POPULARITY
Kuishi katika mazingira yenye moto kama Australia, wengi wetu hupata ugumu waku ona moto kama kitu kingine zaidi yakuwa tisho.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Leo ikiwa ni siku ya watoto duniani ikirejelea tarehe 20 Novemba mwaka 1954 kwa mara ya kwanza kabisa ilipoanzishwa na Umoja wa Mataifa ili kusongesha umoja na kujitambua miongoni mwa watoto duniani. Kisha siku hii ikaongezwa nguvu na Azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Watoto duniani mwaka 1959 na hatimaye mwaka 1989 Baraza hilo lililopitisha Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto, CRC. Mkataba unatambua haki kuu nne za msingi za mtoto: Kuishi, Kuendelezwa, Kulindwa na Kushirikishwa. Hii leo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limefanya maadhimisho ya kimataifa huko Copenhagen Denmark, na Madina Jubilate, Mchechemu wa UNICEF Tanzania kwa Tabianchi anaelezea alivyoshiriki.
Mkutano wa 29 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP29 unaoendelea huko Baku Azerbaijan umeleta pia watoto na vijana wanaharakati wa mazingiria kutoka kote ulimwenguni na kuwapatia fursa kuketi katika meza moja na viongozi ili kuhakikisha mustakabali wao umewekwa katika ajenda ya mkataba huo. Jukumu lao kama wachechemuzi wa mabadiliko chanya na hitaji la mazungumzo na ushirikiano kati ya vizazi lilitambuliwa rasmi katika matokeo ya Mkutano wa Zama Zijazo, SOTF mnamo Septemba 2024.Georgina Magesa, msichana mwenye umri wa miaka tisa na mwanaharakati wa mazingira, ambaye amewakilisha watoto wenzake kutoka Tanzania katika Mkutano wa 29 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP29 huko Baku, Azerbaijan. Anatoa ujumbe mahsusi akianza kwa kusistiza kuwa watoto pia wana mchango katika kutatua changamoto za mabadiliko ya tabianchi.“Watoto wenzangu duniani kote, nyie pia mnaweza kuleta mabadiliko chanya. Anza na hatua ndogo pia muwe na ndoto kubwa. Panda miti. Hifadhi maji. Jifunze kuhusu mazingira yetu. Kwa Pamoja vitendo vyetu vidogo vitageuka mabadiliko makubwa”Katika mwaka huu wa 2024 ambao viwango vya joto duniani vimevunja rekodi duniani, watoto na vijana wanaendelea kupaza sauti zao wakihimiza viongozi wa dunia kuchukua hatua za haraka zinazohitajika ili kushughulikia janga la mabadiliko ya tabianchi. Georgina anasema Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF liko mstari wa mbele, lakini sasa ni wakati wa mshikamano kwa ajili ya mazingira bora kwa watoto wa leo, na wa zama zijazo..“Kwa viongozi wa dunia walioko hapa leo, hii si kazi ya UNICEF pekee. UNICEF inafanya kazi nzuri na sisi watoto, lakini tunahitaji msaada wako ili kujenga ulimwengu wa kesho ambapo hakuna mtoto anayepaswa kuchagua kati ya afya na elimu yake; ambapo hakuna mtoto anayekunywa maji yasiyo salama; hakuna mtoto anayekosa shule kwa sababu ya masuala yanayohusiana na mabadiliko ya tabianchi; na ambapo kila mtoto ana nafasi ya kuwa na afya bora na elimu bora.”Georgina anatamatisha kwa kusisitiza kuwa janga la mabadiliko ya tabianchi limenyima watoto haki zao hivyo kwa kila mtu...“Kumbuka unapolinda mazingira unalinda afya, elimu na ndoto za watoto. Mtoto mwenye afya bora na elimu bora anaweza kubadilisha ulimwengu.”Ama kweli watoto wana haki ya kuishi katika mazingira salama!
Karibu uungane nami Elizabeth Masanja , katika kipindi cha Tafakari Nasi leo studio tupo naye Padre Wilbold Matembo kutoka Jimbo katoliki Musoma, akituongoza kutafakari kuishi vyema imani na kuishi namna ya kutumikia Mungu. L'articolo Fahamu namna ya kuishi vyema Imani na kumtumikia Mungu. proviene da Radio Maria.
