Podcasts about ujerumani

  • 20PODCASTS
  • 59EPISODES
  • 15mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Dec 24, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about ujerumani

Latest podcast episodes about ujerumani

Habari za UN
24 DESEMBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 24, 2024 12:51


Hii leo jaridani tunakuletea mad akwa kina inayotupeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kumulika harakati za kusaidia manusura wa ukatili wa kingono na kijinsia kwenye mizozo. Pia tunakuletea muhtasari wa había za Sudan, Uganda na Tanzania, Mashinani tunarejea Sudan.Ripoti ya Kamati ya Tathmini ya Viwango vya Njaa (IPC) iliyotolewa leo inaeleza kwamba imegundua kuwa kuna maeneo matano zaidi nchini Sudan ambayo yanakabiliwa na baa la njaa kati ya mwezi huu wa Desemba na Mei mwaka ujao wa 2025. Ripoti hiyo imeyataja maeneo hayo kuwa ni ya Darfur Kaskazini yaani Um Kadadah, Melit, El Fasher, Twawisha, na Al Lait.Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limekaribisha mchango wa EURO milioni 1 kutoka serikali ya Ujerumani ili kusaidia shughuli za lishe na ustawi kwa zaidi ya wakimbizi na wasaka hifadhi 254,000 nchini Uganda ambayo inawahifadhi wakimbizi milioni 1.7.Na Kikosi cha 7 cha Walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania, TANBAT 7 kilichokuwa kinahudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kuleta Utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR (MINUSCA) kimerejea nyumbani Tanzania kikijivunia kuwa kikosi cha kwanza cha nchi hiyo kupokea barua ya pongezi kutoka Umoja wa Mataifa.Mashinani fursa ni yake Najwa Mohamed, mama mjamzito kutoka Jabal Moya nchini Sudan ambaye amepoteza makazi yake kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo na kulieleza Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi,  UNFPA kwamba hali ni ngumu hasa kwa wanawake wajawazito.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!   

VOA Express - Voice of America
Vijana wanasemaje kuhusu ahadi za ajira za Ujerumani kutoka kwa rais wa Kenya William Ruto? - Septemba 17, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 17, 2024 30:00


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

rais vijana ajira ujerumani kenya william ruto septemba
Jukwaa la Michezo
Kipyegon, Omanyala wafuzu Olimpiki ya Paris kwenye mchujo wa kitaifa

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Jun 15, 2024 23:43


Tuliyokuandalia Jumamosi hii ni pamoja na mchujo wa kitaifa wa Kenya kuteua timu itakayowakilisha kwenye Olimpiki ya Paris mwaka huu, Kenya yakosa kupandishwa daraja kwenye tenisi mashindano ya Billie Jean King Cup, uwanja wa Amahoro nchini Rwanda umeidhinishwa na FIFA kuandaa mechi za kimataifa, Junior Starlets ipo guu moja kufuzu Kombe la Dunia, droo ya kufuzu AFCON 2025 kuandaliwa Julai na michuano ya EURO kuanza Ujerumani. 

Jukwaa la Michezo
French Open: Iga Swiatek ashinda ubingwa wake wa nne wa Roland Garros

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Jun 8, 2024 23:50


Tuliyokuandalia Jumamosi hii ni pamoja na uchambuzi wa mechi za kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 (Afrika), Kenya kuandaa mashindano ya mchujo kutafuta timu itakayowakilisha katika Olimpîki ya Paris mwezi Julai huku wanamichezo 33 wakipigwa na marufuku kwa kutumia dawa za kusisimua misuli, matokeo ya Congo Cup, kocha Gamondi arefusha mkataba wake klabuni Yanga huku zikiwa zimesalia siku sita kabla ya mashindano ya EURO nchini Ujerumani, Iga Swiatek ashinda ubingwa wake wa nne wa French Open

Kwa Undani - Voice of America
Meza ya waandishi wa habari imeangazia ziara ya Mfalme Charles Kenya, ziara ya rais wa Ujerumani Tanzania na mchakato wa uchaguzi DRC - Novemba 03, 2023

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 3, 2023 29:53


Habari RFI-Ki
Kenya : Mfalme Charles III akosa kuomba msamaha licha ya matarajio

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 2, 2023 9:55


Katika makala haya tunajadili  hatua ya mfalme wa Uingereza Charlers wa III, kujutia vitendo vya kikoloni vilivyotekelezwa nchini Kenya bila kuomba radhi kama alivyotarajiwa, huku rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, akikiri makosa ya kikoloni yaliofanyika nchini Tanzania, na kuomba msamaha Unazungumziaje matamshi ya viongozi hawa wawili ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

kenya tanzania haya katika mfalme kuomba uingereza ujerumani
Habari RFI-Ki
Kenya : Mfalme Charles III akosa kuomba msamaha licha ya matarajio

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 2, 2023 9:55


Katika makala haya tunajadili  hatua ya mfalme wa Uingereza Charlers wa III, kujutia vitendo vya kikoloni vilivyotekelezwa nchini Kenya bila kuomba radhi kama alivyotarajiwa, huku rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, akikiri makosa ya kikoloni yaliofanyika nchini Tanzania, na kuomba msamaha Unazungumziaje matamshi ya viongozi hawa wawili ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

kenya tanzania haya katika mfalme kuomba uingereza ujerumani
Kwa Undani - Voice of America
Ziara za Mfalme wa Uingereza nchini Kenya na Rais wa Shirikisho la Ujerumani nchini Tanzania - Oktoba 31, 2023

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 31, 2023 29:59


Viongozi wawili wa ngazi za juu wametembelea nchi mbili za Afrika Mashariki wiki hii huku shinikizo zikiongezeka kwa wakoloni wa zamani kuwafidia raia wa nchi walizotawala.

Jukwaa la Michezo
Mkenya Eliud Kipchoge ashinda tena taji la Berlin Marathon

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Sep 24, 2023 23:53


Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na mwanariadha kutoka Kenya, Eliud Kipchoge kushinda mashindano ya riadha ya Berlin Marathon kwa mara ya tano, Kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya Rwanda, asimamishwa kazi ni  miongoni mwa mengine mengi yanayotokea viwanjani.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 11 Julai 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 11, 2023 19:05


Australia na Ujerumani zatia saini ya biashara huru naku ahidi misaada ya ziada kwa Ukraine.

