Podcasts about rehema

  • 31PODCASTS
  • 47EPISODES
  • 43mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Sep 9, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about rehema

Latest podcast episodes about rehema

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu Sheria namba 987-997 ?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Sep 9, 2024 58:31


Karibu ungane nami John Samky, katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa sheria za kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, akituongoza kujifunza Sakramenti ya Kitubio(Mwenye kutubu na Rehema)    L'articolo Je, wafahamu Sheria namba 987-997 ? proviene da Radio Maria.

Inside St Jude’s – (Conversations with Gemma Sisia)

St Jude's student hosts, Lilian and Fatuma, chat with Human Resources Manager Rehema. Rehema shares her inspiring journey to becoming a female leader in HR and highlights how St Jude's empowers its female students to achieve similar leadership roles.

Not Simple
Rehema Kutua, Primary Care

Not Simple

Play Episode Listen Later Mar 28, 2024 31:41


“It matters how we feel because how we feel and how we're doing impocts everyone.” 

TV has taught us that doctors are sexy, mysterious superheroes, but what is really happening at the other end of the stethoscope is more complex than we realize. Rehema Kutua, a pediatrician and certified coach, came to Not Simple to discuss what it feels like to be a primary care physician today and what happens when we see the human behind the title.

Vuka Online Radio Podcasts
041223-Leadership Masterclass with Dr Mo Potcast with Rehema Isa

Vuka Online Radio Podcasts

Play Episode Listen Later Dec 4, 2023 53:07


This Monday On Leadership Masterclass Show, Dr. Mongezi C. Makhalima will have a chat with Ms. Rehema Isa who is Co-founder of Oya Solutions, an entrepreneur, strategist, learning and development practitioner and storyteller. We will talk to her about her journey to Leadership, lessons learned and advice to Leaders leading today. Follow us @VukaOnlineRadio all social media platforms.

Abundant Leaders with Tenji Moyana
19. Alison, Rehema & Tenji – we're best friends who started a career support group just for us

Abundant Leaders with Tenji Moyana

Play Episode Listen Later Oct 19, 2023 63:00


In the second Real Talk episode, I'm joined by my girls Alison Cohen and Rehema Kutua. We're best friends from college with a standing monthly date to coach each other on our businesses and careers. It's lonely at the top and entrepreneurs and leaders feel it significantly. Fewer people check in on you, offer you honest developmental feedback, invite you to informally socialise at work or feel comfortable creating space for you to be vulnerable.   Alison, Rehema and I wanted to avoid this so we created a structure that could hold us in safety where we could ask for help, share our struggles and support each other in a challenging, lonely role. Welcome to our career coaching circle. I hope you feel inspired to create one of your own.   Topics discussed: * Why Rehema and Alison said YES to starting our coaching circle * What we've each gotten out of it * How the circle has helped us grow and heal in unexpected ways * What's helped our support group to be successful * Advice for how you can start your own   Learn more about Alison, Rehema and ConnectWellEd   The Real Talk series is a regular segment where I'm chatting casually with my friends about our on the ground career and leadership experiences. I hope these relatable conversations inspire you to have chats of your own with friends that you trust about what's going on at work.   -- Book a free 1x1 coaching discovery call or reach out for leadership development for your company. Accelerate your career advancement with the ⁠Get Promoted online course⁠ Find me on ⁠LinkedIn⁠ and ⁠Instagram⁠ Sign up to receive my leadership letter --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/abundantleaderswithtenji/message

Im Kunstraum
"A Gut Feeling" - Rehema Chachage im Gespräch mit Serena Lee

Im Kunstraum

Play Episode Listen Later Sep 14, 2023 31:10


Begleiten Sie uns in dieser Folge auf eine Reise durch nicht lineare herstories, die Praxis des Swahili Geschichtenerzählens und die Idee von einem „Zuhause aus der Ferne“: Im Rahmen des H13 Niederösterreich Preis für Performance hat der Kunstraum ein Künstlerinnengespräch zwischen der diesjährigen H13-Preisträgerin, der Medien- und Performancekünstlerin Rehema Chachage und der Künstlerin Serena Lee gehostet. Aufbauend auf ihrem kontinuierlichen Dialog (der im Rahmen des PhD in Practice Programms der Akademie der bildenden Künste in Wien begann), spüren die beiden Künstlerinnen einigen der thematischen Stränge nach, die in Rehemas Chachages begleitender H13 Ausstellung "Nitakujengea kinyumba na vikuta vya kupitia [A Home for You I Will Create with Exit Pathways - A Gut Feeling]" eingewebt sind. Viel Spaß! Credits: Gast: Rehema Chachage Moderation: Serena Lee Einführung: Frederike Sperling Schnitt: Maximilian Steinborn Opener und Mastering: Alexander Wieser | Sonobelle Recordings Bild: eSeL.at Wenn Sie mehr über das Programm des Kunstraum Niederoesterreich erfahren möchten, folgen Sie uns! https://www.instagram.com/kunstraum_niederoesterreich/ https://www.facebook.com/KunstraumNiederoesterreich/ www.kunstraum.net

The Jamal Show - The Place to Get Intelligent
Burnout! featuring Hartford Mayoral Candidate Giselle Jacobs

