POPULARITY
Karibu uungane nami Martin Joseph, katika kipindi cha Ijue Liturujia tukiwa pamoja Padre Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji Idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akielezea juu ya Asili ya Majina ya Kikristo. L'articolo Fahamu asili ya majina ya Kikristo. proviene da Radio Maria.
Kipindi hiki kinajadili majina ya Mungu, ambayo ni ya kuvutia kwa sababu yanafichua mengi kuhusu Mungu ni nani ‒ ambayo ni lengo kuu la podikasti ya Bible Bard.
Karibu katika kipindi cha Ijue Liturujia, Mwezeshaji ni Padre Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji wa Idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), akiendelea kutufundisha juu ya asili ya Majina ya Kikristo. L'articolo Je, wafahamu asili ya majina ya Kikristo? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Martin Joseph, katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Mwezeshaji ni Frateri Benedict Lazaro Luvanga, kutoka Parokia ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji Pawaga, Jimbo Katoliki Iringa, akijibu swali linalohoji kwanini Mapapa wana badili wadhifa wao pale wanapo teuliwa? L'articolo Kwanini mababa watakatifu katika Kanisa hubadili majina yao baada ya kuteuliwa? proviene da Radio Maria.
Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, na Frateri Benedict Lazaro Luvanga kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Je, ni sahihi kuwaombea Marehemu wenye majina yasiyobatizwa? L'articolo Je, ni sahihi kuwaombea Marehemu wenye Majina yasiyobatizwa? proviene da Radio Maria.
Dobrodošli na Zalet Podkast — podkast o dizajnu digitalnih proizvoda!Imamo novu gošću! U ovoj epizodi smo ugostili Maju Nedeljković Batić. Maja je inženjerka, umetnica i kreativna developerka. Trenutno radi u kompaniji Linear. Sa njom smo pričali o spoju umetnosti i frontend inženjeringa, saradnji sa dizajnerima, samostalnim projektima i govorništvu na konferencijama.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, leo uko nami Frateri Polycarp Mwashibili, nikijibu swali linalosema Kwanini Masista wanabadili jina lakini Mapadre hawabadilishi. L'articolo Ni, kwanini Masista wanabadilisha majina lakini Mapadre hawabadilishi? proviene da Radio Maria.
Yesu atakaporudi, Mungu ndiye faraja pekee
Yesu atakaporudi, Mungu ndiye faraja pekee
Mrisho Halfani Ngassa alikua top top top footballer na kwa bahati nzuri nishawahi kumshuhudia akiwa kazini kwake, tena ukimkuta kaamka vizuri basi uhakika wa burudani ni UHAKIKA . Na kipindi ambacho alikua kwenye peak yake pia kulikua na vitasa imara na magolkipa wazuri tu lakini nna uhakika kila mmoja kati yao ana la kusema kuhusu winga na forward hii machachari ambayo nchi yetu ishawahi kuona. Hakuna kitasa ambacho hakijawahi kukataa kufungua mlango muda ambao Mrisho Ngassa alikua anakuja kupiga hodi. Uzuri wake alianza kucheza mapema sana na kwasababu alikua machachari basi hata utulivu kidogo wakati anakua ulikua sio mzuri sana maana alikua na haraka. Ananiambia kwenye session hii vile ambavyo ali sign Yanga pasi na kumskiliza kocha wake kutoka Mwanza ambaye alikua anaamini kama dogo bado hajaiva, Pengine miaka miwili au mitatu ya kuendelea kujijenga ingemfanya awe bora zaidi na zaidi lakini kwenye kichwa na fikra za kijana huyu ambaye alikua na uchu wa mafanikio na kutaka kufika mjini maongezi hayo ya kusubiri yalikua ni kama kumuona sisimizi kwenye sukari alafu unamuambia asile leo badala yake ataila asubuhi, isingewezekana. Hivyo kocha akaona basi si mbaya, aende akayaone na kujifunza akiwa kazini. Yanga ndo Yanga, kwa wachezaji wote wanao chipukia au ambao ndo wanatafuta maisha kuichezea klabu kama ya wananchi ni heshima kubwa sana na zaidi kama wao ndo wametaka iwe hivyo. Kwa kijana mdogo ambaye alikua na spidi na uchu mkubwa wa kuzitia nyavuni basi klabuni pale ndo ilikua steji muafaka ya kuonyesha kipaji chake. Mrisho anakumbuka aina ya ‘vifaa' ambavyo