Podcasts about vitendo

  • 25PODCASTS
  • 326EPISODES
  • 7mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Oct 20, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about vitendo

Latest podcast episodes about vitendo

Habari za UN
WMO na wadau wajadili kuhusu tahadhari za mapema

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 20, 2025 3:29


Shirika la Umoja wa Mataifa ka Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani WMO linaongeza kasi ya jitihada za kulinda maisha ya watu dhidi ya madhara ya mabadiliko ya tabianchi. Mkutano wake Maalum uliofunguliwa leo mjini Geneva Uswisi, unalenga kuharakisha mpango wa kimataifa wa Tahadhari za Mapema kwa Wote, sambamba na maadhimisho ya miaka 75 ya WMO. Flora Nducha amefuatilia na anafafanua zaidi (TAAFIFA YA FLORA NDUCHA)Asante Leah, kwa mujibu wa WMO idadi ya nchi zenye mifumo ya tahadhari za mapema kwa ajili ya majanga ya tabianchi imeongezeka maradufu katika kipindi cha miaka kumi iliyopita lakini bado mamilioni ya watu hawana ulinzi dhidi yah atua hiyo muhimu.Ndiyo maana shirika hilo limewakutanisha mawaziri na wataalamu kutoka nchi wanachama 193 kuharakisha mpango wa Tahadhari za Mapema kwa Wote, uliozinduliwa mwaka 2022 na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres unatekelezwa kwa vitendo.Katika mkutano huo Celeste Saulo Katibu Mkuu wa WMO amesema “Miaka 75 iliyopita, Shirika la WMO lilianzishwa kutokana na ukweli kwamba hali ya hewa, maji na tabianchi havina mipaka ya kitaifa. Ushirikiano wa kimataifa katika uchunguzi na utabiri ni wa lazima, kwa sababu hakuna nchi inayoweza kufanya hivyo peke yake.”Ripoti mpya ya WMO, iliyopewa jina Tahadhari za Mapema kwa Wote Mtazamo wa Dunia, inaonesha kuwa licha ya maendeleo makubwa katika ubadilishanaji wa takwimu na utabiri wa kidijitali, bado kuna mapengo makubwa, hasa katika nchi maskini na visiwa vidogo vinavyoendelea.Celeste amesisitiza kuwa“Tahadhari za Mapema kwa Wote sasa siyo mpango tena, bali ni nembo ya mshikamano wa dunia. Pamoja, tunaokoa maisha, tunaunda sera, na kuimarisha mnepo.”Takwimu za shirika hilo zinaonesha uzito wa changamoto. Katika miaka 50 iliyopita, WMO inasema majanga yanayohusiana na hali ya hewa na maji yamesababisha vifo vya zaidi ya watu milioni mbili huku asilimia 90 kati yao ni katika nchi zinazoendelea.Na ingawa mataifa 108 sasa yana mifumo ya tahadhari za majanga mchanganyiko, shirika hilo linasema viwango vya vifo bado ni mara sita zaidi katika maeneo yasiyo na mifumo hiyo.WMO inasema teknolojia mpya ikiwemo akili mnemba na matumizi ya takwimu za setilaiti kwa wakati halisi zinabadilisha uwezo wa utabiri, lakini pengo la kidijitali bado linawaacha wengi wakiwa hatarini.“Mafanikio ya Tahadhari za Mapema kwa Wote hayapimwi kwa ripoti au maazimio, anasema Celesto bali kwa maisha yanayookolewa na riziki zinazolindwa. Tunapoelekea mwaka 2027, hebu tuongeze juhudi kuhakikisha hakuna mtu anayeachwa bila ulinzi.”Mkutano huo Maalum wa WMO utaendelea wiki nzima mjini Geneva, huku Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres akitarajiwa kuhutubia siku ya Jumatano.Shirika la WMO wakati likiadhimisha miaka 75 ya kile linachoita Sayansi kwa Vitendo  linataka kuhakikisha sayansi hiyo inawafikia wote, kabla ya majanga kutokea.

