Podcasts about wimbo

  • 32PODCASTS
  • 73EPISODES
  • 19mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Sep 29, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about wimbo

Latest podcast episodes about wimbo

Changu Chako, Chako Changu
Utamaduni wa ndoa kabila la wamakonde na wahangaza kutoka nchini Tanzania sehemu ya 2

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Sep 29, 2024 20:11


karibu, Jumapili nyingine kuwa nami katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia na utamaduni wa mambo mbalimbali, le Parler francophone na Muziki. Wiki iliopita nilikuletea Utamaduni wa ndoa kutoka makabila ya Wamakonde na wahangaza, ambapo leo nakuletea sehemu ya pili. Na kwenye le parler francophone nitakuletea ratiba za shughuli za kitamaduni kutoka Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam, Tutamaliza na Wimbo wa Ibrah kutokz Tanzania

FATA BIBILIA ikuongoze
Itaji Wimbo Mpya Part 2

FATA BIBILIA ikuongoze

Play Episode Listen Later Apr 16, 2024 35:36


Zaburi 32:7 7 Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu. Itaji limbo mpya ( Daniel 6 )

FATA BIBILIA ikuongoze
Itaji Wimbo Mpya Part 1.

FATA BIBILIA ikuongoze

Play Episode Listen Later Feb 18, 2024 38:50


Itaji Wimbo Mpya Part 1. by FUATA BIBLIA

SBS Swahili - SBS Swahili
Wimbo maarufu wa John Farnham watumiwa katika kampeni ya kura ya Ndio

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 5, 2023 7:01


Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ndani ya katiba inafeli.

THUS SAYS THE LORD MINISTRATION (PURITY GITONGA)
Nikuimbie Wimbo song by Purity Gitonga {THUS SAYS THE LORD MINISTRATION YOUTUBE)

THUS SAYS THE LORD MINISTRATION (PURITY GITONGA)

Play Episode Listen Later Apr 1, 2023 1:06


Sing unto the Lord songs of praise!!

Vento da Liberdade
Lawi - Huu Wimbo

Vento da Liberdade

Play Episode Listen Later Sep 18, 2022 1:48


Música

Muziki Ijumaa
Miondoko ya kisasa na mchanganyiko kwako msikilizaji

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jun 10, 2022 10:05


Karibu Msikilizaji katika Makala ya Muziki Ijumaa tunakupa nafasi ya kukuchezea Wimbo unaoupenda na ambao bila shaka unakuna Moyo wako ukikukukumbusha Mambo mbali mbali na Matukio kipindi wimbo ulipotia fora… Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja kutoka Studio za RFI Kiswahili…wimbo wa kwanza utasikia ni wake Keny Rogers unaoitwa: You are my Best Friend- na miondoko mingine yenye kuvutia

Muziki Ijumaa
Miondoko ya kisasa na mchanganyiko kwako msikilizaji

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jun 10, 2022 10:05


Karibu Msikilizaji katika Makala ya Muziki Ijumaa tunakupa nafasi ya kukuchezea Wimbo unaoupenda na ambao bila shaka unakuna Moyo wako ukikukukumbusha Mambo mbali mbali na Matukio kipindi wimbo ulipotia fora… Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja kutoka Studio za RFI Kiswahili…wimbo wa kwanza utasikia ni wake Keny Rogers unaoitwa: You are my Best Friend- na miondoko mingine yenye kuvutia

Cleaning The Airwaves
9. Recording Our Debut Single 'Leta Wimbo' As Sema - Sanaipei Tande (The Play House)

Cleaning The Airwaves

Play Episode Listen Later Jan 1, 2022 25:43


Sanaipei Tande was born on 22nd March 1985 in Mombasa county and later they moved to Ngong. She is a Kenyan singer, songwriter, karaoke host, radio personality and entertainer. She became famous when she won the 2004 East Africa Coca Cola Popstars Talent Search together with two other bandmates. We got to sit down with Sanaipei for an indepth intimate conversation about her life's journey. #ThePlayHouse #cta101

Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 5:10-8:14

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Dec 10, 2021 24:58


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 5:6-16

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Dec 9, 2021 24:22


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 4:1-5:5

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Dec 8, 2021 26:14


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 2:16-3:11

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Dec 7, 2021 22:49


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 2:12-15

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Dec 6, 2021 25:45


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 2:4-11

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Dec 3, 2021 25:14


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 2:1-7

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Dec 2, 2021 23:46


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 1:14-17

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Dec 1, 2021 23:38


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 1:7-13

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Nov 30, 2021 26:02


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 1:5-8

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Nov 29, 2021 24:07


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora 1:1-4

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Nov 26, 2021 22:57


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora Utanulizi 3

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Nov 25, 2021 22:10


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora Utanulizi 2

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Nov 24, 2021 23:13


Neno @ttb.twr.org/swahili
Wimbo Ulio Bora Utanulizi 1

Neno @ttb.twr.org/swahili

Play Episode Listen Later Nov 23, 2021 26:44


AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni
Muziki na wanamuziki, Maneno ya Faraja

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Play Episode Listen Later Oct 16, 2021 29:00


Wimbo wa wavunaji, Usikate Tamaa

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية
Muziki na wanamuziki, Maneno ya Faraja

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Play Episode Listen Later Oct 16, 2021 29:00


Wimbo wa wavunaji, Usikate Tamaa

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya pili

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later May 1, 2021 20:15


Sehemu ya pili ya Katika Makala kuhusu Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumuisha wanamuziki zaidi ya 80 wa Marekani kwa ajili ya kuchangisha fedha za misaada kuwasaidia watu waliokumbwa na baa la Njaa katika pembe ya Afrika lakini pia Marekani.

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya kwanza

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later May 1, 2021 20:14


Katika Makala haya muandishi wa maswala ya Historia anakuletea Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumuisha wanamuziki zaidi ya 80 wa Marekani kwa ajili ya kuchangisha fedha za misaada kuwasaidia watu waliokumbwa na baa la Njaa katika pembe ya Afrika lakini pia Marekani.

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni
Muziki, Maneno yaletayo faraja

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Play Episode Listen Later Apr 17, 2021 29:00


Historia ya Wimbo,Unaona nini

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية
Muziki, Maneno yaletayo faraja

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Play Episode Listen Later Apr 17, 2021 29:00


Historia ya Wimbo,Unaona nini

====
[7]. "si mbali" - Wimbo wa Kiswahili - "أغنية السواحلية (الحلو وحسب) - "ليس &#

===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Goo

Play Episode Listen Later Apr 8, 2021 2:44


[7]. Heesta Sawaaxiliga (Macaan by iyo by) -"ma foga" / Hymn in Swahili (Sweet by and by) - "Not far Away".mp4

====
Kiswahili Wimbo - "Nimekombolewa Na Yesu" / "أغنية السواحيلية - "لقد افتديني ي&

===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Goo

Play Episode Listen Later Apr 8, 2021 3:09


Heesta Sawaaxili - "Waxaa laygu soo furtay Ciise" / "I have been redeemed by Jesus" - Swahili Hymn.mp4

MAELEZO PODCASTS
Hayasahauliki

MAELEZO PODCASTS

Play Episode Listen Later Mar 22, 2021 7:03


Wimbo huu ni zawadi kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JPM  alikua baba wa wanyonge, mtetezi wa masikini na mzalendo wa kweli. JPM anaishi na ataishi ndani yetu milele.


Swahili Worship Song - "Napenda kufanana nawe".3gp / (أغنية العبادة السواحيلية - (أريد أن أكون مثلك

[7]. Wimbo wa Injili ya Kiswahili- "Siteketei" (Angel Benard) - Ni wimbo wa tangazo la ahadi za Mungu katika maisha yetu, na uhakika wa usalama wetu katika Yeye

"Ereyada Nolosha", "Warka wanaagsan", "Heesaha Injiilka" - Luqadaha waaweyn Af-soomaali kuhadlaya / " Words of Life", "Good N

Play Episode Listen Later Feb 14, 2021 3:54


[7]. Swahili Gospel Song- "Siteketei" (Angel Benard)- It's a song of declaration of God's promises in our lives, and the assurance of our safety in Him.

