POPULARITY
Categories
¡¡NUEVO PODCAST!!-Lourdes Munguía… Obra de Teatro: “Lupita. A fuego lento” -Dra. Mayra Cecilia Martínez Mallen… “Salud Mental Materna” -Cartelera Cinematográfica… José Antonio Valdés Peña. -Chef Mario Petterino…“60 años de Historia del Ristorante La Lanterna”
En este episodio de Yo Soy BNI, conocemos la historia de Silvia Munguía, ingeniera en sistemas ambientales y fundadora de Consultoría Ambiental 5E, desde la Ciudad de México. Silvia creció viendo a su papá en las ventas y desde niña tuvo clara una idea: no tener techo en sus ingresos, no depender de nadie y ser dueña de su tiempo. Hoy lleva más de 10 años ayudando a empresas de distintos sectores a ser más sustentables, y encontró en BNI mucho más que clientes: encontró socios con quienes incluso fundó una nueva empresa. "Las relaciones son lo que te abre las puertas. Más allá del dinero, a veces conocer a la persona correcta puede facilitar mucho tu vida." Una conversación sobre propósito, impacto ambiental y cómo BNI puede transformar no solo un negocio, sino toda una forma de hacer empresa ▹ Página Oficial: https://www.bnimexico.com ▹ Facebook: https://www.facebook.com/BNIMexico ▹ Instagram: https://www.instagram.com/bnimexico/ ▹ Twitter: https://twitter.com/BNIMexico
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Melkizedeck Sanga, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Kwanini Yesu aitwe mwanakondoo wa Mungu nasiyo jina la mwanyama mwingine? Tarehe 09 Machi 2026 L'articolo Kwanini Yesu aitwe mwanakondoo wa Mungu nasiyo jina la mwanyama mwingine? proviene da Radio Maria.
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Elikana Nyagabona, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Je shetani aliumbwa na Mungu? na Je maovu yanatoka wapi kama Mungu aliumba vitu vyote vikiwa vizuri? Tarehe 18 Machi 2026 L'articolo Je shetani aliumbwa na Mungu? proviene da Radio Maria.
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Desderis Mwambaluka, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Swali ni Je tunajifunza ni kutokana na maneno ya Yesu pale Msalabani anapoonyesha kukata tamaa aliposema Mungu wangu mbona umeniacha? Tarehe 19 Machi 2026 L'articolo Je tunajifunza ni kutokana na maneno ya Yesu pale Msalabani anapoonyesha kukata tamaa aliposema Mungu wangu mbona umeniacha? proviene da Radio Maria.
Karibu usikilize Kipindi cha Utume wa Walei Mwezeshaji Bwana Gordon Rwenyagira, Mjumbe kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam Mada ni Kanzi ya Uongozi Tarehe 12 Machi 2026 L'articolo Uaminifu katika kufanya kazi ya Mungu. proviene da Radio Maria.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu na Afya ya Uzazi UNFPA nchini Kenya kwa kushirikiana na Muungano wa Ulaya wanatekeleza mradi wa kukomesha ukeketaji ambapo waathirika wanatumika kutoa elimu kwa mabinti na jamii ili kuondokana na mila hiyo potofu. Kaunti ya Marsabit , iliyoko Kaskazini mwa nchi ya Kenya, iko mpakani na nchi ya Ethiopia. Kaunti hii ambayo ni ya pili kwa ukubwa nchini Kenya baada ya ile ya Turkana wakazi wake wengi ni wafugaji, na mbali na changamoto za mabadiliko ya tabianchi wanawake wa hapa wamepitia masahibu ya ukeketaji au kwa lugha ya kiingerza Female genital mutilation (FGM). Audio fileShirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi, (UNFPA) chini ya Ufadhili kutoka Muungano wa Ulaya nchini Kenya wanatekeleza mradi uitwao Komesha FGM SASA Kila muathirika wa ukeketaji anayo hadithi ya kusimulia na ndio maana kwa namna ya kipekee mradi huu unawatumia waathirika hao, kuwaelimisha wanajamii wenzao ili kuondokana na tamaduni ya ukeketaji. Prisca Lekuraki ni mmoja wao. “Mimi nilipitia magumu sana, baada ya kukeketwa nilipata shida sana, ni Mungu ndio amenisaidia mpaka nimefika hapa. Nilipoenda kujifungua mtoto wangu wa kwanza nilipata shida sana, kila nikienda kuzaa nikawa napitia shida sana, sasa hivi nina watoto watatu na nikajifunga nisizae tena. Niliona vile nimeumia nikasema siwezi kukubali binti yangu naye aumie hivyo. Na hiyo ndio ilinifanya niamke niungane na wengine kuhamasisha kukataa ukeketaji.”Ameongeza kuwa katika tamaduni zao wanamila nyingi nzuri sana na wanaweza kuziendeleza na kuachana na hii mila moja ya ukeketaji kwani ni mbaya na inamadhara. Prisca amepongeza mradi wa Komesha FGM SASA wa UNFPA kwa kuwasaidia kuwafikia wale ambao awali ilikuwa ni vigumu kuzungumza nao.