Habari RFI-Ki
Vitendo vya utekaji nyara kuongezeka Afrika mashariki

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 10:03


Habari rafiki ya jumatano octoba 08 imeangazia vitendo vya utekaji nyara ambavyo vimeongezeka katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki, hivi karibuni nchini Uganda wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya walikamatwa baada ya kuhudhuria mkutano wa kisiasa wakati nchini Tanzania, aliyekuwa balozi wa nchi hiyo huko Cuba Humphrey Polepole alitekwa na watu wasiojulikana na mpaka sasa hajulikane alipo. Sikiliza makala hii kupata mengi zaidi

Habari RFI-Ki
Vitendo vya utekaji nyara kuongezeka Afrika mashariki

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 10:03


Habari rafiki ya jumatano octoba 08 imeangazia vitendo vya utekaji nyara ambavyo vimeongezeka katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki, hivi karibuni nchini Uganda wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya walikamatwa baada ya kuhudhuria mkutano wa kisiasa wakati nchini Tanzania, aliyekuwa balozi wa nchi hiyo huko Cuba Humphrey Polepole alitekwa na watu wasiojulikana na mpaka sasa hajulikane alipo. Sikiliza makala hii kupata mengi zaidi

Habari za UN
Mwanaharakati Dkt.Owusu: Ni wakati wa sauti zetu vijana zisikilizwe kwa vitendo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 26, 2025 2:10


Katika Mkutano wa Vijana wa Umoja wa Mataifa unaofanyika kandoni mwa mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA80 unaoendelea hapa New York, viongozi vijana kutoka duniani kote wanataka uwakilishi mkubwa katika maamuzi ya kimataifa.Miongoni mwao ni daktari wa tiba na mwanaharakati wa kijamii wa vijana wa Uingereza na Ghana, Dkt. Khadija Owusu ambaye amezungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili.Owusu, ambaye pia ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Akaya inayowakilisha wasichana wa zama hizi, anasema vijana hawapaswi kuzungumziwa tu, bali wajumuishwe moja kwa moja katika kuandaa Suluhu za changamoto zinazoihusu dunia wakiwemo na wao "Mara nyingi tunazungumza kuwa tunataka ushiriki zaidi wa vijana wakati umefika wa kuacha kuzungumza tu kuhusu kuhitaji vijana wengi, bali tuwe na vijana wengi."Niko hapa kuwakilisha maelfu ya wasichanaAnasema ushiriki wake katika mkutano huu wa ngazi ya juu wa vijana si wa kibinafsi tu, bali unaakisi sauti za wasichana na vijana wengi wanaosaidiwa na taasisi yake ya Akaya."Niko hapa kuwakilisha si mimi peke yangu, si Uingereza tu, na si Ghana tu, bali Taasisi ya Akaya, na wasichana na vijana wengi tunaowahudumia nchini kote."Owusu anaamini vijana wa Kiafrika, hususan wasichana, wanapaswa kupata nafasi kubwa zaidi katika jmaukwaa ya kimataifa kama Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ili kupaza sauti zao."Bado tunahitaji kuona vijana zaidi kama sisi kwenye vyumba vya mikutano, Waafrika zaidi, vijana zaidi wa Kiafrika na wasichana wa Kiafrika kwenye vyumba vya mijadala, wakishiriki majadiliano kwa sababu tunaleta mabadiliko halisi."Owusu anasema ujumbe wake kwa vijana barani Afrika ni kubeba vipaji vyao, wajiamini, na kuendeleza ndoto zao kwani kila kitu kinawezekana. 

Habari za UN
Kujituma na kutokata tamaa ndio siri ya kufanikiwa kwenye mafunzo kwa vitendo UN - Sarah Nshoka

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 16, 2025 3:27


Kutoka Dar es Salaam hadi Geneva, na sasa New York. Ni safari ya kujifunza, kujaribu na kufanikiwa. Kwa vijana wengi barani Afrika, Umoja wa Mataifa huonekana kuwa ndoto isiyowezekana. Lakini kijana huyu kutoka Tanzania anathibitisha kuwa kwa nia thabiti na bidii, ndoto hiyo inaweza kuwa kweli. Kupitia programu ya mafunzo kwa vitendo ya Umoja wa Mataifa, amejifunza mengi kuhusu utawala, maendeleo na kujenga ujasiri wa kushiriki katika kazi za kimataifa. Sarah Nshoka alipata fursa kuzungumza na Shraon Jebichii katika makala hii.