Msasaonline
Msani BELL 9 azungumzia wimbo aliowahi kuufanya wenye historia kubwa sana kwenye maisha yake.

Msasaonline

Play Episode Listen Later Oct 24, 2020 31:49


Karibu sana endelea kupata burudani ya connection vibes ya Msasaonline. Ukibonyeza www.msasaonline.co utafurahia show

Black + Nuanced Podcast
Ep 50 #RonaEdition- Black Chefs That Like to "Sprinkle Garnish On That Sh*t"

Black + Nuanced Podcast

Play Episode Listen Later Jun 4, 2020 56:40


My 50th episode has arrived in a moment of chaos but not in vain as I spotlight two black owned businesses. I took it to the pantry #becauseofrona and highlighted two black chefs that are giving back to their communities in ways that are needed. Kenneth of Esquire Meals and Chef Wimbo delve into the journey that led them to this very moment. We also discuss the judgments, negative perceptions [if any], and micro-aggressions that permeated their paths. Here's to another 50+ more episodes. Thank you all for your support and shoutout to Kenneth for the episode title inspiration from his merchandise straight from his website. Here's a patron first listen to my 50th episode coming out Thursday. SHOW NOTES You can follow Kenneth of Esquire Meals here and on Instagram and Facebook. You can follow Chef Wimbo here and on Twitter, Facebook, and Instagram. You can follow me on Twitter and Instagram. You can follow the show on Twitter and Instagram. Subscribe/follow me on Apple Podcasts, Anchor, iHeartradio, Google Podcasts, and Spotify at Black + Nuanced Podcast. Email me at blacknuancedpod@gmail.com for your questions, comments, feedback. I'm officially on Patreon. Become a patron for exclusive and early access to various content for $5/month. Thank you for your listenership and support. BLM resources BLM and ways to effect change https://www.obama.org/anguish-and-action/ Master Thread of Where to Donate Donate to Black Lives Matter Donate to Campaign Zero Black Owned Businesses to Support (still do your research before spending) --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app Support this podcast: https://anchor.fm/blacknuancedpod/support

Ni Salama
Namna ya kujiandaa kukikabili kipindi hiki cha siku za mwisho (Sehemu ya tatu)