Changu Chako, Chako Changu
Sehemu ya pili ya Makala kuhusu Tamasha la Marahaba Music Expo jijini Bujumbura

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jul 1, 2023 20:04


Naam mskilizaji wa RFI Kiswahili na mpenzi wa Makala changu chako karibu katika sehemu hii ya pili ya Makala kuhusu tamasha la Marahaba Music EXPO lililofanyika huko jijini Bujumbura nchini Burundi ambapo RFI Kiswahili iliwakilishwa nami Ali Bilali mtangazaji wa maswala ya Historia sanaa na Utamaduni. Kumbuka sehemu ya kwanza nilikueleza namna tamasha lilivyokuwa na kuzungumza na wadau mbalimbali akiwemo Mkurugenzi wa Tamasha la Marahaba Music Expo sasa ambatana nami katika sehemu hii ya pili.

Changu Chako, Chako Changu
Tamasha la Marahaba Music Expo jijini Bujumbura msimu wa 5 lavunja rekodi

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jun 27, 2023 19:58


Wadau kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni wamekutana jjijini Bujumbura kuanzia Juni 20 hadi Juni 25 katika tamasha la Marahaba Music Expo lililojumuisha wasanii takriban 150 kutoka katika kila kona ya dunia  kushiriki katika tamasha hilo la kimataifa lillilopata mafaanikio makubwa baada ya idadi kubwa ya watu kujitokeza ambapo awamu ya kwanza ilifanyika mjini kati ya pili Kanyosha na ya tatu ilifanyika Kinama. Muandishi wetu wa maswala ya sanaa na utamaduni Ali Bilali alikuwepo

Jukwaa la Michezo
Bayern Munich mabingwa wa ligi mara ya 11

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later May 27, 2023 23:55


Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na maandalizi ya fainali ya kwanza kuwania taji la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga SC ya Tanzania na USM Alger, ya Algeria. Vituo vya kukuza soka nchini Rwanda, vinavyofadhiliwa na klabu ya Ufaransa ya Paris Saint-Germain na Bayern Munich yashinda taji lake ya 11 katika ligi ya Bundesliga nchini Ujerumani.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Watu 60 wauawa DRC, chanjo ya Malaria yaidhinishwa Ghana, nyaraka za siri za Marekani zavuja

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Apr 15, 2023 20:01


Kwenye makala haya, tutakayoangazia wiki hii ni pamoja na upinzani nchini Kenya kusema utaendelea na maandamano huku wafanyakazi wa umma wakikosa kulipwa, tutaangazia usalama nchini DRC na uchaguzi unaotarajiwa mwishoni mwa mwaka huu. Chad na Ujerumani kuwafukuza mabalozi wake, kadhalika kuvuja kwa nyaraka za siri nchini Marekani na Korea kaskazini kutishia usalama wa kikanda. Zaidi ya raia 60 wameuawa katika mashambulizi mapya ya vijiji vitano mkoani Ituri, waasi wa CODECO na makundi ya kikabila ya Zaire wakituhumiwa kuhusika na mauaji hayo. Kwa mengi zaidi, sikiliza makala haya.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Maandamano ya upinzani nchini Kenya yashika kasi, Uganda yatuma wanajeshi wake DRC

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Apr 1, 2023 20:07


Kubwa katika makala hii ni kuhusu maandamano ya upinzani nchini Kenya, ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Tanzania, wiki hii wanajeshi wa Uganda waliwasili kwenye mji wa Bunagana mashariki mwa DRC, lakini pia muswada wa sharia unaohusu uraia kwa mtu anayetakiwa kuwa kwenye wadhifa wa rais  kuzua hisia mseto. Hukumu dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini Senegal; Ziara ya mfalme Charles wa 3 wa Uingereza huko Ujerumani, na mambo mengine...

Changu Chako, Chako Changu
Kurejeshwa kwa urithi wa Kiafrika na mabaki ya binadamu yaliotokana na ukoloni

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Feb 18, 2023 19:53


Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea makala kuhusu kurejeshwa sio tu kwa urithi wa Kiafrika bali pia mabaki ya binadamu yaliyotokana na ukoloni hususan huko DRC. Na kwenye kipengele cha le Palrer francophone tutaangazi ratiba za utamaduni Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam, kweney muziki nitakuwa naye msanii chipukizi kutoka nchini Kenya anaitwa Lakijoh. Mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenue et bon reveil

VOA Express - Voice of America
Zaidi ya mafuvu 900 ya binadamu kurejeshwa nchini Rwanda kutoka Ujerumani baada yakuchukuliwa wakatiwa wa ukoloni katika karne ya 18. - Januari 23, 2023

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 23, 2023 29:59


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

Kwa Undani - Voice of America
Kwa Undani: Ufaransa, Uingereza, Ujerumani wanaondoa wanajeshi wake Mali. Je mamluki wa Russia wataimarisha usalama Sahel? - Novemba 24, 2022

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 24, 2022 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Changu Chako, Chako Changu
Expertise France yatoa mafunzo kuhusu usalama wa wavuvi Mombasa

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Oct 29, 2022 20:06


Karibu katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, leo tunazungumzia kuhusu usalama wa wavuti katika mafunzo yaliotolewa na shirika la Expertise France huko Mombasa pwani ya Kenya, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone Mkurugenzi wa Alliance France atatueleza ratiba walionayo juma hili na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki Sudi Boy msanii kutoka Mombasa, Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.

Habari za UN
18 OKTOBA 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 18, 2022 0:11


Hii leo jaridani Assumpta Massoi anakuletea Mada Kwa Kina kuhusu harakati za Umoja wa Mataifa za kutokomeza umaskini kwenye mkoa wa Kigoma nchini Tanzania kupitia mashrika yake yanayotekeleza Mradi wa Pamoja wa Kigoma, KJP lakini pia kuna Habari kwa Ufupi zikimulika: Huko Berlin, Ujerumani kando mwa mkutano wa viongozi kuhusu afya, viongozi wa dunia wamethibitisha kuwa watatoa dola bilioni 2.6 kusaidia mpango wa kimataifa wa kutokomeza polio duniani, GPEI, wa kuanzia mwaka huu wa 2022 hadi 2026.   Vita, mizozo, COVID-19 vlivyodumaza mafanikio ya ustawi wa afya ya wanawake, watoto na vijana. Na leo ni siku ya kimataifa  kuhusu kukoma kwa hedhi kwa wanawake au Menopause kwa lugha ya kiingereza maudhui yakiwa uelewa na fikra ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO linasema hali hiyo inaathiri kiuchumi na kijamii zaidi ya nusu ya wakazi wa dunia lakini uelewa wake bado ni mdogo, hivyo linataka serikali kutambua suala hilo kuwa la afya ya umma Na kutoka mashinani, mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni Irene Khan anasema mataifa mengi wakati wa vita hutumia kutoa Habari kama njia moja wapo ya kuleta mgawanyiko, chuki, kuchochea ghasia, kudhalilisha watetezi wa haki za binadamu na waandishi wa Habari na hali imekuwa mbaya wakati huu ambapo teknolojia ya kidijitali inawawezesha kufikia watu wengi zaidi. Karibu!