Habari za UN
UN: Mshikamano na wakimbizi uwe kwa vitendo na si maneno matupu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 20, 2025 1:45


Leo ni Siku ya Wakimbizi Duniani, mwaka huu ikibeba maudhui “Mshinamano na wakimbizi” na Umoja wa Mataifa umetaka mshikamano huo kwa vitendo wakati idadi ya watu wanaolazimika kufungasha virago na kukimbia makayo yao ikifikia kiwango cha kihistoria. Flora Nducha na taarifa zaidi

Radio Maria Tanzania
Je, kwanini vitendo vya ukatili wa kijinsia vinaendela kushamiri katika Jamii?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 21:14


Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Jinsia na maendele0, leo tunazungumzia mada juu ya kwanini vitendo vya ukatili wa kijinsia bado vinaendelea katika Jamii licha ya elimu inayoendela kutolewa? L'articolo Je, kwanini vitendo vya ukatili wa kijinsia vinaendela kushamiri katika Jamii? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Zanzibar tumetekeleza kwa vitendo azimio la Beijing: Waziri Riziki Pembe

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 21, 2025 5:39


Wakati mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani CSW69 ukifikia ukingoni mshiriki kutoka Zanzibar Tanzania ameweleza Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili kwamba Zanzibar imepiga hatua kubwa katika usawa wa kijinsia na utekelezaji kwa vitendo matakwa ya Azimio la Beijing la usawa wa kijinsia na hatua. Je wametekeleza vipi na hatua gani walizopiga? Ungana nao katika mahojiano haya.

VOA Express - Voice of America
Mkurugenzi wa haki za watoto na vijana Afrika mashariki anasema vijana wanapaswa kujifunza elimu ya vitendo na nadharia kujiandaa kimaisha. - Machi 03, 2025

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 3, 2025 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Jioni - Voice of America
Polisi wa Kenya wakanusha kuhusika katika vitendo vya utekaji nyara - Desemba 26, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 26, 2024 29:59


Radio Maria Tanzania
Je, Wafahamu athari ya kujihusisha na vitendo vya Rushwa?.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 16, 2024 51:40


Karibu uungane nami Happiness Mlewa,  katika kipindi cha Elimu Jamii leo tupo na Bwana Sostenesi Kibwengu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa  kwa Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, TAKUKURU akituelezea  juu ya vitendo vya Rushwa kuelekea Uchaguzi wa Serilikali za mitaa Tanzania.   L'articolo Je, Wafahamu athari ya kujihusisha na vitendo vya Rushwa?. proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Vijana - Tumechoka na maneno ya viongozi sasa tunataka vitendo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 24, 2024 7:27


Jana Jumapili ya Septemba 22 viongozi wa dunia walipitisha Mkataba wa Zama Zijazo. Mkataba huu unalenga kukabili changamoto za karne ya 21 kuanzia mizozo, mabadiliko ya tabianchi, haki za binadamu, hadi taarifa potofu na za uongo. Maeneo Matano makuu ni pamoja na maendeleo endelevu, amani na usalama duniani, sayansi na teknolojia, vijana na vizazi vijavyo na marekebisho ya usimamizi wa dunia, kipengele muhimu wakati huu ambapo taasisi za fedha za kimataifa na Umoja wa Mataifa wenyewe wameshindwa kuja na majawabu ya karne ya 21. Mkataba wa Kimataifa wa Kidijitali unaoelenga pamoja na mambo mengine usimamizi bora wa Akili Mnemba, pamoja na Azimio kwa ajili ya Vizazi Vijavyo linalotaka serikali za sasa kutilia maanani vizazi vijavyo zinapopitisha maamuzi yao ya leo, ni sehemu ya viambatanishi vya Mkataba huu wa Zama Zijazo. Assumpta Massoi ametaka kufahamu maoni ya vijana baada ya hatua hii, na ndio mada yetu kwa kina siku ya leo. 

VOA Express - Voice of America
Mwanaharakati wa haki za kiraia nchini DRC anaelezea changamoto zinazowapata waathirika wa vitendo vya ukatili kulingana na imani au dini - Agosti 22, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 22, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Radio Maria Tanzania
Fahamu madhara ya kushamili kwa vitendo vya utoaji mimba.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 24, 2024 55:36


Ungana nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro life utetezi wa Uhai, Wawezeshaji ni Wakufunzi kutoka Pro life Tanzania, wakituelimisha juu ya madhara ya kushamili kwa vitendo vya utoaji mimba. L'articolo Fahamu madhara ya kushamili kwa vitendo vya utoaji mimba. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, ni kwa namna gani tunaweza kudhibiti vitendo vya rushwa katika jamii?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 10, 2024


