POPULARITY
Hii leo jaridani tunaangazia mvutano unaoendelea barani Asia kati ya majirani wawili India na Pakistani, na msaada wa mguu bandia uliowezesha mtototo nchini Kenya kwenda shule. Makala tunakupeleka nchini Tanzania na mashinani tunakwenda katika ukanda wa Gaza.Huko barani Asia majirani wawili India na Pakistani wameendelea kuoneshana mvutano kati yao kwenye eneo la Jammu na Kashmiri tangu tarehe 22 mwezi uliopita wa Aprili baada ya shambulizi huko Pahalgam. Katibu Mkuu ametoa wito kwa mara nyingine tena.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na wadau wameleta neema kwa watoto wanaoishi na ulemavu katika Kaunti ya Kisumu Magharibi mwa Kenya baada ya kuwapa msaada wa vifaa ikiwemo viti mwendo na viungo bandia kupitia mradi wa ubunifu kwa ajili ya watoto wenye ulemavu, msaada uliobadili maisha yao.Makala katika wiki ya chanjo duniani, iliyotamatishwa tarehe 30 wiki iliyopita, mtaa wa Butiama, ulioko Mtoni Kijichi katika wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, nchini Tanzania ulishuhudia wazazi na walezi wakijitokeza kuwapatia watoto wao chanjo muhimu za kuwalinda dhidi ya maradhi hatari. Miongoni mwao ni Hija Halfani ambaye alimpeleka mtoto wake mwenye umri wa siku 42 kupata chanjo yake ya kwanza.”Na mashinani mashinani, kama sehemu ya juhudi za kutoa nafasi ya kujieleza kisanii na kuwaunga mkono Wapalestina kihisia (emotional support), UNRWA imeandaa maonesho ya sanaa katika Shule ya Al-Rimal, ambayo sasa ni makazi ya wakimbizi wa ndani katika ukanda wa Gaza, na watoto walipata fursa ya kuonesha kazi za sanaa zinazoakisi(reflect) madhila wanayopitia wakati wa vita kati ya Israeli na Hamas ambavyo bado vinaendelea. Malak Fayad, msichana mkimbizi kutoka Beit Hanoun ni mmoja wao akionesha sanaa yake.….Mwenyeji wako ni Leah Mushi, karibu!
Nchini Chad, wanawake wanakikundi cha kutengeneza sabuni na mafuta ya kupata mwilini wameamua kuchukua hatua ili umamuma wa kutokujua kusoma na kuandika ambao umewakumba wao, usiwakumbe pia watoto wao wa kike. Wanakikundi hao wa APROFiCA wanaopata ufadhili kutoka Benki ya Dunia wameona ni vema kuchukua hatua hiyo ili kufanikisha lengo namba 4 la Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs la Umoja wa Mataifa kuhusu elimu, kwani elimu ni mkombozi kwa binadamu. Je wamefanya nini? Assumpta Massoi anafafanua kupitia video ya Benki ya Dunia.
Ukosefu wa lishe bora huathiri afya na elimu nchini Kenya Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la linalowahudumia Watoto (UNICEF) imeonesha kuwa takriban watoto milioni mbili nchini Kenya wanakabiliwa na matatizo yanayotokana na utapiamlo. Mipango ya lishe bora shuleni eneo la Nyanza na maghari mwa Kenya umeonekana kuwa suluhu huku wanafunzi wakipata vyakula vilivyo na virutubishi bora vinavyosaidia kuboresha kinga ya mwili,hivyo kuimarisha afya .
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Marlee is joined by Shule Ozek, Shadow Work Coach and Energetic Business Mentor, for a conversation about a new paradigm of manifestation and abundance. Shule shares traps around manifestation to look out for and how to recognize the energy of need, lack, scarcity, and separation that can be hidden beneath the surface and blocking our manifestations. Shule also shares about how to manifest from the soul instead of the ego and how to live life from a place of miracles, magic, and openness! This episode will help you find happiness, peace, and abundance in this present moment!Find Shule on Instagram @shuleozek and listen to Shule's podcast here: Consciously Thriving PodcastDownload Marlee's FREE 13-page guide to healing from burnout: https://view.flodesk.com/pages/6414eb0277832bf800372d9bMarlee's Podcasting Masterclass- In this masterclass, Marlee shares everything she's learned about podcasting the past 4+ years! This is for you if you've felt the nudge to start a podcast but want some guidance, or are a new podcaster but want some tips and tricks! This class will act as a resource for you during every stage of your podcasting journey! To learn more click here: https://shifting-with-marlee.teachable.com/p/podcasting-masterclassSign up for the Shifting with Marlee monthly newsletter here: https://view.flodesk.com/pages/62e6e0073e2a2e3f854a892eConnect with Marlee on Instagram @shiftingwithmarleeSend us a textSupport the show
Shughuli za baada ya shule huwapa watoto na vijana faida nyingi, kuanzia kujifunza ujuzi mpya hadi jinsi yakupata marafiki wapya. Wakati kuna chaguzi nyingi nchini ya vitu vyakufanya nchini Australia, shughuli hizo zina weza kuwa ghali.
