Kilimo ajira

Follow Kilimo ajira
Share on
Copy link to clipboard

This is a radio show about youth in agriculture. It was produced in Western Kenya in cooperation with the programme ‘Green Innovation Centres for the Agricultural and Food Sector’, a global initiative by the German Development Cooperation GIZ. For the program, the presenters met inspiring young farm…

West FM

  • Nov 25, 2019 LATEST EPISODE
  • infrequent NEW EPISODES
  • 12 EPISODES


Search for episodes from Kilimo ajira with a specific topic:

Latest episodes from Kilimo ajira

Kilimo Ajira 12: Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ict) inawezaje kusaidia wakulima

Play Episode Listen Later Nov 25, 2019


Kilimo Ajira 12: ICT – how can it help farmers? Farming is all about information. When is it going to rain? How much? What disease are my plants suffering from that I have never seen before? Through the use of Information and communications technology (ICT), farmers can answer these and many other questions. Which opportunities for ICT use are there in Bungoma and Kakamega? What are the technical requirements? These are some of the things host Dalmus Sakali wanted to know from Paul Wesley who works as an ICT officer at the Natiri Dairy Cooperative. Kilimo Ajira 12: Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ict) inawezaje kusaidia wakulima Kilimo ni mambo na habari. Ni lini kutanyesha? Kiasi gani ya mvua? Magonjwa gani yanakumba mimea yangu ambayo sijawahi ona tena? Kufuatia utumizi wa ICT, wakulima wanaweza jibu haya maswali na mengineo. Kuna fursa zipi za ICT katika kaunti za Bungoma na Kakamega zinazoweza wafaa wakulima? Ni ufundi upi unahitajika? Haya ndio baadhi ya mambo mwenyeji Dalmus Sikali alitaka kujua toka kwa Paul Wesley ambaye anafanya kazi kama afisa wa teknolojia na mawasiliano katika Natiri Dairy Cooperative.

Kilimo Ajira 11: Jinsi ya kushugulikia fedha

Play Episode Listen Later Nov 25, 2019


Kilimo Ajira 11: How to tackle your finances Farming is a business and therefore needs proper financial planning. But farmers have to ask themselves complex questions around this topic: Should I get a loan and if yes, which one? What is the right partner for my financial needs? How can I gain the knowledge to be able to analyze my own business? This episode featured Stephen Akello who is a field officer for financial inclusion for CARE. The expert trains farmers in financial literacy. Jinsi ya kushugulikia fedha Kilimo ni biashara kwa hiyo inahitaji mipango kabambe za kifedha. Wakulima inabidi wajiulize maswali magumu kuhusu fedha. Je, nitaomba mkopo na aina gani? Nani atakuwa mwenzi wangu kwa masuala za kifedha? Nawezaje kupata maaraifa ili kuweza kuchambua biashara yangu? Kipindi hiki ilikuwa na Stephen Akello ambaye ni afisa wa maswala ya za jumuishaji ya fedha katika idara ya CARE. Mtaalamu anafundisha wakulima kuhusu maarifa za kifedha

Kilimo Ajira 10: Vijana wakulima wa Kenya wajadiliana na wizara ya kilimo

Play Episode Listen Later Nov 13, 2019


Kilimo Ajira 10: Young Kenyan farmers discuss with Ministry of Agriculture What do young farmers and agripreneurs need and what can the political sector do to improve their situation? Gabriel Litunya and Paul Wabomba represent them in Kakamega and Bungoma. They discussed this question with the Extension Officer Jane Gitau, Ministry of Agriculture Bungoma County, and the Planning Advisor Frank Muhenge from the Ministry of Agriculture Kakamega County. Kilimo Ajira 10: Vijana wakulima wa Kenya wajadiliana na wizara ya kilimo Ni nini vijana wakulima na wanabiashara za kilimo wanahitaji na nini wanasiasa wanaweza kufanya ili kuimarisha hali yao? Gabriel Litunya and Paul Wabomba wanawakilisha katika kaunti za Bungoma na Kakamega. Walijadili swala hili na Afisa Ugani Jane Gitau, Wizara ya Kilimo kaunti ya Bungoma na Mshauri wa Mipango Frank Muhenge kutoka Wizara ya Kilimo kaunti ya Kakamega

