Podcasts about nguvu

  • 42PODCASTS
  • 225EPISODES
  • 36mAVG DURATION
  • 5WEEKLY NEW EPISODES
  • Apr 15, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about nguvu

Latest podcast episodes about nguvu

Mwalimu Huruma Gadi
S1301. Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi.mp3

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 147:21


Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi
S1302. Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 172:44


Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi
S1303. Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 136:58


Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi
S1304. Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 152:17


Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi
S1305. Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 146:14


Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi
S1306. Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 176:38


Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi

Mwalimu Huruma Gadi
S1307. Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi.mp3

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 186:39


S1307. Nguvu ya Agano jipya Katika Fedha na Uchumi.mp3

Mwalimu Huruma Gadi
S1203. Kanuni ya Kipimo na Nguvu ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 72:28


Kanuni ya Kipimo na Nguvu ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi
S1201. Kanuni ya Kipimo na Nguvu ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 118:46


Kanuni ya Kipimo na Nguvu ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi
S1202. Kanuni ya Kipimo na Nguvu ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 108:04


Kanuni ya Kipimo na Nguvu ya Imani

Radio Maria Tanzania
Fahamu nguvu ya msamaha katika Misa Takatifu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 9, 2025 26:25


Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Tafakari Nasi, Studio nipo na Padre Innocent Nzaro wa Jimbo Katoliki Kigoma akitutafakarisha juu ya Misa Takatifu na nguvu ya msamaha. L'articolo Fahamu nguvu ya msamaha katika Misa Takatifu. proviene da Radio Maria.

Bible Bard
swahili_BB-70 Nguvu ya Kutokuamini

Bible Bard

Play Episode Listen Later Mar 18, 2025 15:07


swahili_BB-70 Nguvu ya Kutokuamini by Bible Bard

Habari za UN
UN: Sasa ni wakati wa kutimiza ahadi ya usawa wa kijinsia

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 7, 2025 3:28


Katika kuelekea siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa kila mwaka Machi 8 leo hapa katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kunafanyika hafla maalum ya kuadhimisha siku hiyo ambayo mwaka huu imebeba maudhui “Kwa wanawake na wasichana wote: haki, usawa, uwezeshaji.” Akizungumza kwenye hafla hiyo Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya wanawake UN Women Sima Bahous amesema ni wakati wa kutekeleza kwa vitendo ndoto ya azimio la Beijing miaka 30 iliyopita la kufanya usawa wa kijinsi kuwa hali halisiKwa upande wake Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres pamoja na kupongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kusongesha usawa wa kijinsia duniani amesemaNatts….“Hata hivyo, mafanikio haya yaliyopatikana kwa jitihada kubwa bado ni dhaifu na hayatoshi kabisa.Mateso ya muda mrefu, ukatili, ubaguzi na ukosefu wa usawa wa kiuchumi bado vinaathiri jamii zetu.Kila baada ya dakika kumi, mwanamke huuawa na mwenzi wake au mwanafamilia.”Ameongeza kuwa wanawake na wasichana milioni 612 wanaishi chini ya kivuli cha migogoro ya silaha ambapo haki zao mara nyingi huchukuliwa kama zisizo na thamani.Akitaja takwimu amesema chini ya theluthi mbili ya wanawake duniani wanashiriki katika soko la ajira na wale wanaoshiriki hulipwa mishahara ya chini kuliko wanaume.Hivyo ameonya kwamba“Kwa kasi hii, itachukua miaka 130 kutokomeza umasikini uliokithiri kwa wanawake na wasichana.Amemesema badala ya kuingiza usawa wa haki kama jambo la kawaida, dunia inashuhudia kuenea kwa ubabe na chuki dhidi ya wanawake.Kwa muktadha huo amesistiza kwamba “Hatuwezi kukaa kimya wakati maendeleo yanaporudishwa nyuma. Lazima tupambane.”Akizungumzia sauti za vijana kushiriki katika harakati za usawa na haki za wanawake, kwenye hafla iliyofanyika mjini Geneva Uswisi kuadhimisha siku ya wanawake mwanafunzi kutoka Kenya James Mumo Nyumu amesisitiza kuwa hakuna nchi yoyote iliyotekeleza ahadi yao ya dunia isiyo na ukatili dhidi ya wanawake.Amesema “Maono ya Beijing yalikuwa ramani ya siku zijazo ambazo bado hatujazifikia kikamilifu,” alisema akiongeza kuwa “Nguvu kwa wanawake si tishio ni zawadi kwa jamii.”Hivyo amesisitiza kwamba“Kizazi changu kinadai hatua zaidi,” akitoa wito wa kuchukua hatua zaidi ya Beijing kwani“Kazi yetu haijakamilika.”

Mwalimu Huruma Gadi
S0903. Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Feb 27, 2025 99:37


Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi

Mwalimu Huruma Gadi
S0904. Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi.mp3

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Feb 27, 2025 101:54


Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi

Mwalimu Huruma Gadi
S0901. Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Feb 13, 2025 82:11


Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi

Mwalimu Huruma Gadi
S0902. Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Feb 13, 2025 109:44


Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi

Radio Maria Tanzania
Ifahamu nguvu ya Nanga ya matumaini katika Maisha.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 5, 2025 51:04


Ungana nami Judith Mpalanzi, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Mbiu kutoka Kagera Jimbo katoliki la Bukoba. akitufundisha  juu ya Mahujaji katika  Matumaini Nanga ya Maisha. L'articolo Ifahamu nguvu ya Nanga ya matumaini katika Maisha. proviene da Radio Maria.

Kiswahili, Lugha Ya Afrika
Aina za Serikali - Nguvu na Udhaifu Wake

Kiswahili, Lugha Ya Afrika

Play Episode Listen Later Feb 4, 2025 8:21


Katika makala haya, tunachunguza nguvu na udhaifu wa aina za serikali tofauti duniani. Kutoka kwa demokrasia hadi utawala wa kioligarki, tunafunua jinsi mifumo hii inavyoathiri maisha ya raia. Pitia mifano halisi na tathmini za kitaalamu, na ujifunze kuhusu changamoto na faida zinazoambatana na kila mfumo wa utawala. Jiunge nasi katika kubaini njia bora za uongozi katika jamii zetu!

Radio Maria Tanzania
Ifahamu maana ya mwenye nguvu amenitendea Makuu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 21, 2025 28:42


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph, katika Kipindi cha Tafakari Nasi Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania leo tupo naye Padre Gidion Kitamboya kutoka Parokia ya Mtakatifu Luka Mwinjili -Hemba Hemba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, akielezea Mwenye nguvu amenitendea Makuu.   L'articolo Ifahamu maana ya mwenye nguvu amenitendea Makuu. proviene da Radio Maria.

Habari za UN
04 DESEMBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 4, 2024 9:58


Hii leo jaridani tunaangazia uzinduzi wa ombi la ufadhili wa mahitaji ya Kibinadamu (GHO), na umuhimu wa lugha mama katika kukuza haki za binadamu. Makala tunasalia hapa makao makuu ya umoja wa mataifa na mashinani tunakupeleka nchini Senegal, kulikoni?Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) ikizindua Ripoti ya Kimataifa ya mahitaji ya Kibinadamu (GHO) kwa mwaka ujao wa 2025 imetangaza ombi la ufadhili kwani takriban watu milioni 305 duniani kote watahitaji msaada wa kibinadamu katika mwaka ujao.Haki si haki iwapo inatolewa kwa lugha ambayo haileweki kwa wahusika, wamejulishwa washiriki wa mkutano wa pili wa wanazuoni unaofanyika hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekani na pia mtandaoni ukimulika Madaraka, Haki na Binadamu: Utawala wa Sheria na mabadiliko Afrika.Makala tunasalia hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa ambapo mkutano wa mwaka 2024 wa Taaluma kuhusu Afrika leo katika leo umeingia siku ya pili hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Mkutano huo ulioandaliwa na Ofisi ya mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Afrika UNOSAA ni wa siku tatu na umebeba maudhui "Nguvu, Haki, na watu” kwa ajili ya mabadiliko ya Afrika.Na mashinani fursa ni yake Antar sarr, Kijana mkulima wa mbogamboga kutoka Senegal ambaye ni mmoja wa wanufaika wa mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya kilimo, IFAD unaowawezesha vijana nchini humo kwa kilimo na biashara ndogondogo ili kuondokana na fikra za kwenda Ulaya kusaka Maisha bora na ajira, akisema mradi huo imempatia matumaini.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!  