SBS Swahili - SBS Swahili
Je! Tanganyika ilikuwa bora chini ya ulinzi wa Uingereza kuliko ukoloni wa Ujerumani?

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 29, 2022 9:19


Kifo cha Malkia Elizabeth II kili ibua hisia mseto kote duniani, haswa Tanzania ambako watu wa vizazi tofauti walipokea taarifa ya kifo chake katika hali tofauti.

Habari za UN
Baraza la UN la Haki za Binadamu lajulishwa hatua za Tanzania kujikwamua baada ya COVID-19

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 16, 2022 2:21


Mkutano wa   51 Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa unaendelea  mjini Geneva Uswis ukiangazia mada mbalimbali zihusuzo haki za msingi za binadamu zikiwemo haki za maendeleo na umewaleta pamoja nchi wanachama wa Baraza hilo. Na Tanzania kama mmoja wa wajumbe wa kudumu wa baraza hilo inahudhuria mkutano huo.  Flora Nducha na taarifa zaidi  Ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano huo unaongozwa na Katibu Mkuu wa wizara ya maliasili na utalii Profesa Eliamani Sedoyeka ambaye anafafanua ajenda za msingi wanazojadili na nafasi ya taifa lake mkutanoni. "Hapa tunazungumzia mambo mengi kuanzia afya, barabara, huduma za jamii, shule na hususan kuangalia yale makundi maalum kama watoto, kina mama, watu wenye umri mkubwa. Sasa sisi Tanzania kama mjumbe wa kudumu tuko hapa kushiriki katika kutoa matamko mbalimbali ya kitaifa kuhusiana na mada zinazoongelewa lakini vilevile inapobidi kutolea ufafanuzi mambo mbalimbali ambayo tumetajwa ili kujenga uelewa wa pamoja kwa sisi kama wanachama.”  Na je hadi sasa Tanzania imeshatoa tamko lolote? Profesa Sedoyeka anasema “Mpaka sasa hivi tumeshatoa matamko matatu ambayo kwa ujumla yameongekea jinsi ambayo tumejiandaa baada ya COVID-19, kwa maeneo ambayo yalipigwa zaidi na hapo tumeongelea jinsi ambavyo serikali imepambana kujenga kwa mfano zaidi ya madarasa 15,000, kupeleka zaidi ya dola milioni 200 katika huduma za afya na kadhalika, lakini vilevile tumetoa matamko ambapo tumeongelea uhuru wa nchi kuweza kujipangia mambo yake na kuweza kusimamia misingi ya utawala bora na  haki za binadamu kimataifa, lakini kila nchi ina uhuru wa kufuata kabita yake na kujipanga kama nchi.”  Kama katibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii anasema mkutano huu unatoa fursa kubwa kwao kwani, "uwepo wetu hapa tunaangalia jinsi gani tutatangaza nchi yetu katika nchi za maeneo haya Uswis , Ujerumani na nchi zinazozunguka hapa , lakini vile vile kuvutia wawekezaji kutoka upande huu kuweza kuja Tanzania kuwekeza katika maeneo ya kimkakati hususan katika utalii katila vile vivutio vyetu vikubwa vya utalii.”  Kikao hicho kilichoanza Septemba 12 kinatarajiwa kufunga pazia Oktoba 07. 

VOA Express - Voice of America
Tanzania Universities Abroad yasaidia vijana kupata ajira nje ya nchi. - Agosti 23, 2022

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 23, 2022 30:00


Vijana wanaomaliza vyuo vya elimu ya juu baso wana changamoto kubwa ya kupata ajira Taasisi ya Universities Abroad inafanya juhudi za kuwapatia nafasi vijana hao wasomi na wasio na elimu ya juu katika nchi za Poland, Finland na Ujerumani.

Habari za UN
12 AGOSTI 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 12, 2022 11:07


Hii leo jaridani tunamulika siku ya vijana tukianza na ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akitaka vijana wajumuishwe na kubwa zaidi mfumo wa elimu urekebishwe. Kisha tunamulika furaha waliyoipata watu wa jamii ya kabila la washona nchini Kenya ambao baada ya kuhamia nchini humo miaka ya 1960 hatimaye wamepata uraia na kuweza kupiga kura. Makala tunamulika Kiswahili na tunakwenda DRC na Ujerumani. Mashinani ni ujumbe kwa vijana. Karibu na mwenyeji wako ni Assumpta Massoi.

Habari za UN
Kiswahili: Juhudi binafsi za kukiendeleza sambamba na kinavyoleta ahueni kwa walioko kwenye mizozo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 12, 2022 4:08


Zaidi ya mwezi sasa umepita tangu maadhimisho ya kwanza ya lugha ya Kiswahili duniani na harakati zinaendelea kusongesha lugha hiyo adhimu. Ni katika nyakati kama hizo watu wanaanza kutambua umuhimu wa lugha yoyote katika maendeleo na hadi kupatiwa hadhi ya kimataifa inakuwa juhudi nyingi zimefanyika. Ziko juhudi binafsi, za kikanda na za kimataifa ambazo zinawezesha lugha kutumika hata pale penye mazingira magumu ili kuleta ahueni kwa wenyeji. Mathalni huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kuna mizozo na wageni wanaozungumza kiswahili wanapata ahueni pale wenyeji wanaokwenda kuwanyooshea mkono wanazungumza pia lugha hiyo na ndivyo inavyodhihirika kwenye makala hii sambamba na juhudi binafsi za wananchi kusongesha kiswahili akiwemo John Jackson, mtanzania anayeishi Ujerumani. Katika makala hii tutasikia pande zote na hapa Thelma Mwadzaya anasimulia makala hii na Meja Doreen Arcad Mchomba, mtaalamu wa masuala ya saikolojia katika kikosi cha 9 cha Tanzania, kwenye ujumbe wa Umoja wa Matiafa wa kulinda amani nchini DRC, MONUSCO. Meja Mchomba anaanza kwa kuelezea sababu ya kupenda lugha ya Kiswahili.

