Podcasts about maswali

  • 21PODCASTS
  • 737EPISODES
  • 28mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Oct 24, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about maswali

Latest podcast episodes about maswali

Radio Maria Tanzania
Fahamu historia ya neno Misa

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 24, 2025 27:17


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari  Kuu ya Mtakatifu Augustino  Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema neno Misa lilianza kutumika lini?  L'articolo Fahamu historia ya neno Misa proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je,unafahamu maana ya Mavazi wanayovaa Mapadre kabla ya kanzu ya Padre?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 25:20


Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Frater Benedict Luvanga kutoka Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Ruaha Jimbo Katoliki Iringa, akijibu swali la Msikilizaji linalosema Nini maana ya Mavazi madogo wanayovaa Mapadre kama Mshipi, kitambaa Mgongoni na Kifuani vinavyovaliwa kabla ya Kanzu ya Padre.  L'articolo Je,unafahamu maana ya Mavazi wanayovaa Mapadre kabla ya kanzu ya Padre? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu maana ya Msalaba na historia yake?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 27:09


Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, Mwezeshaji ni Frater Daud Fungameza kutoka Parokia ya Songwe Jimbo Katoliki Mbeya, akijibu swali la Msikilizaji linalosema nini maana ya Msalaba? historia yake na lini ishara ya Msalaba ilianza na kutumika, pia kwanini kunatofauti juu ya Upande wa kichwa cha Yesu wa kuegemea […] L'articolo Fahamu maana ya Msalaba na historia yake? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Kwanini Wakristo wengi hawazingatii Sala ya Hija?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 9, 2025 27:19


Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, Mwezeshaji ni Frater Jacob Mkandawile kutoka Parokia ya Bikira Maria wa Bwawa la Mtela Migoli Jimbo Katoliki Iringa, akijibu swali la Msikilizaji linalosema kwanini Wakristo Wakatoliki hawazingatii sana Sala ya Hija. L'articolo Kwanini Wakristo wengi hawazingatii Sala ya Hija? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
UNGA80:Hotuba ya Netanyahu yakumbana na upinzani, yeye augeuza ukumbi kuwa darasa

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 26, 2025 3:54


Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ukiwa umeingia katika siku yake ya nne hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani leo Ijumaa, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekuwa wa kwanza kuzungumza akitumia muda wake mwingi kushambulia wanamgambowa kipalestina, Hamas na kutetea kila uamuzi wa Israel. Anold Kayanda ameifuatilia hotuba hiyo kwa kina. Ilikuwa majira ya saa tatu na dakika chache hivi asubuhi ya leo saa za New York nchini Marekani ambapo Waziri Mkuu wa Isreal Benjamin Netanyahu amepewa fursa ya kuhutubia na ndipo ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ukakosa utulivu. Wajumbe kwa makundi walinyanyuka katika viti vyao na kuondoka huku wakiwaacha maafisa wa Israel wakimpigia makofi kiongozi wao na pia nchi zinazoiunga mkono Israel zikasalia katika viti vyao ikiwemo Marekani.Baadhi ya wajumbe watoka njeKatika eneo la walipotakiwa kukaa wawakilishi wa Palestina kulikuwa wazi, huku katika eneo la Iran ikibakia picha iliyokusanya sura za baadhi ya watu wao waliouawa na mashambulizi ya Israel. Bwana Netanyahu kwa mara nyingine tena ameingia na ubao wenye picha ya ramani ya eneo la Mashariki ya Kati akiutumia kuishambulia Iran na kwa kutumia kalamu akiweka alama ya vema kuonesha namna ambavyo Israel imefanikiwa kupambana na ngome za Irani katika ukanda huo. Katika suti yake, kifuani upande wa kulia, Bwana Netanyahu pia ameweka kibandiko chenye QR Code na akawaambia watu kuwa Israel bado inakumbuka tukio walilofanyiwa na Hamas mwezi Oktoba mwaka juzi na kwamba ikiwa watu wamesahau hilo basi waelekeze simu zao kwenye QR Code hiyo kwenye nguo yake ili iwaoneshe madhara yaliyofanywa na Hamas.Majina ya mateka yakasomwaWaziri Mkuu huyo wa Israel ameyasoma majina ya mateka ambao bado wako mikononi mwa Hamas katika eneo la Ukanda wa Gaza na pia akaueleza mkutano kuwa amesambaza vipaza sauti au spika katika eneo lote la Gaza ili anapoongea leo, azungumze moja kwa moja na mateka huko walikofichwa. Na hapo akabadilisha lugha na kuongea kwa kihebrania akiwaahidi kuwa atawakomboa. Vilevile amedokeza kuwa kwa namna ya kiintelijensia Israel imefanya simu leo ziweze kusambaza hotuba katika ukanda wa Gaza na hivyo akautumia muda huo kupeleka ujumbe mkali kwa Hamas kuwa ataendelea kuwadhibiti. Bwana Netanyahu pia  ameingia ukumbini na vibao viwili vyenye maswali na majibu ya kuchagua japokuwa jibu sahihi kwa mujibu wake na waliojibu kuwa ni All the Above, yaani majibu yote ni sahihi. Maswali yote yalikuwa yakiwatuhumu Iran, Hamas, Al Caeda, Hezbollah na Houthi kuwa pia wanaitakia kifo Marekani na wameua watu wengi Ulaya. Huenda hotuba hii ya Netanyahu ikaingia katika orodha ya hotuba tano ndefu zaidi baada ya ile ya Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani, Ya Mahmoud Abbass wa Palestina na Félix-Antoine Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambao wote hao walitumia zaidi ya dakika arobaini licha ya muda wa hotuba uliopangwa kuwa angalau dakika 15.