The Jamal Show - The Place to Get Intelligent

Play Episode Listen Later Aug 12, 2023 60:43


Hosts: Attorney Jamal C. Wright Dr. Alphonso Mack Attorney John Rose, Jr Special Guest Hartford Mayoral Candidate Giselle "GiGi" Jacobs Music: "Rehema" by Mex Cortez --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/thejamalshow/message Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/thejamalshow/support

The Jamal Show - The Place to Get Intelligent

BITTERNESS Host: Jamal C. Wright, Esq. Cohost #1 Nichole Mayweather-Banks, LCSW Cohost #2 Attorney John Rose Jr. Guest Caller: "Jimmy With Books" in Segment 3 TOPICS: 1. Supreme Court Rules Against COLLEGE Affirmative Action 2. Supreme Court Rules Against LGBTQ Rights     A. Businesses can now refuse service to LGBTQ Community!       B. Bud Light fires back after Transgender influencer Dylan Mulvaney claims she was "abandoned" by the company 3. Supreme Court Rules Against Biden's Student Loan Forgiveness Plan 4. Reparations Get Real in California Episode Music: 1.      "One Minute Freestyle Beat" by Purplexxer 2.      "Rehema" by Mex Cortez, (the Best Rapper in Africa) PLEASE SUPPORT THE JAMAL SHOW WITH A KOFI! PLEASE CHECK THE JAMAL SHOW'S FAVORITE CHARITY: TEAM VIENNA --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/thejamalshow/message Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/thejamalshow/support

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Muda mwingi nilipote dhambini sasa narudi, kustawi katika nyakati za taabu

muda rehema
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Muda mwingi nilipote dhambini sasa narudi, kustawi katika nyakati za taabu

muda rehema
Salama Na
SE7EP24 - SALAMA NA LULU DIVA | UKIPATA KINYAKUE

Salama Na

Play Episode Listen Later Nov 30, 2022 75:15


Kuna mambo mengi wakati mwengine ambayo yanakua yanaendelea au yalitokea kwenye maisha ya baadhi ya watu ambao huja kukaa kwenye kiti chetu chakavu na meza yenye kigae. Ila kwasababu zilizo wazi za kuwataka wasijisikie uncomfortable na pengine kuwafanya hata ambao wangependa au ambao tungependa waje nao wasijiskie hivyo ndo kanuni ambayo tumeamua au niseme niliamua kipindi huko nyuma kuifuata. Nia na madhumuni ya session zetu hizi zaidi ni kuwapa watu maua yao wakiwa hai, sisi nasi kuskiliza hadithi za maisha yao ambazo zitatupeleka sehemu fulani katika maisha yatu na hili pia humuambia kila mgeni anapokalia tu kiti chetu chakavu kabla hata camera hajiwashwa ya kwamba… Sisi tuko hapa kwaajili ya kutaka ku inspire zaidi na si kumdhalilisha au kutaka kumuangalia kwa chini yoyote kwasababu tu kabla kuna kwikwi kadhaa zilishawahi kutokea kwenye maisha yake na tuka tumia hiyo kama ‘fimbo' kumchapia nayo. Kama mwenyewe ana simulizi yake ya ‘majuto' ambayo wengi wanaifahamu na haikumueka sehemu nzuri na angependa kuiongelea basi ruhusa ipo, ila kama ni kitu ambacho mwenyewe hayuko tayari kukiongelea basi kuheshimu hilo ni jukumu letu NAMBARI MOJA. Najua pengine inawezakana kabisa ukaona ah basi kuna haja gani ya kuongea nao then? Haja ipo na naamini tukipatacho hutosha, bila ya kuvunjiana heshima au kuwekana uncomfortable. Ukikua zaidi utaelewa zaidi . Lulu Diva ni moja ya majina makubwa kwenye muziki wetu hapa nyumbani na pia kwenye kiwanda cha uigizaji, hustle zake za spidi KUBWA ndo ambazo zimemfanya awe anatambulika na mambo mengine kuweza kwenda vizuri kama jahazi kwenye hali ya hewa shwari huko baharini. Ila hayo yote hayakuja tu kwasababu labda yeye ni maalum sana, au mzuri sana au anajua kuimba sana, kiukweli wake, haya yamekuja baada ya jasho tele, mchozi tele na pengine damu kiduchu. Jinsi alivyokua ilikua kwa malezi ya Bibi maana Mzee wake alikua na mambo mengi, Mama yake nae alikua akimpambania goli kama wengi ambavyo wamekua wakifanya kwa watoto wao. Kukua kwake kwa kiasi kikubwa ni Tanga na ananisimulia kwenye apisode hii jinsi ambavyo alikua akihama vijumba na maamuzi magumu ambayo aliyafanya yeye na Marehemu Mama yake ya yeye kuja TOWN. Lulu ananihadithia pia jinsi alivyokua akijituma ili aweza kumleta Mama yake mjini baada ya kuskia ameanguka kwa mara ya kwanza. Ni binti tu ambaye ndoto yake ilikua ni kuishi na Mama yake mzazi ambaye maisha hayakua hivyo wakati anakua. Ilikua inambidi afanye mambo kadhaa mpaka alipoweza kutimiza ndoto yake hiyo ya kumleta Bi Mkubwa hospitali kwa mara ya kwanza. Mengi yalitokea na ambayo yalikua nje ya uwezo wake ila kwa Rehema za Mwenyezi Mungu kadhaa aliweza kuyakamilisha ambayo kwa mujibu wa simulizi zake naamini Mama ametangulia mbele ya Haki akiwa na roho safi kwa Binti yake. Story ya Mama Lulu ndo ambayo kwa kiasi kikubwa ilibeba mazungumzo yetu haya, ingawa pia kwa ki upekee kabisa tumeweza kuzungumzia mahusiano yake, kazi zake, ndugu zake, maisha nyuma ya camera , kazi zake, uandishi, muziki na filamu na hakua mchoyo wa kujielezea na kutuelezea hata kidogo. Yangu matumaini pia nawe utaskiliza na kuitimaza kwa MAKINI na kwa kiasi fulani utaweza kuelewa baadhi ya mambo ambayo yatakufanya hata ukimuona uwe na heshima fulani kwa Binti huyu. Tafadhali Enjoy. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Salama Na
SE7EP16 - SALAMA NA ZAHIR ZORRO | KIMULIMULI

