Podcasts about ambatana

  • 6PODCASTS
  • 16EPISODES
  • 17mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Dec 27, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about ambatana

Latest podcast episodes about ambatana

Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Dec 27, 2024 10:12


Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili

kiswahili muziki ali bilali ambatana
Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Dec 27, 2024 10:12


Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili

kiswahili muziki ali bilali ambatana
Changu Chako, Chako Changu
Utamaduni wa watu wa kabila la wabembe na mwanamuziki Naza kutoka Ufaransa

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jan 30, 2024 19:59


Makala haya Changu chako Chako Changu, Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu amezungumza na Mzee Ebengela Saleh kuotka huko mashariki mwa DRC kuzungumzia kuhusu Historia na Tamaduni za watu wa Kabila la Wabembe. Utapata pia kumfahamu mwanamuziki kutoka Ufaransa mwenye asili ya DRC na Congo Brazaville Naza. Ambatana na mtangazaji wako na usikosi kumfollow kwa Instagram kwa kubonyeza hapa. @billy_bilali https://www.instagram.com/billy_bilali/

Changu Chako, Chako Changu
Mila na tamaduni za watu wa Rumonge Kusini mwa Burundi, Andy Mwag msanii tishio jukwaani

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Aug 23, 2023 20:00


Katika makala haya Jumapili ya leo Ali Bilali anakuletea mila na tamaduni za watu wa Rumonge kusini mwa Burundi, na kwenye muziki utamsikia msanii Andy Mwag mwanamuziki kutoka nchini Burundi ambae amekuwa tishio jukwaani katika muziki wa Live. Ambatana na mtangazaji wako mwanzo hadi tamati, na usiksahau kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali

live burundi sanaa katika watu muziki jumapili ali bilali ambatana
Changu Chako, Chako Changu
Vijana wa Uvira na harakati ya kukuza sanaa ya kuigiza filamu, mwanamuziki Force Gave

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jul 30, 2023 19:57


Makala haya ya leo Changu Chako Chako Changu mtangazaji wako wa maswala ya historia sanaa na utamaduni Ali Bilali ametembelea huko Uvira na kufanya mazungumzo kuhusu sanaa hii ya kuigiza katika eneo hilo, lakini pia utapata kumsikia mwanamuziki kutoka eneo hilo Mr Gave. Ambatana naye. usikosi pia kumfollow katika mitandao ya kijamii facebook na instagram @billy_bilali

force drc sanaa makala vijana muziki uvira ali bilali ambatana
Radio Maria Tanzania
HISTORIA YA KANISA

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 20, 2022 56:35


Ambatana na Mhashamu Askofu Msaidizi Methodius Kilaini wa Jimbo Katoliki la Bukoba katika kipindi cha Historia Ya Kanisa ambapo anajibu maswali mbalimbali ya Kihistoria na Litrurgia uliyomuuliza katika vipindi mbalimbali.

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya tamasha la Utamaduni wa Mtanzania mila na desturi

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Sep 16, 2021 20:06


Ambatana naye Ali Bilali kufahamu zaidi tamasha la Utamaduni wa Mtanzania mila la desturi lililofanyika hivi karibuni mkoani Mwanza lililohudhuria na machifu kutoka kila kona ya Tanzania.

Siha Njema
Siha Njema - Kukithiri kwa umaskini na dhulma za kijinsia nchini Kenya

Siha Njema

Play Episode Listen Later Sep 16, 2021 10:03


Makala haya mtangazaji wako Carol Korrir anazungumzia kwa kina zaidi kuhusu kukithiri kwa umaskini na dhulma za kijinsia nchini Kenya. Ambatana naye kufahamu mengi zaidi.

kenya makala njema siha ambatana
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Uhuru wa Burundi uliopatikana Julai Mosi 1962

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jul 9, 2021 20:18


Katika Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya Uhuru wa Burundi ambao husherehekewa kila ifikapo Julay 01. Ambatana naye kufahamu zaidi harakati zilivyokuwa hadi kuuawa kwa mwanamfalme Louis Rwagasore. Usikosi pia kumfollow kwa Instagram @billy_bilali

historia burundi uhuru mosi julai katika makala ali bilali ambatana
Siha Njema
Siha Njema - Matatizo ya kuganda kwa damu, yanayohusishwa na virusi vya Corona.

Siha Njema

Play Episode Listen Later May 4, 2021 10:25


Katika Makala haya mpenzi msikilizaji utapata kusikia matatizo ya kuganda kwa damu. Tatizo hili limeongezeka katika kipindi hiki cha maambukizi ya Corona, ambapo baadhi ya dawa zinazotumika kama chanjo dhidi ya Covid-19 zimehusishwa na tatizo hili. Ambatana naye mtangazaji wako Carol Korrir kufahamu mengi zaidi.

covid-19 corona damu njema virusi siha katika makala ambatana
Habari za UN
Ingawa mimi ni mkimbizi lakini Kakuma ni nyumbani:Nhial Deng

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 19, 2020 2:28


Kutana na Nhial Deng mkimbizi kutoka Sudan Kusini anayeishi katika moja ya kambi kubwa ya wakimbizi ya Kakuka nchini Kenya. Leo anatueleza jinsi siku yake inavyokua na anavyojilinda na janga la COVID-19. Ambatana na Jason Nyakundi akisimulia zaidi

covid-19 kenya deng kakuma lakini nyumbani sudan kusini kutana ambatana
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Historia ya aliekuwa rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Sep 17, 2019 20:45


Makala haya, Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe alietangazwa kuwa baba wa taifa wa Zimbabwe na rais wa sasa wa nchi hiyo siku moja baada ya kifo chake. Ambatana nami mwanzo hadi tamati ya makala haya

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Mwanamitindo kutoka nchini Tanzania na harakati zake za kujikwamua na maisha

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Dec 4, 2018 20:21


Katika Makala haya, Ali Bilali anazungumza na mwanadada anaejihusisha na mitindo ambae amekuwa akipambana kujikwamua kimaisha, ambapo shughuli zake anaendesha katika majengo ya kituo cha kimataifa cha mikutano cha Nyerere Internationale Conference Center. Ambatana naye kufahamu mengi zaidi

tanzania maisha zake katika makala ali bilali ambatana
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Tamasha la kimataifa la filamu Festival de Cannes

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Dec 4, 2018 20:27


Tamasha la kimataifa la filamu nchini Ufaransa Festival Internationale de Cannes latimua vumbi nchini Ufaransa. Ambatana na Ali Bilali kufahamu zaidi kuhusu tamasha hili.

Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Tamasha la Fiesta latamatika jijini Dar Es Salaam

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Dec 21, 2017 14:07


Novemba 25 ilikuwa kilele cha tamasha la Fiesta 2017, baada ya kufanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, hatimae ilikuw ani zamu ya Dar es salaam. Msimu huu ni wanamuziki pekee kutoka nchini Tanzania ndio walioshiirki ili kutoa burudani isioweza kusahaulika. Ambatana na Makala haya Ali Bilali anakujuza kwa muhtasar namna ilivyokuwa. usikosi mpia kumfollow kwa instagram.com/billy_bilali/

Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Wafahamu Amadou na Mariam wanamuziki wenye ulemavu wa kuona mke na Mume

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Oct 5, 2017 10:39


Makala haya Muziki Ijumaa hii leo inakuletea Historia ya wanamuziki wawili mke na mume ambao ni walemavu wa kuona, lakini wamekuwa maharafu sana katika mataifa mbalimbali duniani. Ambatana naye Ali Bilali kufaham zaidi kuhusu historia yao.