Kilimo Ajira 9: Kilimo biashara na soko

Play Episode Listen Later Nov 13, 2019


Kilimo Ajira 9: Agripreneurship and Marketing Successful farmers perceive farming as a business. Therefore, knowledge of financial planning is necessary, along with a bit of entrepreneurial spirit. Dr. Marienga Brighton is a trader of Sweet Potatoes and gives farmers advice from his perspective – the buyer’s side. An episode all about agribusiness and where to get the training that is needed to succeed. Kilimo Ajira 9: Kilimo biashara na soko Wakulima waliobobea huchukulia kilimo kama biashara. Kwa hivyo, ujuzi wa maswala za kifedha mi muhimu, kando na moyo kiasi wa kufanya biashara. Daktari Brighton Marienga ni mfanyibiashara wa viazi vitamu na anawapa wakulima wosia kama mnunuzi. Kipindi kizima kuhusu kilimo biashara na pahali pa kupata mafundisho ili kunawiriri

Kilimo Ajira 2: Mambo 5 mkulima apaswa kujua

Play Episode Listen Later Nov 13, 2019


Kilimo Ajira 2: 5 things a farmer should know Starting out with agriculture doesn’t have to be hard. But there are some basic steps every farmer can take to ensure better results. Farmers need a plan how to access land, capital and means of production. Studio guests: Florence Omutimba, trainer at the Anglican Development Service and Francis Muhenge, Ministry of Agriculture, Kakamega County. Kilimo Ajira 2: Mambo 5 mkulima apaswa kujua Kuanza kilimo haifai kuwa jambo gumu. Lakini kuna mpangilio fulani kila mkulima apaswa kuzingatia ili aweze kupata mazao bora. Wakulima wanahitaji mpango wa kupata shamba au ardhi, hela na uzalishaji. Wageni katika studio; Florence Omutimba ambaya ni mkufunzi katika shirika la Anglican Development Services na Francis Muhenge kutoka Wizara ya Kilimo, Kaunti ya Kakamega.

Kilimo Ajira 1: Kwa nini tufanye kipindi juu ya vijana katika kilimo

Play Episode Listen Later Nov 13, 2019


Kilimo Ajira 1: Why we do a show about youth in agriculture In Western Kenya, many farmers are struggling to make a living. This is especially true for youth that have difficulties to aquire land and to voice out their needs in public. But there are real career chances for youth in agriculture: The farmers Claire Oonze and Abraham Kiboki explain why. Kilimo Ajira 1: Kwa nini tufanye kipindi juu ya vijana katika kilimo Magharibi mwa Kenya, wakulima wengi wanapata changa moto wakijaribu kujikiri ki maisha. Hii haswa ni kweli kwa vijana wanaopata ugumu kupata mashamba na pia kuzungumza hadharani wakisema wanachotaka. Hata hivyo kuna nafasi halisi za ajira kwa vijana katika kilimo. Wakulima Claire Oonze na Abraham Kiboki wanaeleza.

Kilimo Ajira 7: Jinsi ya kubobea katika upanzi wa chakula cha ngombe

Play Episode Listen Later Oct 21, 2019


Kilimo Ajira 7: How to become a successful fodder producer Think Dairy sector, think milk production? Not necessarily! Fodder production can be very rewarding. There are various stages in the production where young people can seek business opportunities – from preparing the land to producing silage. Bernedette Mwambu has benefitted from trainings in this field and now runs her own successful fodder production business. Kilimo Ajira 7: Jinsi ya kubobea katika upanzi wa chakula cha ngombe Waza ufugaji wa ngome, waza uzalishaji wa maziwa? Sio lazima! Uzalishaji wa chakula cha ngombe unaweza kunufaisha sana. Kuna hatua mbali mbali katika uzalishaji ambapo vijana wanaweza jipatia riziki ki biashara- toka kwa kutayarisha shamba hadi kuzalisha zile nyasi. Bernedette Mwambu amenufaika kwa mafunzo katika idara hii na sasa anaendesha biashara yake binafsi ya uzalishaji wa chakula cha ngombe

Kilimo Ajira 8: Kilimo cha kuhifadhi rotuba shambani

Play Episode Listen Later Oct 21, 2019


Kilimo Ajira 8: Regenerative Agriculture In Western Kenya, many soils are depleted of nutrients because of wrong handling. This greatly diminishes yields. The solution to this is to analyze your soil and to protect it from eroding and depleting. This pays for itself very quickly. Studio guest Chrisanthus Mangoli runs the Soil Lab in Bungoma County. He gives hands-on advice how farmers can protect their soil for cheap. Kilimo Ajira 8: Kilimo cha kuhifadhi rotuba shambani Magharibi mwa Kenya, ardhi nyingi huishiwa na rotuba kwa ajili ya njia mbovu ya utunzi. Hii huathiri sana uzalishaji. Suluhu hapa ni kutazama kwa makini ardhi yako ili kuzuia momonyoko wa udongo na kuathirika. Hii huwa na malipo ya upesi sana. Mgeni kwenye studio Chrisantus Mangoli ndiye mwenye maabara ya udongo kwenye mji wa Bungoma. Anawapa wakulima wosia jinsi ya kutunza ardhi zao

