Podcasts about heshima

  • 35PODCASTS
  • 69EPISODES
  • 30mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Dec 3, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about heshima

Latest podcast episodes about heshima

SBS Swahili - SBS Swahili
Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 3, 2024 13:23


Maamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.

Habari za UN
Dkt. Tedros: Heshima kwa wahudumu wa afya wa Rwanda wanavyopambana na Marburg

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 23, 2024 1:22


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani amewapongeza wahudumu wa afya wa nchini Rwanda kwa kazi kubwa wanaoyoifanya kukabiliana na ugonjwa wa Marburg. Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza hisia zake hizo mwishoni mwa wiki alipofanya ziara katika vituo mbalimbali vya afya katika mji Mkuu wa nchi hiyo, Kigali."Ninawapongeza wahudumu wa afya waliojitolea ambao wamejiweka hatarini kuokoa wenzao, na ambao wameendelea kufanya kazi licha ya hatari. Na ninaenzi wale ambao tumewapoteza."Pia Dkt. Tedros akaeleza kuwa yeye na wenzake wamefurahishwa na namna ya utoaji huduma ambayo haijawahi kutumiwa katika mlipuko ya magonjwa ya namna hii barani Afrika akitolea mfano wagonjwa wawili aliowashuhudia wakiendelea vizuri kwamba waliokolewa kwa kuwekewa mipira iliyopeleka hewa ndani ya mwili.“Tunaamini hii ni mara ya kwanza kwa wagonjwa wenye virusi vya Marburg barani Afrika kuingiziwa na kutolewa mpira wa hewa. Wagonjwa hawa wangefariki dunia katika milipuko ya hapo awali. Hii inaonesha kazi ambayo Rwanda imefanya kwa miaka mingi kuimarisha mfumo wake wa afya, kukuza uwezo wa huduma muhimu na msaada wa kuokoa maisha ambao unaweza kutumiwa katika huduma za kawaida za hospitali na katika dharura.”

Jukwaa la Michezo
Mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei azikwa kwa heshima kamili za kijeshi

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Sep 14, 2024 23:53


Tuliyokuandalia hii leo ni mkusanyiko wa uchambuzi na matokeo ya mechi za kufuzu AFCON 2025, mechi za klabu bingwa Afrika kufuzu awamu ya makundi, washindi wa riadha za Diamond League, matokeo ya lLigi ya basketboli ya Afrika U18, droo ya AFCON U20 ukanda wa CECAFA, ligi za ukanda na ulaya pamoja na uchambuzi wa mechi za klabu bingwa Ulaya msimu mpya utakaoanza wiki ijayo

Radio Maria Tanzania
Je, heshima kwa Bikira Maria ina misingi gani kibiblia?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 29, 2024 28:06


Karibu uungane nami Elizabeth Masanja,  katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani Mwezeshaji ni Frateri Jackob Mkandawile kutoka Parokia ya Bikira Maria mpalizwa Mbinguni Jimbo Katoliki Iringa, akijibu swali la Msikilizaji linalosema Je, heshima kwa Bikira Maria ina misingi gani kibiblia?”   L'articolo Je, heshima kwa Bikira Maria ina misingi gani kibiblia? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, waufahamu waraka wa kitume wa Baba Mtakatifu Yohane Paulo II, heshima kwa wanawake?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 17, 2024 56:14


Karibu katika Kipindi cha Mtaguso Mkuu wa II wa Vatican, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha wa Jimbo Katoliki Moshi, mada anayotufundisha siku ya leo ni Waraka wa Kitume wa Baba Mtakatifu Yohane Paulo II  heshima kwa wanawake.   L'articolo Je, waufahamu waraka wa kitume wa Baba Mtakatifu Yohane Paulo II, heshima kwa wanawake? proviene da Radio Maria.

SBS Swahili - SBS Swahili
Viongozi wadini, Waziri Mkuu waomba uwepo wa heshima na maelewano katika jamii

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 26, 2024 10:32


Viongozi kutoka jumuiya za wayahudi, waislamu na wakristo mjini Sydney wame kemea kwa pamoja vurugu na maneno yakugawanya ambayo yame ibuka kufuatia matukio mawili ya shambulizi ya visu mjini Sydney.

Jioni - Voice of America
400 wakamatwa Russia, kwa kutoa heshima kwa kiongozi wa upinzani Russia - Februari 18, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 18, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Radio Maria Tanzania
Je, unaifahamu hadhi na heshima ya wazee?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 13, 2023 54:20


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Fahamu Wito wako ambako Mwezeshaji wetu Padre Innocent Bahati Mushi yuko pamoja akituongoza katika kipindi chetu ambapo leo tunatazama mada ya Hadhi na heshima ya wazee. L'articolo Je, unaifahamu hadhi na heshima ya wazee? proviene da Radio Maria.

Kween Ebony with da ebbleeflow
on it octoBEr!heshima..inaheshimiwa

Kween Ebony with da ebbleeflow

Play Episode Listen Later Oct 22, 2023 9:59


RESPECTFULL IZ RESPECTED --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ebony-lee-lombardi/support

Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS SAMIA BAADA YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA (HONORIS CAUSA)

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 10, 2023 30:25


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. 

Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS SAMIA BAADA YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA (HONORIS CAUSA)

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 10, 2023 30:25


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. 

Siha Njema
Kuipa hedhi heshima kama haki ya msingi miongoni mwa wanawake

Siha Njema

Play Episode Listen Later May 25, 2023 9:28


Umaskini  umechangia wasichana wengi kukosa Sodo  na kushindwa kwenda shule Ukosefu wa sodo ndio umeonekana kuchangia wasichana wengi nchini Kenya kutoudhuria shule hasa maeneo ya mashinani.Utamaduni pamoja na ufukara ndivyo vimeonekana kuchangia halii hii kwa asilimia kubwa.Utafiti uliofanywa na shirika la Borgen, asilimia 65 ya wasichana na wanawake nchini kenya hukumbwa na ukosefu wa sodo hivyo kuathiri masomo na shughuli zao za kila siku.Lakini hata hivyo katika kaunti ya kwale ,idadi ya wasichana imeanza kuongezeka shuleni baada ya jamii pamoja na mashirika mbalimbali kuanzisha mpango wa ugavi wa sodo kwa wasichana.

SBS Swahili - SBS Swahili
Maelfu watoa heshima zao kwa walio hudumu katika jeshi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 26, 2023 9:55


Maelfu ya watu wame jumuika kote nchini Australia na ng'ambo kuadhimisha ANZAC Day.