Ni Salama

Play Episode Listen Later Aug 15, 2019 10:05


Tutakusanyika mbele za Bwana tutaimba na kushangilia. Kama Yesu asingekufa msalabani safari yake ingekuwa bure. Maana angeishia kuponya watu na ingekuwa bure tu. Kama asingekufa na akafufuka ingekuwa shida sana. Biblia inasema ulitokea ubishi juu ya kiama ya wafu ule ubishi ulileta mtengano katika dini ya wayahudi na ukatengeneza dini ya masadukayo. Ugomvi wao ulikuwa ni imani yao juu ya kiama ya wafu. Huo ubishi ukaletea mgawanyo mpaka ndani ya kanisa wakati ambao watu wameanza kuokoka. Ilibidi Roho Mtakatifu amsemeshe Paulo aandike barua kwa Wakorintho ili wajue kuwa kama Kristo hakufufuka imani yetu ni bure maana yake haina faida. Kama Kristo hakufufuka tumekuwa masikini kuliko watu wote ambao tunamtegemea Bwana. Kama Kristo amefufuka tunajua na sisi kwamba atatufufua. Kwa sababu hiyo anasema ni tumaini lenye baraka kama ambavyo Tito alivyoandika. Endelea kuimba wimbo huo “Wateule wote tutakusanyika” Wimbo huu ukuandae kufanya sala ya toba. Kama uliokoka ukarudi nyuma rudi tena kwa Mungu. Pia kama unajua kabisa Yesu akija leo huna uhakika kama utaenda nae rudi kwa Bwana. Siku moja nilikuwa kwenye ndege mimi na Rubani mmoja. Tulikuwa wawili tu. Akaniambia akipata shida je ntafanyeje. Basi akaanza kunionesha namna ya kushika usukani wa ndege na namna ya kuendesha ndege. Akanionesha mpaka namna ya kutumia breki za ndege. Sasa nikatazama chini, niliona kulivyo mbali sana. Pia nikaona namna tunavyopita mawinguni. Ghafla nikakumbuka “mstari kuwa tutakusanyika kumlaki Bwana Mungu mawinguni”. Yule Rubani alikuwa kaokoka Nikamwambia kuwa ikipigwa tarumbeta ya kuondoka na Yesu akija hapa kutunyakua tutaenda naye na hii ndege itajijua itakakoenda. Lakini kama Mungu anataka tubaki tutabaki. Ni hatari sana kukaa dakika moja mahali na hujui kama Yesu akitokea hapa utaenda naye. Ni hatari sana kwa sababu Yesu yupo, hata kama huamini kama Yupo. Wainjilisti huwa wanatuambia kuwa kama utaamini Yesu yupo hutakuwa na hasara kama usipomkuta ila utakuwa na hasara sana kama utaamini hayupo halafu ukamkuta. Shida ya wengi wanataka waishi mpaka watakapokuwa wazee ile saa wanakaribia kufa ndipo wanatafuta mchungaji waokoke. Kijana wetu Joshua alikufa akiwa mdogo na wenzake wakaniuliza swali “Baba kwanini Mungu alimchukua Joshua akiwa bado mdogo sana wakati biblia inasema kuwa tunaweza kuishi miaka 70 na tukiwa na nguvu miaka 80. Sasa kwa nini Yeye amekufa mapema sana”. Nikawaambia ni kwa sababu mnasoma mstari mmoja tu. Biblia inasema nitakushibisha kwa wingi wa siku. Unaweza ukaishi miaka zaidi ya 80 au ukaishi chini ya hiyo miaka. Anayesema nimeshiba sio yule mgawaji wa chakula bali ni yule anayekula. Nikawaambia kitu kingine kuwa maisha ya mtu ni kitabu kila siku ni ukurasa. Ndio maana biblia inasema Mungu anatangaza mwisho tangu mwanzo. Kwa hiyo ukiona umezaliwa basi ujue kuwa Mungu alifika mwisho ndipo akaruhusu ukazaliwa na ukaanza kitabu chako cha maisha. Kuna maisha ambayo ni sura maana unaona kabisa hapa kuna ukurasa umeisha hapa ila unajua si ukurasa tu bali ni awamu ya maisha imeisha. Kila mwanadamu