Salama Na

Play Episode Listen Later Sep 30, 2022 51:22


Zahir Ally Zorro ni mkongwe wa muziki wa dansi na kwa habari ambazo nimepata ni kwamba enzi zake alikua wa moooto sana tena kwenye kila nyanja, kuimba, kuandika, kupiga gitaa na mpaka uvaaji, alikua handsome boy sana na ulimbo kwa kina Dada enzi hizo. Utashi na ucheshi na u sharp wake ndo ambao ulikua unamfanya asimame PEKEE kwenye kadamnasi ya wanamuziki wengi wa kipindi hiko. Naomba nikukumbushe pia kwamba enzi hizo zilikua pia si za kuzichukulia poa kabisa, maana ushindani wa bendi na vipaji binafsi ulikua wa hali ya juu sana, na yeye kama yeye alikua moja ya wale WAKALI wa kipindi hiko. Kama muajiriwa wa Jeshi Mzee Zahir alikua shujaa wa aina yake enzi hizo za ujana wake, kama askari alikua akijituma na ndo maana hakua na cheo cha kinyonge, na kama muandishi na muimbaji na mpiga gitaa pia alikua na nafasi yake ya kipekee. Ukimuangalia hata rangi yake imekaa ki chotara na kwenye mazungumzo haya ana nikumbushia jinsi ambavyo Baba na Mama yake walikutana na ambavyo yeye alizaliwa. Interest yangu zaidi ilikua jinsi ambavyo yeye kama Baba ameweza kuwakuza watoto wake wawili ambao nao wamekuja kuwa wanamuziki wazuri tu tena, Marehemu Maunda Zorro ambaye alifariki mapema mwaka huu (Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na Amrehemu) na Kaka yake Banana Zorro. Wakati wa kuanza Banana ndo alionekana kuwa angekua super star zaidi ila Maunda nae alipoikamata reli yake kila mtu alimfahamu vizuri. Malezi yao baada ya Marehemu Mama yao nae kutangulia mbele ya haki wakiwa bado wadogo naamini ilikua mtihani mkubwa kwa Mzee Zorro. Ila kwa Rehema za Mwenyezi Mungu Mzee huyo aliweza na ameweza kuhakikisha watoto wake wanakaa kwenye mstari ulio nyooka na kufanya mziki mzuri na kwa heshima na taadhima. Kwenye maisha yangu ya kazi hii nimeshawahi kukutana na Mzee Zorro ila hatukuwahi kufanya maongezi kama haya ingawa nyuma ya ubongo wangu siku zote nilikua nataka kufanya hivyo, na wakati mwengine nilikua nawaza hata ingekua viti VITATU upande ule yaani Baba na watoto wake wawili, kisha nikaona tutakosa kinaga ubaga nyingi, yaani hatutawafaidi sana kama tukiamua kufanya hivyo maana kati ya watatu hao kila mmoja ana story zake ambazo anafaa kupatiwa wasaa wake. Kwa bahati mbaya Maunda alitangulia mbele ya haki na wakati kwa upande wetu ulifika kwa sisi kutaka kukaa chini na Mzee Zorro ili tuyajue yake na kutaka kujifunza kutoka kwake. Mimi na Director wangu wa episode hii tulikua na wakati mgumu kiasi maana pengine tulitaka zaidi ya ambacho tuliweza kupata na hilo Mimi na Alex (Director wangu) tumekubaliana kwamba imetokana na kuondoka kwa Maunda, tunaamini toka Maunda amefariki Mzee Zorro hajarudi katika hali yake ya kawaida, na inaeleweka maana yule hakua tu Binti yake, alikua ni rafiki yake wa karibi saaaana pia. Mzee Zahir alikua analala na Maunda na Banana chumba kimoja mpaka siku chachu tu kabla ya Maunda kukua, na hiyo ilikuja baada ya Banana kumuambia Mzee wake kwamba pengine sasa umefika muda wa wao kulala tofauti. Ananiambia katika episode hii kwamba yeye waala hakua anaona tatizo lolote juu ya hilo maana wenyewe walikua wanaishi tu kwa upendo na maelewano ila baada sasa ya Banana kusema ndo hata yeye alipoona ni kweli muda wa kupeana faragha kwa kila mmoja kuwa na sehemu yake ulikua ushafika. Kwa mtu ambaye walikua wanaonana karibu kila siku na kuongea sana hata baada ya Maunda kuhamia kwa mtu wake ukaribu wao bado ulikua wa karibu sana. Mimi namuombea Mzee Zahir Ally Zorro wepesi katika kipindi hiki kigumu ambacho anapitia na In Shaa Allah arudi katika hali yake ya zamani ya ucheshi na bashasha tele na kwa hii ambayo tumeweza kufanya naye itakupa ufahamu wa kiasi wa legend huyu ambaye pia ni mjuzi wa mambo mengi ya historia na muziki wa jana na wa leo hapa ulimwenguni, ukitaka kuongea na Mzee Zorro hukusu culture ya Mexico, mabadiliko ya tabia nchi, timu ya Taifa ya Ufaransa, mapenzi ya Tabu Ley na Mbilia Bel yote atakua na la kukuambia. Special special human being. Tafadhali enjoy. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Salama Na
SE7EP06 - SALAMA NA MTANI | SO SILKY

