Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya
Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa
Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili
Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.
Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.
Muziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha
Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.
Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako la muziki hapa.
Wiki hii upo nae Florence Kiwuwa amekuchezea muziki bora zaidi katika juhudi za kuipamba wikendi yako.
Katika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
Juma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.
Jupiter Mayaka amekuandalia burudani ya kukata na shoka, ikiwa ni siku ya Kiswahili duniani akikuhimiza kuwa lugha hii adhimu itukuzwe.
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
Kila Ijuma rfi Kiswahili inaporomosha vibao motomoto kupitia makala haya, nawe mskilizaji unapata nafasi ya kipekee kuomba miziki unaopenda. Miongoni mwa vibao utakavyopokea ni pamoja na kutoka nchini DRC, Tanzania na kote duniani, skiza makala haya kwa uhondo kamili.
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
Kila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto ndani ya Makala Muziki ijumaa. Katika Makala haya Utaskia vibao moto kutoka kwa wasanii wakale kama vile Madilu System, hadi wa sasa kama vile Hermonize kutoka Tanzania. Kwa uhondo zaidi skiza makala.
Karibu kuungana na mtangazaji wako Reuben Lukumbuka katika muziki ijumaa, anaungana na wasikilizaji kutoka kila kona wiki hii
Karibu kuungana na mtangazaji wetu Florence Kiwuwa anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya Aprili 28 2023
Karibu kuungana na mtangazaji wetu mwandamizi Reuben Lukumbuka anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya marchi 24 2023
Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako na muziki hapa.
Kila ijumaa unapata nafasi ya kuomba na kuskiza muziki unaopenda ndani ya rfi Kiswahili, kupitia makala ya Muziki Ijumaa. Juma hili Benson Wakoli amekuandalia vibao mbalimbali kutoka Africa Mashariki, vibao vya kale na sasa, ili kupanda uhonda kamili skiza makala haya
Ukikose kuskiza vibao mrua kabisa ndani ya makala muziki ijumaa kila ijumaa katika rfi kiswahili.
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inatoa nafasi kwa waskilizaji wake kuomba muziki ndani ya makala ya Muziki Ijumaa. Skiza vibao vya bomba vya juma hili.
Makala haya yanakuletea Burudani ya Muziki uliochaguliwa na waskilizaji Usikosi pia kutufollow kwa instagram kwa kubonyeza hapa: instagram.com/billy_bilali/
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
Karibu Msikilizaji katika Makala ya Muziki Ijumaa tunakupa nafasi ya kukuchezea Wimbo unaoupenda na ambao bila shaka unakuna Moyo wako ukikukukumbusha Mambo mbali mbali na Matukio kipindi wimbo ulipotia fora… Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja kutoka Studio za RFI Kiswahili…wimbo wa kwanza utasikia ni wake Keny Rogers unaoitwa: You are my Best Friend- na miondoko mingine yenye kuvutia
Makala yako Muziki ijumaa inakuletea mchanganyiko wa burudani waliochaguwa waskilizaji, juma hili usukani unaongozwa na Ali Bilali. Kumbuka pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali
Leo tunaletea burudani ya muziki kuanzia rhumba, raggae. Burudika hapo ulipo.
Katika Makala haya Ali Bilali anakuletea Burudani ya Muziki pamoja na chaguo ulilochaguwa wewe msikilizaji. Ambatane naye hadi tamati usikosi pia kumfollow kwa Instagram @billy_bilali
Karibu kujiunga na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka katika makala hii inayosisimua na kukuletea uhondo wa muziki wa kizazi kipya; nafasi kwako msikilizaji kuuomba wimbo unaoupenda. Karibu pata vionjo.
Katika Muziki Ijumaa ,tunawasherekea wasanii wa muziku wa Taarab, ikiwa ni mwezi Machi mwezi wa kutambua mchango wa akina dada.
Msikilizaji unapata nafasi ya kusikiliza kibao cha muziki ulichokiomba kwenye makala haya kila Ijumaa.Karibu sana.
Kila Ijumaa RFI Kiswahili inakupa nafasi ya kuomba wimbo unaopenda.
Kila ijumaa ndani makala ya Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuomba muziki unaopenda.
Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.
Kila ijumaa ni nafasi yako kuchagua kibao unachopenda ndani ya Muziki Ijuamaa
Kila Ijumaa ni Makala ya Muziki Ijumaa. Unapenda tukuchezee kibao gani ? Unaweza pia kuomba kwa kututumia sauti kwenye namba yetu ya WhatsApp +254 707 888 555. Taja jina lako, unapatikana wapi na ombi lako.
Makala yako ya chaguo la Muziki Ijumaa hii uko naye Ali Bilali ambae anakuletea Burudani ya dakika 10.
Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni
Wiki hii tulikupa nafasi ya kuchagua muziki uliopenda kutuchezee kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, sikiliza chaguo lako.
Leo tumekuletea burudani tukiangazia kazi za wanamuziki Fally Ipupa, Bahati akitokea Kenya, SAT-B akitokea Burundi na Ali Kiba miongoni mwa wasanii wengine ambao utawasikia kwenye Makala haya.
Kila Ijumaa, kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, yanakupa nafasi ya kuchagua wimbo unaoupenda, tutakuchezea na utaburudika hapo ulipo.