Kilimo Ajira 6: Jinsi ya kuwa mkulima wa kubobea wa ngombe wa maziwa

Play Episode Listen Later Oct 8, 2019


Kilimo Ajira 6: How to become a successful dairy farmer To thrive in dairy production, you have to have a close look at your cost and feeds, says the young dairy entrepreneur Elly Habwe from the North of Kakamega County. In this episode, he answers many questions from fellow farmers who called in. Kilimo Ajira 6: Jinsi ya kuwa mkulima wa kubobea wa ngombe wa maziwa Ili kubobea katika kilimo xha ngombe wa maziwa, lazima uwe na mtazamo wa kikaribu wa bei na vyakula vya ngombe, asema kijana hodari wa biashara katika ufugaji wa ngombe wa maziwa Elly Habwe kutoka kaskazini mwa kaunti ya Kakemega. Katika kipindi hiki, anajibu maswali mengi za wakulima waliopiga simu kwenye studio

Kilimo Ajira 4: Jinsi ya kulima viazi vitamu

Play Episode Listen Later Oct 1, 2019


Kilimo Ajira 4: How to grow Sweet Potato While many farmers in Kenya grow mainly maize, development partners like GIZ promote the advantages of Sweet Potatoes. The crop has many advantages: It has a very good nutritional value and resists drought well. Michael Akhwale, Senior Research Scientist/Agronomist at the Kenya Agricultural & Livestock Research Organization (KALRO), passes on his expertise. Kilimo Ajira 4: Jinsi ya kulima viazi vitamu Huku wakulima wengi Kenya wakipanda tu mahindi, mashirika za maendeleo kama GIZ wanapigia debe ubora wa viazi vitamu. Mmea huu unamanufaa tele. Viazi vitamu inayo manufaa za kiafya na pia inastahimili kiangazi. Michael Akhwale ni mwana sayansi mtafiti mkuu katika shirika la utafiti kwa maswala ya kilimo na wanyama (KALRO) anapeana wosia.

Kilimo Ajira 5: Kujikimu ki maisha kwa uzalishaji wa mbegu za viazi vitamu

Play Episode Listen Later Sep 28, 2019


Kilimo Ajira 5: Making a living of Sweet Potato vine production Growing Sweet Potato can not only help to feed your family or be grown to sell. In Western Kenya, there also is a market for Sweet Potato vines. If done right, this can be a lucrative business. The professional vine multiplier Ruth Maruti from Bungoma County explains how her business works. Kilimo Ajira 5: Kujikimu ki maisha kwa uzalishaji wa mbegu za viazi vitamu Ukulima wa viazi vitamu haiwezi tu kulisha familia yako au kuuza. Magharibi mwa Kenya, kuna soko kubwa ya mbengu za viazi vitamu. Ikitekelezwa kwa njia sawa, inaweza kuwa biashara yenye mapato makubwa. Mtaalamu wa ukuzaji wa mbegu za viazi vitamu Ruth Maruti kutoka kaunti ya Bungoma anaeleza jinsi biashara yake huenda.

Kilimo Ajira 3: Wakulima vijana wa kike kwenye kilimo

Play Episode Listen Later Sep 21, 2019


Kilimo Ajira 3: Young women in agriculture Female farmers in Kenya have specific challenges: Working both in the field and in the household, their networks are often not as strong as the one of their male counterparts. Ann Vudunga of the Women Farmers Association of Kenya (WoFaAK), Kakamega County, about the advantages of women farmers working together. Kilimo Ajira 3: Wakulima vijana wa kike kwenye kilimo Wakulima wa kike nchini Kenya wana changamoto za kipekee. Kufanya kazi katika mashamba na vile vile nyumbani, muungano wao huwa hafifu ukilinganisha za waume. Anne Vudunga, mshiriki wa shirika la kina mama wakulima (WoFaAK) katika kaunti ya Kakamega anazungumzia ubora wa wanawake wakulima kuungana pamoja.

Claim Kilimo ajira

In order to claim this podcast we'll send an email to with a verification link. Simply click the link and you will be able to edit tags, request a refresh, and other features to take control of your podcast page!

Claim Cancel