Salama Na

Play Episode Listen Later Jul 21, 2022 55:10


Ushawahi kukutana na wale watu ambao wao ni wa pole tu sana na wanajipenda tu sana ila hawana tu muda wa kuringa au kuji mwabafy kwasababu wao wako talented au wana kipawa kutoka kwa Allah na wanajua? Well mi nishawahi kukutana na watu kama hao na mmoja wao ni mgeni wetu RASMI wa wiki hii ya episode ya sita ya SalamaNa msimu huu. Anaongea kwa utaratibu na kujua kile atakacho, anakipataje na akisha kipata atafanya nacho nini. Huyo sasa ndo mwanangu Mtani Nyamakababi, aka Mtani Beskope. Kijana wa ki Tanzania mwenye kuelewa somo la leo na ukiachana na mitihani ambayo anakua anaipatia na mara nyingi huwa anafaulu kwa masksi za juu sana, kama daraja basi lake huwa ni la kwanza kabisa! Ufahamu wake na kujiongeza kwake kwenye knowledge na udambwi dambwi kwenye yale ayafanyayo kwa hakika ndo kunamfanya awe trend setter na wengine ambao wanafanya kazi kama ambayo yeye anafanya wabakie kumuona kama Role Model, naamini kwa kiasi kikubwa haata yeye bado hajioni kama Role Model maana safari yake ya kufika kule anapo pataka na kupaota ndo kwanza imeanza kustawi. Miaka 30 ya umri mwaka huu wa 2022 bila ya shaka ni mwaka mkubwa kwake, ukiwa mtoto wa kiume na tegemeo la familia kufikisha miaka 30 ni jambo kubwa, hasa ukiwa hujaoa na una ramani ya maisha kama alo nayo yeye bila ya shaka utakua na mipango mingi, mengine yanawezekana na mengine ni kwa Rehema za Mwenyezi Mungu zaidi. Najua yeye anajua kama Mzee na Mama wanataka kumuona kijana wao akiwaletea wajukuu na I hope wazazi wake hawato subiri kwa kipindi kirefu kama ambacho Mama yangu mimi ameendelea kungoja . Yeye tayari yuko kwenye mahusiano ya kueleweka tu na ambayo yanaonekana yanaelekea mahali pazuri kwa mujibu wa maongezi yetu haya. Kama binadamu wa kawaida of course alishawahi kuumizwa kwa uongo na kutokua na uaminifu kwenye mahusiano ila hilo halikuwahi kumrudisha nyuma kwa kuamini huyo alonaye sasa ni wake na anamfaa sana, anamsaidia sana na anamuongoza sana, vitu kama hivi mmoja huhitaji kuskia, hasa yule ambaye tochi yake imefifia mwanga, mwangaza wa mapenzi. Anamkubali sana yule anaye share nae siri zake na struggle zake na ushindi wake mwingi na hata frustrations zake. Na anajua pia kama kuna kupanda na ku shuka kwenye mahusiano na maisha kwa ujumla. Kwenye meza yetu kulikua na maongezi kuhusu wazazi wake na principle zao za maisha, mdogo wake… Biashara zake na ushindani, mapenzi na uaminifu. Urafiki, ku shinda na kushindwa na pia maoni yake zaidi kwenye vitu mbali mbali ambavyo vinahusu ambayo anafanya na vile ambavyo amekua akitamani kuvifanya. Wapi anajiona baada ya miaka 5 mengine? Well… Hatukuongelea masuala ya hela maana najua hiyo ingemfanya asiwe huru mbele yetu maana mambo kama hayo yanahitaji mtu ambaye hana noma za hivyo ila kwa Ndugu yangu huyu yeye noma anazo, tena nyingi kwahiyo kistaarabu kabisa nikaona NIMUACHE. Yangu matumaini utaokota kadhaa humu ambayo yatakupa mafuta ya ZIADA ya kutaka kesho uamke salama na kwenda kuwa BORA zaidi ya JANA kwa lolote ambalo utaamua kufanya na lenye kheri na wewe. Mimi nakutakia BARAK ZOTE kwenye hilo maana mifano hai ya wanao jituma na kufanikiwa ipo. Maana yake ni kwamba, inawezekana. Wewe tu! Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

No Stranger To Horror
0021 The Divorce Story - Possession (1981) feat. Rehema Ngongo

No Stranger To Horror

Play Episode Listen Later Jun 6, 2022 66:27


Prepare yourself for an experience that could only come out of the mind of famed Polish director Andrzej Żuławski, 1981's Possession.    My guest Rehema Ngongo (playwright and fellow horror film fanatic) comes on the show to explain why Zulawski's infamous Cannes award-winning film is an all-time classic that everyone should watch multiple times.   Find Rehama here:  Instagram Twitter   Like the thrill of horror? You can find more horror at the Westcoast Strange website at westcoaststrange.com  This podcast is presented by Geek Happy Network. You can find other shows at geekhappynetwork.com.

