Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Follow Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Share on
Copy link to clipboard

Kufurahia Maisha ya Kila siku ni matangazo ya kila siku ya runinga na redio inayotolewa na Huduma ya Joyce Meyer.

Joyce Meyer


    • Jun 26, 2023 LATEST EPISODE
    • every other week NEW EPISODES
    • 25m AVG DURATION
    • 89 EPISODES


    More podcasts from Joyce Meyer

    Search for episodes from Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer with a specific topic:

    Latest episodes from Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

    Zingatia Mambo Mema Maishani 2

    Play Episode Listen Later Jun 26, 2023 24:07


    Mungu anataka kuja katika maisha yetu kufanya jambo la kupita kiasi na kusawazisha tulipo tamaa.

    Zingatia Mambo Mema Maishani 1

    Play Episode Listen Later Jun 19, 2023 25:13


    Joyce anafundisha juu ya umuhimu wa kusherehekea mema katika maisha yetu, sio kuishi katika maombolezo ya shida zetu.

    Fikiria jinsi Mungu anavyofikiria 2

    Play Episode Listen Later Jun 12, 2023 24:23


    Kadiri tunavyojua Neno la Mungu, ndivyo tutakavyohisi kuwa karibu Naye na ndivyo tutakavyokuwa wazi zaidi kwa mapenzi yake maishani mwetu.

    Fikiria jinsi Mungu anavyofikiria 1

    Play Episode Listen Later Jun 5, 2023 24:04


    Tunapoanza kujifikiria jinsi Mungu anavyotuwazia, hatuwezi kujizuia kupenda kile ambacho ameumba ndani yetu.

    mungu jinsi
    Kukabiliana na Hofu

    Play Episode Listen Later May 29, 2023 23:57


    Ikiwa umechoka kuhangaika na woga, gundua ukweli mmoja ambao unaweza kuwa umekosa katika maisha yako.

    ikiwa
    Chagua ujasiri badala ya Woga 2

    Play Episode Listen Later May 22, 2023 24:28


    Isipokuwa ukiamua kuishi kwa ujasiri, hutawahi kuona utimilifu wa hatima ya Mungu kwa maisha yako.

    Chagua ujasiri badala ya Woga 1

    Play Episode Listen Later May 15, 2023 25:47


    Gundua ni kiasi gani Mungu anakupenda ili uweze kuishi bila woga wa kufanya makosa.

    Chunguza malengo yako 2

    Play Episode Listen Later May 8, 2023 24:41


    Leo, Joyce anafundisha jinsi kutumia wakati katika Neno la Mungu kutaimarisha “mfumo wa mizizi” yetu.

    Chunguza malengo yako 1

    Play Episode Listen Later May 1, 2023 25:48


    Tukibaki na mizizi ndani ya Kristo, tutaendelea kuzaa tunda la Roho.

    Kuishinda huzuni na upweke

    Play Episode Listen Later Apr 24, 2023 24:40


    Je, maumivu katika siku zako za nyuma yamekuwa sehemu ya utambulisho wako? Jifunze jinsi unavyoweza kuanza upya baada ya kupitia uchungu.

    jifunze
    Kuishi kwa ujasiri

    Play Episode Listen Later Apr 17, 2023 26:25


    Ujumbe wa Mungu kwetu ni uleule aliompa Yoshua: "Ni yako. Sasa inuka uende ukaichukue!"

    Kuishi kwa ujasiri 2

    Play Episode Listen Later Apr 10, 2023 24:56


    Joyce anafundisha kwamba ni lazima tuweke kwanza kumpendeza Mungu kuliko kuwapendeza watu.

    mungu kuishi
    Kuishi kwa ujasiri 1

    Play Episode Listen Later Apr 3, 2023 24:59


    Mungu ana jambo muhimu kwa kila mmoja wetu kufanya, lakini ni lazima tuishi kwa ujasiri ili kutimiza hatima hiyo.

    mungu kuishi
    Kukuza mtazamo wa huruma 2

    Play Episode Listen Later Mar 27, 2023 24:40


    Leo, Joyce anafundisha jinsi tunavyoweza kukabiliana na yale mambo ambayo yanahitaji kushughulikiwa huku tukidumisha mtazamo wa huruma

    mtazamo
    Kukuza mtazamo wa huruma 1

    Play Episode Listen Later Mar 20, 2023 23:39


    Tunapokumbuka jinsi Mungu ametupa rehema, inakuwa rahisi zaidi kuwaonyesha wengine rehema.

    mungu mtazamo
    Usimhuzunishe Roho Mtakatifu

    Play Episode Listen Later Mar 13, 2023 25:32


    Roho Mtakatifu ni mshauri mpole na mwenye amani. Joyce anafundisha jinsi tunavyohitaji kutengeneza mazingira sawa katika maisha yetu ili kumruhusu Roho Mtakatifu kufanya kazi ndani yetu.