“Kuna mahali wametufikisha na tumeona mafanikio, hapo awali tulikuwa tunaweza kwenda kwa wamama, vijana na watoto ila wale watu ambao ilikuwa inatushinda kuwafikia ilikuwa ni wazee. Lakini hii kukutana na wazee, wamama na wanakijiji kwa ujumla imesaidia, kwasababu nilikutana na wakina mama wakaniambia ile kitu mlikuwa mnasema tumeona ni uhalisia na tumeona inaweza kufanyika.”Mwingine aliyeathirika na ukeketaji ni Nasarai Learo anasema ukeketaji umechukua nguvu zake.“Mimi sina nguvu kama yule mama ambaye hajakeketwa, nilienda kuwaambia wamama wasikekete watoto wao, lakini wakaniambia wananifahamu na nilipoolewa nilkuwa mdogo sana na wao ndio walionishika nikatetetwe nikiwa mdogo. Lakini mimi niliwaeleza mimi sikuwa najua hiki kitu ni kibaya lakini sasa hivi nimekuwa na elimu na nimejua ubaya wake.”Nasarai anaamini kuwa iwapo jamii itapata elimu basi itabadilika“Jamii yetu sanasana haina elimu, tukiona jamii yetu watu wachache ndio wamesoma na wengi wakisoma watapata hiyo elimu zaidi na watakuja kuikomesha FGM. Mimi naamini kwamba miaka 10 inayokuja mambo ya kukeketa wasichana hatutasikia tena.” Elimu ya kutokomeza ukeketaji inatolewa katika maeneo mbalimbali ikiwemo masokoni, katika vikao vya jumuiya na mashuleni.
Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa, Bi Witness Joachim na Bwana Godfrey […] L'articolo Je hatua za ukuaji wa mtoto zinamfanya mama amasahau mtoto wake? proviene da Radio Maria.
Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa, Bi Witness Joachim na Bwana , […] L'articolo Zifahamu hatua za kuaji wa mtoto tokea tumbo kwa mama proviene da Radio Maria.
Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa, Bi Grace Shayo na Bi Janeth […] L'articolo Fahamu kipindi ambacho mtoto hupenda zaidi mama yake proviene da Radio Maria.
Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa na Bwana Godfrey Mkaikuta , wakizungumzia […] L'articolo Je Mama anaweza kumsahau mtoto wake anyonyae hata asimuhurumie mwana wa tumbo lake proviene da Radio Maria.
Zawadi ya Mungu, mali ya Mungu, msikilizaji mpendwa wa Radio Maria Tanzania na Mshirika wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Bunena Kagera, karibu usikilize kipindi cha Pro life Utetezi wa uhai, kinachokujia kila siku ya Jumanne saa nane mchana na marudio saa nne usiku, studio yupo Bwana Anthony Lihepa na Bwana Godfrey Mkaikuta , wakizungumzia […] L'articolo Umuhimu wa tumbo la Mama kama makazi ya muda ya mtoto mchanga kama safari ya kuzaliwa proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya mwaka wa Kanisa. L'articolo Mwaka wa kanisa na uwepo wa Mungu proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Catherine Kaberege katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya neno la Mungu. L'articolo Ijue Dominika ya neno la Mungu proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya neno la Mungu. L'articolo Mtu ambae hajui vizuri neno la Mungu basi hamjui Kristo. proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya neno la Mungu. L'articolo Fahamu maandalizi yakufuata kabla ya kusoma neno la Mungu proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya Neno la Mungu L'articolo Tambua nafasi ya neno la Mungu katika utume wa Kanisa na maisha ya kila mmoja proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitufundisha juu ya upendo kwa maskini. L'articolo Fahamu upendo wa Mungu ulipo. proviene da Radio Maria.