Karibu ungane nami Ester Magai Hangu katika kipindi cha Elimu Jamii, Mwezeshaji ni Bwana Joseph Mwaiselo, Mkurugenzi kitengo cha Elimu kwa Umma kutoka Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Makao Makuu Jijini Dodoma, akitufundisha juu ya udhibiti wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu. L'articolo Je, ni kwa namna gani tunaweza kudhibiti vitendo vya rushwa katika jamii? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, kwanini vitendo vya utoaji mimba vinashamiri katika Jamii?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jun 5, 2024


Karibu ungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro life utetezi wa uhai, Studio niko na Wakufunzi kutoka Pro life Tanzania, wakiendelea kuzungumzia mada ya Maisha ya Vijana na Dunia ya leo, wakijikita zaidi katika kushamiri kwa vitendo vya utoaji mimba katika Jamii. L'articolo Je, kwanini vitendo vya utoaji mimba vinashamiri katika Jamii? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Kwanini vitendo vya utoaji mimba vinashamiri katika jamii?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 29, 2024


Ungana na Mtangazaji Agatha Kisimba, katika kipindi cha Pro life utetezi wa uhai, leo Wakufunzi wetu kutoka Pro life Tanzania, Antony Lihepa, Janeth Akarro na Witness Joachim,  wanatuelimisha juu ya sababu za kushamiri kwa vitendo vya utoaji mimba. L'articolo Kwanini vitendo vya utoaji mimba vinashamiri katika jamii? proviene da Radio Maria.

Wimbi la Siasa
Wimbi la siasa: Madai ya Burundi kwa Rwanda kuhusika na vitendo vya uhalifu nchini Burundi

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later May 17, 2024 10:01


Kwenye Makala haya Ali Bilali akiwa pamoja na wachambuzi wa siasa Mali Ali kutoka Paris Ufaransa na Abdulkarim Atiki wanaangazi kuhusu tuhuma za Burundi kwa Rwanda kuhusika na vitendo vya uhalifu hususan uvurumishaji guruneti katika mji wa Bujumbura, tukio la hivi karibuni liligharimu maisha ya watu kadhaa na kuwajeruhi wengine.

VOA Express - Voice of America
Kampuni ya madini ya GGML huko Tanzania ambayo huwapatia fursa wanafunzi wa vyuo vikuu kazi za vitendo imefanikiwa kuwapa ajira baadhi yao - Januari 24, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 24, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

VOA Express - Voice of America
Vijana wataka wadau wanaondaa warsha wawape elimu ya vitendo ili waone tija ya makongamano na warsha - Desemba 04, 2023

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 4, 2023 29:59


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

Blacktop Banter
BB129: Joseph Blackman of Vitendo

Blacktop Banter

Play Episode Listen Later Oct 16, 2023 54:53


In this episode of Blacktop Banter, Joseph Blackman guides listeners through the evolution of on-the-job training, focusing on the empowering influence of technology in the workforce. We dive into the concept of upskilling with video tutorials, and how companies like Vitendo are on the cutting edge of job training and knowledge sharing models. Joseph explains how the shift from needing to know everything beforehand to learning on the go through video tutorials redefines what it means to be “job-ready” and how companies are transforming their new employee training into an efficient and cost-effective process. This episode is brought to you by Crafco, the official sponsor of Blacktop Banter. Learn more at crafco.com

Industrial Theory
Modernized, Personalized Industrial Training from Vitendo

Industrial Theory

Play Episode Listen Later Aug 9, 2023 22:04


Guest: Joseph Blackman, Founder of Vitendo Quick Background: This episode of Industrial Theory features Kerry Siggins and guest Joseph Blackman, the founder of Vitendo. Vitendo is an industrial media and education company that's taken a contemporary approach to delivering customized training videos for large, municipal equipment and vehicles. Joseph explains the importance of delivering this type of training content through modern, digestible user experience features like real-time video, media sharing, and optimized mobile access. Joseph and Kerry discuss the value of relationships in business and why we need to advocate and advance industrial trades as a whole. Plus, hear about Joseph's entrepreneurial journey from starting the company to his work today with large municipalities and industrial organizations.

