Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika w…
Herr Thürmann ana kazi ya kumpatia Andreas – mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyotenganishwa
Andreas anatahayari... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi na kidhihirishi katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
Kualikana chakula kikazi: Frau Berger, Andreas na Ex... Muhtasari wa sarufi: Majina katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
Andreas anatafuta tena kisingizio... Muhtasari wa sarufi: Vitendo visivyo kawaida (irregular verbs)
Katika ukumbi wa hoteli: Frau Müller na Frau Hoffmann... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki (possessive pronoun)
Herr Meier anasimulia mambo yaliyomfika... Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita (imperfect) wa vitendo visaidizi sein/haben
Herr Meier amerudi... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki (possesive pronoun) - hali ya wingi meine
Herr Meier ametoweka – zumari lake tu limebakia chumbani hotelini... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu mögen
Wasi wasi hotelini – Herr Meier ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Kitendo haben
Sanamu za mbilikimo wa bustanini na kijizimwi... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi binafsi, shamirisho la moja kwa moja (direct object)
Katika soko la vitu vikuu Ex anajiingiza kati tena Muhtasari wa sarufi: Hali ya kuamuru (imperative)
Andreas anajiandaa kwenda kuuza vitu vyake kwenye soko la vitu vikukuu (flea market)... Muhtasari wa sarufi: Majina: muundo wa wingi (plural)
Andreas anaandika barua nyumbani... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa Vitendo (V)
Kuja na kuondoka – Andreas akiwa kazini... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki mein, dein, n.k.
Ex hawezi kufunga mdomo wake... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vitendo (IV)
Hanna, msichana anayesafisha vyumba na kero la wageni... Muhtasarui wa sarufi: Kidhihirishi -kikamilifu na kisicho kikamilifu
Mgeni mpya anawasili... Muhtasari wa sarufi: Kuuliza swali kwa kiwakilishi cha kuuliza
Ex na Andreas wanashangazwa na Dr. Thürmann... Muhtasari wa sarufi Mwendesho wa kitendo (III)
Marafiki wa zamani na ripota kijana mwanamke – wageni Hotel Europa... Muhtasari wa sarufi: Maswali yanayotumia woher na kihusishi aus
Ex anashangazwa na fikara za Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo (II)
Dr. Thürmann anashangazwa na adabu za Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo (I)
Ex anamwingiza Andreas matatani... Muhtasari wa sarufi: Kijineno doch
Dr. Thürmann anawasili Hotel Europa Muhtasari wa sarufi: Aina nyingine za kitendo kisaidizi sein.
Andreas, Hanna, Frau Berger – wahusika wanajijulisha... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo kisaidizi sein (II)
Aachen. Bwana mmoja mwenye umri wa makamo anaita teksi. Anataka kwenda ‚Hotel Europa‘... Muhtasari wa sarufi: Namna za kuamkiana
Somo la mwanzo... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo kisaidizi sein (I)