Mashirika ya Umoja wa Mataifa, lile la Kuhudumia Watoto, UNICEF na la Mpango wa Chakula duniani, WFP kwa kushirikiana na mradi wa pamoja wa kimataifa wa mnepo ,au Joint Resilience Project (JRP) nchini Sudan Kusini ,wanatekeleza msaada wa chakula bora na salama bila malipo kwa watoto shuleni ,kwa zaidi ya wanufaika laki tano alfu Hamsini 550,000 ili kuhakikisha ndoto za watoto hao zinatimia. Ni sauti ya watoto wakitembea kuelekea shuleni huku wakiwa wamevibeba vitabu vyao mikononi.Kupitia video iliyoandaliwa na UNICEF, Tieng Maleng, mnufaika wa mradi wa JRP kutoka kijiji cha Pangapdit anaonekana akiwapa watoto wake kiamsha kinywa huku wakiwa wamekaa nje ya boma lao wakiwa wamevalia sare zao tayari kwenda shule. Kwa furaha anaeleza jinsi mradi huu umekuwa wa manufaa kwa familia yake.“Baada ya kupokea msaada wa kifedha, nilitumia fedha kidogo kulipa ada ya shule ya watoto wangu. Nikachukua sehemu kidogo ya fedha hizo kununua viatu vyao, na dawa. Pia nilitumia sehemu nyingine ya msaada huo katika kilimo.”Katika shule ya msingi ya Pangapdit inayoungwa mkono na mradi huu, watoto wanaonekana wakiwa wamesimama kwenye gwaride la shule wakisikiliza maelekezo kutoka kwa walimu wao. Aluel,Mwanawe Tieng Maleng, ambaye ni mwanafunzi katika shule hiyo anasema, “Tunaenda shule kila asubuhi na ndoto yangu ni kufanya kazi na mashirika yanayosaidia watu. Wakati kengele ya shule inapolia, tunakusanyika kwa ajili ya mkutano na baadaye tunaenda darasani.”Kupitia mradi huu,wanafunzi wamepokea vitabu vya kusoma,wamejengewa madarasa mapya, vyoo bora , na mifereji ya kunawa mikono.UNICEF na WFP wanafanya kila wawezalo kuhakikisha kuwa watoto wanatimiza ndoto zao.
Mwaka wa shule wa 2025 uli anza Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili walirejea shuleni Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.
Mwaka wa shule wa 2025 ume anza hii leo Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili wanatarajia kurejea shuleni kesho Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.
Kuna salia wiki chache kwa mwaka wa shule wa 2025 kuanza, janga la gharama ya maisha lina endelea kuweka shinikizo kwa familia zinazo lipa karo ya shule.
In this episode, I am joined by a lovely guest, Shule! She is a shadow work mentor for spiritual entrepreneurs who are here to take their businesses to the next level without compromising on alignment. Listen to understand the importance of emotional awareness, the impact of beliefs on how your clients perceive you, and practical strategies for maintaining magnetism in business. We also have a juicy discussion about the significance of seeing clients as empowered individuals. Follow Shule @shuleozek Chapters 00:00 Introduction to Spiritual Entrepreneurship 02:42 Exploring Shadow Work 12:56 Personal Experiences with Shadow Work 19:58 Strategies for Manifestation and Staying Magnetic 23:14 Breaking the Cycle of Rejection 29:21 The Power of Perception in Coaching 39:05 Magnetism and Presence in Business 43:57 Introduction to Spiritual Business Coaching Whisker-licking Good Resources Learn about Feline Energy in my 3-Part Feline Energy Trainings Let's connect deeper! Instagram Website Subscribe to the Juicy Inside Scoop Newsletter
Ungana nami Judith Mpalanzi, Katika Kipindi cha Usalama Barabarani Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania leo nipo na Mkaguzi wa Polisi kitengo cha Elimu Usalalama Barabarani, Tafti Makao Makuu pamoja na Sajenti ikiwa mada ni Ukaguzi wa Mabasi ya Shule. L'articolo Ni, kwanini Mabasi ya Shule yakaguliwe? proviene da Radio Maria.
Heute mit einem Tag in der Schule, einem Doppelgänger und natürlich mit der Maus. Von WDR.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Kupitia mradi wa Pamoja wa Kigoma, KJP, awamu ya Pili, Shule ya Msingi Buhigwe, iliyoko wilayani Buhigwe, mkoa wa Kigoma, ilipatiwa mafunzo kupitia Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), likishirikiana na asasi isiyo ya kiserikali RECODA. Mafunzo haya yalilenga mbinu bora za kilimo ambapo wanafunzi waliweza kuanzisha bustani za mboga kupitia somo la Elimu ya Kujitegemea. Mradi umeanza kutekelezwa na matunda yanaanza kuonekana kama asimuliavyo Assumpta Massoi kwenye makala hii.
Karibu Uungane Sister Stella Rweyema kutoka Shirika la Kanosa katika Kipindi cha Walinde Watoto na leo studio yupo Mtoto Prosper Caristus Mwanafunzi wa Shule ya Secondary ya Kondo Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam. L'articolo Ifahamu Historia ya Prosper Caristus. proviene da Radio Maria.
