Podcasts about kozi ya kierumani

  • 4PODCASTS
  • 104EPISODES
  • 14mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Mar 18, 2009LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Best podcasts about kozi ya kierumani

Latest podcast episodes about kozi ya kierumani

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

hakuna somo pamoja deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Herr Thürmann ana kazi ya kumpatia Andreas – mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyotenganishwa

berlin andreas somo vitendo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hadithi ya Kaizari mwenye ndevu nyekundu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (II)

barbarossa somo hadithi deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Namna Martin Luther alivyookolewa... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (III)

luther wartburg somo katika deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hadithi ya kutafuta utambulisho. Sheria za sarufi: Sentensi za kitenzijina na neno „zu“.

somo sheria hadithi deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Je, Ex anaweza kufanywa aonekane... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

hakuna somo neno deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anapokea simu kutoka mtu anayemjua... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) wa vitendo vinavyotenganishwa

andreas nini somo wakati deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa

somo wakati deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 25 – Unaweza kunipatia taulo za mkono?

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 18, 2009 14:29

Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘

andreas somo unaweza vitendo frau berger deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 26 – Safari ya kwenda Loreley inapendeza ajabu

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 18, 2009 15:58

Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

safari hakuna somo loreley deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogo

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 18, 2009 14:00

Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi

andreas kwanza kazi somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 24 – Je, ungependa (kunywa) kahawa nyingine?

Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 18, 2009 13:27

Kualikana chakula kikazi: Frau Berger, Andreas na Ex... Muhtasari wa sarufi: Majina katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)

andreas somo majina frau berger deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anatahayari... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi na kidhihirishi katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)

andreas somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anatafuta tena kisingizio... Muhtasari wa sarufi: Vitendo visivyo kawaida (irregular verbs)

andreas somo vitendo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

andreas hakuna somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Dr. Thürmann anasimulia hadithi ya jengo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vivumishi vya sifa (II)

charit somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Kwa nini Ex ameondoka? Dr.Thürmann anajaribu kutoa maelezo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno

somo kwa wimbo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas, Hanna, Frau Berger – wahusika wanajijulisha... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo kisaidizi sein (II)

andreas somo hotel europa frau berger deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mgeni mpya anawasili... Muhtasari wa sarufi: Kuuliza swali kwa kiwakilishi cha kuuliza

kuna somo chuma mgeni deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ex na Andreas wanashangazwa na Dr. Thürmann... Muhtasari wa sarufi Mwendesho wa kitendo (III)

andreas hayo somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Dr. Thürmann anashangazwa na adabu za Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo (I)

andreas somo gani kitu deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ex anamwingiza Andreas matatani... Muhtasari wa sarufi: Kijineno doch

andreas somo hiyo heshima deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Dr. Thürmann anawasili Hotel Europa Muhtasari wa sarufi: Aina nyingine za kitendo kisaidizi sein.

aina somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas na Ex wanafanya safari ndefu... Muhtasari wa sarufi: Viunganishi (conjunctions)

andreas mambo somo lakini deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Kurudi kwa mtu umjuaye ... Muhtasari wa sarufi: Vivumishi vya sifa

somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ex hawezi kufunga mdomo wake... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vitendo (IV)

iv somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas na Ex wanawasili Berlin... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi (subordinate clauses)

berlin andreas somo treni bahnhof zoo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 19 – Vizuri (nimefurahi) umefika Berlin

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 14:58

Andreas anampigia simu Dr.Thürmamm... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi zinazotumia dass

berlin andreas somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anawahoji watu mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Wakati ujao (future tense)

berlin andreas sana somo kila ghali wakati kitu deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 22 – Berlin Alexanderplatz (Uwanja wa Alexander)

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 15:06

Barua kwa wazazi wa Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho (declension) wa vivumishi vya sifa (I)

andreas somo berlin alexanderplatz barua deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hanna, msichana anayesafisha vyumba na kero la wageni... Muhtasarui wa sarufi: Kidhihirishi -kikamilifu na kisicho kikamilifu

kama tena somo chumba deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 13 – Huu hapa tafadhali – ufunguo wangu!

Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 15:22

Kuja na kuondoka – Andreas akiwa kazini... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki mein, dein, n.k.

andreas somo hapa kuja deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hakuna habari zozote kutoka kwa Ex... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu kwa kutumia haben na sein

tena hakuna somo wakati deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ex anawazuru Heinzelmännchen.. Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita (imperfect tense) wa vitendo vya kawaida

somo wakati heinzelm deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Ziara ya mji wa Aachen... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya hali ya kuamuru (imperative)

hizo aachen somo ziara nipe deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 06 – Je, haijui siku ya kuzaliwa kwake?

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 15:00

Kila nchi ina desturi zake – Kusherehekea siku ya kuzaliwa nchini Uturuki...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo vyenye uhusika wa accusative na dative

somo kila siku deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hanimuni (honeymoon) mjini Aachen...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya majina (nomino) na vijineno

aachen ramani somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Safari ya kwenda Brussels – na tukio lisilopendeza...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya vitendo visivyo vya kawaida (irregular verbs)

brussels safari somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Je, umekosa Sehemu ya 1 na 2? Humu wahusika walikuwa...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya wakati uliopo (present tense)

jina somo humu sehemu deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo maarufu...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya njia za kusikiliza Kijerumani

supa somo muziki deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani kijerumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 12 – Inampasa mtu mmoja aliseme hilo neno la kichawi...

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 14:52

Ex asiachiliwe kujua kila kitu... Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita wa vitendo vya utaratibu

hilo somo neno wakati deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anaandika barua nyumbani... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa Vitendo (V)

andreas aachen somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mgeni wa hoteli akutana na matatizo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno katika sentensi kuu

gari somo yako mgeni deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio
Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mshairi miongoni mwa panya – Frau Berger anasimulia hadithi... Muhtasari wa sarufi: Wakati uliopita wa vitendo visivyo vya kawaida

somo wakati frau berger deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Herr Meier amerudi... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki (possesive pronoun) - hali ya wingi meine

somo herr meier deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Herr Meier ametoweka – zumari lake tu limebakia chumbani hotelini... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu mögen

somo herr meier deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kitendo kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Wasi wasi hotelini – Herr Meier ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Kitendo haben

hakuna somo wasi herr meier deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kitendo kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 17 – Vikombe vinne – bei ya jumla, Maki nne!

Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 14:26

Sanamu za mbilikimo wa bustanini na kijizimwi... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi binafsi, shamirisho la moja kwa moja (direct object)

maki vinne somo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 15 – Je, kanda (kaseti) unaziuza pia?

Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 14:45

Andreas anajiandaa kwenda kuuza vitu vyake kwenye soko la vitu vikukuu (flea market)... Muhtasari wa sarufi: Majina: muundo wa wingi (plural)

andreas somo kanda majina deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani
Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Nyuma ya mapazia – Andreas katika studio ya matangazo... Muhtasari wa sarufi: Marudio ya sintaksi

andreas sana somo hiyo deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kozi ya kierumani marudio