Radio Maria Tanzania
Kwanini sherehe ya ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo(pasaka) haina tarehe maalumu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 23, 2025 27:02


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Shemasi Benedict Pascal Ndinde, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino  Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Kwanini sherehe ya ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo(pasaka), haina tarehe maalumu?   L'articolo Kwanini sherehe ya ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo(pasaka) haina tarehe maalumu? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu maana ya Nadhiri?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 21, 2025 19:25


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Achilleus Rwechungura, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema . Maana ya Nadhiri  Je, nadhiri zinaweza kutolewa na Mungu au Mtu ? L'articolo Je, wafahamu maana ya Nadhiri? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, kwanini tunapoingia kanisani tunapiga goti kuelekeza macho yetu Altareni huwa tunaashiria Nini?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 15, 2025 25:35


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri George Kagumila, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songe,  nikijibu swali la Msikilizaji linasema Je, kwanini tunapoingia kanisani tunapiga goti kuelekeza macho yetu Altareni huwa tunaashiria Nini?   L'articolo Je, kwanini tunapoingia kanisani tunapiga goti kuelekeza macho yetu Altareni huwa tunaashiria Nini? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ni, kwanini Rozari ya Huruma ya Mungu inasaliwa saa tisa usiku

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 14, 2025 19:31


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami  Frateri Barnabas Muyushi, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema naomba kujuwa historia ya Rozari ya Huruma ya Mungu na kwanini inasaliwa saa sita usiku L'articolo Ni, kwanini Rozari ya Huruma ya Mungu inasaliwa saa tisa usiku proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 2, 2025 30:46


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Abel Ubamba, Kutoka seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ? L'articolo Mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Kwanini tunasema Yesu Kristo aliyekatika chembe kubwa ya Ekaristi Takatifu ni sawa na aliyekatika chembe ndogo.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 8, 2025 17:31


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Alphonce Andrew Mkumi kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea,nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Kwanini tunasema  Yesu Kristo aliyekatika  chembe kubwa ya Ekaristi Takatifu ni sawa na aliyekatika chembe ndogo ya Ekaristi Takatifu L'articolo Kwanini tunasema Yesu Kristo aliyekatika chembe kubwa ya Ekaristi Takatifu ni sawa na aliyekatika chembe ndogo. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu historia ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 8, 2025 28:47


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Erasmo Kadi Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Naomba kujua historia ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga. L'articolo Fahamu historia ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ufahamu Ujumbe wa Kwaresma mwaka huu 2025 kutoka TEC

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 3, 2025 27:05


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami  Frateri Peter Peter, Kutoka  Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Songea  nikijibu swali la Msikilizaji linalosema kuhusu Ujumbe wa Kwaresma mwaka huu? L'articolo Ufahamu Ujumbe wa Kwaresma mwaka huu 2025 kutoka TEC proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Huo ndio uhusiano kati Imani na Jubilee kuu mwaka 2025.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 3, 2025 27:50


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami  Frateri Peter Peter, Kutoka  Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Songea  nikijibu swali la Msikilizaji linalosema kuhusu Muundelezo wa Ujumbe wa Kwaresma mwaka huu 2025 sura ya tatu ? L'articolo Huo ndio uhusiano kati Imani na Jubilee kuu mwaka 2025. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, Watakatifu wote hawakuwahi kuanguka katika dhambi?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 20, 2025 26:50


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami  Frateri Renatus Kazimoto Mchele, Kutoka  Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Songea  nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Je, Watakatifu wote hawakuwahi kuanguka katika dhambi? L'articolo Je, Watakatifu wote hawakuwahi kuanguka katika dhambi? proviene da Radio Maria.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali ya Biblia

biblia maswali
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali ya Biblia kwa msikilizaji

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali mbali mbali ya Biblia kutoka kwa Msikilizaji

SBS Swahili - SBS Swahili
#66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 21, 2024 17:49


Jifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.

taka kodi yaku nyumba maswali jifunze
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali yanayotoka katika Biblia

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali ya msikilizaji

biblia maswali
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali ya Biblia

biblia maswali
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali katika Biblia

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali ya Biblia

biblia maswali
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Adam na Hawa wapo wapi

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali kutoka katika Biblia

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Imani ni nini