafa yao... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (III): Vitenzi vya maridhio

Maafa ya mpea... Muhtasari wa sarufi: Kauli ya kutendwa (passive)

Hadithi kuhusu mapea... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (II): Vitenzi vielezi vya wakati

Mkoa unajitangaza... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Malengo mapya – wote wanataka kuondoka Aachen... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (I). Viwakilishi vya swali.

Nyuma ya mapazia – Andreas katika studio ya matangazo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya sintaksi