So Pretentious... a podcast
Yadda Yadda Yadda (with graphic novels)

So Pretentious... a podcast

Play Episode Listen Later Mar 12, 2022 117:27


So PretentiousTwo friends talking about the intersections of popular culture, society, and the world. And yes, there are spoilers.Episode 33: Yadda Yadda Yadda with graphic novelsSleeping OnHelder: Mythic Quest, Apple TV  Vivian: Raised by Wolves, HBO MaxMoment in Self Care Helder: Going to bed before 10, falafels, and listening to his bodyVivian: Audiobooks and books Shout outsHelder: ConnecticuttingVivian: Connecticutting, Aditee, Monica, and Rehema   Social mediaTwitter SoPretentious2LivelyVivianHelderMiraInstagramSoPretentiousPodcastLivelyVivianHelderMira

Girl In Skies Podcast
This House w/ Rehema Njambi - Episode 92

Girl In Skies Podcast

Play Episode Listen Later Dec 3, 2021 38:20


We chat with poet and author, Rehema Njambi. Rehema is a Kenyan-born, British-raised poet and writer. In December 2020 she was longlisted for the Merky Books New Writers' Prize. This House is a collection of poems by Rehema. Rehema unpacks identity, faith, womanhood and – above all – agency, in poems partly inspired by conversations with the Black, mostly African, women around her. Follow Rehema: https://twitter.com/remynjambi?lang=en ---------- #GirlInSkies is your podcast by Nat & Xolie discussing life, hot topics, being Africans away from home and more. Keep the conversation going on @girlinskies on twitter & Instagram and be sure to add #GirlInSkies. Hosts: Nat Twitter: https://twitter.com/malaikadiva Xolie Twitter: https://twitter.com/XolieNc email us on mygirlinskies@gmail.com Become a patron and get additional content plus one exclusive podcast episode/month: https://www.patreon.com/girlinskies Like the episode? Buy us coffee to keep the show going: https://www.buymeacoffee.com/girlinskies

The Amazing Truth Podcast
S4E10 II My dad almost canceled my flight ticket, here is why II Episode hosted by Isaiah and Rehema

The Amazing Truth Podcast

Play Episode Listen Later Oct 17, 2021 32:36


S4E10 II My dad almost canceled my flight ticket, here is why II Episode hosted by Isaiah and Rehema There was a take over at The Amazing Truth Podcast and this week you will find out why. In this episode, Isaiah and Rehema host Abigael and Taylor who talk about how their different styles of upbringing by their parents shaped who they have become.

The Amazing Truth Podcast
S4E9 II An Episode with Isaiah(Izo) and Rehema II Reflections and Life Updates II

The Amazing Truth Podcast

Play Episode Listen Later Oct 10, 2021 61:35


S4E9 II An Episode with Isaiah(Izo) and Rehema II Reflections and Life Updates IIIn this episode we talk to Isaiah and Rehema and catch up on what they have been up to since they shared their respective stories. Well, they received great responses nd feedback after their stories were aired.Some of that feedback was encouraging while some were rather , lets say, challenging. We brought them back to the show so they can share how life has been and we reflect on the highs and lows since we last spoke to them.Tune in and listen and be blessed.Cheers,The Amazing Truth Podcast Team.

The Sisterhood of MummyImperfect Podcast
S2, Ep 86: Meet The New Miss England

The Sisterhood of MummyImperfect Podcast

Play Episode Listen Later Sep 29, 2021 20:48


Meet Rehema Muthamia. She was recently crowned Miss England 2021. Rehema talks about what she hopes to achieve during her reign, the backlash she has faced because of her race, why representation matters, and how sharing her own experience of domestic violence can help other women to open up and seek help.

Brown Girl In Bloom
Pop Culture Mashup

Brown Girl In Bloom

Play Episode Listen Later Jun 17, 2021 57:33


In this week's episode, we talk all things tv, books and cancel culture. Ashley has a lot of mixed feelings, Rehema gushes about 'In the Heights.' We also highlight LGBTQIA+ celebs and shows in celebration of pride month! --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/browngirlinbloom/support

Radio Uhai Broadcast
Tangaza Rehema za Mungu (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later May 11, 2021 15:00


America Swahili News Podcast
Habari Swahili Academy's | Rehema-CEO & Founder, Houston, TX

America Swahili News Podcast

Play Episode Listen Later May 4, 2021 24:35


Rehema CEO, Teacher and Founder of Habari Academy anaongelea Maendeleo ya Darasa la Kiswahili. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app Support this podcast: https://anchor.fm/patrick-nhigula/support

Radio Uhai Broadcast
Tangaza Rehema Za Mungu (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Apr 19, 2021 60:00


Radio Maria Tanzania
REHEMA KAMILI NA MWAKA WA MT.YOSEFU INAPATIKANA VIPI?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 14, 2021 48:46