Maelfu ya watoto katika Kaunti ya Kilifi Pwani ya Kenya kwa miaka mitatu iliyopita wamelazimika kuacha shule kutokana na umasikini na ukame na mafuriko yaliyochangiwa na mabadiliko ya tabianchi. Lakini sasa wizara ya elimu ya Kenya kwa kushirikiana na mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, wakfu wa Education Above all na wadau wengine juhudi zinafanyika kuwarejesha watoto shuleni. “Niliacha shule darasa la nne ilikuwa mwaka 2022, kwasababu shuleni walikuwa wananirejesha nyumbani nikalete ada. Sasa nikifika nyumbani wazazi wanasema hawana”Huyo ni David Tumaini kijana mwenye umri wa miaka hivi sasa 16 mmoja wa wanafunzi waliolazimiika kukatiza masomo miaka miwili iliyopita katika shule ya msingi ya Soyosoyo kutokana na umasikini. Kwa miezi kadhaa alihaha kusaka njia ya kuendelea na masomo."Nilikaa nyumbani kwa muda wa miezi mitano, wakati wenzangu wanakwenda shule na ni siku za masomo na wewe uko nyumbani. Hii inakufanya ujihisi kama wewe si mtu muhimu.”Hisia kama hizo na mustakbali wa watoto hao ndio kilicholisukuma shirika la UNICEF kuanzisha mradi wa “Elimisha mtoto” likishirikisha wizara ya elimu ya kenya na wadau wengine ili kuhakikisha watoto kama David wanarejea shuleni. Elizabeth Waitha ni afisa elimu wa UNICEF.“Tuliweza kubaini Kaunti 16 ambazo zilikuwa na watoto zaidi ya 10,000 ambao wanaendi shuleni, na hii ilikuwa ni kwa shule za msingi tu. Na tukaangalia ni jinsi gani ya kuhakikisha mazingira bora ya kusoma kwa watoto waliosajiliwa kwenye mradi. Na tumeweza kuwasaidia zaidi ya wanafunzi milioni kwa vifaa vya shule na pia kwa waalimu vifaa vya kuandikia kama chaki, kalamu na vingine.”Na ndipo David akasikia kuhusu mradi huo,“Nilipata taarifa kutoka kwa walimu ya kwamba kuna mradi ambao unawasaidia watoto walioacha shule ili warehjee shuleni kuendelea na masomo. Sasa nilipokuja shuleni nikaambiwa wewe tutakusajili katika huu mradi wa msaada , ndipo nikaweza kurejea masomoni, hadi sasa nipo shuleni kwa sababu ya msaada huu. Vitu ambavyo nilipewa ni pamoja na mkoba wa madaftari, vitabu, kalamu na vifutio.”Hii imemrejeshea David matumaini ya ndoto yake“Mimi nikimaliza kusoma nataka kuwa Daktari ili kusaidia wagonjwa. Na katika kusaidia wagonjwa mshahara nitakaolipwa ntajisaidia mwenyewe na pia kusaidia familia yangu”Kupitia mradi huu mbali ya vifaa umewezesha zaidi ya watoto 256,000 kurejea shuleni na bado wanaendelea na masomo.
Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng'ambo.
Les têtes d'affiche de Denise Epoté de TV5 Monde, comme chaque dimanche sur RFI, avec Grégoire Morelli : Mannick Syllas Bryant, originaire de RDC, a conçu en 2018 la plateforme « Shule System », une plateforme qui permet à une centaine d'écoles de mieux gérer leurs activités. Et Souad Fodil, originaire d'Algérie, après avoir travaillé 15 ans dans le secteur pharmaceutique, elle a fondé « Food On Diet », une entreprise agroalimentaire qui produit des boissons pétillantes à base de fruits et de légumes.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kulinda elimu isishambuliwe wakati wa mizozo kutokana na umuhimu wake kwa watoto na jamii, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema miaka ya karibuni imeshuhudia ongezeko kubwa la mashambulizi dhidi ya wanafunzi, walimu na shule duniani kote. Hivyo ndivyo alivyoanza ujumbe wake wa siku hii. Katibu Mkuu anasema kuanzia Gaza hadi Sudan, Myanmar, Ukraine, Colombia hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na kwingineko, vita inasababisha ukatili kwa binadamu, lakini kwa watoto na vijana waliokutwa katikati ya jinamizi la vita, gharama haiwezi kukokotolewa.Anasema ndio maana siku hii inatukumbusha jinsi vita inaharibu miili, akili na fikra za watoto na vijana. Kuanzia majeraha hadi vifo, kutekwa nyara, kulazimika kukimbia, ukatili wa kingono, kutumikishwa vijana na kupoteza fursa. Hatari ni kubwa sana.Anakumbusha kuwa elimu sio tu haki ya msingi ya binadamu, bali ni muhimu kwa ajili ya kutimiza haki nyingine zote za binadamu.Ni kwa mantiki hiyo anataka nchi ziwekeze kwenye elimu na zifanye juhudi zote kuhakikisha wakati wa mizozo elimu na maeneo ya kujifunza yanalindwa, zilinde wanafunzi na walimu na ziwawajibishe wale wote wanaoshambulia shule.Ametumia pia ujumbe huo kuzitaka nchi ziridhie na zitekeleze Azimio la Shule Salama, ziunge mkono Ubia wa Kimataifa wa Kuepusha Mashambulizi dhidi ya Shule na zishikamane na juhudi zote za kuhakikisha watoto na vijana wanaendelea kujifunza iwe wakati wa majanga au wakati majanga yanapokoma.Ametamatisha akisema hebu na tulishe elimu isishambuliwe, tulinde haki ya msingi ya elimu ambayo ni haki ya kila mtoto, kila mtu kokote kule.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
