Podcast by Kenedy The remedy
EP 10: Usichukulie Mambo kwa Urahisi by Kenedy The remedy
EP 10: Kirusi cha Corona na Ujinga Wake by Kenedy The remedy
Je dhana ya Ujasiriamali inaeleweka kwa wanafunzi??? Je wanafunzi wanakuwa na mtazamo gani? Kenedy alipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi wa shule katika kufahamu maana ya ujasiriamali. Podcast Hii The Remedy alifanya mahojiano mafupi kufahamu hawa wanafunzi wa shule wanaelewa nini kuhusiana na ujasiriamali. Je wewe ni Mjasiria Mali? Wanafunzi wa Shule wanaelewa nini kuhusiana na ujasiria mali?
Watu wengi wanafikiri wapo huru, lakini kiukweli kuna mambo ambayo yanatushikilia na haya ndio yanatufunga kifungo ambacho hatufahamu. Umewahi kujiuliza Jela yako ni nini? Tulia hapohapo na sikiliza hii!!!! Usisahau ku-subscribe channel hii kupata mastory mazuri ya vijana na jamii.
Hii ni Episode ya kwanza kutoka kwa mwaka 2020, ambapo Kenedy The Remedy Podcast amefanya mazungumzo machache na Victor George katika kuleta elimu ya maisha na kugusa elimu na maisha yetu kwa Ujumla. Endelea kuifurahia Podcast hii, ikiwa ni mojawapo kati ya Podcast mpya za Kiswahili zinazoshika nafasi kubwa sana kwenye Podcasts. Usisahau Ku-subscribe channel hii ili kupata Eposide nyingi kuhusu vijana na maisha. Asante sana!!!
EP 05: Kenedy The Remedy Podcast - BIMA by Kenedy The remedy
EP 04: Kufeli mtihani sio kufeli maisha by Kenedy The remedy
Mitandao ya Kijamii imekuwa inashika nafasi kubwa sana kwa vijana wengi na kuna mengi ambayo yanaweza kuzungumziwa na mtu akasikiliza na kujifunza mengi. Mada ya leo imejaribu kuchunguza mengi na kutazama kwa upana mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii. Usikose kufuatilia Episodes zangu mbalimbali ambapo najaribu kugusiana mambo yanayogusa vijana wa Kiswahili. Popote pale duniani endelea kufuatilia na usisahau ku-subscribe channel yangu. Asante sana na Halla at yaaaa'll. Bless!
Katika dunia ya sasa ya mitandao ya kijamii, kuna mengi sana yanaendelea kuhusiana na siasa. Pia vijana wengi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kujifunza mengi yanayojiri na kutoa uhuru wa mawazo yao. Ni tofauti na miaka ya zamani ambapo watu walikuwa hawana mitandao hii ya kijamii. Kuna mengi ya kuona kwa sasa, kutazama jinsi vijana wanavyotumia mitandao na kujifunza mengi kupitia kizazi cha sasa. Fuatilia podcast hii kuona kujua zaidi.
Kwa mwaka huu kuna watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wameongezeka, na watu wengi wanafikiria kufanya biashara zao na kuzikuza kutokana na uwepo wa mitandao hii. Je kwa vijana ni nini ambacho tunapaswa kutegemea mwaka huu? Facebook, Twitter, n.k wanategemea kuleta features/vitu gani vipya kwa kukuza mitandao yao? Fuatilia hii katika Episode hii na utaona kuna mengi ambayo yametokea na kutazama mipango mbalimbali ambapo inaweza kukusaidia wewe kijana. Karibu sana. Usisahau ku-subscribe our best poooooodcast!!!!!!11