anayo hiyo. Mungu amendika siku zetu na ndiyo maana mtunga zaburi anasema Mungu naomba nisaidie kuzijua siku zangu. Kuna vitabu vingine vina kurasa chache sana na ni vitabu vitamu sana. Mwandishi hakuwa na sababu ya kuandika kitabu kikubwa wakati alichokuwa anatakiwa kuandika kimeisha. Kuna vitabu vingine vina kurasa nyingi sana na ukisoma ukurasa wa kwanza na wa pili unakifunga kwa sababu hakina ladha kwa sababu kama ukiandika tu kwa ajili ya kujaza kurasa hata wewe mwenyewe hutarudia kukisoma. Hivyo hivyo hata Mungu pia haandiki tu maisha ya mtu kwa ajili ya kujaza siku. Nikawaambia wale rafiki zake Joshua kuwa kitabu chake kilikuwa ni kifupi sana lakini ni kitamu. Maana kuna vitabu vingine vikiisha unatazama kama kuna mwendelezo wake maana ni kitamu sana. Hicho kitabu hukiachi mahali bali utakiweka mfukoni. Kila baada ya muda utakuwa unakisoma. Yesu hakumaliza miaka 40, na kitabu chake ni kitamu sana mpaka leo tunasoma na hatuchoki kusoma. Hakuna kitu kibaya kama nikikuuliza sasa hivi kuwa ukifa sasa utaenda wapi?. Kama huna jibu lililonyooka ujue unamhitaji Yesu. Maana hutaweza kwenda mbinguni kwa sababu ya mahali unaposali. Hakuna dini iliyokufa kwa ajili ya mtu. Na usije ukajivunia matendo mema maana wakovu ni kipawa hakiji kwa njia ya matendo mema bali ni kwa njia ya imani. Kama unajiona una matendo mema kasimame mbele za Mungu aliye Hai na ndipo utajua kama uko salama!. Kumbuka Isaya alihuburi sura ya kwa hadi sura ya tano. Sura ya sita baada ya kufa kwa mfalme Uzia ndipo alisema mimi ni “mwenye dhambi na midomo michafu”. Sura zote tano hakuona bali sura ya sita ndipo anaona ana mapungufu kwa sababu Mungu alijifunua kwake. Miaka kadhaa tukiwa Tanga kwenye semina nilikuwa nafundisha habari za Jina la Yesu. Ilikuwa ni semina ya siku tano tulikuwa ndani ya jengo. Jengo lile lilikuwa la wenzetu wa imani ya kihindi wanaobudu ng’ombe wakatupa jengo lao tukafanyia semina. Siku ya pili niliitwa Dar es Salaam kwenye masuala ya uchumi. Wazo la kwanza lilonijia ni kutokwenda Mungu akaniambia nenda kwa sababu ile kazi nayo pia nimekupa unatakiwa uende. Nikamuuliza sasa semina ya kesho? akasema upako wa kesho uko juu ya mke wako. Hata kama ningebaki upako ulikuwa juu ya mke wangu maana ndiye aliyekuwa anatakiwa kufundisha. Basi nilienda Dar es Salaam maana kikao kilikuwa saa nane hadi saa kumi, nilipomaliza nikarudi Tanga. Nilipofika ilikuwa majira ya saa tano usiku nikakuta mji umetahatuki, nguvu za Mungu zimeshuka pale watu wamejazwa Roho Mtakatifu sana. Kuna mtoto mmoja alinena kwa siku tatu. Watu walikuwa hawafiki nyumbani wanalala njiani wananena kwa lugha hata wanashindwa kuongea. Ile hali ilitutia hofu sana maana tuliona madhaifu tuliyo nayo na vitu ambavyo Mungu anafanya havifanani kabisa. Mungu alifanya vitu vikubwa sana. Tulienda kumuuliza Mungu na alitujibu mwezi wa kumi tukiwa Kilombero kuwa uchafu unaonekana mahali ambapo kuna nuru. Neno la Mungu na Roho Mtakatifu ni nuru. Mahali ambapo kuna uchafu baada ya kumulikwa na nuru ndipo utaanza kupafanyia usafi. Paulo kadri alivyokuwa anaenda mbele za Bwana aliona udhaifu aliokuwa nao.

Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Foby mwanamuziki, mtunzi anaetusua na wimbo wake Ng'ang'ana

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Feb 14, 2018 11:55


Mwanamuziki wa Bongo Fleva Foby aridhishwa na mapokezi ya wimbo wake mpya Ng'ang'ana unaofanya vizuri kwa sasa. Wiki hii amekuwa mgeni katika makala ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali.

Dummschwätze
Folge 47 – Berühmt sein

Dummschwätze

Play Episode Listen Later Feb 11, 2018 77:28


Dummschwätze wird in den nächsten Wochen in zwei Teile aufgeteilt werden. Einmal der normale saarländische Hörgenuss und gegen Ende der Folge wird der Fokus auf “Die geilschde Band aus dem Saarland” gelegt. In Folge 47 geht es um Berühmt sein. Erfährt ausserdem, ob bei Sascha eine seltene Krankheit beim MRT diagnostiziert wurde und warum es wichtig ist einen guten Bandnamen zu haben. Alles das und noch viel mehr im saarländischen Hörgenuss. Ab 00:41:53 geht dann los mit “Die geilschde Band aus dem Saarland”! 00:41:56 Jonas – Wimbo na Baba 00:47:04 Fibel – Klügelei 00:54:01 YungKean – Baby 00:59:22 Case Default – Shattered 01:04:34 AC Angry – Appetite for Erection 01:09:58 Demon Incarnate – Beyond & below Die Künstler: Jonas Fibel YungKean Case Default AC Angry Demon Incarnate Unterstützt uns: Über Amazon Kontakt: Web: www.dummschwaetze.de Mail: post@dummschwaetze.de FB: : dummschwaetze Instagram: dummschwaetze

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS
Swahilimedia│Natacha avunja rikodi kwa comments baada ya kuachia wimbo wake mpya

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Play Episode Listen Later Oct 22, 2017 5:51


Mitandaoni leo imekuwa poa sana baada ya wana NGM kusema kwamba mitandaoni siyo poa,ila yote tisa leo ni poa. Baada ya masaa kama manne wimbo WANGU BY NATACHA FEAT. SHEBBAH kuachiwa rasmi na kuwekwa kwenye CHANNEL YA YOUTUBE YA NATACHA BURUNDI,zimeamka comments nyingi kibao za mashabiki zaidi wakionyesha kuikubali kazi hiyo. Sikiliza na Soma hapa […] The post Swahilimedia│Natacha avunja rikodi kwa comments baada ya kuachia wimbo wake mpya appeared first on Swahilimedias.

Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Jux akiri wimbo utaniuwa kamuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Oct 5, 2017 11:58


Makala Muziki Ijumaa juma hili, Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki Jux ambae ametambulisha wimbo wake mpya "Utaniuwa" ambao amekiri kumuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha. ambatana naye kufahamu mengi zaidi.

wake jux baada muziki wimbo vanessa mdee ali bilali
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS
Nataka by Maru & B Dan l new audio l download mp3

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Play Episode Listen Later Dec 13, 2016


kwa muda mrefu wakijiandaa,sasa wameamua kuachia jiwe mpya vijana wawili kutoka KUNDI nzima ya WAKAVU.Wimbo mzima ukiwa umebatizwa jina la NATAKA kutoka kwao MARU na B Dan. Sikiliza wimbo huo na kuupakua bila chenga zozote. The post Nataka by Maru & B Dan l new audio l download mp3 appeared first on Swahilimedias.

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS
SIKILIZA GINSI SAIDA KAROLI ANAVYO SEMA KUUSU WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ-SALOME

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Play Episode Listen Later Sep 20, 2016 0:57


Watu wengi wana sema eti Platnumz ana shindwa kutunga nyimbo zake ndo maana ana imba nyimbo za wasani wengine. Aliye imba wimbo -Salome ambao Platnumz ali imba kwa ki vyake ana tupatia onyo lake kuusu wimbo huo. Sikiliza anavyo ongea na usi kose ku share na ku comenti video hii. The post SIKILIZA GINSI SAIDA KAROLI ANAVYO SEMA KUUSU WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ-SALOME appeared first on Swahilimedias.

Free Contemporary Christian Worship
Alfa Na Omega (Wimbo Ya Wabudu Yesu) Kiswahili, Français, & English

Free Contemporary Christian Worship

Play Episode Listen Later Aug 20, 2015 2:58


AlfaAlfa Na OmegaYeye Ni BwanaShuka ShukaShuka YesuTranslation:AlphaAlpha and OmegaHe is the LordCome down Come downJesus, Come downYesu,Ni MtakatifuYesu,Ni MtakatifuJésus, nous glorifions ton nom, aujourd'huiJesus,is HolyJesus,is HolyJesus We Glorify Your Name, TodayJesusWonderful SaviourJesusJina Lake, Yesu (His Name, Jesus)Jesus We Glorify Your NameYesuMwokozi wa ajabuYesuJina lake, YesuYesu Sisi ulitukuze jina lakoBwanaBwana YesuNafsi yanguNakutumaniya YesuLordLord Jesusmy soulLongs for You, Jesus© 2015 Shiloh Worship Music COPY FREELY;This Music is copyrighted to prevent misuse, however,permission is granted for non-commercial copying-Radio play permitted- www.shilohworshipmusic.com