VOA EXPRESS
Katika kipindi hiki cha "The Friendly Troll," msimulizi Calvin Mulindwa anachunguza kwa kina haki za picha nchini Kenya, akiangazia msingi wao wa kisheria na athari zake katika dunia halisi. Kipindi hiki kinachambua maana ya haki za picha, pamoja na haki ya kudhibiti matumizi ya sura ya mtu katika maeneo ya umma na biashara. Calvin anajadili sheria muhimu kama vile Sheria ya Ulinzi wa Data ya Kenya ya 2019 na Ibara ya 31 ya Katiba, akielezea jukumu lao katika kulinda faragha binafsi. Kupitia kesi muhimu kama vile Wangechi Waweru Mwende dhidi ya Tecno Mobile Limited na Jessica Clarise Wanjiru dhidi ya Davinci Aesthetics, kipindi hiki kinaonyesha jinsi mahakama zilivyoshughulikia ukiukwaji wa haki hizi, ikisisitiza umuhimu wa ridhaa wazi na matumizi halali ya picha binafsi. Majadiliano pia yanatoa ushauri wa vitendo kwa watu binafsi na wadhibiti na wasindikaji wa data juu ya kuheshimu na kulinda haki za picha katika mazingira ya kidijitali na biashara.Malalamiko Yaliyoorodheshwa:Phyllis Nyaboke dhidi ya Grola Tech Limited T/A Lion Cash - Ukiukaji wa kutopata ridhaa ya moja kwa moja.Brian Wainaina na Gathoni Mattai dhidi ya Deltech Capital Kenya Limited T/A Mykes - Kushindwa kutoa taarifa inayofaa kuhusu matumizi ya data, ikisababisha uvunjaji wa faragha.Edith Andeso dhidi ya Shule za Olerai Limited - Masuala kuhusu usimamizi wa ridhaa endelevu kwa madhumuni ya masoko.Christine Wairimu Muturi dhidi ya Shule ya Roma Uthiru - Mahitaji ya ridhaa wazi ya wazazi kwa usindikaji wa data za watoto wadogo.Sheria Zilizonukuliwa: Ibara ya 31. Katiba ya Kenya Sheria ya Ulinzi wa Data ya 2019. Uamuzi wa Mahakama ya Kenya: Wangechi Waweru Mwende dhidi ya Tecno Mobile Limited [2020]Image Rights - Release Form Information Pack Music:Intro/Outro – https://pixabay.com/music/id-102694/
Opposition Leader Peter Dutton addressed a packed St Kilda Shule in Melbourne on Friday, telling the audience that the magnitude and the intensity of antisemitism which has emerged in Australia recently is shocking. Shane Desiatnik from the Australian Jewish News, reporting to SBS Hebrew Shalom Australia.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wa Australia wana bahati yakuwa na sekta mbali mbali za shule na, uwezo wa kuchagua sekta ipi inawafaa watoto wao pamoja namazingira.
Ikiwa leo ni Siku ya Kimataifa dhidi ya Ajira au Utumikishaji wa Watoto ambayo inakusudia kutumika kama kichocheo cha kuongeza harakati za kimataifa dhidi ya ajira au utumikishwaji kwa watoto na ikisisitiza uhusiano kati ya haki za kijamii na ajira kwa watoto, kama ilivyo kwa nchi nyingine wanachama wa Umoja wa Mataifa, Tanzania nayo imeungana na mataifa mengine kuadhimisha siku hii ambapo maadhimisho hayo yamefanyika Kitaifa katika kijiji cha Gua, Kata ya Gua katika Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Mkoani Songwe. Kupitia siku hii muhimu kwa Watoto ulimwenguni kote, baadhi ya watoto kutoka Shule ya Msingi Gua wametoa maoni yao kuhusu umuhimu wa maadhimisho haya, miongoni mwao ni, Grace yeye ni muelimishaji jamii kuhusu utumikishwaji wa mtoto kwenye mashamba ya tumbaku, hapa anazungumzia hali ya utumikishwaji ilivyo kwa sasa, Kwa upande wake Innocent David Pesa amewashauri wazazi na walezi juu ya athari za utumikishwaji wa mtoto, Maadhimisho ya mwaka huu yanaenda Sambamba na kauli mbiu isemayo “Haki za Jamii kwa Wote, Tokomeza utumikishwaji wa Mtoto”
Nchini Tanzania Shirika la lisilo la kiserikali la Girls Livelihood and Mentorship Initiative (GLAMI) kupitia Mradi wake wa Binti Shupavu, unaowajengea Stadi za Maisha ikiwemo uwezo wa kujitambua, mabinti walioko Shule, unaendelea na juhudi za kufanikisha Lengo la Nne la maendeleo endelevu SDG's linalohusu Elimu, ambapo Jumla ya wasichana 824 wananufaika kutoka katika Shule Tisa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini, ambapo Mwezi huu wa Tano limekamilisha Programu ya kufanya vikao na wazazi katika Shule hizo ili kuwajengea uwezo wa malezi ya watoto wao. Hamad Rashid wa Redio washirika MVIWATA FM kutoka Morogoro, mashariki mwa Tanzania amehudhuria baadhi ya vikao vya wazazi na GLAMI kisha kutuandalia makala ifuatayo.