Habari za UN
Wakimbizi wa ndani DRC wakabiliwa na vitendo vya ukatili wa kijinsia na kingono

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 22, 2023 0:02


Mratibu wa masuala ya kibinadamu  nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC Bruno Lemarquis amezungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi hii leo na kusema vitendo vya ukatili wa kijinsia na kingono dhidi ya wanawake na wasichana kwenye makazi ya wakimbizi wa ndani nchini DRC vimeongezeka kwa asilimia 37 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana, huku akitaka hatua za haraka zichukuliwe ili kurekebisha kinachoendelea.Katika mkutano wake huo uliomulika hali ya kibinadamu nchini DRC, Bwana Lemarquis ambaye pia ni Naibu Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC amesema mwaka jana pekee kwenye makazi ya wakimbizi katika jimbo la Kivu Kaskazini, kulikuwa na matukio zaidi ya 38,000 ya ukatili wa kingono na kwamba katika miezi mitatu ya mwanzo wa mwaka huu pekee, kumekuweko na ongezeko kwa asilimia 37. Amesema “wanawake na watoto walio hatarini zaidi ambao wanasaka hifadhi kwenye makazi hayo, wanajikuta wakikabiliwa na ukatili na machungu zaidi na hili halivumiliki.” Hivyo amesema hatua zaidi zinahitajika kuchukuliwa na serikali pamoja na wadau ili kudhibiti hali hiyo. Lemarquis amesema ongezeko la wakimbizi wa ndani kwenye makazi linatokana pia na ombwe la ulinzi kwenye maeneo ya kaskazini mwa jimbo la Kivu Kaskazini, Ituri na Kivu Kusini kutokana na vikosi vya usalama kuhamishwa ili kwenda kukabiliana na waasi wa M23. Amesema baadhi ya makundi yaliyojihami kama vile ADF, Zaire na CODECO yametumia fursa hiyo kushamirisha mashambulizi yao dhidi ya raia hususan Ituri. Naibu Mwakilishi huyo wa Katibu Mkuu nchini DRC amegusia pia jimbo la Mai-Ndombe lililoko magharibi mwa DRC, ambako amesema ghasia zilizoibuka mwezi Juni mwaka jana zimeendelea na zinasambaa kwenye maeneo ya jirani na kwamba kwa kuwa DRC inaelekea kwenye uchaguzi ni vema kuchukua hatua kudhibiti ili ghasia hizo zisijekuwa chanzo cha janga lingine la kibinadamu nchini humo. 

The DooDoo Diva's Smells Like Money Podcast
S5 E8 Capturing The Knowledge - Preparing The Next Generation

The DooDoo Diva's Smells Like Money Podcast

Play Episode Listen Later Feb 22, 2023 31:23


Capturing The Knowledge - Preparing The Next Generation The DooDoo Diva's Smells Like Money Podcast – Capturing The Knowledge - Preparing The Next Generation With Joseph Blackman Listen to this latest episode of “The DooDoo Diva's Smells like Money Podcast” where we discuss with Joseph Blackman, the founder of Vitendo Training Solutions how video training can make teams more efficient and help you save time and money. Being organized and aware of what needs to be done are prerequisites for efficiency. Joseph saw a need in the market for a more ffective way of training operators how to utilize their equipment and maintain it and so took advantage of this chance by creating a platform for team to access a library of learning content that is customized to their specific systems and assets. With a growing lack of workers and the retirement of many very experienced and knowledgeable experts in the field, how do we pass on that knowledge and not risk losing it? In this episode, we'll learn why Vitendo is an excellent resource for effective training and maintenance manual solutions to keep an organization's intellectual knowledge and experience preserved for the next wave of contracting and utility operations pros. Additionally, we will learn how Joseph's prior experiences helped him in running this enterprise. This episode also covers: -What are Vitendo Training Solutions -How Vitendo Video Training Solves Very Specific Concerns -How Vitendo Can Be Related To Wisdom And Efficiency -Creating a Knowledge Database for Your Team Today and for the Future I hope you find this episode as informative and as exciting as we have. Please let us know your thoughts about the episode! Connect with Joseph Blackman LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/josephblackman/ Email:joe@vitendo.us Vitendo Training Solutions: vitendo.us Connect with Suzan Chin-Taylor, host of The DooDoo Diva's Smells Like Money Podcast: Website: www.creativeraven.com | https://thetuitgroup.com/ LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/creativeraven/ Email: raven@creativeraven.com Telephone: +1 760-217-8010 Listen and Subscribe here to your favorite platform : Apple Podcast - Google Podcast - CastBox - OverCast - Pocket Casts - Youtube - Spotify https://creativeraven.com/smells-like-money-podcast/ Subscribe to the Podcast: https://creativeraven.com/smells-like-money-podcast/ Be a guest on our show: https://calendly.com/thetuitgroup/be-a-podcast-guest Check Out my NEW Digital Marketing E-Course & Coaching Program just for Wastewater Pros: https://store.thetuitgroup.com/diy-digital-marketing-playbook-for-wastewater-pros #Wastewater #Trenchless #WastewaterIndustry #ManholeRehab #TechnologicalAdvancement #WastewaterTreatment #Vitendo #Learning #Walkthrough #Service #Videos #Tutorial