SportsCast
Chelsea ya Thomas Tuchel

SportsCast

Play Episode Listen Later Jun 3, 2022 23:24


Tangu amechukua mikoba ya kukinoa kikosi cha Chelsea, Tuchel amekuwa akihusudu mfumo wa mabeki watatu kuliko ule wa mabaki wanne ambao alikuwa akiutumia akiwa PSG. Clifford Sangai na Prosper Bartalomew wanajadili kwa kina falsafa za raia huyo wa Ujerumani. Miongoni mwa yaliyoongelewa ni kama Tuchel anaweza badili mfumo au atasalia na wa sasa? Kitendawili cha Havertz, Werner na Lukaku bila kusahau namna anavyotegemea Wingback wakati wa kufanya mashambulizi. Sikiliza zaidi Episode hii

Habari za UN
18 FEBRUARI 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 18, 2022 10:36


Katija Jarida la mada kwa kina hii leo kutoka Umoja wa Mataifa KLeah Mushi anakuletea -Malawi imetangaza kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa polio nchini humo na hivyo kuwa ni tangazo la kwanza la uwepo wa ugonjwa huo barani Afrika katika kipindi cha zaidi ya miaka mitano.  -Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linashirikiana na mamlaka nchini Ethiopia na wadau wake kupatia msaada wa dharura kwa maelfu ya wakimbizi kutoka Eritrea ambao walikimbia kambi ya Barahle na viunga vyake huko jimboni Afar baada ya mapigano kuibuka eneo hilo.  -Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amehutubia mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya usalama huko Munich Ujerumani na kusema miaka mitatu tangu kufanyika kwa mkutano huo  bado dunia kwa bahati mbayá imezidi kuwa na changamoto na hatari zaidi . -Mada yetu kwa kina leo inaangazia wito wa wanawake wa mji wa Mutwanga wilayani Beni nchini DRC baada ya kutembelewa na askari wanawake kutoka kikosi cha 8 cha walinda amani kutoka Tanzania  TANZBART 8 wanaohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo MONUSCO -Na katika kujifunza Kiswahili tunabisha hodi Baraza la Kiswahili la Zanzibar BAKIZA kupata ufafanuzi wa methali  “Ndugu Chungu Jirani Mkungu."  

Habari za UN
Wadau wa Kimataifa wa Somalia wahimiza kukamilika haraka kwa mchakato wa Uchaguzi 

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 11, 2022 1:44


Washirika wa kimataifa wa Somalia wamehimiza kukamilika haraka kwa mchakato wa kuaminika wa uchaguzi wan chi hiyo kwa kuzingatia kuwa mkutano wa Baraza la Kitaifa la Ushauri uliofanyika tarehe 3 hadi 9 mwezi huu wa Januari ulifikia makubaliano kuhusu utaratibu na ratiba ya uchaguzi wa wabunge. Taarifa ya Assumpta Massoi inaeleza zaidi. Kupitia taarifa iliyochapishwa hii leo na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM katika mji katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, washirika hao wa kimataifa wa Somalia ambao ni pamoja na Ujumbe wa Muungano wa Afrika nchini Somalia, AMISOM, Ubelgiji, Canada, Denmark, Misri, Ethiopia, Muungano wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ujerumani na wengine kama Kenya na Uganda, wamenukuliwa wakisema wanafurahi kwamba Waziri Mkuu na viongozi wa maeneo yanayounda nchi ya Somalia walifanya maamuzi kwa msingi wa mashauriano na mashirika ya kiraia, wawakilishi wa wanawake na viongozi wa upinzani na wakasema, “tunatoa wito kwa viongozi wote wa kisiasa wa Somalia kuweka maslahi ya taifa mbele, kutanguliza kuhitimishwa kwa mchakato wa uchaguzi unaokubaliwa kwa upana na watu wa Somalia, na kuepuka uchochezi unaoweza kuvuruga mchakato huo na kuongeza hatari ya makabiliano au hata ghasia.   Wakisisitiza wito wao, washirika hao wamesema ni wakati wa viongozi wote wa Somalia kuzingatia utekelezwaji wa haraka wa maamuzi yaliyokubaliwa ili mchakato wa uchaguzi unaoaminika ukamilike ifikapo tarehe 25 mwezi ujao wa Februari.  Wadau wengine katika wito huo ni Ireland, Italia, Japan, Umoja wa nchi za kiarabu (LAS), Uholanzi, IGAD, Norway, Qatar, Sudan, Sweden, Sitzerland, Uturuki, Uingereza, Marekani na Umoja wa Mataifa.  

Habari za UN
Watoto wanaamini dunia inakuwa bora zaidi huku watu wazima wakiwa na shaka na shuku

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 18, 2021 2:06


Kura ya maoni iliyoendeshwa katika nchi 21 ikihusisha watoto na watu wazima zaidi ya 21,000 imeonesha kuwa watoto wanaamini dunia inakuwa bora zaidi huku watu wazima wakiwa na shaka na shuku. Taarifa zaidi na Anold Kayanda Matokeo ya utafiti huo ulioratibiwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, yametolewa leo kuelekea siku  ya mtoto duniani tarehe 20 mwezi huu wa Novemba ambapo watoto na vijana wanaamini kuwa maisha yao ya utoto yamekuwa bora kuliko ya wazazi wao sambamba na huduma za afya na elimu. Watoto na vijana pia wanajiona wao kuwa raia wa dunia na wanakumbatia ushirikiano wa kimataifa zaidi katika kukabili changamoto ikiwemo janga la Corona au COVID-19 na wana imani kubwa na wanasayansi katika kutatua changamoto za dunia. Ingawa hivyo watoto na vijana licha ya matumaini yao, hawajabweteka na kila uchao wanahaha kusaka majawabu ya changamoto zinazokumba dunia hivi sasa ikiwemo madhara ya tabianchi, msongo wa mawazo na uwepo wa taarifa zisizoaminika katika mitandao ya jamii. Akizungumzia matokeo ya utafiti huo, Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF Henrietta Fore amesema”kuna sababu lukuki za kuwepo kwa shaka na shuku katika dunia ya leo. Mabadiliko ya tabianchi, umaskini, ukosefu wa usawa,  ongezeko la kutoaminiana na uzawa. Lakini kuna sababu pia za matumaini watoto na vijana wanakataa kuitazama dunia kupitia lensi ya macho ya watu wazima.” Bi. Fore amesema watoto na vijana wamesalia na matumaini na wana mtazamo wa kidunia na wako tayari kufanya dunia kuwa pahala bora. Vijana wa leo wana hofu ya siku za usoni lakini wanajiona kuwa sehemu ya majawabu. Kura ya maoni ilipatiwa jina la Mradi wa kubadilika kwa utoto, na ni ya kwanza kufanyika ikihusisha vizazi tofauti ikiwa ni kati ya umri wa miaka 15 hadi 24 na kuanzia miaka 40 na kuendelea. Wahusika walitoka maeneo ya Afrika, Ulaya, Asia, Amerika Kaskazini na ya Kati na wenye vipato tofauti tofauti.  Nchi zilizoshiriki ni Argentina, Bangladesh, Brazil, Cameroon, Ethiopia, Ufaransa, Ujerumani, Japan, India, Indonesia, Kenya, Lebanon, Mali, Morocco, Nigeria, Peru, Hispania, Uingereza, Ukraine, Marekani na Zimbabwe.