Free Contemporary Christian Worship
Ni Nani Kama Wewe, Yesu

Free Contemporary Christian Worship

Play Episode Listen Later Mar 9, 2015 3:28


Nouvelle chanson en swahili, français, et anglaisWimbo katika Kiswahili, Kifaransa, & KiingerezaWorship Song in Swahili, French, &EnglishEnglish Translation below;Bwana(Ni Nani Kama Wewe)O Sifa BwanaBwana(Ni Nani Kama Wewe)Nakupenda YesuNi Nani Kama Wewe, YesuNakupenda O JehovaHallelujah , I Sing Your PraisesHallelujah to the LambNous Adorons JésusTu es le Seigneur EternelAlléluiaAlléluia à l'AgneauTu Nous As SauvéPar Ta Mort Sur La CroixFils de Dieuil n'y a personne comme toiMerci, pourMerci, pour la Croix!Lord(Who is Like You?)O Praise the LordLord(Who is Like You?)I love you JesusWho Is Like You, JesusI love you O JehovaWe Worship JesusYou are the Lord GodhallelujahHallelujah to the LambYou Saved UsBy Thy Death On The CrossSon of GodThere is no one like youThank you forThank you for the Cross!© 2015 Shiloh Worship Music COPY FREELY;This Music is copyrighted to prevent misuse, however,permission is granted for non-commercial copying-Radio play permitted www.shilohworshipmusic.comCome and check out our YouTube channel: https://www.youtube.com/user/ShilohWorshipGroup/videos Free Christian Worship Music on the iTunes StorePlease check out our free Christian Worship Music on the iTunes Store. We offer free Podcasts that contain our original worship music. Below are the links- if you like them you can subscribe FREE and receive new songs in the form of podcasts as they are released.Free Bluegrass Gospel Hymns and Songs from Shiloh Worship Music. Old Standard Hymns and Songs as well as Original Bluegrass Gospel Songs.http://itunes.apple.com/us/podcast/what-a-friend-we-have-in-jesus/id471784726?i=100849735FREE PRAISE & WORSHIP  FREE Original Praise and Worship Music Our style is very eclectic ranging from Blues to Folk to Reggae to Worldbeat to Bluegrass to Contemporary Worship. Most songs Are in English, some songs are in English and Spanish, and a few songs have been translated into other languages like Swahili, French, Chinese, and Korean. Etc. We Love Jesus, we are simple christian disciples of Jesus using our gifts to lavish our love and lives for Him. Our desire is to point others to Jesus. Our music is simple-most of these original songs are prayers to Jesus set to music. Although our music is copyrighted ©2000-2013 Shiloh Worship Music, to prevent misuse, feel free to pass this music around for any and all non-commercial use. Jesus said, "freely you have received, freely give!"http://itunes.apple.com/us/podcast/free-praise-and-worship/id436298678FREE Contemporary Christian Worshiphttps://itunes.apple.com/us/podcast/free-contemporary-christian/id882132356 Free Bluegrass Gospel Hymns and Songs 2: https://itunes.apple.com/us/podcast/bringing-in-the-sheaves/id610671814?i=134464245&mt=2FREE WORSHIP MUSICOriginal Worship music SUBSCRIBE in iTunes We Love Jesus, we are simple christian disciples of Jesus using our gifts to lavish our love and lives for Him. To point others to Jesus. our music is simple-most of these original songs are prayers to Jesus set to music. Although our music is copyrighted ©2000-2013 Shiloh Worship Music, to prevent misuse, feel free to pass this music around for any and all non-commercial use. Jesus said, "freely you have received, freely give!"http://itunes.apple.com/us/podcast/free-jesus-music/id395892905Christmas Carols, Hymns and Songs Free Christmas Carols, Hymns and Songs Free for you to enjoy during the Christmas Season from Shiloh Worship Music as we remember that “Jesus Is The Reason For The Season”.  Many different styles of Music from Traditional to Contemporary. May you have a Blessed Christmas Season as you contemplate and celebrate the birth of our Savior the Lord Jesus!http://itunes.apple.com/us/podcast/christmas-carols-hymns-songs/id478047965Free Instrumental Hymns and SongsWe offer FREE instrumental renditions of Classic Hymns and Spiritual Songs. We pray they are a blessings to you! Perfect for listening to when  reading the Word of God or during your devotional time with the Lord!http://itunes.apple.com/us/podcast/free-instrumental-hymns-songs/id548877782 Classical Music FreeWe provide Classical Music for Free. Various composers. J. S. Bach, G. F. Handel, Beethoven, Haydn, Vivaldi, etchttps://itunes.apple.com/us/podcast/classical-music-free/id548878511祈る日本 Christian songs 津波 Jesus ccm worship praise 敬拜赞美 耶稣基督 Иисус Христос поклонения похвалы музыки Christus Lob Musik यीशु मसीह की पूजा प्रशंसा क्रिश्चियन संगीत musique chrétienne COPY FREELY ©2014 Shiloh Worship Music-This Music is copyrighted to prevent misuse, however,permission is granted for non-commercial copying only. Radio Play permittedwww.shilohworshipmusic.comThese videos are works of Video Artwork created to accompany our original music as an educational and research vehicle to teach others about Jesus Christ and Christianity.COPYRIGHT NOTICE: images used for nonprofit, educational purposes only under the "fair use" provision of U.S. Code, Title 17, section 107.