Ungana nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Malezi na makuzi ya Vijana, Mwezeshaji ni Sister Theresia Karugaa, anayefanya utume wake katika Jimbo Katoliki Zanzibar akitufundisha juu ya Afya ya Akili kwa Watoto. L'articolo Fahamu namna ya kuishi na Mtoto mwenye changamoto ya afya ya akili. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Mtangazaji wako Martin Joseph, katika kipindi cha maadili yetu, leo nipo na Frateri Erick Kimario, Frateri Paschal Kasona na Frateri Daudi Mwamonje, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Paulo Kipalapala, Jimbo Kuu la Tabora, wakizungumzia haki ya Mtu kuchagua hali ya kuishi anayoipenda zaidi. L'articolo Ifahamu haki ya Mtu kuchagua maisha mazuri ya kuishi. proviene da Radio Maria.
Mtukuzeni Mungu wa Mbinguni, Kuishi kwa hofu siyo mpango wa Mungu
Mtukuzeni Mungu wa Mbinguni, Kuishi kwa hofu siyo mpango wa Mungu
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Kujua KUSUDI lako ndio mwanzo wa kuishi. Kuishi maisha ya KUSUDI ni kuleta maana katika maisha yako. Happy listening
Lets dive into reasons and practices for the Japanese and why their country has a higher life expectancy than any other country at 84 years average! How does this help us change our life styles? Enjoy episode!!
Ujumbe wa Mungu kwetu ni uleule aliompa Yoshua: "Ni yako. Sasa inuka uende ukaichukue!"
Joyce anafundisha kwamba ni lazima tuweke kwanza kumpendeza Mungu kuliko kuwapendeza watu.
Hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa umefanyika mkutano wa Siku ya Kimataifa ya Down Syndrome. Mkutano huo uliokuwa na kauli mbiu “Pamoja nasi, kwa ajili yetu” uliandaliwa na taasisi ya Down Syndrome International (DSI) kwa kushirikiana na taasisi ya The International Disability Alliance (IDA), Uwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Mataifa wa Brazil, Japan na Poland. Mmoja wa waliohudhuria mkutano huo ni Elly Kitaly, Mkurugenzi na Mwanzilishi wa asasi ya kijamii iitwayo Chadron's Hope Foundation inayohusika na kujenga mazingira bora kwa watu wenye hali ya Down Syndrome nchini Tanzania anaeleza aliyojifunza katika mkutao huo.
Mungu ana jambo muhimu kwa kila mmoja wetu kufanya, lakini ni lazima tuishi kwa ujasiri ili kutimiza hatima hiyo.
Ufumbuzi wa ubunifu wa maji unaotumia teknolojia ya nishati ya jua ambao unafanikishwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na wadau wake ukiwemo ule wa utekelezaji, Water Mission, na ule wa kutoa msaada wa fedha Grundfos Foundation kutoka nchini Denmark umesaidia serikali ya Tanzania kubuni suluhisho la msingi na la kudumu la maji katika jamii 15 za mkoa wa Kigoma ulioko magharibi mwa taifa hilo la Afrika Mashariki. Lengo lao kubwa ni kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa watu 99,107 mkoani humo ifikapo Machi 2024. Miongoni mwa wanufaika ni jamii, wanafunzi na wahudumu wa afya katika hospitali, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakikumbwa na changamoto za ukosefu wa maji na migogoro kati yao inayotokea mara kwa mara wakati kundi kubwa la watu linapokutana katika mto moja ulioko mbali kuteka maji. Hali ilikuwa vipi kabla na baaannoda ya mradi huo? Ungana basi na Selina Jerobon katika makala hii iliyofanikishwa na UNICEF.
Umoja wa Mataifa unasema robo tatu ya migogoro mikuu ya ulimwengu ina uhusiano na masuala ya kitamaduni na kwa hivyo kuziba pengo kati ya tamaduni ni jambo la haraka na la lazima kwa ajili ya amani, utulivu na maendeleo. Makaburi ya Kiyahudi huko Fez, Morocco ni ushuhuda wa utamaduni tofauti kuishi pamoja kwa amani.Wakiwa katika safari ya kikazi huko Fez, kuangazia Mkutano wa tisa wa Jukwaa la Umoja wa Mataifa la Muungano wa Ustaarabu, UNAOC, May Yacoub na Alban Mendes De Leon kutoka Timu ya Mawasiliano ya Umoja wa Mataifa walikutana na Johanna Devico Ohana, mzaliwa wa Fez, ambaye anatunza makaburi haya yenye umri wa miaka 200, akiheshimu jina la marehemu babake ambaye mwenyewe alikuwa msimamizi wa utunzaji wa makabuli haya hadi alipoaga dunia miezi michache iliyopita. Anold Kayanda anasimulia makala hii kwa lugha ya Kiswahili.
Jambo la kutafuta kwa ajili ya kuangalia na kuhudumia familia yako ni jambo ambalo halikwepeki kwa mwanaume, tena ikiwa ni mwanaume anaewajibika katika majukumu yake. Lakini, kwenye kutafuta wanaume wengi sana wamejikuta ikiwabidi kwenda kuishi mbali na familia zoo ili waweze kuzihudumia na pia waweze kutimiza ndoto walizonazo juu ya familia zao. Kuishi mbali na familia kunakuja na changamoto nyingi sana ambazo labda jamii haizitambui. Wanaume wengi wanateseka na namna ya kulea watoto wao, lakini pia hata namna ya kuboresha mahusiano na wenzi wao huku wakikabiliana na umbali uliopo kati yao. Philip Changala alihamia Dar es Salaam kutoka Dodoma mwaka 2016, akaacha familia yake Dodoma yenye mtoto mdogo kabisa. Leo hii ameamua kuzungumza na sisi namna maisha ya kuwa mbali na familia, hususani familia changa inavyoweza kuwa na changamoto nyingi sana kwa mwanaume, na namna ambavyo inaweza kuwa chanzo kikubwa cha changamoto ya afya ya akili kwa mwanaume. Nadia anaelezea namna ambavyo mwanaume anaweza akapambana na hali hiyo, lakini pia ni hatua zipi za kuchukua ili kuhakikisha nafasi yako kama baba na kama mume bado inabaki hata kama maisha yamekupeleka mbali na familią yako
Mtoto umleavyo ndio akuavyo ni methali unaofundisha jamii kuhakikisha iwapo inataka watoto wawe na tabia fulani basi ni vyema waanze kuwafundisha wangali wadogo. Na ndicho kinachofanywa nchini Tanzania na Chama cha watu wenye ualbino TAS mkoa wa Morogoro, mashariki mwa taifa hilo. Chama hicho kinaendelesha programu ya kutoa elimu kwa wanafunzi na kimetembelea shule ya msingi kilakala iliyopo Manispaa ya Morogoro na kutoa elimu kwa wanafunzi wa darasa la sita na la saba juu ualbino na namna ya kuishi nao katika Jamii. Miongoni mwa kilichowasukumua kutoa elimu kwa wanafunzi hao ni kuwa wanatumaini pindi wanfunzi watakapopata elimu hiyo wataenda kuwaelimisha na wengine na hii inaweza kuleta uelewa zaidi kwa Jamii hasa kwa watoto wenyewe kwa wenyewe wakikutana. Tuungane na Sure Ndereka wa Redio washirika Mviwata fm aliyeshuhudia wanafunzi hao wakipatiwa mafunzo na kutuandalia makala hii
Mtoto umleavyo ndio akuavyo ni methali unaofundisha jamii kuhakikisha iwapo inataka watoto wawe na tabia fulani basi ni vyema waanze kuwafundisha wangali wadogo. Na ndicho kinachofanywa nchini Tanzania na Chama cha watu wenye ualbino TAS mkoa wa Morogoro, mashariki mwa taifa hilo. Chama hicho kinaendelesha programu ya kutoa elimu kwa wanafunzi na kimetembelea shule ya msingi kilakala iliyopo Manispaa ya Morogoro na kutoa elimu kwa wanafunzi wa darasa la sita na la saba juu ualbino na namna ya kuishi nao katika Jamii. Miongoni mwa kilichowasukumua kutoa elimu kwa wanafunzi hao ni kuwa wanatumaini pindi wanfunzi watakapopata elimu hiyo wataenda kuwaelimisha na wengine na hii inaweza kuleta uelewa zaidi kwa Jamii hasa kwa watoto wenyewe kwa wenyewe wakikutana. Tuungane na Sure Ndereka wa Redio washirika Mviwata fm aliyeshuhudia wanafunzi hao wakipatiwa mafunzo na kutuandalia makala hii
Takwimu mpya katika ripoti ya WHO ya Alhamisi zaonyesha kuwa umri wa kuishi barani Afrika umeongezeka kwa karibu miaka 10 kati ya mwaka wa 2000 na 2019. Kinachoonekana zaidi katika ripoti hiyo ni kuongezeka kwa umri wa kuishi kutoka miaka 46 mwaka wa 2000 hadi miaka 56 mwaka wa 2019.
Nchini Tanzania mashirika mbalimbali yasiyo ya kiserikali yanaendelea kuunga mkono juhudi za Umoja wa Mataifa za kufanikisha mikataba ya kimataifa ikiwemo ule wa haki ya mtoto unaotaja haki kuu nne za msingi za mtoto ambazo ni Kuishi, Kuendelezwa, kulindwa na kushirikishwa. Miongoni mwa mashirika hayo ni SAWA Wanawake Tanzania ambalo linatambua umuhimu wa mtoto kuendelezwa kwa kupatiwa elimu na wakati huo huo kulindwa dihdi ya vitendo vya ukatili. Harakati za hivi karibuni zaidi za shirika hilo ni katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ambako shirika hilo liliandaa bonanza kuelimisha jamii kuhusu haki na ulinzi wa mtoto, ikisisitizwa kuweka mbele suala la malezi bora kwa wtoto, kuwalinda na ukatili ikiwemo wa kingono ili awewe kuhitimu masomo yake na kutimiza Ndoto kwani kata ya Dakawa inahitaji msaada kuwanusuru watoto. Nini kilifanyika? Hamad Rashid wa Radio washirika Kids Time FM nchini humo ameshuhudia bonanza hilo na kuandaa Makala hii.
Takwimu mpya zina onesha watu wanao kodi nyumba, wako chini ya ongezeko ya shinikizo kupata nakubaki ndani ya nyumba za bei nafuu.
KUISHI HAPA CHINI by Prophète Kacou Philippe
Usijaribu kuwa vile watu wengine walivyo. Gundua kile neema ya Mungu imekujalia kufanya.
Biblia inasema nini kuhusu kuishi maisha mazuri. (What the Bible says about living a good life.)
Je! Unajua ya kwamba Mungu anataka yaliyo bora kwako na kwamba ni sawa kwetu kwenda kwake na kila hitaji letu, haijalishi kama ni hitaji kubwa au ndogo?
Hotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Mkutano na Watanzania wanaofanya Biashara na Kuishi nchini China uliofanyika tarehe 8 Agosti 2021
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO kwa kushirikiana na shirika la PANAACEA wanatoa mafunzo nchini Argentina ya kuwezesha watoto wenye usonji kukabiliana na changamoto za ulemavu zinazowakabili ikiwemo kuchelewa kuzungumza. (Taarifa ya Leah Mushi) Nchini Argentina, mtoto Gabriel na nduguze wawili wakicheza mezani wakiwa na mama yao.
Mradi unaoendeshwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP na la chakula na kilimo
Follow me onInstagram@joelnanauka_Youtube: Joel NanaukaFacebook@jnanaukaTwitter@jnanauka
MAMBO O5 YANAYO GHARIMU AFYA NA UHAI WAKO 1.Kutokuhoji Kile Unachokula na Kunywa -Mazoea -Malezi -Makundi ya marafiki -Uraibu wa vyakula (Food addictions) 2.Kuruhusu uzito mkubwa na Kupalilia Kitambi Wengi wanatembea na Kisukari Kilicho Jificha kiitwacho Pre diabetes 3. Mwili kuwa katika msongo wa sumu zinazojeruhi mwili ziitwazo Free radicals bila 4.Kujua yaani Oxidative stress. 5. Kupuuza au kuyapotezea maradhi ya Lishe mpaka yanakuletea athari kubwa zisizotibika. "Kufa siogopi lakini Kuishi kwa mateso ya upofu au kupoteza kiungo hapa duniani sio chaguo langu"
Mfuko wa kimataifa wa maendeeo ya kilimo IFAD umesema haki za watu wa jamii za asili za kuishi na kulisha familia zao kwa kutumia ardhi zao kote duniani ni suala la muhimu lisilo na mjadala na mfuko huo umezitaka serikali kote ulimwenguni kuhakikiza haki hizo zinadumishwa.
Kuishi kinyumba bila ndoa
Kuishi kinyumba bila ndoa