Habari za UN
Bado usawa wa kijinsia unapaswa kupiganiwa, pamoja na hatua zilizopigwa - Mwandishi wa habari chipukizi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 6, 2021 3:14


Mwandishi wa habari chipukizi nchini Tanzania, Hadija Halifa ambaye yuko chini ya uangalizi na mafunzo ya Idhaa ya Kiswahili DW ya Ujerumani, akihojiwa na Moses Mghase wa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa, ameeleza kuwa anatambua kuwa kuna hatua ambazo zimepigwa katika kupunguza pengo lililopo katika usawa wa kijinsia, lakini anapenda kuona mkazo zaidi katika kuondoa kabisa pengo hilo. Kwa mtoto Hadija, anashauri mkazo uanzie katika elimu hususani kwa wasichana.

Jasusi
Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa

Jasusi

Play Episode Listen Later Jul 5, 2021 6:07


Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa

Jasusi
Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa

Jasusi

Play Episode Listen Later Jul 5, 2021 6:07


Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

SportsCast
EURO 2020: Mbinu gani zimetawala katika raundi ya pili?

SportsCast

Play Episode Listen Later Jun 20, 2021 60:09


Mbinu mbalimbali za Makocha ndio zimeamua matokeo ya mechi nyingi katika raundi ya pili ya michuano ya EURO 2020. Lakini ubora wa mchezaji mmoja mmoja pia umesaidia kupata matokeo kwa timu fulani kama ambavyo George Job anavyoangazia ubora wa wachezaji katika kikosi cha Italia. Pia tumeungana na Geoffrey Lea kuangazia ubora wa mfumo wa kikosi cha England pamoja na mbinu za mwalimu Southgate. Unapoongelea raundi ya pili huwezi acha kuitaja mechi ya Germany vs Portugal ambayo ilikuwa ikitazamwa sana na hapo tumeungana na George Ambangile kujadili maamuzi ya kocha wa Ureno na ubora wa kikosi cha Ujerumani. Kadhalika hatujaacha takwimu nyuma, Prosper Bartalomew anatupitisha katika takwimu zote za mchezo ili kupima ubora wa nafasi za magoli zilizotengenezwa katika raundi hii. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09 Jiunge nasi katika mtandao wa Clubhouse: https://www.clubhouse.com/club/sportscast

SportsCast
Ubora na Mapungufu ya kila kikosi kuelekea EURO 2020

SportsCast

Play Episode Listen Later Jun 5, 2021 51:08


Vikosi vya timu zinazoshiriki EURO 2020 vimeshathibitishwa na kila kocha ametetea maamuzi yake. Je, unajua ni kwanini makocha wameamua kuita wachezaji fulani na kuwaacha wengine? Tumekuandalia majibu yote hayo. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili ubora wa kila kikosi kuelekea michuano ya EURO 2020. Tumeangazia timu zinazopigiwa upatu kutwaa taji hili kama Ufaransa, Ureno, Ubelgiji, nk. Tumeenda mbali zaidi kwa kuchambua timu ambayo inaweza leta 'Suprise' katika michuano hii kutokana na ubora wa kikosi chao. Pia tumejadili Kukosekana kwa Ramos katika kikosi cha Hispania na sababu ya maamuzi hayo na Thomas Muller na Mats Hummels kujumuishwa katika kikosi cha Ujerumani. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09

SIRI ZA BIBLIA
DHAMIRA YA KUIFUTA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIA - Sehemu ya KWANZA

SIRI ZA BIBLIA

Play Episode Listen Later May 15, 2021 11:40


Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea katika utawala wa Kirusi. Kuanzia mwaka 1880 kulitokea ghasia mbalimbali ambako Wayahudi walishambuliwa katika miji ya Urusi. Wimbi la pili la ghasia hizo zilizoitwa pogromu zilikatokea mwaka 1905, ambapo Wayahudi zaidi ya 2000 waliuawa mjini Odessa . Wakati ule Wayahudi wa Urusi walianza kuhamia nje: wengi wao walikwenda Marekani, lakini wachache walielekea Palestina. Mapogromu yalikuwa pia chanzo cha harakati mpya ya Uzayuni (Zionism) kati ya Wayahudi wa Ulaya. Uzayuni ulilenga kuwapa Wayahudi eneo maalum ili wapate kujenga upya taifa katika dola lao wenyewe, ambako wangekuwa wenyeji, si kundi la pekee katikati ya watu waliowadharau. Mwaka 1896 Theodor Herzl (1860-1904) aliandika kitabu "Dola la Wayahudi" alimodai kuundwa dola la pekee kwa ajili ya Wayahudi. Mkutano wa kwanza wa wafuasi wake ulichagua jina la "zion" ambalo lilikuwa jina asilia la mlima wa hekalu mjini Yerusalemu; wakachagua jina hilo kwa sababu linataja mahali patakatifu zaidi pa Uyahudi. Mkutano huo uliazimia kuwa "Uzayuni unalenga kuunda makazi salama yaliyokubaliwa rasmi kwa ajili ya taifa la Kiyahudi katika nchi ya Palestina". Wazayuni walikusanya pesa kote Ulaya wakanunua ardhi katika Palestina na kuanzisha vijiji kwa ajili ya Wayahudi waliohima huko. Palestina katika Milki ya Ottoman mwaka 1914 Vita ya Kwanza ya Dunia ilikwamisha mipango yote kwa sababu Palestina ilikuwa sehemu ya Milki ya Ottoman iliyoshiriki katika vita pamoja na Ujerumani na Austria dhidi ya Urusi, Ufaransa na Uingereza. Mwaka 1917 wakati ambapo jeshi la Uingereza lilifaulu kusogea mbele kutoka Misri na kuingia Palestina, waziri wa mambo ya nje Arthur James Balfour alitoa tamko la Balfour yaani tamko rasmi kuwa Uingereza inataka kusaidia mipango ya kuanzisha makazi ya Kiyahudi katika Palestina. Wakati uleule Waingereza waliwaahidi Waarabu kuundwa kwa dola la Kiarabu kwenye maeneo yaliyokaliwa nao katika Milki ya Ottoman. Lakini wakati huohuo walipatana na Ufaransa kuhusu ugawaji wa maeneo ya Kiarabu ya Milki ya Ottoman. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/siri-za-biblia/message

