POPULARITY
En este episodio platico con Nayeli Pereznegron, mamá, fundadora de Luchando Por Ángeles Pequeños. Nayeli abre su corazón y nos platica la historia de cómo su primer hijo, Luis Pablo, teniendo 1 año empezó a enfrentarse al cáncer y lo difícil que fue. Nos cuenta los retos que vivió en México que hicieron que se fueran a EUA, cómo a tan corta edad le explicaban a su hijo lo que tenía, lo que ella vivía como mamá con un dolor inexplicable. Naye cuenta experiencias muy dolorosas y a la vez inspiradoras que vivió dentro y fuera de los hospitales, y nos comparte cómo fue para ellos perder a un hijo como papás. A partir de esta enorme pérdida Nayeli decide servir y resignificar su dolor, abriendo la asociación Luchando Por Ángeles Pequeños, en la cual han ayudado a miles de niños de bajos recursos que también están luchando contra el cáncer. Su historia es una inspiradora y llena de aprendizajes.Sigue el trabajo de Nayeli y de Luchando Por Ángeles Pequeños:@nayelipereznegronwww.nayelipereznegron.com@luchandoporangelespequenoswww.lpap.com.mx Y sigue mi trabajo en mis redes: @jessicafdzg Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
En esta ocasión les traemos un episodio poderoso que sin duda se convertirá en uno de sus favoritos. Ixchel recibió en cabina a Naye y Gaby, creadoras del pódcats ganador del Premio Gabo: Las Mujeres Valientes. Hablamos sobre su comunidad, San Martín Itunyoso, Oaxaca y cómo las mujeres han luchado contra la violencia de género. Además, nos contaron que este proyecto se convirtió en un apapacho para su corazón y el de muchas otras mujeres valientes.Support the show: https://www.patreon.com/antifazSee omnystudio.com/listener for privacy information.
Tume hiyo huru imeyasema hayo katika taarifa mpya ya msimamo wa kisheriia iliyotolewa mjini Geneva Uswis kuhusu eneo linalokaliwa la Palestina ikiwemo Jerusalem Mashariki ambayo imeweka wazi maoni ya tume kuhusiana na wajibu wa serikali na jinsi Baraza Kuu na Baraza la Usalama linavyoweza kutambua na kutekeleza mbinu na hatua sahihi zinazohitajika kwa kazi hiyo hadi mwisho wa ukaliwaji huo, na kwa haraka iwezekanavyo.Tume ihiyo imebaini kwamba maoni ya ushauri ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki kuhusu matokeo ya Kisheria yanayotokana na sera na desturi za Israel katika eneo linalokaliwa la Palestina ikiwa ni pamoja na Jerusalem Mashariki ni wenye mamlaka na usio na utata kwa kusema kwamba kuendelea kuwepo kwa Israel katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu ni kinyume cha sheria na sheria ya kimataifa.Taarifa hiyo ikitolewa Geneva Gaza kwenyenyewe hali inaendelea kuwa tete, kwa mujibu wa Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestinna UNRWA Phillipe Lazzarini, kwani shule nyingine ya UNRWA imeshambuliwa leo Jabalia Kaskazini mwa Gaza, watu kadhaa wameripotiwa kuuawa na miongoni mwao Watoto wengi waliokuwa wakipata hifadhi katika jengo hilo.Lazzarini amesema hili ni shambulio la tatu dhidi ya majengo ya UNRWA kwa wiki moja. Na pia wafanyakazi wa shirika hilo wanaendelea kuuawa sasa wameffikia 231 tangu kuanza kwa vita hii Oktoba mwaka jana.Naye msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF James Elder akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi hii leo amesema “Gaza ni mfano halisi wa ulimwengu wa kuzimu duniani kwa watoto milioni moja wa eneo hilo. Na hali inazidi kuwa mbaya, siku baada ya siku, tunapoona athari za kutisha za mashambulizi ya anga ya kila siku na operesheni za kijeshi za Israek kwa watoto wa Kipalestina.”Nalo shirika la kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA likiangazia Ukingo wa Magharibi limesema “Vikosi vya Israel vimekuwa vikitumia mbinu mbaya za vita katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, na kuibua wasiwasi mkubwa juu ya matumizi ya nguvu kupita kiasi na kuongeza mahitaji ya kibinadamu ya watu.” Ameelezea wasiwasi kuhusu mashambulizi ya walowezi wa Israel dhidi ya Wapalestina na miti yao ya mizeituni wakati huu wa mavuno ya kila mwaka.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Sep 14,2024 Saturday : Morning : Sandhya GurubhaktiYog- Naye Sadhak Ki Sabase Badi Jarurat Kya Hai
Mapinduzi ya Muziki wa Taarab yanajidhihirisha katika tenzi za wasanii wa Muziki huu kutoka tungo za Majigambo na sasa tungo za kuburudisha, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Jike la Chui.