The Amazing Truth Podcast
S2 E13- Feat Kezzi, Rehema's Best Friend

The Amazing Truth Podcast

Play Episode Listen Later Apr 4, 2021 39:46


S2 E13- Feat Kezzi, Rehema's Best Friend.What you need to know if you have a friend or know someone struggling with their mental health.On this episode of The Amazing Truth Podcast, we talk to Kezzi, Rehema's best friend of over 10 years. She takes us through the perspective of a friend to someone going through mental health issues. She talks about the warning signs to look for and actions to take. She and Rehema also talk about what a support system looks like and the right questions to ask and the right time to ask them.So join us for another episode at:https://linktr.ee/amazingtruthpodcast

The Amazing Truth Podcast
S2E12- Rehema's Story Pt2-

The Amazing Truth Podcast

Play Episode Listen Later Mar 28, 2021 60:05


S2E12- Rehema's Story Pt2" I am not a victim of depression. What I am is a winner. I won against my own mind. I am choosing to share my success because I truly do believe it is possible to get better. It is very possible . A big thank you to the Amazing Truth Podcast for this chance. i say let's not shame one another. Let's have patience for each other -Rehema.Join the conversation as we conclude Rehema's Story.

story rehema
The Amazing Truth Podcast
S2E11- Rehema's Story of Resilience and Self-Confidence

The Amazing Truth Podcast

Play Episode Listen Later Mar 21, 2021 59:09


Meet Rehema, a young lady full of life and love. She shares her Mental Health story with The Amazing Truth Podcast.Hers is a story of resilience and self-confidence. Join us as we dive deep into her amazing story that's inspiring."HOW my passion helped me Through my mental illness journey. To now being the owner and operator of Rehemas cut LLCShame has no place in my heart no mind. Come listen to some life paths that we are never prepared for but we have a choice to learn from them. IF we survive them.I believed in myself more than I believed the diseases that were trying ( still try here and there) have me not live my best life. Be gentle with yourself. may we try to understand both our elders and the youth a bit more. We are all in this together o. The Amazing Truth Podcast continue to have these conversations. they are uncomfortable for some but necessary for many."- RehemaIf you or someone you know is having suicidal thoughts please call theNational Suicide Prevention Lifeline at 800-273-8255 (1-800-273-TALK ), here in the US. Crisis workers are available 24 hours a day. Calls are free and confidential.Other countries & regions: To find a crisis center in your area, go to the International Association for Suicide Prevention website.

Homeroom with Sal Khan
Homeroom with Sal and Rehema Ellis

Homeroom with Sal Khan

Play Episode Listen Later Mar 3, 2021 25:30


How did one teacher turn his kitchen into a science lab? NBC Nightly News Education Correspondent Rehema Ellis joined Homeroom with Sal to share stories of how teachers are getting creative and reimagining their distance learning classrooms. Recorded live on December 15, 2020. See the original livestream on YouTube. For more information visit: https://keeplearning.khanacademy.org Khan […]

Things Fall Apart : Explained
Episode 4 - Erica, André, David, and Rehema

Things Fall Apart : Explained

Play Episode Listen Later Feb 25, 2021 13:43


Finally finished with the book! In today's podcast, we will be speaking about the extent of resilience and our overall feelings towards the novel.

rehema
Salama Na
Ep. 48 - Salama Na JK | MSOGA UNO

Salama Na

Play Episode Listen Later Jan 7, 2021 61:47


Muda si mrefu iliopita nilirudi nyuma kidogo kwenye kumbukumbu ya mawasiliano ya kwanza kabisa kati yangu na moja wa wasaidizi wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho wa Kikwete na hiyo ilinirudisha nyuma mpaka mwezi wa tatu mwaka 2020. Kama mtu mwengine yoyote hii ilikua ndoto tu ambayo kwa Rehema na Baraka za Allah ilibidi itimie. Kwa Baraka zake hizo mimi na wenzangu tunashkuru sana sana kwa kuweza kulikamilisha hili. Shukran za dhati ziende kwa Doris Mollel ambaye kwa msaada wa Sadam ‘Almando' Sanare alinimbia Doris anaweza akatu unganisha na mmoja wa wasaidizi wake ili tuweze kuona kama tunaweza pata hii nafasi, na kama ujuavyo, mengine yote yamebaki kuwa historia tu tena, maana yametimia. Mimi kama wewe tu, shabiki nambari moja wa Jakaya Mrisho Kikwete na kukutana naye, kukaa naye chini na kuweza kumuuliza maswali tuliyokua tumeyaandaa (kwa muongozo wao) ilikua raha isiyoelezeka. Mzee charming, mwenye roho nzuri na muelewa kabisa. Mengine yalofuata baada ya hapo ndo ambayo utayaona au kuyaskiliza katika maongezi yetu haya. Mengi yalikua ni juu ya yeye alivyokua na uelewa wake kwenye mambo mengi. I wish tungeweza kuongea nae kuhusu masuala meeengi zaidi kuhusu kiila kitu ila ki ukweli hii inatosha kwa sasa na Mungu atajaalia tutakutana naye tena siku nyengine In Shaa Allah. Mheshimiwa JK aliongea nasi kuhusu Wazazi wake, elimu, uelewa wake wa mambo, yeye kuwa mwanajeshi. Jinsi alivyokutana na Mama Salma. Historia ya nyuma kidogo kuhusu mapenzi na jinsi Marehemu Mzee wake alivyomtaftia mke na kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza ambaye ni Ridhwan. Kuhusu kitabu chake, mapenzi yake na basketball na muziki. Pia Kobe Bryant na mapenzi kwa wajukuu zake. Kama ilivyo kawaida yetu, yangu matumaini utapata kadhaa humu ya kukufunza jambo. Na napenda kuchukua nafasi hii kumshkuru kila mtu ambaye alisaidia hilo kutimia na zaidi team yangu yote ya ‘YahStoneTown' ambayo ilifanya kazi iliyotukuka kukamilisha hili. Nikutakie Kheri ya mwaka mpya na kila lenye Kheri nawe. Enjoy. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Mwalimu Huruma Gadi
A5: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Jul 5, 2020 28:12