Acky Talks Podcast

Sikiliza Makala hii fupi na tamu ya kumhusu Kiungo mshambuliaji aliyewahi kujitokeza na baadae kutunukiwa jina la Mpikaji mipira ya usaidizi (Assist) akiwa dimbani na wenzie, fahamu mwanzo wake, alikotokea, maisha yake ya familia nje ya soccer, upole wake pamoja na mafanikio yake yote aliyoyapata hasa akiwa katika vilabu vya Real Madrid, Arsenal na timu yake ya Taifa ya Ujerumani. IMEANDIKWA NA: Said Kawage na KUSOMWA NA: Aucland Mudu, Enjoy

Habari za UN
Mradi wa FISH4ACP yainua wavuvi wake kwa waume ziwa Tanganyika

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 8, 2021 2:56


Mradi wa FISH4ACP unaotekelezwa na shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO kwa ubia na Muungano wa Afrika na ule wan chi za Karibea na Pasifiki, kwa ufadhili kutoka Muungano wa Ulaya na serikali ya Ujerumani, umeleta matumaini na mafanikio kwa wavuvi wa ziwa Tanganyika mkoani Kigoma nchini Tanzania kufuatia mafunzo waliyopatiwa wavuvi hao. Anold Kayanda anaeleza zaidi.

Habari za UN
Msakata kabumbu mwenye asili ya Afrika atangazwa kuwa balozi mwema wa UNHCR

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 24, 2021 2:09


Kutana na balozi mwema mpya wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, si mwingine bali ni mwana kaandanda nyota Alphonzo Davies, anayesakata gozi kwenye timu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani lakini pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Canada. Ametangazwa leo kufuatia mchango wake mkubwa kwa wakimbizi. Jason Nyakundi anatupasha zaidi (TAARIFA YA JASON NYAKUNDI) Nattss…. 

Habari za UN
Sergio Chekaloff ameishi bila utaifa kwa takriban miongo 7, kulikoni?

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 9, 2020 2:07


Kutana na Sergio Chekaloff ambaye kwa zaidi ya miongo saba anaishi bila utaifa baada ya nchi tatu alizodhani kuwa ni asili yake ambazo ni Ujerumani, Urusi na Armenia zote kukataa kumtambua na  sasa kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR anaishi Ibiza nchini Hispania baada ya kupewa hadhi ya kutokuwa na utaifa. Kulikoni?

Msasaonline
MCHEZAJI WA VALENCIA "DANI PAJERO" AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUTEMWA NA TIMU YAKE.

Msasaonline

Play Episode Listen Later Aug 15, 2020 1:34


Mchezaji wa muda mrefu ndani ya klabu ya Valencia, Dani Pajero amejikuta akitokwa na machozi baada ya kupigwa chini na klabu yake ya Valencia, na sasa ataichezea klabu ya Villarreal ambao ni wapinzani wa Valencia. Kiungo huyo wa kati wa Uhispania amecheza Valencia mechi 383 tangu mwaka 2008 alipojiunga na klabu hiyo akitokea Getafe, na mwaka 2011 alikaririwa akisema kuwa ndoto yake ni kuja kustaafu klabuni Hapo, lakini kwa bahati mbaya ameshawekwa pembeni. Itakumbukwa Pajero alifanikiwa kuiongoza Valencia Kwenye ubingwa wao wa kwanza tangu 2008, wakati aliposhinda kikombe cha Copa Del Ray msimu wa 2018 / 2019. Vilevile nchini Hispania klabu ya Atletico Madrid imeondolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa Ulaya baada ya kufungwa magoli 2 - 1 dhidi ya RB Leipzig kwenye hatua ya robo fainali na kuifanya klabu hiyo ya Ujerumani kuandika historia ya kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza tangu ilipoanzishwa mwaka 2009. Kocha wa RB Leipzig, Julian Nagelsman nae ameingia kwenye historia ya kuwa kocha wa kwanza mdogo (miaka 33) aliewahi kufika kwenye nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Msasaonline
IRAN : YATISHIA KUCHUKUA HATUA KAMA MARUFUKU YA SILAHA ITAREFUSHWA.

Msasaonline

Play Episode Listen Later Aug 13, 2020 1:26


Rais wa Iran Hassan Rouhani ametishia kuwepo na madhara iwapo baraza la usalama la umoja wa Mataifa litarefusha marufuku ya silaha dhidi ya Iran kwa shinikizo la Marekani. Rouhani amesema kupitia televisheni ya taifa, kwamba azimio nambari 2231 la umoja wa Mataifa, ambalo ni sehemu ya makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa mjini Vienna mwaka 2015 linahitaji marufuku hiyo iondolewe ifikapo mwezi Oktoba. "Hivi sasa wamarekani wamependekeza azimio dhidi ya sehemu ya azimio nambari 2231 ili kulikiuka. Tuna matumaini makubwa kwamba Marekani itashindwa. Tuna matumaini makubwa tena, kwamba Marekani itagundua kushindwa kwake na kushuhudia kutengwa kwake, amesema Rouhani. Marekani ilijitoa kwenye makubaliano hayo mei 2018,na baadae utawala wa Trump ukaiwekea Iran vikwazo zaidi. Makubaliano hayo yamekabiliwa na kitisho cha kuvunjika, kwa sababu Mataifa yaliyosalia China, Ufaransa, Uingereza, Urusi na Ujerumani, hayawezi kutekeleza sehemu ya kiuchumi ya makubaliano kukiwa na vikwazo vya Marekani,hali iliyoisukuma Terhan pia kuanza kuyakiuka.

Msasaonline
PAPA BENEDICT WA 16 ANA HALI MBAYA.