Habari za UN
Fikra za kikoloni zimeiharibu Afrika ni wakati wa kuziondoa: Padre Toussaint Murhula

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 4, 2024 3:41


Mkutano wa mwaka 2024 wa Taaluma kuhusu Afrika leo katika leo umeingia siku ya pili hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Mkutano huo ulioandaliwa na Ofisi ya mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Afrika UNOSAA ni wa siku tatu na umebeba maudhui "Nguvu, Haki, na watu” kwa ajili ya mabadiliko ya Afrika.Na moja ya mabadiliko ni kuondoa fikra za kikoloni tangu kufanyika mkutano wa Berlin ulioligawa mapande bara hilo  yapata miaka 140 iliyopita amesema mmoja wa washiriki wa mkutano huo aliezungumza na  Flora Nducha wa idhaa hii kuhusu kile wanachojadiliana na anaanza kwa kujitambulisha

Habari za UN
03 DESEMBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 3, 2024 9:58


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo inamulika harakati za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kuhakikisha wafugaji kuku wasiotumia dawa kiholela wananufaika kiuchumi baada ya kupatiwa mafunzo. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani ya Timor-Leste.Leo ni Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe mahususi kwa siku hii, ameueleza ulimwengu kuwa maadhimisho ya mwaka huu yanawakumbusha kwamba ulimwengu unahitaji uongozi wa watu wenye ulemavu zaidi kuliko hapo awali. Guterres ameeleza kuwa Watu wenye ulemavu tayari wanabeba mzigo mkubwa wa majanga yanayoumiza ulimwengu lakini mara nyingi wananyimwa haki yao ya kuchangia katika suluhu za majanga haya.Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Uchunguzi kuhusu Syria hii leo imezitaka pande zinazopigana nchini Syria zifuate kikamilifu sheria za kimataifa na kuwalinda raia. Hii inatokana na ongezeko kubwa la mapigano tangu tarehe 27 mwezi uliopita ambayo yanatishia kuenea katika maeneo mengine ya nchi.Mkutano wa mwaka 2024 wa Taaluma kuhusu Afrika umeanza leo katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Mada ya mkutano huo wa siku tatu ni "Nguvu, Haki, na Watu: Haki za Binadamu na Utawala wa Sheria kwa Mabadiliko ya Afrika." Mkutano huo wa kila mwaka unalenga kuongeza uwakilishi wa Waafrika katika ufadhili wa kimaendeleo wa kimataifa, ili kuchagiza mustakabali bora wa Afrika.Na mashinani leo ikiwa ni siku ya watu wenye ulemavu duniani tunakupeleka Timor-Leste, kusini-mashariki mwa Asia kuona jinsi mradi uliofadhiliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira, UNEP umemwezesha Antonio Ornai mwenye ulemavu wa kutoona kushiriki zoezi la kuitikia maonyo ya taarifa za majanga kwenye taifa hilo ambalo hugubikwa na majanga ya asili mara kwa mara kama vimbunga na mafuriko.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!  

Radio Maria Tanzania
Ifahamu nguvu ya Huruma ya Mungu kadiri ya Maandiko Matakatifu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 13, 2024 55:22


Karibu uungane nami Martin Joseph  katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula, C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania akiendelea na mada Huruma yake ni ya Milele. L'articolo Ifahamu nguvu ya Huruma ya Mungu kadiri ya Maandiko Matakatifu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu nguvu ya kusali Rozari Takatifu katika Familia ya Mungu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 29, 2024 50:54


Ungana nami Agatha Kisimba katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania leo anatufundisha juu ya dondoo za kusali Rozari Takatifu.  L'articolo Fahamu nguvu ya kusali Rozari Takatifu katika Familia ya Mungu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Hii ndiyo nguvu ya neno la Mungu katika maisha ya Mkristu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 28, 2024 20:52


Karibu uungane na Padre James Singo kutoka Jimbo Katoliki Same katika kipindi cha Tafakari nasi, leo anatutafakarisha juu ya nguvu ya neno la Mungu katika maisha ya Mkristu. L'articolo Hii ndiyo nguvu ya neno la Mungu katika maisha ya Mkristu. proviene da Radio Maria.

Jioni - Voice of America
Wachambuzi wa siasa Tanzania wanaiomba serikali na vyama vya siasa kuchagua mazungumzo badala ya nguvu katika kutatua migogoro ya kisiasa - Oktoba 02, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 2, 2024 29:54


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية
Jina la Yesu li heri, Unatumiaje muda wako

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Play Episode Listen Later Aug 10, 2024 29:00


Jina la Yesu lina Nguvu, Tumepewa muda na Mungu utumie vizuri

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni
Jina la Yesu li heri, Unatumiaje muda wako

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Play Episode Listen Later Aug 10, 2024 29:00


Jina la Yesu lina Nguvu, Tumepewa muda na Mungu utumie vizuri

Radio Maria Tanzania
Sala ina Nguvu gani katika maisha ya Mwanadamu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Aug 9, 2024 53:41


Ungana nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Studio tupo naye Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akielezea juu ya nguvu ya Sala katika Maisha ya Wanadamu. L'articolo Sala ina Nguvu gani katika maisha ya Mwanadamu? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ifahamu nguvu ya Sala katika Maisha ya Wanadamu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Aug 7, 2024 51:16


Ungana nami Agatha Kisimba katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya nguvu ya Sala katika Maisha ya Wanadamu. L'articolo Ifahamu nguvu ya Sala katika Maisha ya Wanadamu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu nguvu ya ishara ya Msalaba katika Kanisa Katoliki?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 31, 2024 54:14


Karibu uungane nami Agatha Kisimba, leo nipo na Padre Dominic Mavula, C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria  Tanzania  katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi akiendelea kutufundisha juu ya ishara za Ibada kwa Damu Azizi ya Bwana wetu Yesu Kristo.  L'articolo Je, wafahamu nguvu ya ishara ya Msalaba katika Kanisa Katoliki? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu Nguvu itokanayo na Ekaristi Takatifu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 29, 2024 55:55


Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akiendelea kufundisha juu ya mada Ekaristi  Takatifu nguvu Ibadilishayo. L'articolo Je, wafahamu Nguvu itokanayo na Ekaristi Takatifu? proviene da Radio Maria.

radio maria karibu nguvu mkurugenzi ekaristi
Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu nguvu ya Ekaristi ibadilishayo Watu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 24, 2024 56:14


Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akitufundisha juu ya Ekaristi Takataifu nguvu ibadilishayo. L'articolo Je, wafahamu nguvu ya Ekaristi ibadilishayo Watu. proviene da Radio Maria.

radio maria karibu watu nguvu mkurugenzi ekaristi
Radio Maria Tanzania
Ifahamu nguvu ya Ekaristi Takataifu kwa Watu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 24, 2024 49:11


Karibu uungane nami Agatha Kisimba katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akiendelea na akitufundisha juu ya nguvu ya Ekaristi Takataifu nguvu ibadilishayo. L'articolo Ifahamu nguvu ya Ekaristi Takataifu kwa Watu. proviene da Radio Maria.

radio maria karibu watu nguvu mkurugenzi ekaristi
Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu nguvu wa uponyaji itokanayo na Ekaristi Takatifu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 10, 2024 51:56


Karibu ungane nami  Esther Magai Hangu, Mwezashaji ni Padre Dominic Mavula, C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria  Tanzania  katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi akiendelea kutufundisha juu ya Ekaristi Takatifu nguvu ya uponyaji kwa Watu. L'articolo Je, wafahamu nguvu wa uponyaji itokanayo na Ekaristi Takatifu? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu nguvu ya Ekaristi Takatifu inavyoleta uponyaji kwa Watu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 3, 2024 54:28


Karibu ungane nami  Happiness Mlewa  pamoja nami Padre Dominic Mavula, C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria  Tanzania  katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ni ambapo leo mada juu  Ekarisri Takatifu nguvu ya uponyaji kwa Watu. L'articolo Fahamu nguvu ya Ekaristi Takatifu inavyoleta uponyaji kwa Watu. proviene da Radio Maria.

The Weekend View
The stigma that is associated with menstruation deters society from having an open discussion about menstrual hygiene

The Weekend View

Play Episode Listen Later Jun 29, 2024 5:35


According to non-governmental organization, Nguvu collective, lack of awareness the stigma that is associated with menstruation is increased exponentially in prisons where women face intersecting discriminatory practices because of their gender and  incarceration. 