SBS Swahili - SBS Swahili
Allan "napewa heshima sana Bathurst baada ya ushindi wa wakenya"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 21, 2023 7:42


Mji wa Bathurst, NSW kwa mara ya kwanza katika historia ulikuwa mwenyeji wa mbio za nyika za dunia.

Salama Na
SE7EP33 - SALAMA NA MR BLUE | KHERI

Salama Na

Play Episode Listen Later Jan 26, 2023 56:32


Kheri Sameer aka Mr Blue aka Lil Sama aka Bayser ni mdogo wangu, mdogo wangu kabisa na uzuri nakumbuka kabisa mara ya kwanza kuonana nae na mpaka alivyokua amevaa. Jezi ya Denver Nuggets, jeans ya light blue na sneakers nyeupeeehh na chain ya Silver, kwenye maskio alikua na hereni za kung'ara zile ambazo zilikua si za kitoboa skio, zilikua zina smaku na nazijua zaidi kwasababu Marehemu cousin brother wangu alikua nazo maana nyumbani ilikua hairuhusiwi kutoboa maskio enzi hizo. Alikua msafi, ana swagg ya kuongea na hata jinsi alivyokua anajibeba. Alikua wa moto sana unaweza kusema hivyo, au niseme hivyo. Kila ‘mtoto' na kijana alitamani kuwa kama yeye kwa kila kitu, muonekano mpaka hit songs kwenye radio na TV. Blue alikua na mtu ambaye anamsimamia na huyo hakua mwengine bali G Lover, meneja na Dj ambaye alikua anasimamia kazi zake yeye pamoja na wasanii wengine kama Ally Kiba, Ally Com na Abby Skills kwa kuwataja kwa uchache na wasanii wake hao wote walikua wa moooto sana. Ngoma kali, video mbaya, show nyingi na kwa ‘mhindi' wanauza sana. Na kuanzia hapo kwa mhindi na kuuza sana ndo ambapo kuliweza kuwapoteza wengi kwasababu wengi walikua wadogo sana na pesa ilikua nyingi. Fitna na utovu wa nidhamu wa kupindukia ulianzia hapo. Wakati naandika hii nilimuwaza Ally Kiba na jinsi ambavyo ameweza ku maintain class flani toka siku ya kwanza tunamskia na mpaka leo regardless ya mengi ambayo yametokea hapo katikati, HAKUWAHI KUPOTEA. Kwa hilo naamini anastahili HESHIMA na recognition ya hali ya juu pengine kuliko tunayompa maana dah, mambo yalikua mengi sana enzi hizo. Kuna usemi kwamba wakati ni mwalimu mzuri sana na kwa uelewa wangu hakuna ambaye anaweza kuelezea experience kama ilivyo elezewa kwenye usemi huo. Wakati ndo ambao unatufunza na kutuonyesha vitu na watu wengi, ambao tulikua tukiwaamini na wengine kuto kuwaamini, kuwapenda na wengine kuto wapenda, kudhani unajua na ki ukweli hujui, kudhania umezama kwenye dimbwi na mapenzi na huyo alo nae ndo wako wa milele na kumbe si hivyo na hayo yote unayaelewa within kipindi fulani, miaka inavyokwenda ndo na wewe unaelewa na kujifunza mambo kwa uwezo na uelewa wako. Moment za ‘anha' na ‘wow' huwa nyingi sana. Wakati ni MWALIMU na majuto huwa ni mjukuu, nadhani utakua umenielewa. Mr Blue alikua na dunia kwenye miguu yake, ilikua yeye tu aseme anatakaje na anataka ielekee wapi na hivyo ndo ingekua ila haikua hivyo ndo jambo la kusikitisha lakini bahati kubwa ambayo mwenzetu alikua nayo au yuko nayo ni kwamba hayo yote yalitokea mapema sana, wakati yuko mdogo sana kwenye dunia ambayo wengi walikua wakimuangalia na kumpenda sana. Yeye baada ya kuona mapenzi na shangwe hilo basi akadata na akaanza kuwa mgumu kufanya nae kazi, akawa na marafiki tele ambao hakua anawajua kabla hajawa Lil Sama na baadae Mr Blue. Akawa hasikii la muadhini wala mnadi sala. Akajiingiza kwenye uvutaji wa bangi isokua na staha, akaondoka nyumbani na kwenda kuishi kwenye ma ghetto na wana wasokua na ramani. Akawa ana party Jumatatu mpaka Jumatatu. Studio haonekani, kwenye interview hatokei na wale watangazaji ambao walikua wanapiga mgoma zake kwenye Radio akawa hata salaam hawapi. Producer na meneja nao wakagombana nae kwasababu sitofahamu ya pesa kwa mhindi ilishika hatamu. Mwanzo nilisema Blue ana Kheri sana kama jina lake kwasababu hayo yote yalitokea wakati mdogo sana, dunia ilimfunza nae akafundishika, wakati dunia hiyo ikiwa inamfunza alikua mwanafunzi mzuri sana kwasababu darasa alilolipata wakati kakata ringi ndo ambalo limefanya awe BORA na ajitambue LEO HII. Kwenye meza yetu ya kigae na kiti chakavu Blue ananielezea hustle zote ambazo alishawahi kuzipitia wakati anakua na huku akiwa anajitafuta na kwa uelewa wangu itasaidia wengi ambao wanaaza au wataanza kuzishika pesa mapema au hata ambao watapata mafanikio huko mbeleni watajua jinsi ya ‘kujibeba' kutokana na maongezi yetu haya. Maongezi haya yalikua yafanyike mapema tu lakini u busy wa Lil Sama na kupishana kwa ratiba zetu ndo kulifanya yatokee --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Habari RFI-Ki
Wananchi wa Brazil wampa heshima za mwisho nguli wa soka na nyota wa zamani wa nchi hiyo, Pele

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 4, 2023 10:00


Habari RFI-Ki
Wananchi wa Brazil wampa heshima za mwisho nguli wa soka na nyota wa zamani wa nchi hiyo, Pele

