POPULARITY
Sanaa ya Ufumaji ni sanaa ya Mikono inayotumia uzi kufuma Mavazi ya aina mbalimbali, kutana na Farida na Esther wasanii wanaofanya saa hizo walipozungumza na Steven mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
Samir Kassim Rashid maarufu Samir Kinyulinyuli ni Msanii wa Sanaa ya Muziki aliyelazimika kukimbilia Dar es salaam akitokea Morogoro ili kufanikiwa kisanaa, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa ya Jumahili.
Nyumba ya sanaa juma hili imekutana na wasanii wa mjini Beni mkoani Kivu kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambao wamekuwa wakihimiza amani katika nyimbo zao, sanaa ya muziki ikikaribishwa kwa kiasi kikubwa na watu kutoka rika zote nchini na nje ya nchi. Mwenzangu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alikutana na msanii wa Beni mashariki mwa DRC Mukombozi Mabenze almaarufu Tata Charles akielezea historia yake na sanaa ya muziki na hali ya eneo hilo
Sanaa ya Muziki Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, ni sanaa inayokua kwa kasi vijana wanawekeza kulifikia soko la Muziki Afrika Mashariki, B2K ni Msanii anayekonga Nyoyo za Wasichana zaidi kutokana na Tungo zake, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na B2K kutoka Njombe.
Wachoraji visiwani Zanzibar walia na gharama za kupata maeneo ya kunadi kazi zao za Sanaa hiyo, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Mchoraji maarufu visiwani humo Jamal.
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni miongoni mwa Makundi ya Muziki huo kutoka Visiwani Zanzibar, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
Hii leo jaridani tunaangazia miaka mitatu ya vita nchini Ukraine, machafuko nchini DRC na elimu Sudan Kusini. Makala inatupeleka katika ukanda wa Gaza kumulika harakati za chanjo ya polio, na mashinani nchini Kenya kusikia ujumbe kuhusu umuhimu wa lugha mama.Mkutano wa 58 wa Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu umeanza leo jijini Geneva, Uswisi ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amezungumzia kiza kilichotanda duniani hivi sasa kutokana na mapigano yanayoendelea sehemu mbalimbali kuanzia Ukraine, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC hadi Ukanda wa Gaza, yakiambatana na ukiukwaji mkubwa wa haki, akitaka kila juhudi zichukuliwe kusaka amani ya kudumu.Huko Gaza Kaskazini, kwenye eneo la wapalestina linalokaliwa na Israeli, wanafamilia zilizofurushwa makwao kutokana na vita kati ya Israeli na wanamgambo wa Hamas wanavumilia msimu wa baridi kali katika makazi ya muda ya mahema yanayopigwa na upepo na mvua usiku na mchana, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF. Nyumba zao zimeharibika na kuacha watoto kuishi katika mazingira mabaya.Katika makala Anold Kayanda wa Idhaa hii anaangazia chanjo inayoendelea katika Ukanda wa Gaza dhidi ya polio chini ya usimamizi wa Wizara ya Afya ya Palestina kwa kusaidiwa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa.Na mashinani ikiwa hivi majuzi Dunia iliadhimisha siku ya kimataifa ya lugha mama, tunakwenda Kajiado nchini Kenya kusikia ujumbe kuhusu umuhimu wa lugha mamaMwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Huko Gaza Kaskazini, kwenye eneo la wapalestina linalokaliwa na Israeli, wanafamilia zilizofurushwa makwao kutokana na vita kati ya Israeli na wanamgambo wa Hamas wanavumilia msimu wa baridi kali katika makazi ya muda ya mahema yanayopigwa na upepo na mvua usiku na mchana, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF. Nyumba zao zimeharibika na kuacha watoto kuishi katika mazingira mabaya. Ni sauti ya watoto wakitembea katikati ya mahema ya muda kwenye vichochoro vilivvyojubikwa na matope, hapa Gaza Kaskazini, huku wakijaribu kukwepa madimbwi ya maji yaliyosababishwa na mvua kubwa.Kupitia video iliyoandaliwa na UNICEF, Shahd Omar, msichana mwenye umri wa miaka kumi na saba, anaonekana amembeba nduguye, wengine wanaonekana wamekujikunyata kutokana na baridi. Shahd sasa akiwa amesimama nje hema lao anaelezea jinsi nyumba zao zilivyoharibiwa.“Tunavumilia hali ngumu sana,mvua kubwa, baridi, na upepo mkali, maisha ni magumu sana. Nyumba yetu ilivyoshambuliwa na kubomoka tulijitoa kwenye vifusi. Nyumba yetu imeharibika, hatuna samani, hakuna vituo vya kujikinga, wala mahali pa kukaa ili kupata joto. Maisha ni magumu. Hema letu lilikuwa karibu kupeperuka kwa sababu ya upepo mkali.”Kwingineko hapa, watoto wanaonekana wakicheza kwenye matope nje ya mahema zao huku maji yakitiririka kama mto. Layla Abu Asi ni mama wa watoto watatu, mwenye umri wa miaka 27 anasema,“Baridi hii ni kali mno, haiwezi kuvumilika ,upepo huu mkali umeleta madhara makubwa kwenye hema letu. Tangu asubuhi, maji ya mvua yamejaa kwenye hema letu, kila kitu kilichomo ndani kikilowa na kujaa maji. Watoto wangu wametota kwa maji ya mvua. Hii ni hali mbaya zaidi ambayo tumewahi kukumbana nayo.”UNICEF na wadau wanafanya kila wawezalo kuwasaidia wakazi wa Gaza.