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
Nirakar Naye Rup Me Aaye : Ashram Bhajan
This first episode of Under the Hood with Emerald Lotus shines a light on the delightfully musical "Sunflowers EP" on Rosebloom Records, and introduces Lotus as a DJ and host. In Future, a small section will be spent each week on musical analysis, showing a spotlight on why our favourite music makes us groove - and then delivering a DJ set to match whatever has been discussed. This month, expect funky, jazzy, upbeat Drum and Bass and Jungle. Tracklist "Emerald Lotus - Sunflowers Emerald Lotus - Elixyr Emerald Lotus - My Time Emerald Lotus - Soundboy in Concert Emerald Lotus - Transcendance ft. OTROM Rizla, Western Sea - She's Cute Keeno - Communications Lenzman - Roseland Nu:Logic - Nova Halogenix - Cut Loose The Caracal Project - Stone Cold Dexcell ft. LaMeduza - Freefall Dexcell - Pacifica Lenzman - Ever so Slightly Funkware - Take a Chance T.R.A.C, Adrienne Richards, Random Movement - Step Tune Zero T, Onj, Ms Naye, Unitsouled - Twenty Three Sully - Flock 4am Kru - In & Out Bcee, Bladerunner - Fatal Attraction Break ft. Celestine - Last Goodbye Bensley - Under the Sunshine Halogenix, SOLAH - Out of Line Halogenix - Souldout Dustkey, Petroll - Blow Fire Technimatic, Lucy Kitchen - Looking for Diversion VIP LSB, Lenzman - The Hurting (Lenzman Remix) Nu:Logic ft. Thomas Oliver - Side by Side"
Gang gets together to discuss how certain grifters use the term Hindu Atheist to describe themselves when in reality they are just people looking to pile hate on minorities and how there is a whole nexus of them which is also being legitimized now. They talk of their own experiences and understanding of religion too and then finally an election roundup.
NEW YEAR 2024 SPECIAL BAYAN | Naye Saal Ki Mubarkbaad Dene Walo Suno | Mufti Tariq Masood Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Miriam and Naye from the Palestinian Youth Movement do a deep dive into the modern history of Gaza and what role it plays in the Palestinian people's liberation struggle. Check out their teach-in at the People's Forum in NYC Support www.patreon.com/east_podcast
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Naye Sal Ka Naya Satsang : Pujya Sant Shri Asharamji Bapu Satsang
Wiki ya wakimbizi huadhimishwa nchini Australia kati ya 18 Juni hadi 24 Juni kila mwaka.