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 4, 2023 10:00


Salama Na
SE7EP20 - SALAMA NA CAROL NDOSI | ANAMEREMETA

Salama Na

Play Episode Listen Later Oct 27, 2022 65:00


Ushawahi kuwa na mtu ambaye mnafahamiana vizuri miaka nenda na miaka rudi na hata pengine kwa u busy wa maisha zikapita siku hamjaongea lakini unajua yuko sawa yeye na Familia yake na mambo yanaenda vizuri, na kama isingekua hivyo basi ungekua ushajua? Ambaye unajua kukiwa na situation flani basi yeye anatafanya jambo flani na kuzima au kuwasha moto, na kama kuna neno umeambiwa kasema unajua kabisa ni kweli au si kweli? Au kama una suala unataka kulifahamu vizuri linalohusu mambo fulani na jibu ambalo atakupa yeye ni la 100 na hatapindisha hata kidogo? Basi huyo ni Carol Moses Ndosi kwa Salama Jabir yangu. Lini tulikutana? Yoh

Prison Focus Radio
October 27, 2022

Prison Focus Radio

Play Episode Listen Later Oct 27, 2022 60:00


Heshima shares some personal background as a teenager and how it influenced the Indictment; we hear from Kinetic Justice, imprisoned activist and abolitionist on legal slavery and the Alabama prison strikes-courtesy of Abolition Today with Max Parthas and Yusuf Hassan. Abolitiontoday.org

Prison Focus Radio
October 13, 2022

Prison Focus Radio

Play Episode Listen Later Oct 26, 2022 59:55


We continue speaking with Heshima on the Indictment; and continue to give flowers to Dr. Mutulu Shakur, Dope is Death E4 (last episode).

Prison Focus Radio
September 8, 2022

Prison Focus Radio

Play Episode Listen Later Sep 22, 2022 59:56


Heshima continues to speak on the Indictment of the State and community.

Prison Focus Radio
September 22, 2022

Prison Focus Radio

Play Episode Listen Later Sep 22, 2022 60:00


Unable to obtain speak with Heshima this week, we read Count 2 of the Indictment, and share the rest of the hour giving flowers to Dr. Mutulu Shakur, 72 years old, 36 years caged, and denied compassionate release AGAIN with only weeks to live. Free all Political Prisoners!

Jioni - Voice of America
Rais Joe Biden heshima za mwisho katika jeneza la Malkia Elizabeth. - Septemba 18, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 18, 2022 29:59


Rais wa Marekani Joe Biden na mkewe watoa heshima za mwisho katika jeneza la malkia Elizabeth wa II mjini London.

Meza Huru
Mezani na BONILUV #TheGodfather Part II

Meza Huru

Play Episode Listen Later Sep 16, 2022 79:32


Sehemu ya pili na Kaka Boniphace Kilosa a.k.a #Boniluv. Kati ya wale magwiji wawili wanaotajwa sana, huyu ni Kaka yao na hatajwi sana pengine kwa makusudi ama bahati mbaya na hilo halijatuzuia kufanya naye mazungumzo na kumpatia maua yake. Boniluv ni Baba, Kaka, Rafiki na mwanafamilia. Ni mtu wa Muziki haswa. Ni mtu wa old school jams, akianza story za 80's hatumshiki!! Amefanya kazi na Ma-Pioneer wote wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwepo kabla ya Bongo Fleva hivyo anastahili HESHIMA ya kuwa #TheGodFather wa muziki wa Bongofleva Ametupa heshima kubwa Sana na historia ya safari yake ya muziki na maisha tangu miaka hiyo mpaka leo. Jumuika nasi mezani, tusikilize PART II ya Poppaluv

Salama Na
SE7EP14 - SALAMA NA COACH EVARIST | FIRST QUARTER

Salama Na

Play Episode Listen Later Sep 15, 2022 79:50


Evarist Mapunda ni moja wa makocha wangu wa maisha haya ninayoishi sasa hivi, ananifahamu toka nikiwa na miaka 17 mpaka sasa hivi ingawa hapa katikati baada ya ‘kuwa mkubwa' nilipoteana nae kwenye mahangaiko ya kujitafuta na kutafuta maisha. Ila Mimi na yeye tunajua kila mmoja wetu ni mtu wa aina gani na anamaanisha NINI kwa mwengine. Ukiwauliza watoto na wakubwa wengi wa Upanga watakuambia nini yeye pia anamaanisha kwenye maisha yao, lazima atakua na simulizi kuhusu mwalimu huyu hodari wa basketball na maisha, kama hadithi hiyo itakua haimhusu yeye directly badi itakua inamhusu Ndugu yake au mtoto wake au hata rafiki yake, na kama itakua hana hao wote basi hata ya kusikia atakua nayo. Coach Evarist ni mmoja ya watu ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa mno vijana wa miaka ya 2000 kuwa na HESHIMA ya maisha, Heshima ya kazi na miili yao, kama umepita kwenye mikono yake basi utakua unajua hilo. Na kama ule usemi wa Kiswahili unaosema ‘majuto ni mjukuu' basi ndo faida za yale alotufundisha sisi tunayaona. Tunayaona baada ya kukua maana wakati anatufundisha heshima ya muda na drills ngumu za basketball tulikua tunaona anatuonea sana sana. Binafsi nilikua naona hivyo, nilikua naona kama hanipendi maana kila mara yuko kwenye shingo yangu kuniambia lipi sijafanya vizuri. Sasa hivi nikikaa na kujiuliza kipi hasa kilinifanya nihame Pazi na kwenda kucheza basketball yangu Don Bosco ukiachana na kwamba rafiki zangu wengi walikua kule sasa ndo jibu linakuja kwamba Coach Evarist naye alichangia kwa kiasi kikubwa mimi kuamua hilo. Alikua kijana, mwenye kuujua mchezo na Don Bosco Queens ilikua ni moja ya team BORA zaidi za wasichana kuwahi kutokea miaka hiyo. Wengi wao nilikua aidha nimesoma nao Makongo au nimeenda nao Umiseta mara kadhaa kwahiyo maamuzi yangu hayakua ya kuwaza sana ingawa Pazi ndo ilikua nyumbani kwetu na itaendelea kuwa hivyo. Coach Evarist pia ashawahi kukutana na mitihani kadhaa mikubwa katika maisha yake, ingawa wa yeye kupata ajali mbaya ya gari mwanzoni mwa miaka ya 2000 itaendelea kusimama kuwa mtihani mkubwa zaidi ambao amewahi kukabiliana nao, ukiachana na fainali tele ambazo yeye kama mchezaji au kocha ambazo zilikua dhidi ya timu ngumu na akawahi kushinda, huu ulikua wa aina tofauti sana. Alikua peke yake usiku wa manane wakati anaenda zake nyumbani baada ya kumaliza majukumu yake aliyojiongezea ya basketball ndo mtihani huo ulipomkuta, Coach Evarist anakumbuka idadi ya watu ambao walimzunguka na kumpiga vibaya baada ya ajali hiyo. Mungu pekee ndo anajua alimuokoa okoa vipi katika lile na kwenye operesheni zake zaidi ya kumi na tano ambazo amezifanya mpaka sasa hivi zinamfanya aishi na kwanini haya yote yametokea. Coach Evarist ni muaminifu na mwingi wa imani, mpaka leo hii anaendelea kuishi maisha yake kama hakuna ambalo limemtokea na kubadilisha maisha na muonekano wake kwa maisha yake yote. Yule ambaye anakua na moyo kama ambao Coach Evarist anao pekee ndiye anayeweza kuishi kama ambavyo yeye anaishi. Ndo maana yeye ni wa kipekee sana. Yangu matumaini maongezi yetu juu ya heshima na mustakabali wa mpira wetu wa kikapu na heshima juu ya mambo kadhaa yatakuvutia na kukufunza kitu. Yangu matumaini pia uta enjoy. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Meza Huru
Mezani na BONILUV #TheGodfather Part I

Meza Huru

Play Episode Listen Later Sep 9, 2022 77:09


Boniphace Kilosa a.k.a #Boniluv Kati ya wale magwiji wawili wanaotajwa sana, huyu ni Kaka yao na hatajwi sana pengine kwa makusudi ama bahati mbaya na hilo halijatuzuia kufanya naye mazungumzo na kumpatia maua yake. Boniluv ni Baba, Kaka, Rafiki na mwanafamilia. Ni mtu wa Muziki haswa. Ni mtu wa old school jams, akianza story za 80's hatumshiki!! Amefanya kazi na Ma-Pioneer wote wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwepo kabla ya Bongo Fleva hivyo anastahili HESHIMA ya kuwa #TheGodFather wa muziki wa Bongofleva Ametupa heshima kubwa Sana na historia ya safari yake ya muziki na maisha tangu miaka hiyo mpaka leo. Jumuika nasi mezani, tumsikilize Poppaluv

Salama Na
SE7EP13 - SALAMA NA MARDHIYA | HIARI…

Salama Na

Play Episode Listen Later Sep 8, 2022 50:57


Salum Mardhiya ni mmoja ya watu maarufu sana kwenye visiwa vya marashi ya karafuu yaani kule kwetu Zanzibar. Ni mmoja ya waalimu hodari anayeongoza kwa kutoa Da'wa kwa watu ambao wanasumbuliwa na matatizo mbali mbali. Kwenye nyumba karibu zote wanamfahamu maana huonekana mara kwa mara kwenye maeneo mbali mbali ili kusaidia wale ambao wanahitaji kisomo chake. Binafsi nilifahamiana nae kupitia rafiki ambae alinitambulisha kwake mapema mwaka huu, tena haikua imepangwa wala, alikuja sehemu ambayo mie nilikuwepo kuja kupata chai na mimi bahati nzuri nilikua maeneo hayo so mtu akatutambulisha, na akaambiwa kama Mama yangu ni mgonjwa yuko hospitali na yeye akasema basi atakuja baadae kwaajili ya kumuombea dua, na jioni akatokea. Oh kama angependa kujua hali ya Mama yangu Alhamdulillah yuko vizuri. Tunamshkuru Mungu. Kwa mujibu wa story za hapa na pale niliambiwa nilikua na bahati sana kumpata maana ratiba yake ya kutoa Da'wa ni tight sana na watu ni wengi wanaohitaji huduma zake ila muda anakua hautoshi wa kumtilia Dua kila mtu ingawa angependa kufanya hivyo, kwahiyo ilikua kama bahati sisi kukutana na kuanzia hapo tukaanza kuwa tunaonana kwa kiasi. Nikaona si vibaya kama nitamleta kwenye meza yetu ili na sisi tuweze kumfahamu zaidi. Wakati namuambia kuhusu mualiko wa kuja kwenye kiti chetu chakavu hakua na hiyana, aliangalia ratiba yake na akaniambia hiyo tarehe atakuwepo nchini. Sheikh Mardhiya yeye huwa anasafiri sana, Da'wa zake huzitoa sehemu tofauti tofauti duniani, mara nyingi anakua zake Arabuni, mitaa ya Oman na Dubai na Abu Dhabi huwepo sana, kashatibu watu wa aina tele kwenye maisha yake. Kuanzia marajiri mpaka maskini, ambao walikua na imani na anachofanya na ambao hawakua na imani nae. Simu yake huita mara kwa mara na hiyo ni moja ya sababu za yeye kuwa na namba zaidi ya moja na kuwa na wasaidizi kadhaa. So huku kwenye kutoa Da'wa alifikaje? Hii ilikua ndo mwanzo wa maongezi yetu haya. Akiwa kama kijana ambaye angeweza pengine kufanya kazi ya aina yoyote na kujipatia rizki yake, kwanini alichagua hii? Kaniambia tokea akiwa na umri wa miaka sita, alianza kupata upeo huo, bila hata yeye mwenyewe kujua ni nini hasa kilikua kinaendelea katika maisha yake, anakumbuka pia jinsi alivyokua anazimia na kupata uwezo wa kuwasomea walokua wanahitaji kisomo chake na wanakua poa kabisa, anasema hata hakumbuki alikua anawasomea nini baadhi yao ila sasa baada ya kuwa mtu mzima na kupata kuijua vizuri Quran Tukufu ndo anang'amua nini alikua anawasomea watu ule. Mwanzo nilisema Mardhiya ni kijana kwahiyo kwa kiasi kikubwa ana style ya maisha ambayo vijana wengi wangependa kuwa nayo ila uwezo nayo hawana. Kama kuwa na maisha ya kifahari, magari mazuri na mke zaidi ya mmoja, pesa nyingi na nyumba nzuri zaidi ya moja na kusafiri mara kwa mara. Hii kwa ki aina flani imekua ikileta maneno na maswali kuhusu uhalali wa ambacho anafanya au ambacho amekua akifanya. Je maneno hayo yanamzui yeye kufanya ambacho anafanya kwa watu wenye uhitaji? Au kubadilisha aina ya maisha ambayo anaishi? Tumeongea kuhusu masuala ya Husda na wivu, usafi na mmoja kuamua kujipenda zaidi. Je kuna makosa kwenye baadhi ya matamanio ya nafsi zetu? Vipi kuhusu Sadaka? Inatakiwa itolewe ki namna gani? Ipi ni sawa na ipi si sawa? Ipi ni dhambi na ipi ni nzuri ili kuweza kuwafanya na wengine watamani kutoa? Vipi kuhusu Heshima kwa kila mmoja? Wazazi? Nafasi ya Wanawake? Kuhusu imani na uchawi kwa ambacho yeye anafanya? Mmoja anaweza kujuaje kama hii ni kufuru na hii ni sawa? Maswali yalikua mengi na majibu pia yalikua yanatoka kutokana na swali lilivyo ulizwa, yangu matumaini elimu ambayo Mimi nimeipata na kwako itakua vivyo hivyo. Tafadhali Enjoy, Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Salama Na
SE7EP12- #SalamaNaDrTulia| BULYAGA 1976

Salama Na

Play Episode Listen Later Sep 1, 2022 51:16


Tulia Ackson ni jina kubwa kati ya majina makubwa kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kwa sisi kuweza kulipata jina kubwa na kukubali kuja kuketi kwenye kiti chetu chakavu ilikua ni BARAKA sana. Ila ukiachana na kwamba ni jina kubwa ila yeye ni binadamu, tena wa kawaida tu. Ni Mama, ni mke, ni Dada, ni Binti kwa Mama yake na ni Mbunge kwa wana Mbeya mjini lakini pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wadhifa ambao baada ya uchaguzi wa 2020 alirudi bungeni kama Naibu Spika ila baada ya aliyekua Spika kujiuzulu Dr Tulia aliona fursa ya yeye kuvaa viatu hivyo na wabunge nao walimpa kura zao zote za kuridhia Mwana Dada huyu AWAONGOZE. Baada ya uchaguzi wa 2020 na yeye alirudi bungeni kama MBUNGE kamili, si tunakumbuka baada ya 2015 alienda bungeni kama Mbunge wa kuteuliwa ila mwaka 2020 aliamua kwenda kugombea jimbo la Mbeya mjini ambako Gwiji wa Bongo Flava Kaka yangu Joseph Mbilinyi aka Sugu alikua ndo Mbunge wake? Sugu alikaa kule kwa miaka 10 ilikua ni moja ya ngome za wapinzani ambazo walikua wanajivunia nazo, kwa Dr Tulia kuamua kwenda kugombea pale iliwafanya watu wengi watake kufuatilia mchuano huo mkali ambao mwisho wa siku Dr Tulia aliibuka kidedea. Na haya yalikua ni moja ya maswali ambayo nilikua na hamu ya kumuuliza na kwa urefu alinijibu tu vizuri sana. Sasa nchi yetu inaongozwa na Rais mwanamke kwa mara ya KWANZA toka tulipopata uhuru wetu mwaka 1961, na hii haikuja kwa kupangwa ila baada ya kutokea ambalo Mwenyezi alikua ameliandika, na hata hili la kuwa na Spika Mwanamke (ingawa huko nyuma Mama Anne Makinda alishawahi kuwa) nalo halikua limepangwa maana Spika tayari tulikua naye baada ya Uchaguzi wa 2020. So suala la kuwa na Rais mwanamke na Spika mwanamke bila ya shaka linalipa Taifa letu utofauti na HESHIMA flani hivi ambao mataifa mengi yanavutiwa nayo. So kwake yeye nini hasa kimebadilika? Yaani kutoka kuwa Naibu mpaka sasa Spika? Ilikua easy kwake kuichukua nafasi hiyo baada ya kuwepo na nafasi hiyo? Alifikiria mara mbili? Kwa maongezi yetu haya pia nimegundua Dr Tulia alikua hapendi kabisa siasa, yeye aliyapenda zaidi maisha yake ya kuwa Lecturer pale Chuo Kikuu, alipenda zaidi kuandika na kusoma na kujifunza. Alikua akiwaona wana Siasa kama watu flani ambao pengine wanajiona tofauti na watu wengine, pengine wanajiona wa MUHIMU sana. Je na yeye sasa? Akiwa nao kule bungeni wanaishi vipi? Sasa pia kama Kiongozi wa mhimili huo wa NCHI nini zaidi kimebadilika? Nini zaidi kigumu? Maongezi yetu yalianzia nyuma kiasi na mbele pia yakafika, pia humu tumeongelea Tulia Trust na vitu ambavyo inafanya ili kuwafikia wale ambao wana uhitaji. Na sasa amekua naye MWANASIASA, nini kimebadilika? Msemo wa Siasa ni mchezo mchafu, kwake yeye una maana gani? Yangu matumaini uta enjoy na kujifunza jambo kutoka kwa Kiongozi huyu ambaye pia ni Dada yetu. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Salama Na
SE7EP10 - SALAMA NA DR CHENI | SUKA

Salama Na

Play Episode Listen Later Aug 18, 2022 76:00


Growing up kwenye mitaa ya Dar es Salaam na TV stations kali wakati huo zilikua na presenters makini na vijana ambao kwa kiasi kikubwa waliifanya tasnia hiyo ipendeze sana. Kuanzia vipindi vya watoto, vya muziki, filamu kutoka nje na tamthilia kutoka nje pia zilikua tamu sana, ukianza kuangalia TV kuanzia jioni hakuna mtu alikua anabanduka mpaka saa nne au tano za usiku, na kama ulikua jobless kama mimi enzi hizo basi ulikua unaunganisha na kuangalia marudio ya vipindi vya muziki ambavyo tayari ulikua ushaviona jioni yake, ila kwasababu ya utamu wake na ku enjoy kile unaona kurudia ilikua easy tu. Sasa likaja wimbi la tamthilia za NDANI, kutoka hapa hapa nyumbani, na nikiwa kama mkazi na mtoto wa Magomeni (Mtaa wa Korongo namba 10 pale kama Downing Street)

Habari za UN
Guterres - Tusitishe mapigano kwa heshima na maadili ya Olimpiki

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 4, 2022 1:44


Mashindano ya michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi kali yakianza Ijumaa ya tarehe 4 mwezi huu wa Februari mwaka 2022 huko nchini China, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka kila mtu kuzingatia azimio la sitisho la mapigano wakati wa mashindano hayo. Wanamichezo wa kiwango cha juu wakiwa tayari huko jijini Beijing China na viunga vingine ya taifa hilo la bara la Asia kwa ajili ya mashindano hayo ya olimpiki ya majira ya baridi kali, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anakumbushia makubaliano yaliyopitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi Desemba mwaka jana ya kusitisha mapigano.  Katika ujumbe wake Guterres anasema wanamichezo wanashiriki mashindano hayo kwa misingi ya maelewano, kujituma na bila kuoneana.  “Misingi hii inatuvutia sote. Azimio la Olimpiki kuhusu sitisho la mapigano linatoa wito kwa pande zote kusitisha mapigano katika kipindi chote cha mashindano ya olimpiki.” Amesema Guterres.  Kwa mujibu wa azimio hilo, nchi zinatakiwa kusiweko na mapigano siku 7 kabla ya kuanza kwa michezo hiyo hadi siku saba baada ya kumalizika kwa mashindano ya olimpiki ya majira ya baridi kwa watu wenye ulemavu, ambayo yatafikia ukomo tarehe 13  mwezi ujao wa Machi.  Katibu Mkuu amesema mapigano yakisambaa na mivutano ikiongezeka, ombi la sitisho la mapigano linatoa fursa ya kuamliza tofauti na kusaka njia bora ya amani ya kudumu.  “Tunavyohaha kutokomeza janga la COVID-19, hebu na tuungane kwa mustakabali salama zaidi, wenye ustawi na endelevu kwa kila mtu. Natoa wito kwa kila mtu kuzingatia mkataba wa Olimpiki wa sitisho la mapigano wakati wa mashindano ya olimpiki sambamba na yale ya walemavu. Kupitia nguvu ya michezo, na maadili ya Olimpiki, hebu na tujenge utamaduni wa amani.” Ametamatisha Guterres.  Azimio hilo lililopatiwa jina Kujenga dunia yenye amani na bora zaidi kupitia michezo na maadili ya Olimpiki, lilipitishwa kwa kauli moja na lilikuwa limewasilishwa na mataifa 173.     

Unity Radio 254
Darubini na Kaka Benaya

Unity Radio 254

Play Episode Listen Later Jul 15, 2021 5:19


Heshima kwa wazazi --- Send in a voice message: https://anchor.fm/unityradio254/message

The Red Rover
The Red Rover #11: Misty Newsome from Heshima Ministries

The Red Rover

Play Episode Listen Later Jun 16, 2021 45:47


Heshima Ministries is an organization in Uganda that Misty Newsome birthed after living there for three months to pursue the adoption of her son in 2014. This Non-Profit Organization is near and dear to my heart. Since 2016, Heshima has served women and children in Uganda. They empower women with skill and resources as entrepreneurs. Heshima offers classes in sewing and cosmetology. Each graduate receives a cosmetology starter kit or sewing machine. Right now, Heshima needs Prayer Volunteers to cover each woman enrolled in Heshima's school. If you would like to be a Prayer Warrior for one of their students, click the link: https://forms.gle/yLiigkVFtSPzqqdD9 If you would like to learn more about Heshima Ministries, here is a link to their website: https://heshimaministries.com/ If you would like to start a Non-Profit Ministry but need advice on starting, Misty is your girl. Website: www.foundationcpa.com ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Did you hear my announcement about my new book, Awake My Soul: 3 Ways to Ignite Your Relationship with God? It is in stores on July 2021, but you can Pre-Order your copy today for the Pre Sale Discount that is good till Aug. 1st. Reserve your copy today https://hooks2crook.com/mhmerch/. For more ways to connect with Candice Reyes: https://hooks2crook.com FB@hooks2crookcom Instagram@hooks2crook Twitter@HooksC

SBS Swahili - SBS Swahili
Serikali ya toa jibu kwa ripoti muhimu kuhusu heshima kazini

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 12, 2021 8:20


Serikali ya shirikisho imetoa jibu kwa ripoti ya tume ya kamishna wa ubaguzi wa jinsia, kuhusu heshima kazini baada ya zaidi ya miaka mbili. Jibu hilo limepokewa kwa hisia mseto.

SIRI ZA BIBLIA
“2021, MFUATE YESU, SIO DUNIA”

SIRI ZA BIBLIA

Play Episode Listen Later Feb 10, 2021 5:56


WOKOVU ni hatua ya kwanza. Mkiri Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako. Kuwa mwaminifu kwa MUNGU. Acha dhambi sasa. Ishi maisha ya utakatifu. Msikie MUNGU na kuitii sauti yake. Amekuita kumtumikia, usikimbie itikia wito. Kuwa mtu wa toba wakati wote. Tenda wema bila kuchoka. Kila mara tafuta fursa ya kutenda wema kwa mwingine. Kuwa na HESHIMA na KUWATHAMINI WENGINE kwa kutambua ya kuwa kila mmoja ana thamani mbele za Mungu kulingana na neema tofauti ambazo kila mmoja amebarikiwa na zote zina thamani 1 Wakorintho 6: 9-10 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. UKO TAYARI KWA AJILI YA SIKU HII? HEBU FUNGA MACHO NA YATATHMINI MAISHA YAKO SASA. UTAVUKA? UCHAGUZI UNAFANYA SASA HIVI, SIO KESHO. Maana MWISHO wako unaweza kuwa NUSU SAA ijayo. UMEJIANDAAJE? Kama uko tayari kuacha njia zako mbaya na kutengeneza na MUNGU tutumie ujumbe kwenye whatsapp +255754440139. FANYA MAAMUZI SAHIHI.

SBS Swahili - SBS Swahili
Wanawake wapewa heshima katika tuzo zawa Australia wa mwaka

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jan 26, 2021 10:07


Washindi wote wa tuzo ya 2021 yamu Australia wa mwaka, ni wanawake kutoka tamaduni mbali mbali.

Salama Na
Ep. 36 - Salama Na JOH MAKINI | KIUNGO

Salama Na

Play Episode Listen Later Oct 1, 2020 51:38


Story ya kwanza siku zote itakua ni jinsi ambavyo mimi na Joh Makini tulipokutana mara ya kwanza, nakumbuka vizuuuri sana sana haswa, jinsi alivyokua mwembamba na asiyekua na maneno mengi, ila macho yake, macho yake yalikua kama Askari wa shabaha ambaye akilenga hawezi kukosa, na guess what? Wanasema katika vitu ambavyo havibadiliki kwa binadamu anapokua basi macho ni moja wapo. Macho yake ni yale yale ya sniper, ila kwa sasa ni ya sniper aliye relax ambaye shabaha zake na malengo yake yanaeleweka. Hahitaji kujitambulisha anapokua kwenye mawindo yake. Heshima zangu nyinyi zinaenda kwake, maana kuweza kukaa kwenye chati toka mwaka 2004/05 mpaka leo hii si jambo ambalo kila muwindaji anaweza kufanya. So anawezaje? Kipi haswa kinamsukuma mwenzetu huyu kuweza haswa kuendelea na kuwa relevant kiasi hiki? Mimi nimefahamiana naye zamani tu, hiyo miaka ya mwanzo ya 2000 na maendeleo yake na kazi yake kama nilivyosema inajielezea. So swali ni anawezaje au amewezaje? Jengine unalotakiwa kufahamu ni kwamba Mwamba si muongeaji sana. Yeye vitendo ndo zaidi. Na mashairi yake ya kibabe na style laini na nyeusi ndo inamfanya aendelee na yake. Kuweza kuweka kundi la Weusi pamoja na kuwa na discipline ya kazi nayo vipi? Kufanya kazi na mdogo wake ambae ni msomi na kama mwenye maneno mengi wakati mwengine inakuaje? Na yeye na Lord Eyes na GNako walitoana wapi? Sawa wote wametoka Arusha ila huu muungano ulikua wazo la nani? Je ki biashara inawalipa? Pia tuliongea kuhusu muziki wa sasa, wa ki leo na mbinu ambazo baadhi ya wasanii wanazitumia ili kufikisha ujumbe wao. Mambo yamekua kama mengi ivi, yeye mawazo yake kwenye hizo mbinu ni yepi? Ashawahi kuchanganyikiwa na baadhi ya vitu ambavyo anaviona mtandaoni? Na kama ana wivu? Kuhusu familia pia nlitaka kuchimbachimba kidogo lakini alikua ngumu maana Joh na familia yake huwa anakua mlinzi haswa. Ni mwaka huu ndo ilikua mara ya kwanza kuona anaweka picha za mwanawe King kwenye Instagram yake. Kwa sababu ambazo yeye anazijua ameamua kufanya hivyo, ya nyumbani ni nyumbani na ya sanaa yake ndo yanaenda mitandaoni. Hapo nilimheshimu sana kwa hilo. Hip Hop si muziki wa lele mama, ni aina ya muziki wa majigambo haswa na maneno tu peke yake hayakufanyi uwe bora mbele ya wana hip hop wenzako bali uwezo wa kuyatembea unayo yaongea na kukaa juu siku zote za maisha yako ndo heshima hapo inapopatokana, na naamini kwa Joh, hilo hatuna deni nae, au niseme binafsi, SIMDAI. Haya, kama ilivyo kawaida yetu yangu matumaini utapata mawili matatu hapa ya kujisogeza na maisha yako na mipango endelevu, na pengine jinsi ya kutokata tamaa katika maisha na kuamini ndani ya mipango yako na maendeleo yako ndugu yangu. Tafadhali enjoy pia. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

Salama Na
Ep. 32 - Salama Na Riyama | UTAKWENDA UTARUDI

Salama Na

Play Episode Listen Later Sep 3, 2020 75:02


Riyama Seleman Ally, malkia wa kazi aifanyayo na kila alitilialo msisitizo hulifanya kwa asilimia 100, hata kama akichelewa kama pengine alivyochelewa kupata heshima yake na malipo yake anayostahili, kama ambavyo anapata sasa au ambayo anapata maana safari bado ni ndefu. Na kwa mazungumzo haya nilofanya naye huo ndo muelekeo na ndo nia na madhumuni. Sote tunajua PENYE NIA PANA NJIA, so kazi ni kwetu. Mzaliwa wa Unguja Tanzania, kakua katika familia ya kidini na malezi bora ila kwa mujibu wa maongezi yetu haya yeye alipenda zaidi kuwa muimbaji, kitu ambacho Mwenyezi Mungu mtoa vipaji hakumjaalia kipaji hicho na uzuri ni kwamba aligundua mapema na akafanya ustaarabu wa kutafuta kitu chengine cha kusogeza maisha yake. Ule usemi wa Mungu anakupa unachostahili na sio unachotaka hapa umetulia mahala pake. Imagine kutoka kutaka kulazimisha kuwa Khadija Kopa (ndo muimbaji anayempenda zaidi) na kuwa mmoja wa wasanii wa filamu hodaaari kabisa hapa kwetu na kama SI NDIO MUIGIJAZI BORA WA KIKE WA FILAMU hapa Tanzania. Heshima zangu za dhati zinaenda kwake kwa kukubali kuja kuongea nami na kunielezea kinaga ubaga juu ya ukuaji wake, maamuzi fulani fulani ambayo ashawahi kufanya maishani mwake. Elimu yake, alisoma? Shule ipi? Alikua mwanafunzi wa aina gani? Kuhusu familia? Ana mtoto? Na pia tulizungumzia filamu na maisha yake kama kioo cha jamii. Majibu yalikua mazuri na marefu na kwa hilo namshkuru sana yeye kwa kuweza kuja na kuongea nami huku mume wake mpendwa akiwa anamgojea kwenye parking lot. Yangu matumaini uta enjoy maongezi haya kama nami nilivyo enjoy kuongea naye. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Heshima na kumtegemea Mungu kuna jenga familia bora

Msasaonline
IKIFIKA WAKATI WA KUACHANA SIO LAZIMA MGOMBANE.

Msasaonline

Play Episode Listen Later Jul 3, 2020 1:52


Kuna wakati inakulazimu uachane na mshirika wako (Business partner) ambae mlikua na Malengo ya kufika mbali sana kutokana na malengo mliyojiwekea. Kuna wakati inakubidi uachane na bosi wako ambaye ndie aliekusaidia kukufundisha kazi hapo mwanzo na mpaka ukawa imara. Kuna wakati ni lazima tu uachane na mtu uliekua unampenda sana, na ulidhani ungekuwa nae kwa kipindi chote cha maisha yako duniani. Vile vile kuna wakati katika maisha utatakiwa uachane na watu, ofisi, au chama cha siasa hata kama ulikua unawategemea. Sasa ukifika wakati huu kuna mambo ya KUZINGATIA. 1. Sio lazima UANZISHE UGOMVI na unaoachana nao. Unaweza kuachana nao kwa HESHIMA na UTULIVU bila migogoro ya aina yoyote. Kumbuka kuachana sio VITA, kwani mnaweza kuachana na maisha yakaendelea kama kawaida. Sio lazima uwageuze UADUI wale unaowaacha au wanaokuacha. Maisha yana Wakati au Majira na kila mtu anatakiwa kuwa sehemu fulani kutokana na wakati fulani. 2. Pokea MAUMIVU na YAKUBALI, kwani haitasaidia kutokukubali uhalisia. Kama mtu ameamua kuondoka hakuna namna. Haitasaidia kukataa uhalisia, badala yake jipange kwa yanayofuata. 3. USIJILAZIMISHE kuonesha UBAYA kwa unaeachana nae. Kumbuka mafanikio ya unapokwenda HAYAJABEBWA na watu kujua ubaya wa UNAEACHANA nae, bali YANABEBWA katika dhamira safi ya UNACHOKWENDA KUFANYA. Hakuna umuhimu wa kumpaka matope unaeachana nae. KUACHA au KUACHWA inaumiza sana lakini hakuna namna ni lazima maisha yaendelee.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jamii yawarundi wa Sydney, watoa heshima zao kwa marehemu Rais Nkurunziza

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 23, 2020 6:06


Warundi kote duniani wanaendelea kukabiliana na taarifa ya kifo cha ghafla, cha aliye kuwa rais wao Peter Nkurunziza.