VOA Express - Voice of America
Siku ya makazi Duniani - Oktoba 03, 2022

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 3, 2022 30:00


Katika kuadhimishwa kwa siku ya makazi duniani, vijana watakiwa kufikiria namna ya kujipatia makazi yao mapema. Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vyaongezeka Kenya na jamii yatakiwa kushughulika kumaliza tatizo hilo.

Habari za UN
Sasa ni wakati wa kutekeleza maneno yetu kwa vitendo, asema Emmanuel Msoka akiwa UNGA77

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 19, 2022 2:23


Mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa kuhusu marekebisho ya mfumo wa elimu leo unakunja jamvi kwenye makao makuu ya Umoja huo jijini New York Marekani. Mkutano huo wa siku tatu umeitishwa ili kukabiliana na changamoto ya kimataifa ya elimu hasa kwa kuzingatia suala la usawa na ujumuishwaji, ubora wa elimu na umuhimu.   Wadau mbalimbali wakiwemo wakuu wa nchi na serikali, mashirika ya kimataifa na makundi mbalimbali katika jamii wamepata fursa ya kupaza sauti zao, miongoni mwao ni vijana walioshiriki kuwawakilisha mamilioni ya wanafunzi kote duniani.   Emmanuel Cosmas Msoka mchechemuzi kijana wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kutoka nchini Tanzania ni moja wa vijana waliozungumza akiwachagiza viongozi wa dunia kuwashirikisha vijana kwa hali na mali . “Moja ya mchango ambao niliweza kuutoa ni ushirikishwaji wa vijana katika mambo yote ambayo yanaathiri mabadiliko ya kiuchumi kwa sasa na kwa baadaye , katika hilo lengo langu kubwa ni kuhakikisha kwamba vijana wanashirikishwa kuanzia katika ngazi ya chini kabisa katika kuanzishwa sheria, katika kuanzishwa kwa mitaala ya elimu, washirikishwe vijana hata katika utekelezaji pia , kwani katika nchi nyingi au katika mazingira ambayo tumetokea ni kwamba vijana wanashirikishwa katika sherehe zile ambazo ni za kuhitimisha baada ya sera au sheria kutengenezwa. Ushirikishwaji ambao mi naungalia ni kuanzia kwenye mipango, kuanzia watu wanaposema kwamba kuna kitu Fulani tunataka tukibadilishe , vilevile unapoanza kukusanya maoni tu vijana washirikishwe , katika utekelezaji wa ile mipangopia tuwashirikishe vijana na mwishoni kabisa katika kusherehekea kwamba lengo tulilojiwekea tumeweza kufanikiwa vijana pia washirikishwe. Ushirikishwaji wao ni kuanzia ngazio yaw azo mpaka kwenye kutengeneza sheria na sera na katika kusherehekea mafanikio ya sera ambazo zimetengenezwa katika nchi.”  Na kwa Tanzania anakotoka Emmanuel anasema ni wakati wa kujifunza kutoka kwa wengine  “Nimejifunza kutoka kwa vijana ambao wametokea katika nchi nyingine hapa wameweza kunielezea kwamba katika nchi zao kuna mabaraza ya vijana, mashirika ya kimataifa katika nchi zao yana mabaraza ya vijana , nchi kama nchi ina baraza la vijana . Tanzania sasa ni muda wa kurejesha lile baraza la vijana ambalo lilikuwepo na kikapotea. Ni muda ambao tunahitaji kuwashirikisha vijana  wakati dunia inawahitaji vijana. Kama nchi tunatakiwa tuonyeshe kabisa kuwa tunaelekea katika mwelekeo huo. Na katika hilo tunaamini na watu wengi sio wanasiasa viongozi tunaweza tukasema wamekuwa pia wakisema viojana ni taifa la kesho lakini ushirikishwaji huo uko wapi? Tufanye hivi vitu kwa vitendo , leo nimeweza kusema kwamba maneno yanaonekana ni bei nafuu sana lakini vitendo ni bei ghali sana kwa hiyo ni muda sasa tuweze kuvifanyiakazi tunavyovizungumzia.”   