vilikua vinapatikana mitaa ya Jangwani. Majina makubwa na kazi ilotukuka ambayo walikua wakiifanya ilikua inajielezea. Kwa kijana kutoka mkoani kuweza kupata namba haikua kazi rahisi, ila pia haikua kazi ngumu maana ulichokisia ndo ambacho unakiona, kuanzia mazoezini mpaka anapopatiwa nafasi wakati wa mechi. Kwenye episode hii tunazungumzia aina ya mitihani na maamuzi ambayo ilikua inabidi yafanyike. Kwenye wasifu wake Mrisho amewahi kucheza kwenye team zote tatu kubwa hapa nyumbani kwetu. Kashawahi kuwa muajiriwa wa Yanga, Azam na Simba ambapo alienda kwa mkopo kutoka Azam FC, lakini pia ashawahi kupatiwa majaribio katika team kadhaa nje ya nchi yetu na wakubwa wanasema kama Ndugu yetu angekua katuliza akili na angefahamu aina ya nafasi ambayo alikua nayo kipindi kile basi yeye ndo angekua mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi pendwa ya Uingereza. Trials kwenye klabu kama Westham alipata na ofa kwenye vilabu kadhaa kutoka hapa hapa barani Afrika nazo zilikua hazikati. Sasa, nini haswa kilitokea? Wapi hasa alienda mrama? Ni kweli alikosea? Au malengo yake si malengo yetu? Au tulipokua tunamuona sisi yeye alikua hapaoni huko? Vikwazo vilikua nini? Mambo yepi hasa ndo ambayo yanaweza yakawa ndo chachu ya hayo yote kutotokea? Kama Mrisho angekua anawez kufunguka zaidi nami kwenye episode hii naamini tungeweza kupata funzo lilonyooka kwa wenetu na ukichukulia sasa mambo ndo yameanza kufunguka. Naamini angekua mwalimu mzuri kwa wake wote ambao wangetaka kusoma somo ambalo lina uhitaji mkubwa. Yangu matumaini utaweza kuelewa na kupata chochote kitu kutoka kwenye maongezi haya. Tafadhali enjoy. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support
Wakati raia wengine wa Kenya wakisubiri historia ya kumshuhudia Rais wa 5 wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, watu wa kabila la washona waliowasili Kenya mwanzoni mwa miaka ya 1960 wakitokea Zimbabwe wakieneza dini na wakiwa vijakazi wa waingereza hatimaye wameonja moja ya faida za uraia kwa kupiga kura kwa mara ya kwanza kwani tangu Kenya ilipopata uhuru mwaka 1963 watu hao walisalia bila utaifa hadi mwaka jana 2021 serikali ya Kenya ilipowapatia uraia kwa kuzingatia kampeni ya hivi karibuni ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR ya kutokomeza tatizo la ukosefu wa utaifa ifikapo mwaka 2024. Miongoni mwao ni mzee wa makamo anayeanza kwa kujitambulisha. "Majina yangu ni Branjimeni Mshawa Ndooro, mmmoja wa watu wa jamii ya washona ambao walipewa uraia juzi na serikali, nimeweza kupiga kura ili na sisi tuweze kujiunga na wale wengine ambao ni Wakenya." Miaka mitatu iliyopita, serikali ya Kenya kwa kushirikiana na UNHCR na wadau wengine, iliwapatia vyeti vya kuzaliwa zaidi ya watoto 600 wa asili ya jamii ya Shona na hivyo wakawa raia wa Kenya huku wazazi wao wakisalia bila utaifa hadi mwaka 2021 akiwemo Mzee Ndooro. "Tunaweza kusema wengi tumezaliwa hapa. Hizi shida tulikuja kuzijua wakati wazazi wetu waliofariki dunia, tulipokuwa sasa sisi tumezaa watoto na ikahitajika watoto huko shuleni wajiandikishe wapate vyeti vya kuzaliwa. Hapo ndipo tulipoanza kukutana na shida. Lakini kwa wito mwema, wale wenzetu Wakenya kule mashinani waliweza kutusaidia mapaka serikali, Umoja wa Mataifa na Kamisheni ya haki za binadamu ya Kenya walipoingia. Tunamshukuru Rais Uhuru Kenyatta kwa huruma zake, Mungu alimgusa roho hii shughuli ikafanikishwa ili na sisi tujisikie kama wanadamu, kama wananchi wale wengine. Tumeonja utamu wa kuwa raia."
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) baada ya kukutana Jumanne na vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi wa Agosti 9, imetangaza kwamba wanaowania urais watakiwa kuwasilisha majina ya wagombea wenza kwa tume hiyo ifikapo tarehe 16 Mei.
Alain Capdejelle parle avec Julie Cazalas-Caïe, actrice et autrice, de son nouveau livre-jeunesse "Majina n'est plus dans ses baskets".