In this weeks episode, Shule and Nadia talk all things energetics when it comes to manifestation. We have spoken a lot about about the mindset piece but have not yet delved into the energetics of how to hold the vibration of your manifestation. Stay connected with us! Multidimensional Living: https://shuleozek.com/services/ Unf*k Your Mind Program: https://nadia-galie-s-school.teachable.com/p/unfu-k-your-mind/?preview=logged_out […]
In this weeks episode, Shule and Nadia interview each other on all things spirituality, icks about each other what life could have potentially looked life if they had not had their spiritual awakening. Stay connected with us! Multidimensional Living: https://shuleozek.com/services/ Manifest That Sh*T Free Masterclass: https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSdV04HQZ6n0vWrEMsH66ty241H9yDzMenQCtLh9igXOUzKuUg/viewform Work with Nadia: https://linktr.ee/nadia.galie Work with Shule: https://shuleozek.com Access […]
In this weeks episode, Shule comes clean on how Nadia’s success was triggering her. Stay connected with us! Multidimensional Living: https://shuleozek.com/services/ Manifest That Sh*T Free Masterclass: https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSdV04HQZ6n0vWrEMsH66ty241H9yDzMenQCtLh9igXOUzKuUg/viewform Work with Nadia: https://linktr.ee/nadia.galie Work with Shule: https://shuleozek.com Access the ultimate Soul Purpose Masterclass: https://shuleozek.com/elementor-2105/ Access the ultimate 13 Universal Laws Masterclass: nadia-galie-s-school.teachable.com/p/12-universal-laws-masterclass Free Limiting Beliefs Guide: https://nadia-galie-s-school.teachable.com/p/limitingbeliefsworkbook […]
In this weeks episode, Shule tells us she she manifested $8,000 that she was NOT expecting. Shule shares her tips on how she stayed in the frequency of receiving the entire month and how the money came into fruition. Stay connected with us! Multidimensional Living: https://shuleozek.com/services/ Work with Nadia: https://linktr.ee/nadia.galie Work with Shule: https://shuleozek.com Access […]
Tarehe 24 mwezi huu wa Januari ni siku ya elimu duniani ikimulika mafanikio na changamoto za kufanikisha lengo namba 4 la kufanikisha elimu bora kwa kila mtu kokote aliko. Elimu bora ni pamoja na vifaa ikiwemo madaftari, vitabu na kalamu ambako kwa watoto wengine bado vinasalia kuwa anasa. Mathalani nchini Burundi ambako huko katika baadhi ya maeneo wazazi wanalazimika kufanya vibarua wao na watoto wao ili waweze kumudu madaftari ya shuleni.Umoja wa Mataifa kupitia mashirika yake na wadau wamebaini changomoto hiyo na kusambaza vifaa kwenye majimbo sita ya taifa hilo la Maziwa Makuu barani Afrika. Je ni majimbo yapi? Na mashirika hayo ya Umoja wa Mataifa na wadau ni yapi? Ungana basi na Edouige Emuresenge, mwandishi wa habari wa Televisheni washirika wetu Mashariki TV, kutoka Burundi katika makala hii iliyoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini Burundi.
In this weeks episode, both Nadia & Shule talk about the BIGGEST lessons they learnt in 2022 and how you can apply these in your own life. Wishing you all a Happy New Year – thank you so much for your ongoing love and support. We truly value you and love each and every one […]
In this weeks episode, both Nadia & Shule discuss the topic of the Quantum Field and making money. The girls go deep on the field and the infinite possibilities that exist around you. Stay connected with us! Multidimensional Living: https://shuleozek.com/services/ Work with Nadia: https://linktr.ee/nadia.galie Work with Shule: https://shuleozek.com Access the ultimate Soul Purpose Masterclass: https://shuleozek.com/elementor-2105/ […]
Penny Bradley was kidnapped from her bed in California at age 4 and driven cross country to Langely AFB by men in green fatigues in the summer of 1959. She spent 5 years at langely being mind fractured and triained for black ops with a 6 month side trip to montauk in the winter of 1961 to 1962. She was sent to mars through Long Island Jumppgate in 1964 where she was turned over to the german colony there. They put her in Shule or school for a decade, the engaged her as a fighter pilot in their war against the Raptors and the Mantids. In 1990, she was sent to the German deep sapce military Nacht Waffen to serve as navigator on a doing materieale support for the Draco Reptilian She was returned in 2014, her memories were activated in 2013 by a unit of the NSa and all verified by a Cia archivist To contact Penny: https://www.spaceportals.net Patreon [should you wish to support my work]: https://www.patreon.com/user?u=15523662&fan_landing=true Rumble: https://rumble.com/c/c-1533005 For more typical skeptic podcast interviews go to: youtube.com/c/typicalskeptic anchor.fm/typical-skeptic rokfin.com/typicalskeptic rumble.com/typicalskeptic To donate to the typical skeptic podcast buymeacoffee.com/typcialskeptic or paypal me: typicalskeptic1@gmail.com #secretspace #ssp #psychicwarfare #mars #moon #raptors #mantids #greyalien #podcast #typical_skeptic #pennybradley #nachtwaffen Affiliates: (Support the podcast and invest in your health and well being) -Book a reading with Debra Moffit Intuitive readings:Use Code TSP2023 https://www.debramoffitt.com?cc=STP2023 -Natural Shilajit and Monoatomic Gold from Healthy Nutrition LLC.use code: ROB And my affiliate link to share: https://glnk.io/77v6/3 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/typical-skeptic/message Support this podcast: https://anchor.fm/typical-skeptic/support