Habari za UN
Vitendo vya vitisho na kuuawa kwa waandishi wa habari vimeongezeka-Baraza la Usalama

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 27, 2022 2:21


Ikiwa leo Mei 27 ni mwaka wa saba kamili tangu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitisha Azimio namba 2222 la mwaka 2015 la kutambua kazi za waandishi wa habari, kuwalinda na kutaka waheshimiwe , Baraza hilo limesema  vitendo vya vitisho na kuuawa kwa waandishi wa habari vimezidi kuongezeka katika siku za hivi karibuni. 

Jioni - Voice of America
Rushwa ya ngono yatajwa bado tatizo vyuo vikuu na vyumba vya habari - Aprili 29, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 29, 2022 59:59


Vitendo hivi vimetajwa kuwa bado vinaendelea katika vyumba vya habari na wanafunzi wa elimu ya juu katika eneo la Afrika Mashariki hususan Tanzania lakini imekuwa ni siri kubwa kwa wanawake waofanyiwa vitendo hivyo kwani huwa hawatoi taarifa kwenye vyombo vya sheria.

Habari za UN
Tutumie elimu tulizonazo kwa vitendo kwa ajili ya ustawi wa jamii zetu – Dkt. Anthony Kiiza 

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 3, 2022 3:48


Ufugaji na kilimo ni moja ya mambo mtambuka ambayo yakifanikiwa yanachangia katika kufanikisha idadi kubwa ya malengo ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu, SDGs kati ya 17 ambayo yanalengwa kufikiwa ifikapo mwishoni mwa muongo huu, mwaka 2030.   Mathalani lengo namba moja linazungumzia kutokomeza umaskini, namba mbili linaongelea kutokomeza njaa, namba tatu linaongelea afya bora, namba saba linazungumzia nishati bora na ambayo ni nafuu na lengo namba nane likizungumzia ukuaji wa uchumi. Malengo yote hayo yanaguswa moja kwa moja na kilimo.   Kwa msingi huo, kijana daktari wa mifugo nchini Uganda, Dkt. Anthony Kiiza anasema hajutii kuwekeza katika kilimo na ufugaji kwani hiyo inampa fursa ya kukuza uchumi wake huku akitekeleza utaalamu wake kwa vitendo. Zaidi ya hayo, anahamasisha vijana wenzake kujihusisha na shughuli mbalimbali za kujipatia kipato ili kukuza uchumi wao na wajamii zinazowazunguka. Mwandishi wetu wa Uganda John Kibego amezungumza na kijana huyo katika makala ifuatayo.  

Habari za UN
Watoto wa kike Morogoro Tanzania wameitaka jamii kuacha vitendo vya kikatili dhidi yao

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 30, 2020 3:21


Dunia ikiwa katika mfululizo wa siku 16 za kuahamasisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, nchini Tanzania mkoani Morogoro wasichana wamepaza sauti wakionesha kutofurahishwa na ukatili unaofanywa na baadhi ya wazazi na walezi majumbani. Huku wakiiomba serikali kufuata sheria pale mtuhumiwa anapo kamatwa na kufikishwa mahakamani, kwa makosa ya ukatili dhidi ya watoto wa kike. 

Habari za UN
Wakati mwingine watu wanafanyiwa vitendo vya ukatili lakini hawajui kuwa huo ni ukatili- Mary Nsia Mangu 

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 24, 2020 2:53


Msichana Mary Nsia Mangu wa Arusha Tanzania, ili kuunga mkono Malengo ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo endelevu, SDGs, anaendesha taasisi maalum ya Dexterous Tanzania ambayo ina lengo la kuboresha elimu ya watoto, kuwapatia uelewa kupitia vitabu na pia kuwafahamisha kuhusu ukatili wa kijinsia.   Vile vile taasisi yake inasaidia kupinga ukatili dhidi ya watoto hususani wa Kike kwa kuwapa elimu kupitia njia mbalimbali ikiwamo kuwafikia moja kwa moja shuleni. Mary anawahamasisha wasichana kuwa majasiri kuleta mabadiliko ndani ya Jamii.   

