POPULARITY
Categories
Katika makala yetu ya leo Jumapili mtangazaji wako Ali Bilali anatupeleka Mombasa Pwani ya Kenya kuskiliza historia ya Ngome Kongwe pamoja na ile ya ngome ya Yesu ama fort Jesus. Kumbuka pia kumfuatilia kwa kubonyeza @billy bilalihttps://www.facebook.com/billy.bilali.9
gospel song,health talk,knowledge,sermon.
gospel song,health talk,knowledge,sermon.
gospel song,health talk,knowledge,sermon.
swahili_BB-95_Mtazamo wa Biblia kuhusu Yesu (BB_"Bible View of Jesus")
swahili_BB-87_Nguvu ya Yesu ya Kushangaza
Gospel song,health talk,sermon.
swahili_BB-86_Maarifa ya Kushangaza ya Yesu
Gospel song,health talk,sermon.
Gospel song,health talk,sermon.
Gospel song,health talk,sermon.
Gospel song,health talk,sermon.
Gospel songs,health talk,sermon.
Cicē'ōẏā_BB-95_Zimene Baibulo Limanena pa Yesu
Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, Mwezeshaji ni Frater Daud Fungameza kutoka Parokia ya Songwe Jimbo Katoliki Mbeya, akijibu swali la Msikilizaji linalosema nini maana ya Msalaba? historia yake na lini ishara ya Msalaba ilianza na kutumika, pia kwanini kunatofauti juu ya Upande wa kichwa cha Yesu wa kuegemea […] L'articolo Fahamu maana ya Msalaba na historia yake? proviene da Radio Maria.
Cicē'ōẏā_BB-86_Chidziwitso Chodabwitsa cha Yesu
Cicē'ōẏā_BB-87_Mphamvu Yodabwitsa ya Yesu
Gospel song,health talk,sermon.
Phunziro la makumi asanu ndi awiri mphambu zisanu ndi zitatu (78) Yesu anali mlendo
Gospel song,heath talk,sermon.
DUBAN ALMAJIRAI AKAN YESU
Hello,Kindly listen to the teaching titled REDEEMED FROM THE HAND OF THE ADVERSARY (Psalm 107:1-3) by Rev. Simon Peter Dembe Lya Yesu from the Overnight service of Friday, 1st August 2025
Karibu katika kipindi cha Tafakari ya Bikira Maria, Mwezeshaji ni Mhshamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba leo anatuongoza kuangazia maisha ya Mtakatifu Martha. Mtangazji wako ni Beatrice Audax L'articolo Mfahamu Mtakatifu Martha Dada yake na Lazaro aliyefufuliwa na Bwana wetu Yesu Kristo. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi Cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, ambapo Padre Dominic Mavula, C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo wa Radio Maria Tanzania, anafundisha juu ya thamani ya Ukombozi, akijikita zaidi juu ya mada ya “Damu Azizi ya Yesu nguvu ya utakaso.” L'articolo Je, ni kwa namna gani Damu Azizi ya Yesu ni nguvu ya Utakaso? proviene da Radio Maria.
Msikilizaji Karibu uungane na Frateri Fredrick Alfred Kabonge, kutoka Parokia ya Bikira Maria Consolata Kibao, Kituo cha Hija ya Huruma ya Mungu, Jimbo Katoliki Mafinga ambaye anajibu swali hili “Kwanini Yesu alimwambia Maria Magdalena, shahidi wa kwanza wa Ufufuko wake, “usiniguse?” Mimi ni Mtangazaji wako Elizabeth Masanja. L'articolo Kwanini Yesu alimwambia Maria Magdalena, Usiniguse? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi Cha Katekisimu Katolikia Shirikishi, ambapo Padre Dominic Mavula C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo wa Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya thamani ya Ukombozi, akijikita zaidi juu ya “Damu Azizi ya Yesu lugha ya mawasiliano dhidi ya yule mwangamizi. Karibu L'articolo Je, ni kwa namna gani Damu Azizi ya Yesu ni lugha ya mawasiliano dhidi ya mwangamizi? proviene da Radio Maria.
Karibu msikilizaji usikilize kipindi cha Tafakari Nasi, Mwezeshaji ni Padre John Bosco kutoka Parokia ya Bikira Maria Imakulatha Pande Msakuzi, Jimbo Kuu la Dar es Salaam akizungumzia juu ya kujenga urafiki na Yesu. L'articolo Je, unafahamu namna ya kujenga urafiki na Yesu Kristo? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, kipindi hiki hukupatia nafasi ya kupata mafundisho kutoka kwa Baba zetu wa kiroho yenye lengo la kutudumisha katika imani ya kanisa Katoliki, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S na Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria Tanzania anaendelea kufundisha juu ya thamani ya ukombozi wetu akiangazia Damu Azizi lugha ya […] L'articolo Ni kwa namna gani Damu Azizi ya Yesu lugha ya mawasiliano? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Padre Dominic Mavula C.PP.S na Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria, anaendelea kutoa mafundisho kuhusu kuufariji Moyo Mtakatifu. Mimi ni Esther Magai Hangu, ninakualika kwa niaba ya Padre Dominic. L'articolo Fahamu vipaumbele vinavyokusudiwa katika kuufariji Moyo Mtakatifu wa Yesu proviene da Radio Maria.
Msikilizaji mpendwa karibu uungane nami Happiness Mlewa , kusikiliza kipindi cha Katekisimu Katoliki Shiriki ambapo Mwezeshaji wetu Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo wa Radio Maria Tanzania, anatufundisha namna ya kuufariji Moyo Mtakatifu wa Yesu. KARIBU L'articolo Je!, Wafahamu kuwa tunawao wajibu wa Kuufariji Moyo Mtakatifu wa Yesu? proviene da Radio Maria.
Mahubiri haya yanaangazia onyo la Mtume Paulo dhidi ya walimu wa uongo katika 2 Kor. 11. Paulo anashangazwa na jinsi Wakorintho wanavyoondoka haraka kutoka kwa ibada ya kweli kwa Kristo, wakivutwa na mitume wa uongo wanaomuubiri Yesu mwingine, injili nyingine, na roho mwingine. Katika mahubiri hayo, Danson Ottawa anaangazia hatari ya sasa ya udanganyifu na kumtia moyo msikilizaji kufuatilia utambuzi wa Biblia. Anasema, “Waumini waliowekwa msingi katika kweli, na kukua katika neema, wataweza kuilinda Injili”.
Msifu Bwana kwa njia ya nyimbo, Silaha ya damu ya Yesu
Jina la Yesu lina Nguvu, Tumepewa muda na Mungu utumie vizuri
Yesu atakaporudi, Mungu ndiye faraja pekee
Kukua katika Kristo
Utukufu kwa Bwana, Tenda wema kwa wanaokuzunguka
Mpango wa wokovu kwa Mwanadamu