In this weeks episode, both Nadia & Shule discuss the topic of ego desires vs soul desires. As we head into the year of 2023, are you truly in alignment with what you are calling in? Stay connected with us! Multidimensional Living: https://shuleozek.com/services/ Work with Nadia: https://linktr.ee/nadia.galie Work with Shule: https://shuleozek.com Access the ultimate Soul […]
Nchini Uganda shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limewezesha wanafunzi wa shule moja ya msingi nchini humo kufanya mtihani wa kuhitimu shule ya msingi baada ya shule hiyo kulazimika kufungwa na wanafunzi kuwekwa karantini kufuatia mwanafunzi mmoja kupata maambukizi ya Ebola, mlipuko uliotangazwa mwezi SEptemba mwaka huu.Tarehe 20 mwezi Septemba mwaka huu wa 2022, Wizara ya Afya nchini Uganda ilitangaza mlipuko wa Ebola, mlipuko ambao ulihatarisha kuvuruga mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kwa wanafunzi wa darasa la saba. Shule ya msingi ya Green Valley kwenye mji mkuu Kampala ilikuwa hatarini zaidi kwa sababu mwanafunzi mmoja aliambukizwa Ebola hivyo madarasa matatu yalifungwa na shule ikafungwa ili ifanyiwe usafi. Mpaka Katula ni Mkurugenzi wa Shule ya msingi Ya Green Valley. “Uhai wa walimu wangu, wanafunzi wangu na wangu mwenyewe ulikuwa hatarini, ningaliweza kuachia shule, kwa hiyo kufunga shule lilikuwa ni jambo dogo.” Shule hiyo ilifungwa wiki tatu kabla ya kufanyika kwa mtihani ambapo Ian Mugisha mmliki wa shule ya msingi Green Valley anafafanua kwamba.. “Hii mitihani hufanyika katika siku maalum iliyopangwa. Usipofanya siku hizo, hutaweza kufanya tena, lazima usubiri mwaka unaofuatia. Kwa maajabu Wizara ya Afya, Wizara ya Elimu na Bodi ya Taifa ya mitihani Uganda, walishirikiana kuona wanafunzi wanafanya mitihani na UNICEF ikasaidia.” Jane, jina lake hili si rasmi ni mmoja wa wanafunzi 30 waliokuwa karantini na anasema, « UNICEF imenisaidia vifaa vya kufanyia mtihani, mlo wa mchana na usafiri kutoka nyumbani hadi hapa. Nilifanya mitihani ya kuhitimu darasa la Saba nikiwa karantini na nina imani nimefanya vizuri.” Na Bwana Katula anarejea na shukrani akisema, “sijui hii shule ingalifanya bila UNICEF kuingilia kati. Lakini kile ninachoweza kusema, asante UNICEF.”
Msaada wa kisima cha maji uliofanikishwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF katika shule ya Msingi ya Daley kwenye Kijiji cha Daley, Kaunti ya Garissa nchini Kenya, umesaidia sana jamii hasa katika suala la elimu katika eneo hilo la nchi ambayo imekosa mvua ya kutosha kwa misimu mitano mfululizo.Ni wanafunzi wakiwa darasani, kwa uchangamfu wakijadiliana na mwalimu wao kuhusu umuhimu wa maji katika maisha ya kila siku. Nje ya darasa lao kunaonesha wazi hali ya ukame ilivyo ya kutisha. Ardhi imekauka na ni miti michache tu imebaki na ukijani. Kabla ya UNICEF kwa kushirikiana na jamii na serikali kuigilia kati, hali ya kukosekana kwa mvua imesumbua maisha ya wakazi wa hapa ikiwemo upatikanaji wa elimu kwa watoto wa jamii hii ya wafugaji kama asemavyo Mwalimu Mkuu Msaidizi, Wasula Samson Saiya anasema "Tuna takribani wasichana 146 na wavulana 200 jumla wanafunzi 346. Unagundua kwamba wengi wa wanafunzi wanachunga mifugo. Kwa hiyo, wakati wa ukame kama hivi unakuta pia wanahama na wanyama hao kule walikokwenda kulishia ili wawachunge. Kwa hivyo, tunajikuta tuna wanafunzi wachache darasani.” Ili kuitatua hali hiyo, UNICEF ilitoa msaada wa kifedha na kiufundi kuchimba kisima cha chini ya ardhi na kuweka mfumo wa kupaadisha maji kwa kutumia nguvu ya nishati ya jua na pia ujenzi wa upanuzi mpya wa bomba ili kuunganishwa na miundombinu iliyopo ya usambazaji wa maji. Takriban watu 6200 wakiwemo wanafunzi kutoka Shule ya Msingi ya Daley na Kituo cha Maendeleo ya Awali ya Watoto (ECDC) wanapata huduma ya maji salama. Aidha, zahanati moja ya afya ina huduma ya maji salama. Osman Aden Abdi, Naibu Mkurugenzi, Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Idara ya Maji ya Kaunti ya Garissa anasema "Faida ni nyingi. Wakati tulipopata kisima, hali ya hatari katika suala la wanyama pori imepungua. Unyanyasaji wa kijinsia pia umepungua kwa sababu kioski hiki cha maji kiko mahali pa wazi sana. Tuna bahati sana kwa sababu umbali ni kama mita 50 tu hadi mahali pa maji. Inaokoa muda linapokuja suala la masomo ... unajua, katika maeneo yetu ni kukavu sana na joto sana. Kwa hivyo, tunawaruhusu wanafunzi kupata maji kila baada ya dakika 30...badala ya kurudi nyumbani. Kuna maeneo kadhaa ambako UNICEF, kwa usaidizi wa serikali ya kaunti imeweka mitambo ya nishati ya jua. Baada ya kisima hiki kilichimbwa na kuwekewa nishati ya jua, hakuhitajiki gharama zaidi, ili kwa muda mrefu jamii ziweze kujikimu zenyewe.” Kufikia Novemba 2022, katika Kaunti ya Garissa, UNICEF tayari imesaidia ukarabati wa mifumo 21 ya usambazaji wa maji na kufikia jumla ya watu 92,279 wanaopata maji salama.