Habari za UN
Kutoka Kenya hadi Marekani kupata mafunzo kwa vitendo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 30, 2020 6:04


Loise Wairimu, ni msichana ambaye alifunga safari kutoka Kenya kuja hapa jijini New York Marekani katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ili apate mafunzo kwa vitendo. Kwa takribani kipindi cha miezi sita amefanya kazi pamoja na timu nzima ya Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa akichota maarifa ya kazi. Loise anaanza kwa kueleza namna safari yake hii ilivyoanza na alichojifunza mchakato huu.

Habari za UN
Ubunifu wa kifaa Mwanza wawezesha wanafunzi kufanya sayansi kwa vitendo majumbani

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 2, 2020 3:31


Nchini Tanzania, wanufaika wa kifaa maalumu cha kujifunza sayansi kwa vitendo pasi na  uwepo wa Mwalimu kilichobuniwa na vijana wanane kutoka jijini Mwanza nchini humo, wamezungumzia jinsi ambavyo kinawasaidia. Ahimidiwe Olotu wa kituo cha habari za Umoja wa Mataifa, UNIC jijini Dar es salaam na ripoti kamili.

Habari za UN
Tanzania vijana wabuni kifaa cha mafunzo ya sayansi kwa vitendo bila mwalimu

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 20, 2020 3:02


Nchini Tanzania kikundi cha vijana 8 kimetengenza vifaa vinavyowezesha wanafunzi wa masomo ya sayansi kufanya mafunzo kwa vitendo bila ya kuhitaji mwalimu. 

Habari Diaspora Radio
Health Screening- Habari Diaspora Radio

Habari Diaspora Radio

Play Episode Listen Later Dec 5, 2018 2:27


Vitendo 4 Africa and Casa De Selude invites you for health screening at the Christ Covenant Church on Jan 26th 2019.

Habari Diaspora Radio
Vitendo 4 Africa Call for Medical Acces for Immigrants

Habari Diaspora Radio

Play Episode Listen Later Sep 5, 2018 3:49


Vitendo 4Africa in partnership with Casa de Salude invites all immigrants in need of medical access including those without insurance for appointment inoder to get treatment.

Habari Diaspora Radio
V4A Youth Mission Trip to Kenya 2018

Habari Diaspora Radio

Play Episode Listen Later Jul 12, 2018 2:39


Habari Diaspora Radio
Magic House - Tahariri

Habari Diaspora Radio

Play Episode Listen Later Jun 12, 2018 1:32


Vitendo 4 Africa

Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda

Afrika Ya Mashariki

Play Episode Listen Later Jan 11, 2017 9:37


Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Ugandaambapo tutaangazia  vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu. Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watuwanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao.

Kutu Bible (Dramatized)
Vitendo 14 - Acts 14

Kutu Bible (Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:55


Barnaba na Paulo kurudi kutoka safari - Barnabas and Paul return from their mission trip.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 25 - Acts 25

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:59


Paul defends mwenyewe kwa Gavana Festo - Paul defends himself to Governor Festus.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 23 - Acts 23

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 6:32


Paul defends mwenyewe Baraza - Paul defends himself to the Sanhedrin.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 22 - Acts 22

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 5:23


Paul defends mwenyewe kwa kundi la - Paul defends himself to the mob.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 21 - Acts 21

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 7:49


Paulo anarudi Yerusalemu na ni mbaroni - Paul returns to Jerusalem and is arrested.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 18 - Acts 18

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 4:52


Paulo na wenzake kufundisha katika Korintho - Paul and his companions teach in Corinth.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 8 - Acts 8

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 6:23


Philip waongofu mwongofu - Philip converts a proselyte from Ethiopia.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 7 - Acts 7

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 11:12


Stephen ni mawe - Stephen is stoned for preaching about Jesus.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 6 - Acts 6

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:57


Saba waliochaguliwa kumtumikia - The church chooses servants for the Grecian widows.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Vitendo 24 - Acts 24

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 5:05


Paul defends mwenyewe kwa Gavana Felix - Paul defends himself to Governor Felix.