Karibu kwenye episode hii , ambayo inakukutanisha na Molly Passion msanii wa muziki wa Bongo, ambaye anafanya mziki mzuri saana wa kisasa, Kupitia episode hii Molly passion ameweza kuzungumzia mziki na kazi yake ambayo amekuwa akiitilia Nguvu toka akiwa mdogo, Pia anayo kazi mpya ambayo inafanya vyema na ngoma hiyo inaitwa TRUMPET. Kwenye hii episode ameshare mambo mengi kuhusu mziki wa bongo na experience yake kwenye industry Nzima, utapata kusikia Mengi saana na katika mengi hayo utapata kusikia. 1. Molly Passion ni nani?. 2. Utapata kusikia Kuhusu game na industry nzima ya mziki Tanzania. 3. Utapata Kusikia Hustle za Ma upcoming artist wanavyopata changamoto katika kusogeza kazi zao na kuweza kupata nafasi ya maojiano kwenye vituo vikubwa vya redio. 4. Utapata kusikia Kuhusu Ngoma Ya molly passion ya Go down na mafanikio yake . 5. Utapata kusikia Maoni ya Molly Passion Kuhusu mziki wa Harmonise . 6. Utapata kusikia Maoni ya Molly passion kuhusu watangazaji kuhama Vituo vya redio moja kwenda redio Nyingine . 7. Utapata kusikia Kuhusu drama za wasanii wanao kuja wanapotumia Kiki ili kufikia mafanikio kwa haraka. 8. Utapata Kusikia BEEF kati ya Msanii na Radio presenter Zinavyokwamisha Game ya Bongo . 9. Utasikia kuhusu Kuigana kwa Majina na Slogan katika kufanya mziki usonge Mbele. 10. Utapata Kusikia Kuhusu ngoma Ya Molly passion mpya ya Trumpet. Kwa mengi saana tufatilie kwenye platforms zetu mitandaoni @nextmusicuniverse utaungana nasi moja kwa moja na kuwa mwanafamilia., Pia mfatilie Molly passion Kwenye mitandao ya kijamii kwa jina lake ilo kote. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
Karibu kwenye episode hii , ambayo inakukutanisha na Molly Passion msanii wa muziki wa Bongo, ambaye anafanya mziki mzuri saana wa kisasa, Kupitia episode hii Molly passion ameweza kuzungumzia mziki na kazi yake ambayo amekuwa akiitilia Nguvu toka akiwa mdogo, Pia anayo kazi mpya ambayo inafanya vyema na ngoma hiyo inaitwa TRUMPET. Kwenye hii episode ameshare mambo mengi kuhusu mziki wa bongo na experience yake kwenye industry Nzima, utapata kusikia Mengi saana na katika mengi hayo utapata kusikia. 1. Molly Passion ni nani?. 2. Utapata kusikia Kuhusu game na industry nzima ya mziki Tanzania. 3. Utapata Kusikia Hustle za Ma upcoming artist wanavyopata changamoto katika kusogeza kazi zao na kuweza kupata nafasi ya maojiano kwenye vituo vikubwa vya redio. 4. Utapata kusikia Kuhusu Ngoma Ya molly passion ya Go down na mafanikio yake . 5. Utapata kusikia Maoni ya Molly Passion Kuhusu mziki wa Harmonise . 6. Utapata kusikia Maoni ya Molly passion kuhusu watangazaji kuhama Vituo vya redio moja kwenda redio Nyingine . 7. Utapata kusikia Kuhusu drama za wasanii wanao kuja wanapotumia Kiki ili kufikia mafanikio kwa haraka. 8. Utapata Kusikia BEEF kati ya Msanii na Radio presenter Zinavyokwamisha Game ya Bongo . 9. Utasikia kuhusu Kuigana kwa Majina na Slogan katika kufanya mziki usonge Mbele. 10. Utapata Kusikia Kuhusu ngoma Ya Molly passion mpya ya Trumpet. Kwa mengi saana tufatilie kwenye platforms zetu mitandaoni @nextmusicuniverse utaungana nasi moja kwa moja na kuwa mwanafamilia., Pia mfatilie Molly passion Kwenye mitandao ya kijamii kwa jina lake ilo kote. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message
Playlist: 1 WHITESNAKE Still Of The Night 2 SHARK ISLAND Paris Calling 3 BABYMETAL Oh! Majina! 4 MANOWAR Blow Your Speakers 5 MICHAEL SWEET Better Part Of Me 6 QUIET RIOT In The Blood 7 DJ CUMMERBUND Mundian To Bach Nu --- Send in a voice message: https://anchor.fm/glamncheese/message
Majina ya wagombea Urais ya awali yametangazwa huku Jean Pierre Bemba akienguliwa na yeye kuapa kukata rufaa kugai haki yake wakati Tume huru ya Uchaguzi CENI ikidai hawezi kugombea kutokana na kesi yake katika mahakama ya ICC. Je unafikiri hali itakuaje na nini hatima ya kiongozi huyo wa upinzani? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata undani wa suala hilo.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi CENI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo DRC, Corneille Nangaa ametangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Disemba 23 mwaka huu huku wanasiasa wa upinzani Jean Pierre Bemba na mwenzake Moise Katumbi wakikosa nafasi ya kugombea kutokana na sababu mbalimbali. Je unataka kujua nguvu ya upinzani inasimama katika nafasi gani? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala haya ya Wimbi la Siasa.
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Kualikana chakula kikazi: Frau Berger, Andreas na Ex... Muhtasari wa sarufi: Majina katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Friji la Andreas ni tupu tena... Muhtasari wa sarufi: Majina bila ya vidhihirishi
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Andreas anajiandaa kwenda kuuza vitu vyake kwenye soko la vitu vikukuu (flea market)... Muhtasari wa sarufi: Majina: muundo wa wingi (plural)