Ikiwa leo ni Siku ya Wakimbizi Duniani tutawasikia wakimbizi wa ndani DRC wanavyozungumzia harakati za Umoja wa Mataifa katika kutekeleza Kauli mbiu ya mwaka huu:"Matumaini Mbali na Nyumbani.".Pia utasikia habari kwa ufupi zikiangazia ujumbe wa katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kwa siku hii ya wakimbizi duniani akihimiza mshikamano na ushirikiano na wakimbizi. Naye kamishna wa wakimbizi Filippo Grandi ameadhimisha siku hii akiwa katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyoko nchini kenya ambapo ametoa wito kwa wadau kuunga mkono wakimbizi lakini pia kuzisaidia nchi zinazopokea na kuwahifadhi wakimbizi kama Kenya.
Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari , waandishi wa habari watatu wanawake nchini Iran ambao kwa sasa wanatumikia kifungo wametangazwa kuwa washindi wa tuzo ya uhuru wa vyombo vya habari ya shirika la umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO/Guillermo Cano kufuatia mapendekezo ya jopo la majaji wa kimataifa wa tasnia ya habari. Washindi hao Niloofar Hamedi, Elaheh Mohammadi and Narges Mohammadi ushindi wao umetanmgzwa na Audrey Azouley mkurugenzi mkuu wa UNESCO katika hafla maalum iliyofanyika hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani."Sasa kuliko wakati mwingine wowote, ni muhimu kutoa pongezi kwa waandishi wa habari wanawake wote ambao wanazuiwa kufanya kazi zao na ambao wanakabiliwa na vitisho na mashambulizi dhidi ya usalama wao. Leo tunaenzi kujitolea kwao kwa dhati na uwajibikaji”.Naye alisema Zainab Salbi, mwenyekiti wa Baraza la Kimataifa la wanataaluma wa vyombo vya habari. Amesema "Tumejizatiti kuenzi kazi ya ujasiri ya waandishi wa habari wanawake wa Iran ambao kuripoti kwao kulisababisha mapinduzi ya kihistoria yaliyoongozwa na wanawake. Wamelipa gharama kubwa kwa kujitolea kwao kuripoti na kueleza ukweli. Na kwa ajili hiyo, tumedhamiria kuwaenzi na kuhakikisha sauti zao zitaendelea kusikika duniani kote hadi wawe salama na huru,” Niloofar Hamedi anaandikia gazeti la kila siku la Shargh la wanamageuzi. Alitangaza habari za kifo cha Masha Amini kufuatia kuzuiliwa kwake chini ya ulinzi wa polisi tarehe 16 Septemba 2022.Niloofar anashikiliwa kizuizini kwenye kifungo cha upweke katika Gereza la Evin la Iran tangu Septemba 2022.Elaheh Mohammadi anaandikia gazeti la wanamageuzi, Ham-Mihan, linaloangazia masuala ya kijamii na usawa wa kijinsia.Aliripoti kuhusu mazishi ya Masha Amini, naye pia amezuiliwa katika Gereza la Evin tangu Septemba 2022.Hapo awali alikuwa alipigwa marufuku kuripoti kwa mwaka mmoja mwaka 2020 kutokana na kazi yake.Niloofar Hamedi na Elaheh Mohammadi ni washindi wa pamoja wa tuzo ya kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2023, tuzo ya wanahabari ya Canada ya uhuru wa kujieleza (CJFE), na Tuzo ya Harvard ya Louis M. Lyons 2023 ya dhamiri na uadilifu katika uandishi wa Habari.Pia wametajwa kama wawili miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi zaidi wa Jarida la Time la mwaka 2023.Narges Mohammadi amefanya kazi kwa miaka mingi kama mwandishi wa habari wa magazeti mbalimbali na pia ni mwandishi na makamu mkurugenzi wa kituo cha asasi ya kiraia cha watetezi wa haki za binadamu (DHRC) chenye makao yake mjini Tehran.Kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 16 jela katika Gereza la Evin. Ameendelea kuripoti kwa maandishi kutoka gerezani, na pia amewahoji wafungwa wengine wanawake.Mahojiano haya yalijumuishwa katika kitabu chake "White Torture" mwaka 2022, alishinda tuzo ya ujasiri ya waandishi wasio na mipaka (RSF).Kwa mujibu wa UNESCO ulimwenguni kote, wanahabari wanawake na wafanyikazi wa vyombo vya habari wanakabiliwa na ongezeko la mashambulizi ya nje ya mtandao na mtandaoni na wanakabiliwa na vitisho maalum na visivyo vya kawaida.Unyanyasaji wa kijinsia wanaokabiliwa nao ni pamoja na unyanyapaa, kauli za chuki za kijinsia, kukandamizwa, kushambuliwa kimwili, ubakaji na hata mauaji. UNESCO inatetea usalama wa waandishi wa habari wanawake na inashirikiana na wadau wengine kutambua na kutekeleza mazoea mazuri na kushirikiana mapendekezo na pande zote zinazohusika katika kukabiliana na mashambulizi dhidi ya waandishi wa habari wanawake, kama inavyotambuliwa na maazimio mengi ya Umoja wa Mataifa.UNESCO pia inashirikiana na mashirika maalumu kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa vyombo vya habari wanawake mashinani na kupitia kozi za mafunzo ya mtandaoni, na inafanya kazi na vikosi vya usalama ili kuwahamasisha kuhusu uhuru wa kujieleza kwa kuzingatia jinsia.
Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina na leo tunamulika juhudi za kumkwamua mjasiriamali hasa nchini Kenya. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo ziara za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Qatar, haki za binadamu na misaada kutoka mashirika nchini Sudan. Katika mashinani na kuelekea siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari hapo kesho, tunakuletea ujumbe wa Mwandishi wa Habari kutoka Uingereza kuhusu changamoto zinazowakumba waandishi wa habari.Mratibu Mkuu wa Umoja Mataifa kuhusu misaada ya dharura, Martin Griffiths ambaye yuko Kenya kusaka suluhu ya kufikisha misaada ya kiutu nchini Sudan, amemshukuru Rais William Ruto kwa uongozi na usaidizi wake kuona hatua za dharura za kiutu zinachukuliwa ili misaada ifikie nchini Sudan. Ametoa kauli hiyo baada ya Rais Ruto kuongoza mkutano uliohudhuriwa na viongozi waandamizi wa Umoja wa Mataifa wakiwemo Naibu Katibu Mkuu wa UN Amina Mohammed, Mkuu wa UNHCR Filippo Grandi na Bwana Griffiths.Hayo yakiendelea, msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya uratibu wa misaada ya dharura, OCHA Jens Laerke amezungumza na waandishi wa habari huko Geneva Uswisi hii leo na kusema mashirika ya Umoja wa Mataifa ya usaidizi wa kiutu yanakabiliwa na pengo la dola bilioni 1.5 la kufanikisha operesheni zake Sudan wakati huu mahitaji yanaongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea, maelfu ya watu wakifurushwa makwao.Naye msemaji wa shirila la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi duniani, UNHCR mjini Geneva, Uswisi Olga Sarrado Mur amewaambia waandishi wa habari hii leo kwamba shirika hilo litazindua Mpango wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wa kuchukua hatua za usaidizi Sudan, wakati huu ambapo takwimu za serikali, wadau na UNHCR zinaonesha zaidi ya watu 800, 000 wamekimbia Sudan na kuelekea Chad, Ethiopia, Sudan Kusini, na kwingineko, ambapo 600,000 ni wasudan na 200,000 ni wasudan kusini na wengineo waliokuwa wanapatiwa hifadhi Sudan.Na katika mashinani na kuelekea siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari hapo kesho, tunakuletea ujumbe wa Mwandishi wa Habari kutoka Uingereza kuhusu changamoto zinazowakumba waandishi wa habari.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
Wakati vita nchini Ukraine ikikaribia kuingia mwaka wa pili, ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR leo kwa pamoja wameomba jumla ya dola bilioni 5.6 ili kupunguza madhila yanayowakabili mamilioni ya watu walioathirika na vita nchini Ukraine.Ombi hilo la mpango wa msaada wa kibinadamu kwa ajili ya Ukraine linawaleta pamoja zaidi ya washirika 650 wengi wao wakiwa ni mashirika ya nchini Ukraine ambayo yanaomba dola bilioni 3.9 kati ya ombi hilo la jumla ili kuwafikia watu milioni 11.1 kwa msaada wa chakula, huduma za afya, fecha taslim na msaada mwingine wa kuokoa maisha.Mpango wa kuwahudumia wakimbizi kutoka nchini Ukraine pekee unahitaji dola bilioni 1.7 ambazo zitatoa msaada kwa wakimbizi hao walioko katika nchi 10 ambazo ni Bulgaria, Jamhuri ya Czech, Estonia, Hungary, Latvia, Lithuania, Moldova, Poland, Romania na Slovakia, na utajumuisha washirika 250 na nusu yake ni wa kitaifa kutoka Ukraine.Msaada huo utawasaidia wakimbizi milioni 4.2 wa Ukraine na jamii zinazowahifadhi.Mratibu wa masual ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa OCHA Martin Griffis amesema “”Ikikaribia miaka miwili vita nchini Ukraine inaendelea kusababisha vifo, uharibifu na kutawanya watu kila uchao na katika kiwango kikubwa. Tunaendelea kutoa kipaumbele kwa msaada kwa watu ambao wanaihutaji zaidi na kusaidia mamlaka na mashirika ya kiraia ambayo yanajitolea kwa kila hali na lazima tufanye kila liwezekanalo kufikia maeneo ambayo hayafiki ikiwemo ya msitari wa mbele wa vita.”Naye kamisha mkuu wa wakimbizi Filippo Grandi amezipongeza nchi zinazopokea na kuhifadhi wakimbizi akisema “Msaada wao ni wa kuigwa ukionyesha uongozi imara, na mshikamano wa hali ya juu ikiwa ni pamoja na kazi zinazofanywa na asas iza kiraia hususan NGO's na mashirika yanayoongozwa na jamii za wakimbizi. Ulaya imedhihirisha kuwa mdau imara katika hatua za pamoja za kusaidia wakimbizi.Takriban watu milioni 16 nchini Ukraine walipokea msaada na huduma za ulinzi mwaka 2022 ikiwemo katika maeneo ambayo hayadhibitiwi na serikali.
Kikosi cha 9 cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wanaohudumu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kupitia Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo - MONUSCO wamehitimisha kampeni yao ya Afya na Amani iliyoanza tarehe 3 mwezi huu wa January ambapo wamekabidhi jengo kwa ajili ya mahali pa wagonjwa na wahudumu wa afya kula chakula katika Kituo cha Afya cha Mavivi, mjini Beni, Jimboni Kivu Kaskazini mashariki mwa DRC.Akikabidhi jengo hilo Kamanda wa kikosi cha tisa cha Ulinzi wa Amani kutoka Tanzania Luteni Kanali Barakael Mley amesema jengo hilo litabaki kuwa kumbukumbu ya uhusiano mzuri baina ya walinda Amani wa kikundi cha Tisa na wananchi wa maeneo ya Mavivi na maeneo jirani,Akiongea kwa niaba ya Maganga mkuu wa hospital ya Oicha na wananchi wa maeneo ya Mavivi Dr Kasereka Nzala amewapongeza walinda Amani hao wa Tanzania wanaohudumu chini ya mwamvuli wa MONUSCO wamekuwa wakifanya jitihada mbalimbali katika kutatua changamoto za wananchi katika maeneo yao ya uwajibikaji,Kwa upande wake afisa Mahusiano wa kikosi cha tisa cha Ulinzi wa Amani kutoka Tanzania Kepteni Paul Mwesongo amebainisha kuwa hali ya uhusiano baina ya wananchi na walinda Amani hao,Naye bi Kavathama Clarice, mwenyekiti wa kamati ya Afya katika kituo cha afya cha Mavivi amesema,
Nchi za Afrika zimechagizwa kuwekeza katika kujenga mnepo wa miundombinu thabiti ya ya mtandao wa intaneti ili kutumia fursa za kidijitali na kuharakisha mageuzi ya kijamii na kiuchumi barani humo.Hayo yameelezwa na viongozi wa kimataifa wanaohudhuria kongamano la 17 la udhibiti wa mtandao IGF 2022 linalofanyika Addis Ababa, Ethiopia, wakisisitiza umuhimu wa teknolojia ya kidijitali kama zana za kuimarisha maendeleo kote barani Afrika. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, amewaambia washiriki kuwa ingawa teknolojia za kidijitali zinabadilisha maisha na uwezo wa watu kuishi, zinakiuka kanuni na kuzidisha ukosefu wa usawa duniani kote. Ametoa wito wa kuwa na mustakabali wa kidijitali unaozingatiahaki za binadamu kwa msingi wa mtandao thabiti ulio wazi, unaojumuisha watu wote, na salama kwa wote kulingana na mapendekezo yake ya Global Digital Compact. Makubaliano ya Global Digital Compact yanayopendekezwa yanalenga kutoa fursa ya watu wote kuunganishwa na mtandao wa intaneti, kuziba pengo la mgawanyiko wa kidijitali na kufikia mamilioni ya watu ambao hawajaunganishwa na intaneti. Guterres amesisitiza kuwa "Fursa salama za kidijitali zinazozingatia haki za binadamu huanza na ulinzi wa uhuru wa kujieleza, na haki ya uhuru na faragha mtandaoni," akisisitiza kwamba serikali, makampuni ya kibinafsi na majukwaa ya mitandao ya kijamii yana wajibu wa kuzuia uonevu mtandaoni na taarifa potofu ambazo zinahujumu demokrasia, haki za binadamu na sayansi. "Tunahitaji kufanyia kazi mustakabali ulio salama, wenye usawa na wazi wa kidijitali ambao hauvunji ufaragha au utu," amehimiza Guterres. Waziri mkuu wa Ethiopia Abiyi Ahmed ambayo ndio mwenyeji wa kongamano hilo lililobeba kaulimbiu “mnepo wa mtandao wa intaneti kwa ajili ya mstakbali endelevu wa pamoja” katika hotuba yake ya ufunguzi amesema "Mchango wa mtandao wa intaneti katika maendeleo ya kijamii ni mkubwa, uimarishaji wa demokrasia ya ujuzi na mawasiliano, upatikanaji wa ujuzi wa ujasiriamali na fursa mpya za ajira, upatikanaji wa huduma za afya na elimu ni baadhi ya machache muhimu,". Hata hivyo, waziri mkuu Ahmed amesema kuna haja ya kutahadharishwa kwa matumaini kuhusu umiliki wa miundombinu muhimu ya kidijitali, usimamizi wa takwimu na usalama wa mtandao kwani usimamizi wa takwimu ni kuhusu kuoanisha majukumu ya mfumo wa ikolojia wa kidijitali ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kulinda haki za mtu binafsi. Naye kaimu katibu mtendaji wa tume ya uchumi kwa Afrika (ECA), Antonio Pedro, amesema kupunguza mgawanyiko wa kidijitali ni muhimu katika kujenga njia mpya za ukuaji wa haraka wa uchumi, uvumbuzi, uundaji wa ajira na upatikanaji wa huduma barani Afrika. Takwimu zinaonyesha kwamba takriban watu milioni 871 barani Afrika hawajaunganishwa na mtandao wa intaneti na fursa ni finyu zaidi hasa maeneo ya vijijini, ingawa asilimia 70 ya watu Afrika wana fursa ya intaneti kupitia simu za rununu. Hata hiyo Bwana Pedro amesema ni chini ya asilimia 25 ya walio na simu za rununu ndio wanaotumia intaneti hiyo kutokana na gharama kubwa ya intaneti ya mitandao ya simu barani humo. Kongamano hilo la IGF lilianza Novemba 28 na litakunja jamvi Desemba 2.
Ripoti ya utafiti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya wanawake UN Women na ofisi ya Umoja wa Mataifa ya madawa na uhalifu UNODC inaonyesha kuwa wanawake na wasichana ndio walio katika hatari kubwa ya kuuawa majumbani, ikionyesha kuwa kwa wastani zaidi ya wanawake au wasichana watano waliuawa kila saa na wenzi wao au jamaa wa familia kwa mwaka 2021.Ripoti hiyo kuhusu mauaji ya wanawake imetolewa siku chache kabla ya siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Novemba n ani kumbusho kwamba ukatili dhidi ya wanawake na wasichana ni moja ya ukiukwaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani. Kwa mujibu wa utafiti huo wa UNODC na UN Women miongoni mwa wanawake na wasicna wote waliouawa mwaka jana asilimia 56 waliuawa na wenzi wao ay jamaa wa familia saw ana watu 45,000 kati ya 81,000 huku ripoti ikionyesha kuwa nyumbani sio mahali salama kwa wanawake na wasichana wengi. Wakati huohuo asilimia 11 ya mauaji yote ya wanaume yanafanywa kwa faragha. Mkurugenzi mtendaji wa UN Women Sima Bahous amesema “Katika kila takwimu ya mauaji ni hadithi ya mwanamke au msina ambaye tumemuangusha. Vifo hivi vinazuilika nyenzo na ujuzi wa kufanya hivyo tayari vipo. Mashirika ya kupigania haki za wanawake tayari yanafuatilia takwimu na kuchagiza mabadiliko ya sera na uwajibikaji. Sasa tunachohitaji ni hatua katika jamii ambazo zitatimiza haki za wanawake na wasichana ili wahisi na kuwa salama majumbani, mitaani na kila mahali.” Naye mkurugenzi mtendanji wa UNODC Ghada Waly amesema “Hakuna mwanamke au msichana anayepaswa kuhofia maisha yake kwa sababu tu ya jinsi alivyo. Kukomesha aina zote za mauji ya kijinsia kwa wanawake na wasichana, tunahitaji kumhesbu kila muathirika kila mahali na kuboresha uelewa wa hatari na vyanzo vya mauaji ili tuweze kuandaa vyema mbinu za kuzuia nah atua za kisheria. UNODC inajivunia kuzindua utafiti huu wa mwaka 2022 kuhusu mauaji na UN Women kwa lengo la kuchagiza hatua za kimataifa na kupongeza juhudi za mashirika ya kupigania haki za wanawake kote duniani kukomesha uhalifu huu.” Kuhusu tofauti za kikanda,Asia ilirekodi idadi kubwa zaidi ya mauaji yanayohusiana na jinsia katika maeneo ya faragha mwaka 2021. Kwa bara la Afrika ripoti imeeleza kuwa wanawake na wasichana wako katika hatari ya kuuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine . UN Women na UNODC wamesema ripoti ya leo itasaidia kufahamisha kuhusu siku 16 za uhamasishaji kupinga ukatili wa kijinsia mwaka huu, ambayo ni kampeni ya kimataifa inayoanza tarehe 25 Novemba, siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake, na itaendelea hadi Desemba 10, siku ya haki za binadamu. Maudhui ya kampeni yam waka huu ni “Ungana katika harakati za kutokomeza ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana” ikitoa wito kwa serikali na wadau wengine kuonyesha mshikamano kwa wanaharakati wa kupigania haki za wanawake na kumualika kila mtu kujiunga na vuguvugu la kimataifa kutokomeza kabisa ukatili dhidi ya wanaake.
Endapo uwekezaji wa haraka hautofanyika katika njia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi na kujenga mnepo katika nchi za Sahel, basi kuna hatari ya kuwa na miongo ya vita vya silaha na watu kuendelea kutawanywa vinavyochochewa na ongezeko la joto duniani , uhaba wa rasilimali na kutokuwa na uhakika wa chakula limeonya leo shirika la Umoja wa Mastaifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kwa kushirikiana na mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya maendeleo. Flora Nducha na taarifa zaidi.Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa leo, na kupewa jina "Kuhama kutoka kwenye hatua hadi vitendo: kutarajia maeneo yenye hatari Sahel", bila kudhibitiwa, dharura ya mabadiliko ya tabianchi itahatarisha zaidi jamii za watu wa Sahel kwani mafuriko makubwa, ukame, na mawimbi ya joto huathiri ufikiaji wa huduma muhimu kama maji, chakula na kujipatia riziki, na kuongeza hatari ya migogoro. Na hii hatimaye itawalazimisha watu wengi zaidi kukimbia makazi yao. Mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo katika ukanda wa Sahel Abdoulaye Mar Dieye amesema "Katika eneo la Sahel, mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi unachanganyika na kuongezeka kwa ukosefu wa utulivu na kiwango cha chini cha uwekezaji wa maendeleo, na hivyo kuunda mchanganyiko hatari ambao unazitoza gharama kubwa sana jamii za Saheli, pamoja na kuhatarisha kufikiwa kwa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs. Kuna suluhu, zinazojikita katika uharaka wa watu na uwekezaji kwa kiwango kikubwa, lakini zinahitaji kujizatiti na kujitolea kutoka kwa kila mtu, pamoja na takwimu sahihi na uchambuzi kujua nini kinakuja ili kutekeleza hatua za kisera haraka na zenye athari nzutri." Naye mshauri maalumu wa UNHCR wa hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi Andrew Harper. Amesema "Ongezeko la joto na hali mbaya ya hewa katika ukanda wa Sahel vinazidisha vita vya silaha, ambavyo tayari vinaharibu maisha, vinaathiri uhakika wa chakula, na kusababisha watu kuyahama makazi yao. Njia pekee inayoweza kusaidia kukabiliana na hali hii na kupunguza matokeo ya sasa na ya siku za usoni ni juhudi za pamoja za kupambana na kujenga mnepo dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.” Ameongeza kuwa hata kukiwa na sera kabambe za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi hali ya joto katika ukanda wa Sahel inatabiriwa kupanda hadi kufikia nyuzi joto 2.5°C na ifikapo 2080 ikiwa hatua za haraka zitachelewa zaidi, basi joto linaweza kuongezeka hadi kufika nyuzi joto 4.3°C. Ripoti hiyo imezimulika nchi 10 za Afrika Magharibi na Kati ambazo ni Burkina Faso, Cameroon, Chad, Gambia, Guniea, Mali, Mauritania, Niger, Nigeria na Senegal.
The misnamed “Arab Spring” unleashed restrained aspirations of the region and like all uprisings saw an eruption of expression in songs, music, lyrics, spreading, much like these intifadas, through social media, massive crowds, and sharing ideas and trends across borders. But just as the initial optimism of the protests was crushed by the harsh reality of reactionary governments, western interventions, oligarchs and capitalism, so too was the new music of Arab youth co-opted, suppressed, corrupted and infiltrated by the West and the Gulf monarchies. Lebanese writer Mohamad-Ali Nayel has recently written a two part series that is the definitive examination of post Arab Spring hip-hop and popular music. He joined Rania Khalek to talk about this and much more.Moe's articles discussed in the episode:Part 1: https://www.jadaliyya.com/Details/44193/Music-Politics-After-the-Arab-Uprisings-Part-1Part 2: https://www.jadaliyya.com/Details/44194/Music-Politics-After-the-Arab-Uprisings-Part-2