Msasaonline

Play Episode Listen Later Aug 4, 2020 2:00


Mkuu wa zamani wa kanisa katoliki, Papa Benedict XVl,ameripotiwa kuumwa sana baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani na sasa hali yake ni dhaifu sana. Gazeti la Pasaauer Neue presse la nchini Ujerumani limeripoti kwamba Papa Benedict Mwenye umri wa miaka 93 anasumbuliwa na Ugonjwa unaotokana na kirusi kinachosababisha pelepele usoni na maumivu makali, kwa muujibu wa mwandishi wa tawasifu ya Papa huyo , Peter Seewald. Kwa muujibu wa Seewald,"Papa kwa sasa ana hali dhaifu sana" limeandika gazeti hilo ."Akili na uwezo wake wa kufikiri bado viko makini lakini sauti yake inasikika kwa shida sana. Seewald alimtembelea Papa Benedict mjini Rome siku ya Jumamosi Agosti 01 kumkabidhi tawasifu yake. "Kwenye mkutano huo licha ya kuumwa kwake, Papa alikuwa na matumaini na kusema kwamba endapo hali yake itaimarika, atachukua kalamu tena aandike," limeandika gazeti hilo. Papa Benedict alimtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa aitwaye Georg nchini Ujerumani mwezi Juni,ikiwa ziara yake ya kwanza nje ya Italia tangu alipojiuzulu ghafla upapa mwaka 2013. Georg Ratzinger alifariki dunia wiki mbili tu baada ya hapo akiwa na umri wa miaka 96. Papa huyo wa zamani, ambaye jina lake halisi ni Joseph Ratzinger,sasa anaishi kwenye nyumba ndogo ya watawa mjini Vatican. Tangu awe Papa wa kwanza kujiuzulu kwa takribani miaka 600 iliyopita,amekuwa haonekani sana hadharani kutokana na hali yake ya kiafya. Akiwa mwanamapokea ya kanisa katoliki, nafasi yake ilichukuliwa na mwanamgeuzi Papa Francis.

Msasaonline
WATU ZAIDI YA MILIONI 1.8 WANATAFUTA HIFADHI NCHINI UJERUMANI.

Msasaonline

Play Episode Listen Later Jul 25, 2020 1:16


Idadi ya watu wanaotafuta hifadhi nchini Ujerumani kutokutoka na vita ama mateso katika nchi zao iliongezeka kupita milioni 1.8 mwishoni mwa mwaka jana kulingana na takwimu rasmi zilizotolewa tarehe 23, Julai. Idara ya takwimu ya serikali kuu (Destatis) imesema kuwa nb idadi hiyo iliongezeka kwa kiwango cha chini cha kila mwaka kutoka asilimia 3 mnamo mwaka 2012, idadi hiyo ilijumuisha raia wa kigeni ambao walikuja nchini Ujerumani kwasababu za kisheria, kisiasa ama kibinadamu. Mnamo Desemba 31, takribani watu 266000 miongoni mwa waomba hifadhi hao walikuwa bado wanasubiri uamuzi wa mwisho wa maombi yao ya kutafuta hifadhi, idara hiyo ya (Destatis) imeripoti kuwa kiwango hicho ni asilimia 13 chini ya kile kilichoshuhudiwa wakati sawa na huo wa mwaka jana. Hii inahusishwa na ufanisi uliopatikana katika kazi iliyoko pamoja na kupunguzwa kwa ujumla wa kiwango cha maombi ya kutafuta hifadhi.

Habari za UN
Ndoto ya mkimbizi wa Syria kuwa fundi umeme yatimia huko Ujerumani

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 1, 2020 2:08


Hatimaye ndoto za mkimbizi kutoka Syria za kutaka kutumia ujuzi wake katika hisabati na fizikia zimetimia huko Ujerumani baada ya kupata kazi katika kampuni ambamo kwayo anatumia stadi zake. Loise Wairimu na ripoti kamili. Mjini Hamburg,nchini Ujerumani, katika karakana ya treni ya kampuni ya Deutche Bahn.Tunakutana na Mohammad Alkalaf, mkimbizi kutoka Syira mwenye umri wa miaka 28 ambaye hatimaye ametimiza ndoto yake baada ya kuajiriwa kwa nafasi ya uanagezi kwenye kampuni hii ya treni ya kijerumani.

syria fundi kuwa huko ujerumani hatimaye
SBS Swahili - SBS Swahili
Ligi kuu ya Ujerumani yawapa wapenzi wa soka afueni kutoka janga la COVID-19

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 12, 2020 15:24


Ligi zote za michezo duniani ziliahirishwa baada ya mlipuko wa Coronavirus kusambaa duniani kote kwa kasi.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Ziara ya rais Tshisekedi nchini Ufaransa, mkutano wa idadi ya watu na maendeleo wahitimishwa nchini Kenya, rais wa Bolivia ajiuzulu

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Nov 18, 2019 20:05


Rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi Tshilombo alikutana na mwenyeji wake rais wa uganda Museveni na kwa pamoja wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati ya mataifa yao mawili, baada ya kuzuru Uganda rais Tshisekedi alielekea Ufaransa, kabla ya kuenda Ujerumani, mkutano kuhusu idadi ya na maendeleo ya dunia wamalizika wakati kimatifa rais wa Bolivia juma hili alitangaza kujiuzulu kwake. 

Jamii360 Podcast
Episode 3: Majipu ya Magu – Utamaduni wa ‘Punda haendi bila kiboko’ na athari zake katika maendeleo

Jamii360 Podcast

Play Episode Listen Later Mar 12, 2018


Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo.   https://archive.org/download/Episode3_20180312/Episode%20%233.mp3

Jamii360 Podcast
Episode 2: Mimba za utotoni: Miiko ya kuongelea ngono na balehe na changamoto zake kijamii

Jamii360 Podcast

Play Episode Listen Later Jan 24, 2018


Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni. Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru... Continue Reading →

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 13 – Jumatatu ya Karnivali

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Aug 25, 2009 14:04


Si watu wote wanaofurahia Karnivali. Kazi ya Compu inasababisha waandishi habari hao wawili kwenda Schwarzwald ambako Karnivali inachangamkiwa zaidi. Katika baadhi ya maeneo ya Ujerumani watu wanasherehekea Karnivali kwa furaha kubwa. Katika afisi ya Radio D kuna sintofahamu kati ya wahudumu kuhusu sherehe hizo. Paula haoni la kumvutia hata aungane na Philipp kufurahia. Kwake yeye vazi la kichawi alilovaa Philipp ni kichekesho kikubwa. Philipp anafurahia uchunguzi wao unapowaelekeza Schwarzwald ambako watu waliovaa mavazi ya kichawi wanaiba magari katika zaazaa linaloendelea la Karnivali. Waandishi habari hao wanajaribu kuwa na kipindi cha moja kwa moja cha redio lakini wanashindwa. Wachawi wanamteka nyara Philipp baada ya kumburura kutoka kwenye gari. Mpangilio wa maneno katika Kijerumani si jambo la kuchanganya sana. Tukio hili linalenga nafasi ya kiima na kiarifu.