Hii leo jaridani tunaangazia mahitaji ya wakimbizi wanaokimbia machafuko DRC wakielekea nchini Burundi, na hali ya wakimbizi wa ndani Gaza wakati huu wa msimu wa baridi. Makala tunakurejesha nchini DRC na mashinani tunakwenda nchini Tanzania.Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetoa ombi la dola milioni 40.4 ili kujiandaa na kutoa huduma za kuokoa maisha na usaidizi kwa wakimbizi wa ndani na waliokimbilia nchi jirani baada ya wakati huu ambapo mashambulizi ya waasi wa M23 yanazidi kufurusha raia kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraia ya Congo, DRC.Huko Gaza Kaskazini, kwenye eneo la wapalestina linalokaliwa na Israeli, familia zilizofurushwa makwao kutokana na vita kati ya Israeli na wanamgambo wa Hamas wanavumilia msimu wa baridi kali katika makazi ya muda ya mahema yanayopigwa na upepo na mvua usiku na mchana, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF. Nyumba zao zimeharibika na kuacha watoto kuishi katika mazingira mabaya.Katika makala Evarist Mapesa anakupeleka eneo la mpakani mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, na Burundi kufuatilia mmiminiko wa wakimbizi kutoka DR Congo.Na mashinani fursa ni yake Regnihadah Mpete kutoka Tanzania ambaye anatumia kiswahili, lugha ya taifa nchini Tanzania kufundisha vikundi vya wanawake wilayani Biharamulo, mkoani Kagera jinsi ya kujikinga na magonjwa. Mafunzo serikali kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani (UNICEF) kupitia TIP ambao ni Mtandao wa Madhehebu ya Dini mbalimbaliMwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Ungana nami Mtangazaji wako John Samky katika Kipindi cha Familia ni Nyumba ya Mungu ukiwa nami Frateri Revocatus Sylivester Shukuru Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Karol Lwanga Segerea, Jimbo Kuu la Dar es salaam akitungoza kujifunza Nafasi ya Baba, Mama na Watoto katika kujenga Familia. L'articolo Ifahamu nafasi ya Baba, Mama, na Watoto katika kujenga Familia. proviene da Radio Maria.
Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania walalama kutakwa Kimapenzi wa Watayarishaji wa Muziki, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiwa na Zainisha Nokolage maarufu Zainisha.
Sanaa ya Muziki wa asili ni miongoni mwa sanaa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania, Kutana na kundi la Sanaa lililowika katika majukwaa ya kimataifa wakiwa na bendi ya kipekee katika makala ya Nyumba ya Sanaa.
Karibu uungane nami John Samky, katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu leo tupo na Wakufunzi kutoka Famila bora katika Nyumba aminifu, wakielezea Dirisha la Nyumba Aminifu. L'articolo Ni, kwanini Sakramenti Takatifu ni muhimu katika maisha ya Mwanadamu? proviene da Radio Maria.
Kujenga nyumba Australia ni ndoto ya wengi ila, hatua muhimu zakufanikisha hili ni gani?
Muziki wa HIP HOP nchini Tanzania umefifia kutokana na ugumu wa kufanya Muziki huo,Msanii PMawenge anasimulia hatua za kuchukua kuurejesha sokoni katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
Karibu uungane nami John Samky katika kipindi cha Familia bora na nyumba aminifu, leo Wanafamilia bora wanaendelea kutufundisha juu ya mlango wa Familia na nyumba aminifu. L'articolo Je, unafahamu mlango wa nyumba aminifu? proviene da Radio Maria.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.
Sanaa ya ushairi inawavutia zaidi watu wanaotamani kujua utamu na upekee wa lugha adhimu ya Kiswahili, Chuo kikuu cha Dar es salaam kimewatambua na kuwapa fursa vijana waliosomea fani ya sanaa, kubobea katika kughani Mashairi. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii Michael James maarufu Michael.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Karibu uungane nami John Samky katika kipindi cha Familia bora na Nyumba aminifu, leo nipo na Bwana Paschal Maziku, Bi. Monica Kessy, Bi. Federika Bayaga, Katekista Gabriel Mwasenkwa, Bi. Sophia Nyanda na Bwana George Mapunda, Wakufunzi kutoka Famila bora katika Nyumba aminifu, wakielezea Changamoto za ndoa zinazosababishwa na watu wengine nje ya wanandoa. L'articolo Ni, changamoto gani zinazosababishwa na watu wengine nje ya wanandoa? proviene da Radio Maria.
Hii leo jaridani tunaangazia ujumbe wa Katibu Mkuu wa UN wa Tabaka la Ozoni, na mssada wa kibinadamu kwa wenyeji wa kisiwa kidogo cha Carriacou, Grenada waliokumbwa na kimbunga Beryl. Makal tunakupeleka nchini Nigeria na mashinani nchini Sudan.Pamoja na chapisho lililotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la hali ya hewa (WMO) kuangazia ushahidi unaoongezeka kwamba tabaka la ozoni kwa hakika liko mbioni kurejea katika hali nzuri, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe wake maalumu kwa ajili ya siku ya leo ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Tabaka la Ozoni amesisitiza mataifa yote ulimwenguni kuidhinisha na kutekeleza maazimio ya maboresho ya Itifaki ya Montreal yaliyozaa Marekebisho ya Kigali kwa lengo la kupunguza gesi chafuzi zenye nguvu zinazoongeza joto duniani.Kimbunga Beryl, kilichopiga tarehe 1 Julai 2024, kimewaacha wakazi wa kisiwa kidogo cha Carriacou, Grenada, na athari kubwa . Kufuatia changamoto zinazowakabili wasamaria kutoka maeneo mbalimbali likiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) wamewasaidia kurejesha matumaini kama anavyosimulia Anthony St. Hilaire manusura wa kimbunga hicho.Makala inatupeleka Maiduguri Nigeria ambako mafuriko yanayoshuhudiwa baada ya bwawa la Alau kupasua kingo zake kutokana na mvua kubwa hayajawahi kuonekana katika miaka ya karibuni. Shirika la Umoja wa Matifa la mpango wa chakula duniani WFP ni mdau Mkubwa katika kufikisha misaada kwa waathirika na mkuu wa ofisi yake ya Maiduguri Emmanuel Bigenimana anaeleza alichokishuhudia.Na katika mashinani Aziza, mama wa watoto wanne kutoka Sudan ambaye alikuwa mhudumu wa kibinadamu na sasa amejikuta mkimbizi nchini Uganda baada ya kukimbia nyumbani kwao Sudan kufuatia mapigano yaliyoanza Aprili 2023. Nyumba yao iliporwa kila kitu na sasa akiwa ukimbizi anasimulia maisha yalivyo tangu ahamishwe na kuwa mkimbizi huku akinufaika na msaada kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
Msanii wa Bongo Fleva, Baraka the Prince anauona muziki ni maisha, jambo linalomfanya afikirie zaidi namna mashabiki wake wataishi na kazi zake, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii huyo.
Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Familia bora na Nyumba aminifu, leo nipo na Bwana Paschal Maziku, Bi. Monica Kessy, Bi. Federika Bayaga, Katekista Gabriel Mwasenkwa, Bi. Sophia Nyanda na Bwana George Mapunda, Wakufunzi kutoka Famila bora katika Nyumba aminifu, wakiendelea kutufundisha juu ya umuhimu wa kutunza uhai katika maisha ya Ndoa. L'articolo Je, wafahamu Tunu za Ndoa Takatifu? proviene da Radio Maria.
Jifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.
Karibu katika kipindi cha Familia bora na Nyumba aminifu, leo nipo na Bwana Paschal Maziku, Bi. Monica Kessy, Bi. Federika Bayaga, Katekista Gabriel Mwasenkwa, Bi. Sophia Nyanda na Bwana George Mapunda, Wakufunzi kutoka Famila bora katika Nyumba aminifu, wakiendelea kutufundisha juu ya thamani ya kazi katika Maisha ya Familia. Mimi ni Mtangazaji wako Elizabeth Masanja. L'articolo Je, wafahamu thamani ya kazi na Maisha ya Familia? proviene da Radio Maria.
Mapinduzi ya Muziki wa Taarab yanajidhihirisha katika tenzi za wasanii wa Muziki huu kutoka tungo za Majigambo na sasa tungo za kuburudisha, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Jike la Chui.
Ungana nami Elizabeth Masanja, katika kipindi cha Familia bora Nyumba aminifu leo tupo na Bwana Paschal Maziku, Bi. Federika Bayaga, Bi.Ester Kinyonga, Katekista Vicent Nathanael na Katekista Gabriel Mgala wakituongoza kujifunza tunu za kazi. L'articolo Je, wafahamu Tunu za kazi? proviene da Radio Maria.
Zumbukuku ni miongoni mwa nyimbo zilizofanya vizuri katika muziki wa taarab, hii inashehenezwa na sauti ya kipekee ya kiume inayosikika katika muziki huo, Ally Star ndie aliyeimba wimbo huo; Ungana na Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Ally Star kuhusu namna nyimbo hizo zilivyotia fora.
Ungana nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Familia bora katika Nyumba aminifu, Wawezeshaji ni Bwana Paschal Maziku, Bi. Federika Bayaga, Bi. Ester Kinyonga, Katekista Vicent Nathanael na Katekista Gabriel Mgala, Wakufunzi wa Familia bora na Nyumba aminifu, wanaendelea kutufundisha juu ya Chanagamoto wapatazo Wazazi na Walezi katika Makuzi ya Watoto. L'articolo Fahamu mbinu za kuwalea Watoto katika Makuzi mema katika Jamii. proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Elizabeth Masanja, katika kipindi cha Familia bora na Nyumba aminifu leo tupo na Wakufunzi kutoka Familia bora katika Nyumba aminifu, wakiendelea na mada isemayo changamoto wapatazo wazazi na walezi katika malezi bora ya watoto. L'articolo Je, wafahamu changamoto wapatazo Wazazi na Walezi katika Malezi bora ya Watoto? proviene da Radio Maria.
Nyota Tiger ni mzaliwa wa jijini Mwanza nchini Tanzania alilazimika kusafiri mpaka maeneo ya kusini mwa Afrika kukwepa adha za wazazi kumnyima fursa ya kufanya muziki. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
Ungana nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Familia bora katika Nyumba aminifu, Wawezeshaji ni Bwana Paschal Maziku, Bi. Federika Bayaga, Bi. Ester Kinyonga, Katekista Vicent Nathanael na Katekista Gabriel Mgala, Wakufunzi wa Familia bora na Nyumba aminifu, wanaendelea kutufundisha juu ya thamani ya Watoto katika maisha ya Familia. L'articolo Je, wafahamu kuwa Mtoto ni tunu katika Familia. proviene da Radio Maria.
The 2024 Florida Prize exhibition at the Orland Museum of Art introduced your boy, JBarber, to 10 fantastic artists in the state of Florida. We got the People's Choice Award winner from that show, Njeri Kinuthia, on the Noize today. Her work is centered around her experiences growing up in Kenya and the ways she wrestles with culture, religion and social norms. Njeri talks about her love of drawing, her complex relationship with religion, and the ways her art helps her build a sense of self. We go through the details of some of Njeri's amazing work in the show including Njeri the Great, Nyumba, and Smothered II. Plus some stories about Njeri being a pastor and throwing shade with fabrics. Listen, subscribe, and share!Episode 188 topics include:coming to New York from Kenyafinding freedom in the clothingwrestling with cultural norms in artthe importance of drawingfemale oppression 2024 Florida PrizeNjeri Kinuthia bio:Njeri Kinuthia was born and raised in Kenya. She received her bachelor's degree in Fashion Design from Machakos University, Kenya. Njeri moved to the U.S. in 2021 to pursue her MFA at the University of Central Florida, funded by the Provost's Fellowship Award. Her artistic merit has been recognized with awards, including the 2024 Florida Prize in Contemporary Art People's Choice Award, the 2024 University of Central Florida Outstanding Graduate Creative Research, the 2023 Éclat Law Prize, the 2023 United Arts Public Art Award, the 2023 Innovation in Arts Award, among others. Njeri has exhibited her work in various shows and galleries, including the ongoing Florida Prize at the Orlando Museum of Art, and a solo exhibition at Snap! Gallery in Orlando. She has also showcased her art in international settings, including Norway. Njeri is also an Art Educator teaching at the University of Central Florida. Her work explores themes of self-reflection, feminism, and the suppression of women perpetuated by cultural and societal norms. Njeri has also shared her insights through artist talks and interviews, further contributing to the discourse on the role of art in society. See more: Njeri Kinuthia website + Njeri Kinuthia's IG @njeri_artistarFollow us:StudioNoizePodcast.comIG: @studionoizepodcastJamaal Barber: @JBarberStudioSupport the podcast www.patreon.com/studionoizepodcast
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Wachezaji wa timu ya taifa ya soka ya Ivory Coast na kocha wao Emerse Fae walizawadiwa pesa na nyumba za kifahari katika hafla iliyosimamiwa na Rais wa nchi hiyo Jumanne kusherekea ushindi wao katika fainali ya kombe la mataifa barani Afrika.
Have you ever wondered about the power of fellowship in shaping your Christian walk? This insightful message delves into the impact of community, urging reflection on the role of fellowship in nurturing faith and resilience. #citamchurchonline #ChurchEveryday Get in touch with us: http://www.citam.org/ churchonline@citam.org (+254) 784 277 277 (+254) 728 221 221
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.
Sasa hivi, kuna chini ya nyumba 50,000 za kukodisha kote nchini. Miaka mbili iliyopita, idadi ya nyumba hizo ilikuwa karibu mara mbili.
Jamii ya Inuit ya watu wa asili wa Eskimo ni miongoni mwa jamii za walio wachache sana kutoka jimbo la Inuvik nchini Canada. Jamii hiyo ambayo ina jumla ya watu 180,000 kwa asili ni ya wawindaji, wavuvi na wafugaji wa kuhamahama, lakini sasa kutokana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi wamelazimika kubadili mfumo wa maisha na kuishi mahali pamoja katika vijiji, hata hivyo mabadiliko hayo yamewaletea changamoto kubwa kama anavyosema Herbert Angiki Nakimayak, Makamu wa rais wa Baraza la jamii ya Inuit nchini humo anayehudhuria jukwaa la 22 la watu wa asili la Umoja wa Mataifa hapa Marekani alipozungumza na Idhaa hii ya Kiswahili..“Nyumba siku zote imekuw ni changamoto kubwa tunayokabiliana nayo katika maeneo ya vijijini na tunafanyakazi kwa karibu na uongozi ili kuhakikisha kwamba tuna nyumba zinazojitosheleza ili familia zetu ziewe kukuwa pamoja na kuwa zenye afya. Pia sidhani kama nchi au serikali zimejikwamua vyema kutoka kwenye janga la COVID-19, hivyo kuna huduma ambazo hazipatikani kwa watu wa jamii ya asili ya Inuit. Na baharini tuna msongamano wa meli ndogo na kubwa , pia linapokuja suala la umwagaji wa mafuta hatuna uwezo wa kukabiliana nalo hali itakayoathiri uhamaji wa viumbe kama nyangumi na samaki , Ndege na bata maji ambao wanahama ambao tunawtegemea.”Nakimayak ameongeza kuwa changamoto hizo anaamini suluhu itapatikana endapo jamii husika za asili zitajumuishwa na huo ndio ujumbe aliouleta kwenye jukwaa hili la watu wa asili, “Serikali , nchi na mataifa wanaandaa será na sheria kwa ajili ya watu wa asili, lakini sasa wakati umefika kwa nchi hizo kufanyakazi na watu wa asili ili kuunda sheria na taratibu na watu wa asili kwa ajili ya watu wa jamii zetu hasa wa vijijini ambao hawawakilishwi vya kutosha.”Na kwa jumuiya ya kimataifa ana wito,“Tungependa nchi na wanasayansi kuelewa kwamba sisi ni sehemu ya mfumo wa maisha na chochocte kitakachotokea katika mfumo wa maisha baharini au nchi kavu kitatuathiri pia, kitaathiri afya zetu na uwezo wetu wa kuendelea na mfumo wetu wa maisha wa kitamaduni na tunataka kulinda hilo kwa kadri tuwezavyo. Tunataka kuhakikisha kwamba tunalinda utamaduni wetu kwa ajili ya leo, kesho na wakati ambao watunga será na sheria watakapokuja kuweka sheria, será na kanuni ili wanafanye hivyo pamoja nasi na kwa ajili yetu hivyo ujumuishwaji ni ufunguo.”
Wapangaji jimboni New South Wales hawata hisi maramoja afueni yoyote, kutoka ongezeko ya kodi baada ya kiongozi wa jimbo hilo Chris Minns kutupilia mbali kikomo kwa ongezeko za kodi.
Nyumba nyingi za ibada kote duniani hufurika wakati wa pasaka, hali ambayo ni tofuati na wakati mwingine wa mwaka.