Podcasts about marafiki

  • 15PODCASTS
  • 20EPISODES
  • 19mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Mar 25, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Related Topics:

tanzania

Best podcasts about marafiki

Latest podcast episodes about marafiki

Radio Maria Tanzania
Kwanini Lugha chafu ni shinikizo la Marafiki katika Uraibu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 25, 2024 53:31


Karibu Ungane nami John Albert Samky, Katika kipindi cha Uraibu na Padri Richard Matanda Tesha,  Kutoka Jimbo Katoliki Moshi leo tunajifunza Lugha chafu na shinikizo la Marafiki katika kufanya Uraibu. L'articolo Kwanini Lugha chafu ni shinikizo la Marafiki katika Uraibu? proviene da Radio Maria.

Nyumba ya Sanaa
Tamasha la Marafiki Music Festival linalofanyika jijini Dar es Salaam

Nyumba ya Sanaa

Play Episode Listen Later Oct 7, 2023 20:05


Tamasha hilo limeanza nchini Tanzania mwishoni mwa juma hili likiwakutanisha wasani mbalimbali wa muziki.

SBS Swahili - SBS Swahili
Umuhimu wakuwa na marafiki kutoka tamaduni mbali mbali

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 6, 2023 11:34


Kupata marafiki ni moja ya changamoto kubwa huwa tunakabili katika nchi mpya.

mbali umuhimu marafiki
Radio Maria Tanzania
Je wafahamu nafasi ya Marafiki katika Uchumba?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jun 30, 2023 58:37


Ungana na Mtangazaji Brigitha Msasalaga katika kipindi cha Pro- Life Mada iliyopo ni juu nafasi ya Marafiki katika Uchumba , Wawezeshaji ni Godfrey Mkaikuta, Antony Lihepa, Witiness Yoakimu kutoka cha Pro-Life hapa Tanzania.

DigiMarCon Podcast
You Got 1 Month Left to Migrate from Google Universal Analytics to Google Analytics 4 - Krzysztof Wronski, Marafiki

DigiMarCon Podcast

Play Episode Listen Later Aug 21, 2022 21:17


On July 1, 2023, Google turns off the GUA and will not collect data in your (old) Google Analytics. If you or your team are doing year-to-year comparisons, that means you need to run your GA4 setup before July 1, 2022.Check out upcoming DigiMarCon Digital Marketing, Media and Advertising Conferences & Exhibitions Worldwide at https://digimarcon.com/events/

Habari za UN
13 JANUARI 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 13, 2022 12:31


Miongoni mwa tuliyonayo hii leo katika habari za Umoja wa Mataifa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa, WHO linasema kuwa japokuwa habari mbayá ni kuwa Omicron ambao ni mnyumbuliko wa virusi vya corona ulichochea wimbi la nne la Covid-19 barani Afrika lakini unapungua haraka kuliko mawimbi yaliyotangulia kama lile la mnyumbuliko aina ya Delta. Hata hivyo idadi ya waliopata chanjo dhidi ya Covid-19 barani humo baado ni ndogo mno.   Taasisi ijulikanayo kwa jina na Marafiki wa akina mama au Friends of Mothers iliyoko Mbale nchini Uganda imefanikiwa kuinua maisha ya zaidi ya familia 200 kutoka vijiji 7 baada ya kuwapatia ajira kwenye sekta ya kilimo. Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Mali, MINUSMA baada ya kuona athari za mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, moja ya mbinu za kuleta suluhu kupitia kukuza kipato miongoni mwa wakulima wa eneo la Timbuktu, wameibuka na mradi wa kuboresha bustani yao ya soko la mboga na sasa nuru ya kujipatia kipato imeonekana.  

Habari za UN
Friends of Mothers yadhamiria kuwainua wanawake nchini Uganda

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 13, 2022 2:04


Taasisi ijulikanayo kwa jina na Marafiki wa akina mama au Friends of Mothers iliyoko Mbale nchini Uganda imefanikiwa kuinua maisha ya zaidi ya familia 200 kutoka vijiji 7 baada ya kuwapatia ajira kwenye sekta ya kilimo. Taarifa iliyoandikwa hapa studio inasomwa kwako na Evarist Mapesa wa Radio washirika SAUT FM iliyoko Mwanza Tanzania. Muasisi wa asasi hiyo ni Massa Charles Frank ambaye anasema angali akiwa kijana mdogo alikuwa na ndoto ya kuwainua wanawake na ndio iliyompa hari ya kuianzisha. Akiwa ni mzaliwa wa eneo lenye mandhari nzuri ya milima na ukijani uliopambwa na zao la kahawa taasisi yake imejielekeza katika biashara ya zao  hilo.  “Anasema , kuwainua wanawake ndio msingi mkuu wa biashara yetu, na tunafanya hivi sababu kuna umbwe la kijinsia, hakuna usawa wa kijinsia kati ya wanawake na wanaume katika biashara.”  Jumla ya wanawake 200 kutoka katika vijiji 7wanafanya kazi na taasisi hii lakini si wao pekee bali wao na waume zao.“Wanawake wengi hawana mashamba lakini ni wakulima wetu na hii ni sababu wanandoa wamekubali kuwa mwanamke ndio awe mstari wa mbele. Wana umakini zaidi kwenye vitu vidogo, kitu ambacho wanaume hawana na hii inathibitika kwenye ubora wa kahawa tunayo izalisha.” Mipango yao ya baadae ni kuwekeza katika kupata kiwanda cha kisasa zaidi. “ Tunataka kuendelea kuboresha biashara yetu kwa wateja wetu wa sasa lakini pia tunataka kuwavutia wateja wapya”. Frank baada ya kuhudhuria mafunzo ya miezi 6 ya uwekezaji chini ya  Programu ya MARKUP yaliyoandaliwa na Muungano wa Ulaya na Afrika Mashariki na kisha kupatiwa mtaalamu wa kumuongoza kwenye uwekezaji, taasisi yake ilifanikiwa kupata mkopo wa dola 104,000 na sasa wamepanua uwanda wa miashara yao na bidhaa zao zinasafirishwa kwenda Canada, Ulaya na Marekani. 