Dr Boaz Mkumbo
Uhusiano kati ya kisukari na Nguvu za kiume

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jun 22, 2024 6:02


Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. . Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi,  bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994.   Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

Dr Boaz Mkumbo
Madhara ya kitambi. Uvimbe kwenye kizazi, upungufu nguvu za kiume

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jun 21, 2024 5:13


Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. . Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi,  bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994.   Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

Capital FM
Get To Know About Nguvu Collective With Anne Mwaura on #TheFuse984

Capital FM

Play Episode Listen Later May 14, 2024 23:15


Get To Know About Nguvu Collective With Anne Mwaura on #TheFuse984 by Capital FM

Alfajiri - Voice of America
Umoja wa Mataifa watoa wito kwa vyombo vya usalama vya Comoros kutotumia nguvu vinapopambana na waandamanaji wenye gadhabu - Januari 18, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 18, 2024 29:59


Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa vikosi vya usalama vya Comoros kutotumia nguvu vinapopambana na waandamanaji wenye hasira, baada ya tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kumtangaza Rais Azali Assoumani mshindi wa uchaguzi wa Januari 14.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Saikolojia na magonjwa, Nguvu ya msamaha

The Universal Dancer Podcast
Bertin Kasolene, Artist and Founder of Inuka Dance Compagny and Nguvu Ya Africa.

The Universal Dancer Podcast

Play Episode Listen Later Oct 1, 2023 47:31


In this inspiring interview on The Universal Dancer Podcast, I had the pleasure of speaking with Bertin Kasolene, a dancer and founder of Nguyu Africa. This dynamic organization promotes the social well-being of marginalized women in the community. Bertin takes us on a journey from his early life in the Democratic Republic of Congo, where he was inspired by Michael Jackson's dance moves, to his current work as a dancer and mentor for street children and refugees in his community. Bertin shares his personal story of how he started dancing and how it helped him overcome the challenges he faced growing up. He emphasizes the importance of self-expression and creativity in children and how dance can be a powerful tool for promoting self-awareness, community collaboration, and positive change. Bertin's passion for helping marginalized communities led him to found Nguyu Africa. He talks about the various programs and projects that Nguyu Africa is developing to empower women through entrepreneurship and education. He believes that dance can be a powerful tool for expression and healing and emphasizes the importance of giving children the space to express themselves freely. Throughout the interview, Bertin emphasizes the importance of giving children and women a voice, listening to their needs, and providing them with the tools and resources they need to succeed. His message is clear - to create a better future, we must start with the children and provide them with a safe and nurturing environment that promotes self-expression, creativity, and collaboration. Overall, this interview is a powerful reminder of the transformative power of dance and the importance of giving marginalized communities a voice. Bertin's work is a shining example of the positive impact that individuals can have on their communities when they are passionate and committed to making a difference. Find Bertin Online: Instagram: https://www.instagram.com/bertinleader/ FB: https://web.facebook.com/bertinleader.kasolene Twitter: https://twitter.com/bertinkasolene YouTube: https://www.youtube.com/@bertinkasolene7246 LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/bertin-leader-kasolene-b07895198/ Find Us Online: Websites: https://www.universaldancer.com/ https://lesliezehr.com Facebook: https://www.facebook.com/groups/universaldancercommunity Instagram: @the.universaldancer YouTube: https://www.youtube.com/c/TheUniversaldancer Books: "The Alchemy of Dance: Sacred Dance as a Path to the Universal Dancer" by Leslie Zehr: https://books2read.com/u/bPNVvY  "The Al-chemia Remedies: Vibrational Essences from Egyptian Flowers and Sacred Sites" by Leslie Zehr: https://books2read.com/u/38V2zr

Alfajiri - Voice of America
Upinzani nchini Kenya unasema Rais William Ruto ametumia njia za nguvu kupitia wabunge wake kupitisha mswada wa fedha wa 2023 wenye utata - Juni 23, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 23, 2023 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Magonjwa ya kisaikolojia , Nguvu ya msamaha

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية
Rhythm katika mziki wa Injili, Omba Mungu akupe nguvu

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Play Episode Listen Later May 6, 2023 29:00


Mguso katika Muziki wa Injili, Omba Mungu akupe nguvu ya kutibu majeraha ya moyo

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Nguvu ya kijana katika maisha

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Magonjwa yanayoletwa na matatizo ya saikolojia, Nguvu ya msamaha