POPULARITY
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Erasto Mwanasindele kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramihio, iliyopo Jimbo kuu la Songea swali la msikilizaji linalojibiwa linasema tukisoma katika Maandiko Mtakatifu Kitabu cha Kutoka 2o;13 imeandika usiue, Je, kwa kuua mnyama na kumfanya kuwa kitoweo ni dhambi? L'articolo Je, kuua Mnyama ni Dhambi? proviene da Radio Maria.
Ni wanyama gani Mungu aliruhusu watumike kwa chakula
Ni wanyama gani Mungu aliruhusu watumike kwa chakula
Kampuni ya kichina ya KIMIA MINING inajishughulisha na uchimbaji wa dhahabu ndani ya hifadhi ya Okapi katika eneo la Mambassa huko Ituri, ukataji wa miti, kilimo na uhalifu pia ukionekana kutishia makazi ya mnyama huyu hali ambayo huenda ikapunguza kwa nusu idadiarid ya Okapi inayokawa 10,0 .
Mnyama aliyetoweka mamilioni ya miaka atumika kuwakumbusha wanadamu kutochagua kutoweka (OVERNIGHT) Dunia ikiwa inaelekea katika mkutano wa tabianchi huko Glasgow, Scotland, Umoja wa Mataifa umemtumia "shuhuda" asiye wa kawaida kueleza hatari zinazoukabili ulimwengu ikiwa mienendo ya binadamu wa sasa ya kuharibu mazingira haitabadilika. Taarifa ya Flora Nducha inafafanua kwa kina. Filamu ya kwanza kabisa kutengenezwa ndani ya ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani kwa taswira iliyotengenezwa kwa teknolojia ya kompyuta, inaanza kwa kumwonesha mnyama aliyetoweka duniani takribani miaka milioni 70 iliyopita akiingia katika ukumbi huo kwa kishindo kikuu cha miguu yake iliyobeba mwili wake mzito. Hofu iliyowakumba wanadiplomasia walioko ukumbini inawafanya washindwe kunyanyuka kwenye vitia vyao... Ni Dinosaria, mnyama mkubwa wa zamani anayeaminika kutoweka kutokana na majanga ya asili duniani anasimama kwenye mimbali ambayo hutumiwa na viongozi wa dunia kuhutubia ulimwengu, Taswira hiyo ya bandia ya mnyama ni kitovu cha kampeni ya shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo, UNDP inayofahamika kama , “Usichague kutoweka” na ndio maana Dinosaria huyo kwa kutumia nadharia inayosemwa kuwa ndio ilimfanya kutoweka duniani, yaani uwepo wa vimondo vikubwa vilivyokuwa vikianguka duniani miaka hiyo, anawauliza wanadamu wa sasa wana kisingizio gani cha kuwafanya wao na viumbe wengine watoweke? Anasema mamilioni yanatumika kuzipa ruzuku shughuli za uzalishaji wa mafuta ya kisukuku ambayo yanachafua hewa na kusababisha joto duniani wakati ulimwenguni kote watu wanaishi katika umaskini. Dinosaria huyo anamalizia kwa kuwaambia wanadiplomasia waliotaharuki ukumbini kwamba, “ni wakati wa wanadamu kuacha visingizio vya kuanza kufanya mabadiliko. Kushughulikia janga la madabiliko ya tabianchi.”
Singer-songwriter Amanda Black has made a return to the limelight with her single Kutheni Na featuring Kwesta on her upcoming album Mnyama, and the star told TshisaLIVE what she has been up to during her hiatus. Since the success of her album Power, Amanda has signalled her comeback to our playlists with Kutheni Na. The star said she held award-winning musician Kwesta in high regard, especially after working with him. The pair even had a hilarious moment when they first met. TshisaLIVE
Singer-songwriter Amanda Black has made a return to the limelight with her single Kutheni Na featuring Kwesta on her upcoming album Mnyama, and the star told TshisaLIVE what she has been up to during her hiatus. Since the success of her album Power, Amanda has signalled her comeback to our playlists with Kutheni Na. The star said she held award-winning musician Kwesta in high regard, especially after working with him. The pair even had a hilarious moment when they first met.
Simba Sports Club ya Tanzania ili ingia dimbani dhidi ya Kaiser Chiefs ya Afrika kusini, katika mechi yakuwania nafasi katika nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Afrika.
Datooga Biblia (Non-umetiwa chumvi) - Datooga Bible (Non-dramatized)
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Kiswahili Biblia (non-umetiwa chumvi) Habari Njema - Kiswahili Habari Njema Bible (non-dramatized)
Mnyama ni adhabu - God's people rejoice as the beast is punished.
Mnyama pori tumboni au vipi niliwapikia wenzangu katika WG