canada friends radio mothers uganda markup wana wanawake marekani afrika mashariki marafiki
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Marafiki wa kweli 2

rafiki kweli marafiki
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Marafiki wa kweli 2

rafiki kweli marafiki
Radio Uhai Broadcast
Mkeo Anapiga Simu Unakata,uko Unacheka Na Marafiki! (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Jan 23, 2021 24:00


swahili simu marafiki
ROAD TO SUCCESS
NAMNA YA KUPATA MARAFIKI SAHIHI 2021

ROAD TO SUCCESS

Play Episode Listen Later Dec 29, 2020 6:46


Jinsi ya kuchagua marafiki sahihi 2021. Tafuta watu wanaokuinua.

jinsi marafiki
Msasaonline
LINAH : "MIMI NA MORRISON SIO WAPENZI, NI MARAFIKI TU".

Msasaonline

Play Episode Listen Later Aug 15, 2020 1:39


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga (Linah) ameamua kuuvunja ukimya baada ya kusambaa taarifa za kuwepo na mahusiano ya kimapenzi kati yake na mchezaji wa Simba, Benard Morrison. Ule msemo wa "uongo ukiachwa ukasambaa kwa ukubwa zaidi, huwa unageuka ukweli" umejaribu kupingwa vikali na mrembo huyo na kusema kuwa, Yeye na Benard Morrison Ni washkaj tu na wala hakuna mapenzi yoyote yanayoendelea kati yao kama watu wanavyodhani. Linah akaongezea kwa kusema, "yeye ni shabiki yake na mimi ni shabiki yake, tulikutana kwenye mazingira fulani ambayo hata mimi sikutegemea kama ningekuwa hapo, kwani alivyoniona alisema ni mwanamuziki anaefatilia kazi zangu tangu muda mrefu sana, na hata alivyoniita nikaingia hiyo sehemu aliyekuwepo alikua anacheza game na washkaj zake,basi tukapiga picha. Mpenzi wa msasa online kama utakua unakumbuka Msanii Linah mara kadhaa ameshaingia kwenye taarifa za ku'date na watu maarufu, kwa mfano alishawahi kupiga picha za ukaribu na mchekeshaji Idriss Sultan ambapo baadae ikajulikana ilikua ni kutengeneza kiki ya ujio wa wimbo wake wa raha jipe mwenyewe. Benard Morrison hivi karibuni aliingia vichwa vya habari vya nchini Tanzania, baada ya kushinda shauri lake dhidi ya klabu ya Yanga aliyokua anaichezea hapo awali.

TIMIZA MALENGO YAKO
Njia Rahisi Ya Kutengeneza Marafiki Watakaokusaidia Kufanikiwa

TIMIZA MALENGO YAKO

Play Episode Listen Later Jun 22, 2020 4:59


 Follow me onInstagram@joelnanauka_Youtube: Joel NanaukaFacebook@jnanaukaTwitter@jnanauka

njia marafiki
TIMIZA MALENGO YAKO
Aina Tano (5) Za Marafiki Unaohitaji

TIMIZA MALENGO YAKO

Play Episode Listen Later May 29, 2020 6:50


Follow me onInstagram@joelnanauka_Youtube: Joel NanaukaFacebook@jnanaukaTwitter@jnanauka

aina tano marafiki
Akili za jioni
Ukweli unaokuweka huru

Akili za jioni

Play Episode Listen Later Jun 8, 2018 4:54


Ukitaka wapunguza Marafiki zako na kujua yupi anafaa Maishani kuwa Mkweli

marafiki
Siha Njema
Siha Njema - Fahamu ya Pili:Fahmahu Ugonjwa wa Hatari wa Saratani kwa Watoto

Siha Njema

Play Episode Listen Later Sep 22, 2016 11:04


Ugonjwa wa Kansa au kwa jina jingine, Saratani,umetajwa kusababishia mwili madhara pale inapoharibu seli na kuzifanya zigawanyike bila kudhibitika na kuwa uvimbe wa tishu unaojulikana kama tumo Katika Sehemu ya pili na ya mwisho ya Makala yetu ya Siha Njema tunangazia juu ya Tiba ya Saratani na Naama Asasi isiyo ya kiserikali ya Marafiki wa Watoto wenye Saratanina mengine yanavyopambana na Ugonjwa huo hatari

pili tiba hatari makala kansa watoto njema fahamu ugonjwa siha marafiki
Noa Bongo – Uchumi na Mazingira
Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 04

Noa Bongo – Uchumi na Mazingira

Play Episode Listen Later Mar 16, 2011 11:56


Marafiki zetu wanakwenda kwenye wingu kubwa la moshi yaani mjini kukutana na mwanasayansi wa mazingira. Kwa bahati mbaya wanaounga mkono ujenzi wa kiwanda cha umeme wameanza kuzitatiza juhudi za jopo la vijana!

kwa kipindi hewa marafiki
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Marafiki wa zamani na ripota kijana mwanamke – wageni Hotel Europa... Muhtasari wa sarufi: Maswali yanayotumia woher na kihusishi aus

somo hotel europa maswali marafiki deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani