Podcasts about kujifunza kijerumani

  • 7PODCASTS
  • 174EPISODES
  • 14mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Mar 20, 2009LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kujifunza kijerumani

Latest podcast episodes about kujifunza kijerumani

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Kanisa linakuwa mahali pa kupata mwongozo. Mchungaji anamweleza Anna kuhusu sauti na kwamba sautii hiyo ni ufunguo wa mtambo wa wakati. Lakini anazungumzia kifaa gani? Mchezo unapoanzishwa tena, Anna na mwanamke mwenye mavazi mekundu wanagombana lakini mwanamke huyo anakimbia pindi mchungaji anapowasili. Anamwarifu Anna kwamba Inspekta Ogur amejeruhiwa na anajiuguza hospitalini. Mchungaji anaicheza tena sauti hiyo tena na kumwambia kwamba sauti za muziki D A C H F E G ndizo ufunguo wa mtambo huo. Ugunduzi huo unampa Anna na mchezaji dakika kumi za nyongeza. Lakini muda huo utatosha?

tendo lakini kanisa mission europe mission berlin d a c h f e g mchezo kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anamweleza Paul kuhusu msemo usioleweka, "In der Teilung liegt die Lösung. Folge der Musik!" Paul anatambua hatari iliyopo. Anamshauri Anna kumwendea Mchungaji Markus Kavalier. Je pendekezo lake ni sawa? Paul anatambua kuwa sauti iliyopo kwenye kikasha cha muziki haipigi mpaka mwisho wake. Kipande fulani kinakosekana. Anna anamwambia kuhusu ujumbe usioeleweka, "In der Teilun liegt die Lösung; folge der Musik!" Paul anampa "die Spieldose" na anamshauri kwenda kumwona Mchungaji Markus Kavalier katika kanisa la Gethsamane. Mchezaji anamwambia Anna kuwa mahali hapo palikuwa eneo la mikutano ya wapinzani wa utawala wa zamani wa Kikomunisti.

musik tendo teilung mission europe mission berlin spieldose kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anagundua kuwa mwanamke mwenye mavazi mekundu ndiye mkuu wa RATAVA. Dakika 45 zimebaki za kuinusuru Ujerumani na kidokezo alicho nacho Anna ni kasha lililofichwa. Je atalipata na kuweza kukamilisha jukumu lake? Heidrun Drei, Paul na Anna wanaelekea barabara ya Bernauer na njiani wanakutana na Robert, mume wake Heidrun Drei. Anawaarifu kuwa wanajeshi wametapakaa kila mahali: Zaidi ya hayo, wenye pikipiki nao wamejitokeza. Anna na wenzake wanajificha kwenye uwa wa mkahawa wa zamani. Mwanamke mwenye mavazi mekundu anajitokeza na Paul anamwambia Anna kuwa mwanamke huyo ndiye kiongozi wa RATAVA. Mchezaji anamwambia Anna kumfuata kiongozi huyo. Anna na Paul wanakwenda kwenye selo ambako wanamshuhudia mwanamke huyo akificha kasha. Wanachukua kasha lile na kulificha katika sehemu nyingine na kisha kukimbia. Mchezaji anasema atafikiria njia ya kulipata tena. Lakini kwa dakika 40 zilizobaki, atakuwa na muda wa kutosha?

historia tendo zaidi kasha dakika lakini mwanamke mission europe ratava mission berlin bernauer ujerumani heidrun drei kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Huku zimesalia dakika 50, mchezaji anasema wakati umefika wa kumwamini keshia. Taarifa ya redio inasema wanajeshi wa Ujerumani Mashariki wanajenga uzuio wa seng'enge. Je hilo ndilo tukio la kihistoria la RATAVA? Anna hajatambua kuwa keshia ni Heidrun Drei na mchezaji anamwambia amwamini keshia huyo anayetaka kumsaidia hata kama kaka yake ana shaka. Hata hivyo ndugu hao wawili wanakubaliana kumsaidia Anna kulikwepa genge la waendesha pikipiki. Wote watatu wanakwenda kuwachungulia wanajeshi wa Ujerumani Mashariki ambao wanaanza kujenga uzio wa seng'enge. Mchezaji anamwambia Anna kuwa huo ni ujenzi wa Ukuta wa Berlin. Zimebaki dakika 45 kuinusuru Ujerumani.

berlin tendo hata wote huku mission europe mission berlin ujerumani heidrun drei kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Mission Berlin 16 – Nimeuona mustakabali wako

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 20, 2009 5:00


Anna anaporudi nyuma hadi mwaka 1961, waendesha pikipiki wenye silaha bado wanamwandama. Mwanamke fulani asiyemjua anamwokoa. Kwa nini akafanya hivyo? Je Anna anaweza kumwamini? Genge la waendesha pikipiki linamwandama Anna. Anajificha kwenye duka la kuuza vyakula na wakati huo huo msimamizi wa duka anamwambia kwamba wakati wa kufunga duka umefika. Msaidizi wake anasema kuwa Anna ni rafiki yake. Keshia huyo anamchukua Anna hadi nyumbani kwake na anamwambia kwamba walisoma pamoja. Nyumbani kwake, keshia anamjulisha Anna kwa Paul Winkler, ambaye ni kaka yake.

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Katika Berlin iliyogawanyika, Anna anapaswa kutoka Mashariki kwenda Magharibi. Hilo silo tatizo la pekee. Ana muda wa dakika 55 kuchunguza lengo la RATAVA. Je ni ujenzi au kubomolewa ukuta? Mwaka 1961, Anna anajaribu kufika Kantstraße. Lakini Kantstraße iko Berlin Magharibi na yeye yuko Berlin Mashariki. Anna hawezi kwenda Magharibi kwa sababu serikali ya Ujerumani Mashariki imeanza kujenga ukuta. Baada ya kuanzishwa upya kwa mchezo, mchezaji na Anna wanagundua kuwa huenda malengo ni mawili: ujenzi au kubomolewa Ukuta wa Berlin. Wanabakiwa na dakika 55 kuchunguza kujua lengo la RATAVA.

berlin hilo tendo baada wakati mwaka mission europe ratava mashariki mission berlin kantstra magharibi kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anagundua mtambo wa wakati na anaambiwa kuwa genge la magaidi linataka kufuta tukio la kihistoria. Lakini tukio lipi? Mchezaji anamrejesha hadi mwaka 1961. Anasalia na dakika 60. Je amwamini mchungaji? Mchungaji anajua maana ya msemo "In der Teilung liegt die Lösung" na anaelewa hatari ya genge la RATAVA. Mchezaji anasema Anna anapaswa kurudi hadi mwaka 1961 ili kufumbua fumbo hilo. Mchezaji anaahidi atamrejesha Anna alikotoka pindi akifika mwaka huko. Mchungaji anampa msemo "Die Liebe versetzt Berge",…"Mapenzi husogeza milima"… ambao unamsaidia kurejea nyuma. Anaanzia tarehe 13 Agosti lakini akiwa na dakika sitini kutekeleza jukumu lake. Je muda huu unatosha?

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna amebakiwa na dakika 65. Anatambua kuwa kikasha cha muziki ndicho sehemu inayokosekana kwenye kinanda cha kanisa. Mwanamke mwenye mavazi mekundu anajitokeza na kudai apewe ufunguo. Ufunguo gani? Anna anasikia wimbo anaoufahamu. Kinanda cha kanisa kinatoa mirindimo sawa na ile ya kwenye kikasha cha muziki. Wakati Anna anapokikaribia kinanda anamsikia mtunza kanisa akimweleza mgeni kuwa kinanda hicho kimerekebishwa ila kinakosa kipande kimoja…ein Element.. tangu ukuta ulipojengwa. Anna anatambua kuwa kikasha ndicho kiungo kinachokosekana na anakibandika kwenye kinanda. Kinanda kinapoanza kupiga, mlango unafunguliwa na anajikuta akiwa amekabiliana na mwanamke mwenye mavazi mekundu. Anatokwa na uhai mwingine na anasaliwa na dakika 60 pekee.

element tendo kanisa muziki mwanamke mission europe mission berlin kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mchezaji anazijumuisha tarehe 13 Agosti, 1961, siku ya kujengwa ukuta wa Berlin na tarehe 9 Novemba, 1989 wakati ukuta ulipoanguka. Mafanikio ya Anna kwenye jukumu lake yanategemea tarehe hizo. Anna afanye nini? Paul na Anna wanajificha katika duka kubwa la KaDeWe ambako Anna anacheza mchezo wake. Mchezaji anamwambia Anna kuwa ukuta wa Berlin ulijengwa tarehe 13 Agosti, 1961 na ukaanguka tarehe 9 Novemba, 1989. Anna atagundua kuwa ufumbuzi wa fumbo lote hilo ni kugawanywa kwa Berlin.

berlin tendo kadewe agosti mission europe mission berlin novemba kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Jukumu la Anna ni kuinusuru Ujerumani isifikwe na janga. Ni lazima aihifadhi siri, atengue kitendawili, na kuwachunguza wanaume wenye pikipiki. Anahitaji dakika 130. Dalili ya kwanza i wapi? Anna anaamka katika chumba namba 14 … Zimmer vierzehn, kwenye mkahawa mmoja nchini Ujerumani. Wakati huo huo Kamanda wa Polisi anaelekea chumbani kwa Anna. Kamanda Ogur anajitambulisha na anagusia mauaji ya mgeni kwenye chumba nambari 40. Zimmer vierzig. Kwenye kioo cha bafu anatambua maandishi "In der Teilung liegt die Lösung. Folge der Musik". Anna anaanza kujibu maswali ya kamanda. Lakini maandishi hayo yana maana gani?

musik zimmer tendo teilung polisi kwenye wakati lakini kamanda mission europe mission berlin ujerumani kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Mission Berlin 09 – Vidokezo vinavyokosekana

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 20, 2009 5:00


Anna anakimbia kutoka ukumbi wa maonyesho lakini mwanamke mwenye mavazi mekundu anamuwahi katika duka la Paul. Anna anafanikiwa tena kukimbia na kidokezo kimoja cha fumbo hilo na vipi apate kidokezo kingine? Ogur amemdokeza Anna kuhusu kundi la majambazi la RATAVA . Kwenye duka la saa, Paul Winkler anamwonyesha kwamba amekitengeneza kikasha chake cha muziki. Kinapiga wimbo uitwao "Nostagie" wa Friedrich August Dachfeg. "Ni wimbo wetu", Paul anamwambia Anna lakini Anna haelewi. Ghafla mwanamke mwenye mavazi mekundu anajitokeza na kufyatua risasi. Heidrun Drei anawasili na kupambana na mwanamke huyo ili kuwapa Paul na Anna fursa ya kukimbia. Anna amebakiwa na tarehe mbili: Agosti 13, 1961 na Novemba 9. Lakini mwaka gani?

tendo agosti kwenye lakini mission europe ratava paul winkler mission berlin novemba ogur heidrun drei friedrich august dachfeg kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ogur anamwarifu Anna kuhusu mpango muovu wa genge la RATAVA linalotaka kubadilisha historia. Kabla ya kupoteza fahamu, Inspekta Ogur anampa Anna tarehe. Novemba 9. Lakini mwaka gani? Ogur, anayeshuku kuwa Anna amejificha mahali fulani kwenye ukumbi, anamwagiza Anna kutoroka. Mwanamke mwenye mavazi mekundu anampiga Anna risasi na kumtoa uhai mara nyingine. Mchezo unaanzishwa tena na Ogur anamwambia Anna kuwa RATAVA ni kundi la majambazi wanaotaka kubadilisha historia. Ingawa Ogur amejeruhiwa, anampa kidokezo cha tarehe, Novemba 9. Lakini mwaka gani?

tendo lakini mwanamke kabla mission europe ratava mission berlin novemba ogur mchezo kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna analikwepa genge la waendesha pikipiki na kuingia kwenye ukumbi wa maonyesho. Huko anakutana tena na Heidrun, na Ogur anamwambia kuwa RATAVA wanamwandama. Lakini wanamtakia nini? Mchezaji anamwambia Anna kurejea dukani kwa Paul Winkler kuchukua kikasha chake cha muziki. Njiani inambidi kulikwepa genge la waendesha pikipiki kwa kuingia kwenye ukumbi wa maonyesho. Huko anakutana tena na Heidrun Drei. Inspeka Ogur anawasili kumhoji Heidrun Drei kuhusu aliko Anna. Ogur anakisia kuwa Anna kajificha kwenye ukumbi huo na anamtahadharisha kwamba genge la RATAVA linamwandama. Wakati huo mwanamke aliyevalia mavazi mekundu anawasili.

tendo heidrun wakati lakini mission europe huko ratava paul winkler mission berlin ogur heidrun drei kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anakutana na mtu mwingine anayeonekana kama anayefahamiana naye. Mara hii ni mwanamke anayesema walikuwa marafiki mwaka 1961. Anna anazidi kutatizika kwa habari kwamba kuna mwanamke anamwandama. Watu ambao Anna hawafahamu wanajitokeza kila pembe. Mara hii ni mwanamke. Anasema yeye na Anna waliishi chumba kimoja mwaka 1961 na kwamba anataka kumsaidia Anna kutekeleza jukumu lake la hatari. Heidrun Drei anamtahadharisha Anna kujichunga na mwanamke aliyevaa mavazi mekundu ambaye anamwandama. Lakini Heidrun Drei hayo yote ameyajulia wapi?

tendo zamani watu mission europe mission berlin heidrun drei kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anakipeleka kikasha chake cha muziki kwa mtengeza-saa ili kitengenezwe. Paul Winkler anaikubali kazi hiyo na kumwambia Anna kuwa anamjua tangu kitambo. Inawezekana vipi? Anna ndio kwanza amewasili. Kikasha cha muziki kinapofunguliwa, kinaonekana kimeharibika zaidi. Paul Winkler anapata kipande cha karatasi kilichoandikwa tarakimu hizi 19610813. Zina maana gani? Na je Paul Winkler anazungumzia nini? Anna anamuomba amtengeneze saa, naye anasema wanajuana tangu kitambo. Katika hali hii ya butwaa, Anna anajitahidi kuokoa muda na ana dakika 90. Amefuata muziki kama maandishi yalivyopendekeza lakini nini maana ya "mgawanyiko ndio suluhisho"?

tendo zina katika mission europe paul winkler mission berlin kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anaelekea Kantstraße lakini anachelewa kwa kuwa inambidi kuulizia njia. Anapoteza muda zaidi wakati watu wenye pikipiki wanapofika na kumfyatulia risasi. Kazi ya Anna inakabiliwa na vikwazo. Anapowataka watoto waliyovaa vitau vyenye magurudumu kumwelekeza njia, wenye pikipiki wanampiga risasi. Mchezo unapoanzishwa tena, hatimaye Anna anawasili Kantstraße. Lakini je atapata anachotafuta?

tendo kazi lakini mission europe mission berlin kantstra mchezo kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Mission Berlin 19 – Mahaba katika hali ya Vita Baridi

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 20, 2009 5:00


Zimesalia dakika 40 na Paul na Anna wanamkimbia mwanamke mwenye mavazi mekundu wanafika Berlin Magharibi. Lakini ni upande usioafiki. Mambo yanazidi kutatizika wakati Paul anapomwambia Anna kwamba anampenda. Anna anatakiwa kuwa Berlin Mashariki ili afanikiwe kutekeleza jukumu lake. Lakini amekwama upande wa magharibi. Kisha kuna tatizo jingine: Katika hali ngumu kama hiyo, Paul anamwambia Anna kuwa anampenda. Anamtaka Anna kuacha kutekeleza jukumu lake. Hata hivyo mchezaji anamwambia Anna kurudi mwaka 2006 ili aanzishe mpango mwingine. Dakika 35 zitatosha kupata suluhisho?

mambo tendo kisha hata katika dakika lakini mission europe mission berlin kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna bado hajapata ufumbuzi wa kitendawili chake. Tukio gani la kihistoria RATAVA inataka kuzuia? Mchezaji anamwambia kurejea mwaka 2006 na kisha kurudi tena mwaka 1989. Je harakati hizo zina hatari kiasi gani? Kabla ya Anna kurejea mwaka 2006, anataka kuagana vizuri na Paul. Ana muda wa dakika 35 kukamilisha jukumu lake na inambidi kuchunguza ajue tukio ambalo kundi la RATAVA linataka kusimamisha. Anna na mchezaji wanagundua kuwa kundi la RATAVA halizingatii ujenzi wa ukuta bali kuanguka kwake. Mchezaji anamwambia kwanza arudi mwaka 2006 kisha aende mwaka 1989 wakati ukuta ulipoanguka.

muda tendo baada kabla mission europe ratava mission berlin tukio kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Mission Berlin 21 – Wakati huo huo mwaka 2006

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 20, 2009 5:00


Anna anarejea mwaka 2006 na anagundua, mchungaji Kavalier ametekwa nyara. Kwa kuwa hana uwezo wa kujua aliko mchungaji, Anna anaelekea tisa Novemba, 1989, usiku ambao Ukuta wa Berlin ulianguka. Mwaka 2006, Paul anamwambia Anna kuwa mchungaji ametoweka. Mwanamke mwenye mavazi mekundu amemteka nyara. Paul bila shaka anajua mambo mengi kumuhusu Mchungaji Kavalier na mtambo wa wakati, lakini hana muda wa kuzungumzia hayo. Anna anakubali kuelekea usiku wa tarehe 9 Novemba mwaka 1989 wakati wakazi wa Berlin walipokuwa wakisherehekea kuanguka kwa Ukuta. Anataka kuliopoa kasha kutoka katikati ya kundi la watu.

berlin tendo kwa kavalier wakati mwaka mwanamke mission europe mission berlin novemba kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Muda unayoyoma na Anna anamuaga Paul kabla ya kurejea tarehe 9 Novemba mwaka 2006. Atakapowasili atakuwa amebakiwa na dakika tano pekee. Je zitatosha? Huku zikiwa zimesalia dakika chache Anna akamilishe jukumu lake, mchezaji anamshauri kutumia fursa ya zogo lililopo kuondoka pole pole. Lakini hataki kuondoka bila kumuaga Paul sawasawa. Anna anachunguza mchezo na kugundua anahitaji ufunguo uliochakaa kutekeleza jukumu lake. Anaitaji pia muziki. Je atarejea kwa wakati ufaao kutekeleza wajibu wake? Amesalia na dakika 5 pekee ili akamilishe vizuri jukumu lake.

muda tendo lakini huku mission europe mission berlin novemba kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anapelekwa mwaka 1989 na anafika katika jiji ambalo lina kizaazaa cha kuanguka Ukuta. Anahitajika kupitia umati mkubwa wa watu ili apate kasha la chuma lililofichwa. Je atafanikiwa? Anna anapotaka kuondoka kuelekea mwaka 1989, waendesha pikipiki wanajitokeza. Mwanamke mwenye mavazi mekundu analiamuru kundi lake kumsaka Anna. Anamtaka Anna akiwa hai. Anna anaingia kwenye mtambo wa wakati na anarudi mjini Berlin mwaka 1989 wakati jiji hilo limezama kwenye shamrashamra za kuanguka ukuta. Lakini yuko katika lango la Brandenburg ambapo kila mtu anasherehekea. Anna anapaswa kwenda katika barabara ya Bernauer. Kwa dakika 30 zilizobaki, je anaweza kuharakisha kuuvuka umati wa mamilioni ya watu katika jiji hilo ambalo hapo awali lilikuwa limegawanyika?

berlin brandenburg tendo kwa lakini mwanamke mission europe mission berlin bernauer endelea kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anaanza kujibu maswali ya Ogur lakini anakatizwa na sauti ya pikipiki pamoja na milio ya risasi. Anakimbilia kwenye makumbusho anakopata anwani juu ya kasha lake la muziki. Je anwani hii itamfaa? Anna anajificha kwenye jumba la makumbusho. Anajificha ndani ya choo cha wanaume kwa kuwa ana wasiwasi huenda polisi au wenye pikipiki walio na silaha wangali wanamwandama. Hapo anagundua anwani ya Leo Winkler katika barabara ya Kantstraße iliyoandikwa kwenye kasha lake la muziki. Je huyo bwana yu hai na je anaweza kumsaidia Anna?

mambo tendo mission europe mission berlin kantstra ogur leo winkler kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna analipata kasha la chuma lililofichwa katika mwaka 1961 lakini hawezi kulifungua kwa kuwa limechakaa. Anapofanikiwa kulifungua anapata ufunguo wa zamani. Je huo ndio ufunguo wa ufumbuzi wa siri? Muda unayoyoma na Anna ni lazima afungue kasha la chuma. Lakini mchezaji anamtahadharisha kutolifungua mbele ya watu. Analifungua kasha hilo na kupata ufunguo wa zamani uliochakaa. Sasa anatakiwa kurudi mwaka 2006 ili akabiliane na mwanamke mwenye mavazi mekundu. Lakini ana muda wa kutosha?