    Roho Mtakatifu Wa Ajabu 2

    Play Episode Listen Later Mar 6, 2023 24:50


    Mungu ana uwezo wote, na kwa njia ya Roho Mtakatifu, hutuwezesha kuishi maisha ya ujasiri kwa ajili yake.

    Roho Mtakatifu Wa Ajabu 1

    Play Episode Listen Later Feb 27, 2023 24:44


    Katika kipindi cha leo, Joyce anafundisha kuhusu umuhimu wa kuongozwa na Roho Mtakatifu na jinsi hilo linavyoathiri maisha yetu ya kila siku.

    Kukimbia Mbio Zako Ili Ushinde 2

    Play Episode Listen Later Feb 20, 2023 26:18


    Mbinu ya adui ni kujaribu kuharibu maendeleo yetu ya kiroho. Leo, Joyce anafundisha baadhi ya vikengeusha-fikira vinavyoweza kutuzuia.

    Kukimbia Mbio Zako Ili Ushinde 1

    Play Episode Listen Later Feb 13, 2023 24:53


    Kama wanariadha waliofaulu, ni lazima tujitie nidhamu ili kufanya mambo yale ambayo yatasababisha maisha ya ushindi katika Kristo.

    Zaidi ya Washindi 2

    Play Episode Listen Later Feb 6, 2023 25:36


    Joyce anafundisha kwamba tunaweza kuishi kwa kujiamini, si kwa woga, kwa sababu Mungu amekwisha suluhisha tatizo letu kabla hata hatujapata.

    Zaidi ya Washindi 1

    Play Episode Listen Later Jan 30, 2023 24:43


    Ili kuwa washindi katika vita vya maisha, ni lazima tukae safi katika ufahamu wa sisi ni nani ndani ya Kristo.

    Vitu Sita vya Kusema kwa Kukusudia 2

    Play Episode Listen Later Jan 23, 2023 26:16


    Maneno yako yana imani nyuma yake, na hiyo inamaanisha nguvu. Maneno utakayochagua yatafichua kile unachoamini na kuachilia nguvu ya imani hiyo.

    Vitu Sita vya Kusema kwa Kukusudia 1

    Play Episode Listen Later Jan 16, 2023 26:07


    Baadhi ya maneno muhimu sana utakayowahi kutamka ni yale unayosema kujihusu mwenyewe. Jifunze kunena Neno la Mungu katika maisha yako na kupokea nguvu zake.

    sita neno mungu baadhi jifunze
    Moyo Wangu, Nyumba ya Kristu 2

    Play Episode Listen Later Jan 9, 2023 25:55


    Jitolee Mwili wako kwa Bwana. ( Warumi 12:1-2 ) Kila chumba ndani ya nyumba (miili yetu) inahitaji kuchunguzwa. Chumba cha kula, Sebule, Chumba cha kulala n.k.

    moyo kila bwana chumba nyumba warumi
    Moyo Wangu, Nyumba ya Kristu 1

    Play Episode Listen Later Jan 2, 2023 25:15


    Sisi ni Hekalu la Roho Mtakatifu. Je, Mungu anahisi "nyumbani" ndani yetu? Kristo ndani yetu, Tumaini la Utukufu!

    Kufa ili Uishi 2

    Play Episode Listen Later Dec 26, 2022 26:26


    Ijumaa daima huja kabla ya Jumapili. Hatupaswi kutarajia kufikia furaha bila kupitia maumivu fulani kwanza.

    kufa jumapili
    Kufa ili Uishi 1

    Play Episode Listen Later Dec 19, 2022 25:04


    Ikiwa tunataka kuishi kwa furaha, tunahitaji kujifunza jinsi ya kuishi "maisha ya Mungu" sio "maisha ya kibinafsi."

    mungu kufa ikiwa
    Furahia Safari Yako

    Play Episode Listen Later Dec 12, 2022 24:45


    Katika kipindi cha leo, Joyce anakuhimiza "kuboresha imani yako," na kutambua ya kwamba Mungu anafanya kazi kikamilifu ndani yako na kupitia wewe.

    Maneno yako Huathiri yale Unayoamini

    Play Episode Listen Later Dec 5, 2022 25:18


    Unaweza kuabudu kwa nguvu kanisani, lakini maneno yako ni nini wakati ni wewe tu, Mungu na shida zako? Leo, Joyce anafundisha kwa nini huo ndio wakati muhimu zaidi wa kumzingatia Yeye.

    yale yeye mungu yako ibada unaweza
    Kutafuta uadilifu

    Play Episode Listen Later Nov 28, 2022 23:44


    Joyce anafundisha juu ya umuhimu wa kumtafuta Mungu kwa jinsi alivyo kuliko kile anachoweza kunifanyia.

    Mawazo ya Nguvu 5

    Play Episode Listen Later Nov 21, 2022 26:01


    Jifunze jinsi ya kuishi katika wakati uliopo na kufurahia kila wakati, tumia nidhamu na kujikinga, na umtangulize Mungu katika kila jambo unalofanya!

    akili mungu nguvu jifunze
    Mawazo ya Nguvu 4

    Play Episode Listen Later Nov 14, 2022 26:09


    Katika kipindi cha leo, jifunze kuzingatia amani katika mahusiano yako na Mungu, wewe mwenyewe, na hata wengine.

    Kukabiliana na woga na kupata uhuru 2

    Play Episode Listen Later Nov 7, 2022 25:57


    Usiruhusu hofu itawale maisha yako tena! Gundua ukweli mmoja ambao unaweza kuwa umekosa katika maisha yako.

    Kukabiliana na woga na kupata uhuru 1

    Play Episode Listen Later Oct 31, 2022 24:29


    Endelea kusonga mbele katika kile ambacho Mungu amekuitia kufanya kwa kujifunza jinsi ya kushinda woga na kupata uhuru katika Kristo.

    Mtazamo wa Imani na Subira

    Play Episode Listen Later Oct 24, 2022 25:50


    Haijalishi nini kinaendelea katika maisha yako, jifunze jinsi tabia ya kuaminiana inavyoachilia furaha huku subira hukuruhusu kufurahiya wakati huo.

    subira mtazamo
    Kushinda hisia za kutokuwa salama 2

    Play Episode Listen Later Oct 17, 2022 24:55


    Mungu hakukusudia ujipime uthamani wako kwa jinsi unavyoonekana na unavyohisi au kwa kujilinganisha na wengine. Ni wakati wa kugundua thamani yako ya kweli iko wapi.

    salama mungu kushinda
    Kushinda hisia za kutokuwa salama 1

    Play Episode Listen Later Oct 10, 2022 25:15


    Kipindi cha leo kitakupa changamoto ya kuachilia hali yako ya kutokuwa na usalama na kushikilia utambulisho mpya ulio nao katika Kristo.

    salama kristo kipindi kushinda
    Kumfuata Mungu kikamilifu 2

    Play Episode Listen Later Oct 3, 2022 25:19


    Usikate tamaa kuwa mtiifu kwa wito wa Mungu katika maisha yako! Ishi zaidi ya kile unachotaka, kufikiria au kuhisi, kwa kukabidhi matamanio yako kwa Bwana.

    Kumfuata Mungu kikamilifu 1

    Play Episode Listen Later Sep 26, 2022 24:11


    Warumi 12 inasema ujinyenyekeze kwa Mungu kama dhabihu iliyo hai. Kuza tabia mpya leo ya kumtanguliza Mungu katika kila eneo la maisha yako.

    mungu warumi
    Utiifu 2

    Play Episode Listen Later Sep 19, 2022 25:00


    Joyce anaendelea kufunza juu ya 'kwanini kutii kunahitaji kuwa mzizi wa tabia yako'.

    Utiifu 1

    Play Episode Listen Later Sep 12, 2022 23:26


    Kutii ni ufunguo wa kufungua nguvu za Mungu na furaha katika maisha yako. Gundua umuhimu wa kukuza nidhamu hii itokayo kwa Mungu.

    Claim Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

    In order to claim this podcast we'll send an email to with a verification link. Simply click the link and you will be able to edit tags, request a refresh, and other features to take control of your podcast page!

    Claim Cancel