ENKYFRANK
Wiz Khalifa Alivyojitengenezea Heshima Kwenye Muziki

ENKYFRANK

Play Episode Listen Later Feb 27, 2020 3:37


Utajiri wa Wiz Khalifa unatajwa kuwa dola milioni 45 sawa na shilingi bilioni 1.5. Jina la Wiz Khalifa lipo kwenye orodha ya wanamuziki 50 wa Hip Hop wenye mkwanja mrefu.

SBS Swahili - SBS Swahili
Patrick Muraguri: It's an honor to be chosen the local hero of the year - Patrick Muraguri: Ni heshima kubwa kuchaguliwa shujaa wa mwaka

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 28, 2019 7:30


The Kenyan community in Sydney recently met to celebrate the contribution of heroes who fought for their homeland's freedom. - Jamii yawa Kenya ilikutana kuadhimisha michango ya mashujaa, walio pigania uhuru wa nchi yao ya asili.

Compassion Radio Podcast
Dignity for All (Part 2)

Compassion Radio Podcast

Play Episode Listen Later Oct 2, 2019 25:53


Today we bring you the second half of a chat that Bram’s wife Sandi had with Tracey Hagman. Tracey and her husband Eric run a ministry in Nairobi called Heshima, that ministers to mothers of local disabled children there in East Africa. Really powerful stuff today.

Compassion Radio Podcast
Dignity for All (Part 1)

Compassion Radio Podcast

Play Episode Listen Later Oct 1, 2019 25:53


Today we bring you the first part of a chat that Bram’s wife Sandi had with Tracey Hagman. Tracey and her husband Eric run a ministry in Nairobi called Heshima, that ministers to mothers of local disabled children there in East Africa. Really powerful stuff today.

Compassion Radio Podcast
Dignity For All (Part 2)

Compassion Radio Podcast

Play Episode Listen Later Jun 14, 2019 25:53


Today we bring you the second half of a chat that Bram’s wife Sandi had with Tracey Hagman. Tracey and her husband Eric run a ministry in Nairobi called Heshima, that ministers to mothers of local disabled children, there in East Africa. Listen, enjoy, and then contact us to let us know how today’s broadcast has been a blessing to you…

Compassion Radio Podcast
Dignity For All (Part 1)

Compassion Radio Podcast

Play Episode Listen Later Jun 13, 2019 25:53


Today we bring you the first part of a chat that Bram’s wife Sandi had with Tracey Hagman. Tracey and her husband Eric run a ministry in Nairobi called Heshima, that ministers to mothers of local disabled children there in East Africa. Really powerful stuff today.

Compassion Radio Podcast
Dignity For All (Part 2)

Compassion Radio Podcast

Play Episode Listen Later Apr 24, 2019 25:53


This time we bring you the second half of a chat that Bram’s wife Sandi had with Tracey Hagman. Tracey and her husband Eric run a ministry in Nairobi called Heshima, that ministers to mothers of local disabled children there in East Africa. Thanks for joining us today!!!

Compassion Radio Podcast
Dignity For All (Part 1)

Compassion Radio Podcast

Play Episode Listen Later Apr 23, 2019 25:53


Today we bring you the first part of a chat that Bram’s wife Sandi had with Tracey Hagman. Tracey and her husband Eric run a ministry in Nairobi called Heshima, that ministers to mothers of local disabled children there in East Africa. Really powerful stuff today.

Heshima Ya Waislam Katika Quraan
Heshima Ya Waislam Katika Quraan 04

Heshima Ya Waislam Katika Quraan

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Heshima Ya Waislam Katika Quraan 04

Heshima Ya Waislam Katika Quraan
Heshima Ya Waislam Katika Quraan 01

Heshima Ya Waislam Katika Quraan

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Heshima Ya Waislam Katika Quraan 01

Heshima Ya Waislam Katika Quraan
Heshima Ya Waislam Katika Quraan 02

Heshima Ya Waislam Katika Quraan

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Heshima Ya Waislam Katika Quraan 02

Heshima Ya Waislam Katika Quraan
Heshima Ya Waislam Katika Quraan 03

Heshima Ya Waislam Katika Quraan

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Heshima Ya Waislam Katika Quraan 03

Talking Smooth Jazz
HESHIMA and AIRBORNE

Talking Smooth Jazz

Play Episode Listen Later Jul 11, 2010 118:00


Talking Smooth Jazz welcomes vocalist, multi instrumentalist, songwriter/composer, arranger, and producer HESHIMA and the musical peacemakers of contemporary jazz, AIRBORNE.

Kutu Bible (Dramatized)
Waebrania 13 - Hebrews 13

Kutu Bible (Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:35


Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Kishambala Biblia (non iliyotiwa)
Waebrania 13 - Hebrews 13

Kishambala Biblia (non iliyotiwa)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:00


Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Kishambala Biblia (iliyotiwa)
Waebrania 13 - Hebrews 13

Kishambala Biblia (iliyotiwa)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:00


Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Kinyiramba Bible
Waebrania 13 - Hebrews 13

Kinyiramba Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:16


Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Kinyaturu Biblia - Kinyaturu Bible
Waebrania 13 - Hebrews 13

Kinyaturu Biblia - Kinyaturu Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 5:17


Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Kikagulu Biblia - Kikagulu Bible
Waebrania 13 - Hebrews 13

Kikagulu Biblia - Kikagulu Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:11


Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Kiiraqw Biblia -  Kiiraqw Bible
Waebrania 13 - Hebrews 13

Kiiraqw Biblia - Kiiraqw Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 5:18


Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Datooga Biblia (Non-umetiwa chumvi) - Datooga Bible (Non-dramatized)

Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Waebrania 13 - Hebrews 13

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:35


Heshima viongozi wenu - Honor your leaders and stick to the true teaching.

Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ex anamwingiza Andreas matatani... Muhtasari wa sarufi: Kijineno doch

andreas somo hiyo heshima deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani