Jamii360 Podcast

Follow Jamii360 Podcast
Share on
Copy link to clipboard

Jamii360 Podcast ni uwanja wa kulonga, kuchambua na kujadili masuala ya kijamii na kitamaduni, na athari zake katika jitihada za maendeleo ya jamii zetu kwenye zama hizi za utandawazi. Jamii360 Podcast - a podcast and blog gives a chat, analysis and discussion on social and cultural issues and their…

Daffason


    • Mar 12, 2018 LATEST EPISODE
    • infrequent NEW EPISODES
    • 3 EPISODES


    Search for episodes from Jamii360 Podcast with a specific topic:

    Latest episodes from Jamii360 Podcast

    Episode 3: Majipu ya Magu – Utamaduni wa ‘Punda haendi bila kiboko’ na athari zake katika maendeleo

    Play Episode Listen Later Mar 12, 2018


    Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo.   https://archive.org/download/Episode3_20180312/Episode%20%233.mp3

    Episode 2: Mimba za utotoni: Miiko ya kuongelea ngono na balehe na changamoto zake kijamii

    Play Episode Listen Later Jan 24, 2018


    Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni. Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru... Continue Reading →

    Claim Jamii360 Podcast

    In order to claim this podcast we'll send an email to with a verification link. Simply click the link and you will be able to edit tags, request a refresh, and other features to take control of your podcast page!

    Claim Cancel