A5: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

mungu rehema
Mwalimu Huruma Gadi
A4: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Jul 4, 2020 28:12


A4: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

mungu rehema
Mwalimu Huruma Gadi
A3: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Jul 3, 2020 28:08


A3: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

mungu rehema
Mwalimu Huruma Gadi
A2: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Jul 2, 2020 28:21


A2: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

mungu rehema
Mwalimu Huruma Gadi
A1: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Jul 1, 2020 28:14


A1: MKRISTO NA REHEMA YA MUNGU

mungu rehema
The Teachings of Royal Cronquist
We’ve BEEN TAUGHT to LEARN the LO-CO’S, but NOT HOW to HEAR the REHEMA!

The Teachings of Royal Cronquist

Play Episode Listen Later Mar 10, 2020


taught rehema
Pamoja Podcast
Season 1 Episode 07: A Conversation about Pamoja, Dopamine, and shared experiences podcasting and facing our fears

Pamoja Podcast

Play Episode Listen Later Aug 5, 2019 54:09


This was a fun episode to record! Unlike the usual, this one is different because Rehema (the host) is interviewed by Judith Otala, creator of the Dopamine Podcast, about why she created the Pamoja Podcast. Both ladies share about creating podcasts and why these platforms are important to their respective target audiences.One gets an insight into podcasting and the different - yet very similar - experiences the two have had trying to create content using such a medium. They talk about what impact means, experiences facing their biggest fears, and key lessons they've learned along the way. You've got to check it out! What do you think about the episode? Share with us your feedback & please share the episode with friends!LISTEN VIA LINK: https://bit.ly/2yIQI3j#podcasting #podcastsinafrica #womeninmedia #facingyourfears #change #islam #muslimsofuganda #muslimsoftheworld

Pamoja Podcast
Season 1 Episode 05: What's it like growing up with a Muslim Dad and a Christian Mom?

Pamoja Podcast

Play Episode Listen Later Jul 9, 2019 51:33


Very often, when two people decide to get married and start a family, the conversation about how their religious or ideological differences affect how their children's growth and worldview, is often overlooked. This episode features stories of young adults growing up in such families and highlights their struggles, life lessons, and unique perspectives about religion and the world as a result. Rehema's key reflection/lesson from episode: It’s important for parents to start such a journey collaboratively and intentionally with a clearer plan/understanding about how to raise children amidst such differences/diversity. Instead of ostracizing children when they fail to live up to one's (religious) standards, impart these good values and belief practices by molding this behavior early on. Additionally, create a supportive environment for them to learn in order for them to make informed and balanced decisions when they grow older.Guests:-Afsa Karungi-Shamim-Dr. Bob Ssekyanzi

Startup Corner
ECAfrica100 in Conversation With Rehema Isa

Startup Corner

Play Episode Listen Later Mar 14, 2019 19:34


Strategist, Publisher, Film Producer - Rehema Isa is a Women Entrepreneurship development expert, leadership coach, and facilitator and consults on the continent to government and private sector on strategy. Experienced strategy consultant and business coach.Curator of creative concepts with social impact involving women and youth. Doing business in Africa and the world. Founder #FutureFit, Co-Founder Oya and #WomanomicsAfrica. TEDx licensee and curator.Hadithi Media is owned, managed, and powered by African Women professionals. It is a boutique management consultancy that provides strategic advisory services and programme execution support. They provide creative and sustainable solutions for growth-oriented African businesses with existing or intended pan African footprint. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app