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 02 – Simu kutoka Radio D

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Aug 24, 2009 13:14


Philipp hajapata amani yoyote wala utulivu. Baada ya kusumbuliwa na wadudu, inambidi kukabiliana na majirani wasioisha kelele. Anapopigiwa simu asiyoitarajia kutoka Berlin, anaondoka haraka. Usumbufu aliopata kutokana na wadudu si lolote si chochote! Maji yanamfika shingoni Philipp anapokabiliana na kelele za msumeno wa umeme pamoja na mpiga tarumbeta limbukeni. Paula kutoka Radio D mjini Berlin anapompigia simu, Philipp anapata kisingizio cha kukatiza ziara yake. Mama yake Philipp anasikitika sana pale Philipp anapomuaga na kuelekea mji mkuu wa Ujerumani. Hata kama huna msamiati wa kutosha bado, unaweza kufahamu tukio hili. Maneno ya kimataifa na kiimbo vitakuwezesha kufahamu mtiririko wa tukio na pia kufanya mazoezi ya ufahamu kwa kusikiliza.

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Jukumu la Anna ni kuinusuru Ujerumani isifikwe na janga. Ni lazima aihifadhi siri, atengue kitendawili, na kuwachunguza wanaume wenye pikipiki. Anahitaji dakika 130. Dalili ya kwanza i wapi? Anna anaamka katika chumba namba 14 … Zimmer vierzehn, kwenye mkahawa mmoja nchini Ujerumani. Wakati huo huo Kamanda wa Polisi anaelekea chumbani kwa Anna. Kamanda Ogur anajitambulisha na anagusia mauaji ya mgeni kwenye chumba nambari 40. Zimmer vierzig. Kwenye kioo cha bafu anatambua maandishi "In der Teilung liegt die Lösung. Folge der Musik". Anna anaanza kujibu maswali ya kamanda. Lakini maandishi hayo yana maana gani?

musik zimmer tendo teilung polisi kwenye wakati lakini kamanda mission europe mission berlin ujerumani uhalifu kujifunza kijerumani
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Huku zimesalia dakika 50, mchezaji anasema wakati umefika wa kumwamini keshia. Taarifa ya redio inasema wanajeshi wa Ujerumani Mashariki wanajenga uzuio wa seng'enge. Je hilo ndilo tukio la kihistoria la RATAVA? Anna hajatambua kuwa keshia ni Heidrun Drei na mchezaji anamwambia amwamini keshia huyo anayetaka kumsaidia hata kama kaka yake ana shaka. Hata hivyo ndugu hao wawili wanakubaliana kumsaidia Anna kulikwepa genge la waendesha pikipiki. Wote watatu wanakwenda kuwachungulia wanajeshi wa Ujerumani Mashariki ambao wanaanza kujenga uzio wa seng'enge. Mchezaji anamwambia Anna kuwa huo ni ujenzi wa Ukuta wa Berlin. Zimebaki dakika 45 kuinusuru Ujerumani.

berlin tendo hata wote huku mission europe mission berlin ujerumani heidrun drei uhalifu kujifunza kijerumani
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anagundua kuwa mwanamke mwenye mavazi mekundu ndiye mkuu wa RATAVA. Dakika 45 zimebaki za kuinusuru Ujerumani na kidokezo alicho nacho Anna ni kasha lililofichwa. Je atalipata na kuweza kukamilisha jukumu lake? Heidrun Drei, Paul na Anna wanaelekea barabara ya Bernauer na njiani wanakutana na Robert, mume wake Heidrun Drei. Anawaarifu kuwa wanajeshi wametapakaa kila mahali: Zaidi ya hayo, wenye pikipiki nao wamejitokeza. Anna na wenzake wanajificha kwenye uwa wa mkahawa wa zamani. Mwanamke mwenye mavazi mekundu anajitokeza na Paul anamwambia Anna kuwa mwanamke huyo ndiye kiongozi wa RATAVA. Mchezaji anamwambia Anna kumfuata kiongozi huyo. Anna na Paul wanakwenda kwenye selo ambako wanamshuhudia mwanamke huyo akificha kasha. Wanachukua kasha lile na kulificha katika sehemu nyingine na kisha kukimbia. Mchezaji anasema atafikiria njia ya kulipata tena. Lakini kwa dakika 40 zilizobaki, atakuwa na muda wa kutosha?

historia tendo zaidi kasha dakika lakini mwanamke bernauer mission europe ratava mission berlin ujerumani heidrun drei uhalifu kujifunza kijerumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Msichana anahadithia juu ya maisha katika Ujerumani ya Mashariki... Muhtasari wa sarufi: Kitendo chenye hali ya sharti (würde + kitenzi jina)

somo mashariki ujerumani deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kitendo kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ujerumani iliyoungana – watu na maafa yao... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi visaidizi (III): Vitenzi vya maridhio

somo baada ujerumani deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 14 – Kuishi katika nyumba za mabamba ya saruji:

Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 14:05


Ripoti ya Andreas: Watu wanasimulia maisha yao katika Ujerumani ya Mashariki... Muhtasari wa sarufi:Vitendo jirejee (I)

somo katika kuishi nyumba mashariki vitendo ripoti ujerumani deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

Viwanda vinavyobadilikaMakaa ya mawe, upungufu wa ajira: Jinsi Bonde la Ruhr nchini Ujerumani linavyoathiriwa na kutoweka kwa viwanda vya kiasili.Mada: Viwanda vya makaa ya mawe na chuma cha pua, ruzuku kwa makaa ya mawe, mabadiliko ya kimuundo

marktplatz ruhr sura ujerumani kujifunza kijerumani
Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle

Chama cha WafanyibiasharaMashauriano, taarifa, ushawishi: Jinsi uchumi wa Ujerumani unavyojisimamia na kujidhihirisha.Mada: Vyama vya kibiashara na kiuchumi vya Kijerumani

chama marktplatz sura jinsi ujerumani kujifunza kijerumani kijerumani