muda tendo sasa lakini mission europe mission berlin kujifunza kijerumani uhalifu
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Anna anadandia skuta ili afike barabara ya Bernauer. Mhisani wake ni Emre Ogur anayemtakia ufanisi mjini Berlin. Lakini atahitaji nini zaidi kumkimbia mwanamke mwenye mavazi mekundu ili apate kasha la chuma lililofichwa? Mchezaji anamwambia Anna kutafuta usafiri wa kwenda barabara ya Bernauer kwa kuwa muda unamtupa mkono. Anadandia skuta inayoendeshwa na kijana mmoja, ambaye siku za usoni ni Inspekta Emre Ogur. Lakini Anna anapokutana na Heidrun Drei na Paul, mwanamke mwenye mavazi mekundu anawasili.Paul na Robert, mume wake Heidrun Drei, wanamrushia vipande vya ukuta. Wakati huo huo Anna anakimbia kwenda kuopoa kasha la chuma. Lakini je litakuwepo bado baada ya miaka yote hiyo?

berlin tendo wakati lakini mission europe mission berlin bernauer heidrun drei emre ogur kujifunza kijerumani uhalifu
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anatahayari... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi na kidhihirishi katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)

andreas somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 24 – Je, ungependa (kunywa) kahawa nyingine?

Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 18, 2009 13:27


Kualikana chakula kikazi: Frau Berger, Andreas na Ex... Muhtasari wa sarufi: Majina katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)

andreas somo majina frau berger deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Herr Thürmann ana kazi ya kumpatia Andreas – mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyotenganishwa

berlin andreas somo vitendo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anatafuta tena kisingizio... Muhtasari wa sarufi: Vitendo visivyo kawaida (irregular verbs)

andreas somo vitendo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 25 – Unaweza kunipatia taulo za mkono?

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 18, 2009 14:29


Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘

andreas somo unaweza vitendo frau berger deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa

somo wakati deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anapokea simu kutoka mtu anayemjua... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) wa vitendo vinavyotenganishwa

andreas nini somo wakati deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Je, Ex anaweza kufanywa aonekane... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

hakuna somo neno deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hadithi ya kutafuta utambulisho. Sheria za sarufi: Sentensi za kitenzijina na neno „zu“.

somo sheria hadithi deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Namna Martin Luther alivyookolewa... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (III)

luther wartburg somo katika deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hadithi ya Kaizari mwenye ndevu nyekundu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (II)

barbarossa somo hadithi deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 26 – Safari ya kwenda Loreley inapendeza ajabu

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 18, 2009 15:58


Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

safari hakuna somo loreley deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

hakuna somo pamoja deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Dr. Thürmann anasimulia hadithi ya jengo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vivumishi vya sifa (II)

charit somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogo

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 18, 2009 14:00


Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi

andreas kwanza kazi somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

andreas hakuna somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Safari ya kwenda Brussels – na tukio lisilopendeza...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo visivyo vya kawaida (irregular verbs)

brussels safari somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hanimuni (honeymoon) mjini Aachen...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya majina (nomino) na vijineno

aachen ramani somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 05 – Hebu mimi niwagawie watu vinywaji

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 15:05


Andreas anasherehekea siki yake ya kuzaliwa pamoja na marafiki...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya aina za vidhihirishi

andreas somo watu deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 06 – Je, haijui siku ya kuzaliwa kwake?

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 15:00


Kila nchi ina desturi zake – Kusherehekea siku ya kuzaliwa nchini Uturuki...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo vyenye uhusika wa accusative na dative

somo kila siku deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ziara ya mji wa Aachen... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya hali ya kuamuru (imperative)

hizo aachen somo ziara nipe deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hakuna habari zozote kutoka kwa Ex... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu kwa kutumia haben na sein

tena hakuna somo wakati deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Kwa nini Ex ameondoka? Dr.Thürmann anajaribu kutoa maelezo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno

somo kwa wimbo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 10 – Ningependa kuagiza chumba mapema

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 14:29


Wageni wapendao makuu: Mbwa lazima waingie naye hoteli... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo vya utaratibu

somo chumba mbwa deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 22 – Berlin Alexanderplatz (Uwanja wa Alexander)

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 15:06


Barua kwa wazazi wa Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho (declension) wa vivumishi vya sifa (I)

andreas somo berlin alexanderplatz barua deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Nyuma ya mapazia – Andreas katika studio ya matangazo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya sintaksi

andreas sana somo hiyo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio