Podcasts about ushindi

  • 27PODCASTS
  • 107EPISODES
  • 29mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Feb 7, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about ushindi

Latest podcast episodes about ushindi

Jukwaa la Michezo
Yanga yalenga ushindi muhimu kukaribia robo fainali michuano ya klabu bingwa

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Feb 7, 2026 23:53


Leo tumeangazia mechi za klabu bingwa Afrika, Yanga itachuana na FAR Rabat nayo Azam ikicheza na Maniema, matukio kuelekea michuano ya gofu ya Magical Kenya Open, mechi za kufuzu kombe la dunia la kina dada chini ya miaka ishirini, rais wa soka DR Congo asimamisha shughuli zote katika uwanja wa Tata Raphael, Rais wa FIFA Infantino asema marufuku dhidi yz Urusi hayajasaidia chochote, mzozo kati ya Ronaldo na Al Nassr waendelea kwa mechi ya pili sasa.

Wimbi la Siasa
Uganda: Museveni achaguliwa tena baada ya miaka 40 madarakani

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Jan 21, 2026 10:01


Rais Yoweri Museveni, mwenye umri wa miaka 81, na ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 40, alitangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa Januari 15 baada ya kupata asilimia 71.65 ya kura. Mpinzani wake wa karibu Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine mwenye umri wa miaka 43, alimaliza wa pili kwa kupata asilimia 24.72 ya kura. Bobi Wine amedai kuibiwa kura. Ushindi wa rais Museveni unamaanisha nini ?  

Jukwaa la Michezo
CHAN 2024: Kenya, DRC, Morocco zafukuzia ushindi mechi za mwisho za makundi

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Aug 16, 2025 21:13


Leo tumekuandalia uchambuzi wa timu ambazo zimefuzu, gani zimeondolewa na nani wanaweza kufuzu hatua ya mtoano kwenye mashindano ya Chan, michuano ya baskeboli ya wanaume ya Afrika, viongozi wa mashabiki Sudan Kusini waandaa mechi ya kirafiki kuchangisha fedha za kusaidia watu wasiojiweza, rais wa AS Kigali aahidi kuongeza tuzo za ligi iwapo atachaguliwa kuwa rais wa shirikisho, Alcaraz afuzu robo fainali michuano ya Cincinnati Open.

kenya morocco chan afrika alcaraz mechi ushindi sudan kusini harambee stars
Jukwaa la Michezo
CHAN 2024: Kenya yafukuzia ushindi dhidi ya Morocco, Tanzania ikihitaji sare tu

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Aug 9, 2025 23:52


Leo tumekuandalia uchambuzi, matokeo na matukio ya raundi ya pili ya hatua ya makundi ya michuano ya CHAN pamoja na mechi za leo usiku na kesho mchana, droo ya michuano ya awali ya kufuzu hatua ya makundi mechi za klabu bingwa barani Afrika, uhamisho wa wachezaji Afrika Mashariki huku Kinshasa ikichaguliwa kuandaa mkutano mkuu wa CAF mwezi Oktoba, Thomas Partey kujiunga na Villareal licha ya kesi za ubakaji, 

kenya morocco rwanda chan tanzania afrika drc villareal kinshasa sare oktoba ushindi afrika mashariki harambee stars
Kwa Undani - Voice of America
Maandamano yameongezeka Msumbiji baada ya ushindi wa Frelimo kuidhinishwa - Desemba 25, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 25, 2024 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

frelimo baada ushindi desemba
Radio Maria Tanzania
Ukuu wa Mama Bikira Maria katika vita kuu ya ushindi.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 12, 2024 25:36


Karibu uungane nami Judith Mpalanzi, katika  kipindi cha Tafakari Nasi, Leo nipo na Padre Gidioni Kitamboya  Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, akifundisha juu ya ukuu wa mama Bikira Maria katika vita kuu ya ushindi. L'articolo Ukuu wa Mama Bikira Maria katika vita kuu ya ushindi. proviene da Radio Maria.

VOA Express - Voice of America
Mkazi wa jimbo la Minnesota nchini Marekani anaeleza alichojifunza kufuatia ushindi wa Hulda Momanyi katika kiti cha uwakilishi jimboni humo - Novemba 07, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 7, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

minnesota jimbo humo kiti katika marekani novemba ushindi
Wimbi la Siasa
Msumbuji : Upinzani wakataa kutambua ushindi wa Daniel Chapo

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Nov 5, 2024 10:05


Nchini Musumbuji maandamano yamekuwa yakishuhudiwa baada ya upinzani kukataa kutambua ushindi wa mgombea wa chama tawala Daniel Chapo. Aliyekuwa mgombea wa upinzani Venancio Mondlane, amekuwa akisisitiza kwamba alipokonywa ushindi, katika makala haya tunazama kujadili kile kinachoendelea nchini Musumbiji.Wachambuzi wa siasa za kimataifa Lugete Mussa Lugete na Felix Arego wanafafanua hali nchini Msumbiji.

Habari za UN
Ushindi wa tuzo ya mtu bora wa mwaka wa UN ni ushindi kwa watu wa Kajiado wanaonufaika na mradi wetu - Kipeto

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 28, 2024 3:02


Kampuni ya Craftskills Wind Energy International Limited wamiliki wa mradi wa nishati ya umeme itokanayo na upepo ya Kipeto Energy iliyoko Kaunti ya Kajiado nchini Kenya wamejitwalia tuzo ya “Mtu Bora wa Mwaka wa Umoja wa Mataifa. 2024”Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo anasema ushindi huo ni kwa watu wa Kaunti ya Kajiado nchini Kenya ambao ni wanaufaika wakubwa wa mradi kwani sio tu umewaletea umeme, bali pia umewainua kiuchumi na kijamii kwa miradi mingine mbalimbali kama inabobainisha makala hii iliyoandaliwa na Flora Nducha..

kenya bora umoja makala watu mwaka mataifa ushindi kaunti mkurugenzi
Habari za UN
Ushindi wa mradi di wa Kipeto UN n ushindi wa wananchi wa Kajiado: Mnufaika

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 25, 2024 3:09


Kampuni ya Craftskills Wind Energy International Limited inayoendesha Mradi wa Kipeto Energy jana Siku ya Umoja wa Mataifa ilitwaa tuzo ya “Mtu Bora wa Mwaka wa Umoja wa Mataifa.”Mradi wa Kipeto wa kampuni hiyo unatoa nishani ya umeme kwa kaya 250,000 katika eneo la Esilanke kaunti ya Kajiado nchini Kenya ukizalisha megawati 100 za umeme tangu 2021 ambazo zinaingizwa kwenye gridi ya taifa, lakini pia unasaidia kuwajengea wananchi nyumba bora na kuwapa huduma muhimu ya maji. Stela Vuzo afisa habari wa kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIS Nairobi amezungumza na mmoja wa wanaufaika wa mradi huo wa nishati ya upepo ya Kipeto kuhusu faida za mradi huo,  na anaanza kwa kujitambulisha..

kenya umoja makala siku mwaka mataifa ushindi wananchi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Ushindi katika ndoa

maisha ndoa ushindi
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Ushindi katika ndoa

maisha ndoa ushindi
Kwa Undani - Voice of America
Zuma apata ushindi mwingine wa kisheria dhidi ya chama chake cha zamani cha ANC - Aprili 22, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 22, 2024 29:59


chama zuma zamani aprili ushindi
Sepetuko
Masomo kwa Kenya Kutoka kwa Ufanisi wa Diomaye Faye, Rais Mpya Wa Senegal

Sepetuko

Play Episode Listen Later Apr 3, 2024 4:25


Rais mpya wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ameapishwa rasmi kuiongoza nchi hiyo. Faye, mwenye umri wa miaka 44 anakuwa Rais wa tano wa taifa hilo na Rais mchanga zaidi kuongoza taifa hilo la Afrika Magharibi. Ushindi wake katika uchaguzi mkuu uliopita ni wa kihistoria kutokana na kuwa yeye si mtu maarufu mno katika siasa nchini humo, na aliondoka jela siku tisa tu kuelekea Uchaguzi Mkuu. Tunajifunza nini kutokana na hadithi ya ufanisi wa Faye? Kenya inaweza kujifundisha nini?

kenya senegal rais ushindi uchaguzi mkuu
Alfajiri - Voice of America
Kura zaendela kuhesbiwa Senegal huku wafuasi wa mgombea kwa tikiti ya upinzani wakishangilia "ushindi" mitaani - Machi 25, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 25, 2024 30:00


Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza. Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.

senegal kura machi huku ushindi
Wimbi la Siasa
Makala haya yanatupia jicho uchaguzi wa urais nchini Urusi, nini maana ya ushindi wa rais Vladimir Putin.

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Mar 20, 2024 10:04


vladimir putin haya nini makala maana urais ushindi uchaguzi
VOA Express - Voice of America
Filamu ya Bobi Wine ya The People's President haikupata ushindi wa Tuzo za 96 za Oscars lakini amejijengea hatua nzuri kwa siku zijazo - Machi 11, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 11, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

oscars machi bobi wine siku lakini hatua ushindi
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mahakama ya katiba yaidhisha ushindi wa Tshisekedi, Burundi yafunga mpaka na Rwanda

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Jan 13, 2024 20:09


Mahakama ya katiba huko DRC iliidhinisha ushindi wa rais Félix Tshisekedi,rais wa Uganda Yoweri Museveni awatahadharisha waasi wa ADF, Waziri mkuu wa Uingereza Richy Sunak akabiliwa na wakati mgumu kuhusu suala la kuwasafirisha waomba hifadhi huko Rwanda, yaliyojiri katika ukanda wa Afrika Mashariki, Afrika magharibi lakini pia uteuzi wa Gabriel Attal kuwa waziri Mkuu wa kwanza kijana nchini Ufaransa, mashambulio ya jeshi la Israeli yawaathiri raia wa kawaida mjini Gaza, na matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani.

Gateway Life Church Podcast
Ps Jason Mannering & Faida Ushindi | God Sees You!

Gateway Life Church Podcast

Play Episode Listen Later Nov 30, 2023 4:18


god sees ps jason mannering ushindi
SBS Swahili - SBS Swahili
Kuku ashawishi ushindi katika tamasha ya Tamaduni Day

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 31, 2023 9:40


Wanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.

SBS Swahili - SBS Swahili
Allan "napewa heshima sana Bathurst baada ya ushindi wa wakenya"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 21, 2023 7:42


Mji wa Bathurst, NSW kwa mara ya kwanza katika historia ulikuwa mwenyeji wa mbio za nyika za dunia.

nsw sana bathurst baada heshima ushindi
Habari za UN
Mlipuko wa Ebola imetokomezwa Uganda - WHO

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 11, 2023 0:02


Uganda hii leo imetangaza kutokomeza mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliosababishwa na virusi aina ya Sudan, ikiwa ni chini ya miezi minne tangu kuthibitishwa kwa mgonjwa wa kwanza kwenye wilaya ya Mubende nchini humo 20 mwezi Septemba mwaka jana.Taarifa iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO katika miji ya Brazaville, Congo na Kampala, Uganda imemnukuu Waziri wa afya wa Uganda Dkt. Jane Ruth Aceng Acero akisema wameweza kutokomeza ugonjwa huo haraka kutokana na kutekeleza kwa kasi mikakati muhimu ya udhibiti, usimamizi, ufuatiliaji wa wagonjwa na waambata wao sambamba na hatua za kinga na udhibiti wa maambukizi. Dkt. Acero amesema “pamoja na kupanua wito wa juhudi zetu na kuimarisha hatua zetu kwenye wilaya tisa zilizokuwa zimeathiriwa na Ebola, siri kuu ya mafanikio ni uelewa wa jamii zetu kuhusu umuhimu wa kile kilichopaswa kufanyika ili kutokomeza Ebola.” Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Uganda kuwa na mlipuko wa Ebola ya virusi vya Sudan katika muongo mzima, ingawa ni mlipuko wa tano kwa ujumla wa ugonjwa wa Ebola. Taarifa hiyo imesema kulikuwa na wagonjwa 164 ambapo 142 walithibitishwa na 22 ni washukiwa.  Kati yao hao, wagonjwa waliothibitishwa kufa kwa Ebola ni 55 ilhali 87 walipona. Zaidi ya watu 4000 ambao walikuwa waambata wa wagonjwa hao walifuatiliwa na afya yao kufuatiliwa kwa karibu kwa siku 21. Mgonjwa wa mwisho aliruhusiwa kutoka hospitali tarehe 30 mwezi Novemba mwaka jana ambapo siku 42 za kuhesabu ili kuona hakuna tena mgonjwa zilianza na hadi leo hakuna mgonjwa mpya wa Ebola. Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt. Tedros Ghebreyesu amepongeza Uganda kwa hatua za kina ambazo zimefanikisha Ushindi wa leo wa kutokomeza Ebola. Amesema hatua ya leo inadhihirisha kuwa Ebola inaweza kutokomezwa pindi mfumo mzima unapofanya kazi pamoja,kuanzia kuwa na mfumo wa kutoa tahadhari, hadi kusaka na kuhudumia walioambukizwa pamoja na waambata wao bila kusahau kupata ushirikiano kutoka kwa jamii zilizoathirika. Dkt. Tedros amesema mafundisho kutokana nah atua za mlipuko huu uliotokomezwa na mifumo iliyowezesha kutokomeza ugonjwa huo utalinda waganda na wengineo katika miaka ijayo. 

uganda congo sudan ebola kampala acero zaidi umoja hii waziri dkt mataifa novemba ushindi septemba
Habari RFI-Ki
Timu ya Argentina yanyakua ushindi katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 .

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 19, 2022 10:01


Timu ya taifa ya Argentina ndio  mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2022 katika mchezo wa soka baada ya kuishinda ufaransa kwenye mikwaju ya penalty hapo jana.Tumewauliza  wasikilizaji weru wa RFI kiswahili wanazungumziaje ushindi wa Argentina  na  je Ni mchezaji yupi aliyewavutia katika mashindano hayo?

Habari RFI-Ki
Timu ya Argentina yanyakua ushindi katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 .

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 19, 2022 10:01


Timu ya taifa ya Argentina ndio  mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2022 katika mchezo wa soka baada ya kuishinda ufaransa kwenye mikwaju ya penalty hapo jana.Tumewauliza  wasikilizaji weru wa RFI kiswahili wanazungumziaje ushindi wa Argentina  na  je Ni mchezaji yupi aliyewavutia katika mashindano hayo?

SBS Swahili - SBS Swahili
Athiei na Akram "Ushindi wa Morocco ni ushindi wa bara zima la Afrika"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 12, 2022 9:06


Historia inaendelea kuandikwa nchini Qatar, ambako timu ya mpira wa miguu yawanaume ya Morocco inaendelea kuwaacha wachambuzi na wadau wa soko vinywa wazi.

Jioni - Voice of America
Morocco imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kusonga mbele nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Portugal - Desemba 10, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 10, 2022 30:00


Bao la ushindi lilifungwa dakika za mwisho za kipindi cha kwanza wakati Youssef En-Nesyri alipoteleza na kushinda kwa kichwa krosi iliyopigwa na Yahya Attiat-Allah. Kipa wa Portugal Diogo Costa alijaribu kumzuia En-Nesyri kwa krosi lakini En-Nesyri alimruka kila mmoja na kuutumbukiza mpira wavuni

portugal morocco afrika dunia bao kwanza timu kipa youssef en nesyri ushindi kombe desemba
VOA Express - Voice of America
Mahakama ya juu ya Kenya yahalalisha ushindi wa Ruto - Septemba 05, 2022

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 5, 2022 29:59


Mahakama ya juu nchini Kenya imekubaliana na maamuzi ya tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kuwa ushindi wa William Ruto katika uchaguzi wa rais hapo Agosti 9 ulikuwa halali, na kumaliza wiki kadhaa za hali kutokuwa na uhakika wa kisiasa.

kenya ruto agosti ushindi septemba
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Odinga atinga mahakamani kupinga ushindi wa Ruto, Monusco yakataliwa DRC

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Aug 27, 2022 20:20


Makala hii imeangazia kuhusu kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga alivyowasilisha kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi William Ruto na kuwa rais mteule nchini Kenya, mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola huko DRC, muungano wa mashirika ya kiraia yalitangaza kusitisha ushirikiano wao na MONUSCO, Ziara ya rais wa Ufaransa Emmzanuel Macron nchini Algeria, zoezi la sensa lilizinduliwa nchini Tanzania, pia siasa za Marekani, Ukraine na kwengineko duniani.

VOA Express - Voice of America
Odinga awasilisha ombi la kupinga ushindi wa Rais mteule Ruto - Agosti 22, 2022

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 22, 2022 29:59


Aliyekuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya, Agosti 9, Raila Odinga, na muungano wake wa Azimio, wamewasilisha hoja 23 kwenye mahakama ya juu, kutaka ushindi wa Dr. William Ruto ubatilishwe, kwa madai kwamba uchaguzi na hesabu ya kura vilijaa udanganyifu. Anataka uchaguzi kurudiwa.

Kwa Undani - Voice of America
Kwa Undani: Raila Odinga amewasilisha mahakamani maombi ya kutaka ushindi wa rais mteule Dr. William Ruto ufutiliwe mbali - Agosti 22, 2022

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 22, 2022 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Kwa Undani - Voice of America
Kwa Undani: Raila amesema anaelekea mahakamani kupinga ushindi wa Ruto. Wanasheria wanasemaje? - Agosti 16, 2022

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 16, 2022 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

ruto agosti ushindi
SBS Swahili - SBS Swahili
Wawakilishi wa wanasiasa wa Kenya, waelezea imani yao kwa ushindi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 11, 2022 15:48


Hesabu za kura zilizo pigwa zina endelea nchini Kenya, ambako matokeo yake yanasubiriwa kwa hamu nama milioni ya watu.

kenya ushindi
Salama Na
SE7EP08 - SALAMA NA SAMATTA | HEADMASTER

Salama Na

Play Episode Listen Later Aug 4, 2022 60:51


Kila kijana wa ki Tanzania ambae anaupenda na kuuthamini mpira wa miguu na ambaye angependa ndo iwe kazi ya maisha yake basi Mbwana Ally Samatta ndiye role model wake, hakuna doubt kwamba watakua na mapenzi na Cristiano Ronaldo au Leo Messi au Kylian Mbappe au Marcus Rashford ila yule ambaye amewaaminisha kwamba INAWEZEKANA ukacheza POPOTE hapa duniani na hasa kwenye ligi yetu pendwa ya Uingereza ni Samatta. Rafiki tu kutoka Mbagala rangi tatu ambaye kashacheza saaana ndondo na makombe ya mbuzi wakati anakua na mwisho wa siku akaenda kucheza kwa wazungu na bado anaendelea kutafuta rizki yake huko, hata kama sio ligi ile ambayo hata yeye mwenyewe angependa awepo ila BADO ni MWAMBA wetu. Samatta huyu huyu ndo ambaye alijitwika mpira kichwani na kuitika nyavuni mbele ya beki ambae anaaminika kuwa BORA kwa misimu hii miwili mitatu ndani ya Virgil van Dijk. Hata wakati naandika hii bado mwili unanisisimka kwa wazo tu kwamba nililishuhudia lile, pata picha kwa mtoto ambaye ana ndoto hizo. Lile goli lilimfanyia NINI kwenye ndoto zake. KRC Genk walipoteza mchezo ule wa ugenini wa kombe la mabingwa wa Ulaya kwa magoli 2-1 ila kwenye mitaa yote ya mikoa ya Tanzania ile mechi ilikua ya USHINDI. Mbwana ametokea kwenye familia ya kawaida sana sana, wazazi wake wote kama kumbukumbu yangu itakua 100 basi walikua polisi, najua kwa hakika Baba yake alikua Polisi kwa asilimia 100. Kwa marehemu Bi Mkubwa wake ndo sina hakika sana ila kwa hakika jibu limo kwenye haya maongezi yetu. Anakumbuka jinsi ambavyo Mzee wake alikua anasisitiza kwenye suala la elimu na heshima, kama mtoto wa mwisho kwenye familia hiyo, Mbwana aliupenda sana mpira, zile za kujiiba na kwenda kucheza mechi za mbali alishafanya sana na matunda ndo haya ya leo. Nadhani ilifika kipindi Mzee mwenyewe aliona basi sawa, twende huko utakako. Familia yao yote ni wapenzi wa mpira na Kaka yake Mouhamed bado anacheza hapa hapa Tanzania. Sasa akiwa kama kioo kikubwa sana kwenye jamii hii Samatta anazungumzia presha ambayo hupewa hasa pale anapoitwa kwenye timu ya Taifa, jinsi maneno mengi ya kashfa yanaporushwa kwake kutoka kwa wananchi na anakumbuka pia wakati bado anacheza T.P Mazembe kuna kipindi kocha aliacha kumuita yeye na Rafiki yake Thomas Ulimwenguna ilisemekana kama pengine hakuna na interest na team au hakua anatoa 100. Pengine kipindi hicho aliumia zaidi maana hiyo haikua jambo zuri kwake. Mbwana anazungumza na mimi kuhusu urafiki wake na Ulimwengu na maisha ambayo walikua wanaishi pamoja wakati wako DRC, anakumbuka jinsi walivyokua wanapanga kufanikiwa pamoja na mipango yao endelevu kwenye career yao. Ulimwengu nae ana siku yake kwenye kiti chetu In Shaa Allah maana nae ana mengi ya kutuelezea. Majeraha ya mara kwa mara bila ya shaka yalisababisha kwa kiasi kikubwa ndoto zake za kucheza Ulaya kutochukua hatua ya juu kama ambavyo angependa, ila mimi naamini hayo yote maisha tu, kila kitu kilikua tayari kimesha andikwa. Samatta ni Baba ambaye watoto wake wanasoma hapa hapa nyumbani, nilimuuliza kama watoto wake wanajua yeye ni nani na akanipa story ndogo ya yeye kung'amua kama wanafahamu fika Baba yao ni nani. Mwenzangu humu kuna mengi sana ambayo yatakufaa na kwa nafasi ya kipekee ningependa kumshukuru Captain wa Taifa kwa kuchukua time kwenye ratiba yake ambayo ilikua imebana kweli kweli ili tu aje kutubarikia meza yetu kwa uwepo wake. Yangu matumaini uta enjoy sana. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Afya, Ushindi

afya ushindi
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Afya, Ushindi

afya ushindi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Ushindi Maishani

afya ushindi
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Ushindi Maishani

afya ushindi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Afya, Ushindi katika Maisha

maisha afya ushindi
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Afya, Ushindi katika Maisha

maisha afya ushindi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Afya, Kujiajiri

afya ushindi
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Afya, Kujiajiri

afya ushindi
Gateway Life Church Podcast
Faida Ushindi - 10am Sunday May 29, 2022

Gateway Life Church Podcast

Play Episode Listen Later May 31, 2022 30:57


ushindi
Radio Uhai Broadcast
Damu Ya Yesu Ni Ushindi Wetu (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later May 30, 2022 60:00


SBS Swahili - SBS Swahili
Steve Sitienei "Serikali mpya ya Labor itakuwa yawatu wapato la chini si matajiri"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 23, 2022 10:29


Ushindi wa chama cha Labor katika uchaguzi mkuu wa Australia, umewapa viongozi wajamii matumaini kuwa maisha ya wanachama wa jumuiya yao yatakuwa bora kuliko chini ya serikali ya zamani ya mseto.

australia labor chini serikali ushindi wapato
Radio Uhai Broadcast
Unapoomba Epuka Kuona Matatizo Ona Ushindi (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Mar 30, 2022 59:00


swahili ushindi
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Ushindi Dhidi ya Maisha Yako Ya Zamani 2

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Feb 28, 2022 24:44


Yesu alilipa deni kamili ya dhambi zako. Hatia yako na hisia mbaya juu yako hazihitajiki.

The Ugandan Boy Talk Show
Continuation: We've Been Seeking Asylum For The Last 12 Years | Elyse Ushindi | E42

The Ugandan Boy Talk Show

Play Episode Listen Later Aug 28, 2021 25:32


Continuation of Ep3; In this episode, I host Elyse Ushindi, Elyse a Congolese child, born in Uganda and raised all over East Africa, currently living in Norway. You might remember him from S3E11 when he was on the show to talk about #10K4Autism. He is back and in this episode, he talks about how he and his family fled the 2009 civil war in Congo to seek asylum in Uganda, then eventually moved to Norway in 2019. He talks about the challenges that his family faced while they were refugees seeking a new life. Listen in to hear his story.

The Ugandan Boy Talk Show
We've Been In Asylum For The Last 12 Years | Elyse Ushindi | E41

The Ugandan Boy Talk Show

Play Episode Listen Later Aug 21, 2021 28:35


In this episode, I host Elyse Ushindi, Elyse a Congolese child, born in Uganda and raised all over East Africa, currently living in Norway. You might remember him from S3E11 when he was on the show to talk about #10K4Autism. He is back and in this episode, he talks about how he and his family fled the 2009 civil war in Congo to seek asylum in Uganda, then eventually moved to Norway in 2019. He talks about the challenges that his family faced while they were refugees seeking a new life. Listen in to hear his story.

The Ugandan Boy Talk Show
10K4AUTISM | Daniel Nyanzi and Elyse R. Ushindi | E37

The Ugandan Boy Talk Show

Play Episode Listen Later Jul 14, 2021 44:51


In this episode, I host Daniel Nyanzi from Michigan USA and Elyse Ushindi from Sandefjord Norway. Nyanzi has been on the show before talking about his life and childhood background in S1E5. And now it's Elyse's first time on the show. The two are here to talk about a campaign that was developed on Twitter Spaces by a group of people, this campaign is called 10K4Autism. They plan to help kids with autism in Uganda. Listen in for a great discussion and to learn how you can be a part of something bigger. They are also raising funds through a Go Fund Me: https://www.gofundme.com/f/kids-with-autism-in-uganda-need-our-help anything you donate will be of help. 10K4Autism is the 100 days campaign to raise the funds to help and it's running from July 5th to Ocotber 10th. For more information check out their website https://www.10k4autism.org/?fbclid=IwAR3ipONZL7tV-TK7bAcoRborDcM8oOwBcxx-R-wkVxUpMzml2G6Y2YzzYgY #10k4autism #tweeterspaces #charity #podcast #Autism #love #uganda

autism uganda gofundme ocotber michigan usa ushindi
Can't Take A Joke
Ushindi Namegabe is an African Renaissance Man

Can't Take A Joke

Play Episode Listen Later Apr 18, 2021 0:30


The boys introduce Ushindi Namegabe, the most motivating man you'll ever hear. Ushindi provides some insight on his cultural background, his transition from a stick figure to a IFBB Bodybuilding Pro (not really), entrepreneurial endeavors, and leaves you with the feeling that you are simply not doing enough. With a hand dipped in more career paths than a 50 year old man in a mid-life crisis, Ushindi is a true renaissance man; a jack of all trades.

renaissance man african renaissance ushindi ifbb bodybuilding pro