Radio host Rehema Nkalami is musing about life, fashion, gossip and politics in the swahili speaking parts of the world.
Rehema Nkalami: Swahili speakring radio host
Kuna Taarifa nyingi mitandaoni zisizo na uhakika. kwenya kipindi cha leo mtangazaji wetu Rehema Nkalami ataongelea kuhusu swala hili la habari potovu.
Mzungu Kicha akiwa katika mahojiano na Swahili Talk Radio. Akijifungua kuhusu, Mziki wa Bongo, Ubaguzi baina ya wzungu, na maisha yake kwa ujumla kama MBongo mhamiaji.
Kila malezi yanakuwa magumu au marahisi kulingana na mazingira, mila na destuli ya mahali ulipo. Kwenye podcast ya leo tunajaribu kugusia hili..
Kipindi hiki kinaongelea jinsi gani inakua ngumu kwa wageni wanao hamia kwenye nchi za kigeni ku-adopt mila na desturi za nchi hiyo, nanini kinakua kigumu.
Tarere 25.07-2020 alizaliwa mtoto wa kitanzania na kuweza kuwaunganisha wanzania wengi wa Jylland/Denmark
- Utaratibu wa kufungua mashule baada ya karantin. - Pasaka iliendaje ndani ya karantin. - Hadhali za kisaikolojia kwa ajili ya Corona -V - New members of ´Swahili Talk radio.
Sikiliza swahili podcast inavoelezea kuhusu hili swala? Sikiliza Swahili Talk Radio Podcast inayvoelezea kuhusu hili swala
The Corona Virus pandemic is showing up in Tanzania, Kenya and the other sub-sahara countries on the continent. Rehema Nkalami lives in Denmark where the virus already closed down the country. What is it like? What can you do to prevent the decease? Listen to this episode of Swahili Talk Radio Podcast - and don't forget to share it with your neighbor :) ...
Rehema Nkalami talks about the virus that has scared half the world. What is going on? Are we all going to die, or do we need to put things in to perspective? Listen to this Corono Virus Special.
This episode is in english. Rehema Nkalami has invited journalist Soren Rasmussen to talk about the Corona Virus Outbreak. How afraid should we be? Is the world going under? Are we all going to die? Or what is going on?
Podcast ya leo tunaongelea kuhusu watoto wetu na pesa za zatumizi. tunaongelea mpango wa kutengeneza kazi za wanafunzi iwe jukumu la nchi. Na pia tunaongelea mfumo mzima wa majukumu yaanzie nyumani kwa wazazi.
Utalii wandani ya nchi umekuwa siku zote ukipewa kipaombele na wageni kwanini ? Je kwasababu nchi zetu utalii haziufahamishi vizuri ndani ya nchi? mimi nimmoja wapo ambae nimesoma secondary ya Hegongo karibu na Magoroto forest na hamna hata siku moja kwenye kumbukumbu yangu shule kama shule imafanya ziara ya kutembelea msitu huu. amba wazungu walikua wakitoka mbali kuja kuoma asiliamali hi ya Tanzania ... bonjeza link hapo juu usikilize na uijue Magoroto Forest.
Wema Sepeto kawa ongezi kubwa mtandaoni kuliko mambo mengi muhimu kwa kipindi cha muda wa wiki nzima. Wapendwa watanzani kweli hili jambo nilakuongea wiki nzima? Au nikukosa kujua kitugani ni muhimu kwetu? au ni uelevu mdogo wa jamii yetu? Kwanini tusiongelee maendeleo ya nchi yetu..??? bonyeza link hapo juu kutusikia Swahili talk Radio Podcast ujue tulicho changia kwenye hii hoja. By Rehema Nkalami.
Nini muhimu kwako kama mfanyakazi . je utaratibu gani wa kazi na Ajira kwa ujumla katika mkataba wako wa Kazi? Je system gani inamlinda mfanyakazi katika nchi yako? Sikiliza kipindi chetu kipya tukiongelea Kuhusu Ajila / Kazi /na system nzima ya nchi uliopo. Ukichasikiliza drop comment kuhusu maoni yako Swahili Talk Radio Podcats.
Swahili Talk Radio leo imechambua shuhuda ya mwanamitindo mwanadada Hamisa Mobetto Kuhusu uchawi / Dua alizo mfanyia baba wa mtoto wake Nyota ya mziki Tanzania Diamond Platnumz Tukutane wiki ijayo katika uchambuzi mpya wa mambo tofauti, Je wiki ijayo ungependa tuongelee nini ? weka comment yako. Podcast by Rehema Nkalami katika
Kutana na mtangazaji wa Sahilitalk Podcast, Rehema nkalami akikuchamulia interview ya hamisa Mobeto...... Hamisa asema kasha zaa na Diamond ham hitaji tena.