god jesus christ music lord english french podcasts chinese christianity cross radio spanish songs code blues savior lamb traditional korean folk bach ludwig van beethoven contemporary reggae hallelujah hymns handel nouvelle lord god dieu bluegrass christmas season classical music fils vivaldi croix christmas carols haydn swahili radio play kama worship songs like you english translation spiritual songs kiswahili contemporary worship bwana yesu worldbeat o praise l'agneau this music wimbo jesus is the reason for the season classic hymns christian worship music songs free copyright notice we love jesus original worship shiloh worship music shiloh worship music copy freely copy freely free praise shilohworshipgroup free bluegrass gospel hymns original bluegrass gospel songs original praise blessed christmas season shiloh worship music this music free christian worship music video artwork free worship music christus lob musik free contemporary christian worship free instrumental hymns classical music free
Kiiraqw Biblia -  Kiiraqw Bible
Ufunuo 15 - Revelation 15

Kiiraqw Biblia - Kiiraqw Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 1:58


Kinyaturu Biblia - Kinyaturu Bible
Ufunuo 15 - Revelation 15

Kinyaturu Biblia - Kinyaturu Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:06


Kinyiramba Bible
Ufunuo 15 - Revelation 15

Kinyiramba Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:00


Kishambala Biblia (iliyotiwa)
Ufunuo 15 - Revelation 15

Kishambala Biblia (iliyotiwa)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:01


Kishambala Biblia (non iliyotiwa)
Ufunuo 15 - Revelation 15

Kishambala Biblia (non iliyotiwa)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:01


Kutu Bible (Dramatized)
Ufunuo 15 - Revelation 15

Kutu Bible (Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:11


Kutu Bible (Non-Dramatized)
Ufunuo 15 - Revelation 15

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:11


Kikagulu Biblia - Kikagulu Bible
Ufunuo 15 - Revelation 15

Kikagulu Biblia - Kikagulu Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:07


Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Somo la mwanzo... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo kisaidizi sein (I)

somo wimbo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Kwa nini Ex ameondoka? Dr.Thürmann anajaribu kutoa maelezo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno

somo kwa wimbo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio