Podcasts about mtazamo

  • 20PODCASTS
  • 115EPISODES
  • 23mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Jan 9, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about mtazamo

Latest podcast episodes about mtazamo

Bible Bard
swahili_BB-95_Mtazamo wa Biblia kuhusu Yesu

Bible Bard

Play Episode Listen Later Jan 9, 2026 10:31


swahili_BB-95_Mtazamo wa Biblia kuhusu Yesu (BB_"Bible View of Jesus")

Jukwaa la Michezo
AFCON 2025: Mtazamo wa hatua ya mtoano, timu 16 zitawania tiketi ya fainali

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Jan 3, 2026 23:48


Leo tumeangazia kwa undani matokeo na matukio ya hatua ya makundi iliyokamilika kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea Morocco, uchambuzi wa hatua ya 16 bora - nani atafuzu robo fainali?, tathmini ya hatua ya serikali ya Gabon kuvunja kabisa timu ya taifa ya Gabon, ahadi za pesa kutoka kwa marais kadhaa Afrika kwa timu zao kuelekea robo fainali, usajili wa Rayon Sport, kwa nini Maresca aliondoka Chelsea?, dereva wa Anthony Joshua afunguliwa mashtaka baada ya ajali Nigeria.

Habari za UN
IMF yatoa mtazamo mpya wa Uchumi wa dunia kwa mwaka 2025/ 2026

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 1, 2025 3:34


Mnamo mwezi April mwaka huu Shirika la Fedha la Kimataifa IMF lilitoa makadirio na mtazamano wa uchumi wa dunia ambapo lilieleza pamoja na mambo mengine kuongezeka kwa vikwazo vya biashara kunasababisha kushuka kwa kasi kwa ukuaji wa uchumi wa dunia mwelekeo ambao ulielezwa kuathiri nchi nyingi duniani.Tarehe 29 Julai IMF ikatoa ripoti mpya, ambapo tathmini mpya ya mwelekeo wa uchumi wa Dunia kwa mwaka 2025 na 2026 ikionesha matumaini tofauti na hali ilivyoonesha miezi mitatu mitatu iliyopita. Leah Mushi amefuatilia ripoti hiyo nakutuandalia makala hii akieleza kwa kina.

imf dunia makala mwaka shirika kimataifa fedha mtazamo
VOA Express - Voice of America
Mratibu wa mkoa katika Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania anaelezea mtazamo wake na changamoto wanazopitia wanandoa katika jamii zetu. - Februari 21, 2025

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 21, 2025 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

VOA Express - Voice of America
Waandishi wa habari wanaelezea mtazamo wao iwapo redio bado ina mchango mkubwa kwa jamii katika maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. - Februari 13, 2025

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 13, 2025 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

katika siku habari jamii redio mtazamo maadhimisho
Jioni - Voice of America
Wa-Afrika waliopo mji wa Washington DC nchini Marekani wanaeleza mtazamo na nafasi zao kuelekea uchaguzi mkuu Marekani hapo Novemba 5. - Oktoba 29, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 29, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

washington dc afrika oktoba marekani novemba afrika mashariki mtazamo uchaguzi mkuu
Radio Maria Tanzania
Fahamu mtazamo wa Wanawake juu ya utetezi wa uhai.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 24, 2024 52:33


Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro life utetezi wa uhai, Wawezeshaji ni Anthony Lihepa, Janeth Akaro na Witness Joachim, kutoka Pro Life Tanzania, wakiendelea kutueleza juu ya mtazamo wa Wanawake katika utetezi wa uhai. L'articolo Fahamu mtazamo wa Wanawake juu ya utetezi wa uhai. proviene da Radio Maria.

radio maria karibu wanawake fahamu mtazamo
Radio Maria Tanzania
Fahamu mtazamo namna gani Wanawake wanafikia hatua ya kutoa Mimba.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 2, 2024 55:01


Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro Life utetezi wa uhai, Wakufunzi wetu leo Wanaendelea   mada mtazamo wa Wanawake kuhusu Utetezi wa Uhai   L'articolo Fahamu mtazamo namna gani Wanawake wanafikia hatua ya kutoa Mimba. proviene da Radio Maria.

pro life gani radio maria karibu wanawake hatua fahamu mtazamo
Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu mtazamo wa Wanawake katika Utetezi wa Uhai?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Sep 25, 2024 53:43


    Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro Life utetezi wa uhai, Wakufunzi wetu leo Wanazungumzia mtazamo wa Wanawake kuhusu Utetezi wa Uhai .   L'articolo Je, wafahamu mtazamo wa Wanawake katika Utetezi wa Uhai? proviene da Radio Maria.

Habari RFI-Ki
Mtazamo wa msikililizaji kuhusu maandamano Kenya iwapo yameathiri nchi zingine

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 25, 2024 10:06


Vijana nchini Kenya wamekuwa wakiongoza maandamano dhidi ya serikali ya rais William Ruto Nchi ya Uganda imeshuhudia pia maandamano ,yanayoongozwa na vijana wa Gen Z kupinga ufisadi na maovu mengine

Habari RFI-Ki
Mtazamo wa msikililizaji kuhusu maandamano Kenya iwapo yameathiri nchi zingine

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 25, 2024 10:06


Vijana nchini Kenya wamekuwa wakiongoza maandamano dhidi ya serikali ya rais William Ruto Nchi ya Uganda imeshuhudia pia maandamano ,yanayoongozwa na vijana wa Gen Z kupinga ufisadi na maovu mengine

Habari RFI-Ki
Mtazamo wa msikikilizaji kuhusu mawaziri kutoka upinzani kuunda serikali

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 25, 2024 10:02


Rais William Ruto amependekeza viongozi wanne kutoka chama cha ODM cha Raila Odinga kuwa mawaziri Miongoni mwa viongozi hao ni Ali Hassan Joho ,John Mbadi ,Wicliffe Oparanya na Opiyo Wandayi

kenya odm raila odinga serikali miongoni mtazamo
Habari RFI-Ki
Mtazamo wa msikikilizaji kuhusu mawaziri kutoka upinzani kuunda serikali

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 25, 2024 10:02


Rais William Ruto amependekeza viongozi wanne kutoka chama cha ODM cha Raila Odinga kuwa mawaziri Miongoni mwa viongozi hao ni Ali Hassan Joho ,John Mbadi ,Wicliffe Oparanya na Opiyo Wandayi

kenya odm raila odinga serikali miongoni mtazamo
Habari RFI-Ki
Mtazamo wa msikilizaji kuhusu kuchaguliwa tena kwa rais Paul Kagame

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 19, 2024 10:18


Tume ya uchaguzi ya Rwanda imethibitisha Paul Kagame ni mshindi wa uchaguzi wa Julai 15 ambapo alipata asilimia 99.18 ya kura zote

Habari RFI-Ki
Mtazamo wa msikilizaji kuhusu kuchaguliwa tena kwa rais Paul Kagame

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 19, 2024 10:18


Tume ya uchaguzi ya Rwanda imethibitisha Paul Kagame ni mshindi wa uchaguzi wa Julai 15 ambapo alipata asilimia 99.18 ya kura zote

Radio Maria Tanzania
Nini maana ya liturujia katika mtazamo wa kitaaluma?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jun 14, 2024 51:48


Ungana nami Mtangazaji wako Steven Christian Lihizia katika kipindi cha Ijue Liturujia ya Kanisa Katoliki, Studio niko na Padre Clement Kihiyo kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), akielezea maana ya liturujia katika mtazamo wa kitaaluma. L'articolo Nini maana ya liturujia katika mtazamo wa kitaaluma? proviene da Radio Maria.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Saratani ya shingo ya kizazi, Mtazamo hasi mahali pakazi

afya mtazamo
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Saratani ya shingo ya kizazi, Mtazamo hasi mahali pakazi

afya mtazamo
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Saratani ya shingo ya kizazi, Mtazamo hasi mahali pa kazi

afya mtazamo
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Saratani ya shingo ya kizazi, Mtazamo hasi mahali pa kazi

afya mtazamo
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Saratani ya Shingo ya kizazi, Mtazamo hasi kazini

shingo afya mtazamo
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Saratani ya Shingo ya kizazi, Mtazamo hasi kazini

shingo afya mtazamo
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Msongo wa mawazo, Mtazamo hasi mahali pa kazi

afya mtazamo
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Msongo wa mawazo, Mtazamo hasi mahali pa kazi

afya mtazamo
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Msongo wa Mawazo, Mtazamo hasi mahali pa kazi

afya mtazamo
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Msongo wa Mawazo, Mtazamo hasi mahali pa kazi

afya mtazamo
VOA Express - Voice of America
Nini mtazamo wa wanaharakati wa haki za binadamu hukusu mizozo kati ya wanandoa na wapenzi kutokana na fedha? - Aprili 18, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 18, 2024 30:00


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

nini haki aprili fedha mtazamo
Kwa Undani - Voice of America
Habari zilizovuma wiki hii kwa mtazamo wa Meza ya Waandishi ni pamoja na mabadiliko ya baraza la mawaziri Tanzania na kuuawa kwa raia 48 DRC - Septemba 01, 2023

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 1, 2023 29:59


Kwa Undani - Voice of America
Mchambauzi atoa mtazamo wake baada ya matokeo ya uchaguzi wa Zimbabwe - Agosti 28, 2023

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 28, 2023 30:00


Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Kukuza mtazamo wa huruma 2

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Mar 27, 2023 24:40


Leo, Joyce anafundisha jinsi tunavyoweza kukabiliana na yale mambo ambayo yanahitaji kushughulikiwa huku tukidumisha mtazamo wa huruma

mtazamo
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Kukuza mtazamo wa huruma 1

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Mar 20, 2023 23:39


Tunapokumbuka jinsi Mungu ametupa rehema, inakuwa rahisi zaidi kuwaonyesha wengine rehema.

mungu mtazamo
She's Bold Podcast
Mtazamo Kuhusu Mwanamke Mzuri: Mwanamke Mzuri ni Yupi?

She's Bold Podcast

Play Episode Listen Later Jan 7, 2023 18:48


Episode hii inafichua sababu zinazowapelekea wasichana kudhani sio wazuri, fikira hii imepelekea wengine kufanya maamuzi yalioathiri maisha yao. Wengine wameishinda fikira hii inayotawala katika jamii ya Kiafrika. Wamewezaje? Najma anamhoji Emmy Rose Rugumamu kuhusu kampeni yake ya kusaida wanawake wenye mauombo makubwa. Emmy Rose ni Communication Professional ,anafanya kazi UWC East Africa, Pia ni kiongozi wa TEDxMajengo , Emmy Anapenda kutengeneza maudhui na kujieleza (storytelling ) pia ni mwandaaji wa open mic nights huko Arusha. Kuna sauti za wanawake wengine na experience zao katika kushinda mtazamo wa jamii juu ya umbo au uzuri wao. Subscribe uweze kupata notification kila tunapopublish episode mpya.

kuna arusha najma yupi mwanamke mtazamo
Habari za UN
29 NOVEMBA 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 29, 2022 0:13


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina tukiangazia juhudi za kuwajengea watoto tabia ya kupenda kusoma vitabu na pia habari kwa ufupi zikiwemo ripoti ya UNAIDS na WHO, na usaidizi kwa wakimbizi na jamii za wenyeji nchini Chad. Mashinani tutakwenda nchini Cameroon, kulikoni?Msichana Marynsia Mangu kwa kutambua umuhimu na maarifa yanayopatikana kwenye vitabu lakini jitihada zake za kuwashawishi marafiki zake kusoma vitabu kushindwa kuzaa matunda akaamua kufuata usemi wa Kiswahili Samaki mkunje angali mbichi na kuanzisha shirika la success Hands au kwa lugha ya Kiswahili Mikono yenye Mafanikio ambalo jukumu lake ni kuwajengea watoto tabia yakupenda kusoma vitabu tangu wangali tumboni mwa mama zao.Ripoti mpya ya tathimini iliyofanywa na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masiuala ya ukimwi UNAIDS kuelekea siku ya ukimwi duniani ambayo kila mwaka huadhimishwa Desemba Mosi inaonyesha kuwa pengo la usawa ni kikwazo kikubwa katikia juhudi za kutokomeza janga la ukiwmi duniani. Shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO leo limesema majeraha na machafiuko vinasababisha vifo vya watu 12,000 kila siku kote duniani ambavyo ni sawa na kifo 1 kati ya vifo 12. Kupitia ripoti yake mpya “Mtazamo wa kuzuia majeraha na machafuko” iliyotolewa leo mjini Geneva Uswis WHO inasema sababu kuu tatu kati ya tano zinazosababisha vifo vywa watu wa umri wa kati ya miaka 5 hadi 29 ni majeraha, athari za ajari za barabarani , mauaji na kujiua.Na mashirika ya Umoja wa Mataifa ile la Mpango wa chakula duniani WFP na linaloshughulika na wakimbizi UNHCR wametoa ombi la dola milioni 161 ili wasikatishe huduma ya chakula cha msaada kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi na jamii za wenyeji nchini Chad.Na leo mashinani tutaelekee barani Afrika nchini Cameroon kumsikiliza Cecile Ndjebet ambaye anaeleza uhusiano uliopo kati ya haki ya umiliki wa ardhi hasa kwa wanawake na uhifadhi wa mazingira.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!

hands afrika cameroon unhcr wfp umoja hii unaids mataifa novemba shirika ripoti mtazamo
Jioni - Voice of America
Live talk: Wachambuzi watoa mtazamo wao kuhusu timu za Afrika ya michuano ya duru ya pili kwenye kombe la dunia huko Qatar - Novemba 25, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 25, 2022 59:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

qatar afrika dunia pili live talk duru timu kwenye huko novemba afrika mashariki kombe mtazamo
Radio Maria Tanzania
Huruma ya Mungu na Mtazamo wa Ujio wa Kristo

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 16, 2022 55:54


Na Padre Dominic Mavula C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tz

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Mtazamo wa Imani na Subira

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Oct 24, 2022 25:50


Haijalishi nini kinaendelea katika maisha yako, jifunze jinsi tabia ya kuaminiana inavyoachilia furaha huku subira hukuruhusu kufurahiya wakati huo.

subira mtazamo
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Jifunze leo kujiamini wewe ni nani katika Kristo na kuacha kuishi kwa kujilinganisha na wengine.

kristo jifunze mtazamo
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Ni Wakati Wa Kurekebisha Mtazamo Wako 2

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Jun 27, 2022 24:46


Je! Unatambua kuwa mtazamo wako unatuma ujumbe kwa adui? Je! Yako inamwambia anashinda au anashindwa?

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Ni Wakati Wa Kurekebisha Mtazamo Wako 1

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Jun 20, 2022 25:29


Marekebisho kidogo kwa mtazamo wako yanaweza kuleta mabadiliko makubwa maishani mwako.

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Kataa Kusetwa na Maisha Yako ya Nyuma 1

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Jun 6, 2022 23:52


Kuhisi kukwama kwenye hali ya huzuni? Leo, Joyce atakukumbusha kuwa nguvu ya Mungu iliyo ndani yako inaweza kukukamata kutoka kwa hali iliyokukwamiza na kukuelekeza katika hatima yako!

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Kamwe Hatupaswi Kukata tamaa -2

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later May 30, 2022 23:16


Mtazamo ulio nao wakati wa shida ni muhimu kwa mafanikio yako ya mwisho. Jifunze jinsi kufanya mema kwa wengine kunaweza kuinua roho yako na kukuinua kutoka shimoni.

jifunze mtazamo
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Kamwe Hatupaswi Kukata tamaa 1

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later May 23, 2022 25:18


Je! Yosefu alitokaje kutoka kwenye shimo hadi ikulu? Hakukata tamaa wakati mambo yalikuwa magumu katikati ya safari.

mtazamo
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Usijaribu kuwa vile watu wengine walivyo. Gundua kile neema ya Mungu imekujalia kufanya.

mungu njia kuishi mtazamo
Habari za UN
Wanawake majaji tumeleta mabadiliko chanya katika Mahakama nchini Kenya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 19, 2022 15:14


Tarehe 10 mwezi Machi mwaka 2022, kumefanyika maadhimisho ya kwanza ya siku ya majaji wanawake duniani. Siku hii imeadhimishwa na maudhui yakiwa "Haki katika Mtazamo wa Kijinsia." Lengo ni kuona ni kwa vipi majaji wanawake wanaweza kuwa chachu katika utoaji wa haki kwenye mahakama kwa kuzingatia kuwa tasnia hiyo imegubikwa na mfumo dume. Katika kufahamu ukweli wa hoja hiyo Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amezungumza na Jaji Hannah Okwengu wa Mahakama ya Rufaa nchini Kenya ambaye anaanza kwa kuelezea anajisikiaje kuwa Jaji kwenye tasnia iliyozoeleka kuwa ya wanaume wengi zaidi.

kenya umoja machi haki kiswahili katika siku wanawake mataifa lengo mtazamo
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Mitazamo inayodumisha Furaha Maishani Mwako -2

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Jan 17, 2022 24:01


Kujifunza kungojea kwa subira kwa baraka za Mungu ni sehemu muhimu ya kudumisha furaha yetu.

mungu mtazamo
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Mitazamo inayodumisha Furaha Maishani Mwako -1

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Jan 10, 2022 25:27


Sio hali zetu ambazo huamua furaha yetu. Ni mtazamo wetu wakati wa hali zetu ndio huleta tofauti.

baraka sio mtazamo
Habari RFI-Ki
Hali ya madeni ya taifa nchini Kenya na Tanzania

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 31, 2021 9:57


Hivi karibuni nchini Kenya na Tanzania, kumekuwa na mjadala kuhusu hatua za serikali ya nchi hizo kuendelea kukopa kiwango kikubwa cha pesa, hali ambayo inaelezwa imeongeza mzigo kwa raia ambao wanalipa kodi kiwango kikubwa. Mtazamo wako ni upi kuhusu hatua ya serikali kuendelea kukopa ? Unahisi fedha zinazochukuliwa na serikali zimetumika ipasavyo ?

Habari za UN
Tunataka kubadilisha mtazamo wa watu warejee katika vyakula vya kienyeji - Miriam Nabakwe

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 22, 2021 3:34


Umoja wa Mataifa uliutangaza mwaka huu wa 2021 unaoelekea ukingoni kuwa mwaka wa mbogamboga na matunda lengo likiwa ni kuelimisha watu kuhusu umuhimu na faida za mbogambona na matunda mwilini. Miriam Nabakwe wa nchini Kenya anasema tatizo hilo la watu kutokula mbogamboga lipo na mbaya zaidi ni kuwa hata vyakula ambavyo watu sasa wanavithamini si vile vya asili na hivyo kuongeza tatizo juu ya tatizo kwani anaamini vyakula vya asili vilivyosalia katika maeneo mbalimbali duniani ndivyo vyenye virutubisho asilia. Kwa msingi huo ameamua kufanya juhudi binafsi kuwahamasisha watu wa nchini mwake Kenya angalau kwa kuanzia katika mji mkuu, Nairobi ili watu warejee katika ulaji wa vyakula vya asili. Anafanyaje? Tuungane na mwandishi wetu wa Kenya Jason Nyakundi ambaye amezungumza naye. 

kenya nairobi umoja kwa katika watu mataifa vyakula mtazamo
Radio Uhai Broadcast
Weka Mtazamo Wako Kwenye Ahadi Za Mungu (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Dec 14, 2021 59:00


Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Umoja wa mataifa wasikitishwa na hali nchini Sudan

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Oct 30, 2021 20:13


Makala hii imeangazia vurugu zinazoshuhudiwa nchini Sudan baada ya kufanyika mapinduzi ya kijeshi na baadaye kuachiwa huru kwa waziri mkuu Abdallah Hamdok ambapo Umoja wa mataifa, Umoja wa Afrika, zimelaani hali hiyo ambapo maandamano yameendelea nchini humo. Huko DRC tumeangazia kuhusu kuapishwa kwa mwenyekiti mpya wa CENI Denis Kadima anayepingwa na dhehebu la kikatoliki na lile la kiprotestanti pamoja na mambo mengine yaliyojiri duniani.