swahili_BB-99_Mungu Hana Vipendeleo (BB_"God Has No Favorites")
En la voz del tenor donostiarra, uno de los favoritos de Ataúlfo Argenta, escuchamos páginas de Jacinto Guerrero, Manuel Fernández Caballero, Federico Moreno Torroba y José Serrano.Escuchar audio
En información internacional, Paraguay expulsa a Hernán “N”, exsecretario de Seguridad de Tabasco, y lo entrega a México, en más notas, sustituyen a comandante militar que reveló orden de aprehensión contra Hernán Bermúdez, por otra parte, El Buque Escuela “Cuauhtémoc” retoma navegación tras accidente en Nueva York, y en los espectáculos, suspenden programa de Jimmy Kimmel tras comentarios sobre asesinato de Charlie Kirk. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
✨ LOURDES MUNGUÍA: ENTRE EL ÉXITO Y LOS ESCÁNDALOS ✨ Actriz, modelo y símbolo de belleza mexicana, Lourdes Munguía ha vivido una carrera llena de éxitos… y controversias. ¿Tuvo algo con Luis Miguel? ¿Fue vetada por Televisa? ¿Y qué hay del romance con Cuauhtémoc Blanco? Hoy en El podcast de El Filip te contamos su historia completa: desde sus inicios hasta los rumores más polémicos.
¿Qué puede llevar a una persona con recursos suficientes a robar algo que no necesita y exponerse al riesgo de ser descubierta, con la tensión y vergüenza que ello implica? Hablamos de cleptomanía, un trastorno psicológico poco estudiado, caracterizado por la incapacidad de resistir el impulso de robar objetos que tienen poco valor para su uso personal o económico. Aunque puede parecer un problema sencillo, la investigadora Lucero Munguía, nuestra invitada hoy en Hablando con Científicos, y su equipo han llevado a cabo el estudio de un grupo de 150 mujeres como problemas de cleptomanía y ha comprobado que esas personas sufren un trastorno mucho más complejo, situado entre la impulsividad y la compulsividad. Además, los tratamientos tradicionales no siempre funcionan: las recaídas y abandonos son frecuentes. ¿La clave? Entender que no es simplemente “querer robar”, sino una manera que esas personas de regular lo que sienten por dentro.
¿Qué puede llevar a una persona con recursos suficientes a robar algo que no necesita y exponerse al riesgo de ser descubierta, con la tensión y vergüenza que ello implica? Hablamos de cleptomanía, un trastorno psicológico poco estudiado, caracterizado por la incapacidad de resistir el impulso de robar objetos que tienen poco valor para su uso personal o económico. Aunque puede parecer un problema sencillo, la investigadora Lucero Munguía, nuestra invitada hoy en Hablando con Científicos, y su equipo han llevado a cabo el estudio de un grupo de 150 mujeres como problemas de cleptomanía y ha comprobado que esas personas sufren un trastorno mucho más complejo, situado entre la impulsividad y la compulsividad. Además, los tratamientos tradicionales no siempre funcionan: las recaídas y abandonos son frecuentes. ¿La clave? Entender que no es simplemente “querer robar”, sino una manera que esas personas de regular lo que sienten por dentro.
Kumsifu Bwana kwa njia ya nyimbo, Roho mtakatifu
Umaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.