Leo ni siku ya Kimataifa ya unywaji maziwa shuleni, siku inayopigiwa chepuo na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo duniani FAO na kauli mbiu ya mwaka huu ni "Faulu Mtihani kwa glasi moja ya maziwa kila siku". FAO inasema unywaji wa kila siku wa kikombe cha maziwa ya ng'ombe cha ujazo wa mililita 200 humpatia mtoto mwenye umri wa miaka mitano asilimia 21 ya mahitaji ya protini na virutubisho vingine vya madini kama vile Kalsiamu, Magnesiamu na Vitamini. Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni WHO, kila mtu anapaswa kunywa lita 200 za maziwa kwa mwaka . Takwimu za unywaji maziwa nchini Tanzania ziko chini ya kiwango hicho na katika kuhamasisha unywaji maziwa, FAO nchini Tanzania wameadhimisha siku hii kwa kuwapatia maziwa wanafunzi wa shule nne za msingi mkoani Dodoma. Shule hizo ni za wanafunzi wenye mahitaji maalum. Tuungane na Devotha Songorwa wa redio washirika Kids Time Fm aliyeshuhudia maadhimisho hayo na tuandalia makala hii.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema watoto wengi na hususan wa kike katika jamii zilizoathirika na ukame nchini Kenya ikiwemo Turkana wako katika hatari hasa ya kuozwa mapema kwa sababu familia nyingi zinahaha kuweka mlo mezani na suluhu ya karibu wanayoiona ni kuoza binti zao mapema ili kujikimu. Sasa shirika hilo linashirikiana na mamlaka za huduma ya ulinzi kwa watoto katika maeneo yaliyoathirika ili kuwalinda dhidi ya ajira ndoa za utotoni. Mary Kabora na maelezo zaidi. Carol , hilo si jina lake halisi ila amepewa sababu ya kulinda usalama wake, ana umri wa miaka 11 na anaishi katika Kaunti ya Turkana anasema mjomba wake aliamua kumuoza baada ya hali ya maisha kuzidi kuwa mbaya kutokana na ukame , kwani sasa hawana mbuzi tena, wala hawana chochote na matatizo yamekuwa mengi nyumbani. Lakini Caro mwenye ndoto za kusoma alikataa katakata akisema, “nilisema siwezi kukubali hata kama ni njaa basi wacha niake tu mi siwezi kukubali hicho kitu.” Hii ni changamoto inayozikabili familia nyingi hapa Turkana, kisa ni ukame wa muda mrefu uliowafanya kupoteza uwezo wa kujikimu kimaisha, mazao yamekauka, mifugo imekufa, fedha hakuna na msaada ni changamoto. Kukosekana kwa fedha ya kulipia mtihani ndio kulimponza Carol na kisha, “Mama yangu niliporudishwa nyumbani kwenda kuleta hela ya kulipia mtihani alisema hana hela, hakunipa na hiyo likanifanya nikaacha shule. Na ndio ikafanya wanipe mzee anioe, mimi nikakataa nikasema huyo bwana siwezi kukubali.” Ameendelea kusema kuwa mwanaume huyo mzee alikuja kumchukua na pikipiki akaondoka naye na wakiwa njiani walisimama porini na mwanaume huyo akamnajisi. Mkurugenzi wa huduma ya ulinzi kwa watoto Turkana Julius Yator anasema “Kisa hicho kutoka Turkana South kiliripotiwa na jirani kwenye ofisi ya huduma kwa watoto ambayo ni ofisi yangu, na kuanzia hapo mchakato wa kukamata wahusika na kumuokoa mtoto ukaanza.” UNICEF inashirikiana na ofisi hiyo ili kuwalinda watoto walioathirika na ukame na walio hatarini kama Carol, na hadi sasa watoto 1,600 katika Kaunti hiyo wameshafikiwa na kuokolewa dhidi ya ajira na ndoa za utotoni. Mkuu wa UNICEF ofisi ya kanda ya Lodwar Laban Rotuno Kipsang anasema “kwa kawaida tunaporipoti kesi kama hizo binti huokolewa na anapewa malazi na ushauri nasaha. Ukanda wangu pia unafanya kazi kubwa ya kushirikisha jamii kupitia msaada wa UNICEF peke yetu na washirika wengine, na sasa hivi tuna kampeni inayosema baini na komesha , ili unapoona unazuia ni kama katika kesi hii mtu aliona na akaamua kuripoti na mtoto akaokolewa asiolewe.” Na Carol baada ya kuokolewa anasema anataka kurejea ndoto yake “Nataka kusaidiwa niendelee na shule.”