Radio Kwizera
Edson Mwasabwite - Ni Kwa Neema Na Rehema (Gospel Song).mp3

Radio Kwizera

Play Episode Listen Later Mar 13, 2019 6:20


You can listen to RADIO KWIZERA also using the Link below. Just 1 click on: RADIO KWIZERA PHONE NUMBER: 1-605-475-8628 Radio Kwizera on FM Player: https://www.zeno.fm/radio-kwizera-usa Radio Kwizera in MyTuner: https://mytuner-radio.com/radio/radio-kwizera-459201/ Radio Kwizera in Radioline: http://www.radioline.co/listen-to-radio-kwizera-usa Radio in Online Radio Box: https://onlineradiobox.com/us/radiokwizera/ Radio Kwizera Widget: http://tools.zenoradio.com/widget/radio/adhn56m52p5tv/player/?trackinfo&show_now Radio Kwizera in TreamFinder: https://www.streamfinder.com/streaming-radio/radio-kwizera/67246/#_ Radio Kwizera in iTunes (New Podcasts): https://podcast.app/radio-kwizera-p550754/?share=ios Radio Kwizera on TuneIn: https://tunein.com/podcasts/Religion–Spirituality-Podcas/Radio-Kwizera-p1174855/ Radio Kwizera in Google Play: https://play.google.com/music/listen?u=0#/ps/Idqkdcyuz6c6st3gw5ygxqui25y Radio Kwizera in iTunes (Old Podcasts: https://mytuner-radio.com/podcasts/radio-kwizera-radio-kwizera-639362857 ​Radio Kwizera on Stream URL: http://ample-zeno-06.radiojar.com/c3xev5vg6heuv?rj-ttl=5&rj-token=AAABZtcRRUVON9OQU22Fz28Zc1FNMt9kO96s3dOb7d26M9atd2lakg Radio Kwizera Strean URL: http://ample-zeno-07.radiojar.com/c3xev5vg6heuv?rj-ttl=5&rj-token=AAABZxCOUwV09KEm0rfbDkxHZMRGrfyIwQRVzgEn_LsiFNdj-iG9Fw ​ Please, visit https://movementforchrist.com God bless you. Radio Kwizera USA Read the Bible: http://bibiliya.com/ Donation to Radio Kwizera We are using much energy to be able to reach more people. We need your support to reach our GOAL. Please, support Radio Kwizera on Air by simple CLICK on the Link below:https://www.paypal.me/SilasKanyabigega

Hungry Minds
This Is Oakland

Hungry Minds

Play Episode Listen Later Oct 17, 2018 51:08


Aran talk with Rehema Allen about the beauty, hidden gems, and hard realities of Oakland, California. If this conversation stimulates your interest about The Town, get the local experience by taking one of Rehema's bikes tours: https://www.thisisoaklandbiketours.com/

Swahili Talk Radio Podcast
Hamisa VS Diamond

Swahili Talk Radio Podcast

Play Episode Listen Later Sep 27, 2018 6:53


Kutana na mtangazaji wa Sahilitalk Podcast, Rehema nkalami akikuchamulia interview ya hamisa Mobeto...... Hamisa asema kasha zaa na Diamond ham hitaji tena.

diamond rehema kutana
The Morning Ritual with Garret Lewis
Tucson and Oro Valley HS protests/Walk outs,Kamala Harris on bias and Rehema Ellis talking to students.

The Morning Ritual with Garret Lewis

Play Episode Listen Later Mar 15, 2018


Tucson and Oro Valley HS protests/Walk outs,Kamala Harris on bias and Rehema Ellis talking to students.

Greater Than Code
063: The Distribution of Brilliance and Opportunity with Rehema Wachira

Greater Than Code

Play Episode Listen Later Jan 17, 2018 60:57


01:22 – Rehema’s Superpower: Empathy 02:53 – Rehema’s “Untypical” Origin Story 07:20 – Enjoying Coding Because of the Complexity Behind It 11:21 – Creating a “Culture of Saving” 14:52 – “Diversity of Thought” and Seeing the World Through Others’ Eyes 22:20 – Being Creators and Makers Indie Hackers (https://www.indiehackers.com/) 30:28 – How Technology Empowers People 38:27 – The Distribution of Brilliance and Opportunity 47:01 – Freedom of Creative Expression Reflections: Astrid: Having to unlearn the need of being perfect. Jessica: We want to speak to more guests on a global level! Please reach out! Sam: Fixed vs growth mindset. Rein: Diversity is not just good for ethical reasons, it also makes your organization more competent. Janelle: Celebrating beautiful. Rehema: A fundamental right to freedom. This episode was brought to you by @therubyrep (https://twitter.com/therubyrep) of DevReps, LLC (http://www.devreps.com/). To pledge your support and to join our awesome Slack community, visit patreon.com/greaterthancode (https://www.patreon.com/greaterthancode). To make a one-time donation so that we can continue to bring you more content and transcripts like this, please do so at paypal.me/devreps (https://www.paypal.me/devreps). You will also get an invitation to our Slack community this way as well. Amazon links may be affiliate links, which means you’re supporting the show when you purchase our recommendations. Thanks! Special Guest: Rehema Wachira.

Developer On Fire
Episode 280 | Rehema Wachira

Developer On Fire

Play Episode Listen Later Oct 23, 2017 47:38


Guest: Rehema Wachira @remy_stack Full show notes are at https://developeronfire.com/podcast/episode-280-rehema-wachira

Cultural Manifesto
Hip-Hop Artist Rehema McNeil/ Indianapolis Chinese Orchestra

Cultural Manifesto

Play Episode Listen Later Aug 12, 2016


Kyle Long speaks with hip-hop artist Rehema McNeil and members of the Indianapolis Chinese Orchestra. This episode ends with a track off Sub Rosa's awesome "Anthology of Chinese Experimental Music 1992-2008" compilation.

Cultural Manifesto
Hip-Hop Artist Rehema McNeil/ Indianapolis Chinese Orchestra

Cultural Manifesto

Play Episode Listen Later Aug 11, 2016


Kyle Long speaks with hip-hop artist Rehema McNeil and members of the Indianapolis Chinese Orchestra. This episode ends with a track off Sub Rosa's awesome "Anthology of Chinese Experimental Music 1992-2008" compilation.