Mtukuze Bwana kwa njia ya Nyimbo, Maombi
Katika ufukwe wa Al- Mawasi, magharibi mwa mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza huko Mashariki ya Kati, mchezaji mpira wa Klabu ya Soka ya Rafah Services anaendelea na mazoezi yake ili kuendeleza uthabiti wa mwili kama mchezaji wa soka wa kulipwa wa klabu hiyo muhimu wakati huu mashambulizi ya makombora yakiendelea kwenye eneo hilo. Jua linazama hapa kwenye ufukwe wa Al Mawasi, kwenye bahari ya Mediteranea, wengine wakiwa wanaogelea, na kwa mbali mahema ya waliosaka hifadhi baada ya kufurushwa kaskazini mwa Gaza, mmoja anaonesha mbwembwe za dana dana ya mpira, anajitambulisha."Naitwa Mohamed Abu Jalda, mchezaji wa Klabu ya Rafah Services katika daraja la kwanza. Nilikuwa na ari kubwa ya kuwa mchezaji mkubwa wa soka kama wengine walioko nje ya Ukanda wa Gaza, lakini kutokana na vita, tamaa yangu na maisha yangu yalicheleweshwa, sasa nina zaidi ya miaka 20, nikijaribu kuwa mchezaji wa soka, lakini siwezi kwa sababu naishi Gaza ambapo kuna mapigano ya mara kwa mara. Kila siku nahisi kama ninakufa; Mungu atujalie uvumilivu kuhimili maisha haya."Mohamed amekuwa akiwa na ndoto ya kucheza soka ya kulipwa tangu akiwa na umri wa miaka 10 na sasa ana umri wa miaka 20 anaona ndoto inayoyoma, lakini ana matumaini.."Wakati wowote nikipata muda na kutamani kucheza soka,ninakuja ufukweni, kwani ni sehemu pekee naweza kucheza kama mchezaji mwingine. Natumai Mungu atanijalia kufanikiwa kuwa mchezaji wa soka, na najivunia kuwa mpalestina kutoka Gaza. Natamani kucheza soka nje ya Gaza na timu ya taifa ya Palestina, kwa sababu ni haki yangu."
Maswali ya Biblia kwa msikilizaji
Uamini baraka za Bwana, Unachopaswa kufanya unapopitia shida
Kumtukuza Mungu kwa njia ya Nyimbo, Maneno ya faraja
Fritz and Franco break down 3 big fights with 3 big results. Jamie Munguía vs Erik Bazinyan, Daniel Dubois vs Anthony Joshua, and Mikaela Mayer vs Sandy Ryan all had amazing fights that the boys give their takes on. As always, we break down the best in boxing... with a sense of humor.
Kumtukuza Mungu kupitia Nyimbo za Kristo kitabunui, Ukanda wa faraja uleta
In this captivating episode of TUBTS Podcast, we sit down with the incredibly talented Mike Mungu, a dynamic recording and performing artist from Uganda. Mike takes us on a journey through his musical landscape, sharing the highs and lows of his career and the creative process behind his latest EP, "Finally." Join us as Mike reflects on his artistic evolution, the vibrant music scene in Uganda, and the personal stories that have shaped his sound. Discover the inspiration behind "Finally" and how it encapsulates his experiences and aspirations. Whether you're a fan of Afrobeat rhythms or simply interested in the power of music to connect and transform, this episode is a must-listen.Tune in for an intimate conversation filled with passion, insight, and a deep appreciation for the art of music.
Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoices
Munguía: !Ya CANELO, no me pegues más! ¿Te quieres casar conmigo?
¡Regístrate en MICASINO con nuestro código aquí! https://en6x.short.gy/DESDEELVAR Saúl Álvarez finalmente tuvo el tipo de pelea que muchos querían ver y la resolvió con claridad ante un muy buen retador, aunque queda el pendiente de Benavidez. Sergio Pérez lo pasó mal en Miami, pero logró rescatar suficientes puntos para seguir segundo del campeonato. También, la tontería de Idrissi en el play-in, el Real Madrid campeón, las excusas de Xavi y un mexicano campeón en la ATP. ¡Síguenos en Telegram! - t.me/desdeelvarpodcast --- Funkorama by Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoices
#canelo #caneloalvarez #davidbenavidez ️️️☎️ CANELO ÁLVAREZ VS. JAIME MUNGUÍA
¡Regístrate en MICASINO con nuestro código aquí! https://en6x.short.gy/DESDEELVAR Tendremos guerra de mexicanos este fin de semana y para comentarla vuelve nuestro invitado de lujo para el boxeo. ¿Quién ganará? ¡Síguenos en Telegram! - t.me/desdeelvarpodcast --- Funkorama by Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoices
#caneloalvarez #canelo #jaimemunguia ️️️☎️Canelo Álvarez Vs Jaime Munguía, MEXICO VS. MEXICO SHOWDOWN❗️ Tickets, How To Watch Etc.