Damian Soul ni Superstar na siku ambayo sote tutakubaliana na hiyo statement basi tutaanza kufaidi matunda ya kipaji chake kwa uzuri sana, ila mpaka siku hiyo ifike ni wachache tu ambao wanamuelewa kwa upana huo ndio ambao wataendelea kufaidi kipaji chake kwa nafasi yao. Wale watu wa makampunj mbali mbali kwa mfano CocaCola ambao wanakua na events zao za ndani kwaajili ya watu wao na waalikwa wawili watatu huwa wanamfaidi sana kijana huyu hodari wa ki Tanzania. Na Damian kwa ukali wake akipata nafasi kama hiyo huwa hafanyi makosa hata kidogo, huhakikisha anapeleka mziki wote kwao ili wakati mwengine wanapokua na event basi jina lake liwe la kwanza kwenye list ya waburudishaji wao. Mzaliwa wa Dar es Salaam, mtoto wa Sinza kabisa, Damian amezaliwa kwenye familia ya kishua kabisa, jinsi ambavyo unaona anavaa ki nadhifu vile ukiachana na hereni zake, hivyo ndivyo Marehemu Mzee wake alivyokua ananyuka, nadhifu kabisa. Koti imenyooka na ilivaliwa inakaa hasa mahala pake, kiatu inang'aa vizuri baada ya kuipiga kiwi mwenyewe, Damian anakumbuka unadhifu huo na ki uhakika ameurithi na kuuendeleza. Shule kwake ilikua ni kitu tu ambacho ilibidi akifanye kwasababu pengine kila mtu au mtoto kwa matakwa ya wazazi ilibidi afanye hivyo na ili aweze kutoka pale alipokua ilibidi afunge mabegi yake mpaka Kampala nchini Uganda, kama utakumbuka vizuri kuna miaka ya kati ya 2000 hapo ilikua kama ‘fashion' kwa watoto wa ki Tanzania kwenda kusoma kule, kwa khadithi nyingi nilizo zisikia wengi wao walikua sio waingiaji sana class na badala yake maisha ya ku party na kujitafuta na kujielewa ndo yalikua ki hivyo zaidi. Haikua tofauti pia kwa Damian Soul, Ila yeye sio kwenye ku party ila kwenye kujitafuta na kujua kwamba muziki ndo kitu alitaka kufanya kwa maisha yake yote. Anakumbuka mti ambao alikua anakaa chini yake na ‘kulicharaza' sana gitaa na kila aliyekua anapita pale habari alikua nayo. Upekee wake wa kuanzia sauti mpaka style yake ya mavazi ndo unaomtofautisha yeye na wengine, ukimuona tu utajua kama ni Star maana jinsi ambavyo anajibeba ni tofauti na watu wengine. Hii pia inasababisha watu kujiuliza maswali kuhusu maisha yake na vitu apendavyo kama mtoto wa kiume. Yeye kwa mujibu wa maongezi haya na mengine ambayo mimi na yeye tushawahi kuwa nayo hayamsumbui kabisa. Anajiheshimu na kujielewa na pia anajua mipaka iko wapi. Na pengine kama binadamu tunatakiwa kuwaacha watu wawe wao, especially kwasababu hayo ni maisha yao, na kwa heshima na taadhima wanajua jinsi ya kujibeba kama binadamu na zaidi kama mTanzania. Anakumbuka jinsi ambavyo alikua Sinza hasa baada ya Baba yake kutangulia mbele ya haki, anasema mtaani palikua pa moto sana kwa kugumbikwa na wimbi la vijana kujihusisha na vitendo vya kihuni na wizi na kujikita kwenye matumizi mazito ya madawa ya kulevya. Anasema yeye alifanikiwa kukimbilia kanisani wakati anasubiria mambo yake mengine ya shule yakae sawa. Kanisani ambako alijifunza mambo ya muziki ikiwa pamoja na kujifunza kupiga instruments, ukiachana na sauti yake ya kipekee, Damian pia ni mpiga gitaa mzuri sana na muandishi hodari pia wa ngoma zake. Mimi ni mmoja wa mashabiki wake na binafsi nilichukua nafasi hii ili tukae chini na tuyajenge kama familia na watu wengine pia wapate nafasi ya kumskiliza na kumuelewa vizuri. Wengi wamekua wakimhukumu kwasababu tu ya muonekano wake na kama Dada na rafiki niliona kuna umuhimu wa sisi kupata nafasi ya kukaa chini na kumfahamu kinaga ubaga. Kama binadamu wote tulivyo, kila mmoja wetu ana mitihani yake ambayo anapitia, mengine mpaka leo inaendelea na mengine ilikua tunafaulu na mengine kufeli, ila kupitia huko ndo ambako kumetufanya tuwe bora na wapya na kujifunza ni jinsi gani mmoja anaweza kutengeneza maisha yake na akawa mfano bora kwa familia na jamii ambayo imemzunguka. Kama mtoto kwa Mama yake na kioo cha jamii, Damian yuko humble sana na wala hana papara kwenye kuhakikisha anafika pale ambapo anapaona kuna kitu cha yeye kuweza kukaa. Mpaka sasa hayuko pabaya hata kidogo --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support